Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[062]
Jukumu La Mwanamke Mkristo
(Toleo
2.0 20021015-20070629)
Karatasi hii inalitizama jukumu la mwanamke Mkristo katika ratiba ya Mungu na imani potevu kuwa wanawake hutengwa kama Mungu mmoja, imani ya pili. Kuna Mungu mmoja, imani moja, mwili mmoja, kanisa moja ila waumini (wake kwa waume) wengi
Christian Churches of God
E-mail: secretary@ccg.org
(Copyright ă 2002, 2007 Diane Flanagan, ed.
Wade Cox)
(Tr. 2009)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Jukumu La Mwanamke Mkristo
Karatasi za siku hizi, majarid na rafu za vitabu zimesheheni matoleo ya kumwongo mwanamke kuwa mzalizaji ila mwanamke Mkristo anafahamu kuwa ipo njia moja ya kweli ya kupata ufahamu na njia hiyo ni Mungu Baba na neno lake.
Tutatazama kisemacho Bibilia kuhusu jukumu la wanawake kuhugana na mpango wa Mungu.
Kabla ya kuuweka msingi wa ulimwengu huu, Mungu alikuwa na mpango wa kupatanisha mwanadamu na kujifanyia huenyeji mambo ya kisasa ya Ki-Adamu ni ya kimwili ambayo hutawaliwa na mifumo ya kimwili na kiroho. Mifumo mifumo hiyo kwa jumla na kuisaidia nafsi ya kiroho.
Mungu hufanya mambo kitanashati na kwa mpango, kama tulivyoungwa na Paulo kutenga.
1wakoritho 14:40 wacha vitu vyote zifanywe vizuri na kwa mpangilio.
Lakini mambo yote na yatendeka kwa uzuti na utaratibu.
Kwa hivyo ni pamoja na maumbile ya mwenyeji na binadamu. Pindi dunia ilipuumbwa upya, wanyama kuumbwa na mimeo kupeanwa, kisha binadamu akaambwa. Kisha Mungu akasema, “si vema huyu, mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye” (mwa. 2:18).
Na Adamu akasema: “ yeye sasa ni moja ya mifupa yangu na mliwi yangu! Jina lake ni ‘mwanamke’ kwasababu alitolewa kutoka kwa mwanaume”(Gen. 2:23).
Marko 10:6-9 lakini tangu mwanza wa kuumbwa kwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke. Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamake, ataambatana na mkewe. Na hao wawili watakuwa ni mwili mmoja hata wamekuwa si wawili. Tena, bali mwili mmoja. Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikikatishe.
Hili linaeleza ni kuwa nini mume huwaacha mama na baba yake na kuunganishwa na mkewe kiasi kuwa wote wawili wanakuwa mwili mmoja (mwa. 2:24). Mungu mmoja na wa kweli aliuanzisha mfumo wa ndoa baina ya mume na mke. Kabla ya dhambi kuingia katika kizazi cha Adamu, Adamu na Hawa hawakuaibika kuwa nchi.
Tazama karatasi: The Doctrine of Original Sin Part 1 The Garden of Eden (No. 246); Doctrine of Original Sin Part 2 The Generations of Adam (No. 248).
Maoni ya Hawa na
chaguo lake
Kuhadaika kwa Hawa na maamuzi yake Mwanza 3 inaelezea majaribu na vasi wa Hawa kinyune cha mpango wa Mungu. Adamu na Hawa waligundua kuwa kuna kitu kilibadilika baada ya wao kuliendea tunda la mti uliokataliwa.
Hawa alifanya maamuzi yaliyokuwa kinyume cha mwelekeo wa Mungu. Kisha akampotosha mumewe Adam.
Matokeo kadhaa yalifuatia na wakaubadili uhusiano wao kwa Mungu. Hawakuwa wakweli katika kuelezea yaliyotendeka. Hawa alihadaiwa (1 Tim 2:14; 2 Wak 11:3). Hata hivyo Adamu pamoja Hawa wote hawakufaulu katika majukumu yao ya kibinadamu katika kuzitii sheria za Mungu. Lile joka, mwanamke na mwanamume wote walipokea matokeo ya matendo yao.
Mwanzo 2:14 Bwana Mungu
akamwambia nyoka: Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama
wote walioko mwituni. Kwa tumbo utakwenda na mavumbi utakula siku zote za
maisha yako mimi nitaweka ndani kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao
wako na uzao wake huo, utakuponda kichwa na wewe utamponda kisigino. Akamwambia
mwanamke, hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako, kwa uchungu
utazaa watoto na tama yako itakuwa kwa mumewe, naye atakutawala.
Kwa kuwa Adamu
alitenda dhambi, nchi pi alilaaniwa. Ili kumlinda binadamu na sayari hadi yote
yatakaswe kwa Mungu mwishoni mwa miaka 7000, maadhinisho ya baada ya mika
hamsini yalibuuniwa. Maadhimisho haya ni ya kiungu na humlinda Mungu na sayari
tukifuata sheria za Mungu.
Baada ya Mesia kufufuza yote, Adamu na Hawa alipigwa marufuku kuishi shambani Edini na kuenda nje ulimwenguni na kuishi kuhungana na sheria ya Mungu (Mwa. 3:22)
Kupitia ndoa zetu za kimwili, tunajifunza dondoo kadhaa kuhusu jinsi ndoa yetu na Mesia itakuwa.
Waefeso 5:21-33 Hali mnanyenyekeana katika kicho cha kristo enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha kanisa: naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo. Vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.Enyi waume, wapendeni wake zenu kama Kristo naye alivyolipenda kanisa, akajitoa kwa ajili yake ili makusudu alisafishe na alitakase kwa maji tukufu. Lisilo na ila wala kunyauzi wala lolote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa. Vivyo hivyo imewake zao kama miili yao wenyewe. Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake popote; bali huulisha na huutunza, kama Kristo naye anavyolitendea kanisa. Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mweke na hao wawili watakuwa mwili mmoja. Siri hiyo ni kubwa, ila mimi nanena habari za Kristo na kanisa. Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe wale mke asikose kumstahi mumewe.
Mke kwa hivyo, amefunganishwa kwa mumewe katika kipindi cha maisha yake, isipokuwa wakati wa uasherati (Taz Marko 10:2-12).
Mathayo 5:31-32 Imenemwa pia, mtu akimwacha mke wake, na ampe hati ya talaka. Lakini mimi nawaambia kila mtu anwachaye mke wake ispokuwa kwa habari ya usherati, amafanya kuwa mzinzi na mtu akimwoa yule aliyeachwa azini.
1 Wakorintho 6:16-18 An humfui kuwa yeye aliyenungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema wale wawili watakuwa mwili mmoja. Lakini yeye aliyengwa, na Bwana ni roho moja naye. Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake, ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Hapa uzinzi unarejelea mtazamo wa kimwili na pia wa kiroho.
Tunafanya uzinzi wa kiroho wakati ambapo tunajiunga na madhehebu ya uongo, ambayo huitwa Malaya kisha baadaye tunakuwa kitu kimoja na huyo Malaya (dhahabu la ungo) na hatuwezi kuungwa katika ndoa na harusi wetu, Yesu Kristo, katika kurudi kwake.
Zaidi ya hayo, ili kuhepuka uzinzi kila mume na awe na mkewe na kila mke awe na mumewe (1 Wak 7:2).
Kwa kuwa uzinzi haurusiwi hali muhimu ni kumwoa bikira. Hali kama za mauti, utengano au ndao baina ya wasiookoka kabla ya ubatizo zina matokeo maluum.
Uzinzi umezungumziwa kwa kina katika karatasi Law and the Seventh Commandment (No. 260).
Baada ya ndoa yafaa tiwe waaminifu kwa wachumba wetu. Mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo alivyo kichwa cha kanisa (Waef 5:21-33, Wakol 3:19, Meth 5:18-19).
Maandiko yaendeza wazi utaratibu wa vyeo katika familia. Yote yaonyesha jinsi mke anavyojitolea kwa mkewe.
Mwanzo 3:16 Akamwambia mwanamke, hakika nitakuzidishia uchungu wako na kuzaa kwako kwa uchungu utazaa watoto na tama yako itakuwa juu ya mumeo. Naye atakutawale.
1 Petro 3:1-2 Kadhalika nanyi wake watiini waume zenu, kusudi ikiwa wako wasiolamini neno wavutwe kwa mwenendo wa wake zao. Pasipo lile neno. Wakiutazama mwenendo wenu safi na wa hofu.
1 Tomotheo 2:11-14 Mwanamke na ajifunze katika utulivu akitii kwa kila namana. Simpi mwanamke ruhusa ya kudundisha, wala kumtawala mumewe, bali awe katika utulivu kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza na Hawa baadaye. Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.
Waefeso 5:24 Lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.
Ikiwa tu mumewe atamtaka mkwewe kuvunja moja wapo kati ya amri za Mungu, viingo au kama hivyo. Kila mmoja anapaswa kumtii Mungu kwanza.
Kumb 10:12-13 Na sasa, Israeli, Bwana Mungu wako anataka nini kwako? Ili umche Bwana Mungu wako, na kwenda katika njia zake zote, na kumpenda, na kumtumikia Bwana, Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote. Kuzishika amri za Bwana na sheria zake, ninazokuamuru leo upate uheri?
Ndugu zangu hamjui (maana masema nao hao waijuao sheria) ya kuwa torati humtawala mtu wakati anapokuwa yu hai? Kwa mwanamke aliye na mume wakati anaporia kwa yule mume wakati anapokuwa yu hai; bali akifa mume amefunfuliwa ile sheria ya mume. Basi wakati awapo hai yule mumewe kama akiwa na mume mweningi umitwa mzinzi ila mumewe akifa amekuwa huru, hafungwi na sheria hiyo; yeye is mzinzi, ajapoolewa na mume mwingie.
Lakini watu wengi nawaambia mimi, wala si Bwana ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mkele asiyeamimi, na mke huyo anakubali kukaa naye asimwache. Na mwanamke ambaye mume asieamini na muwe hiyo abakubali kukaa naye, asimwache mumeye. Kwa maana yule mume asiyeamini hutakaswa katika mkewe. Na yule mke asiyeamini hutakaswa katika mumewe kama isingekuwa hivyo, watoto wenu wangekuwa si safi baili sasa ni watakatifu aondoke. Hapo hiyo ndugu mke au ndugu mume hafungiki. Lakini Mungu metuita katika imani. Kwa maana wajuaje wewe mwanamke kama utamwokoa mumeo? Au wajuaje wewe mwanamume kama utamwokoa mkeo?
1Wakorothi 7:12-16 Lakini watu wengi nawaambia mimi, wala si Bwana ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mkele asiyeamimi, na mke huyo anakubali kukaa naye asimwache. Na mwanamke ambaye mume asieamini na muwe hiyo abakubali kukaa naye, asimwache mumeye. Kwa maana yule mume asiyeamini hutakaswa katika mkewe. Na yule mke asiyeamini hutakaswa katika mumewe kama isingekuwa hivyo, watoto wenu wangekuwa si safi baili sasa ni watakatifu aondoke. Hapo hiyo ndugu mke au ndugu mume hafungiki. Lakini Mungu metuita katika imani. Kwa maana wajuaje wewe mwanamke kama utamwokoa mumeo? Au wajuaje wewe mwanamume kama utamwokoa mkeo?
Hii himanishi kuwa mwenzi aliyebadilishwa atamshamfu mwenziwe kuondoka. Hali hiyo si bora ila zinakubaliwa na kupeanwa na Mungu. Mchumba aliyebalishwa anapaswa kuzitii amri zote za Mungu na kuwa mfano mwema.
Mungu huitenga familia kwa mujibu wa ubadilisho huu na utiifu kwa mmoja wapo wa wazazi (1 Wak 7:14)
Maandiko yanasema wazi kuwa hatupaswi kufungwa ndoa pamoja na wasioamini kwa jinsi isyo sawasawa.
2 Wak 6:14 Msijungiwe nira pamoja na wasioamini kwa jinsi isyo sawasawa kwa maana pana utafika gani
Kwa hivyo hili mapaswa kuzingatiwa wakati wa kuchagua mchumba. Katika jamii za sasa, wachache wakiitwa, kumteaa mchumba huwa ni jaribio gumu mno.
Utengano unamruhusu chui ya sheria, ila Mungu huchukia utengano (Mal 2:16). Si kitu cha kuingiliwa kuirahisi. Udhuru wa hali upatikana katika Kumbukumbu la Torari 24:2-5 cheri cha talaka kilirahisiwa kwa sababu ya ugama wa mioyo ya watu, kama tu kwenye suala la uzinzi.
Mathayo 19:7-8 Wakamwambia ni jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka na kumwacha? Akawaambia, Musa, kwa ajili ya nguvu wa mioyo yenu, waliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.
Tazama karatasi Marriage (No. 289) na Law and the Seventh Commandments (No. 260).
Tunaamrishwa kuona na kupata watoto katika utukufu wa Mungu (mwa. 2:24; 9:1-7) ili kuitii sheria ya Mungu, maamuzi haya yalikuwa juu ya kila mmoja.
Mwanzo 1:28 Mungu akawabarikia akwaambia mwanamume na mwanamke aliyewaambia, mkaijaze nchi na kuitiisha, mkatawale samaki wa baharini na ndege wa angani na kila kiumbe chenye uhai waendacho juu ya nchi.
Mwanzo 9:1,7 Mungu akambariki nuhu na wanawe akawaambia, zaeni mkaongezke mkajaze nchi. Kila mnyama wa katika nchi atawaogopa ninyi na kuwahofu, na kile ndege wa anyani pamoja na vitu vyote vilivyojaa katika ardhi; na samaki wote wa baharini vimetiwa mkohani mwenu. Kila kiendacho kilicho hai kitakuwa chakula chenu, kama ilivyowapa mboga za majani kadhalika nawapeni hivi vyote. Bali nyama pamoja na uhai, yaani damu yake, wale. Hakika damu yenu ya uhai wenu nitaitaka.
1 Tim 5:14 Basi napenda wajane ambao sio wazee waolewe wazae watoto watawala na madaraka ya nyumbani ili waimpe adui nafasi ya kulani
Watoto ni baraka kutoka kwa Mungu, anaamrisha.
Zaburi 127:3-5 Tazama wana ndio urithi wa Bwana, uzao wa tumbo ni thawabu. Kama mishaje mokoni mwa shujaa, ndivyo walivyo wana wa mjane. Heri mtu yule aliyeijaza podo lake hivyo. Naam hawataona aibu wanaposema na adui langoni.
Kupata watoto ni jukumu zito na baraka za ajabu. Kama watu wazima wapasavyo kumcha Mungu, ni jukumu la wazazi kuwafunza watoto kumcha Mungu.
Kumbukumbu la Torati 4:9 Kikini jihadhari nafsi yako ukailinde roho yako kwa bidii usije ukayasahau mambo yale aliyeyaona kwa macho yako. Yakaondoka moyoni mwako siku zote za maisha yako bali uwajalishe watoto wako na watoto wa watoto wako. Siku ile iliyosimama mbele za Bwana wako huko Hurebu, Bwana alipowambia nikusanyieni watu hawa nami nitawasikizisha maneno yangu ili wajifunze kuicha mimi siku zote watakazoishi duniani wakapate na kuwa fundisha watoto wao.
Mfunzo yamefaniliwa katika maandiko ya fuatayo Kumbukumbu la Torati 11:19.
Nayo wafunzeni vijana wenu na kuyazungumza ulatipo katika nyumba yako na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo. Tena yaandike juu ya miino yakko na bjuu ya mlango yako ili siku zenu zifanywe kuwa nyingi na vijana wenu nao juu ya wapa kama zilivyo siku za mbingu juu ya nchi kwa kuwa kwamba mtayashika kwa bidii maagizo haya yote niwaagazayo…………
Methali 1:8 Mwanangu yasikie mafundisho ya baba yako wala usiiache sheria ya mama yako.
Methali 22:6 Mue mtoto katika nyisinipasayo, naye hatinaile hata atakapokuwa mzee.
Waefeso 6:4 Nanyi akina baba msiwachokoze watoto weni bali waleeni katika adabu na maongo ya Bwana
Haya yote yanahusu kazi, masharti ya mara ya kwa mara, mapenzi kwa kukosolewa kwa haki. Sheria za Mungu kukosolewa kwa haki. Sheria za Mungu zinafunzwa na kufanyiwa mazoezi kila siku na familia. Watoto wanakuwa na uelewevu na kujituma kupitia kwa bidii ya wazazi na roho mtakatifu akitenda kazi kupitia kwa wazazi.
Ijapokuwa jukumu la kuwafunza watoto hugawanywa kati ya wazazi wote wawili, mama ndiye hushugulika zaidi kiwangoni.
Hili ladhirihika tukitizama maandiko katika Kutoka na Kumbukumbu la Torati kurejelea mhudhuri wa sikukuu
1 Timotheo 2:13-15 Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye, wala Adam hakudanganywa ila mwanamke aliyedanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa. Walakini akaokolewa kwa uzazi wake kama wakidumu katika amani na upendo na utakosa pamoja na moyo wa kiasi.
Kuokolewa katika uzazi kuna maana gani? Kuokoa kuwa maana mengi zaidi kulifahamia na wokovu.
Hili halimaanishi kuwa ni wanawake wenye watoto tu ndio walitoka. Ni moja wapo kati ya majukumu muhimu waliyopewa wanawake na kitu ambacho wanawe hawawezi kujifanya.
Inimanisha nini kuwa Wanawake wata kombolewa kuwana watoto? Kukombolewa pia inwaweka kuwa NASV. Wa Greek neon ni sozo (SGD 4982), kukombolewa. Ina mambo mengi kwa ukombozi (1) vitu na kukuzi kupeana kutoka kwa hatari, kuteseka, etc; (2) kwa kiroho na maisha zijazo kupeawa mara maramoja kwa Mungu kwa wale wanaoamini, (3) kufunzwa wa Nguvu za Mungu kutoa watu kwa Dhambi; (4) hapo mbelini tuta kombolewa kwa kuja wa pili;(5) Kukombolewa kwa Israeli; (6) Baraka zote kujumika wa Mungu kwa Wanaume kwa Kristo; (7) Wale ambaye wata vumilia hadi mwisho wa hali kuu; (8) kwa kukombolewa wa manchi kwa miliniami.
Hiki hakimanishi kuwa kuwa wanawake ambye wana watoto wameokulewa. Ni moja wa mambo muhimu kuwekwa kwa wanawake na ni ktu wanaume hawezi fanya.
Uavyaji mamba umemhusiwa katika sheria za Mungu ikiwa tu maisha ya mama yako hatarini.
Kutoka 21:15 Ampigaje baba yake au mama yake sharti atauwawa.
Hata hivyo uavyaji mamba ni ushushaji wa amri ya sita. Tazama karatasi Law and the Fifth Commandement (No. 258) na Law and the Sixth Commandment (No. 259).
Licha ya kuwalea watoto, mwanamke amepaswa kuweza kuipitisha familia yake nyumbani mumchaamo Mungu. Hii ina husisha kuiweka safi na iliyopangika nyumba (1 Tim 4:14, Meth 31:15).
Twapaswa kuitayarisha kifungu, lishe bora kuinyama sheria za vyakula. Tazama karatasi Vegeterianism and the Bible (No. 183) na The Food Laws (No. 15) pia mambo ya Walawi 11:1-47 na Kumbukumbu la Torati 14:21.
Mwanamke anapaswa kuweka marazi ya nyumba yake katika hali bora (Meth 31:21).
Anajirui kiunyumba kwa sheria ya Mungu pamoja na sheria inayohusu ufuaji wa fungu la kumi na maandinisho ya mwaka wa hamsini (tazama karatasi Tithing (No. 161)) amasaidia katika kutenda kazi pamoja na mumewe katika kupanga kupata fedhsa za kuhudhuria sikukuu za miaka 3 na 7 (Methali 31:16). Vile vile, mwanamke anapaswa kuhakila kuwa nyumbani hauna chochote cha kipagani. Tazama karatasi The Origins of Christmas and Easter (No. 235).
Anapaswa kufahamu kalenda ya Mungu na kipindi cha sabato. Mwanamke anafaa kuitayarisha familia katika kipindi cha sabato kwa muda unaofaa na kwa namna inayostahili.
Tazama karatasi God’s Calendar (No. 156) na The Jumah: Preparing for the Sabbath (No. 284).
Jukumu la mwanamke ni kuupenda na kumcha Mungu na kupenda na kujitolea kwa mumewe. Anapaswa kwalea watoto ili kuenda Mungu na kuwajali wale wengine walio na haki.
Mwanamume ameumbwa na Mungu kwa mfano wa Mungu (Mwa 1:27). Mwanamke ameumbwa kutoka kwa mwanaume (Gen. 2:21, 22) kuwa utarasu kwa mwanamume.
1 Wakorintho 11:7-9 Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa kwa maana yeye ni mfano wa utukufu wa Mungu. Lakini mwanamke ni utukufu kwa mwanamume, maana mwanamume hakutoka kwa mwanamke, bali mwanamke kwa mwanamke, baliu mwanamke katika mwanamume, wala mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke bali mwanamke kwa ajili ya mwanamke.
Kupewa hizi, sasa tuangalie njia Wanawake wanafaa wajiwewkw. Kuna maandiko mengi ambaye inaonyesha kuwa tunapaswa kupewa makaribisho nzuri, kama vile tuta ona hapa.
Mwanamke anamaonyesho njia ya maisha ambaye inaonyesha dini (Jas. 1:27)
Naonyesha ishara ambaye mungu Mungu anataka (Kumbu. 10:13; Mic 6:8)
Tukiwa na haya akilini, hebu tuangazi jensi wanawake wanavyofaa kutenda.
Kumbukumbu la Torati 10:12 Na sasa Israeli Bwana Mungu wako anataka nini kwako ila umche Bwana Mungu wako na kwenda katika njia zake zote na kumpenda na kutumikia Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho wako wote na kwa roho yake yote kuzishika amri za Bwana na sheria zake zinazokuamuru leo upate heri?
Analinda ulimi wake (Yas 1:26; Math 12:35-36).
Hasasenyi (1 Tim 3:11).
Si mbatili (Methali 31:30).
Hana hatia (Tit 2:3,5; Meth 31:25).
Ni matakatifu (Tit 2:4; 1Tim 3:11; Wak 3:18).
Ni mwenye busara n ample (Meth 31:26).
Anajihishisha na masuala yaw wengine (Meth 31:20).
Nanafanya anyafanyayo viziri (Meth 31:26-27).
Anawalisha wageni na kuwajali wengine (Meth 18:6; Meth 31:20; 1 Tim 2:10; 5:10).
Maagizo katika Methali 31 ni magumu sana kufuata ila yana masharti yenye thamani kwa mwanamke wa kibinafsi na kanisa kwa familia (cf karatasi Proverbs 31 (No. 114) na pia Song of Songs (No. 145)).
Uwezekano ambao wanawake wameneleleza katika wakati unaofaa kuchelewa.
Kuongozwa katika makosa (2Tim 3:6). kuhadaiwa kwa Hawa (1Tim 2:14).
kuboresha viwango na ushirikina (Yer 7:18; Ezek 13,17,23).
Kuwa mkamilivu ni ishara ya kuwa sawa (Num.13:15-16;1Kgs.21:25; Neh.13:26)
Kuwa na maoni na Kichwa ngumu (Sal 7:10)
Kujiingiza katika mavazi, mpambo (Isa 3:17-24; 1 Tim 2:9).
Kupeanwa katika uchawi (Kut. 22:18; Kumbukumbu la Torati 18:9-14).
Wanawake wanafaa kutumia nafasi ipatikanayo kumsaidia mmewe tu kutenda kazi vyema nje ya nyumbani na kanisani.
Vitu ambavyo mwanamke aweza kufanya
- Ajishughulishe na kazi na uraibu wa meme wake
- Azungumze juu ya matatatizo na we msikivu mwema
- Aidurusu Bibilia pamoja na mumewe
- Atenge muda wa utani na mchana pamoja na mumewe
- Awe na huruma panapowezekana
- Aweke amani nyumbani
- Aonyeshe heshima kwa mumewe
- Autie moyo na kumpiga upatu mmewe panapofaa
Mwanamke anafaa kuwa na hali ya kike. Haimfai kujirembesha kupita kiasi, kutia nakshi nyingi mno na kuraa marazi yanayoashiria upangani. Tazama karatasi The Origin of the Wearing of Earrings and Jewellery in ancient Times (No. 197).
Anapaswa kuvaa mavazi ya kijisitiri (1 Tim 2:9-10; 1 Pet 3:3) nywele zake zafaa kwake (1 Wak 11:5-15). Tazama karatasi The Nephilim (No. 154) na The Resurrection of the Dead (No. 143) kwa mengi zaidi.
Bibilia inaonyesha wazi wazi nyakati ambapo mapambo na viungo vilitumiwa (kwa Meth 27:9; Met 26:7-13).
Methali 27:9 Marham na manukato hufurahisha moyo kadhalika atum wa rafiki ya mtu utokao katika kusudi la moyo wake.
Pia kwa dalili nyingi kuhusu mafunzi mabaya ya mapambo
(2 Waf 9:30; Yer 4:30; Ezek 23:40).
Jeremiah 4:30 Na wawe utakapotekwa uatamfanyaje? Ujapotivika mavazi mekundu, ujajipambia mapambo ya dhahabu, ujapojitia wanja machoni unajifanye kuwa mzuri bure tu, wapenzi wako wanakudharau, wanakutafuta roho yako.
Tena, baadhi yambo uhusu taswira na mtazamo wa ndani, ila mwanamke anafaa kuonekana kama mcha Mungu.
Mwanamke anafaa kuvaa mavazi ya kike, ni mavazi yaliyotengezwa kwa ajili ya wanaume.
Vivyo hivyo, mwanamke asivae mavazi ya kike.
Kumbukumbu la Torati 22:5 Mwanamke asivae mavazi yanapayo mwanamke, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke, kwa maana kila afanyaye jamb ohayo ni machukizo kwa Bwana Mungu wako.
Hakupaswi kuwako micharo au chanjo kwenye nyama za mwili, hata ikiwa ni kwa ajili ya mtindo mpya au sababu za kidhehebu (Tazama karatasi Tattooing (No. 5)).
Mambo ya Walawi 19:28 Msichanje chale yeyote katika nyamba ya mwili mwenu kwa ajili ya wafu wala msaidike alama millini mwenu mimi ndimi Bwana.
(cf. also Lev. 21:5)
Kuumbuka kuwa miili yetu huwa mitakatifu ikiwa, Roho mtakatifu anatenda kazi ndani yetu.
1 Wakorintho 3:16-17 Hamjui kuwa minyi mwelawa hekalu la Mungu nay a kuwa roho wa Mungu anakaa ndani yenu? Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo, kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu ambalo ndilo nyinyi.
Sisi ndisi hekalu la Mungu. Lazima tdumishe uonekano wetu wa nje na kujali mwili wetu wa nje. Hili litatuwesha kuhudumia familia zetu na ndugu zetu kanisani. Tunapaswa kujali hali zetu za kiafya na kuzingatia matibabu kwa muda unaostahili. Kufanya mazoezi ya aina Fulani pia kunaweza kusaidia.
Petro wa kwanza maeliza wazi kwamba mwanamke ni chombo dhaifu
1 Petro 3:7 Kadhalika niynyi waume kaeni na wake zenu kwa akili na kumpa mke heshima kama chombo kisicho na nguvu na kama warithi pamoja na neema ya uzima, kusidi kuomba kweny kusimhiwe.
Huenda mtu akajiuliza mbona iwe hivi, lakini kwa kuwa maneno ya Mungu mpeanwe kama sheria, tutalikubali kuwa kweli
2 Timothy 3:16-17 Kila andiko lenye punzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho na kuwaonya watu makosa yao na kuwaongoza na kwa kuwaadabisha katika hali, ila mtu wa Mungu awe kauli, amekamilisha apate kutenda lala tenda jema.
Maandiko yanasema kuwa katika ngumu ya ndoa ya mwili wa mtu, mchumba wake ama mwili. Lakini upo wakati ambapo uhusiano wa kimwili waweza kusitishwa kwa ajili ya kufunga ay maombi.
1 Wakorintho 7:1-15 Basi kwa habari ya mambo yale mliyoyaandika, ni heri mwanamume asinguse mwanamke. Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume awe na lake wake mwenyewe na kila mwanamke muwe na onye mkwewe haki yake na vivyo hivyo, mke hana amri juu ya mwili wake bali mumewe vivyo hivyo mue hana amri juu ya mwili wake bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepetana kwa muda ili mpate furaha kwa kusali, mkajione tena. Shetani asije akawajaribu lakini musema hayo, kwa kutoka idhini yangu, si kwa mari ila mpendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karamu yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huya hivi, na huyu hivi. Lakini nawaambia wale wasioona bado, na wajane ni heri kama mimi nilivyo. Lakini ikiwa hawawezi kujizuia na wale, maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tama. Lakini wale waliokwisha kusana nawaagiza, wala hapo si mimi, ila Bwana mke asiachana na mwewe. Lakini ikiwa meneachana naye, na akae asiolewe au apatane na mumewe, tena mume asimwache mkewe. Lakini watu wengine nawaambia mimi wala si Bwana, ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke siyeamini na mke huyo na mke ambaye ana mume asiyeamini na akakubali kukaa naye, asimwache pia. Kwa maana yule mume asiamini hatakaswa katika mkwewe na yule mke asiyeamini hutakaswa katika mumewe. Kama asingekuwa hivyo watoto wangekuwasi safi bali sasa ni watakatifu. Lakini yule asiyeamini akiondoka na aondoke. Hapo huyu ndugu mume au ndugu mke hafugiki lakini Mungu anetuita katika imani.
Lawi anaonyesha wakati Fulani ambapo wachumba hukaa mbali na kusamiiana yaani mwanamke akitokwa na damu yake au mwanamume au mwanamke kuwa na ugonjwa (Mambo ya Walawi 15:24-33).
Mambo ya Walawi 20:18 Tena mtu akilala na mwanamke asiye na ugonjwa wake, na kufuna ufupa wake, amelifuma jito la damu yake naye mwanamke amehifamia jito la damu yake, wote wawili watakakataliwa mbali na wotu wao.
Kwa hivyo mwanamke akiwa katika hedhi, haimfai kulala na mumewe kwa muda wa siku saba. Ni wakati ambapo mwanamke hataki uzito wowote wa zaidi juu yake. Tazama karatasi Purification and Circumcision (No. 251).
Mstati wa nyongeza ni kuwa maadumi mwanamke na “najisi” hapaswi hukudhuria shughuli za sabato wakati akiwa katika hedhi. Lakini kasharti yalikuwa yapi kabla na baada ya kujitolea kwa masihi? Li wapi hekalu la Mungu baada ya kujitolea kwa masihi?
1 Wak 6:19-20 An hamjui ya kuwa mwili yenu ni hekalu ya Roho Mtakatifu aliye ndani yenu mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
Damu ya masihi (kwa kuwa damu ni uhai, Kumb. 12:33; Mambo 17:11) ilitakasa na kuumpatanisha mwanadamu na mwenyeji kwa Mungu mmoja na wa kweli mara moja na milele.
Waebrania 10:9-12 Ndipo akasema tazama nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza ili kusudi alisimamisho la pili katika mapenzi hayo tumepata utakaso kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu. Na kila kuhani hisimaa kila siku akifanya ibada na kutoa dhabihu zile zile mara nyingi ambazo haziwezi kabisa kuondoa dhambi lakini hayo ilipokwisha kutoka kwa ajili ya dhambi dhabihu moja idunayo hata milele, aliketi aliketi mkono wa kuume wa Mungu.
Waebrania 9:14-15 Basi si zaidi damu yake Yesu Kristo, ambaye kwamba kwa Roho ajitoa nafsi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo na mawaa. Hawasafisha dhaniri zetu na matendo mafu mpate kumwabudu Mungu aliye hai? Na kwa sababu hii ni jambo wa agano jipya ili, manti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.
Waebrania 9:22 Na katika Toprati karibu vitu vyote husanyishwa kwa damu, na pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo.
Kutokana na sadaka ya masihi, isyokuwa na mawazo tumetakaswa na kupatanishwa na Baba.
Hauwezekani kwa mwanamke kuwa nje ya hekalu ikiwa ameyeuliwa na kubatizwa. Kwa sababu Roho Mtakatifu anakaa ndani yake. Baadhi ya watu huamini kuwa mwanamke hawezi kuhudhuria chajio cha Bwana akiwa na ‘najisi’ wanawake wasimruhusu yeyote kuwakalia kwa muktadha huu. Kwa kuwa heshi ni msunguko hendao ki miezi, ikiwa mwanamke alikuwa na najisi katika pasaka ya kwanza, basi ni wazi kuwa atakuwa na najisi katika pasaka ya pili.
Hali hii pia hutokea pale ambapo mwanamke husemwa kuwa na najisi baada ya kujifungua (mambo 12:1-7). Tazama karatasi purification and circumsion (No. 251).
Masihi alitutakasa mara moja na milele. Tumepatanishwa na Baba na tunabakia sehemu yam awe yaishiyo ya hekalu, ilimradi tuwe tunadumisha maagizo matatu muhimu ya uzima wa miele. Maagizo hayo ni:
1) Amini na ujue kuwa kuna Mungu mmoja wa kweli au Yesu Kristo aliyemtuma (Ju 17:3).
2) Kuwa na imani kwa Yesu Kristo kupitia uelewevu wa Mungu mmoja wa kweli (Ju. 17:3) hii husababishwa toba na ubatizo (War 10:9).
3) Lazima tuhisike katika chajio cha Bwana na uoshaji wa miguu na ulaji wa mwili wa unywaji wa damu ya Yesu Kristo (Ju. 6:53-58; 1 War 6:11).
Haya mambo ya kimbele katika kuhifadhi Roho Mtakatifu (Ufunuo 12:17; 14:12) bila Roho Mtakatifu wa Mungu, hatuwezi kuingia katika ufalme wa Mungu.
Maandiko yanaeleza wazi jinsi ambavyo Kristo ametutakasa na kututayarishia njia ili tuende mbele za kiti cha enzi cha Mungu.
Kuna njia nyingine ya kufikiri ambayo inadai kuwa ni kosa kumwona daktari (cf. Mat 9:12).
Kuna matukio ambapo wanawake hufa au hukaribia kufa kwa kutomwona daktari kwa wakati unaofaa. Haya si matumizi ya akili ya kiongu. Mungu hapendi mke afe, na kumwacha mumeye mgumba na watoto wake bila mama ikiwa uwezo wa kutabibu waweza kumwokoa mwanamke.
Kinyume chake ni bora kwetu wote kuenda tiba na/au usaidizi wa kutusaidia kuendeza maisha yetu wa kutusaidia kuendelea hiyo ipo basi ni jukumu letu kuitumia.
Papo hapo, ikiwa ni suala kati ya uhai na mauti, yafaa wachumba wamfanyie maamuzi yale mwingine naye.
Mwili wa mwanamke ni tofauti na wa mwanamume wa mahitaji yake pia ni tofauti. Ni jukumu la mwanamke kupata lishe nora, maji na mazoezi ayahitajiyo kila siku kuweka mwili wake katika afya bora. Hili pia lafaa kwa waume. Wengi wetu tuna masuali ya kiafya ambayo tunakabiliana nayo katika hali zahatati lakini ni jukumu la kila mmoja kujaribu kadri ya uwezo wake kuwa katika kuboresha hali yake ya kiafya.
Mume anafaa kuelewa kuwa mwanamke ni chombo dhaifu na anafaa kumpiga upafu wakati anapokabiliana na mabadiliko kadhaa maishani mwake.
Anafaa kuyaweka moyoni yale ayapendayo mwanamke ba kusaidia kuweka mwili wake katika hali ya kiafya zaidi iwezekanavyo; afanye hivyo kwa njia ya upole na utaratibu sana.
Kama wengine wote kanisani mwa Mungu, wanawake pia wanafaa kutoa majibu ya matumaini yalio ndani ya nyoyo zao (1 Pet 3:15). Mwanamke yeyote kanisani anafaa kuwa sawasawa katika kuubeba upanga wa Roho na ngao ya imani na kuuletea ukweli kama mwabamume yeyote (Waef 6:13-17).
Maandiko yanatupa mwongozo wa jinsi ya kuenda katika nyumba ya Mungu. Twapaswa kuwa na akili moja na Roho moja na tuepuke tofauti (1 Tim 3:14-16).
Je
wanawake wana nafasi katika mpango wa Mungu?
Waume na wake wote waliumbwa kwa mfano wa Mungu, na hivyo mwanamke hakuumbwa duni kuliko mwanamume (Mwa. 1:26-27). Katika mpango wa Mungu wanawake hawana nyadhifa chache kuliko wanaume. Maazimia ya Mungu ni sawasawa kwa watu wote. Hawa aliumbwa laitokana na ubaru wa Adamu naye Adamu akaumbwa kutokana na mchanga kwa wote walikuwa sawasawa kiaina. Mambile yote yana chimbuko moja ambalo ni Mungu (Eloah) ambaye amekuwa akiishi milele.
Azimio la Mungu ni kuwa mwanamume na mwanamke waungane pamoja katika ndoa, wazae kwa ajili ya vizazi vijavya. Wanapaswa kuwa nafsi moja na waishi pamoja kama kitu kimoja, mmoja hayako kamili bila mwengine na ongezeko la watoto huunda familia. Tangu mwanzo kabisa ilikubalishwa kuwa mume na mke pamoja kuunga bidii na kufanya kazi panoja kwa ajili ya maumbile ya Mungu (1 Wak 11:11-12; 1 Pet 3:5-8)
Na kwa hivyo lipo kanisani leo hii. Yupo Mungu mmoja imani moja, mwili mmoja kanisani moja ila washiriki wengi. Mtu mmoja anaweza kusukumwa kuliendesha kanisa peke yake. Huu haukuwa mpango wa Mungu, washiriki wote wana jukumu la kutekeleza, na talanta zilizoungwa pamoja wamelengeshwa katika shuguli za kuijumla za kikanisa. Waume na wake wana majukumu Fulani fulani kanisani, kama walivyo nayo katika familia na katika jamii kwa ujumla.
Kuna kazi nyingi zinazohitaji talanta tofauti na hamna anayeweza kusema kuwa yake iko juu kuliko nyingine. Sababu kubwa ni kujihudumia wenyewe na kanisa (Luk 22:27) sote tunafanya kazi kwa ajili ya utukufu mkuu wa Mungu na wala si mashindani baina ya waume na wake (1 Pet 3:7-11) afanyaye kazi duni zaidi kumsaidia aweza kujitapa katika nafasi ya juu zaidi katika himaya. Urefu wa huduma si kigezo cha upendeleo katika umoja kwa mwanamume au mwanamke (Mat 19:30).
Kutoka 34:22 Nawe utaifunza idi ya majina nayo ni ya malumbano ya mavuno ya ngano na idi ya kukudanya vitu mwisho wa mwaka. Mara tatu kila mwaka watu wane wako wote watahudhuria mbele za Bwana Mungu, Mungu wa Israeli.
(Tazama pia Kuto 23:13-17).
Kumbukumbu la Torati 16:16 Mata tatu kwa mwaka na watokee waume wako mbele za Bwana Mungu wako, mahli atakapochagua katika idi ya mikate isyitiwa chachu na katika idi ya majuma na katika idi ya zidanda, wala wasitokee mbele za Bwana mikono mitupu.
Waziwazi maume wanaamrishwa kutoka mbele za Mungu mara tatu kwa mwaka Mungu haupim mtu jukumu ambalo hawezi kulitekeleza. Kwa kuwa wanawake wanaweza kushika mamba na kupata wana, au kuwashighulikia wazazi wakongwe na wagonjwa hawaamrrushiwi kujitokeza mbele za Mungu. Hata hivyo kila mmoja anaweza kutakakuenda katika sikukuu na kujifunza kumcha Mungu.
Yoshua 8:35 Hapakuwa hata neno moja katika hayo ulimwa muru Musa ambaloYoshua hakulisema mbele ya kusanyiko lote la Israeli na mbele ya wanawake, na watoto, na wageni waliokaa nao.
Zaidi ya hayo, familia inapohudhuria sikukuu na hoja Fulani itokee baina ya watoto ni jukumu la mwanamke kuwa fikia. Kwa mfano ikiwa mtoto ni mgonjwa na anahitaji kutengwa (kutengana na mambo ya Walawi 13) mama na stahili kukaa naye hadi upate nafuu vivyo hivyo hutendeka wakati matatizo ya kitabia yana tokea wakati wa ibada. Ni jukumu la mume (Baba) kuhudhuria ibada ya kuwa faiza washiriki wowote wa familia ambao hawakufika kwenye sikukuu mmoja mmoja.
Mambo huwa magumu wakati ambapo mama ni mmoja mumsaidia na watoto wake ni wagonjwa. Hata hivyo ni lazima azingatie sheria za kumtenga mtoto kwa ajili ya waumini na mtoto mwenye, ila hupaswa kuuliza yale ambapo yalizungumziwa kwenye ibada.
Si bila ya mfumo Fulani ambapo wanawake tangu jadi za historia wamekuwa wakidhani kuwa jamii huwaweka katika kiwango cha pili cha wananchi, au watu baki, au watu walioko tu kwa ajili ya mwanamume. Wengine wanasema kuwa bibilia pia inasema hivyo hivyo na huenda kinyume cha wanawake.
Ni kweli kuwa baadhi ya jamii hadi leo bado wanawafanya wanawake wao nyumbani. Mara nyingie wanawake hutukamwa na kushahilishwa na sheria za kikatili za vipindi vya kichoyo vya kiume, mara nyingi kwa jina la dhehebu Fulani au Mungu. Lakini hili hakuthibitishiwa mume wa mke, na Mungu. Shemu nyingi za jamii za magharibi wanawake hawafungwi katika majukumu ya mke / mama/nyumba ba wabakubalika sawasawa na wanaume katika kazi zao za dunia.
Hata hivyo wanawake nao wanataka kupishwa kama makuhani na viongozi katika kanisa. Hili wakati Fulani iliwezekana kwa waume tu kulingana na Bibilia. Bila shaka kuwa mitazamo mingi tofauti na huu na si madhehebu yote yanashilikia hivi. Wanawake wamekuwa wakiwafunza wanawake kwa karne nyingi katika makanisa ya Mungu katika utaratiby wa kirumi hadi kwenye karne ya 12.
Bibilia ina yapi ya kusema kuhusiana na
maswala hayo?
Watu wengi huchukulia Bibilia kuwa na sheria ngumu na kuwa ni vigumu sana kuendana nayo katika ulimwengu wa sasa. Hata hivyo baadhi yetu ambao wanafuata sheria za Mungu wanajua kuwa maandiko yanatoa mangizo jinsi waume na wake wanafaa kutenda kanisani na maishani mwao kwa jumla. Hakuna kanisa lengye mhusu ya kutokubali yale ambayo tumeamriwa na Bibilia (cf. 1 Tim 2:8-15).
1 Tim 2:8; 11-12
Basi nataka waname wasalishe kila mali ali huku wakiinua mikoni iliyotakaya pasipo hasira wala majadiliano. Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri pamoja na adabu nzuri na moyo wa kiasi …. Mwanamke ba ajufunze katika utulivu akitii kwa kila mamna. Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha wala kumtawala mwanamke, bali awe katika utihivu.
Kutokana na maandiko yanayoendelea tunaona kuwa wanawake hawapaswi kuongoza ibada ya sabato katika kuwanyiko la funsia mbili. Hata hivyo, wanawake kanisani, kando nay ale majukumu yao kwenye familia zao.
Lakini kuna wakati kwenye Bibilia ambapo wanawake hufundisha kwa mfumo, prisailla alikuwa shupavu kuwaongoza wa Apollo (Mat 18:26).
Mashtaka yakija dhidi ya kanisa, “wanaume na wanawake wote hutiwa mbaroni wale waliotawangika kuhubiri neno, popote walipo”
Haisemi kuwa ni waume tu ndio walihubiri. Mitume hawakuwa katika tawanyiko hili (Mat 3:1).
Matendo ya Mitume 8:3-5 Sauli akaliharibu kanisa, akaingia kila nyumba na kuwahuruta wanaume na wanawake akawatupa gerezani. Lakini wle waliotawanyika wakaenda huko na huko wakilihubiri neno. Filipo ataremka akaingia mji wa Samaria akawahubiri Kristo.
Je Sauli alikuwa kichume cha wanawake
kanisani?
Wengine wanasema kuwa sauli alikuwa kinyime na wanawake, kuwathibitishwa kuwa ni wa makini wa maandiko, itaonekana kuwa wanawake walihusika sana katika shughuli za uendeshaji za kanisa kuliko jinsi inavyoonekana. Hili limeachiwa taswira na si jinsi uasemavyo maandiko.
Pia lazima tulitie akilini suala la yaliyokuwa yakitendeka katika kanisa la Kikarintho katika kipindi cha huduma ya Paulo. Ni wazi kuwa Paulo alikuwa na uhusiano mwema na wanawake. Walikuwa karibu sana na kristo walimpata Kristo basi Galilaya na Yerusalemu. Walikuwepo usulubisho wake na walikuwa mashahidi wa kwanza wa kufufuka kwake na wakawaelezea mitume.
Mambo ambayo wanawake wanaweza kanisani wanawake wanaweza kufunga na kuwaombea wangojwa na wenye mahitaji ya maombi wanaweza kuwapelekea wangonjwa chakula na kuwasaidia wanaohitaji msaasa wanaweza kuwatumia vyeti vidogo vodogo vya kutia moyo wale walio tengwa panapowezekana, mwanamke yafaa apende kufanya kazi pamoja na mwanamke mwenzake katika sikukuu kutayarisha milo kwa wale wanaohudhuria sikukuu, kwa hivyo wote wathusika katika ulaji wa vyakula pamoja kuna kazi nyungine za kuendesha shughuli za sikukuu kikamilifu.
Katika makanisa ya Kikristo ya Mungu wanawake wanafaa kuandika karatasi za kudurusu, kama wamawaume. Hapa wamaume wanaweza kuwa na taabu na watachukulia kuwa ‘wanafunzwa na mwanamke’. Hata hivyo kazi yoyote iwasilishwayo na mwanamke huchukuliwa kwenye mfumo wa usahili wa kibiblia na hutolewa chini ya nguvu ya kanisa na wanariri wake. Huku si kuungilia mpaka unadhuru ibada wanawake wamaweza kuandika mafunzo yanayoelewa neno la Mungu.
Haya yote ni mafunzo mema kwa wanawake katika kujenga uthabiti wa kibinafsi, na kuupata ujuzi kama waume, wanawake leo hii ni shpavu, wasomi na wanaweza kufanya uchunguzi wa Bibilia na wama mengi ya kutoa kanisani kwa jumla, kuba mengi ya kufanya kabla ya shahidi kuwasili na ni lazima sote tufanye kazi na kutimia moyo wokati muda upo wa kufanya kazi yenyewe.
Zaidi, wamawake wanaweza kupewa mkano katika jukumu la dukikoni ikiwa wanakiamini kuwa wana uwezo. Hakuna vigezo maalum katika kuhitima kuwa Jikoni, lakini lazima mtu azingatie sheria za madakani na wake zao kuwa mfano wa udakani. (cf 1Tim 3:8-12). Bila ya mwanamume, mwanamke anaweza kutoa maombi ya kufungulia na kufungia huduma.
Katika makanisa ya Kikristo wanawake kujumwishwa katika udurusu wa wazi wa Bibilia pamoja na wanaume. Hata hivyo wanaume wanafaa kuongoza katika ibada na wanawake wabakie kimya. (1Tim 3:13-14) wanawake hawataruhusiwa na kuendeleza huduma taruhusiwa kusimama na kuendelesha huduma wanaume kufanya hivyo, lakini hawafai kukaa nyuma na kunyamaza hadi warudi nyumbani. Hili haliwafanyi wanawake kuwa waumini wa daraja la pili.
Wanawake katika ushirika wa makanisa ya Kikristo ya Mungu wana haki tosha ya kupiga kura ya wanaweza kuteuliwa kwenye kamati za kongamani za kitaifa na kudumia katika kamati hizi, wanawake huwa wahizili na waweka hazina na kutekeleza kajukumu yote ambayo afisi hizi zinahitaji. Hivyo sote tunaongozwa na katiba ya kanisa.
Kwa hivyo, wakati ambapo si sahihi kumutegemea mwanamke kihudumu kinyumbani, hakuna sheria inayowafunga katika shughuli hizi. Wanawake wengi wamejifunza kuzoea barabara kuziendelea shighuli hizi nyingie kwa wakti huo huo.
Akiwa na familia ya kujali, jukumu la kimsingi la mwanamke ni kuwaangalia wale walio wachanga. Kwa wanawake wengi, kazi hii yaweza kuwa ya thawabu mno; hata ikibidi kutolea katika sehemu yake. Inachosha na yamekana kutokana. Lakini haya wakati ambapo watoto hukua na kuoa au kuolewa au kufanya kazi nyingie nje ya nyumbani au kujitegemea kivyao tu. Wakati huu ambapo mwanamke hana tena kazi ya ulezi, yampasa kujitilea na kutumia muda wake mwingi katika shughuli za ki kanisa.
Wanawake wakubwa kiumti, ambapo hawawezi kuhusika kimwili wanaweza kutoka huduma muhimu ya kimaambi. Pia wanaweza kuwa walimu kwa mfono na kwa kuwahamashisha wake wachanga na kina mama kuwapenda wame na watoto wao na pia kuwapiga upatu katika shughuli zao kama wanawake (1 Tim 2:3-5).
Hitimisho
Kuna tulivyouona hapo juu, mwanamke wa kwanza, hawa alihadaiwa na akawa kama wamawake wa kristo, tuna jukumu la zaidi la kuonyesha usitiri wetu na tabia nyoofu katika kavazi yetu, maongezi na tabia zetu. Wanawake wanafaa kuonekana na kutenda kama wanawake (Meth 30:30-31).
Maandiko yamaonyesha wazi kuwa wanawake ni vyombo ndaidu walioribwa kuwa sawaidizi wa wamaume. (1 Pet 3:7; Mw. 2:18). Hivi ni kimwili tunaamrishwa kuzaa watoto katika uchani wa Mungu. Tunapaswa kutumia Roho Mtakatifu aliye ndani yetu kusaidia familia zetu na taifa katika kuwa sehemu ya Israeli.
Mwanamke hawezi kuutengemea babake, mumewe au waziri kwa wokovu wake. Tunaambiwa tuushughulikie sisi wenyewe uokovu wetu kwa woga na mtetemeko (Fil 2:12), kama Mungu mmjoa na mwamuzi mmoja kati ya Mungu na binadamu (1 Tim 2:5-6). Hakuna binadamu (kuhari au askofu) ni mwamuzi kati ya Mungu na mwanamume au mwanamke. Wanawake wanajukumu sawa na wanaume tukirejela uokovu yaani maombi kufunga, kudurusu na kusaidia kazi za kanisani katika kuhubiri injili.
Tutatarajia kuwa wana wa Mungu na Warithi sawa na Kristo (War 8:17) kila mmoja anempito hadi kwa baba kupitia damu ya Yesu Kristo ioshayo chini ya Kristo, hakukuwa mgiriki wala myahudi, mfungwa wala huru, mume wala mke. Wote walikuwa wamoja na kristo Yesu (Wag 3:26-29). Hakutakuwapo ndoa katika ufalme, kwa hivyo migawanmyiko ya jinsia hautakuwapo, bali wana wa Mungu wasio na jinsia (Luk 20:35-36) maisha haya ni tamrini ya kazi zetu zijazo katika ufalme.
Kwa hivyo tumaweza kuhitimisha kuwa wanawake pamoja na wanaume wanatembea kwenye barabara moja kuelekea kwenye wokovu. Kila mmoja lazima aamini kwake Mungu mmoja wa kweli na mwanawe Yesu Kristo aliyemfuma kila mmoja ni sharti atubu na abatizwe kuwa mwili wa kristo. Kupitia utaratibu huu, tunapokea Roho Mtakatifu na tunakuwa kwa neema na uelewevu na kuushinda unyonge wetu.
Hatuwezi kuyarejela maisha yetu ya awali bila kumilikia kuruzi nafasi zetu katika ufufo wa kwanza. Ni harakati zinazoendelea.
Tunapaswa kushinda na kuvumilia hadi kurudi kwake masihi.
q