Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[031]
(Edition
3.0 19940528-19991020-20080106)
Nakala hili ni uwazi wa Amri ya nne na uamuzi umehifadhiwa kwa binadamu ambao ni Mkristo.
Christian Churches of God
E-mail: secretary@ccg.org
(Copyright ă 1994, 1998, 2008 Wade Cox)
(Tr. 2009)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Sabato
Siku ya Sabato ni siku takatifu kwa Bwana kulingana na amri ya nne kwa Kutoka 20:8 lina soma:
Kutoka 20:8-11``Ikumbuke siku ya sabato na uitakase. 9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; 10 lakini siku ya saba ni sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga,wala mgeni aliye ndani ya malango yenu. 11 Maana siku sita Bwana alifanya mbingu na nchi na bahari na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya sabato akaitakasa. (RSV)
Hii kwamba zote mpunzike (Kumbu kumbu la Torati 5:14).
Uamuzi
wa Kwanza: Fanya kazi siku sita za wiki
Tusiwe tuna randaranda. Chochote mkono yetu yaweza fanya tufanye kwa nguvu (Eccl 9:10). Kwa kile tunacho panda, tuna vuna (Wagalatia 6:7). Tena tufanye kazi kwa uhaminifu kwa wenzetu, san asana wageni kati yetu (3 Yohana 5-7).
Siku
ya saba ni Sabato
Imehesabiwa kama sabato kutoka uumbaji.
Inahangaziwa na mataifa yote kama sabato na ni siku ya saba wa kalenda wa
kisasa. Siku hii ni kendelezo na inahifadhiwa kwa siku lingine. Basi kalenda la
ulimwengu mpya inaguzia moyo wa amri. Hiyo ndiyo sababu mtindo wa Rumi
umeenezwa kinyume na ufadhili wa sabato, tunaona kutoka nakala General Distribution of the
Sabbath-keeping Churches (No. 122)
(cf. tena The Role of the
Fourth Commandment in the Historical Sabbath-keeping Churches of God (No. 170).
Uamuzi
wa Pili : Hamta fanya kazi ye yote siku ya Sabato
Hakuna kaze yeyote siku ya sabato kwa kila mmoja katika kila kundi kwa kiongozi wa Israeli. Amri ulikuwa ya kuifadhiwa na Wana Waisraeli nzima. Nehemia anatoa mfano wa kazi ya Sabato.
Nehemia 10:28-31 Na watu wasiosalia, makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji, Wanethani, na Hao wote waliojitenga katika watu wan chi kwa torati ya mungu; wake zao, na wana wao, na binti zao, kila mwenye maarifa na akili; 29 wakambatana na ndugu zao, wakuu zao, nao wakaingia katika laana na kiapo, ya kuwa wataindea torati ya Mungu, iliyotolewa kwa mkono wa Musa, mtumishi wa Mungu, na kuziangalia, na kuzitenda, amri zote za Bwana, Bwana wetu, na hukumu zake na sheria zake; 30 wala tusiwaoze watu wan chi binti zetu, wala kuwatwalia wana wetu binti zao; 31 tena watu wan chi wakitembeza biashara, au chakula cho chote, siku ya sabato tusimunue kwao siku ya sabato, au siku takatifu; tena kwamba tuuache mwaka wa saba, na madai ya kila deni. (RSV)
Sabato sasa inajulikana kama msimamizi wa hatua ambayo watu wa Mungu wanaifahamu. Inaendelea kwa wote walio na mamlaka na hakuna biashara kwa siku ya sabato au siku takatifu na mtu ye yote au mataifa.
Sabato ni sahihi au muhuri (Kutoka 28:8,10,11; Kumbu Kumbu la Torati 5:12) kati ya Mungu na sisi, anayefanya takatifu (Kutoka 31:12-14 sabatoni kwa wingi na sahihi). Sahihi hii zinaendelea hadi siku takatifu kuanzia Pasaka (Kutoka 13:9,16) na mkate usiochachwa ambao ni sahihi ya Amri ya Bwana (Kumbu 6:8) na kupitia ukombozi wa Israeli (Kumbu 6:10), ambao kupitia Kristo, na kuendea waliomo kwa Kristo (Warumi 9:6; 11:25-26). Sahihi hizi ni za kulinda Israeli dhidi ya sanamu (Kumbu 11:16) na kuwa sahihi na muhuri wa Bwana kwa wateule (Ufunuo 7:3).
Kiongozi wa Makanisa wa Mungu katika karne ya ishirinialikanya kuwa sabato ilikuwa muhuri. Hili lilitoa uteuzi wa Bwana katika Kanisa hilo na kuliweka kwa watu binafsi. Mtu huyo pia alisema anapima hekalu ya Mungu kulingana na Ufunuo 11:1 alipoenda Australia 1987. Upimaji wa hekalu unafanywa na walinzi. Ikawa usafi wetu utazidi ule wa waandishi na Wafarisai hatutaridhi ufamle wa Mungu (Mathayo 5:20), kuwa hao ndio kipimo (Tazama nakala Measuring the Temple (No. 137).
Ezakieli 20:12-13,16,20-21,24 inasema kile Mungu anaitaji kwa Sabato zake:
Ezakieli 20:12-13 Ten naliwapa sabato zangu; ziwe ishara kati ya mimi na wao,wapate kujua ya kuwa mimi, Bwana ndimi nitakasaye 13 Lakini Nyumba ya Israeli waliniasi jangwani; hawakuenda katika amri zangu, wkazikataa hukumu zangu, ambazo mwanadamu ataishi kwazo,kama akizitenda; ma sabato zangu walizitia unajisi sana; ndipo nikasema, Nitamwaga hasira yangu juu yao jangwani, ili niwaangamize
Ezakieli 20:16 Kwa sababu walizikataa hukumu zangu, wala hawakuenda katika amri zangu, wakazitia unajisi sabato zangu, kwa maana mioyo yao iliandama vinyago vyao.
Ezakieli 20:20-21 Zitakaseni sabato zangu; nazo zitakuwa ishara kati ya mimi na ninyi, mpate kujua ya kuwa mimi ndimi Bwan, Mungu wenu. 21 Lakini watoto wao waliniasi; hawakuenda katika amri zangu, wala hawakuzishika hukumu zangu kuzitenda; ambazo mwandadamu ataishi kwazo kama akizitenda; walizitia unajisi sabato zangu; ndipo nikasema, kwamba nitawangaamia jangwani ghadhabu yangu juu yao, ili kuitimiza hasira yangu juu yao jangwani.
Ezakieli 20:24 Kwa sababu hawakuzitekeleza hukumu zangu, bali walizikataa amri zangu, nao walizitia unajisi sabato zangu, na macho yao yaliandama vinyago vya baba zao. (RSV)
Hadithi hili ni kulea jangwani wa dhambi, baada ya Mesia wa Haruni.Teme fanywa kutembea katika nyayo za Mesia kwa miaka elfu moja kule jangwani wa dhambi Sabato ni ishara ya uaminifu wetu na ukombozi wetu kwa sabato wa pumshiko wa MunguNi ukumbusho wa kila wiki ambao Mungu aliahidi atamtuma Mesia kuikomboa ulimwengu kutokana na kisu. Kupuzilia bali Sabato ni kupuzilia tumaini wa Mungu. Hii ndio sababu tunahkumiwa kwa kuhifadhi sabato wa Bwana.
Yeyote atakaye puzilia bali sabato wa Mungu atahangamizwa (Kutoka 31:14; Nambari 32:36). Ghadhabu huu ni wa kutoingia ufalme wa milele uliopewa kwa wateule. Wamekatuliwa kutoka kwa watu wenzao (ibid), kunyanganywa uzima wa milele. Ni ishara katikati ya Mungu na wana wa Israeli milele (Kutoka 31:17).
Matayarisho ya Sabatao inatakikana yafanywe siku moja kabla ya sabato (Kutoka 16:5). Vyakula visanywe na kutayarishwa kutoka kwa mfano wa manna. Kila mwanaume angekalia pahali pake (Kutoka 16:29-30). Wanatakikana kupumshika kwa kusikilia na kuvuna kwa sabato (Kutoka 34:21;cf.nakala The Juma’ah: Preparing for the Sabbath (No. 285)).
Matendo ya Bwana kuchukua laani siku hii haikutakikana. Bwana, ilhali alionyesha kwamba yeye ndiye mfalme wa sabato, sio kwa nia kwamba ifadhiliwe, ila kwa njia iliyofadhiliwa. Kutoka kwa kifungu hiki ,ni vyema kuchuna vyakula vya kutosha kwa sabato, na tena kutoka kwa Amri wa Agano Jipya (Mathayo 12:1-12).
Mathayo 12:1-12 Wakati ule Yesu alipita katika mashamba siku ya sabato; wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke, wakala. 2 Na mafarisayo walipoona, walimwambia, Tazama! wanafunzi wako wanfanya neno ambao si halali kufanya siku ya sabato. 3 Akawaambia, Hamkusoma alivyotenda Daudi, alipokuwa na njaa yeye na wenziwe? 4 jinsi aliyoingia katika nyumba la Mungu, akaila mikate ile ya wonyesho, ambayo si halali kwake kuila wala kwa wale wenziwe, ila kwa makuhani peke yao? 5 Wala hamkusoma katika torati, kwamba siku ya sabato makuhani hekaluni huanajisi sabato wasipate hatia? 6 Lakini nawaambieni, kwamba hapa yupo aliye mkuu kuliko hekalu. 7 Lakini kama mngalijua maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka ,msingaliwalaumu wasio na hatia. 8 Ka maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato. 9 Akaondoka huko, akaingia katika sinagogi lao. 10 Na tazama, yumo mtu mwenye mkono umepooza; wakamwuliza, wakisema, Ni halali kuponya watu siku ya sabato? wapate kumshitaki. 11 Akawaambia, Ni mtu yupi miongoni mwenu mwenye kondoo mmoja, na yule kondoo ametumbukia shimoni siku ya sabato ,asiyemshika akamwopoa? 12 Je! Mtu ni bora kuliko kondoo mmara ngapi? Basi ni halali kutenda mema siku ya sabato. (RSV)
(Hii inahusia tena kwa 1Samueli 21:6 ambapo Daudi akila mkate: Kutoka 25:30; Walawi 24:5-8).
Sana Sana, Wakuhani katika Hekalu walidhinisha sabato na hawana hatia (Mathayo 12:5; cf. Nambari 28:9-10; angalia tena Nehemia 13:7; Ezekieli 24:21; Yohana 7:22-23).Hivyo kazi zetu siku ya sabato kama wateule kwa kuabudu Mungu haina hatia. Basi, hakuna dhabihu iliyofanywa siku ya sabato kushidi siku zingine.
Walawi 26:34 Inahitaji Sabato kwendelea hadi Jubilee na mtindo wa ardhi. Kwa sababu ulimwengu haikuwapumzisha. Bwana atawatuma mataifa utumwa ili kuhifadhi sabato wa Pumshiko.
Torati Kwamba mshiwakishe moto pote inamaanisha braziers au forges na sio vitu za nyumba (Kutoka 35:3). Ni kawaida kwamba Hekalu kulikuwa na matoleo ya kila mara, na watu walikuwa wakiwakisha moto kila saa. Tukiangalia katika andiko la kale, mahitaji yake ni kwamba amri ilipewa na hili lilihusia ile ya ujenzi. Hakuna kazi ya ujenzi utakaoendelea au uumbaji kwa moto siku ya Sabato.
Sabato yana jumuhishwa na heshima kwa Mungu na ufadhili wa dhabahu lake (Walawi 19:30), ambao tuko nao. Sabato sasa ilitengenezwa kwa binadamu ili dhabahu la Bwana litukuzwe na kufanywa pahala pazuri pa kuishi pa Mungu. Sawa Sawa Sabato limejumuishwa na heshima kwa Baba na Mama (Walawi 19:3). Sikuku yenyewe ni takatifu kama sabato, na hakuna kazi ifanyayo kwao. Siku ya Upatanisho ni ambayo hukumu ya sabato imebebwa hivyo ni kukatwa kutoka Israeli (Walawi 23:29-30). Matoleo la moto lifanywe kila sabato na kuhani kwa niaba ya wana wa Israeli milele (Walawi 24:8). Matoleo ni amri kwa wateule kutowa kwa maombi na shukrani mbele za Bwana kila sabato. Hivyo alihagiza matoleo ifanywe kwa kungamano. Kadhalika unafaa kutoka kwa kivungu la Walawi 24:1-4, ukuhani unafaa kuifadhi taa likijashwa na mafuta safi kutoka kwa zeituni.
Ukuhani unahitajika kuifadhi taa kwa njia inayofaa. Hivyo matayarishoi ya wateule ni ya kila siku na mafuta taa wa bikira lazima iwekwe kila siku kuanzia sabato hadi sabato. Wana hitajika kuhifadhi sabato za Mungu (Ezakieli 44:24).
Nehemia 13:15 Siku hizo naliona katika Yuda watu wengine waliokanyaga mashinikisho ya mfunyo wa siku ya Sabato, na wengine waliochukua miganda, na kuwapakia punda zao; tena na mvunyo, na zabibu, na tini, na namna zote za mizigo, waliyoileta Yerusalemu, siku ya sabato; name nikashuhudia juu yao siku ile waliyouza vyakula (RSV).
Nehemia 13:19 Ikawa milango ya Yerusalemu yalipoanza kuwa na giza kabla ya sabato, naliamuru milango ufungwe, nikaamuru isifunguliwe hata sabato iishe; na baadhi ya watumishi wangu nikawaweka juu ya malango, ili usiingizwe mzigo wo wote siku ya sabato (RSV).
Wabiashara na wahuzaji walibakia nje ya Yerusalemu mara moja au pili lakini Nehemia haku kubaliwa waingie. Kama ni katika uwezo wetu kukomesha kazi siku ya Sabato au kununua na kuuza, lazima tufanye hivyo na lazima tupingane kila upinzni. Hatuwezi kununua kwa siku Takatifu, au kuenda kwa holeti siku ya sabato na siku takatifu.
Upoa ulioingilia Makanisa wa Mungu dhidi ya sabato ilikuja kutoka ujenzi wa auditaria siku ya Sabato kule Pasadena, kule Amerikani. Ujenzi wa sabato ulifanywa kwa msingi kwamba usihifadhiwa hiyo ni uongo. Ujenzi ulikuwa ndani ya lango zetu, na mapumshiko siku ya sabato kwa wajakazi wanaume wa wana wa Israeli na wana Sojourners.
Nehemia aliagiza kwamba walioungana pia wahifadhi sabato. Yeye ni mfano kama namana amri inafaa itunziwe. Nehemia 13:22 inaonyesha kwamba jukumu ya wakuhani wa Bwana –ukuhani mpya wa wateule –kujisafisha na kulinda lango kuisafisha sabato.
Kristo pia aliagiza kulingana na uponyaji wa wagonjwa. Hii lingefanyika siku ya sabato. Sasa, ni haki kuponya na kulisha wagonjwa na waliohangaa miziwasiku ya sabato.
Funzo ya fahari katika zizi ni yale ya dharura. Haitoshi kufanya kitu kutoka kwa mafundisho ambayo yangepangwa mwanzoni. Luka 14:5 inaonyesha kwamba ni muhimu kushughulikia za dharura siku ya sabato. Hii, inahusia hali ya uponyaji siku ya sabato. Utunzaji mzuri na utayarishaji kwa wagonjwa na waliohumizwa siku ya sabato ni shida kubwa. Kwamba kila mmoja akule peke yake siku ya sabato ni kwa wenyewe na hawatayarishi kwa siku ya sabato ili wapate faida kubwa kwa ndugu zake.
Zaburi 118:24 Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, Tutashangilia na kufurahia. (KJV)
Sabato lazima yahifadhiwe kwa usafi wa kiroho (Isaya 1:13). Haitakinani kuchafuliwa (Isaya 56:2,4-7).
Isaya 56:2 Heri afanyaye haya, na mwanadamu ayashikaye sana; azishikaye sabato asizivunje, auzuiaye mkono wake usifanye uovu wo wote (KJV).
Isaya 56:4-7 Kwa maana Bwana awaambia hivi matowashi, wanaozishika sabato zangu, na kuyachagua mambo yanipendezayo, na kulishika sana agano langu; 5 Nitawapa hawa nyumbani mwangu, na ndani ya kuta zangu, kumbukumbu na jina, lililo jema kuliko kuwa na wana na binti; nitawapa jina lidumulo milele, lisilokatiliwa mbali. 6 Na wageni, walioandamana na Bwana ili wamhudumu, na kulipenda jina sana agano langu; 7 Nitawalerta hao nao hata mlima wangu mtakatifu, na kuwafurahisha katika nyumba yangu ya sala; makafara yao na dhabihu zao zitakubaliwa juu ya sala kwa mataifa yote (KJV).
Sabato ni furaha, siyo siku ya maombolezo (Isaya 58:13-14). Sabato itahifadhiwa kwa wanyama wote watakapokuja kuabudu mbele za Bwana; kutokea mwezi moja mpya hadi lingine na kuanzia sabato moja hadi lingine (Isaya 66:23). Hakuna mzigo wa kubebewa siku ya sabato, ila kultwa Yerusalemu (Yeremia 17:21). Kwa hivyo tunatakikana kufurahia siku ya sabato na kuleta furaha katika nyumba la Mungu. Hatuhitajiki kubeba mzigo lolote kutoka kwetu siku ya sabato (Yeremia 17:22). Hivyo kazi kwa kile cha mtu hakitakikani kwa siku ya sabato. Inaitajika kuwa takatifu (ibid).
Sabato ni ombi kwa urithi wa ufalme wa Israeli kama hakuna mzigo ulioingizwa kupitia lango ca mji. Wafalme na malkia watakalia kiti cha Daudi. Ila, kama onyo hili halijatiiliwa maanani, hivyo mji ufahangamizwa kwa moto (Yeremia 17:27). Hivyo maulimwengu wataomboleza na hiyo ni siku ya huzuni wa sabato ya shida lake (kuanguka wake, Maombolezo 1:7 RSV) Hivyo sabato ni ishara na chanzo cha maangamizo kwa waliokaa katika nyumba mwa Mungu. Wafalme na wakuhani watakuwa na hasira nyusoni mwao kwa kutohifadhi sabato (Maombolezo 2:6).
Sabato ni siku ya sherehe and furaha: lakini kama hukumu, furaha ya sabato imenyakuliwa (Hosea 2:11). Mtindo mwafaka lazima uhifadhiwe kwa sabato. Mmoja asiangalie kwakew kufanya biashara kwani hiyo imebebea ukweli, dhabihu na matoleo (Amosi 8:5).
Kristo alikuwa mkuu kuliko hekalu basi nasi pia ni wakuu kuliko hekalu ya kawaida. Sisi ndio hekalu na hekalu ilitengenezwa kwa ajili yetu (Mariko 2:27) hivyo nasi pia ni lazima tuhifadhi sabato kama maandalizi kwa boma kwamba sisi ni lazima wa Mungu.
Lazima kila saa tuwe tayari kufanya mwema na kuponya maradhi ya kila mmoja (Luka 13:10-16). Sio kwa, shida au kazi lolote, tuangalia kila mmoja kuwa mwamushi kati ya njema na inafaa kwa kila mmoja kwa siku ya Sabato (Luka 14:1-6; Wakolosai 2:16).
Luka 23:54 inaonyesha kwamba lazima tayatayarishe kwa Sabatao. Tukifikiria mbele na kufanya mema kwa wenzetu. Tuonyeshe kwamba tunaupenda kwa wengine jinsi Kristo anatupenda, na kukomaa kwa imani, kwani tumeumbwa kwa uzima (Luka 5:5-14).
Ni vibaya kufahiriwa siku ya sabato, sasa ni amri pia kutahiriwa mioyo yetu kwa kutoa na nguvu ya Roho Mtakatifu. Tuwahukumu wenzetu kwa njia ya haki kwa mema tufanyao siku ya sabato (Yohana 7:21-24). Kuna baadhi ya Wayahudi na Mataifa walioitwa katika nyumba ya mUngu kwa habari ya sabato (Watume 13:42; 18:4).
Sisi ni vifugo ndogo wanaofanya kazi kwa dhiki. Hatua mingi yamefanywa kutokomboa tutakavyo ona katika nakala General Distribution of the Sabbath-keeping Churches (No. 122). Lazima tushikilie sabato. Kwani kuna wanao hanguka hata kwa kiwango cha juu cha wajakazi wetu, hatuvalili wengine na kila mmoja yuko katika hali sawa kwa Mungu siku ya sabato (cf. nakala Law and the Fourth Commandment (No. 256).
q