Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[085]
(Toleo
3.119941231–20060920–20070811)
Karatsi hii inaonyesha nafasi ya kibibilia ya kwamba Amri kumi ndizo mfumo wa kuishi Kikristo. Hili lineelezwa. Linaongoza hadi kazi nyingi – katika utaratibu wa Grace – Law.
Christian Churches of God
E-mail: secretary@ccg.org
(Copyright ă 1994, 2000, 2006, 2007 Wade Cox)
(Tr. 2009)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Mfumo
wa Kuishi Kikristo
Mfumo wa maisha ya Kikristo yanahushisha uelewevu na mwenendo mwema, mfuno wa sheria na uelewevu na Mungu mmoja wa kweli. Ni muhimu tukiutoa helewevu huu ili kuimarisha mifumo yetu miingine kwa ajili ya nafasi za zaidi za torati katika msingi dhabiti. Bila ya kuwa na msingi dhabiti, hatuwezi kuelewa jinsi ya kuishi maisha yetu kama Wakristo. Sababu za kumdanya ulimwengu huu kuwa katika hali mbaya iliyoko ni kuwa kile kiitwacho imani kimekengwa juu ya msingi wa mchangarawe; hakielewi chochote kuhusu sheria ya Mungu.
Mfumo wa maisha ya kikristo yametambuliwa na Kristo katika umbo la Torati kama ilivyopeanwa huko Sinai alipopngea na Musa kama malaika wa uwepo na akampa Torati. Aliporodheshwa mfumo ambo yeye mwenyewe angeufuata kama masihi pindi atakapogeuka binadamu. Kuzingatia amri kumi ni mwanzo mwema wa upalilizi wa uhai wa milele.
Mathayo 19:17 akamwambia kwani kuniiloza habari za wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri.
Kanisa linapaswa kuzishika amri kumi kama inavyoonkena katika Kutoka 20:1-7 na kumbukumbu la Torati 5:6-21. Mfumo wa mafunsiho ya kanisani si amri kumi tu bali Torati yote kwa jumla na ushuhusa. Ikiwa walimu au viongozi wa kumpani hawazungumzi kulingana na Torati na ushuhuda, basi hawana nuru ndani yao.
Isaya 8:20 na waende kwa sheria na ushuhuda, ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa wao hapouma asubuhi.
Mengi wa sheria na ushuhuda mwahishika Amri kumi ambazo kutokana na mfumo na mingi wa mafundisho zilitangazwa katika sheria. Malaika wote wanazichukua sheria, amri kumi hadi kwenye viwango vyao vya mbele vya uelewavu, na kuileza sheria katika muktadha wake wa kiroho. Katika mfumo unaaendelea, ni sharti wazazi wwafunze watoto wao Amri kumi.
Tumeandikiwa Bibilia ili tushike sheria za Mungu vyema na kuwaongoza watoto wetu kuenda katika njia za Mungu vyema, na kuzishinda dhambi zetu na kuona udhaifu wetu. Sisi wote tumeitwa kutoka dhambini.
Sheria hizi, kama zinavyafunzwa, zatarajiwa kuwa alama kwenye mikono kinaonyesha mambo tuyafanyayi, na kwenye mapaji kuonyesha namna yetu ya kutikiri na ueleweno wtu wa kihisia, na kuwekwa kwenye vizingiti vya nyumba zetu ili kuongoza nyumba yote (Kumb 7:7-9).
Maisha ya Kikristo yamejengeka kwenye sheria mapenzi kwa jirani ni sehemu muhimu katika harakati za kubadilika na hufuatia. Wakristo wanashauriwa kumpenda Mungu na jirani zao kama wanavyojipenda wao wenyewe.
Mwendo wa Mungu waweza kujimlishwa katika neno moja, upendo. Upendo wake ni mbubijiko unaomjali kila mmoja; ni namna ya kupeana, kushirikiana, kusaidiana, na kuhudumiana
1 Yohana 4:16. Nasi tunalifahamu pendo ililo nalo Mungu kwetu sisi, na kuliamini. Muundo ni pendo, naye akaaye katika pendo, hukaa ndani ya Mungu na Mungu hukaa ndani yake.
Sheria ya Mungu ni namna ya upendo wake. Yesu Kristo alijumlisha sheria za Mungu katika Mathayo 22:3-40. Hilo ndilo umbo kamili la ujumbe wa Mungu na injili ya ufalme wa Mungu. Sababu kamili ya huduma ya Kristo si kuwa ulimwengu ushutumiwe, bali uokolewe.
Yoh. 3:14-17 na
Kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo mwana wa adamu
hana budi kumiliwa ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye.
Kwa maana jinsi hii Mungu alimpenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe pkee ili
kila mtu amwaminie asipotee baili awe na uzima wa milele, ili auhukumu
ulimwengu bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
Umbo la upendo wa Mungu ni maandishi muhimu sana. Katika suala la uharibifu wa mwanadamu, na kwa ushirikiano na shutuma kuwa tunaendeka katika njia za shetani, Kristo alikuwa na moja la kusema katika Marko 3:27.
MarIko 3:27-29. Hawezi mtu kuingia katika nyumba ya Mungu mwenye nguvu, na kuviteka vitu vyake, asimfuga kwaza yake mwenye nguvu ndiyo atakapoiteka nyumba yake. Amia, nawaambia, dhambi zote watakasamehewa wanadamu na kufuru zao watakazifuru zote, bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele, ila atakuwa na dhambi ya milele.
Kufuni katika muktadha huu ulikuwa kinyime cha Roho Mtakatifu. Mungu ameamua kuwaita watu kadhaa. Wengu wengine walioitwa walikuwa ni washiriki wa kanisa, ila hawakuwa sehemu ya kiduma ya Mungu ndani ya kanisa. Kristo alisema kuwa dhambi za wanadamu, yaani dhambi zote, zitasamehewa.
1 Wakorintho 13 imeelezewa kama sura ya upendo. Inatoa mtazamo wa mambo yanayotulazimu kuyafanya kwa wenzetu. Mungu alimtuma Kristo kwa kuwa alimpenda ulimwengu, kwa kuwa, kama Baba ana jukumu juu ya maumbile yake. Si suala la Mungu kuwa na taadhima kwa binadamu kiupendo. Twapaswa kuwa na uelewevu wa jinsi ya kuhusiana na wenzetu, jinsi tunavyofaa na jinsi tusivyofaa kuwatazama wenzetu na jinsi ya kuwatambua na kuwasaidia wenzetu, bila makosa.
1 Wakorintho 13:1-13 Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao. Tena nijapo kuwa na unabii na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani, tunulifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo si kitu mimi.
Ujumbe wa maandishi haya – ya Bibilia nzima, ya sheria zote na malaika wote – ni kuwa ‘mpende Bwana Mungu wako kwa akili yako yote na kwa moyuo wako wote na kwa nguvu zako zote, na mwenyewe’ (Lika 10:27). Tusipofanya mambo hayo, basi tutakuwa tumepotoka kisheria. Tukifurahia kuzorota kwa wenzetu. Kwa kufurahia ubaguzi wa rangi na pindi wasiobahatika wanapokosa bahatisaji twapaswa kutazama tunachofanya na msimamo wetu kwa Mungu kwani dhana hiyo ni potovu. Hatuwezi kujiandaa kwa ufalme wa Mungu ikiwa hatuyajali maslahi ya wale walio karibu nasi.
‘Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tenda nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo hainidaidi kitu.’
Wapo watu waliotoa mali yao yote kwa masikini na kuwajali wengi. Anania alisema angepeana mali ya manzo yote ya nyumba yake kamisani. Hakuhitajika kufanya hivyo. Angetarajia kuuza mali hayo na kupeana nusu yake kanisani, ila alitaka kujiongesha mbele ya macho ya kanisa. Na kisha akasema uongo kwa Roho Mtakatifu. Yeye na mkewe wakaficha nusu ya mauzo, kwa usayari. Anania akafa na akafuatiwa na mkewe punde tu, na wakaondoshwa.
Anania aliyetajwa katika Matendo 9 alikuwa Dameski. Alikuwa mzee wa kanisa, na alikuwa mmoja kati ya wale walioteuliwa na Mungu kumwekea Paulo mkono wakati wa upokezi wa Roho Mtakatifu. Msururu huo ineonyesha kuwa Anania wa Yerusalemu aliuawa kabla ya utatizo wa Saulo, ila hatuna uhakika katika msururu huo wa matukio. Suala ni kuwa alimkufuru Roho Mtakatifu na kumdanganya, kwa hivyo, kuwa kama mfano kwa wateule, Mungu akaamua kumwua Anania na mkewe mbele za kusanyiko.
Wengi wetu hawafahamu kuwa ni jambo la kuongofya sana kuanguka mikononi kwa Mungu aliye hai. Kwa kuwa baadhi ya watu wetu hawajanawa mbele za kusanyiko wanadhani kuwa Mungu ni kipofu.
Katika karne ya ishirini, Mungu alidumu katika kanisa lengi haki, kama ilivyohitajika tu. Kisha akaruhusu sehemu kubwa ya kanisa kuharibiwa. Hili likuwa tukio bay asana kwa watu wote waliohushishwa.
Waliruhusu kanisa kuingia katika hadi ya haki ya kibinafsi na mashtaka ambamo kwamo hamkuwako upendo.
‘Upendo huvumilia, hufadhili, upendo hauhusudu upendo hautafuti, haujivuni, haukosi kuwano adabu, hamtafuti mambo yake, hauna uchungu hauhesabu mabaya.
Tunapaswa kutazamia ufadhili usiokoma baina yetu. Hapapaswi kuwapo kuhusu katika yale tuyafanyayo. Swala hili zima la upendo ni moja kati mitazamo tuliyo nayo kwa ndugu zetu kwa kuona mambo mema kwao. Tunapaswa kujiuliza tunachoweza kufanya ili tuwasaidie, kuwainulia mizigo na kuwapa moyo.
Kutiana moyo indicho kitu muhimu zaidi tunachoweza kuwapa wenzetu kwa kuwa ulimwengu kuwapa wenzetu kwa kuwa wulimwengu unajaribu kutuweka chini kila wakati. Wanatushtaki bila haki, nah ii ndio njia ya kawaida ya ulimwengu. Hata hivyo twapaswa kuwapenda maadui zetu, kuwabariki wale wanaotulaani, tuwatendee mema wale wanaotuchukia, na tuwaombee wale watufumiao vibaya (Mathayo 5:44).
Suala lote la upendo ni ufunguo na kiingo muhimu kwetu sote kanisani. Watu wengine wana matatizo katika kuelewa jinsi Mungu anvyofikiria. Mungu anajaribu kutufanya tifikirie kama yeye. Umbo lote la ufufuo wa kwanza ni kutuweka katika nafasi ambapo tunaweza kushughulika na maumbile. Ni suala la kutuweka kwenye akili ya Mungu. Anasema ‘mafikira yangu si yenu (Isa 55:8).
‘Hamfurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na kweli’
Sisi pia twapaswa kufikiria tunachoweza kufanya ili kuhakikisha kuwa tunawajali. Kutouwazia uovu wowote ni mutiimu punde tukianza kuwawazia maovu kwa wengine tunakuwa na mgawanyiko kanisani na watu wataanza kutoaminiana na kuchukiana. Ni tatizo kubwa sana kujaribu kuwawazia vyema watu wote. Kristo alijua kuwa Yuda angemasaliti. Yuda alitubu na kisha ajajiua alipoelwea alichokifanya. Suala ni kuwa yalikuwa ni mateso yasiyokoma kwake Kristo, akijua kile ambacho kingefuatia. Mara nyingi, kuingilia ukweli kumekuwa ni mwenendo w kanisa, ambamo kwamo mambo hayachungazwi waziwazi na hivyo watu kuumbatia upotovu.
‘Huvumilia yote, haumini yote, hustahimili yote’. Mungu hutujaribu, ila huacha njia ambayo twaweza kudumu kwayo katika majaribu hayo.
Huku kuyaamini yote is maani duni. Si kusema tuyaamini yote tuambiayo; badala yake, ni kuamini ukweli wa bibilia na kuchukulia hilo kama neno tukufu la Mungu. Kuamini yote na kudumu katika yote ni katika muktadha na imani iliyo dnani yetu. Ni umbo kamili la yale tunatoambiwa kupitia kwa malaika ba kudmu kwetu kuko mbioni hadi tamati.
‘Upendo haupungui neno wakati wowote, bali ukiwapo unabii utabadilika, zekiwapo lugha, zitakoma’. Yakiwapo maarifa, yatabadilika.”
Je, hili lamaanisha kuwa unabii hautafaulu? Maandiko hawawezi kuvunjwa, hivyo unabii huu hauwezi kukosa kufaulu. Kinachomaanisha ni kuwa unabii utapungua, au ukamilika, na hatamaye, hakutakuwepo unabii – unabii wa uongo hautakuwepo. Unabii wote utaisha kwa kuwa tutajua. Hata kama udini zitakuwepo, ndimi (lugha hautaendelea, kwa sababu Mungu atatupa namna dhibiti ya kuwasiliana.
Ni kwa nini maarifa yatabatilika? Ni sawa na kuwa ‘hayatafaulu’ inamaanisha yatakoma na harakati za kujifunza yatapungua kwani tutajua. Mambo yasiyojulikana yatapungua, na kuwa tutafahamu. Suala lote la maarifa na elimu ni suala la kuyapata mambo tusiyoyafahamu. Tutapewa ufahamu huo na sote tutakuwa viumbe wa kiroho kwa hivyo hawatakuwapo watoto wa kujifunza. Tutafahamu!
‘Kwa maana tunafahamu kwa sehemu, na tunafanya unabii kwa sehemu, lakini yapo ile iliyo kamili, iliyo kwa sehemu itabatilika’
Kwa hivyo mfuno dhabiti maarifa dhabiti na upendo dhabiti hauhitaji unabii wala harakati za kumpata maarifa. Tayari imedhibitishwa na ndilo hilo tunalolitazamia.
‘Nilipokuwa mtoto mchanga, nalisema kama mtoto mchanga; tokes hapo nilipokuwa mtu mzima, niliyabatilisha mambo ya kitoto.
Hiyo ndiyo harakati yetu ya kujifunza, kama watoto wajifunzao. Bila kuja katika ufalme kama watoto wachanga. Bila kuja katika ufalme kama watoto wachanga hatuwezi kujifunza wa kuyapokea maarifa haya. Tunahitaji kiu hiki cha maarifa walichonacho watoto, matamanio haya ya kujifunza na kuelewa.
‘Maana kwa wakati wa sasa tunaona kwa kioo kwa jinsi ya fumbo: wakati ule tunaona uso kwa uso. Wakati wa sasa nafahamu kwa sehemu. Wakati ule nitajua sana kama mimi nami ninavyojuliwa sana. Basi sasa inadumu imani, tunaini upendo, haya matatu, na katika hayo, ilililokuu ni upendo’
1 Yohana 2:10-19 inaeleza baadhi ya masuala haya. Hatuwezi kuwachukia ndugu zetu wala kuwawia na nia mbaya waumwiwa wowote na tuwe katika nuru.
1 Yohana 2:10-19 yeye ampendaye ndugu yake akaa katika nuru, wala ndani yake hamuwa kikwazo bali yeye amchukuaye ndugu yake yu katika giza, tena anakuwenda katika giza wala hajui aendako kwa sababu giza imempojusha macho.Nawaandikia ninyi watoto wadogo kwa sababu mmesamehewa dhambi zenu kwa ajili ya jina lake. Nawaandikia ninyi kina Baba kwa sababu mmemjua yeye aliye tangu mwanzo. Nawaandikia ninyi vyane kwa sababu mwemshinda yule mwovu. Nimewaandikia watoto kwa sababu mmemjua baba nimewaandikia ninyi akina Baba kwa sababu mmejua yeye aliye tangu mwanzo. Nimewaandikia ninyi vijana kwa sababu mna nguvu na neno la Mungu liko ndani yenu. Nanyi mmemshinda yule mwovu. Msiipende dunia wala mambo yalio katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hayomo ndani yake, maana kila kilichomo duniani, yaani tama ya mwili, na tamaa ya macho ni kiburi cha uzima havitokani na Baba bali vinatokana na dunia. Na dunia inapita pamoja na tama zake bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele. Watoto ni wakti wamwisho, na kama vile nilivyosikia kuwa mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo tumejua kuwani wakati wa mwisho. Walitoka kwetu lakini hawakuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwa kuwa si wote walio wa kwetu.
Mstari wa 19 ni jaribio muhimu sana katika kanisa. Waendai kanisani
- Kwa muktadha wa kutozishika amri za Mungu na kutokutana pamoja katika umbo la Mungu
- Si baadhi yetu. Tunaitwa wana wa Mungu na tunamfahamu Mungu ila dunia haimjui Mungu wala haimjui
Johana 3:1 Tazameni ni pendo la namna gani alilotupo Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu na ndivyo tulivuo, kwa sababu hii, uliwengu hautatambui kwa kuwa haukumtambua yeye.
Umbo la pendo la Mungu liko ndani yetu tukiwapenda ndugu zetu na kuwajali. Watu kwenye msumru wa kanisa wanadamu katika kwenye msurur wa kanisa wanadamu katika amri za Mungu kwa kuendelea kuzingatia upendo wa Mungu. Tofauti ipo bayana na muhimu katika makanisa hayo. Kwa kuzingatia upendo wa Mungu, wanaomba kuondoka katika amri. Maandishi ya agano jipya yako wazi: upendo wa Mungu hyendelewa na uwezo wa kutenda yaliyo mema mashauri pia Mungu, na kuzitii amri za Mungu ya Yesu Kristo. Hatuwezi kuondokana na amri za Mungu kwa kuzingatia umbo la upendo wa Mungu, kwa sababu sheria ya Mungu hutokana na hali ya Mungu na vivyo hivyo suala la ari za Mungu na upendo wa Mungu ni masuala mawili tofauti katika umbo moja.
Amri za Mungu ni chimbuko la uhifadhi wa Roho Mtakatifu, ambaye hutuwezesha kuliinga umbo takatifu la Mungu. Tunda la Roho hutungawia uwezo wa kuishi na kutenda matendo ya kiungu. Hili linaakisiwa katika maisha yetu wenyewe na jinsi tunavyowashughulikia wengine. Kama Wakristo tunapawa kuwa ithibati katika tunda hili.
Galatians 5:22-26 lakini tunda la Roho ni upendo furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili uaminifu, upole, kiasi juu ya mambo kama hayo hakuna sheria. Mwili mmoja na mawazo yake mabaya na tama zake. Tukiishi kwa Roho, na tuende kwa Roho. Tusijisifu bure tukichokozana na kuhusudiana.
Sote lazima tuangahe jinsi tunawashughulikia wenzetu na jinsi ya kulioangalia kanisa la Mungu kwenye msingi wa kuhusika na upendo baina yetu. Zaidi tunafaa kuonyesha heshima kuu kwa wale wanaotuongoza katika imani.
1 Wathesalonia 5:12-18 lakini ndugu, tunataka tuwatambue wale wanaojitaambisha kwa ajili yenu na kuwasimamia ninyi katika Bwana, na kuwaonyeni, mkawatahi sana katika upendo kwa ajili ya kazi zao, iweni na imani ninyi kwa ninyi. Ndugu, twasihi, waonyeni wle wasiokaa kwa utaratibu, watieni moyo waliodhaifu, watieni nguvu wanyonge, wamilieni na watu wote. Angalieni mtu away asimlipe mwanzake mabaya kwa mabaya, bali siku zote lifuateni lililo jema ninyi kwa nyinyi na kwa watu wote. Furahini siku zote, ombeni bila kukana shukuruni kwa kila jambo maana hayo ni papenzi ya Mungu kwenu katika Yesu Kristo.
Wengi wetu wamewekwa katika majaribu makali katika siku za kale. Sehemu kubwa ya kanisa iliharibiwa kwa heshima za kibinadamu na utovu wa upendo. Heshima kwa binadamu ilikuwa dhambi kubwa panapo karne ya ishirini na watu hawakuelewa. (Tazama karatasi Respect of Persons (No. 221)). Sote tunayofursa ya kulipangua kanisa na kulifanya kukubalika zaidi machoni pa Roho Mtakatifu.
Waebrania 10:24-25 Tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo wa kazi nzuri wala tusiacha kukusanyika pamoja kama ilivyo desturi yaw engine bali tuongana, na kuzidi kufanya hivyo kwa kadri mwanavyo siku ile kuwa inakaribia.
Kutoshiriki katika injili ya mfalme wa Mungu hakuruhusiwi – kuuwasambaza katika mataifa yote. Sote tuna fahamu la kitekeleza. Sote tumewekwa pamoja katika mwili mmoja na mwili huo unalazimika kufanya kazi katika umoja. Kristo alisema ‘yeyote atendaye mapenzi ya baba yangu aliye mbinguni ni ndugu yangu na mama yangu.’ (Mat 12:50). Sote twapaswa kuwatazama wale wayatendavyo mapenzi ya Baba yetu aliye mbinguni.
Lazima tusaidiane na tutazamie kuweka mfuno wenye uwezo wa kudumu.
Wafilipi 2:2 ikiwako faraji yoyote katika Kristo, yakuwako malizo yoyote ya mapenzi, ukiwaka ushirikiani wowote wa Roho, ikiwako huruma yoyote ya rehema……….
Tatizo moja kubwa tunalolishuhusia kumisuani ni kuliweka kanisa pamoja pale ambapo watu hupendana haswa, na kujali kuhusu matendo yao, na mafikira yao. Hadi tutakapofika jukwani, bado hatujafalu katika amti za kwanza na pili.
Warumi 13:8;10 msisiwe na mtu chochote isipokuwa mwenzake ameitiimiza sheria…… Pendo halimfanjui jirani haya, basi pendo ndilo utimilifu wa sheria.
Stefano alipokuwa akitiwa utakatifu alisema. “Baba wasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo.” Hili halikuhusishwa na wale walikutia utume (Taz Matendo 6:54-60). Sehemu halisi ilikuwa ni kuwa watu hawa hawakuwa miongoni mwa wateule,” hakuitwa. Baba zetu wote wakaonekana kuwa kutukubwa kuliko walivyokuwa katika taifa la Israeli. Wote walizitii sheria ila ni wachache sana waliteuliwa; na kuweka katika ufalme wa Mungu; wengi kati yao watamtithi ufalme wa Mungu wakati wa ufufuo, ila hawakuchaguliwa wakati huo. Hawakuwa nguvu ya kumwita Mungu ka tulivyo nayo, na kupokea Roho Mtakatifu na kuwa sehemu ya ufalme wa Mungu. Hili liliwezekana hadi wakati wapentekosti ya 30CE.
Mumbile haya yote ni kutuonyesha jinsi njia inayoenda kinyune cha sheria za Mungu za upendo umepotoshwa. Tuko mwishoni mwa mika elfu sita. Katika mika kumi iliyopita na ishirini ijayo, tunaona sayari hii ikitatua tatizo la siku za mwisho. Katika mwisho wa maoambano ya tarumbeta ya sita, zaidi ya theluthi ya walimwengu wataaga dunia. Sote hatuhusiki na Mungu katika hili, hata hivyo limeruhusiwa kutendeka. Mungu ataishughulikia sayari kwa upendo na elimu uzuri.
Maarifa ya Bibilia hurumiwa mara kwa mara kwa sababu za maelezo ya kibinfasi, na hakuna udhaifu ndunivo kuliko haki ya kibinadi. Mtego mkuu zaidi kanisani mwa Mungu ni kuwa, kwa kuwa Mungu ametupa maarifa na akili zetu zimefunguliwa, tunakuwa wenye haki ninafsi, hata ikiwa hili halitokani na tendo lolote jema, letu wenyewe.
Warumi 15:1-7 Basi imetupasa sisi tulio na nguvu kuuchukua udhaifu wa wasio na nguvu, wale haitupasi kujipendeza wengewe kila mtu miongoni mwetu na ampendeze jirani yake apate wema, akajengwa kwa maana Kristo naye hakujengwe. Kwa maana Kristo naye hakujipendeza mwenyewe, bali kama ilivyoandikwa malaumu yao waliokulaumu wewe yalinipata alikuwa yaliandikwa ili kutupokeza sisi ili kwa sabari na faraja ya maandiko mwema na tumaini. Na Mungu mwenye saburi na faraja awajalie kunai mamoja ninyi kwa ninyi, kwa mfano wa Kristo Yesu. Na kwa moyo mmoja na kwa kinywa kimoja, mpate kumtukuza Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Kwa hiyo mtakibishane ninyi kwa ninyui kama yeye Kristo alivyowokatibisha, ili Mungu atukuzwe. Kwa maana nasema ya kwamba Kristo anafanyika mhuduma wa agano la kutahiriwa kwa ajili ya kweli ya Mungu kusudi azidhibitishe ahadi walizopewa baba zetu. Tulitenda ili tuitwe, tubatizwe tupewe Roho Mtakatifu na akili zetu zifungiliwe ili tupewe maarifa.
Kama tulivyochanguza, tulipewa maarifa mengi zaidi hivyo tukawa watiifu utiifu uliotupendesha maarifa. Mungu huhitahi utiifu kuliko sadaka za kuchoma, maarifa haya ya unabii na maajasu ni bure.
Wakolisai 3:12-14 Basi kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendao, jivikeni moyo wa rehema, utu wean iliyenyekea, upole, uvumilivu. Mkichukuliana na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kunyenyekwe mwenzeke kama Bwana aliyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi. Zaidi ya hayo yote jivikeni upendo, ndio kifungu cha ukamilifu.
Tusipopendna, tunabatilisha nafasi zetuni suala la kuwozi maendeleo ya wenzetu tunavyoweza kusaidia, na jinsi tunavyoweza kuwaangalia ndugu zetu na kuzuia makosa.
1 Petro 3:8-9 neno la mwisho ni hili: Muwe na nia moja; wenye kuhurumiana, wenye kupendana kama ndugu, wasikitivu, wanyenyekevu, watu wasiolipa baya kwa baya, au laumu kwa laumu bali wenye kubariki kwa sababu hayo ndiyo mliyoitiwa ili mrithi baraka.
Suala halisi ni hutupaswi kuwazia jinsi ya kuwapenda wenzetu, kwa tukipendana kwa kweli, saula hili la husiki likakuwa rahisi.
Warumi 12:9-10 pendo na lisiwe la unafiki, lichakieni lilili ovumkiambatana na lililo jema.
Kwa pendo la udugu mpendana ninyi kwa ninyi kwa mkiwatangulia wenzenu.
Sheira zote na malaika wote wanatokana na Amri mbili kuu. Umalaika wote unahusiana na baadhi ya dondoo hili. Hakuna mafunzo yanayohusika nalo.
Yonaha 13:34-35 Amri mpya nawapa. Mpendane kama mlinowapenda ninyi, ninyi mpendane viyo hivyo watu wote watatambua kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.
Hakutishi kupendana kuiyai ni lazima tuonekana tukitenda na kuendenda katika upendo. Ikiwezekana, twapaswa kuwadaidia wale wanahitaji msaada na kiwafia moyo mata kwa mata. Ni rahisi kufanya hivi katika nyakati za furaha nyakati za ugonjwa, huzuni na tamia au bahati mbaya. Kwa baadhi yetu ambao wanebahatika maishani, tunatarajiwa kuwa pamoja na wale wasiobahatika maishani. Tunajaa kuona mahitaji haya bila kuuliiwa.
Wakati wetu ni kitu muhimu sana pia, na kuepeana wakati wetu kwa wengine ni kingo muhimu kwa upendo wa Kikristo. Huwa si rahisi kuwapenda wale wanatuudhi na kufughasi ila kwa upande mwingine, tunashauriwa kuwapenda adui zetu, ili kwa hakika ni jaribio la upendo wa Mungu. Ukiwapewa wale wanaokipenda, unayo thewabu gani? (Mathayo 5:46).
1 Yohana 4:8 yeye asiyependa hakuijua Mungu kwa maana Mungu ni upendo.
Upendo kwa ndugu kwa ndugu huwakwanza wengine na huonekana katika pendo. Upendo wa Mungu hutubiriwa juu ya ukweli. Ikiwa hatuupendi ukweli, tunapeanwa kwa uharibifu mkuu ili tuweze kuuamini uongo (1 Wathesalonike 2:11)
2 Wathesalonike 2:9-12 yule ambaye kuja kwake ni kwa mfano wa kutenda kwke shetani, kwa uwezo wote, ni ishara kwa ajabu za uongo na katika mdanganyiko yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli wapate kuokolewa. Kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu wanaoamini uongo. Ili wahukumiwe wote ambao hawakuamini kweli, basi walikuwa wakijifurahisha katika udalimu.
Watu hawa kisha wanaendelea kuwa katika hali ya kuwa nje ya maarifa katika hali ya kuwa nje ya maarifa ya Mungu ili maisha yao yaokolewe katika ufufuu wa pili
(1 Wak 5:5)
1Wak 5:5 kumtolea shetani mtu huyo ili mwili udhibiwe, ili na roho ikolewe katika siku ya Bwana wetu Yesu.
Kupitia kujitolea kwa Yesu Kristo tumeokolewa. Mungu ameamuwa kututumia katika mipango yake. Kuwatumia watenda dhambi namna hii ni kutweza yule aliye mkuu.
1 Wakorontho 1:26-31 maana ndigu angalieni mwitu wenu ya kwamba si wengi wenye hekima ya mwili, si wengi wenye nguvu, si wengi wenye cheo waliotiwa, bali Mungu alichagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibioshe wenye hekima, tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviabishe vyenye nugvu, tena Mungu alivivhagua vitu vingine vya dunia na vinavyodharauliwa naama, vitu ambavyo haviko, ili avitatilishe vile vilivyoko mwenye mwili awaye yote aisye akajisify mbele za Mungu. Bali kwa yeye ninyi mmepate kuwa katika kristo Yesu aliyefanya kwetu heshima itokayo kwa Mungu, na haki na utakatifu, na ukombozi; kusudi, kama ilivyoandikwa, yeye aonaye fahari juu ya Bwana.
Busara na ubadiuli wetu unatoka kwa Mungu. Tukibatizwa, dhambi zetu
zimewekwa mbali nasi kama masharti, ilivyo na kagharibi (Zab 103:12). Madhumuni
ya maondoleo ya dhambi yamewekwa juu ya utoshelezo wa kujitolea kwa Kristo.
Shuruma za wateule zilizowekwa juu laile walichokuwa kabla ya ubatizo ni wazo
lisolobadilishwa upendo wa Mungu unahitaji wateule waishi maisha ya Kikristo
yaliyojengwa juu ya msingi wa ukweli na Amri za Mungu katika Kristo Yesu. Ni
muhimu kuwa wateule wanaishi maisha ya kiungo kama mfano ulimwengini. Mfano wao
unaendelea kutokana na kuishi kwao duniani kama kondoo baina na mbwa (Mat
10:16, Luk 10:3).
Kundi zima jukumu la kutengwa kutokakana na mbwa mwitu wakokati yao, na kubaki duniani kama kondoo miongoni mwa mbwa mwitu. Kupitia Amri za Mungu wao ni mfano, ounekanao kupitia upendo, wao kwa wao. Hatuwezi kuwatumikia mambwana wa kilimwengu zaidi ya Mungu moja wa kweli. Danieli alituonyesha kinachotarajiwa kwetu.
Danieli 6:3-28 Basi Danieli hiuyo alipata sifa kuliko mwakubwa na maliwali kwa rohobora alikuwa ndani yake; nayemfale akaazimu kumweka juu ya ufalme wake. Basi mawaziri na maamri wakatafuta sana kupata sababu za kuishitaki Danieli kwa habari za mambo ya ufalme.
Hiki ndicho seton, mshtaki wa ndugu, alifaji kufanya; kutafuta kisababu cha kurusharumu.
… Lakini hawakuweza kuona sababu wala kosa kwa maana alikuwa mwaminifu, wala halikuonekana kosa wala hatia ndani yake. Ndipo watu wakasema. “Hatutapata sababu ya kumshtaki Danieli huyo; tuspoipata katika mambo ya sheria ya Mungu wake.”
Hapa ndipo makosa yalipojengwa katika kanisa ili kubatilisha sheria za Mungu. Zile Amri kumi zilikuwa ni chanzo cha kulibadili kanisa la oungo lililokuwa Roma.
Basi wale mawaziri na maamiri wakakusanyika pamoja mbele ya mfale, wakamwambia hivi: mfalme Dario wishi milele. Mawazuiru wote wa mfalme na manaibu, na maaniri, na madiwani, na mahiwali wanafanya shauri pamoja ili kuweka amri ya kifalme, na kupiga marufuku ya kwamba mtu yeyote atakanyeomba dua kwa Mungu awaye yote au kwa mtu awaye yote, katika muda wa siku thelathini, ila kwako, ee mfalme, atatupwa katika tundu la samba.
Hili ni suala la mfalme wa Zimwi pale ambapo hakuna anayeruhisiw kumwabudu Mungu watalifanya hili lisiwe rahisi kutenda.
Sasa, ee mfalme, piga marufuku ukatie hahihi maandishi haya, yasibadilike kama ilivyosheria ya wamedi na waajeni isyoweza kubadilika. Basi mfalme Dorio akayatia sahihi maandiko yale, na ile maarufu. Hata Danieli, alipojua ya kuwa yale maandiko yamekwisha kutiwa sahihi, akaiongia nyumbani mwake (na madirisha katika chumba chake yalikuwa kukabili Yerusalemu) akapiga magoti mara tatu kila siku akasali kashukuru mbele za Mungu wake kama alivyokuwa akifanya tangu awali.
Hili linatuleza kuwa wateule wanafaa kubali mara tatu kwa siku, na hakutuhusiwa kuingiliwa na chochote cha kidunia katika sala.
Basi watu hao wakakusanyika pamoja wakamwona Danieli akiomba dua, na kusihi mbele za Mungu wake.
Ndipi wakakaribia, wakasema mbele ya mfalme katika habari ile ya marufuku ya mfalme. Je, hukutiwa sahihi ile marufuku ya kwamba kila mtu atakayeomba dua kwa Mungu awaye yote, au kwa mtu awaye yote, katika muda wa siku thelathini ila kwako. Ee mfalme akajibu aksema, neno hili ni kweli, kama ilivyosheria ya wamesia na waajemi isyoweza kubadilika. Basi wakajibu wakasema mbele ya mfalme, yule Danieli, aliye mmoja wa wana wa wale walioshawishwa wa Yuda hakujali wewe, wee mfalme, wale ile marufuku uliyotia sahihi bali aomba dua mara tatu kwa siku. Basi mfalme aliposikia mambo hayo alikasirika sana akakaza moyo wake ili kumponya Danieli; akajitaabisha kumwaoko hata jua likachwa. Ndipo watu wale wakakusanyika mbele ya mfalme, wakamwambia mfalme. Ee mfalme ujue ya kuwa ni sheria ya wamedi na waajeni, sisbadilike neno lolote lililo marufuku, wala amri yoyote iliyowekwa na mfalme. Basi mfalme akatoa amri nao wakamleta danieli wakamtupa katika tundu la samba. Mfalme akanena, akamwambia Danieli, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya. Likaletwa jiwe, likawekwa mdomini mwa lile tundu, naye mfalme akalitia muhuri kwa muhuri yake mwenyewe, na muhuri ya wakuu wake, lisibadilike neno lolote katika habari za Danieli.
lolote lililo marufuku, wala amri yoyote iliyowekwa na mfalme. Basi mfalme akatoa amri nao wakamleta danieli wakamtupa katika tundu la samba. Mfalme akanena, akamwambia Danieli, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya. Likaletwa jiwe, likawekwa mdomini mwa lile tundu, naye mfalme akalitia muhuri kwa muhuri yake mwenyewe, na muhuri ya wakuu wake, lisibadilike neno lolote katika habari za Danieli.
Kisha mfalme akaenda nyumbani kwake, akakesha usiku kucha akafanya, na vinanda hicikuletwa mbele yake; na usingiti wake akampaa. Asubuhi mfalme akaondoka mapema akaenda kwa haraka mpka penye lile tundu la samba. Naye alipokaribia lile tundu akamlilia Danieli kwa sauti ya huzuni. Mfalme akanena; akamwambia Danieli, ee Daueli, mtumishi wa Mungu aliye hai, je Mungu wako unayemtukia daima aweza kukuponya na samba hawa? Ndipo Danieli akamwambia mfalme. Ee mfalme uishi milele. Mungu wangu amentuma malaika wake naye ameyafumba makanwa ya samba hao hawakunidhuru kwa mbele yake mimi nilionekana sina hatia, tena mbele yako Ee mfalme sikukosa neno. Basi mfalme akafurahi sana, akaamuru wamtoe Danieli katika lile tundu. Dnipo Danieli akatolewa katika tundu lile, wala dhara lolote halikuonekana katika mwili wake kwa sababu alikuwa anamtumaini Mungu wake. Mfalme akaamuru na wakewaleta wale watu waliomshitaki Danieli, wakatupa katika tundu la samba, wao na watoto wao, na wake zao na wale samba wakawashinda wakaivunja mifupa yao vipande vipande kable hawaja chini ya tundu.
Suala ni kuwa, wawatendavyo wateule watatendewa vivyo hivyo.
Ndipo mfalme Dario akawaandikia watu wa kabila zote, na taifa zote na lugha zote waliokaa ju ya uso wadunia. Amani na longezeke juu yenu. Mimi waweke amri ya kwamba katika mamlaka yote ya mfalme wangu, watu watetekeme na kuogopa juu ya Mungu wa Danieli, maana yeye ndiye Mungu aliye hai, adumye milele, na ufalme wake ni ufalme usioharibika na mamlka yake yatadumu hata mwisho. Yeye hyponya na kuokoa, hutenda ishara na maajabu mbinguni na duniani, ndiye aliyemponya Danieli na nguvu za samba. Basi Danieli huyo akafanikiwa katika enzi ya Dario na katika enzi ya kireshi mwajemi.
Hadithi ya Danieli imawakilisha karama ya Roho Mtakatifu kwa wateule walio katika himaya zisizobadilishwa za duniani. Akili isiyobadilishwa hutoka visababu dhidi yetu na kutaka kutuharibu. Mfumo wa mashambulizi haya yabachimbuka katika Amri ya kwanza, ambayo ndiyo mtihani wa wateule hadi kufa.
Danieli hakufahamu kama Mungu angewaokoa kutokana na samba au angemwache awe mtakatifu kwa ajili ya kushika sheria (Kama tunavyoona katika Danieli 3:12-30)
Ikiwa wateule watabakia kuwa waaminifu basi wao pamoja na wanainchi pamoja nao hawataharibiwa. Israeli yafeli sana kutokana na utume wa wateule katika siku za mwisho. Kazi ya mwisho hadanywa za wachache ingawa wapo wengi wawezao kuiofanya kwani hawe wawezao kuifanya hunyamezishwa na utume kwa hamu zao za kutaka kusikia vitu vyroro.
Kuishi kikneto ni kuishi kama vile Kristo angeishi. Kristo hakubali kimya katika utawala wa kirumi. Hakuendana na wafarsayo wa wakati wake. Aliwashutuma mafarisayo na kusimama kinyume na wao na kuwaita manaijidai. Hili linahushisha kuliweka pendo la Mungu kabla ya vyote. Upendo wa Mungu unatokana na upendo wa Mungu.
Ni wangapi wanaweza kufunga kwa ajili ya maadui zao kama Daudi alivyofanya? Daudi alikuwa ni mtu aliyefuata sana moyo wa Mungu kwani licha ya dhambi zake, aliwapenda watu wake na Mungu wake na akaweka haki huruma juu kuliko haja zake za kibinafsi.
Mapenzi kwa vitu vya kilimwengu ndiyo dalili za siku za mwisho. Ni jambo gumu kuwa na tasuira ya kiroho ambayo itapimwa kwa mujibu wa mafunzo ya kidunia, kama wengi wa siku hizi licha ya hivyo, lazimaa tuendelee pamoja, bila utume wale makosa. Twapaswa kuishi kwa ajili ya Kristo na ukweli ambao Mungu ametufunulia kupitia yeye juu umbo zima la Bibilia. Lazima tushike sana ukweli, na kupitia pendo tuonyeshe kuwa sisi tu watu wa Mungu.
q