Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[112]
(Toleo
3.019950413-19980723-20070823)
Suala la msamaha ni la kati katika uhusiano tunaojenga baina yetu na Mungu ili kupata msamaha kutoka kwa Mungu. Mhubujiko wa huruma kutoka katika toba na mfafumbo kuhusu na msamaha pia yamechunguzwa.
Christian Churches of God
E-mail: secretary@ccg.org
(Copyright ã 2009
Wade Cox)
(Tr. 2009)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Msamaha
Tunaanza kwa hadithi ya
kweli.
Ilikuwa ni kanisani huko Munich ambapo nilimwaona – ni mwanaume mwenye udanzi na mzito kimaumbile. Alikuwa kavalia kabuti la rangi ya kijivu, kofia ya rangi ya huthurungi alikuwa kaushika mikononi. Watu walikuwa wakizidi kuondoka kutoka humo ukumbini nilimokuwa nimeshazungumza, wakielekea mlango wa nyuma kupitia safu zangu zenye nafasi banina ya vitu vya mbao. Ulikuwa ni mwaka wa 1947 na nilikuwa nimekuja kutka Holland hadi Ujerumani iliyoshuhudiwa, nikiwa na ujumbe kuwa Mungu husamehe.
Ni ukweli waliouhifaji zaidi kusikia katika ardhi hii kali na iliyolipuliwa kwa mabomu. Nyuso hizo zenye hurma kageuka kuzitazama, bila uhakika fika kuwa wangeyaamini niliyoyasema. Hadi mwaka wa 1947 huko Ujerumani, hapakuwa maswali baada ya mazungumuzo, watu wakaamka kwa ukimya na kuchkua vitu vyao na kuondoka.
Baada ya hayo ndipo nilipomwona, akikazama kwenda mbele dhidi wa wengine, kwa wakati mmoja nililima kabati na kofia ya hudhurungi, na kwa wakati mwingine magwonda ya samawati na kofia iliyo na fuvu na ifupa yake. Likaja nyma kwa kasi, jumba kubwa na mwanga wake mkali; mafurishi ya nguo na viatu katikati ya sakafu; aibu ya kutembea mbele za mtu huyu nikiwa uchi. Ningeweza kuiona taswira ya dadang ikijunda mbele yangu, mbavu zimeumtotaehii ya ngozi. Bestie, ulikuwa umekonda ajabu!
Hapa pahali palikuwa na Ravensbruk na mtu huyu aliyekuwa akijipenyeza katikati ya watu alikuwa ni Askari – jela – mmoja katin ya maaskari kati zaidi.
Sasa alikuwa mbele yangu, akiwa amenyoosha mkono, Ujumbe mwanana, Frautein!. Ni uzuri ulinje kulijua kuwa, kana ulivyosema, dhambi zetu zote ziko chini ya bahari!”
Nami niliyeungea kwa uhafifu juu ya msamaha, nikakimata barabara kijitabu kidogo cha mfukani, badala ya kuusalim mkono ule wake.
Hangeweza kunikumbuka, bila shaka – iweje amkumbuke mfungwa mmoja kati ya maelfu ya wanawake!
Lakini namakumbuka. Naam, nilikuwa ana kwa ana na mmoja kati ya walionikamata na damu yangu ikaganda.
Úmetaja Ravenshbruk katika maangezi yako, alikuwa akisema. “Nilikuwa askari huko.” Hapana. Hakunikuumbuka, “Ila tangu hapo.” Akaenda, “Nimekuwa Mkristo. Nafahamu kuwa Mungu amenisamehe mambo yakikatili niliyotatenda huko, ila ningependa kuaysikia hayo kutoka kinywani mwako pia, Faraulein, kwa mara nyingine mkono ule ukanyoshwa yote ni samehe?”
Nikasmama hapo – mimi ambaye dhambi zangu zimekuwa zikasamehewa mara kwa mara – bila uwezo wa kusamehewa. Bestie aliangadunia mahali pale – je angeyafutilia mbali mauaji yale ukatili kwa kuuliza msamaha tu?
Huku ameonyosha mkono, hakusimama mahali pale kwa sekunde nyingi, ila kwangu, ilionekanan kuwa alisimama kwa saa kadhaa, huku nikipambana vikali ni kitu kigumu zaidi kufanya kati vile ambavyo nimewahi kuvifanya. Ilikuwa ni lazima nikifanya – na nilifahamu hilo.ujumbe tunaopewa na Mungu una sharti la awali. Kuenda tuwasamahe wale waliotuumiza. “Ikiwa hamtawasaheme watu makosa yao” Yesu asema “Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe makosa yenu vivyo hivyo”.
Sikulifahamu hili kama amri ya Mungu tu, bali kama mapito ya maisha ya kila siku. Tangu mwisho wa vita nilikuwa na makao huko Holland, sehemu ya waasikiwa wa ukatili wa wanazi. Wale waliowaa kuwasamehe maadui wao wa kale waliweza kuondoka kuwa huru na kujenga maisha yao, bila kujali makovu ya mwili.
Na bado nilizidi kusimama pale huku baridi ikiuchonyta myo wangu. Ila msamaha si hisia. Hili pia nililifahamu. Msamaha ni tendo la kupenda, na kupenda kunawezekana basin a joto la moyo. Ýesu nisaidia!.” Nikaommba taratibu. ”Naweza kuiona mkono wangu, naweza. Nipe wewe hisia.”
Na hivyo nikaknyosha mkono wangu kuelekea ule nilionyoshewa. Na nilivyofanya hivyo, kitu cha ajabu kikatokea. Hisia kama ya umeme ikaanza kwenye bega langu, ikienea kwenye mono wangu hadi pale ambapo viganja vilikuwa vimeshikana. Na kisha joto la upanyaji likaujaa mwili wangu, na kuleta machozi machoni mwangu.
“NIsamehe ndugu! Nililia, na moyo wangu wote. Kwa uda mrefu tulijishika mkono, askari wa awali na mfungwa wa awali. Sikuwahi kuutambua upendo wa Mungu hapo awali, kana nilivyoutambua kwa wakati huo. Hata hivyo lakini niligundua kuwa haukuwa upendo wangu. Nilijaribu, na sikuwa na nguvu. Ilikuwa ninguvu ya Roho Mtakatifu iliyorodheshwa katika Watumi 5:5,………. Kuwa maana pendo la Mungu limekwisha kumiminwa kwetu na Roho Mtakatifu.
Hili lilinukuliwa kutka kitabu cha Corrie Ten Boom, Tramp for the Lord (Hodder and Stougton, London, 1971, pp. 55-57) ambapo anaongea kuhusu huduma yako baada ya vita. Iliyatambulisha mapito yake katika kitabu chake cha awali The Hiding Place. Ni mapito ya kibinafsi ambayo yeyote kati yetu anaweza kuyapitia akikabiliwa na mtu aliyefuunhi au kutuumiza. Ni vipi tunaweza kulishugulikia suala kama hili?
Tumehitilia maanani suala hili katika dua ya Bwana. “Tumesamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe wale wanaotukosea”. Moja ni sharti juu ya jingine. Lakini msamaha ni kitu gain? Kanisa ya kingeresa (Oxford Universal Dictionary) ina msamaha kuwa:
1) Tendo la kusamehe, hali ya kusamehewa
2) Uamuzi wa kisamehe
b. Kwa pl (wa Hebraism)1611.
Hivyo inaelekea kuwa waliosamehe wasamehewa na kinyume chake, na pua kuterereka katika nafsi ya akili. Akili yenyewe yapaswa kusamehe. Hata hivyo kusamehe kunamaanisha kitu gain? Kosa yeni ni nini?
Kwa kiingereza, kusamehe ni “Forgiveness” ambamo kuna For” na “Give”. Kwenye OUD limeelezea kuwa
2) Kujifisha moyo (Kukaa etc)
3) Kuachana (na deni); kuacha na (Kusi) n.k
4) Kujisahulisha mashtaka dhidi ya mwingine. Pia (sasa si kawaida) kuachwa kwa aliye na deni yako.
Hivyo basi, msamaha ni kwa hakika, tendo la kusalimisha haki zetu, yaani, kuachana nazo kwa ajili ya matendo ya wengine. Tukisamehe, tunakoma kushikilia hisia mbaya dhidi ya wenzetu. Msamaha hautujii hivi hivi katika hali ya kawaida baali hutujia lwa usaidizi wa Mungu. Huchukua muda kujenga huruma na tukiruusu uchungu kuzitawala nyoyo zetu, inatuwia vigumu kusamahe. Hata hivyo, msamaha ni muhimu kwa afya zetu za kihisia na za kiroho.
Suala nyeti kati maarifa ya msamaha ni kuwa mambo yote yanayostahili msamaha ni makosa dhidi ya sheria ya Mungu. Kama vile sote tumetenda dhambi, ndivyo sote tunahitaji msamaha wa Mungu. Daudi aliligusia hili suala katika.
Zaburi 51:4 nimekutenda dhambi wewe peke yako na kufanya maovu mbele za macho yako; wewe ujulikanayo kuwa una haki kila unenapo. Na kuwa safi utoapo hukumu.
Dhambi zetu za kale zasamehewa tutubupo na kubatizwa. Dondoo muhim katika maandiko haya ni kuwa toba na ubatizo kwa ajili ya msamaha wa dhambi ni sharti kabla ya kupokea Roho Mtakatifu. Hivyo wateule lazima wawe katika hadi ya msamaha ili kutuza Roho Mtakatifu ni muhimu hivyo.
Matendo 2:38 Petro akawaambia, tubuni na mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo mpate ondoleo la dhambi zenu, nayi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.
Wakolosai 2:13-14 na nyini mlipokuwa mmekufa kwa mwli wenu aliwafanya hai pamoja naye, akiisha kutusamahe makosa yote; akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa kwa kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uaduo kwetu akaiondoa isiwepo tena, akagongomea msalabani.
Uthibitisho wa dhambi zetu ni suala lililotangulizwa. Kwa imani Mungu hutusamehe dhambi zetu tukiungana kwake. Hivyo haki ya kibinafsi kumzuia mtu kupata viwango vya ufahamu wa kibinafsi unaolitajika uhusiano usio na dosari na Mungu na binadamu.
1 Yohana 1:19 tukiziungana dhambi zetu, yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi na kutusafisha na udhalimu wote.
Mungu Yu
Tayari Kuwasamehe Wale Waulizao.
Zaburi 86:5 kwa maana Bwana wewe u mwema umekuwa tayari kusamehe na mwingi wa dadhil.
Msamehe Namilikiwa Na Mungu
Zaburi 130:4
lakini kwako kuna msamaha ili wewe uongopwe.
Kusameana ni Kazia la Mungu.
Zamburi 130:4 Lakini kuna kusamehana kuwa kuwa Huabudu mungu.
Danieli 9:9 rehema na msamaha ni kwa Bwana Mungu wetu ingawa tumemwasi.
Tuna msamaha wa dhambi kupita kwa sadaka ya damu ya Yesu Kristo.
Waefeso 1:7 katika yeye hivyo, kwa damu yake, tunao ukombozi yaani msamaha wa dhambi.
Wakolosai 1:14 kwa wale Tumekombolewa kwa damu yake, ata kwa kusemewa wa dhambi: (KJV)
Mamlaka ya hukumu pia yamepewa Yesu Kristo; ana nguvu ya kusamehe dhambi.
Mathayo 9:6 pate kujua ya kuwa mwana wa adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi (anawambia yale mwenye kupooza) ondoka, ujitwike kitanda chako, uende nyumbani kwake.
Marko 2:10 mpate kujua ya kwamba mwana wa adamu anayo amri duniani ya kusamahe dhambi (hapo amwambia yale mwenye kupooza) wale ambao dhambi zao zimesamehewa wamabarikiwa.
Wale walio fanya dhambi wamesamehewa na wame barikiwa.
Zaburi 32:1 heri aliyesamehewa dhambi na kusitiriwa makosa yake
Dhambi zote zitasamehwa ila kukufuru dhidi ya Roho Mtakatifu.
Mathayo 12:31 kwa sababu hiyo nawambia, kila dhambi na kila neno la kifufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumfufuru Roho hawatasamehewa.
Marko 3:28-29 Amin nawaambia, dhambi zote watasamehewa wanadamu na kufut zao watakazofururu zote; bali mtu atakayemkufuru hana msamaha hata milele, ila atakuwa na dhambi ya milele.
Kukufuru dhidi ya Roho Mtakatifu ni sawa na haki ya kibinafsi ambayo haitaki kuitambua hali ya kiroho ya mtu; au kufahamu kwamba hakuna sharti ili kutiwa haki kutoka kwa Mungu kupitia kwa Roho Mtakatifu. Kwa hakika ni haki ya kininafsi ambayo kutuliza Roho (cf.Waef 4:30, 1 Wath 5:19).
Luka pia amelitaja hili:
Luka 12:10 na kila mtu atakayenena neno juu ya mwana wa Adamu atasamehewa; bali aliyemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Ni
Sharti Tuwasamehw Wengine
Mungu atatusamehe kama tunavyowasamehe wale wengine.
Marko 11:25-26 nanyi kila msimamapo usali semeni, mkiwa na neno juu ya mtu ili Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu. Lakini kama ninyi hamsameme, wala Baba yenu aliye mbinginu hatawasamehe ninyi makosa yenu.
Luka 11:4 utasamehe dhambi zetu kwa kuwa sisi nasi tunamsamehe kila tumwianye.
Mathayo 6:12-15 utusamehe deni zetu kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu. Na usututie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu kwa kuwa ufalme ni wake, na nguvu na utukufu hata milele. Amina.
Kwa maana mkiwasamehe wat makosa yao, na Baba yenu mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi kamosa yenu. Uhusiano wa kila mmoja na Mungu hutegemea uhusiano wao na jirani zao. Tumpenda vipi Mungu ambaye hatujawahi kumuona bila kuwapenda jirani zetu ambaio tumewahi kuwaona? (1Yn. 4:20). Pendo huchipua kutoka katika msamaha. Haina nia mbaya na hudumu ndani ya kila kitu (cf karatasi The Basis of Christian living (No. 85)).
1 Wakorontho 13:1-8 nijaposema kwa lugha za wanadamu na za Malaika, kama sina upendo nimekuwa shamba iliyo na upafu uvumao. Tena nijapokuwa unabii na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo si kitu mimi. Tenda nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini. Tena nikilitoa mwili wangu niungue moto kama sina upendo hanifai kitu. Upendo huvumulia, hufadhili upendo haususu, upendo hautakabari mambo yake; hauoni na adabu, hautafuti mambo yake; hauoni na adanu, hauhesabu mabaya, haufuirahi udhalimu bali hufurahi pamoja ba kweli; huvumilia yote, haumini yote, hutuamini yote, hustahilimili yote, upendo haupungu neno wakati wowote; bali ukiwapo unabii utabatiliwa zikiwapo lugha, zitakona, yakiwapo maarifa, yatabatilika.
Tinatarajiwa kuwasamehe wenzetu kwa sababu Mungu ametusamehe kwa ajili ya Kristo. Kristo alitumwa ili kutupatanisha na Mungu, na kupitia mfano wake, tumepatanishwa. Kwa kuwa Kristo alituombea msamaha katika mauti yake, vivyo hivyo tunapaswa kuwasamehe hata katika mauti yetu. Ni kupitia njia hii tu ambapo tunaweza kulipata pendo la Mungu ambalo huchipia kutoka katika maumbile yake na ambalo linatufanya kuwa wana wa Mungu na warithi pamoja na Kristo
Waefeso 4:32 tena iweni wafahili ninyi kwa ninyi, wenye hurma, mkasameheana kama Mungu katika Kristo alivyo wasamehe ninyi.
Wakolosai 3:13 mkichukuliana na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake, kama Bwana alivyowasamehe ninyi vivyo na ninyi.
Ni sharti tujikaze kumwangalia mwenzetu kama Mungu afanyafvyo kutokana na fumbo la Kristo katika Mathayo 18:23-35, tunafaa kujifunza kuwa Mungu hutuhukumu kulingana na tunavyowatendea wanaotukosea.
Mathayo 18:23-35 kwa sababu hii ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyetaka kifanya hesabu ya watumwa wake. Alipoanza kuifanya, aliletwe mtu mmjoa awiwaye talanta elfu kumi. Naye alipokosa cha kulipa, bwana wake akaamuru auzwe yeye na mweke na watoto wake, na vitu vyote alivyo navyo likalipwe lile deni. Basi yule mtumwa akaanguka akamsujudia akisema Bwana nivuile nami nitakulipa yote pia. Bwana wa mtumwa yule akamhurumia makaugua akasamehewa lile deni. Mtumwa yule akatoka akamwona mmjoa wa wajoli wake aliyemwia dinari mia akamkamata akamshikilia akisema, nilipe uwiwacho, basi mjoli wake akaanguka miguuni pake akamsihi akisema nivumile, nami nitakulipa yote pia. Lakini hakutaka akaenda akamtupa kufungoni hata atakapolilipa lile deni. Basi wajoli wake walipyaona yaliyotendeka walisikitka sana wakaenda wakamweleza Bwana wao yote yaliyotendeka ndipo bwana wake akamwita akawambia. Ewe mtumwa mwovu nilikusamehe wewe deni lile lote, uliponisihi. Nawe je, haikukupasa kumrehemu mjoli wako, kama mimi nilivyokurehemu wewe? Bwana wake akaghadhabika, akampekela kwa watedaji hata atakapolilipa deni lile lote. Ndivyo na Baba yangu wa mbinguni atakavyowatenda ninyi msipomesahe wa mioo yote kila mtu ndugu yake.
Mtumwa huyu alisahau kuwa alisamehewa deni. Mkutadha wa kiroho ni kuwa badala ya kuyaona makosa yake, aliyeona ya nwengine.
Mafunzo ya Kikristo yanatulazimu kuiona sehemu yetu mwanzo katika kila tatizo na kuliona ariti” lililo jikoni mwetu.
Mathayo 7:5 mnafiki wewe itoe kwa lile boriti katika jicho lako wenyewe ndipo tuatakopona vemo kukitoa kile kobatizi katika jicho la ndigo yako.
Mhubiri 7:20-22 bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani ambaye afanya mena, asifanye dhambi. Tena sutie moani mwako maneno yote yaliyosemwa; usije ukamsikia mtumwa wako mwenyewe ila ana kutukana, kwa kuwa mara nyingi moyo wako pia unajua ya kwamba wewe mwenyewe umekuwa umewatukana watu wengine.
Kuyashikila mambo ya kale ambayo hayawezi kubadilishwa si vyema kiakili,. Upendo hauna orodha ya maocu. Tunarejelea tena mtazamo wa upendo.
1Wakorintho 13:4-5 upendo huvumilia, huhifadhi, upendo hauhusudui, upendo hautakabari haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hauhesabu mabaya.
Kuweka kuburi kuna maumivu ya lasaikologia kwetu kuliko kwa mkosa.
Ina maana ya kuwa hatuelezwi msamaha wa Mungu na pia hatuwezi kumwaomba vilivyo ikiwa mzizi wa uchungu kumwomba (Tazama karatasi Teach us to pray (No. 111)). Inahitilatiana na maendeleo yetu ya kiroho na husiano wetu na Mungu; Roho hujiondoa kutoka katika maovu. Chuki, ambayo hutokana na mtazamo wa kutosamehe, hutosamehe huzuia Roho kudumu ndani yetu au kutenda kazi kwa ajili udhabiti wetu. Hivyo basi twafaa kuepukana na nyeuzo za mawaa kutoka manyumbani mwetu ili nyenzo za Roho Mtakatifu ziweze kudumu ndani yetu.
Yaeli 2:13 rarueni mioyo yenu wala si mavazi yenu, kammrudie Bwana, Mungu wenu kwa maana yeye ndiye mwenye neema, amejaa huruma, si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema, naye hughairi mabaya.
Marko 11:25 nanyi kila msimaimapo kusali sameheni, mkiwa na neno juu ya mtu ili na Baba yenu aliye mbinguni awasamehe ninyi makosa yenu.
Ni rahisi sama kutenda jambo kutokana na hisia zetu za kimwili, lakini twafaa kutambua hitlafu zetu, watu watatuudhi na twapaswa kuahamu namna ya kulishigulikia suala kama hili, kwa njia ya Mungu. Tukibudu Mungu hutsamehe ni inasaliulika
Zaburi 103:3 aliye tusamewa vitu vyote ambaye wana ugonjwa; (KJV)
Waebrania 10:17 dhambi zao na uasi wao sitaukumbuka tena kabisa.
Na Zaburi 103:12 kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, ndivyo alivyoweka dhambi zetu mbali nasi.
Harakari nzima ya msamaha halitamatishwa kwa mateule tu wala kwa katika familia ya mtu wala rafiki zake. Hata hivyo, kina hatua ambazo zaweza kuchukuliwa miongoni mwa wateule litokeapo kosa na lisiwekwe hadharani wala kutubiwa.
Suala hili laweza kupekkwa kanisani.
Mathayo 18:16-17 La kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmjoa au wawili ili kuwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno liothibitike. Na asipiwasikiliza wao, liambie kanisa na asipolislizoa kanisa pia na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.
Huenda kukawa vigumu kuwasamehe watu ambao hawakatambua msahama ila hatufai kuwawia wakali.
Warumi 12:14 wabarikini wanoowaudhi, barikini wala msiliaani.
Tunawaweza kuwasamehe wengine hata ikiwa hawajui tumesasamehe, ila mapatano hukitaji kuhusika kwa wote waliosikao. Aghalabu sisi kuamua kukumbuka dhambi, lakini tunaweza kumwambo Mungu kusafisha fikira zetu.
1 Petro 4:8 zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katokea kupendana kwa sababu upendano kusifiri nyingi wa dhambi.
Msamaha huhushisha kupeana na kupokea.
2Wakorntho 5:19 yaani Mungu alikuwa ndani ya Kristo akiupatanisha na ulimwengu na nafsi yake asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho.
Mtume Petro alifahamu ugumu ulioko katika kusamehe na akamwuliza Kristo ni mara ngapi alinitajika kusamehe?
Mathayo 18:22 Yesu akwambia sikuambii hata mara saba bali hata mara sabini.
Suala hili linatokana Isaya 50:6
Niliwatolea wapigao mgongo wangu na wang’oa ndefu mashavu yangu sukidivha uso wangu upate fadheha na kutemewa mate.
Maombolezo 3:27-33 ni wema harehemu achukuwa nira wakati wa ujana wake na akae peke yake na kuyamaza kimya kwa sababu Bwana ameweka hayo juu yake na atie kinywa chake mavumbi ikiwa yamlani liko tumani. Na amwelekezee yule ampigaye shavu lake ashibishwe mashurumu. Kwa kuwa Bwana hamtupi mtu hata milele maana ajapomhunisha atamrehemu kwa kadiri ya wingi wa hurma zake maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu wala uwahuzunisha.
Hivyo anarushusu mateso kwa vijana ili kuwaisamarisha matendo. Vivyo hivyo anaimarisha matendo kwa wateule kuvumila makosa na mateso huimarisha matendo, kadhalika kuyavunja zaidi. Mungu ataingilia kati na kuwainua waliodhiwa, ilhali sehemu yetu ni kusamehe.
Ni vigumu kuendelea kusamehe mtu anayetukoea mara kwa mara, hawa ikiwa ni tendo moja larudiwa. Watu wengine wahawajufunza kutokana na makosa, na kwa hakika wao huchukua njia zao bila kijali matokea. Hata hivyo, msamaha wa Mungu hauna kifali – nasi twapaswa kuwa hivyo.
Tutakuwa wakali tusiposamehe ila hutuwezi kuuseka ukali na kuuficha. Mbegu kali uazaa katunda makali na hatimaye tuaujenga mchanyoto wa ndani ya ndani. Mtu mkali huwa rahisi kuumia. Huwa hawasahau. Magiji wametambua kuwa watu ambao wana tatatizo ya kuhisia aghalabu huwa roho ya kutosamehe. Hili lawa wazi kuongea kuhusu wengine vibaya na kuwa na mawazo hasi, mwonekane watu wa nje waweza kutiwa mawaa.
Waebrania 12:15 mkiangalia sana mtu asiiponguikia neema ya Mungu, shina la uchungu lisikelikaghipka na kuwasumbua na watu wengu wakatiwa unajisi hwa hilo.
Tukikosea tusilipize
Methali 15:1 jawabu la upole hugeanza hasira basi neno limwizalo huchochea ghadhabu.
Methali 19:11 busara ya mtu haiahirisha hasira yake nayo ni fahari yake kusamehe makosa.
Methali 16:32 asiye mwepesi wa hasira ni mwema kuliko shujaa na mtu aitwalaye roho yake kuliko mtu mtekaye mji.
Mathayo 7:1-4 msihukuma msije mkahukumiwa ninyi. Kwa hukumu ile mhukumayo, ndiyo mtakayohukumiwa, na kipimo kile mpimacho ndicho mtakchopimiwa. Basi mbana wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu na bivito iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe hauangalii? Au tamwambia nduguyo, niache kikitoe kibanzi katika jicho lako, na kumbe?
Mna barite katika jicho lako mwenyewe?
Luka 6:37 msihukuma, nanyi hamtahukukiwa msilaumu, nanyi hamtalaumiwa, achiliani nayi mtaachiliwa.
Lazima kwanza tujiepushe kuwakosea wengine.
Watumi 14:21 ni vyema kutokula nyama wala kunywa divai wala kutenda neno lolote ambalo kwa hilo ndugu yako kukwazwa.
1 Wakorntho 8:9 lakini angalieni huu uwezo wenu usije ukawakwza wale walio ndaifu.
Ni muhimu kuleta vitu kwenye upeo na kuacha mambo madogo yapite. Tusewe na haraka katika kuhumu.
1 Wakorintho 10:32 msiwakosehe wayahudi wala wayunani wala kanisa la Mungu.
Makosa huweza kuwafanya wanyonge kujikwaa katika harakati zao za kubadilika. Ikiwa ni sisi wakosa, tunafaa kuyaona makosa yetu na kutubu. Basala ya kuwalaumu wengine, tunafaa kuchukua jukumu la utendani kosa na kujaribu kurekebisha uharibifu uliofanywa. Yaani, tunafaa kuomba msamaha na upatanisho baina yetu na ndugu zetu, ikiwezekana
Matukio
Ya Msamaha Kwenye Bibilia
Esau alisamehe Yakobo
Mwanzo 33:4 Esau akaja mbio kumlaki akamkumbatia na kumwangukia shingoni akambusu, nao wakalia.
Mfano huu ni wa ndugu waliogeuka viongozi wa makabila ila walikuwa maadui. Huu ulikuwa mfano mwingine wa wivu wa kindugu uliomiwa na Mungu.
Yusufu
alisamehe nduguze.
Mwanzo 45:5, 15 Basi sasa msihuzunike wala msiudhike nafsi zenu kwa kuniuza huku maana Mungu alinipeleka mbele yenu kuhifadhi maisha ya watu………akawabusu ndugu zake wote akilia nao na baada ya hayo nduguze wakazungumuza naye.
Pia katika Mwanzo 50 tunaona Mungu akitekeleza kusudi lake kwa usufu.
Mwanzo 50:19-21 Yusufy akawaambia, msiogope. Je, mimi ni badaya ya Mungu? Nanyi kweli mlinimkusuia mabaya bali Mungu aliyakususia kuwa mema, ili iotkeaa kuooa taifa kubwa kama ilivyo leo. Basi sasa msiogope mimi nitawalisha, na watoto wenu, akawafariji na kusema nao vema.
Mungu huleta jema kutoka katika kosa. Ovularuhusiwa kwa kubwa zuri, ila hatuwezi kuyaona mema tu kila wakati.
Harini na Kiriam walitenda dhambi, walikuwa na makosa na baada ya toba, walisamehwe na Mungu kupitia kwa Musa.
Hesabu 12:11-13 kisha Haruni akawambia Musa, EE Bwana wangu nakusihi sana usituwekee dhambi juu yetu kwa kuwa tumefanya ya upumbavu na kufanya dhambi nakusihi.Usiwe kama mmoja aliyefanya ambaye nyama na mwili wake nusa umeliwa hapo atakapo tumbo la mama yake. Musa akamliongona Bwana akisema, mpole ee Mungu nakusihi sana.
Daudi alisamahe Sauli. Alimwacha kwa kuwa alikuwa mteule wa Bwana. Vivyo hivyo walivyo wateule. Tunawavumilia wenzetu kupitia kwa Roho Mtakatifu, kwani huo ndio upako wetu.
1 Samweli 24:10-12 tazama leo hivi macho yako yameona jinsi Bwana alivyokutia mikononi mwangu pangoni. Na watu wengine wakamwambia nikuwe, lakini nikauacha nikasema, sitaki kunyosha mkono wangu juu ya Bwana wangu kwa maana yeye ni mashihi wa Bwana. Tena baba yangu tazama tafadhali tazama upiundo wa vazi lako mkononi mwangu, maana ikiwa nimeukata upindo wa vazi lako, nisikume, ujue na kuona ya kuwa hakuna uovu wala kosa mkooni mwangu wala sikukukosa neno ingawa wewe unaniwinda roho yangu ili kuikamata Bwana ulilipieza kisasi changu kwako lakini kmono wangu hautakuwa juu yako.
Hakuna uwezo kuonyosha mkono wake dhidi ya wateule wa Bwana na awe hana kosa (1 Sam 26:9). Mungu awawaweka huru kutoka mikononi mwao.
1 Samweli 26:23 naye bwana atamlipa kila mtu haki yake na uaminifu wake maana Bwana amekutia mkononi kwake leo, nami nilikataa kuonyesha mkono wangu juu ya mashihi wa Bwana.
Suleimani limsamehe Adonai dhambi zake.
Wafalem 1:53 basi mfalme Suleimani akawatuma watu wakamtelemsha toka madhabahuri naya akaja akamwinamia mfalme Suleimani, naye Suleimani akamwambia: Enenda nyuambni kwako
Yesu humsamehe aui zake katika mfumo unaoendelea.
Luka 23:34 Yesu akasema Baba uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendelo wakagwa mavazi yake, wakapiga kura.
Hata kukufru katika jina lake kusaweza kusamehewa.
Mathayo 12:32 naye yeyote atakayenena neno juu ya mwema wa Adamu atasamehewa bali yeye atakayesema neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa wala katika ule ujao.
Hili halimaanishi kuwa hatashugulika nao kwa ajili ya amani na maendeleo ya sayari hii. Mataifa mengi yaliyo na vita yatashushwa na kuharibiwa na uovu wao wenyewe, mitazamo isiyo na msamaha.
Msama wa viongozi na watu jupatikana kupitia kuingilia kati kwa malaika na makuhani katika maombi.
1 Wafalme 13:6 mfalme akajibu akamwambia yule mtu wa Mungu, umsihi sana Bwana Mungu wako, kanikomboe ili nindishiwe mkono wangu tena. Yule mtu wa Mungu akamwomba Bwana mkono wa mfalme akarudishwa tena akawa kama alivyokuwa kwanza.
Paulo alifanganisha msamaha wa ndugu katika jina la Yesu Kristo. Hivyo wateule walipewa uwezo kusamehe na kristo kupitia kwa kanisa, msamaha wa wateue ulikuwa ni wa jumla kwa kanisa.
2 Wakorintho 2:10 lakini kama nikimsamehe mtu neno lolote, nimesamehe kwa ajili yenu mbele za Kristo.
Tunatakikan kusamehean maadui yetu kwa wale.
Ni nini kinahitajika ila kuwasamehe adui detu? Msamaha wa adui wa mtu si suala na harakati za mafunzo. Tendo hilo la husiha kufunga ni kuomba na kuwatendea mema kuwili. Kadhalika, amri kumi na sheria lazima zifuatwe.
Kutoka 23:4-5 ukiwona ngombe wa adui wako au punda wake amepotea. Sharti umerushie mwenyewe tena. Ukimwona punda wake huyo akuchukiaye hali ameanguka chini ya mingo yake, nawe ingejizuia umsaidie lazima umsaidie
Mehali 24:17 usifurahi adui yako ameanguka wala moyo wako usishangilie ajiwapo.
Methali 24:19 usikasirikekwa sababu ya watenda mabaya wala usiwahusudo wabaya
Methali 25:21-22 adui yako akisa na njaa mpe chakula. Tena akiwa na kiu mpe maji a kunywa. Maana utatia makaa yam to kichwani pake na bwana atakupa thawabu.
Mathayo 5:39-48 lakini mimi nawaambie mshidnane na mtu mwovu lakini mtu akupigaye shuvu la kuume, mgenzie na pili. Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako zimisha mwendo wa maili moja, nenda naye mbili. Akuombaye, mpe. Naye atakaye kukopa kutoka kwake, usimpe kisogo. Mmesikia kwamba imewemwa, umepende jirani yako, na kuchukie adui zenu, waambeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbingini maana yeye hawaangazia jua lake waovu na wema, hawanyeshea mcua wenye haki na wasio na haki. Maana mkiwapenda maana mkuwaoenda wanaiwaoenda ninyi, mwapata thawabu gain? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo? Tena mkiwaambia ndugu zenu tu, manatenda tendo gani la zaidia? Hata watu wa mataifa je, nao hawafanyi kama hayo? Hasi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu aliye mbinguni alivyo mkamilifu.
Malipo kwa ajili ya wale watatumiao au walio na lawama kwetu ni lazima yafanywe kwa hali ya juu zaidi ya inavyotakwa. Lazima tuwe zaidi ya kinachotkwa, na kutenda kuliko inavyotupasa.
Luka 6:27-36 lakini nawaambia ninyi mnaosikia, wapendeni adui zenu wapendeni mema wale ambao wawachukia ninyi. Wabarikini wale ambao wawalaani ninyi waombeeni wale ambao wawaonea ninyi akupigaye shavu moja, mgenzie la pili, naye akunyaganyaye joho yako, usimzilie na kuanzu. Mpe kila akuombaye na akunyanganyaye vitu vyako, sukitake akurudishie. Na kama mnavyotaka watu wawatendeo ninyi, watendeni vivy hivyo, maana mkuwapenda wale wawapendao ninyi, mwaonyesha fadhili gani? Kwa kuwa hata wenye dhambi huwapenda wale wawapendao. Nayi mkiwatendea naman wale wawatendao mema mwaonyesha fadhili gani? Hata wenye dhambi huwakopesha wenye dhambi, ili waridishwe viel vile. Bali wapendeni adui zenu. Tendeni meme, na kukopesha msitumainui kupata malipo,, na thawabu yenu itakuwa nyingi, nanyi mtakuwa wana wa aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasioshukuru, na waovu. Basi iweni na huruma kama Baba yenu aliye na huruma.
Luka 17:3-4 jilindeni kama ndugu yako akikosa, mwonye, akitubu mwache. Na kama akikukosea mara saba katika siku moja na kurudi kwako mara saba, akisema nimetubu, nisamehe.
1 Wakorintho 4:12-14 kisha twaabika tukifanya kazi kwa mikono yetu wenyewe. Tukitikanwa twabariki, tukiudhiwa tasahimili, tukisingiziwa twasihi. Tumefanywa kama takataka za dunia, na tama ya vitu vyote hata sasa.
Suala la kusameme na kusahau limeandikwa katika karatasi Forgiving our Parents, Forgiving Ourselves na Drs David Stoop na James Masteller.
Tumesikia mara nyingi ya kuwa twapaswa kusamehe na kusahau ila si rahisi hivyo tunahitaji kukumbuka ili kuushughulikia uchungu na kusamehe. Kisha tunaweza kuachama naya na kuendela maisha yetu. Kwa imani, twafunza kujifunza kutokana nay a kale na tusiyamche makosa kama ya awali; waumivu makuu hudumu kwetu hata mielele, ila hayafaidi kuchukua kila sehemu ya uchao wetu. Weak kwenye taswira, taweza, kujifunza kuishi nayo. Hatuwezi kuyakubali yaliyotutendekea awali. Lakini twaweza kubadili namna ya kukibiliana nayo kwa muda huu. Hilo ni suala la kukumbukwa. Tunakumuka ndiposa tuweze kukubali na kusamehe. “Kusahau” si suluhu. Tunalisi majuto juu ya yaliyotendeka, na tunatamani hayangetendeka, ila kilitendeka. Sasa twaweza kuyakubali na kuachana nayo (servant publications, amm arbou, Michigan, 1991, P 204).
Mungu anaweza kusamehe na kusahu (Yer 31:34) (Zab 103:12), ila Bibilia haitushauri kusahau. Mungu ni kamili na wala hafanyi makosa. Yeye ana maarifa na akifahamu kila kitu hivyo. Hana cha kifunza kutoka kwetu. Tayari anafahamu kila wazo letu.
Yer 31:34 wala hawataufundisha kila mtu jirani yake na kila mtu ndug yake, wakisema njie Bwana, kwa maana watamjua wote tangu mtu aliye mdogo miongoni mwao hata aliye mkubwa miongoni mwao asema Bwana. Maana nitaudamehe uovu wao wala dhambi yao sitaikumbuka yenu.
Zabur 103:12 Kama mashariki iliyo mbali na magharibi, ndivyo alivyoweka dhambi zetu bali nasi.
Matatizo ya kitabia ya sasa mtu huweza kuwa matokeo ya kuyafikiria machungu ya kale. Hywa yapo hata kama mtu akijisahaulisha.
Hata hivyo, sote twafaa kuyashugulikia makosa ya awali ijapokuwa hatuyashugulikia makosa ya awaili makosa ya kale yaw engine. Katika hali yeyote. Hatutaruhisiwa kuona ouvu wa wengine. Katika hali yoyote hatutaruhusiwa kuona uovu wa wengine kuwa sababu ya wema wetu. Ikiwa amesamehewa, sisi ni nani hata kuhuskumu? Twafaa pia kuepuka kuwalaumu na kuwashitaki wengine.
Tukuidhiwa, twataka kumaumu mtu; kadiri tunalaumi au kushitaki, ndivyo tunavyorusi kuwa na uchungu.
Kulami ni kulindosha jukumu lipaswalo kuwa letu na kulipekela kwa mwengine a kuyattumi makosa ya wengi kujindoa katika hali ifaa ya wengine au kuyatumia makosa ya wengine kujiondoa katika hali ifaayo ya kulishugulkai tulilotendewa (Stoop & Masteller, op cit., p. 253).
Ni makosa yetu wenyewe tusipofanya maauzi mwafaka maishani.
Twafaa kuonyesha hisia zetu, haswa dhadhabu yetu kwa kuwa ghadhabu ni hisia haribifu. Ghadhabu ni tendo la kuwakuishulia ni shemu mwafaka ya msamaha. Sisi sote twapata dhadhabu ila si sana kuwa tnakubali kuwa. “tuna dhadhabu.” Dhadhabu waweza kuwa nzuri ya mabaya. Yaweza kuwa mbaya kuistahimili kukishindi uchokozi ndogo zaidi hututenda na wapenzi wetu. Tazama karatasi. Anger (No. 61).
Tuliwasamehe watu madeni yao, nasi tunajiweka huru kutokana na athari za kosa hilo. Mungu ndiye mtoa msamaha mkuu. Huruma anayotutambua kutokana na toba yaweza kutambaa hadi kwa wengine. Hawachukuwa, kwa uchahe, watu wawili kufanya ngiuvu. Tukisamehe tunaachama na kupukushani hizo na kubali huru. Mtu mmjoa hawezi kugombana naye mwenye. Bila shaka matokeo ya magombano yeyote ni mapatano ila hali hailiwezekani kila mara.
Hivyo msamaha unahuskika na Mungu, huyo mwengine na sisi wenyewe. Twafaa kujishugulikai wenyewe kwanza na uhusiano na Mungu, ili kisha taweze kumshughulikia hiyo mwingine. Tukiishi tukiweka viburi, uchungu na ghadhabu, hatuna nafasi kwa Mungu. Hatutakuwa na upendo, huruma na hali ya usamehevu wa Baba wa mbinguni. Ukuaji wetu wa kiroho hudumaa.
Fumbo la mwana mpotevu katika Luka 15:11-32 ni mfumo mzuri wa toba, msamaha na upatanisho yote katika funzo moja. Mwana yule mchanga arejea nyumbani kwa baba yake baada ya kufuja urithi wake na kukubali makosa yake. Kisha anautaka msamaha wa baba yake na mama wanakumbatiana, kuashiria upatanisho. Ila kakaye mkuu hakuwa msamehevu. Akamkemea babake kwa kumamehe kwa urahisi mwana huyo mwuvu na hivyo kutahisika kwa vyovyote katika sherehe ya kurusi kwa ndiguye. Hivyo, kwa upande mmoja, kina faraja na sherehe kwa msamehevu, ila kwa upande mwingine uchung na utendano kwa asiye msamehevu. Fundo la mwana mpotevu alipeanwa kwa ajili ya upatanisho wa ulimwengu na wenyeji wa mbingu kwa Mungu (cf. karatasi Lost Sheep and the Prodigal Son (No. 199)).
Msamaha huuvunja msururu. Haiotulizi maswli ya lawama na haki yote; kinyume cha hivyo oghalabu huyatibua. Bila hauruhusu kuanza tena kwa uhusiano kwa njia hiyo, alisema solshenifsyn, tunafofautiana na wanyana wote. Si katika kiwango chetu kuwazia kinadhotutia tofauti, ila ni katika kiwango chetu kutubu na kusamehe (Phillip Yancey, An Unnatural Act, Chrstianinity Today, April, 1991, p.37).
Hivyo twafaa kuhumbuka kuwa kitu kigumu zaidi ni kujisameme dhambi. Dhamb amkosa kilishughulikiwa kwa toba, Mungu husamehe. Ni sharti tukuubali msamaha na tupange. Kuna sehemu tano katika msururu wa toba. Sehemu hizi zaweza kuwa kigezo cha miongozo ya matatizo ya baadaye.
Zingaia: Ni kubatili sheria ya Mungu, au ni majivuno yetu au yao, au mzizi wa unchungu? Je, yamatendeka kabla.
Hatua ya 1: mwendee Mungu kwa maombi kwa uongozi
Hatua ya 2: amua kuyatupilia mbali au kutenda. Jukitatupilia mbali, kisha tusamehe na kusahau. Tamatisha suala
Sehemu ya 2: fahamu jukumu la kila mmoja
Hatua ya 1: tulifaya nini, tungefanya nini?
Hatua ya 2: mwingine alifanya nini? Wangefanya nini?
Hatua ya 1: yazungumzie masuala yote
a) Kukabi (ma) kosa kwanza
b) Tambua matatizo yao. Jiweke chini
Hatua ya 2: jawabu lao
a) Wanatubia matendo yao. Neda kwenye sehemu ya 5
b) Wahatubii matendo yao. Endelea na sehmu ya 4.
Lirigatio in njia ya kusuluhisha kwa waliona mamlaka. Kuna njia na uongozi ya kuwekwa kwa jambo kwa kusiluhisha. Tatizo infaa ichunguzwe kwa kanisa.
Kuna harakati Fulani na utawala funalni uluiowekwa ajili ya utatuzi wa migogoro. Migogoro ya faa kutatuliwa kanisani.
Hatua ya 1: Mwendee mtu huyo na mashuhudi. Tambua tatizo kama mwanzo
Hatua ya 2: ikiwa hakuna sulihisho kwa muisa huo, nenda katika wizara la kanisa. Aghalabu watu kujimbilia kwenye wizara kabla ya kuwaendea ndugu. Hata hivyo wizara yuawendea ndugu. Hata hivyo wizara yaweza kuwa kuhidi ikihitajika
Hatua ya 3: kesi lilio kuamuliwa na baraza la kanisa na suala lasuluhusiwa. Nenda katika sehemu ya 5.
Hatua ya 4: tatizo halijasuluhishwa na baraza la kanisa na suala ni zito. Paulo alikuwa wazi kuwa hii ni hatua ya mwisho na kanisa linalo jukumu la kutafua mizozo. Ni sharti tuamua masual baina ya wateule, kama tunavyofaa kuhukuu ulimwengu na malaika (1 Wako 6:2-3). Ikiwa kanisa halijatenda jambo, nenda kwenye baraza suluhu kabla ya utawala, yaani, hamna njia nyingine na suala zito.
Hatua ya 1: ungane katika suluhisho la tatizo. Endelea kwa upande wa udungu
Hatua ya 2: rekebisha tatizo
a) Kimwili
b) Koroho na kihisia
Hatua ya 3: Mafunzo ya uhusiano ulioko na kuzuia makosa zaidi
Ikiwa kosa litarudiwa anza tena. Msamaha likihitajika, samehe tena na uliendele uhusiano. Lilete kosa hilo akilini kilirudiwa tu.
Tofauti iliyopo na nguvuru huu ni pale
palipo mkuzo wa tamaduni wa Kristona kudorora kwa tamaduni za wale walio
kunyume cha Kristo kupitia kwa mtazamo wa uongozi wa Mungu, ambao hutaka
kumtenga utakatifu wa Kristo kutoka katika uanadamu. 2 Yohana 9 huhitaji mkosa
hata asisalimiwe. Toba ni lazima linyeshwe ku
q