Makanisa la wakristo wa Mungu

[198]

 

 

 

 

Mungu Mwokozi Wetu [198]

 

(Edition 1.0 19970426-19970426)

 

Kitambulisho wa Wokovu kila mara imechanganyika kwa wakristo wengi. Bibilia kila mara utambulisha Mungu pamoja na Kristo kama Mwokozi. Na sasa inaonyesa kuwa wako sawa, Kama Utatu inatufanya kuamini? Nini maana yake hasha?

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

Email: secretary@ccg.org

 

(Copyright ã  1997 Wade Cox)

(Tr. 2008)

 

Mafunzo haya yanaweza kunakiliwa bure na kutawanywa kwa masharti ya kwamba yatanakiliwa kama yalivyo yote bila kuongeza au kupunguzwa au kubadilishwa au kufanyiwa masahihisho. Jina la mwandishi na anwani yake na haki milki yake lazima vijumlishwe pamoja. Bila kutoza malipo yo yote wakati wa kunakili au katika usambazaji maneno mafupi y anaweza kunakiliwa katika masomo maalum na kutafakariwa bila ya kuathiri haki milki.

 

This paper is available from the World Wide Web page:
http://www.logon.org and http://www.ccg.org

 

 


 

 

Mungu Mwokozi Wetu



Kuna sura mengi ambayo ina sema kua Yesu kristo ni mwokozi .Na kwa fasoni, kuna andiko nyingi ambao kunaonyesa kuwa Mungu ndiyo Mwokozi wetu. Utatu ina tuambia kuwa Mungu na Kristo ni kitu kimoja na kua kawaida pembetatu au usaidishi wa mtu moja ambao ni Mungu.

 

Yuda aliweka tafauti kati ya Mungu moja Mwokozi wetu na Yesu Kristo Bwana wetu ambayo kupitia tuna nafasi ya kuwa mbele ya Mungu bila dhambi.

 

Yuda 24-25 Yeye awezaye kuwalinda ninyi msijikwae, na kuwasimamisha mbele ya utukufu wake bila mawaa katika furaha kuu; 25 Yeye aliye Mungu pekee, mwokozi wetu kwa Yesu Kristo Bwana wetu; Utukufu una yeye, na ukuu, na uwezo, na nguvu, tangu milele, na sasa, na hata milele. Amina. (RSV)

 

Petro kunaonyesa kama alitumia Kristo kama Mwokozi 2 Petro 3:2,18.

 

2Petro 3:18 Lakini kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hata Milele. (RSV)

Jambo hii ilianza katika 2Petro 1:1,11.

 

Inaweza kusemwa kuwa jambo hilo inaonyesa kuwa Kristo ni mtakatifuwa Munguna Mwokozi wetu. Hii ni, kuwa Baba ni Mungu na Mwokozi wetu na Kristo ni Utakatifu wa Mungu kama vile inaonekana kwa Utukufu kama vile imetumiwa katika Agano la Kale na Agano Jipya. Hili neno inmaanisha sura 11 kua Kristo alikuwa tena njia ya kuelekea Ufalme wa Bwana na Mwokozi wetu ambayo ni Mungu.Tene, Kristo ni Utakatifu na Njia jinsi inavyo onekana katika uonyeso wa Utukufu wa Mungu.

 

2Petro 1:1 Simoni Petro, Mtumwa na mtume wa Yesu Kristo, Kwa wale waliopata iamani moja na sisi, yenye thamani, katika haki ya Mungu wetu, na Mwokozi yesu Kristo. (RSV)

 

2Petro 1:11 Maana hivi mtaruzukiwa kwa ukarimu kuingia katika ufalme wa milele wa Bwana wetu, Mwokozi wetu Yesu Kristo. (RSV)

 

Hii kuna onyesa kuwa sura hii kina ruhusa na kuwapamoja na Agano la Kale kuonyesa kwa Utukufu wa Mungu.

 

Hatahivyo, maana hii kunaonyesa kuwa inaweza kuelekwa katika 2Petro 2:20 kuonyesa kuwa Hekima ya Mungu ilikuwa Kwa Yesu Kristo.

 

2Petro 2:20 Kwa maana wale waliokwisha kuyakimbia machafu ya dunia kwa kumjua Bwana na Mwokozi Yesu Kristo, kama wakinaswa tena na kushindwa, hali yao ya mwisho imekuwa mbaya kuliko ile ya kwanza. (RSV)

 

Hii ni kama kulinganishwa na hekima kama tunavyo ona katika Mithali 8:22.

 

Hakika, uzima wa milele kunachukuliwa kupitia hekima wa moja ma mkuweli Mungu na Yesu Kristo ambao alituma (Yohana 17:3). Hii, itakuwa kawaida kwa maono huu kuwa Kristo ndiye Hekima au bushara wa Bwana wetu na Mwokozi ambayo ni Mungu.

 

Kuona hivyo inaweza kuangaliwa kwa sura mengi.

 

Yohana yuko wasi kua Mungu alituma mwanawe kama Mwokozi wa ulimwengu.

1Yohana 4:14 Na sisi tumeona na kushuhudia ya kuwa Baba amemtuma Mwana kuwa Mwokozi wa Ulimwengu. (RSV)

 

Hili kwa wasi kua Yohana aliona Kristo kama mtumwa wa Mungu kama Mwokozi wa Ulimwengu.

 

Paulo pia aliona kuza katika ukweli na kuunga mkono Umoja wamaono kama Mungu na Kristo wote kama Mwokozi na kuwa sababu huo, Paulo aliona kua ulewano wa Mungu na Mwokozi kwa Timotheo.

 

1Timotheo 1:1 Paulo, mtume wa Kristo Yesu, kwa amri ya Mungu Mwokozi wetu na Kristo Yesu, taraja letu; (RSV)

 

Hapa, Paulo kuonyesa wasi kuonga pamoja kati ya Mungu kama Mwokozi na Yesu Kristo kama taraja. Hali beba hii katika sura zake.

 

1Timotheo 2:3-6 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbela za Mungu Mwokozi wetu; 4 ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli. 5 Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu; 6 ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote, utakaoshuhudiwa kwa majira yake. (RSV)

 

Hapa tunapata kua Paulo ana weka wasi usiano kati ya Mungu ambayo ni Mwokozi na Kristo.Paulo kuendelea katika waza lake kua ni Mungu ambayo ni Mwokozi wa watu wote.

 

1Timotheo 4:10 kwa maana twajitaabisha na kujitahidi kwa kusudi hili, kwa sababu tunamtumaini Mungu aliye hai, aliye Mwokozi wa watu wote, hasa wa waaminio. (RSV)

 

Kuna weza kuwa atuna umajo katika waza la Paulo akiwa katika uchungu na katikati ya Mungu na Kristo. Paulo hakuwa Umoja.

 

Katika 2Timotheo, Paulo kaonyesa nafasi ya Mwokozi Kristo.

 

2Timotheo 1:8-10 Basi usionee haya ushuhuda wa Bwana wetu, wala usionee haya mimi mfungwa wake, bali uvumilie mabaya pamoja nami kw aajili ya Injili, kwa kadiri ya nguvu ya Mungu; 9 ambaye alituokoa akatuita kwa mwito mtakatifu, si kwa kadiri ya matendo yetu sisi, bali kwa kadiri ya makusudi yake yeye na neema yake. Neema hiyo tulipewa katika Kristo Yesu tangu milele, 10 na sasa inadhihirishwa kwa kufunuliwa kwake Mwokozi wetu kristo Yesu; aliyebatili mauti, na kuufanua uzima na kutokuharibika, kwa ile Injili; (RSV).

 

Kutoka sura hii tunaanza kuona usiano kama Bibilia inavyo eleza. Hunakili na raisi. Mungu alituokowa na kutuita katika Utakatifu wa Muda. Huu ilifanywa kulingana na mpango zake na neema ambayo alitupatia katika Kristo Yesu na muda wake. Hakika alitupatia neema na kuandika sisi katika kitabu cha Uzima kabla hata msingi wa Ulimwengu (Ufunuo 13:8;17:8).

 

Kristo sasa alikuja kama Mungu uchanguzi Mwokozi na kusinda kifo na kuleta maisha na uzima wa milele kwa mwangaza kupitia Injili. Hali Kufa na kufufuliwa kupitia nguvu wa Mungu na kukuwa mwana wa Mungu kwa Nguvu kupitia kufufuka kwake kutoka kwa wafu (Wa Rumi 1:4).

 

Kielelezo, hivyo, hilikuwa kwa nguvu wa Mungu ambayo iliweseza Kristo kutumwa kama Mungu kwa njia ya kuwa Mwokozi wa Ulimwengu.

 

Sasa, tukona sura yeyote amboa tuna weza kulinganisha na kusudi ya Jambo?

 

Hosea alingundua kua kuma Mwokozi kama sio Mungu.

 

Hosea 13:4 Lakini mimi ni Bwana, Mungu wako tangu nchi ya Misri; wala hutamjuamungu mwingine ila mimi; wala zaidi ya mimi hakuna Mwokozi. (RSV)

 

Hapa, Yeye ni Yahova (Yehova) Elohim na zaidi ya yeye hakuna Mwokozi. Hivyo, tunajua tena kuwa alitowa Israeli katika njia ya mtumwa wa Yahova (Yehova) na huyo Mtumwa alikuwa uso wa Mungu katika janguwani ambayo tena alikuwa sauti ya Bwana (Angalia Mtume 7:30-31). Hakuna mtu yeyote ambayo hazaona Mungu.Lakini Yule aliye zaliwa wa Mungu, na huyo mmoja ni moyo wa Baba, kusema (Yohana 1:18 angalia Marshalli Interlinear na tena Syriac).

 

Bwana aliwapa Israeli Mwokozi kuliko mara moja katika Agano la Kale. Alituma Kristo kama Mtumwa katika Jangwani kuleta Israeli kutoka kwa mabawa ya ndenge. Mesia alikuwa ndege.

 

Mungu tena aliwapa Israeli kama Mwokozi walipo tubu na kuwaleta nje kutoka mkono wa Assiriana; Huu pia ali kuwa Mwokozi wao.

 

2Wafalme 13:5 Bwana akawapa Israeli Mwokozi, nao wakatoka mikononi mwa washami; wana wa Israeli wakakaa hemani mwao kama zamani za kwanza (RSV).

 

Huyu Mwokozi alitambuliwa tangu mwanzo wa Ulimwengu kwa ukombozi wa Israeli.

 

Mwanzo 48:15-16 Akambariki Yusufu, akasema, Mungu ambaye baba yangu, Ibrahimu na Isaka, walienenda mbele zake, yeye Mungu aliyenilisha, maisha yangu yote, hata siku hii ya leo, 16 naye Malaika aliyeniokoa na maovu yote, na awabariki vijana hawa; jina langu na litajwe juu yao, na jina la baba zangu Ibrahimu na Isaka; na wawe wingi wa watu kati ya nchi (RSV).

 

Huyu Elohim ndiyo alikuwa Malaika mwokoa wa Israeli.

 

2Samweli 22:2-3 Akasema, Bwana ndiye jabali langu, na ngome yangu, na Mwokozi wangu, naam Wangu. 3 Mungu wa mwamba wangu, nitamwamini yeye; ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, mnara wangu, na makimbilio yangu; Mwokozi wangu, waniokoa na jeuri. (KJV)

 

Hii ndio mwanzo wa wimbo ya Daudi kama Yahova (Yehova) ali mtoa kutoka mkono wa Saulo na maadui zake (cf. Kutoka 15; Kumbu 32).

 

Kionyeso hapa ni kuwa mwamba na Mungu wa Daudi ndiye mwamba. Tunaongea hapa kwa Mlima ambao ni Mungu na Mwamba asiye weza kukatwa na binadamu ambayo alichukuliwa kutoka Mlima na Yule alitumwa kuaribu Ulimwengu katika siku za mwizo katika mwizo wa ufalme ambao umesemwa katika Danieli sura 2.

 

Danieli 2:44-45 Na katika siku za wafalme hao Mungu wambinguni atausimamisha Ufalme ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hawataachiwa enzi yake; bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuziharibu, nao utasimamam milele na milele. 45 Na kama vile ulivyoona ya kuwa jiwe lilichongwa mlimani bila kazi ya mikono, nay a kuwa lilivunja-vunja kile chuma, na ile shaba, na ule udongo, na ile Fedha, na ile dhahabu; basi Mungu aliye mkuu amenjulisha mfalme mambo yatakayokuwa baadaye;na ndoto hii ni ya hakika, na tafsiri yake ni thabiti (KJV).

 

Zaburi 106:21 kulinganisha El Mwokozi wa Israeli ambayo aliwatowa Misri. Hii ulinganisho hapa ni wa kitabu cha nne au nambari wa kitabu ya Zaburi kunamenyana na upumziso wa Ulimwengu na kutazama mbele  kuenda Ufalme wa Mungu.

 

Hibrania lugha katika jangwani (Bemilbar) kutoka maneno ya tano katika sura 1. Lugha Nambari ni kutoka Latini vugati Numeri kukamiliwa katika lugha ya Greeki Arithmoi katika LXX.

 

Nambari katika kitabu kimengawanywa katika kundi mitatu. Kundi la kwanza ongea juu ya Tamaa wa pumziko wa ulimwengu (Pss 91-94). Upande wa Pili Ongea juu yaa mapumsiko wa Ulimwengu kutimizwa (Pss 95-100). Sehemu ya mwizo kua pande kutoka Zaburi 101 hadi 105. Hii hapa ndio Pumziko wa Ulimwengu kuserekewa. Dhambi kukuja Dunia na kujazaa Ulimwengu na zio binadamu tuu kuharibiwa. Nambari za Kitabu zinataka ufunuo katika haki yake na kutoka hapa tonaweza kuangalia Zaburi 106 kuitwa zamari ya mwizo wa njia ambayo Mungu alikuwa ana fanya na Israeli na kuangalia mbele kuwa ukweli wa Ahadi wa Mwokozi. Katika Zaburi 90 na 91 tunaona usiano wa ukweli wa Zaburi kuandikwa katika pand mbili zingine na Musa kutoka mwanzo miaka thalathini na nane wa mwendo kule jangwani. Zaburi 91 kuonyeza wale wako katika kivuli wa Mkuu. Hapa wako na ulinzi kutoka kwa Mwokozi ambao limesemwa katika Zaburi 106 kama imesahaulika na Israeli imeokolewa na Ulimwengu unapumsika baada ya kazi hiyo. Hii Mwokozi hapa ni mwokoaji wa Israeli na hii tuna sema ni Mesia kama uso wa Mungu katika Jangwa.

 

Mwokozi humesemwa kwa mara ya kwanza kwa makini katika Isaya.

 

Mungu aliwapa Malaika wa Yahova (Yehova) kutoa jukumu ya kuongea kupitia Nabii Isaya kuonyi kuja wa Mwokozi kama Mesia. Mungu alitoa jukumu ya kutengeza dhabahu ya Yahova katika Misri Isaya 19:19. Mungu hatawatumia Mwokozi na Mkuu moja na atawaokoa.

 

Isaya 19:19-25 Katika siku hiyo itakuwako madhahahu katika nchi ya Misri kwa Bwana, na nguzo mpakani mwake kwa Bwana. 20 Nayo itakuwa ishara na ushuhuda kwa Bwana wa majeshi katika nchi ya Misri; kwa maana watamlilia Bwana kwa sababu ya watu wawaoneao, naye atawapelekea mwokozi mwenye kuwaletea, naye atawaokoa. 21 Na Bwana atajulikana na Misri na wamisri watajua Bwana katika siku hiyo; naam watamtumikia kwa dhabihu na matoleo, nao watamwekea Bwana nadhiri, na kuzitekeleza. 22 Naye Bwana atapiga Misri, akipiga na kuponya; nao wakirudi kwa Bwana, atakubali maombi yao na kuwaponya. 23 Katika siku hiyo itakuwako njia kuu itokayo Misri na kufika hata Ashuru; Mwashuri atafika Misri, na Mmisri atafika Ashuru, na Wamisri wataabudu pamoja na Waashuri. 24 Katika siku hiyo Israeli atakuwa wa tatu pamoja na Misri na Ashuru, watakuwa Baraka kati ya dunia; 25 kwa kuwa Bwana wa majeshi amewabariki, akisema Wabarikiwe watu wangu Misri; na wewe Ashuru, kazi ya mikono yangu; na wewe Israeli, urithi wangu. (KJV)

 

Hiki Dhabahu ilikuwa Hekalu katika Leontopolis kwa jina ya Heliopolis kutengzwa na kuhani mkuu Onias IV na kufungwa na jukumu wa Vespasian katika 71CE baada ya kuanguka wa Hekatu ya Yerusalemu.Hekalu hiki ilijengwa kati ya 160 BCE na kukaa kama paali ya kazi ya Hekalu mpaka kkwauharibifu na hata baada ya kuanguka wa Yerusalemu katika 71 CE. Iliwekwa marufu kwa sababu ya Mesia kutumwa katika Misri na ilijengwa kama kionyeso kuwa Mungu ataokoa Misri na Ashuru pamoja na Israeli.

 

Hii Unabii ilikuwa inafaa kuchukua miaka elfu mbili kukua. Ilikaa ya kwanza kuchacha kwa Mesia na hivyo zote kuelewa na Wakristo. Hawakuona muhimu ya kazi na hulinzi wa Mesia katika Miliniamu. Wengi wameacha jia ya Milliniamu au chiliasm kanainavyo itwa nah ii atuekewi inabii huu.

 

Isaya aliongea kuuzu Mmoja Mtakatifu wa Israeli ambayo ni mwokozi. Isaya alitengeza hukuu wa Mungu kama Mwokozi na kuacha wa Mwokozi na Mungu kama Ahadi katika Isaya 19:20. Tuna ona kwa njia hii Isaya 43 na Isaya 44:6 tunajenga paali kuna tumaini ambayo in njenga huu. Moja ni Bwana kama Mfalme wa Israeli na ingine ni mwokozi ambao Ni Bwana wa utukufu au yahova wa Utukufu. Huu, umenyano hapa kua yahova Mfalme wa Israeli kumechukuliw ana kuwa Mwokozi ni Mungu ambayo ni Yahova wa Utukufu na Mkuu wa Juu, Elyon ambao ni Mungu au Mungu Baba. Huu Mungu alikupa sifa Mesia kama Elohim juu ya mwenzake (Zaburi 45:6-7;Wahibrania 1:8-9). Aliwapa Yahova wa Israeli nchi Israeli kama dhamana  miliki (Kumbu 32:8-9 RSV).

 

Kumbu Kumbu La Torati 32:8-9 Yeye aliye juu alipowapa mataifa urithi wao, alipowabagua wanadamu, aliweka mipaka ya watu kwa kadiri ya hesabu ya wana Israeli. 9 Maana, sehemu ya Bwana ni watu wake, Yakobo ni kura ya urithi wake. (RSV)

 

Mwokozi ndio mtatu wa tatu katika Isaya 43:3.Mungu ali ahidi ujao kuokaa kwa Israeli katika sura 2 .Sii kwa kina wa ahidi kwa Saxoni njia ama kulenga kanisa (cf Companion Bible n. to v 2).

 

Isaya 43:1-4 Lakini sasa, Bwana aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimakuita kwa jina lako, wewe u wangu. 2 Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza. Maana mimi ni Bwana, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli. mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako. 4 Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye keheshimiwa, name nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako (RSV).

 

Hapa kuna Ahadi wa wokofu kYakobo na Israeli. Kinachoweza kusioeleweka katika andko hii ni/kinyume na kati ya Yakobo na Israeli na washuhuda wawili katika siku ya mwizo. Hii umefanya uchangamano mwingi (ona karatasi The Witnesses (No. 135)).

 

Mungu alisema kuwa ataleta yakobo na Israeli nje ya Makabila na kuwatoa. Mungu aliamri kuleta mbele watu wapofu na wako na macho na wale bubu na wako na shikio (Isaya 43:9). Hiki jukumu kuonyesa ulewekano wa Roho Mtakatifu.Mataifa na kuwapa changamoto kueleza na kuwa Shuhuda kwa mambo yalio pita na kuelewa ukweli na hakika. Moja ambao atatengeswa ni hao ambao wame itwa kwa jina la Mungu.Mungu amewatehua Yakobo na Israeli kama Washuhuda wake.

 

Isaya 43:10-21 Ninyi ni mashahidi wangu asema Bwana, na mtumishi niliyemchagua; mpate kujua, na kuniamini, na kufahamu ya kuwa mimi hatakuwapo mwingine. 11 Mimi, naam, mimi ni Bwana, zaidi yangu mimi hapana mwokozi 12 Nimetangaza habari, nimeokoa, nimeonyesa, na hapakuwa mungu wa kigeni kati yeni; kwa sababu hiyo ninyi ni mashahidi wangu, asema Bwana, name ni mungu. 13 Naam, tangu siku ya leo, mimi ndiye; wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu; mimi nitatenda kazi, naye ni nani awezaye kuizuia? 14 Bwana, mkombozi wenu, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; kwa ajili yenu nimetuma ujumbe babeli nami nitawashusha wote mfano wa wakimbizi, naam, Wakaldayo, katika merikebu zao walizozifurahia. 15 mimi ni Bwana, Mtakatifu wenu muumba wa Israeli, mfalme wenu. 16 Bwana asema hivi, yeye afanyaye njia katika bahari, na mahali pa kupita katika maji yenye nguvu; 17 atoaye gari na farasi, jeshi la askari na uwezo; wamelala hawataondoka; wametoweka, wamezimwa mfano wa utambi. 18 Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani? 19 Tazama nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani. 20 Wanyama wa kondeni wataniheshimu, mbweha pia na mbuni; kwa sababu nimewapa maji jangwani, na mito nyikani, ili kuwanywesha watu wangu, wateule wangu; 21 Watu wale niliojiumbia nafsi yangu, ili wazitangaze sifa zangu. (RSV)

 

Hapa Yahova alikuwa Elohim wa Israeli, alikuwa Mmoja Mtakatifu na Mwokozi wao.

 

Katika hiki sura tuna ongea kwa njia wa kazi kutoka kwa Baba kwa Mesia kama Elohim mpakiwa na elohim juu ya mwenzake (Zaburi 45:6-7).

 

Katika Isaya 45 tunaona kwa kina na sababu ya kufufua juu wa mpakiwa mmoja kwa sababu ya wokovu kwa Yakobo, Mtumishi wa Mungu, na Israeli. Mchanguliwa wa Mungu (Isaya 45:1-4). Hapa tunaongea kuhusu Baba vile tunavyo ona katika Isaya 45:11ff.

Isaya 45:11-25 Bwana, Mtakatifu wa Israeli, na muumba wake, asema hivi``Niulize habari za mambo yatakayokuja; mambo ya wana wangu, na habari ya kazi ya mikono yangu; haya! Niagizeni. 12 mimi nimeumba dunia, nimemhuluku mwanadamu juu yake; mimi, naam, mikono yangu mimi, imezitanda mbingu, na jeshi lake lote nimeliamuru. 13 Mimi nimemwinua katika haki, name nitazinyosha njia zake zote; ataujenga mji wangu, naye atawaacha huru watu wangu waliohamishwa, si kwa kulipa fedha, wala kwa kupewa zawadi, asema Bwana wa Majeshi. 14 Bwana asemahivi, Kazi ya Misri, na bidhaa ya Kushi, ma waseba, watu walio warefu, watakujilia, nao watakuwa wako; watakufuata; watakuja katika minyororo; wataanguka chini mbele yako, watakuomba, wakisema, Akika Mungu yu ndani yako; wala hapana mwingine, hapana Mungu tena. 15 Hakika wewe u Mungu ajifichaye nafsi yako, Ee Mungu wa Israeli, mwokozi. 16 Watatahayarika, naam, watafadhaika, wote pia; wale wafanyao sanamu wataingia fadhaa pamoja. 17 Bali  Israeli wataokolewa na Bwana kwa wokovu wa milele; nanyi hamtatahayarika,wala kufadha hika ,milele na milele. 18 Maana Bwana, aliyeziumba mbingu, asema hivi; yeye ni Mungu; ndiye aliyeumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ali ikaliwe na watu ; mimi ni Bwana ,wala hapana mwingine . 19 Sikusema kwa siri, katika mahali pa nchi ya giza; sikuwaambia wazao wa Yakobo; Nitafuteni bure; mimi, Bwana, nasema haki; nanena mambo ya adili. 20 Jikusanyeni mje; na kukaribia pamoja, ninyi wa mataifa mliookoka; hawana maarifa wale wachukao mti wa sanamu yao ya kuchonga; wamwombao mungu asiyeweza kuokoa. 21 Hubirini, toeni habari, naam, na wafanye mashauri pamoja; ni nani aliyeonyesha haya tangu zamani za kale? Ni nani aliyeyahubiri hapo zamani? Si mimi, Bwana? Wala hapana Mungu zaidi ya mimi; Mungu mwenye hak, mwokozi; hapana mwingine zaidi ya mimi. 22 Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi nchi zote za Dunia; maana mimi ni Mungu; hapana Mwingine. 23 Kwa nafsi yangu nimeapa, neno hili limetoka kinywani mwangu katika haki, wala halitarudi ya kwamba mbele zangu kila goti litapigwa, kila ulimi utaapa. 24 Mmoja ataniambia, kua Bwana, peke yake, iko haki na nguvu; naam watu watamwendea yeye, na wote aliomkasirika. 25 Katika Bwana wazao wote wa Israeli watapewa haki, na kutukuka’’(RSV).

 

Katika hiki sura tuko na Yahovah wa Utukufu akiongeo kuhusu Kuokoa na kupaka mmoja ambayo atafufua mji ya Israeli sii kwa malipo au sawadi. Hapa ni Mungu kama mwokozi. Lakini Mungu alias sema katika Isaya 19:20 kuwa hata sema kuhusu mpakuliwa mmoja au, mwokozi na, sasa, Kazi ya Mwokozi niya maana. Hapa Mungu alikuwa na tama ya kujua kwa Mwanawake (Isaya 45:11 KJV) au watoto. (RSV)

 

Isaya 45:23 kimeandikiwa katika Warumi 14:11 na Wafilipi 2:10. Paulo kwa wasi alitumia sura hiki kulinganisha Mungu na sio Kristo.

 

Warumi 14:10-12 Lakini wewe je! Mbona wamhukumu ndugu yako? Au wewe je! Mbona wamdharau ndugu yako? Kwa maana sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. 11 Kwa kuwa imeandikwa, “Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu, na kila ulimi utakiri Mungu’’. 12 Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu. (RSV)

 

Hii ni maeleso ya Paulo katika Filipi jinsi lime nenwa na Mesia baada ya vuka kifo chake na kufufuka kupitia unyenyekefu lake (cf Warumi 1:4).

 

Wafilipi 2:5-11 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; 6 ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; 7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwa namna ya Mtumwa, akawa ana mfano wa binadamu; 8 tena alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba. 9 Kwa hiyo tena mUngu alimwadhimisha mno, akamkirimia jina lile lipitalo kila jina; 10 ili kwa jina la yesu kila goti lipigwe, na vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; 11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba. (RSV)

 

Hapo kuelewa ulipatikana kwa Paulo kuwa kama mtumwa wa Baba kwa Mesia kwa Utukufu Mkuu wa Mungu Baba. Kuna Umoja au modalisti kuizi kwa Mungu na nijia wa nguvu na jukumu kupitia unyenyekefu. Kristo alikuwa katika njia hiyo wa Mungu lakini akushikamana kuwa sawa na Mungu kama vile Shetani alifanya (Isaya 14:14; Ezekieli 28:14-18).

 

Katika Isaya 49 tunapata kuwa Mesia alitajwa kama Yule umo tumboni na kutengeswa na mdomo kama Upanga ya bande mbili.

Isaya 49:1-6 Nisi kilizeni, enyi visiwa; tegeni masikio yenu, enyi kabila za watu mlio mbali sana; Bwana ameniita tangu tumboni; toka tumbo la mama yangu amenitaja na jina langu. 2 Naye anifanya kinywa change kuwa kama upanga mkali; katika kivuli cha mkono wake amenisitiri; naye amenifanya kuwa mshale uliosuguliwa; katika podo lake amenificha; 3 akaniambia; Wewe u mtumishi wangu, Israeli, ambaye katika wewe nitatukuzwa. 4 Lakini nikasema, Nimejitaabisha bure, nimetumia nguvu zangu bure bila faida; lakini hakika hukumu yangu ina Bwana, na thawaba yangu ina Mungu wangu. 5 Na sasa Bwana asema hivi, yeye aliyeniumba tangu tumboni niwe mtumishi wake, ili nimletee Yakobo tena, na Israeli wakusanyike mbele zake tena; (maana mimi nimepata heshima mbele ya macho ya Bwana, na Mungu wangu amekuwa nguvu zangu); 6 naam, asema hivi, ni neno dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu ili kuziinua kabila za Yakobo, na kuwarejeza watu wa Israeli waliohifadhiwa; zaidi ya hayo nitakutoa uwe nuru ya mataifa, upate kuwa wokovu wangu hata miisho ya Dunia’’(RSV).

 

Hapa, Mesia alipewa nuru kwa ulimwengu ili wokovu wa Mungu ufikie hadi mwisho wa dunia. Hapa nitaona kwamba ni kupitia Israeli ndiyo wokovu ina sambaswa. Kuwa, Mesia ilikuwa Israeli na, Kuwa kanisa ili semwa awali kama Mwili wa Kristo na kama mwili wa Israeli na njia moja ya wokovu ni Yesu Kristo.

 

Mungu alisaona mfalme atainuka juu sujudu mtu ambayo ni mkuu, mtumishi ya Watawala.

Isaya 49:7-13 Bwana mkombozi wa Israeli, Mtakatifu wake, amwambia hivi yeye anayedharauliwana wanadamu; yeye anayechukiwa na taifa hili; yeye aliye mtumishi wao watawalao; Wafalme wataona, watasimama; wakuu nao watasujudu; kwa sababu ya Bwana aliye mwaminifu, Mtakatifu wa Israeli aliyekuchagua. 8 Bwana asema hivi, wakati aliokubalika nimekujibu, na siku ya wokovu nimekusaidia; name nitakuhifadhi, nitakutoa uwe agano la watu hawa, ili kuiinua nchi hii, na kuwarithisha urithi uliokuwa ukiwa; 9 Kuwaambia waliofungwa, Haya, tokeni; na hao walio katika giza, Jionyesheni. Watajilisha katika njia; na juu ya majabali watapata malisho. 10 Hawataona njaa, wala hawataona kiu; hari haitawapiga, wala jua; kwa maana yeye aliyewarehemu atawatangulia, naam karibu na chemchemi za maji atawaongoza. 11 Nami nitafanya milima yangu yote kuwa njia, na njia kuu zangu zitatukuzwa zote. 12 Tazama, hawa kutoka mbali; na tazama, hawa kutoka kaskazini, na kutoka magharibi, na hawa kutoka nchi ya Sinimu. 13 Imbeni, enyi mbingu; ufurahi, Ee nchi; pazeni sauti ya kuimba, enyi milima; kwa kuwa Bwana amewafariji watu wake, naye atawahurumia watu wake walioteswa. (RSV)

 

Hii Mesia alikuwa anateswa na kusulupiwa, lakini Mungu aliminua na alikuwa chombo cha Mungu ya wokovu wa Mchi.Alikuwa Mungu mmoja mtakatifu. Mungu alisema Sayuni atasema Yahovah ametuacha na kutuzahau. Mungu alisema ataokoa Israeli.

 

Isaya 49:22-26 Bwana Mungu asema hivi, Tazama, nitawainulia mataifa mkono wangu, na kuwatwekea kabila za watu bendera yangu; nao wataleta wana wako vifuani mwao, na binti zako watachukuliwa mabegani mwao. 23 Na wafalme watakuwa baba zako za kulea, na malkia zao mama zako za kulea; watainama mbele yako kifudifudi, na kuramba mavumbi ya miguu yako; nawe utajua ya kuwa mimi ni Bwana, tena waningojeao hawatatahayarika. 24 Je! Aliye hodari aweza kunyang’anywa mateka yake, au jeshi lao waliofungwa halali wataokoka? 25 Naam, Bwana asema hivi, hata jeshi la wafungwa wake aliye hodari watapokonywa mikononi mwake, na mateka yake aliye jabari wataokoka; kwa maana nitateta nay eye atetaye nawe name nitawaletea wana wako wokovu. 26 Na hao wanaokuonea nitawalisha nyama yao wenyewe, nao watalewa kwa kuinywa damu yao wenyewe, kama kwa mvinyo mpya; na wote wenye mwili watajua ya kuwa mimi, Bwana, ni mwokozi wako, na mkombozi wako ni Mwenye enzi wa Yakobo’’. (RSV)

 

Hii Mesia alipewa na Mungu kama mwokozi kujenga agano wa Mungu kama mwokozi na kwa nafsi ya Mungu. Isaya aliongea kama ya kubebea kwa siku za mwisho na kuja kwa Mesia kwa Mlima Sayuni.Kwa saa hii hakuna amani. Haki na Ukweli kumeangukia udogo na Waamusi kumengeuzwa juu chini (Isaya 59:1-14). Bwana aliona haya na kua kulikuwa na ushiano na matendo.

Isaya 59:15-21 Naam, Kweli imepunguka kabisa, nay eye auachaye uovu ajifanya kuwa mateka; naye Bwana akaona hayo, akachukizwa kwa kuwa hapana hukumu ya haki. 16 Akaona ya kuwa hapana mtu, akastaajabu kwa kuwa hapana mwombezi; basi mkono wake mwenyewe ndio uliomletea wokovu; na haki yake ndiyo aliyomsaidia. 17 akajivika haki kama deraya kifuani, na chapeo cha wokovu kichwani pake, akijivika mavazi ya kisasi yawe mavazi yake, naye alivikwa wivu kama joho. 18 Kadiri ya matendo yao, kwa kadiri iyo hiyo atawalipa, ukali kwao wampingao, malipo kwa adui zake; naye atavirudishia visiwa malipo. 19 Basi, wataliogopa jina la Bwana toka magharibi, na utukufu wake toka maawio ya jua; maana yeye atakuja kama mkondo wa mto ufurikao, uendeshwao kwa pumzi ya Bwana. 20 Na mkombozi atakuja sayuni, kwao waachao maasi yao katika Yakobo, asema Bwana. 21 Tena katika habari zangu, hili ndilo agano langu nao, asema Bwana; roho yangu iliyo juu yako, na maneno yangu niliyoyatia wana wako, wala kinywani mwa wajukuu wako, asema Bwana, tangu leo na hata Milele.’’ (RSV)

 

Kristo alitumwa na Mungu katika ulinsi na saa yake. Hiki ulewano kina patikana katika Isaya 60:1-7.

Isaya 60:1-7 Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, na Utukufu wa Bwana umekuzukia. 2 Maana, tazama, giza litazifunika kabila za watu; bali Bwana atakuzukia wewe, na utukufu wake utaonekana juu yako. 3 Na mataifa wataijilia nuru yako, na wafalme kuujia mwanga wa kuzuka kwako. 4 Inua macho yako, utazame pande zote; wote wanakusanyana; wanakujia wewe; Wana wako watakuja kutoka mbali, na binti zako watabebwa nyongani. 5 Ndipo utakapoona na kutiwa nuru, na moyo wako utatetemeka; kwa kuwa wingi wa bahari utageuzwa kukujia, utajiri wa mataifa utakuwasilia. 6 Wingi wa ngamia utakufunika, Ngamia vijana wa Midiani na Efa; wote watakuja kutoka Sheba wataleta dhahabu na uvumba; na kuzitangaza sifa za Bwana. 7 Makundi yote ya Kedari yatakusanyika kwako, kondoo waume wa Nebayothi watakutumikia; watapanda juu ya madhabahu yangu kwa kibali, name nitaitukuza nyumba ya utukufu wangu (RSV).

 

Huu Mmoja Mtakatifu wa Israeli utukuza Israeli katika jina la Mungu. Hiki ni ulewano wa Isaya 8-22, Yerusalemu litajengwa kama mchi kuu baada ya muda na mateso.

Isaya 60:15-22 Na kwa kuwa ameachwa na kuchukiwa, hata ikawa hapana mtu aliyepita ndani yako, nitakufanya kuwa fahari ya milele, Furaha ya vizazi vingi. 16 Utanyonya maziwa ya mataifa utanyonya matiti ya wafalme; nawe utajua ya kuwa mimi, Bwana, ni mwokozi wako, na mkombozi wako, mwenye enzi wa Yakobo, 17 Badala ya shaba nitaleta dhahabu, na badala ya chuma nitaleta fedha, na badala ya mti, shaba, na badala yam awe, chuma; tena nitawafanya wasimamizi wako wawe amani, na hao wakutozao fedha kuwa haki. 18 Jeuri haitasikiwa tena katika nchi yako, ukiwa na uharibifu hazitakuwa mipakani mwako; na malango yako, Sifa. 19 Jua halitakuwa nuru yako tena wakati wa mchana, wala mwezi hautakupa nuru kwa mwangaza wake; bali Bwana atakuwa nuru ya milele kwako, na Mungu wako atakuwa utukufu wako. 20 Jua lako halitashuka tena, wala mwezi wako hautajitenga; kwa kuwa Bwana mwenyewe atakuwa nuru yako ya milele; na siku za kuomboleza kwako zitakoma. 21 Watu wako nao watakuwa wenye haki wote, nao watairithi nchi milele; chipukizi nililolipanda mimi mwenyewe, kazi ya mikono yangu mwenyewe ili mimi nitukuzwe. 22 Mdogo atakuwa Elfu, na mnyonge atakuwa taifa hodari; mimi, Bwana, nitayahimiza hayo wakti wake. (RSV)

 

Kutoka hapa tuna chukuliwa kuenda mbele kwa wokovu katika Isaya 61:1-11.

Isaya 61:1-11 Roho ya Bwana Mungu I juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta, nawahubiri wnyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao. 2 Kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, nasiku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao; 3 kuwaagizia hao waliao katika sayuni, wapewe taji ya maua badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, vazi la sifa badala ya roho nzito; wapate kuitwa miti ya haki, iliyoharibiwa, watapainua mahali palipoachwa kizazi baada ya kizazi. 5 Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wa kabila nyingine watakuwa wakulima wenu, na watunzaji wa mizabibu yenu. 6 Bali ninyi mtaitwa makuhani wa Bwana; watu watawaiteni wahudumu wa Mungu wetu; mtakula utajiri wa mataifa, na kujisifia utukufu wao. 7 Badala ya aibu yenu mtapata maradufu, na badala ya fedheha wataifurahia sehemu yao; basi katika nchi yao watamiliki maradufu; furaha yao itakuwa ya milele. 8 Maana mimi, Bwana naipenda hukumu ya haki, nauchulia wivi na uovu; name nitawalipa malipo katika kweli nitaagana nao agano la milele. 9 Na kizazi chao kitajulikana katika mataifa, na uzao wao katika kabila za watu; wote wawaonao watakiri ya kuwa wao ni kizazi kilichobarikiwa na Bwana. 10 Nitafurahi sana katika Bwana, nafsi yangu itashangilia katika Mungu wangu; maana amenivika mavazi ya wokovu, amenifunika vazi la haki, kama bwana arusi ajipambavyo kwa kilemba cha maua, na kama bibi arusi ajipambavyo kwa vyombo vya dhahabu. 11 Maana kama nchi itoavyo machipuko yake, na kama bustani ioteshavyo vitu vilivyopandwa ndani yake; ndivyo Bwana Mungu atakavyootesha haki na sifa mbele ya mataifa yote. (RSV)  

 

Kristo alisema Kuhusu Isaya 61:1-2 anakukoma kwa muda katika sura la 2 kwa msingi wa Kutangaza mwaka wa Bwana Ulikubaliwa.  Sehemu zingine ya sura Na siku ya Kisasi cha Mungu ilikuwa onyo la pili na msingi ilo aija fikiwa na aita fikiwa bado kwa miaka elfu Mbili (Au Jubilee Haruba nne). Hata Hivyo Kristo alikuwa anaonyesa kutokea (Luka 4:18-19) Kuwa yeye ni Mesia ambayo alikuwa na kazi ya Hukombozi wa Israeli aliyetumiwa na Mungu kuongea katika Roho au Adonai Yahovah kukomboa.

 

Hapa, tunaonekana kama walio funikwa na vasi la wokofu na nguo la utakatifu kama bwana arusi anavyo jivalia na kama Bibi arusi anavyo jiandaa. Huu, Mesia ni Mwokozi kama Bwana arusi wa Israeli na aliechanguliwa kama bibi arusi kutakaswa na Mungu kuwa aliyechanguliw ana Familia ya Mungu kama Mwana wa Mungu.Ambayo hata tawala kutoka Yerusalemu Ambao ni Mtakatifu (Isaya 62:1-12). Kutoka msingi huu tunakuwa watu watakatifu, waliokombolewa wa Bwana (Isaya 62:11-12). Hii ndio ulewano wa muda kuchanguliwa na Hukuwani na taifa la Mfalme na tuta tawala Ulimwengu (Ufunuo 5:10).

 

Huu, Tunaona kwamba Mungu ndiye Mwokozi wetu wote. Hali takaza Mesia kama mjakazi wake na Mesia huu Mwokosi kwa ulinsi mtawala na jukumu limewekewa jina Lake. Katika njia hii, Maria (au Mariamu) hakuwe na furaha kwa Mungu mwokozii wake kama hata helewa kuwa hatapata Mesia (Luka 1:47ff.). Ilikuwa kwa ulewano huu ndio fikira ya kutoelewa Mwokosi ulitumiwa kwa Mesia katika Luka 2:11.

 

Luka 2:11 maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, diye Kristo Bwana (RSV)

 

Aku na nakala yeyote ambayo liko na neno Soter (SHD 4990). Iki neno ni kawaida na kutumiwa kila mara katika unakili SHD 3467 yasha’Kumanisha kufunguliwa bana au wa bure–hivyo, liolindwa au kwa bure au kipekee.

 

Huu Mwokozi ulisubiriwa na Wa Samaritani kumujua kuwa huyo ni Yesu Kristo Yohana 4:42).

 

Petro na Watume kueleza tabia ya Kristo kama Mwokozi.

 

Mitume 5:30-32 Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu, mbaye ninyi mlimwua, kimtundika katika mti.31 Mtu huyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli toba na msamaha wa dhambi. 32 Na sisi tu mashahidi wa mambo haya, amoja na Roho Mtakatifu ambaye Mungu amewapa wote wamtiio’’. RSV)

 

Mungu alielewekwa kama amletaye kwa Israeli. Huu, Mesia alikuwa Mwokozi na Jukumu ya kipekee.

 

Mitume 13:22-23 Na alipokwisha kumwondoa huyo, akamwinua Daudi, mwana wa Yese, mtu anayeupendeza moyo wangu, atakayefanya mapenzi yangu yote. 23 Katika uzao wake mtu huyo Mungu amewaletea Israeli Mwokozi, yaani, Yesu, kama alivyoahidi. (RSV)

 

Mungu alichangua Kristo kama Mwokozi. Hivyo, hakuna swali ya kudumu wa dhabiu wa Yesu Kristo kama Mwokozi wetu.

 

Huusiano hii wa Mwokozi kuokowa ni kati ya juhudi ya Mungu.

 

Waefeso 5:23 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni Mwokozi wa mwili. ( RSV)

 

Mungu ni sehemu ya Kristo kama yeye ni sehemu yetu. ungu ni mwokozi wetu kama Kristo kwa sababu wako kati yetu na sisi pia hivyo. Utajiri yetu wakawaida ya mbinguni kama sehemu ya familia ya Mungu kama wana wa Mungu na pamoja na Kristo na utukufu wa mbingu.

 

Wafilipi 3:20 Kwa maana sisi, enyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo. (RSV)

 

Hapa tena, tuna pata nakala kutumiwa ili Mungu na sio Kristo kama wenyeji na kuwa Kristo kufanya kulingana na Baba ambao alimtuma .Hii ndiyo ulewano katika Ayubu 33:23-24.

Ayubu 33:23-24 Kwamba akiwapo malaika pamoja naye, Mkalimani, mmoja katika elfu, Ili kumwonyesha binadamu hayo yampasayo; 24 Ndipo amwoneapo rehema, na kusema, Mwokoe asishuke shimoni; Mimi nimeuona ukombozi. (RSV)

 

Neno Mtumwa na hiyo ni ulewano kwenye neno ulitumiwa kuwa wana wa Mungu.

 

Tunaweza kuona ulewano huo wa Paulo ambao tunaoona kwa Timotheo na tena kwa mtume Tito.

 

Paulo tena kulinganisha Mungu Mwokozi kwa Tito 1:3. Kristo kulinganishwa kama Mwokozi kwa sura la 4.

 

Tito 1:3-4 Akalifunua neno lake kwa majira yake katika ule ujumbe niliowekewa amana mimi kwa amri ya Mwokozi wetu Mung; 4 kwa Tito, mwanangu hasa katika imani tuishirikiyo. Neema na iwe kwako na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo yesu Mwokozi wetu. (RSV)

 

Utumani wa kila mara inaweza kuonekana juu na haiwezi kuleta kutoelewana ama kutokubaliwa wa Umoja wa Mungu.

 

Hii sura limerudiwa katika Tito 2:10-13.

 

Tito 2:10-13 wasiwe waibaji; bali wauonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote. 11 Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; 12 nayo yatufundisha kukataa ubaya na tama za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa; 13  tukilitazamia tumaini lenye  Baraka  na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na mwokozi wetu, (RSV)

 

Hapa, Kristo awajatumia kama Mwokozi lakini uonekana kama Mungu mkuu na Mwokozi. Huu, Neno Yesu Kristo hapa uonekana na sio kwa Mungu per se. utoka neno amri kwa Wagiriki, natumiwa kua Kristo hapa inamaanisha kama Mungu na Mwokozi kama sio hivyo na uonekana kwa Utukufu wa Mungu liko hapa kupewa Kristo kama Kionyesho lake katika Cherubini (Tazama Karatasi The Ark of The Covenant (No. 196)).

 

Ulewano wa Tito 1:3-4 kimerudiwa kwa Tito 3:4-6.

Tito 3:4-6 Lakini wema wake Mwokozi wetu Mungu, na upendo wake kwa wanadamu, ulipofunuliwa, alituokoa; 5 si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyotenda sisi; bali kwa  rehema yake,kwa kuoshwa kwa kuzaliwa kwa pili na kufanywa upya na Roho Mtakatifu; 6 ambaye alitumwagia kwa wingi, kwa njia ya Yesu Kristo Mwokozi wetu, (RSV)

 

Hapa bado tunaona njia ya kufanya kazi liki tumiwa na Manabii na kawaida utumiwa na Paulo kueleza uziano.

 

Huu, Tunaweza kuelewa kutoka agano la Kale la wanabii na kila mara utumiwa kwa kuonyesa Mungu na Yesu Kristo. Mungu ni Mwokozi wetu unakuwa yote kwa wote. Huu tunaweza kuwa na Mungu moja na Baba wetu wote.

 

Waefeso 4:6 Mungu mmoja ,naye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote. (RSV)    

 

q