Makanisa Ya Kikristo ya Mungu

[199]

 

 

 

Makanisa Ya Wakristo Wa Mungu

 

(Toleo 1.1 19970510-19990526)

 

Mafundisho kwenye mlango wa 15 katika kitabu cha Luka yana maana mengi ambayo hayakubaliki miongoni mwa wengi. Wengi wanatumia hadithi ya mwana mpotevu kutofautisha wakristo lakini wengi wao hawaelewi kipengele muhimu na maana fiche ulioko baina ya hadithi hizo. Vile vile wengi hawaelewi ulioko baina ya hadithi hizo na kuwa kuna hadithi moja inayosimamia hadithi hizo zote, ambayo yenyewe ni kufunguo na kinapatikana kwenye kitabu cha Luka.

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

Email: secretary@ccg.org

 

(Copyright ã  1997, 1999 Wade Cox)

(Tr. 2008)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


Makanisa Ya Wakristo Wa Mungu



Kondoo alioyopotea na mwana Mpotevu kitabu cha Luka 15 kimelengwa moja kwa moja ili kufafanua kipengele cha dhambi na kutubu kwa watu wa tabaka mbali tofauti, watenda dhambi ba walionufaika kutokana na wenye dhambi. Pia kulikuwa na tabaka la tatu ambalo lilikuwa kama Wafarisayo na kwa hivyo kulikuwepo wenye dhambi na wasafi kiroho.

 

Mafunzo ya Yesu kwenye Luka imegawanywa katika vikundi vitatu. Awamu ya kwanza ni hadithi ya mwana kondoo aliyepotea; awamu ya pili ni ya mwanamke ailiyepoteza shaba; na awamu ya tatu ni hadithi ya mwana Mpotevu. Kila hadithi inachangia katika kiwango Fulani kwa kuundwa kwa moja muhimu, ambayo inaeleza upendo, rehema na huruma ya mwenyezi Mungu.

 

Awamu ya kwanza ya mwanakondoo mpotevu inaeleweka kwa uraisi mno. Milango sita ya kwanza yaungana kwenye umati kama vile umma na wenye dhambi, kwa kumtafuta mwanakondoo aliyepotea humfanywa na mchangaji. Wenye roho safi na wafarisayo malinungunika kupinga jambo hilo. Kwa sababu hawakujua kuwa inahitajika kuwapotea na hata kula na wenye dhambi. Kristo aliwahutubia wasafi kiroho kwenye mstasari wa 7 kama “nyinyi” ambao anawahutubia.

 

Hoja kwenye mstasari wa 7 yainua akili kutoka kwenye mwili hadi kwenye hisia na mazingira ya binguni patakatifu na ni miundo msingi wa harakati za kukidhi mahitaji ya wenye dhambi na kuwaokoa kutoka dhambini. Kipengele muhimu kinadhihishwa hapa kama kutubu dhambi. Tunavyoenda kuona, inahisiana na hadithi zote tatu kama shida kuu kwenye kipengele hicho.

 

Lika 15:1-7 Basi watoza ushuru wote na wenye dhambi walikuwa wakimkaribia ili wamsilize. 2 Mfarisayo na waandishi wakanungunika, wakisema, mtu huyu huwakaribisha wenye dhambi ba kula nao. 3 Akawaambia mfano huu, akisema, 4 Ni nani kwenu mwenye kondoo mia, akipotewa na mmoja wao, asiyewaacha wale tisini na tisa nyikani, aende akamtafute yule aliyepotea hata mwone? 5 Naye akiisha kumwuna, humweka mabegani pake akifurahi. 6 Na afikapo nyumbani kwake kuhaita rafiki zake na jirani zake akwaambia, furaheni pamoja nami kwa kuwa nimekwisha mpata kondoo wangu aliyepotea. 7 Nawaambia, vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye kuliko, kwa ajili ya wenye haki tisini na tisa ambao hawana haja ya kutubu.

 

Shida ilioko hapa ni kuwa kila mwanadamu ni mwenye dhambi na amekosa kumheshimu Mungu kikamilifu na hawakatambua hayo. Hata Paulo baada ya kubadiliak, bado alijaribu kusisitiza kuwa hakukiuka sheria (Phil. 3:6). Hii ilikuwa tatizo kuu kwenye kitengo cha wafarisayo na wafuasi wao.

 

Twaona kwenye hoja la kibingu kuwa kuokolewa kwa wafuasi na wahusika iko katika hatari ya kitofaulu na wokuvu umefunguliwa kwenye hadithi hizi, lakini haieleweki wala kutambuliwa kwa sababu namna wanayoitumia wakristo duniani kuita zama hoja hii na kuelewa sheria za dini zinazohusu ulamuzi na ufufuzi.

 

Mtu katika kitengo cha kwanza kila mara aonekana kama kristo akitafuta mwana kondoo alieyepotea. Ili kufanya hivyo anambidi kuwaacha wale tisini na tisa nyumbani na kwenda kuntafuta mmoja. Anafanya hivi hadi ampate. Kazi hii ya kutafuta ni sawa na ile mwanamke kuanzia mstari wa 8 kuendelea. Twaona hapa kuwa hatakati ya kumtafuta mwanakondoo aliyepotea inamhusu pia mwenyewe, kiasi cha kwamba mchungaji alizimishwa kuishi nyikani. Ni pale ambapo wale kondoo tisini na tisa hula. Kwa njia huru na kwa hivyo haina rotuba nyingi. Kazi ya kutafuta yaendelea hadi kondoo huyo anapopatikana. Kahuna chochote kinachoachwa kupotea. Hili afanyiko kote miongoni mwa wenye kondoo. Anapopatikana mwanakondoo kuna shwangwe pamoja na mesia, ambaye huja nyumbani na mwanakondoo na kuungana na rafiki na jirani zake kusherehekea. Lengo la mabadiliko konachamhusu mwana mpotevu, na inapanuka zaidi ya matarajio ya kawaida ya wengi.

 

Luka 15:8-10 yatuzamisha zaidi kwenye kitengo hiki cha mwanamke atafutaye mali yake. Hapa teaangazia roho mtakatifu inayoashiriwa na mwanamke, ambaye anasafisha nyumba ili kupata mali yake kikamilifu.

 

Luka 15:8-10 Au kuna mwanamke gain mwenye shilingi kumi, akipoteza na moja asiyewasha taa na kufagia nyumba na kutafuta kwa bidii hata aione? 9 Na akiisha kuiona, huwaita rafiki zake na jirani zake, akausaambia furahani pamoja nani, kwa kuwa nimeipata shilingi ile iliyonipotea. 10 Nawaambia, vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye.

 

Kitengo hiki kinachohusu roho kinaonyesha jinsi nyumba inafagiliwa na kupangwa vizuri, ili mali hiyo yenye dhamani kubwa ipatikane na kuhitadhiwa tena. Kitengo hiki cha hadithi, ambacho chapatikana kwenye kitabu cha Luka peke yake, chatumia mistari ya 8 na 9, kuzu hoja ambayo ianzungumzwa. Msamiati mwingine unapatikana kwenye kitabu cha (Mathayo 26:15; 27:3,5,9; Matendo ya Mitume 19:19).

 

Mali kwenye mlango wa 8 na 9 wa Luka 15 ina dhamani ndogo lakini inaokekana kuwa na uhusiano wa hundaji wa ule kwenye Mathayo 17:24.

 

Kutumiwa kwa vipande kumi vya shaba haikubahatishwa. Inaonekana kuwa kuna hadithi yenye uhusiano na mkuu aliyeangushwa na kubadilishwa. Thamani ya Kristo ilikuwa ile ya mtumishi na vipande thelathini vya shaba. Kila kikundi kwenye baraza la elihum kilipata kipande chake cha shaba, tunavyoweza kuona kwenye kitabu cha Ufunuo 4 na 5. Walijunuishwa na wakuu ishirini na wane wa baraza pamoja na mwanakondoo vichwani vyao na viumbe wane vyene uhai pamoja ba Mungu Mkuu kabisa. Haya yote yalikuwa thelathini kwa idadi. Kristo alisema kuwa mkuu wa tatu alikuwa tayari ashaanguka pamoja na shetani kwenye mapinduzi. Huenda hoja hii inawasilisha kumi kama thuluthi ya thelathini. Lengo hasa hapa ni kuwa ni lazima roho mtakatifu kuhakikisha kuwa nyumba imesafishwa ili kupata tena vipande vilivyopetea.

 

Jumbe huu unaonekana kuwa ulieleweka kwa kutokana na ilivyodhaniwa na kanisa la awali kuwa kakuu Fulani walionguka walisimamia miji mikuu na nchi, walitubu, na kukubali kuwa makanisa yajengwe kwenye maeneo yao.

 

Sasa tunaangazia sehemu ya tatu ya “mwana mpotevu”. Kwenye sehemu hii, mume ameangaziwa kama baba ya wana wawili wa kiume. Semu hii inafafanua mume ambaye ni Mungu baba. Taswira kwenye sehemu hii imepunguzwa hadi kwenye hulka za kilimwengu za viongozi wakuu, kama vile Kristo na shetani. Mahali hapo ambapo I mbali sana ni katika nyika ya dhambi na mahali pa usafiri na penye mali na alikotupwa shetani baada ya kutungiwa mlango wa rehema (Angalia Isaya 14:12-19 Ezekieli 28:12-19). Hebu tuangalie sasa ujumbe huu kutokana na mtazamo wetu kwa Mungu ana mwana mtiifu, na mwana mpotevu, kasha uangalie kwa maakini baba ya wana hawa anavyokumbana na mwenye sherehe, wanapotubu. Hatutarajii hisia kama hii, au kile ambacho twaweza kufanya tukio kama hili linapojitokeza.

 

Luka 15:11-32  Asema, mtu mmjo alikuwa na wana wawili; 12 Yule mdogo akamwambia babake, Baba nipe sehemu ya mali inayoingukia. Akamgawia vitu vyake. 13 Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyake vyote na kusafiri kwenda nchi ya mbali, akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati. 14 Alipokuwa amekwisha tumia vyote njaa kuu iliingia nchi ile, yeye naye akahitaji. 15 Akaenda akashikamana na mwenyeji mmjoa wan chi ile; naye alimpeleka shambani kwake kulisha nguruwe. 16 Akawa akatamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu. 17 Alipozingatia moyoni mwake alisema, ni watumisha wangapi wa babangu wanaokula chakula na kushiba, na mimi hapa ninakufa kwa njaa.18 Nitaondoka, nitakwenda kwa babangu na kumwambia, Baba nimekosa kwa babangu na mbele yako; 19 sistahili kuitwa mwanako tena; nifanye kama mmoja wa watumishi wako. 20 Akaondoka akaenda kwa babaye. Alipokuwa angali mbali, babake alimwana, akwamwonea huruma, akaenda bio akamwangukia shingoni, akwabusu sana. 21 Yule mwana akwamwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako, sistahili kuitwa mwanako tena. 22 Lakini baba aliwaambia watumwa wake, leteni upesi vazi lililo bora, mkamvike; mtieni nap eke mkononi na viatu miguuni; 23 Mleteni ndanma yule aliyenona mkamchinje; nasi tule na kufurahi; 24 kwa kuwa huyu mwanangu alikufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana. Wakaanza kushangilia. 25 Basi, naye mwanawe mkubwa alikuwako shambani na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, alisikia sauti ya nyimbo na michezo. 26 Akaita mtumishi mmoja, akamuuliza, mambo haya, maana yake nini? 27 Akamwambia, ndugu yako amekuja, na baba yako amemchinjia ndama aliyenona, kwa sababu amepata tena yu mzima. 28 Akakasirika akakataa kuingia ndani. Basi babaye alitoka nje na kumsihi. 29 Akamjibu babake akasema, tazama, mimi nimekutumikia miaka mingapi hii, wala sijakosa amri yako wakati wowote, lakini hujanipa mimi mwanambuzi, nifanye furahi na rafiki zangu; 30 Lakini alipokuja huyu mwanako aliyekula vitu vyake pamoja na mahahaba, umemchinjia yeye ndama aliyenona. 31 Amwambia, mwanangu wewe u nami siku-zote na vyote nilivyonavyo ni vyako. 32 Tena kufanya furaha na shangwe ilipasa, kwa kuwa huyu ndugu, yako alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea naye amepatikana.

 

Tuangalie sasa tukio hili. Mwna wa pili hakuwa tayari kwa vyovyote vile kustahimili kupuuzwa. Kwa kuchukuwa umbo la Mungu alitaka usawa na Mungu. Kristo ambaye alikuwa mwana mkubwa wa Mungu kahutaka kumiliki usawa huu (Tazama Isaya 14:12-19, Ezekieli 28:12-19 na Wafilipi 2:5-8)

 

Ezekieli 28:12-19 Mwanadamu, umfanyie manmbolezo mfalme wa Tiro, umwambie, Bwana MUNGU asema hivi; wewa wakita muhuri kipimo, umejaa hekima, na ukamilifu wa uzuri. 13 Ulikuwa ndani ya Adeni, bustani ya Mungu. kuumbwa kwako zilitengezwa tayari. 14 Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afanikaye; nami nilikuweka hata ukawa juu ya mlima mtakatifu Mungu, umetembea, huko na hook kati yam awe na moto. 15 Ulikuwa mkamilifu kati ya njia zako tangu siku ile ulipoumbwa hata uovu ulipoonekana ndani yako. 16 Kwa wingi wa uchuuzi wako watu walikujaza udhalimu ndabi yako, nawe umetenda dhambi, kwa sababu hiyo nimekutoa jwa nguvu katika mlima wa Mungu, kama kitu kilichona usi; nami nimekuangamiza. Ewe kerubi ufunikaye, utoke katika mawe hayo ya moto. 17 Moyo wako uliinuka kwa sababu ya uzuri wako; uneiharibu hekima yako kwa sababu ya mwangaza wako; nimekutupa chini, nimekulaza mbele ya Wafalme, wapate kukutazama. 18 Kwa wingi wa maovu yako, katika wingi wa maovu yako, katika uovu wa uchuuzi wako, katika wingi wa maovu yako, umepatia unajisi patakatifu pako; basi nimetokeza moto kutoka ndani yako, nao umekuteketeza, nami nimekufanya kuwa majivu juu ya nchi, machoni pa watu wote wakutazamao. 19 Wote wakujuao kati ya kabila za watu watakustaajabia; umekuwa kitu cha kutisha, wala hutakuwepo tena milele.

 

Shuteni atatolewa na kubadilisha asikuwepo milele. Basi kuna mkondo utakaoftwa katika kubadilisha ili kukabiliana nao, na vile vile siku ya hukumu. Taz. Kuhumu kwa mashetani (Nambari 80)

 

Kristo alibakia kuwa hima na mnyenyekevu na kupatikana kila mara karibu na Mungu. Tulishaoana kwenye sehemu ya kwanza, kuwa alilazimika kuondoka ile ampate kondoo alieypotea. Hii ilikuwa tu mfano wa kujitolea mhanga. Kwa hivyo, mtu hawezi kusoma kuhusu mafundisho matatu ya Yesu kwa ubaguzi, jinzi watu wanavyojaribu kufanya. Kepengele hiki katika kitabu cha Luka ni kakamilifu hadi mashetani walipopopewa fursa ya kutosha ili watubu.

 

Wakilifi 2:5-11 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; ambaye yeye mwanzo alikuwa yana namna ya Mungu naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu ni kifu cha kumshirikiana nacho; 7 Bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa mawadamu, 8 tena, alipoonekana ana umbo kama mwadamu alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam mauti ya msalaba. 9 Kwa hivyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia jina hilo lipitalo kila jina; 10 ili kwa jina la Yesu, kila goti lipigwe, la vitu vya mbigungi, na vya duniani, na vya chini ya nchi; 11 na kila ilimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA kwa utukufu wa Mungu Baba.

 

Twaona kwenye Luka 15:13 kuwa siku chage baada ya shetani kupewa utawala na mali, alienda kwenye nchi ya mbali na kufuja mali yali viume potovu. Bila shaka huu ndio unumbe ulioko kwenye kitabu cha Ezekieli na Isaya. Katika hadithi kamilifu alichukua theluthi ya ufalme na kutoroka naye (Ufunuo 12:4)

 

Matumizi ya neno kifaa au mali ni ousia (SGD 3776). Neno hili limetolewa kwenye SGD 5607 ausa kimaanisha kiumbe limetumika hapa pekee kwenye Luka 15. Kwa hivyo unapomaanisha mali au kifaa imetolewa kwenye kuwepo, au kuwa nayo. Neno hili limechukuliwa kama bidhaa kwenye Luka 15:12, lakini ndio wakati wa pekee ambapo neno hili laonekana jinsi hiyo, kwa vile ndio wakati wa pekee neno hili lachukuliwa kama kifaa. Msamiati huu ausia siyo ala peke yake wanavyo itumia wakalimani wa agano jipya. Matumizi yake yatokana na kufwatwa nyayo za wafungulizi wa wanadamu na imetokana na hoja ya kuwepo kusa wanadamu. Ina uhusiano wa moja kwa moja na utukufu wa Mungu, na iliwali kutumiwa na kanisa la wa Kristo Kumaanisha umoja kwenye utukufu wa Mungu. Ni  kweli kuusu misamiati hiyo miwili ya maanisha kitu kimoja yote yamaanisha ukweli wa uwepo au hoja ya uwepo ambayo ni kitu (Tazama J. Kelly Early Christian Doctrines, Herper and Roul 1978, PP. 129, 140ff). Mwandishi Kelly kwenye kazi yake afafanua maendeleo ya Mungu kutoka Rumi na magharibi hadi kwenye mkondo huu, na vilevile inafafanua kutofaulu kwenye maeneo Fulani katika hali hii. (Tazama ibid, PP 129, 140-142, 158-159, 233-234, 247-250, 253-254, 264-268).

 

Watu Fulani walijaribu kuhujumu somo la dini, ambapo walifundisha kuwa kufuata mitazamo ya wairena (Adv. Her. 2-16.5) kuwa Kristo ni umoja wa vifaa viwili (Kelly, PP. 142)

 

http://www.ccg.org/english/s/p199.html

 

Kondoo aliye potea na mwana mpotevu (Namb. 199)

 

Matumizi ya neno hili kwenye kitabu cha Luka halimaanishi kifaa ala na vile vilo sio ya baatisha. Limetumiwa ili kusimamiana kufafanua kuwa mwana mwenye swali aliharibu uumbe wake, ambao kutokana na matumizi yake halisi kwenye Ugiriki yaweza kuwa ilitolewa kumaanisha utakatifu wake. Hoja hii yaonekana kuwa imefichwa kumaksudi.

 

Shida kuu hapa ni kuwa kifaa cha uwepo alicho pewa mwana wa pili kilikuja kuonekana kuwa kile halisi cha Kristo ambaye alikuwepo milele pamoja na Baba ambaye hangeweza kuwa bila neno lake au dhihirisho. Tukihangazia hadithi hii zaidi twapata kuwa inaharibu madai ya Nicene katika karne ya nne, hivyo basi, vita vya maneno ambayo inahusu Ousia na hipostasia yaliendelea hadi wakati huo (kupitia wakati wa Origeti na Paulo wa Samostata nk. Yalifaa kukabiliwa.

 

Athanasiusi alifanya hivi baada ya Nicea kuanzia takriban 362 CE. Madai ya uhusiano na Mungu ilikuwa katika hali ya kuangamia.

 

Ni muhimu hapa kifafanua jinsi Arius na eseibifu ulioko ulimwenguni kwa sababu ya tamaa.

 

 Kwa hivyo ariusi na Esebiusi hawakuwa sahihi, kwa vile uwezo wa Uungu uliponuliwa na Baba na haikutegemea kazi ya mwana, tofauti na unyenyekevu katika kutoa sadaka. Hawakuelewa kikamilifu kutokana na maono ya Ygiriki, ambayo haikuielewa pendo la Mungu la agape.

 

Watrimitaria pamoja na wathanasinsi, katika kudai kuwa no lazima mwana kuwepo kiundani pamoja na babake, walitaka kufunga na kuwaunganisha baba na mwana pamoja pasipo na wana wengine wa Mungu. Somo lao la kidini likuja baadaye kuona makabiliano yaliyotimiza hali kwenye 2 Petro, yenyewe.

 

Funzo hili la hadithi kwenye Luka, karika mwundo na masharti yake, laonyesha kuwa Ousia ya mwana mpotevu ilifujwa, lakini ilitolewa kutoka kwa baba kama mali ya kuridhishwa, vivyo hivyo kuwa mwana mnyenyekevu kila mara alikuwa na babake hivyo basi kushiriki katika urithi wa mali za baba. Alikuwa kizazi cha baba lakini wote wawili waligawana urithi. Katika jibsi hii wote ni vizazi pamoja na mesaya akawa kama kifungua mamba au protokos wa uumba. Ikawa hivyo basi yammanisha kuwa washiriki watatu (Baba, mwana na roho mtakatifu) ni uongo na uweza wa Uungu unagawanywa miongoni mwa wana na Mungu.

 

Ukosefu wa imani yaweza kuonekana kwenye moyo wa yeyote kuwa baba katika hali hii ni Mungu (cf. Companion Bible n.to v. 11) jinsi inavyoifafanua hadithi mbali mbali za Yesu kusimamia na kumaanisha uhusiano baina ya Mungu na wanawe. Lakini wengi hawaelewi kuwa wote nina walikuwa, kila mara wana wa Mungu jinsi Kristo alivyo kuwa mwana wa Mungu. Binsi wa (easareawalivyosimama ikilinganishwa na alivyoandika athanasinsi kuhusu jambo hili katika karne ya nne, akijaribu kufafanua jinsi Kristo alijumuishwa kwenye utukufu wa Mungu, Kelly (uk. 243) yatoa muktasari muhimu ambayo taweza kutunia hapa. Ariusi na Esebiusi wa Kaesaria walikuwa na neno hilo.

 

Haingekuwa uhusiano na Mungu kwa sababu niwepo wake nilitoka kwa Mungu; kwa sababu asili ya uhusiano huo haikuwa na uwezo wa mawasiliano, ni lazima awe kiumbe, na hali yoyeto maalum ambayo alifurahia ilitokana na jukumu lake kama mtumishi wa baba katika maumbo…. (Athanasiusi alipendekeza kuwa)….. inakubalika kuwa baba alitumia neno kama mshiriki katika maumbo, lakini kudhani kuwa alihitaji mpatanishi ilikuwa isiyo na maana. Kwa upande mwingine, kwa kushiriki kwake na bwana binadamu amewekwa kuwa mtukufu na amekuwa mwana wa Mungu. Hivyo basi neono lenyewe lazima liwe na utukufu zaidi, kwa sababu la sivyo lisingekuwa na uwezo wa kuwapatia wanadamu maisha ya utukufu. Anavyoangazia swala hili, neno halingeweza kututakasa lisingekuwa na utikufu katika ushiriki na lisingekuwa Mrukufu, umbo la baba lililo na usawa na wanadamu (J. Kelly, Early Christian Doctrines, Harper and Row, 1978, P. 243).

 

Twaona kwenye kifungu hiki kuwa walivyoelewa washiriki hawa wawili haikuwa sahihi. Ushiriki wao katika asili ya utukufu ilikuwa ukweli kutoka katika bibilia kwenye kitabu cha 2 Petro 1:4.

 

2Petro 1:3-4 kwa kuwa uwezo wake wa Uungu umetukirima vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wean wake mwenyewe. 4 Tena kwa hayo ametukirima ahadi kubwa mno, za thamani, ili kwamba hizo mpate kuwa washiriki wa tabia ya Uungu, mkiokolewa na uharibifu aliyepotea na mwana mpotevu.

 

Kuwa Arius na Eusebius walidanganya, jinsi ukweli wa ulimwengu ulitolewa na Baba na ilikuwa ikifanya kazi chini ya Mwana kuliko kulazima wa sawadi kutokana na uwaminifu wake na heshima wa dhabihu. Kuelewa kwao ilikuwa kati ya Waphilosophi Wagiriki ambao hawakujua maana ya agape upendo wa Mungu.

 

Utatu na Athanasius, kusikana kuwa mwana lazima uiishi milele pamoja na Baba, kufunga Baba na Mwana pamoja nje ya wana wengine wa Mungu.Theologia yao baadaye kulionekana kama ya 2Petro.

 

Adithi hii katika Luka, jinsi imeundwa na maana yake, kuonyesha kuwa ousia wa mwana mpotefu ni bure, lakini ulifanywa kama urithi na Baba, kwa njia hiyo mwana mwaminifu kila mara alikuwa na Baba na mwenye zote urithi wa Baba.Alikuwa urithi wa Baba, lakini wana hawa wote waliongawanya urithi. Kwa jinsi hii wote ni urithi pamoja na Mesia kama mwana mkubwa au prototokos wa uumbaji. Utatu ni uongo mtupu na ukweli wa mambo ni kungawanya na wana wa Mungu.

 

Kuna kutoamini kidogo kwa fikira za mtu kuwa Baba hapa ni Mungu (cf. Companion Bible n hadi v.11) kama creeds zote kulinganisha adithi hii na kulinganisha na usiano kati ya mungu na Mwanawe.Lakini wengi hawaelewi kuwa adithi yote yupo wapi na nini ,kila mara mwana wa Mungu kama Kristo alikuwa Mwana wa Mungu.

 

Kilingana na sheria, mwana aliyekuwa kifungua mamba alipaswa kupata mara mbili ya urithi wote lakini urithi huo uligawanywa ijapokuwa mwana huyo alichukiwa (Kumb. 21:17)

 

Ulinganishi hapa na mwana mpotevu ilikuwa kwamba baada yake kutoroka, baadaya ya siku nyingi alianzia kuhitaji. Aliungana na wananchi wan chi isiyokuwa yao. Aliungana nao kwa kuchukua namna ya mfanyikazi. Hii pia ni katika ulignanisho na Wafilipi 3:20.

 

Wafilipi 2:20 kwa maana sisi, wenyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia mwokozi; bwana Yesu Kristo.

 

Neno hili, wenyeji lamaanisha kuwa mwananchi.

 

Mwana huyu mpotevu hakuwa tena mwananchi wa baba ba alijikita kwenye uananchi wan chi mwingine. Hii ilitokana na mkuu alieyeanguka na kupoteza mamlaka kwa kumtoroka Mungu na ambayo ilitoa Nefilimi ambaye hawezi kufufuka (Isa. 26:14; cf.n. to companion Bible, napia karatasi The Nephilim (Namb. 154).

 

Ukame mkuu kwenye nchi hiyo ilitokana na kutozingatia sheria za Baba (kumb. 28; tazama karatasi, The Blessings and Curses (No. 75).

 

Alipewa wajibu wa kuwalisha nguruwe. Hakuwa safi kimwili na vile kulingana na sheria za kidini.

 

Neno “kuwa na mahitaji” imetumika na kudhihirika kwenye maisha ya wana wa Mungu. Kwa sababu ni katika mstari wa 24 ambapo wanaanza kuwa na furaha.

 

Hii tabu yote na njaa ni kukumbusha kuwa ametolewa nje kutoka kwa chumba cha Baba na familia na jibu ni tabu.Alikuwa akikufa kwa upumbavu wake kutokana na haya ya 17.

 

Baadaye unafahamu kuwa amekosea mbingu na babake (v. 18) kuomba msamaha na kutubu kwake ilikuwa imetosha kumrejesha kwenye upendo wa Baba. Hakuielewa vizuri asili ya babake na alitaka kuwa tu kama wafanyikazi wake. Neno kama wafanyikazi yanamaanisha hali ya mkuu kabla ya ukombozi wa mwisho na kuwekwa kwa mpango kikamilifu wa ukombozi. Kupuuza huku kulisababisha uasi kwenye tukio la kwanza. Mkuu mtiifu alionyesha imani ijapokuwa imani hiyo hai kuwa imedhirihishwa bayana kwao.

 

Sheria hii duni ya kanisa iliyokuwa ikienea bila kugunduliwa kuwa wakuu hawakuwa sawa na kuwa hawakuwa wana wa Mungu kwa ukweli wa mambo alivyoufurahia Kristo, ilifundishwa na kitengo cha nne cha tume ya laterani mnamo mwaka 1215. Kanisa ya Kikatoliki kutoka kwenye tume hii, ilifundisha kuwa mkuu aliita malaika kama wajumbe kwa sababu kulikuwa na ufisadi duniani bila sababu, na haikuwa na uwezo wa umiliki wa mali ya Baba jinsi Kristo alivyomiliki mali hiyo (Tazama karatasi Socinianism, Arianism and Unitarianism (No. 185).

 

Ukweli wa mambo ni kuwa wale wote wanaoishi nyumbani kwa Baba, wanamiliki roho mtakatifu, ni wana wa Mungu. Hapa twaona kuwa yule mwana mpotevu alifaa kutejeshwa katika hali yake ya hapo awali. Alipewa nguo nzuri na kuwekewa pete kwenye kidole chake. Sote tunapewa nguo, ambao imeshafishwa kwenye damu ya mwanakondoo nah ii ni pana kwenye kisti ya ukuu mzima, hadi kwenye kiwango cha kujumuisha shetani. Nguo ya kwanza hapa imetafsiriwa kuwa nguo nzuri zaidi, lakini inaonekana kuwa alipewa nguo hiyo ambayo alikuwa nayo hapo mwanzoni, au ile ya uhalisi wa hali ya juu. Kwa maneno mengine, nguo ya ukombozi ilioshwa ikawa nyeupe kwenye damu ila mwanakondoo, ilikuwa halisi zaidi au yenye usawa katika uhalisi, hivyo kuwa washiriki wote ni sawa mbele ya Mungu.

 

Kwanzia sehemu hii walimchinja ndama aliyenona na kuanzia kusherekea. Wana walianza kuhitaji kutokana na kondoo ailiye potea na mwana mpotevu.

 

Uzoefu wao kwenye mambo hayo, na ukuu mzima haukuwa ukifurahia kutengana kwao na miaka yote ambayo yalipita wakiwa mbali. Mwana alionekana hapa kama aliyekufa na baadaye akafufuka, aliyepotea na akapatikana. Wote walikuwa kwenye hatari ya hukumu wa kifo na wote walikombolewa na mapenzi ya Baba na jitihada za wana, chini kwenye shamba la babake.

 

Ukombozi umeathiri kutokana na jitihada za mwana mkuu kwenye shamba la babake anaporejea, na kusikia muziki na sherehe na kuonekana kukosa ufahamu kamili ya umuhimu wa toba na ukombozi wa nduguye aliyepotea.

 

Kukasirika huku katika sehemu ya mwana inafafanuliwa kwa usawa na ule wa Yona kwa sababu ya Nineve na kutubu kwa wananchi wa Nineve na kutubu kwao. Baba alirai mwanake. Mwanake alimjibu na kusema, “nimekuhudumia kwa miaka mengi bila kutenda kinyume cha sheria zako.” Alisema vile vile kuwa sijawai, kupewa hata mbuzi kusherekea na rafiki zangu.”

 

Sehemu hii inaangazia swali mzima la mbuzi azazeli na toba ambayo ilitendeka kwa ajili ya nchi za mesia. Rafiki zako, ambao sasa alijulisha kama kanisa (Johana 15:14-15), hakufurahishwa alipokuwa shambani, kwa sababu alidunishwa alivyokuwa katika kazi ya babake.

 

Ulinganishi huu umefanyika kuonyesha rehema ya baba, badala ya kutoa hukumu yoyote kwa mwana. Yule mwana anamtaja nduguye kama “mwanako” anapoongea na Babake. Mwana katika hali hii ambaye anaweza kuwa tu Kristo, aema; “Lakini ajapo huyu mwanako ambaye amekukosea, ulimchinjia ndama aliyenona!

 

Kifungu hiki kinaangazia ukosefu wa usawa kwenye kuhudumia wanake. Mwana mpotevu amefuja mali ya babake pamoja na makahaba. Tukilinganisha na Yda 6 na Mwanzo 6:4. Hii neno ni tofauti na SGD 2198 zao ambayo ni mkuu wa neno kuishi. Hii inatumiwa kwa roho ya kuishi wa maji, kwa maana kilealicho kuwa nayo kwa kwanza ni tofauti na bora kwa njia hiyo, hili kutoka kwa sawadi ya mwisho wa Mungu, ambao ni maisha ya milele kwa ndege ya juu.

 

Mungu amjibu Kristo kwa kutumia maneno yafuatayo, kumbuka kuwa hapa ni Kristo anayeongea hapa katika utakatifu.

 

Mwana wewe siku zote u manami na mali zangu zote ni zako. Ilikuwa vizuri sis kufurahia na kusherekea kurejea kwake kwani alikufa na amefufuka, alipotea na sasa amepatikana.

 

Kifungu hiki chafaa kulinganishwa na kitabu cha Warumi 9:4-5 na Mathayo 20:14 kulingana na maneno ya Mungu kuwa mali zote ninazo ni zako.

 

Kristo anafamia funzo hili la hadithi ya mwanampotevu kutamka maneno Fulani ambayo wadafi wa kiroho wanaweza kutumia wanapokabiliwa na toba ya wana wa Mungu. Kristo anahoji hapa kuwa, kabla ya kutubu, rehema ya sampuli hiyo ilitendeka kwa ajili ya upendo wa Baba. Huku haya yakijulikana kwake, bado alikufa kwa ajili yao, akijua vile vile kuwa wangetudhulumu kabla ya kutubu.

 

Toba yao hapa ni ufufuo wa pili mwishoni, ambapo Kristo anarudi kutoka shambani. Kwa hivyo ufufuo wa pili unaonyesha toba ya Uumba.

 

Kama tumeonyeshwa toba wa mkuu, pamoja na shetani, inafaa tuwe na upendo wa Baba na sio kuwa na moyo ya uchoyo wa mwana mkubwa. Kristo mwenyewe alisema na kuelewa maana hii na ndivyo hata sisi.

 

q