Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[232]
(Toleo 1.0 19971220-19971220)
Kinyume na vile inaaminikiana, Mama wa yesu kristo hakuwa Mary, hakubaki bikira lakini alikuwa na bwanake na watoto wengine, ambaye pamoja na mandugu wa Kristo na familia yao, walikuja kucheza maisha muhimu kwa maendeleo wa kanisa la kwanza. Kitu kiliwafanikia na la kusangaza na kuchukuliwa hatua kwa dini la Kristo.
Christian
Churches of God
E-mail: secretary@ccg.org
(Copyright © 1997 Wade Cox)
(Tr. 2009)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Bikira
Maria na Familia ya Yesu Kristo
Bibilia huonyesha kuwa masihi alizaliwa na Bikira (Mat 1:23 Lk 1:27). Hii ilikamilisha unabii wa Isaya (Isaya 7:13-15) kama Yesu Kristo hangezaliwa kwa Bikira basi hangekuwa masihi na maandiko yangevunjwa. Huyu Bikira alikuwa manzimu ukoo wake umeelezwa kwa Luka na kufafanuliwa katika Genealogy of the Messiah (No. 119).
Kulingana na Bibilia hakuna tashwishi kuwa Mariamu alikuwa Bikira. Pia ni wazi kulingana na Bibilia kuwa hakubaki Bikira na alikuwa na wavulana wane na wasichana wengi. Haya yameandikwa katika Bibilia (Mat 12:46; 13:56 Mt 6:3) wazo la kutofikiria ni kuwa alibaki katika ndoa na kutoka kwa mumewe ambayo ni tofauti na mafundisho ya Bibilia. Hii mambo ya ubikra ulitoka huko Roma wa zamani.
Jina la masihi lilikuwa Yohoshuwa. Mengi ya tofauti ni Hosea, Hoshea, Yoshua, Yesu, Osea, Oshea na Yoshua.
SDH 3091 ni muungano wa SDH 3068 Yahova na SDH 3467 na humaanisha Yahova huokoa. Ufupi wa jina Yohova ni Yabu. Katika KJV imetumika kama Yah au Jah (Ps 68:4). Na kulingana na “Elephantine” ilikuwa na ni yahoo (Tazama James Pritchard The Ancient Near East: An Anthology of Texts and Pictures, Vol. 1, Princeton, 1958, pp. 278-279). Pia tunapotazama mabaki ya maafa ya ziwa kutoka kwa vipande vya papari ya Ugiriki. (4QLXX Levb) kulingana na kumbukumbu maandikoo ya kumbukumbu la torati kwa Ugiriki pekee bila kutumia vokali ya Ugiriki pekee bila kutumia vokali ya Adonai au kwa LXX na ni Yaho (using also ima and Alpha na Omega) (Carsten Thiede Eyewitness to Jesus, p. 142). Alpha na Omega yaweza kuwa na umuhimu katika utumizi huu. Tunafahamu kuwa ufupi wa jina Mungu ni Yaho au si Jah ambayo uthibitisha kuwa Elephantine aliandiwa kwa karne tatu yanayofuatana.Jina ambayo ni sahhihi ni “Yohoshwa” ambalo limefupishwa
kwa yoshwa.
Pia tunapozama Hoshea humaanishaa “Deliverer” (Kutolewa kwa SHD 3467) N na pia Oshea na Hosea (cf. SHD 1954).
Kutafsiriwa kwa ugiriki ya Yoshua au ya Hoshua ni “Iesous”. Ni ‘Ie kwa ya YAH au Yaho na Sous (pr. shou or shous or zhou/s) kwa shua. Hii hutendeka kwa Agano za kale LXX na Agano mpya si kwa Kristo lakini kwa matumizi ya Joshua. Yeshua ni ufupisho na neno la kwanza.Lugha ya ugiriki lazima yaandikwe Y kama ‘I. Sheria za lugha za ugiriki hutofautisha lakini yale ya Hibrania hubaki tu vilevile kwa Wahibrania Waliotumia Aramaiza.
Yudah jina la nduguye masihi walipewa jina Jude kutoka ‘Ioudas kuwa Ugiriki. Joses ambayo ni jina la nduye pamoja na kaka yake ni ‘Iosetos kwa Ugiriki kw a kaka na ndugu yake (Matayo 13:55) of Marshall’s Interlinear Greek ambayo alipewa jina hilo baada ya babake Yoseph mumewe Mariam. Hayo Majina yamefichwa kwa KJV na nafsi zote za Kingereza na Trinitarian theology a Monolatus. Yames au James ni ‘Iakobos” from Yacob or Jacob na pia Iakobou. Kutolewa kwa Simioni na mandugu zake na sehan zake na familia yao, ni vilele pia , na kuacha na kwa wakati hiyo.
Mamake masihi ni Mariamu ilikuwa ni shangazi (dadake Mariamu), kewe Cleophas (Johana 19:25) ambaye ni Mariamu. Jina lingine ni mariamu. Maria mkewe Cleopas au kuita wanawe ‘Iakobos kuitwa little Yacob[os] au little James na Yosetos (Matt 15:40). Kaka za masihi ni tofauti ndugu za Kristo ambao walikuwa ‘Iakobos or Jacob[os] (kubandikwa James), ‘Ioseph au Joseph, Simioni na ‘Ioudas (Judas) or Jude (kutoka Yudah au Judah) Mat 13:55 dadake masihi hazitajwa. Dada ya Mesia hawa kutajwa, hili ilikuwa ni mila wa genologia wawakti. Tuna weza, kwahivyo, kuwa na huruma kuchuka jina Miriam, na Pia, Elizabeth, na kuausene Maria.
Walizoea kuwapa wanau jina baada ya wazazi wao kuaga dunia kwani hakukuwa na umuhimu wa majina ya kwanza kama kisasa. Hata hivyo majina ya mke wa heli na mamake Yusufu pia waliwekwa. Majina ya ndugu za masihi dada zake na hata kaka zake hazitajwa katika maandiko ya bibilia ili jina la Bikira Maria mari lisiharibiwe. Wazo hili limo hata maongoni wa historia wakatoliki walionelewa jambo hilo kama vile Malachi Martin (cf. The Decline and Fall of the Roman Church, pp. 42-44).
Majina ya wafuazi wa Kristo ni tofauti sana na ya Ugiriki. Kama majina ya watu katika agano jipya lingetumiwa kikweli basi majadiliano katika bibilia haingekuwa rahisi hata kidogo.
Ndoa
Ama Kuoana
Huu hutueleta katika uamini nyingine kama vile kutoa kwa wafuasi wa kanisa. Wengi wa wafuasi walioa. Haya yalieleweka na klementi na Eusehius kuwa Paulo alioa na kuelekea kuwa na Wakoritho wa kwanza 9:5 na NPNF ambayo husimama imara na si kama vile Wakorintho wa kwanza 7:8 ambayo ilinena kinyume chake. Kulingana na wakorintho 9:5 Paulo wake wao kama wafuazi wengine.
Katika karne nyingi sana inafikiriwa kwa wafuasi wote na hata Paulo alioa. Pia Yuda nduguye Kristo alioa na kuwa na wanawe wengi.
Ndugu wa Kristo walikuwa Yuda, Yakobos (aliyepewa jina James), Yusufu na Simony (Mat. 13:55, Marshall’s Interlinear hakuna herifu J kwa Hibrania). Mjomba wake Kristo Clopas pia alioa Maria, mamake James na Joses. Imesemekana kuwa pia alikuwa babake Simoni aliyekuwa askofu wa Israeli. Ni uhusiano huu ambapo Wakatoliki wanadai kuwa ndugu wa Kristo walikuwa kaka yake. Hali kadhalika nfugu yake Kristo alijukana kama Yakobo na si Yakobos bibilia ya Ugiriki hutofaatisha haya kisawasawa.
Eusebius anatoa maoni kuwa Hegesippus alirekodi kuwa Clopas alikuwa ndugu wa Yusufu (Eusebius, NPNF second series, Vol. IV, ch XI, p. 146; cf Bk IV, ch 22) kulingana na maandiko ya Yohana 19:25 Maria mke wa Clopas alikuwa dadake Maria, mama wa masihi. Hapa tunagundua kuwa kuna ndugu wawili wanao dada wawili kulingana na Hegesippus.
Yakob na Simon walijotolea kutumikia Mungu (Tazama Eusebius, ibid, Bk IV, XXII, p 199). Wakati huu wanawe Yuda walikuwa wanaongea katika kila kanisa kama wenye uhusiano karibu na kristo kupitia uongozi wa Domitian na wa Trajan wakati Simoni aliuwawa mbele ya Atticus kiongozi wa wakati huo. (Tazama Eusebius, ibid., p 164). Eusebius hudhibitisha kuwa iganatius alokuwa askofu wa Antioch wa pili baada ya Petro. (Tazama NPNF, ibid., p, 166 na n. 4).
Ukoo wa Kristo
ulijulikana Kiungiriki kama Desposyni kumanisha Belonging to the Lord
jina hili lilitazamiwa na ukoo wake kwa karne ya kwanza na nusu na
liliheshimiwa sana. Kanisa yote ya Yahudi alikuwa yanaongozwa na Desposynos na kila moja yao alikuwa na jina la kitamaduni
ya famalia ya Yesu. Zakaria, Yusufu, Yohana, Yoses, Simon, Mathayo na lingineo na hakuna aliyepewa la Yesu au Yehoshua, kama Yoshua. Walikuwa watatu ambaye walikuwa wana
julikana kuwa damu wa kutoka kwa Yesu familiai.
Mwana historia wa kikatoliki Malachi Martin alijaribu kufafanua Ceoposyn kama yafuatayo;
Mmoja kutoka Joachim na Anna, wazazi wa wazazi wake Yesu. Mmpja kutoka Elizabeth kaka yake Maria, mamake Yesu. Na mwingine kutoka Cleopas na mke wake walikuwa kaka wa kanza wa Maria (M Martin Decline and Fall of the Roman Church, Secker and Warburg, London, 1981, p. 42).
Anakiri kuwa kulikuwa na ukoo kubwa wa Yusufu (p. 43) lakini kama wakatoliki alionekana akikataa ukoo kutoka kwa Maria ingawa nakiri kuwa alikuwa katika kanisa kwa moyo wako wote hapo mwanzoni. Maria atatambuliwa kama kama kaka na si kama dada kama bibilia inavyonena.
Martin alirekodi kuwa ukoo na viongozi wa kanisa walikuwa na mkutano na askofu Sylvester kuhusu jinsia ya kanisa mnamo mwaka wa 318 CE (ibid). kiongozi aliwapatia wanawe wao njia ya kusafiri kwa maji mpaka Ostia ndipo walipopanda punda hadi Roma na Lateran mahali anamoishi kwa ustaarabu askofu Sylvester. Wali vaa nguo zilizokatikati na viatu na hata kofia. Mazungumzo yalikuwa kwa lugha ya Ugiriki kwani waliongea kwa Aramaic na hakukuwa na Latini na Sylvester hakuongea kwa Aramaic. Martin alikiri kuwa pengine Joses aliongea kwa niceba yao.
Martin ana sema kuwa mgawanyiko wa kwanza 49 CE ni kwa kukatwa ambaye Petero na Paulo aligawanyika nao kukataa kuwa waliwekwa na Torah. Hii , kwahivyo, ni funzo mbaya kuwakwa kuwa wa theologia wa zamani ambaye hawan msingi na shida mingi wa kusema, tuna ona maendeleo kupitia hawa gosti na mara ya mwisho 318 Ce ilikuwa wa hajabu kati ya kanisa ilitawalwa na Wayaudi kutokwa familia ya Kristo ambaye wana jiita orthodox Catholic kanisa.
Hadrian aliponyakua Yerusalemu mnamo 135 CE wayahudi wote hakubaliwa kuingia Yerusalemu. Kwa hicyi jinsi ya kuhubiri kulingana na hali na huo ndio alikuwa nguzo wa imani yao. Wayahudi wakristo walikuwa tu na kanisa moja huko Yerusalemu hadi 135 CE. Waliacha tu mara ya kwanza kabla ya kunyakuliwa na Titu mnamo 70 CE ambapo walihama mpaka Pella katika kiongozi wa Simoni kulingana na martin. Mnamo 72 CE walirudi Yerusalemu wajenga makanisa ya wakristo huko palestina, Syria na Mesopotamia na waligombana na kanisa Ugiriki wakristo kulingana na sheria za Tora. Si mambo ya kusihitisha kwa neno “papa” ulijulikana kufuatia askofu wakubwa kama vile Alexandria, Yerusalemu na Antioch katika miaka ya kwanza na si wafuazi.
Jinsi ya uongozi wao pia ulitoa shaka miongoni wao. Mnamo 318 CE, “desposyni” walimwambia Sylvester kuvunja sheria na nguvu alizokuwa nazo kufuta askofu wa Yerusalemu, Antioch na Ephesus na wa Alexandria kutaja despoynos askofu kwa niaba yao. Pia walitaka jinsi ya kupeleka pesa au sadaka huko Yerusalemu kuendelea mbele. Zoezi hili ilijulikana kama toleo hadi ilipobadnuliwa na Hadrian in 135 CE.
Sylvester alikataa matakwa yao na kunena kuwa mama kanisa sasa itakuwa huko Roma na pia wakubali askofu wa Ugiriki kuwaongoza.
Huu ndio ulikuwa mazungumzo ya mwisho kuhusu kutazama sabato kulingana na ukoo wa Messiah. Kwa Maneno ya Matini:
Kwa kuchukuliwa, sylvesta, aliunga Constatine, aliamua kuwa barua ya Yesu ingekuwa kwa Wangambo na wangambo kwa maneno yao na ujuzi (ibid, p.44).
Martin alirekodi kuwa kwanzia wakati huo hawakuwa na nafasi kanisani. Waliweza kujikakamua na kuvamilia hadi karne ya tano waliamua kutoroka moja kwa moja.
Wenyewe kibinafsi walienda ka kuomba msamaha na kanisa ya Roma wengine walihamia pasipojulikana. Wengi wao walikufa kupitia vita kati yao na wanajeshi wa Roma na wengine walikufa kwa sababu ya ukosefu wa chakula na kuchamia jijini.
Waliwinda na kuua ukoo wa Kristo walipinga maamuzi ya kiongozi. Yote alipingwa vile walivyokuwa watafanya mazoezi. Swala tu kutoeleweka kuhusu Bikira Maria ambayo haikuwa jina lake, na liliungwa na kufunika mauaji ya ukoo wa Kristo ambayo walitaza sheria za Mungu za kufuata mwana wa kwanza ya yahoshua mwana wa Mungu.
q