Makanisa ya Kikristo ya Mungu

[CB6]

 

 

 

Adamu na Eva Katika Shamba la Edeni

 

(Edition 2.0 20030805-20061230)

 

Mungu aliumba binadamu kwa mfano wake mwenyewe, mme na mke aliwaumba. Hiki kalatasi lime tolewa katika tumbo la biblia nambari 2 ya Biblia Shauti la Kwanza 1 na Basil Wolverton, na lime andikwa na Ambassador College Press, na karatasi wa Mwanzo la Dhambi Volumi ya kuanza 1: Shamba la Edeni (No. 246) na kwa andikwa na CCG.

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

Email: secretary@ccg.org

 

(Copyright 2003, 2006 Christian Churches of God, Ed. Wade Cox)

(Tr. 2008)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org and http://www.ccg.org

 

 


 

 

Adamu na Eva Katika Shamba la Edeni




Shamba La Edeni

 

Adamu na Eva Waliumbwa na mwili isiyo na kasoro lolote. Nguvu za Kuimba na kuongea ndani yao. A damu alikuwa mtu mwenye umbo nzuri. Eva pia alikuwa mwanamke mwenye sura lakupendeza. Wakati Eva aliumbwa akapatiwa Adamu na sheria ya kuolewa ikategenezwa. Adamu na Eva waka amriwa kuwa na watoto na kujasha ulimwengu. Walifundishwa Amri na Malaika ambaye ina julikana kama “Neno la Mungu’’. Yeye ndiye alikuwa muogeaji wa Mungu Baba; kuongea kwa shauti la Baba vile  ali amriwa na yeye.

 

Adamu ali umbwa akiwa na miaka 20 (hii lime tolewa kwa chronologi inayo fwatana na Ussher na lime andikwa appendix 50 wa Umoja wa Bibilia na kutarishwa na Bullinger). Hii ndiyo miaka ya watu kwa watu wazima. Ni kama ikifika miaka 30 Adamu na Eva walikua watu wa kuogopa  Mungu na kutii amri zake katika Shamba la Edeni.

 

Mwanzo 2:8-15 inatuambia kuhusu Shamba la Edeni. Mungu alipanda Shamba mashariki la Edeni. Ili kuwa kati ya mashariki. Sasa liko katika nchi ya Israeli katika Tigris Euphrates Basin. Ilikuwa na Mti za kupendza na za via kula, Bibilia ina tuambia kulikwa na mto ambayo ilikuwa inapeleka maji katika Shamba la Edeni. Haiku kwa mto moja na ili gawanywa kwa vikundi vinne. Madhehebu na tamaduni za izo nyakati walikuwa na lengo ya izo bahari nne. Utafiti nikama kua na katikati yalengo umetolewa na wengu wa binadamu.

 

Utafiti wa ugawanyo mara nne wa mto ina manisha vile ulimwengu ime anza na Mungu Baba na kuenda mpaka vipande vyi nne wa ulimwengu.

 

Binadamu ni tafauti kwa Mnyama

 

Mungu aliumba wanyama kwa mfano wao wenyewe. Lakini aliumba binadamu kwa mfano wake- baada ya familia ambayo ali umbwa. Aliumba binadamu kwa mfano wake Mungu, Wanyama wako na akila zao ya kutambua yale yana tendeka lakini akili zao lime pangwa kwa jia kama computers. Umbwa ako na akili ya kubuaka kama mtu ana kuja. Umbwa awezi kufikiri ati abweke, “ati ni bweke’’. Umbwa ana bueka kwa sababu wali wekwa kubweka, lakini mvulana ama msichana, ama mwanamme ama mwanamke, lazima akumbuke na kukata kauli kwa kile ata fanya, na wakati ataufanya hata kutoka kwa wazazi wao au wao wenyewe.

 

  Binadamu ako na akili pia, binadamu lazima ajue na akumbuke vile aliambiwa na akate kauli kwa kitu ambaye atafanya. Kila mara tunasema hiyo ni uhuru wa kweli. Lazima akate kauli kwa mafikira zake mwenyewe. Hii ni sawa na Malaika. Wao pia wako na uhuru ya kusikia na kufuata amri za Mungu na kuhesimu.

 

Mungu aliumba binadamu kwa vumbi kutoka kwa udogo, vile wanyama pia waliumbwa kwa viugo via Dunia. Vile wanyama, binadamu alitengezwa marifa isiyo dumu lakini toka katika pumzi Roho upiga damu kupitia misipa. Lakini pumzi na damu lazima lipatiwe nguvu kupitia chakula na maji kutoka ardhi. Binadamu utaji hayo kama wanyama. Mwili zigine ufa badaaye kuzaliwa: na zingine uishi miaka nane hata kumi; wengine uishi miaka sabibi, tisini lakini kila mtu ufa.

 

Mungu ni tafauti, Mungu ni Roho na yeye ndiyo ana beba Uzima wa milele anbaye hawezi kufa. Mungu ni Roho (1 Timotheo 6:16). Yeye upatiana Uzima wa milele kwa hesima kwa mpango wa Uzima. Alikuwa tena yupo yeye ni ukweli yeye ni baba wa viumbe. Alituma Yesu Kristo ilitujue ule ukweli ambao ni Mungu na tena tuwe na uzima wa milele {Johana 17:3}.

 

Mungu ali umba binadamu wa kwanza, Adamu na akili ya kusoma kutumia vitu vyote ambazo zina mea kutoka kwa udongo. Lakini kwa kukuwa na usiano na Mungu na kuendelea mbeli na kazi pamoja na wanadamu wengi ne, binadamu lazima awe na Roho Mtakatifu wa Mungu kwa akili zake. Na kwa jia hii binadamu ali umbua kwa mfano wa Mungu. Roho Mtakatifu wa Mungu itaweka moyo wa binadamu kuwa mungu kama mwana wa Mungu. Hii ni njia ingine ambavyo mapepo uingia kwa mtu na kumfanya hawe kama yeye.

 

Mti Shambani

 

Katika Shamba la Edeni Mfalme Mungu alitengeza mti ya kila aina katika udongo. Katika kati kati la Shamba kuli kuwa na mti wa Uzima na hekima ya mazuri na mabaya .Na Mungu aka mpatia amri binadamu, uko huru wa kula mti yeyote katika Shambani: lakini usikule katika mti wa Uzima na Hekima ya mabaya, lakini ukila itakufa (Mwanzo 2:16).

 

Hili ili kuwa mtiani ya hesima kwabinadamu mpya. Wakichukua katika mti lile  walikatazua utakuwa uizi,lakini amri ya nane usema usi ibe, kwa mti yeyote unaweza kuchukua, lakini hili nime wakataza. Tena wakiwa na nia wa kuchukua ambaye ni ya mtu mwingine ambayo ni cheke, wata aribu torati la kumi piya. Torati lakumi ina sema; usitamani mke la mwenyewe ama bwana la mwingine, sasa hatu wezi kusema kuwa hii ndio ilikuwa mwanzo la torati la Mungu.

 

Tamuko la mti una weza kutumiwa katika Roho ya hesima (Ezekieli 31:3-18). Tuagalie kuanzia aya ya 18 Satani piya ametajua katika Shamba le Edeni.

 

18 kuwa ule ambaye ako na utukufu na vitu vikubwa katika mti wa Edeni? Sasa asiletuwe chini ya mti wa Edeni ama katika kando ya Dunia. wa siseme uongo kati yao kwa sababu upanga uko kati kati yao hili ndiyo Pharaoh ambiya umati, Asemaye Mungu  GOD{KJV}. 

     

Mti Zingine katika Shambani la Edeni yalikua la mafundiso kwa binadamu. Zote hazi kwa la chakula. Bibilia haiku tambiya hati kulikwa na miti gapi katika Shamba la Edeni, lakini kuli kwa na mti ambaye si chakula. Mti, ambaye ili kuwa takatifu kwa Adamu na Eva, hekima ya mazuri na mabaya. Sasa waki kula kati hili mti wata fanya dhambi na wa kufe. Hili mti ya hekima la mazuri na mabaya una simamia Satani kuwa shitakia binadamu wakwanza. Tayari amedang’anya na kuwa hongo hesima kwa njia huo.

 

Mti wa uzima wakwanza ni kupokea Roho Mtakatifu, wa Mungu ambaye ni la muhimu kwa akili na Roho na hekima kutoka kwa Mungu kubaini ukweli na Ubaya, na kukaa karibu na Mungu na watu wake. Hii ni Roho ya hekima kwa upendo wa Mungu na upendo wa binadamu. Pasipo na Roho ya hekima kufunua Roho wa Mungu kutoka kwa akili wa Mungu.Binadamu hawezi kujifundisha yeye muenyewe ili aishi na  watu wengine kwa amani, umoja na furaha. Haikuwa rahisi kwa binadamu kuwa na usiano wa upendo na Mungu.

 

Mti katika katikati ya Shamba la Edeni ina simamia aina mbili ya Hekima, kwa hekima ya mazuri na mabaya ambayo Mungu aliumba kwa mfano wake. Hiki hekima ili laaniwa kwa Adamu na binadamu katika Shamba la Edeni, na hivyo ukila matokeo ni kifo. Nalile lingine ambaye Mungu alitupatia kwa Roho na Hekima ya uzima wamilele kama Adamu ange ogopa Mungu hatunge kufa sisi wote tunge pitia katika Roho na kubadiliswa badaa ya Uzima inge litimishwa.

 

Vile Mungu aliupenda Adamu, ndivyo ali upenda watu wote. Mungu alikuwa anataka a furahi vile wengine, kufurahi na uzima wa milele. Lakini Satani alidanganya Eva ata akamwelekeza Adamu katika mabaya. Halafu haku muhesimu Mungu. Hili swala hili wachiliwa kwa Adamu.

 

Baada ya Adamu kutenda dhambi, Mungu akalifunga lile mti wa uzima. Mungu haka utowa Roho wake kati ya Adamu na Eva na watoto wake na dunia yote kwa jumla. Yesu Kristo amboyo ni Adamu wa pili ,’’atakuja kulipa kila kitu ambaye ni dhambi za binadamu asamehewa halafu apatiwe Roho Mtakatifu. Lakini Mungu haku kubali mtu kuchukuwa kutoka mti wa uzima na uzima la shida, haunafuraha, kilio na matesho ambaye yata dumu.

 

Lakini watu wale ambaye Mungu ame wacha kwa ndiyo ana wapatiya Roho Mtakatifu kukamilisha kazi lake. Hili wakili na wanabii na wengine kama Daudi na Musa.Wakati Kristo atakapo Kuja atapatiana Roho wake kuwa dunia na makanisa ambaye yali anziwa na watumwa. Mungu alianza hapo Mwanzo.

 

Mungu ali jua kila kitu kita tendeka. Aliuweka mpango kamilifu kwa jamii wake aliye umba. Mungu alijuwa satani ata endaenda kinyume na Roho ya binadamu palipo kuogopa yeye. Lakini Mungu kwa Hekima lake rehema akaubalia binadamu kufa halafu ata leta Uzima baada ya kifo. Lakini satani kwa roho wake hakuwa karibu, saa halitakua  na mavikira katika Dunia.    

 

Watu katika ufufuo wa pili wata fufuka katika Roho wa Mungu. Halafu torati la Mungu hita hongoza Dunia kwa vipindi viya utawala wa Yesu Kristo. Katika mwanzo wa milleniumu, satani na hesima lake kuwa binadamu. Halafu watu patiwa funza ya kuwachiwa dhambi na matendo yao, watu kuwa na nafasi ya kuogopa Mungu na Sheria zake lita ishi tena kuwa mwili wa kipeke katika hufufuo wa pili. Hili ni adidhi gumu kuligana na kile tume sikia kuuzu satani na moto wa milele. Mungu wetu ni Mungu wa Upendo na rehema, hataki mtu yoyote kupotea.

 

Nyoka katika Shamba

 

Mungu alikubalia satani kuogoza dunia, lakini hakua ana hishi katika sheria la Mungu.Kabla binadamu kuwa duniani na kuwa na nguvu katika viumbe vyote, satani haka kasirika haka agalia jinsi ana weza kubadilisha Adamu na Eva kinyume na viumbe, hili a kuwe na uwezo juu ya o, hilo nafasi ilikuwa wakati, wa Eva alipo kuwa akitembea katika shamba. Punde ali kutana na Nyoka. Hili kuwa kitu isiyo ya kawaida sababu wanyama wote walikuwa marafiki na hesima kati ya Adamu na Eva. Lakini la ajabu hilo nyoka ali ongea nay eye.

 

Sasa hili nyoka alikuwa mnyama mwenye hekima kuliko wanyama wate ambayo Mungu aliumba” (mwanzo 3:1) katika luga ya kizugu nyoka ina manisha nachash au pendezo. Lile lina pendeza ni mwangaza wa satani katika (Isaya 14 na Ezekieli 28:13-17). Ibilishi ama satani ni nyoka takatifu (Ufunuo 12:19; 20:2). Nyoka wa zamani (2 Wakorintho 11:3) ina kama malaika wa mwangaza (2 Wakorintho 11:14). Nyoka ina tumiwa kama satani ambaye aliogea na mwanamke na kumdaganya.

 

Basi nyoka haka mwambiya mwanamke: “Mungu ali kuambia hati utakufa ukila kwa mti wa hekima wa uzuri na mabaya?’’

 

Eva akajibu, “Mungu alisema ati tusile matunda la mti kati kati wa shamba wa Edeni, hata ku guza tushi guse la sivyo tuta kufa’’.

 

“Hamuta kufa kamwe” satani akasema uongo (mwanzo 3:4)’’ukikula matunda la ilo mti, macho yako yata funguka na utakaa kama yeye mungu {elohim}, na kujua mazuri na mabaya’’.

 

Kutoka katika bibilia tuna jua kuwa mpango ya Mungu kwa wanadamu ni kuwa wana Mungu au kwa mungu {elohim} kama Kristo na umbo wa ki Roho (Zakaria 12:8; Zaburi 82:6) Satani alijua ati Mungu akulipenda mwili wa binadamu kuamizwa (2 Petero 3:9). 

 

Tena kutoka kwa uongo ``heti auta kufa‘’. Satani akaumba roho katika moyo ya makanisa mengi wana findisa ya kuwa mtu akikufa ati roho wake ina rudi kwa Mungu. Lakini ukweli ni kuwa katika mwisho watu   watafufuliwa kwa Roho.Ilatu Mungu atafufua watu kupitia DNA mapu, ambaye yuko katika mafikiria yake, tena mawaidha ambazo nizake yeye mwenyewe peke yake.

 

Kama Adamu na Eva wange hezimu awange kufa. Lakini wange waza kutenda dhambi wange kufa, lakini wange kwa wazima na kufufuliwa. Satani alipatia Eva funza, Malaika wa Jehovah alikuwa mwalimu wao, ambaye yali kumilifu. Lakini satani alikuwa anajaribu kuwashawishi ili wa mfuate nyayo zake. Ha wakuw a na uhuru wa kufanya vile walikuwa wana taka, vile Eva aliendelea kutafakari yale aliyo sema, vile alivyo endelea na kusikuwa na hasira ne kula matunda wa lile mti wa hekima ya mabaya na mazuri. Ange waza kuepuka, akaendelea mbele na kuchuna matunda na kula. Ilikuwa tamu, halafu haka chukua zingine kupelekea Adamu, ambaye yeye pia alikuwa hata badaa ya Eva kumueleza viyote ambayo yalitendeka.  Hii ina simamia maong ezi ya hekima yeye na Adamu kuchukuwa.

 

Kuanguka kwa Binadamu

 

Kupitia kukula lile tunda ambaye wali katazwa. Adamu na Eva waka kuwa na uhuru ya kufanya  mabaya na mazuri za satani, waka kataa roho za katiba na kuchagua njia zao wao wenyewe na kulitenda! Waka chagua jia zake satani la kufanya mabaya, pasipo kushikiliza Mungu ambaye ni baba ambaye anajua mazuri kwetu sisi.

 

Ingawa Adamu na Eva walikata shauti wa Mungu kiumbe cha binadamu na hekima yake hiko katika andiko! Biblia kubadilishwa imebeba adidhi, mulekeo, wa hekima ya maono Halibeba zote kiwa hekima. Ina beba hekima ambayo hatuwezi kupata.

 

Badaa ya kukula matunda Adamu na Eva kwa mara ya kwanza wali jua ya kuwa wali saa kumkana Mungu, walijua hati wali tenda mabaya halafu wa jikuta wako uchi, waka jiabiasha walikuwa wana taka kujielewa wenyewe halafu wakachukua matawi ili waji weze kujifunika. Kabla ya wao kula matunda ya hekima ya mabaya na mazuri lakini wali juwa mazuri na wa kuwa na hofu wakuwa uchi.

 

Kwa sababu   hawakuwa mhesimu Mungu na kufanya vitu viao ambayo aliwambiya wasifanye. Adamu na Eva walifanya dhambi la binadamu. Hiyo kitu ili fanya kila kitu kufanyika katika maisha ya binadamu hadi halipozaliwa.

 

Vile Lucifer alikimbilia sida kuwa Mungu na amri zake, binadamu piya aliangukia katika majaribu na kuenda kinyume, katiba ambaye kuna toka nguvu zetu kwa usaidizi yetu. Wale ambayo wana linda katiba ni sherikali, Mungu katiba zake ni upendo wa Mungu kumu hesimu yeye kumuomba na kumuombea, na kukubali na kutunza siku ya sabato ambayo ni takatifu.

 

Lingine ambayo ni katiba kwa watu wote ni Upendo kwa wote watoto lazima wahezimu wazazi wao (Wa-efeso 6:1-3) Watu wazi dharau ama kwa wenzao, ila kupenda kila mmoja, hata hadui wako (Mathayo 5:44) lazima wa ji nyenyeke kuwa na hesima kwa watu wote tena wasitake kuchukuwa vitu vya wengine. Lazima watabue kwa kupendana ni nzuri kuliko kuchukia (Kutoka 20:12-17) Agali jikalatasi la Amri la kumi (No. CB17).

 

Kukata Kauli  

 

Baada ya satani kuenda kinyume na mafikiria zake, punde akakubali Mungu na katiba zake maisha yake yame kuja katika sentensi yapili (Jn. 8:44; 1Jn 3:8). Mungu alikubalia satani kutawala ulimwengu kwa muda, hadi nambari ya wanadamu kuumbwa na kuwatambreliza. Binadamu alielewa kwa ana weza kutawala na kuhesimu Mungu. Na lakini utawala wa satani ulikuwa kuna leta machungu na shida.

 

Sababu Adamu ndiyo alikuwa mtu wakuanza, Mungu alimpatia uwezo wa kutawala dunia (Mwanzo 1:28). Lakiniamri una baki kumushimu Mungu na tusiwe na lolote katika yetu na satani, sababuali umiza Adamu, na kuenda na kuitikia njia mabaya kuonekana mazuri kama Adamu alitengezwa kuanguka kwa hiyo, ange kwa na shida. Satani ana tumia njia hii kwa tawanya watu wa Mungu kutenda Dhambi na kuwa mbali na Mungu na Upendo na kuwalinda wakati wowote.

 

Mungu ali Umba mwanamume kwa kichwa wa mwanamuke na watoto (Wa-Efeso 5:23,25) vile Mungu anaulinda na upendo juu ya Malaika na binadamu, sa mwanamuke kutawala katika upendo katika nyumba lake. Muwanamme ambaye ameshindwa ama kuanguka kufanya ufalme wa Mungu. Satani alijuwa ya kuwa Mungu alikata Adamu kwa juu ya Eva ndiyo alitaka kumshika yeye mwenyewe baada ya kujaribiwa na kiguza na kuichuna, Eva akajaribi Adamu (Mwanzo 3:6) Adamu hakuwa na nguvu ya kuenda kinyume na matkuwa ya Eva. Hii na onyesa alikuwa na nguvu za kuhesimu Mungu kwa vitu vivyote sasa ange weza kutawala dunia.   

 

Satani ndiyo Utawala usiyo Onekana

 

Satani ali pewa nguvu ya kulinda Adamu na kumletea nafasi ya juu kwa na jukumu ya Utawala, ndipo wangeweza binadamu kujitawala wote. Halafu wakafanya jukumu utawala wazazi wa binadamu. Vile ilibadilika nje, Satani alipata utawala wa Dunia kwa mtu ambayo anoweza kumashinda kwa kuesimu Mungu pasipo kutenda dhambi. Huyo mtu Yesu Kristo Mwisho wake halikuja na kupewa nafasi ya kuwa Mtawala (4:5-8) Haja rudi kwa duniani kama Chifu mtawala.

 

Mungu ali wacha satani haishi dunia, lakini hakapatiwa nguvu za kulazimisha mtu yeyote kufanya dhambi. Satani hako na nguvu ya kulinda na kumjaribu Mtu, kuwa binadamu, Mungu alipatiana akili ya kukumbuka na ku kata kauli kwao wenyewe kwaogopa Mungu au satani (Yakobo 4:7).

 

Kuaibishwa wali amini vitu ambavyo waliambiwa na nyoka lile, Adamu na Eva walijaribu kujificha katika Shamba la edeni. Lakini Mungu alijua pale walikuwa  wanajificha (Mwanzo 3:8).

 

Hamuku ni hesimu wakati mli kula lile tunda ya hekima’’ Mungu aliwauliza akiwa karibu. Kumbuke bibilia ina tuambia hakuna mtu ambaye Mungu Moja wa Ukweli (Yohana 1:18: 5:37). Yule ambaye ali pasha shauti kwa binadamu wakuanza ni Malaika wa Jehovah.

 

“Eva alinipatia matunda,” Adamu akajibu, kujaribu ku ficha koza la mukewe (Mwanzo 3:12) Mungu aliuzunishwa. Haka kubalia mme na mke kufanya matakwa yao wenyewe kwa Yule ambaye wangeweza kuhesimu. Wali chagua njia ambaye yana leta Uzuni.Kulichelewa sasa kwa kupata kifona ni kupitia uchungu, ili kuwafanyiwa lolote kwa uzuri, kile wali bakia ni ukumu (Kumbukumbu la Torati 30:15-19).

 

Wali patiwa mafashi la ngozi kuvaa kutoka kwa uzuri wa Shamba yali tengenezwa kwa mjini yao. Mungu alijua hiyo, kama wange hishi hapo wange weza kula kutoka mti wa Uzima wa milele kwa kutenda mabaya na kuendelea na pasipo kujinyenyekea (Mwanzo 3:21-23).

 

Kuzuia kukua katika Shamba la Edeni, na upanga la kisu lika wekuwa kulinda mlango la kuingia katika Shamba la Edeni (Mwanzo 3:24).

 

Hukumu kwa Binadamu

 

“Kwa sababu umejaribu Adamu na kuanguka katika dhambi utaishi  uchungu utakapo zaa watoto,’’ Mungu haka ambiya Eva. “Na hivyo divyo hita kuwa hat kwa wamama ambao wan kuja’’ (Mwazo 3:16).

 

Kwa sababu mli amini Satani kuliko mwumbaji, binadamu wa kwanza, na kizazi kina mafwata, wame poteza haki ya kuishi kwa amani, furaha na maisha mazuri. Inge kwa na tafauti gani kama awange mdharau Mungu na Kula matunda ya Mti wa Uzima.Wange hishi kwa furaha milele, na kujua maisha ya kubadilishana kwa roho kuishi!

 

Ina fakariwa ya kuwa mpango ya Mungu kwa Adamu na Eva na Watoto wao wote ili kuwa kuishi na amani, furaha na kwa maisha bora. Lakini dhambi likamuingilia binadamu vile ili ingilia mapepo. Msaada wa dhambi ni kifo (Warumi 6:23). Lakini Mungu wetu ni Mungu wa Upendo na Rehema, sasa binadamu hakona nafasi ya kusemehewa na kupewa Uzima upya na kupatiwa Roho wa kuishi tena kama wana wa Mungu.

 

Kama matokeo ingine wa dhambi, Mungu ali laani udongo nje la Edeni. Kwa kipindi cha kuanza mpaka dunia yote.magugu na makuekue kutapaa katika mchanga (Mwanzo 3:17). Hii ili kuwa ngumu kwa Adamu, ambaye alikuwa akilima ili apate chakula.

 

Mungu baba na hekima zake alijua yale ambaye satani na binadamu wata fanya Halafu Mungu aka tengeneza jubilee hili amlinde dunia. Angalia kulinda la siri la Mungu (No. CB20). Tunaona kwa (Ufunuo 22:3) kwa miaka ambazo zinakuja hakuta kuwa na lana kwa udongo, tena dhambi halita kwa na Mungu baba hata keti katika kiti chake cha enzi na kwa mlinzi ulimwengu na Dunia hata utawala.

Adamu amekufa.  

 

Adamu ali ishi kwa muda mrefu ili aone msaada wa kuto hesimu Mungu.Alikuwa na miaka mia tisa na dhamanini alafu haka kufa. Ali ishi miaka mingi kwa sababu aliumbwa kwa mwili nzuri. Lakini haku kufa vile Mungu anasema yue ambaye ame kula lile tunda ya hekima ya zuri na mabaya (Mwanzo 2:17).

 

 

                   

 

q