Makanisa
la wakristo wa Mungu
[CB7]
Kaini
na Abeli:
Wana
wa Adamu
(Edition 2.0
20030809-20070109)
Adamu walikuwa pamoja na mkewe
Eva na akapata mimba
na kuzaa kaini. Hiki karatasi imetolewa
katika sura ya pili wa hadithi
ya Bibilia sura ya kwanza
na Basil Wolverton
na Ambassador College Press.
Christian Churches of God
PO Box 369,
WODEN ACT 2606, AUSTRALIA
Email: secretary@ccg.org
(Rusa ya Uchapizi 2003, 2007 Christian Churches of God, ed. Wade Cox)
(Tr. 2008)
Mafunzo haya yanaweza kunakiliwa bure na kutawanywa kwa masharti ya kwamba yatanakiliwa kama yalivyo yote bila kuongeza au kupunguzwa au kubadilishwa au kufanyiwa masahihisho. Jina la mwandishi na anwani yake na haki milki yake lazima vijumlishwe pamoja. Bila kutoza malipo yo yote wakati wa kunakili au katika usambazaji maneno mafupi y anaweza kunakiliwa katika masomo maalum na kutafakariwa bila ya kuathiri haki milki.
This paper is available from the World
Wide Web page:
http://www.logon.org
and http://www.ccg.org
Kaini
na Abeli: Wana wa Adamu
Katika karatasi No. CB6 tunajifunza kuhusu Adamu na Eva katika Shamba la Edeni. Walipotenda dhambi waliwekwa nje la Shamba na hapo maisha ya mateso na hungumu. Kumbuka kuwa arthi ili laaniwa juu ya dhambi na hii ilikuwa mmoja ya hukumu kwao. Adamu sasa hali tengeza kazi aliopowa na Mungu. Jukumu ya kwana alikuwa kuzaa na kujaza Ulimwengu (Mwanzo 1:28-29).
Baada ya muda mwana alizaliwa kwa Adamu na Eva. Huyu mwana wa Kwanza duniani aliitwa Kaini. Muda mdogo mwana mwingine alizaliwa kwa jina Abeli (Mwanzo 4:1-2). Baadaye akawa mkulima, na akalima matunda, na mboga na mimea. Abeli alikuwa mchungaji wa kondoo ,ambao Adamu na Eva waligundua kuwa ni tamu akipikwa (Mwanzo 4:2). Kaini na Abeli walijifunza kutoa dhabihu kwa Mungu juu ya jiwe.
Leo atutowi dhabihu kwa sababu Yesu Krsito alikuja karibu miaka elfu mbili iliyo pita na kufa kwa ajili yetu zote. Sasa,kama watu kweli wanauchungu wa kutotii Mungu, wanaionyesha na kutubu na kubatiswa kama ni watu wazima (Mitume 2:38). Alafu Mungu anaweka nguvu la Roho lake takatifu katika mafikiria zao ili waelewe na kutii Amri ya Muumba.Huu inawafanya kuwa karibu na Mungu na kujua kuwa anawasikia katika maombi, na kuongea nao wakiwa wana soma Bibilia.
Kabla atujakoma wa kubatiswa lazima tuambie Mungu kuwa tunasikia chungu kwa ajili ya dhambi zetu na kuomba Mungu kusamea sisi na tusifanye dhambi tena.Tuna weza tena kuomba mzamaa au kusema tuko na uchungu kwa watu tunao wa finya.Watoto ambao wako na mzazi mmoja ambayo amebatiswa ama Kuwa dhabihu (1Wakorintho 7:14). Hiyo inaonyesha kuwa mtoto ametengeleswa na Mungu Mtakatifu .Mtoto upewa utunzo bora na kuangaliwa na Malaika wa Mungu na watu katika kanisa.
Ilikuwa tofauti na Kaini na Abeli.Siku moja walipo leta dhabihu yao kwa ukwani tabia zao aikupendeza (Mwanzo 4:34). Kaini alileta matunda zingine wa udongo kama toleo kwa Bwana. Lakini Abeli alileta baadhi ya mafuta kutoka kwa wakwanza wa vifugo vyake. Moya ya Kaini aikuwa nzuri; alikuwa na tabia mbaya. Alidhani kuwa njia ya Mungu sio njia bora kwake, Sasa alifanya kile bora fikira zake. Hii ndio kitu kila mara watu ufanya Bibilia unasema kuwa njia ambao uonekana bora kwa wanadamu ni karibu kila mara mbaya, na kuleta kifo (Mithali 14:12). Njia ya Mungu kila mara ni bora, hivyo au ndivyo inaonekana bora kwa wanadamu. Hiyo ni janga inafaa sisi to yafundize mapema.
Mwanadamu
wa kwanza kuuwawa
Mungu hakukubali dhabihu ya Kaini (Mwanzo 4:5). Maelezo ya kwanza ni kwa sababu dhabihu yake ilitoka ardhini, iliyo laaniwa. Mungu akukubali dhabihu yake.Abeli aliufanya wazi kuwa, dhabihu iliyomwagwa damu kutoka kwa kifungua mimba (au matunda ya kwanza) ilihitajika. Kaini alipogundua kuwa dhabihu yake haukumfurahisha mola, alikuwa na chuki na nduguye,ambaye alifanya jambo la maana. Chuki ukageuka hasira na mwisho ukawa kifo.Hapa Kaini akauvunja armi: Usitamani mali ya mwenziwe.
Hii ni somo la maana na tunafaa kukumbuka kuzuilia mawazo au ukatufanya tuvunje amri ya Mungu. Baadaye wana wawili walipokuwa uwanjani pekeyao, Kaini alimgeukia nduguye Abeli na kumchapa ,huenda mara kadhaa, na nguvu nyingi na akamuua (Mwanzo 4:8). Kwa kitendo hiki Kaini kauvunja Amri la saba usiuwe.
Bibilia inatuambia tupendane wenzetu kwa wenyewe. Anayetenda dhambi ni wa Shetani, kwa sababu shetani ametenda dhambi tangu mwanzo. Hapa tunaona Abeli kama mtu asiye na makosa kwa sababu alimheshimu Mungu; na Kaini alikuwa mwenye dhambi. Alimuwa nduguye kwa sababu kazi yake ilikuwa yenye dhambi nay a nduguye ilikuwa mtakatifu (1Yohana 3:8-12; tazama tena Wahibrania 11:4).
Mwana wa kwanza kuzaliwa duniani aligeuka kuwa muwaji! Kaini alipogundua alichokitenda, na ujinga wake akajaribu kujificha. Ni kweli Mungu alijua alipo na akamtia mutisho. Huyu ndiye mwana aliyeongea na Adamu na Eva katika Shamba la Edeni- Malaika wa Yahovah.
“Ndugu yako yu wapi?’’ Mungu aliuliza (Mwanzo 4:9).
“Sijui” Kaini alidanganya, akidhania kuwa Mungu atakutana na mwili wake Abeli. “Nawzaje kujua mwenendo wa ndugu yangu?’’(Soma Mithali 28:13).
Hapa kulikuwa na uzuni mwingi kwa Adamu na Eva. Kwa kumpoteza mwana wao na pili, waligundua kuwa, mwanao wa kwanza alikuwa muuwaji na tena mwongo. Ndugu hao wawili walijua Amri ya kutoa dhabihu. Dhabihu ya Abeli alikuwa ya matunda ya kwanza kulingana na amri .Kaini hakutaka kuchinja mnyama yake yeyote na ndipo akatoa mazao kutoka kwa ardhi aliyolaaniwa, kutokana na matendo ya Kaini na Abeli tunaona kuwa mazao kutoka shambani ziliwekwa na Adamu.Sherehe za mavuno, pamoja na sabato, zilifahamika kabla Mungu hajampa Musa Amri kumi kwa milima Sinai.
Kaini hakutubu dhambi zake, ndipo Mungu alimlaani kama kukosolewa. Ilibidi kuwaacha familia yake na kutangatanga Duniani peke yake. Mungu alimfanya Kaini mtu aliyejulikana kwa sababu alimwua Abeli, lakini aliufanya wazi kuwa Kaini asiuwawe na yeyote yule ilikuishi akikumbuka jinsi alivyomwa nduguye (Mwanzo 4:11-15). Tena tunaona matokeo ya kutoheshimu yakieukea kwa dhambi.
Adithi ya Kaini na Abeli ni kama ile ya Yesu na Shetani kwa ukaribu. Uchungaji wa dhabihu Abeli ilipokelewa na Mungu kama usiano wa karibu na dhabihu la Kristo. Kuachwa kwa dhabihu la Kaini inaonyesha tabia ya shetani kwa kiburi na uchoyo. Sasa kama tume heshimu Mungu tunapata hukaribu na ukaribio kwa uzo lake.
Bwana ambayo alikuwa anaye menyana na Kaini ilikuwa sawa na malaika wa Yahovah ambayo alikuwa katika shamba na Adamu na Eva. Sasa Kaini alikuwa anatoka mbelle za Mungu kwa sababu la dhambi zake. Alienda katika ardhi ya Nodi, Mashariki wa Edeni.
Mwana
mwingine aliitwa Sethi
Adamu na Eva walipata watoto wengine. Walikuwa na kupata watoto wao binafsi. Kaini pia aliowa mmoja wa dada zake, na walipata watoto (Mwanzo 4:16-17). Mwana wakwanza wa Kaini aliitwa Enoka. Kizazi za Kaini uliendelea na hakuna wana wa Adamu ambao aliheshimu Mungu.
Wakati Adamu alifika miaka 130 mwana mwingine alizaliwa kwake na Eva ambao aliitwa Sethi.Yeye pia aliowa dada ya mke wake, na walikuwa na watoto na wajukuu. Kizazi wa adamu kwa laini ya Sethi waliita kwa jina la Bwana (Mwanzo 4:25-26).
Adamu aliizi tena Miaka 800 baada ya Sethi kuzaliwa. Alikuwa na wana waume wengine na wana wasichana ambao wametajiwa kwa majina katika Bibilia. Adamu halafu alikufa na miaka 930. Kizazi ya Adamu kuliendelea natunaona kwamba watu wa siku izo uisi kwa Miaka mingi.
Kama tunavyo soma kizazi ya Sethi, tunaona mtu mwingine mhimu uzaliwa. Lina lake ilikuwa Nuhu na Mungu alikuwa anaenda kumtumia kwa zababu muhimu kwa adithi ya kizazi ya kwanza Ulimwengu. Baada ya Nuhu kuwa miaka 500 alikuwa baba ya watatu wanaume kwa jina Shemu, Hamu na Yaphethi.
Kwa wakati huu Adamu alikufa, kulikuwa na watu wengu Duniani. Vile Wanadamu waliongezeka, ndivyo wali anguka kutoka kwa muumba wao. Haikuwa kikundi cha furaha. Wanaume walikuwa wachoyo na tama. Iliwafanye kazi inayofaa wana endelea kudanganya na kuiba na kuuwa wenzao.
Watu walifanya maovu kwa nji na mchi badala ya kueneza mapenzi ya Mungu (Mwanzo 4:17). Hii ulileta ungumu na upumbafu, kwa sababu kwa sasa watu hawakuheshimu amri za Mungu.Aikukuwa raisi kwao kuizi pamoja na kupenda kila mmoja.
Jinsi watu waliongeseka kwa nji, ndivyo waliendelea kuhazi kwa wajeshi wadongo kuwalinda.Wengine walikuwa pamoja kutekeleza mchi zingine na nji na kuchukua maji kutoka umo. Hakuna iliyo kuwa tunza kwa watu walio na uchoyo. Ilikuwa kutoka hapo vita ulianzia Ulimwengu. Binadamu alikuwa mbaya na kuuwa mamia ya wenzake zazingine alikuwa kama sporti ambao watu wali chesa.(Mwanzo 6:5)
Wakuu
katika Ardhi
Kwa wakati huu kulikuwa na watu wakuu kwa ardhi.Waliitwa Nephilimu. Bibilia inatuambia walikuwa kizazi wa “Wana wa Mungu” na “Washichana wa Mwanadamu”. Tunaambiwa kuwa Wana wa Mungu Ni Malaika wa Mungu. Kwa njia hii walikuwa malaika walio anguzwa.
Mwanzo 6:1-3 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, 2 Wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wa wote waliowachgua. 3 Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini (NIV).
Shetani na mapepo walitaka kuyaingilia mipango ya Mungu kwa binadamu kwa kitendo cha dhambi kwao wana wake wali oleka kila mara kama watu wako na sehemu ya hyrufaa na nguvu na utukufu. Wali haribu kizazi cha Adamu.
Nephelimi nao watajulikana kama Rephaimu. Wali kua mfano wa binadamu wa Adamu. Lakini sio kwa umbo wa Mungu. Bibilia inatuambia kwa hawata fufuka.Sasa silikuwa sina tafuta kupitia roho wa Mungu na kwa sababu walikuwa utatili walikuwa hawana bidii ya kutatili. Kwa kina Rephaimu angalia Isaya sura 26.
Isaya 26:13-14 Ee Bwana, Mungu wetu, mabwana wengine zaidi yaw ewe wametumiliki; lakini kwa msaada wako peke yako tutalitaja jina lako. 14 Wao wamekufa, hawataishi; wamekwisha kufariki, hawatafufuka; kwa sababu hiyo umewajilia.
Kwa sababu gani Mungu kuaribu ulimwengu kwa maji ilikuwa kwa sababu ya binadamu na uangukako wa maji.
Baada ya binadamu ya kwanza kaizi kwa miaka mia moja na Ishirini,Mungu sasa halirudisha kuishi kwa mpaka 120. Wanadamu walikuwa na uwongo kupitia tabia zao na dhambia mpaka Mungu aliuzunika kwa nini aliumba, na moyo wake kulijaa nauzuni (Mwanzo 6:5-6).
Hila, Nuhu alikuwa safi kwa kizazi huo. Sasa Mungu aliambia Nuhu “Nina enda kuweka kikoma kwa hawa watu wote, kwa sababu dunia umeja maovu kwa sababu yao kwa hakika naenda kuaribu watu na Ulimwengu’’(Mwanzo 6:9-13).
Hili kuwa kwa sababu ya Nephilimu na tabia maovu za binadamu ilimfanya Mungu kukata kauli wa kuharibu binadamu na Ulimwengu. Halafu Mungu akaangiza Nuhu kutengeza safina kumkomboa na Familia yake iliwaanze kizazi kipya baada ya Maji.Tutaongea kuhusu hiki katika karatasi; Noah and the Flood (No. CB8).
q