Makanisa La Wakristo Wa Mungu

[CB16]

 

 

 

Musa na Kutoka

 

(Edition 2.0 20020301-20070129)

 

Musa alichanguliwa na Mungu kuongoza wana Israeli kutomka Misri pahali walikuwa watmwa. Kupitia Musa na Aaron Mungu alifanya mujisha na ishara Mingi kuwa yeye ndio Mungu moja wa Ukweli na Mkuu.

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

Email: secretary@ccg.org

 

(Copyright ă 2004, 2007 Diane Flangan, ed. Wade Cox)

(Tr. 2008)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 


 

Musa na Kutoka


 

Kwanza ni muhimu tujue kwa nini Wana Israeli walikuwa Misrina kwa nini walifanywa Watumwa. Na tena ni muhimu tujue adithi ya Yusufu (Tazama Joseph: the son of Jacob Part I (No. CB15).

 

Yakobo ambayo baadaye aliitwa Israeli, alienda kuishi Misri na wana kumi na moja na familia yao. Kulikuwa na njaa Kaanani walipo ishi. Yusufu, mwana mpendwa wa Yakobo, alikuwa kiongozi Misri na liwaita waje na kuishi umo, pahali vyakula ilikuwa mingi. Nambari ya kizazi ya Yakobo (Israeli) ilikuwa sabini walipoenda Misri (Kutoka 1:1-2).

 

Baada ya kulinda Misri kwa miaka mingi Yusufu alikufa akiwa na miaka 110. Kabla ya yeye kukufa aliambia mandugu zake kuwa Mungu siku moja atarudisha Isreali nyuma hadi Kaanani (Mwanzo 50:15-21).

 

Baada ya Yusufu na ndugu zake zote kufa, nambari ya wana Isreali katika Misri iliongezeka. Ardhi ilijaa noa (Kutoka 1:6-7).

 

Baada ya karne mbili Wana Isreali katika Misri iliongezeka mpaka milioni mbili. Farao mengi walitawala na kufa kwa muda huu na punde Yusufu alisahaulika na Farao hao (Kutoka 1:8). Farao iliyo fuata na kutajwa kwa Bibilia akupenda Wana Isreali.Aliona kuwa wana kuwa mengi kwa nambari na kuwapa kazi ngumu kufanya. Na kuwapunguza walikuwa wanaongezeka kwa nambari. Wa Misri wali wateza vibaya.Punde WaIsreali walikuwa watumwa chini ya ulinzi wa Misri. Walikuwa wakifanya kazi ngumu na kwa masaa mingi kwa kila siku (Kutoka 1:8-14).

 

Wakati WaIsraeli awakuwa waki pungua kwa nambari, Farao alitowa amri kuwa kila mtoto mvulana waliozaa wauliwe na wamama wa Misri (Kutoka 1:15-16). Kwa kitendo mbaya hii Farao alidhani kuwa ataulinda Wa Isreali.Lakini wamama hawa awakuweza kufanya hivyo. Waliambia Farao kuwa wanawake wa Isreali ni wajasiri na awatataka yeyote kama wana jifungua kwa wana wao.Mungu alifanya mpango ili hawa 

 

Wamama awatatezwa kwa rehema hii(Kutoka 1:17-21). Kuna funzo kubwa kwetu zote

 

kupitia kitendo huu wa Wanawake wa Misri.Wale Walio heshimu Mungu kuliko waongozi wenye nguvu na kulindwa na kuwapwa makao (Kutoka 1:21-22).

 

Tena Farao aliweka wanajeshi kuchukua watoto wavulana walio zaliwa na kuwatupa kwa mto Nili (Kutoka 1:22). Kwa njia hii wana Israeli walisikia uchungu na waka tamani ku kimbilia Misri.

 

Maisha ya Musa Inaonyesa mpango ya Wokovu

Adithi ya Musa sio adithi tuu ya kutoa kundi la watumwa kutoka Misri. Inatuonyesa mpango ya Mungu wa Wokovukwa Dunia mzima kama tunavyo ona kwa Bibilia.

 

Mpango ya Wokovu inaweza kuonekana kwa maisha ya Musa kuzaliwa na hatua ya Maisha yake. Maisha yake iligawanywa kwa hatua tatu kila miaka 40. Aliishi kwa Miaka 120 (Kumbu 34:7).

 

Miaka arubaine ya kwanza ilikuwa Misri. Miaka arubanne ya pili ilikuwa Midiani kama mchungaji (Mtume 7:29), na miaka arubanne ya mwisho ilikuwa jangwani. Mpango ya Wokovu ni wa Miaka elfu sita, na kufuatwa na ushindi wa Yesu Kristo kwa Miaka elfu moja (Ufunuo 20:2-6).

 

Kutoka kwa maisha ya Musa tunaelewa kuwa miaka elfu sita ulikuwa kugawanywa kwa hatua tatu kwa Jubilee arubainne kila moja. Jubilee ni Mika arubanne. Sasa hatua moja ni 40×50=2,000 miaka. Sasa hatua tatu lazima yakuwe 2,000×3=6,000 miaka.

 

Musa amezaliwa

Mwana mvulana mzuri alizaliwa kwa wana Isreali kati ya kabila wa Lawi ambao waliishi karibu na mto Nili.Walijaribu jumficha mtoto huo kwa serikali kwa mwezi tatu. Kama awakuwa wakiweza kushidi kumficha walimweka kwa kikapu na kumwacha kupelekwa na maji kando yam to. Dada zake walikuwa karibu kuangalia kile kitatendeka kwa mwana huo (Kutoka 2:1-4).

 

Punde msichana wa Farao akaja kwa mtoni na kutambua ilo kikapu. Ilitambua mtoto kama mwana Israeli, lakini alikuwa mzuri ambapo alikuwa akitaka kumtunza na kumlinda (Kutoka 2:5-6). Halafu dada yake mtoto alikuja kwa binti wa mfalme na kukubali kumtafutia mtunzi wa huyo mtoto. Kwa kweli alikimbilia mamake mtoto na binti wa mfalme alimwambia mama kuangalia huyo mtoto na hata kucheza alikuwa huru kucheza na yeye. Aukubalika wawe kwa tabu yeyote (Kutoka 2:7-9).

 

Kama kijana alisaa kuwa mkubwa walimpeana binti wa Farao. Alimuita Musa (Kutoka 2:10). usa alisoma kwa helium na vita vya Misri na baadaye alipewa sehemu kubwa wa ofisi kwa jeshi la Misri. Mung alikuwa namuwandaa kwa kazi kuu. Baadaye alikuwa anawazanyika Wana Israeli na kuwaweka pamoja na kuwa linda kwa Jangwani.

 

Kama alikuwa miaka Arubaine Musa alikuwa na taama ya wenzake Waisraeli watu wao na taama kidogo kwa wa Misri.

 

Musa akakimbilia Midiani

Musa alitambua jinsi Wamisri alikuwa anatesha Wa Isreali. Hawa walikuwa watu wao sasa alikuwa na uchungu. Siku moja aliinginlia kuzaidia Misreali mmoja ambayo alikuwa napigwa na Mmisri. Musa kwa baati mbaya alimuuwa Mmisri huyo, na kama akuna mtu ambayo alikuwa ana muona alimficha kwa muchanga (Kutoka 2:11-12).

 

Musa baadaye alijuwa kuwa kitendo chake kilitambuliwa na wengine. Kama Faroa lisikia hivyo alisema Musa auliwe (Kutoka 2:15). Sasa Musa alikimbia mbali na Misri na kufika Midiani.Hapa ndiyo ilikuwa mwisho wa miaka arubaine wa kwanza wa Maisha ya Musa.

 

Midiani Musa alikutana na kuowa Zippora ambao alikuwa moja ya wasichana saba wa kuhani Reueli (Kutoka 2:16-22). Punde walipata watoto wawili vijana. Musa alikuwa na kuishi Midiani kama mchungaji kwa miaka arubaine .Hii ilikuwa sehemu ya pili wa maisha yake ambayo ilikuwa muhimu. Muda alichukuwa akichunga kondoo inatuonyesa kuwa Isreali kutachukuwa miaka arubaine Jubilee (miaka 2,000) kutengeza adithi yake na tamaduni ya Bibilia. Na hii ndiyo muda  kutoka kwa Ibrahimu mpaka Mesia.

 

Baada ya miaka mingi ya kufanya kazi kama mtumwa kwa Misri Wana Isreali walimlilia Mungu. Mungu alisikia vile walilia na luteseka walio kuwa nayo. Alichagua mtu wakipekee kutowa watu wake Misri. Tutaona nini aliyofuata kwa nini mungu alichagua Musa kutoa watu wake.

 

Musa na Moto kijitini

Musa alikuwa karibu na miaka 40 wakati siku moja aliona kitu chaajabu kwa milima ilikuwa karibu (Kutoka 3:1-2). Malaika wa Bwana akamtokea, katika mwali wa moto uliotokea katika kijiti ambayo alikuteketea (Kutoka 3:3).

 

Hapa ni vyema kuongea kidogo juu ya huyu Malaika. Malaika wa Bwana alikuwa mtumishi wa Mungu.Malaika huu, imesimamia kuwa au Utukufu wa Mungu, alikuwa Yesu Kristo kabla ya kuja ulimwengu kama binadamu. Alipewa jukumu wa Isreali Kwa adithi hii tutaona vile Malaika aliwatowa Misri kupitia Musa na kuwalinda mpaka nchi ya Ahadi.

 

Sasa Musa alikuwa na shuku kwa moto huu kwa sababu kijiti haikuwa ikiteketea. Kama alijaribu kuenda karibu na kijiti huo Malaika wa Yahovah, anaongea kama aliyesimamia kwa Mungu, aliita Musa na Musa akajibu (Kutoka 3:4).

 

Aliambia Musa asije karibu na avua viatu miguuni kwa sababu aliko simamia ni patakatifu (Kutoka 3:5). Musa alikuwa na hovu na kuficha uso wake. Alafu Malaika akaendelea kusema “Mimi ni Mungu wa Babu zako, Mungu Wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo’’. Huyu ni Malaika anaongea kama mutumwa wa Mungu.Sauti tena ilimwambia kuwa naenda kutowa Wana Isreali kutoka Misri. Mungu alijitambua kwa Musa na kwa Isreali, kupitia Kristo. Baadaye, ajitambue mwenyewe kwa Ulimwengu kupitia Mesia mwenyewe.

 

Musa aliambiwa kuenda kwa Farao na kumwambia awache watu wake waende bure (Kutoka 4:6-10). Musa alikuwa na ovu nyingi sasa. Alizangaa kwa nini Mungu anamuchagua yeye kuenda kwa Farao kwa ombi lake. Alikumbuka kuwa awezi kunena lugha ya Misri vyema na alikuwa na zida ya kuongea. Lakini Malaika alimuambia ataenenda nay eye (Kutoka 4:11-12).

 

Musa aliomba kuwa watu hawata muamini na watauliza jina la aliye ni tuma. Malaika akajibu, “MIMI NIKO MIMI’’. Hii inamaanisha Mimi niko nitakuwa Kwa Waibrania asili. Malaika alisema: “Ambia wana wa Israeli “MIMI’’ amenituma kwenu’’ (Kutoka 3:14-15).

 

Musa aliambiwa kuwa asanyike wazee wa Israeli na kuwambia vile Mesia alimuambia. Baada ya hiyo Musa alikuwa anaenda kwa Farao na kumuambia? "Bwana Mungu wa Waibrania amekutananasi na sasa tuwache, tunakuomba, safari ya siku tatu jangwani, ili tumtole dhabihu Bwana Mungu’’(Kutoka 3:16-22).

 

Musa bado alikuwa naonga kuwa watu bado hawatamuamini. Mungu aliwapa Musa ishara tatu ambayo ambayo itamuonyesa kuwa aliongea na Mungu na kuwa likuwa na sema Ukweli (Kutoka 4:10.

 

Ishara ya kwanza alikuwa kuwa kijiti lake ya kuchunga kondoo aligeuswa nyoka na tena ikarudi kuwa kijiti (Kutoka 4:1-5). Hii inamaanisha kuwa Musa alipewa nguvu juu ya mapepo wa Shetani.

 

Ishara ya pili ambayo aliambiwa Musa Kufanya ilikuwa kutia mkono wake kifuani. Alifanya hivyo na ilkuwa na ukoma. Hii ni ungojwa inayo weka ngozi la mtu kuwa nyeupe na isio na afya. Alafu Musa aliambiwa tena kutia mkono wake kifuani mara ya pili na ilitokea maisha bora tena (Kutoka 4:6-7). Hii ishara ilimaanisha kuwa Musa atakuwa na nguvu juu ya mwili ya binadamu.

 

Na aliambiwa kuwa kama watu hawatamuamini ishara hayo mbili au kutosikia tuliosema, kutakuwa na ishara lingine. Musa aliambiwa kuchota maji kutoka kwa mto na kumuaga kwa ardhi kavu. Kwa njia hiyo itageuka damu (Kutoka 4:8-9). Ishara hii inaonyesa Musa alikuwa na nguvu ya Roho ya Mungu.

 

Musa alisema kuwa awezi ongea vizuri. Lakini malaika alimwambia kuwa ndugu yake Aruni atakuwa akiongea badala yake (Kutoka 4:10-17). Bwana ambo alikuwa malaika, tena aliambia Musa  kuwa atawafundisha jinsi ya kuongea wakati ukifika  bora.Usiano huu wa Musa na Aruni ilikuwa usiano kama ya Kristo na Mungu. Kristo ilisemwa kuwa ni ‘Neno’ au mwongelesaji wa Mungu kama tunavyo ona hapo juu. Kwa njia hii. Aruni alikuwa mwongelesaji wa Musa.

 

Sasa hiyo ilimaliza miaka arobaini wa pili ya Musa.Sasa Musa alikuwa miaka themanini. Kutoka hapa tunaenda kwa miaka arobaini ya mwisho maisha ya Musa.

 

Musa aenda Misri

Musa alisema bai kwa baba ya mke wake na kuchukua mke wake Zipora na wana wake wawili kuanza mwendo kuenda Misri. Lakini kwa njia Bwana alikutana na Musa na kumwambia ‘Sauti ya kuuwa’ (Kutoka 4:18-23).

 

Maana ilikuwa Musa alikuwa na swala na mwana wake kama ilivyo amuriwa Ibrahimu. Sasa Zipora alichukua jiwe na kutairi mwanawake na kuguza miguu ya Musa (Kutoka 4:24-26). Alikuwa na mkali na Musa na sazingine alituma familia yake nyumbani wakati huo, vile tunavyo ona kuenda kwake Misri na Aruni ndugu yake.

 

Kama Musa alikutana na Aruni alimwambia yote Mungu alimwambia. Alafu alienda kwa wazee na kusema yote ambazo Bwana alisema. Wali fanya ishara iliwatu waamini. Walijua kuwa Mungu mwisho alituma mtu kuwatowa Misri.

 

Kutoka sura 5 inatuambia ugeni wa kwanza wa Musa na Haruni kwa Farao. Farao akuwa na mpango ya kuwacha watu hawa waende. Tena alikatakauli kuwa atawapa kazi nyingi kwa hao watu. Sasa alihamua kuwa watu wachange vijiti yao kila mmoja ya kutengeza matofari. Hii ilikuwa inachukuwa muda lakini walikuwa wakifanya hivyo kila siku. Sasa watu walikuwa wanapigwa Kutowa matofari ya kutosha. Farao  akuwa akitaka kuwacha watu waende kutoa dhabihu kwa Mungu wao. Sasa Farao alijaribu kufanya vitu kuwa ngumu kwa watu na hata kuwaweka kutoamini Musa mtumishi wa Mungu.

 

Kutoka sura 6 inatuambia kuwa Mungu na Musa kuongea kupitia Malaika. Hapa sasa Musa alikuwa akikosa tumaini.Mungu aliambia Musa kukumbuka agano lake au ulewano kati yake na Ibrahimu.Mungu alisikia kilio cha Wana Israeli ya usaidishi na kuahidi kuleta

1)Kuwatoa Misri na tena kwa utumani.

2)Kuwaokoa kwa mikono wa nguvu ambao ni uhamushi nzuri.

3)Kuwa watu wake.

4)Kuwa Mungu wao.

5)Kuwaleta katika ardhi ya ahadi kwa mababu zao.

6)Kuwapa ardhi yake kama yao(Kutoka 6:6-8).

 

Musa aliongea na wana wa Israeli lakini hawakuamini kwa sababu moyo yao ulichoswa na kazi ngumu maisha yao.

 

Musa akuamini kuwa Farao atamusikia kama watu wao ndio hawakumsikia. Mungu alimwambia kuwa atatumia ishara kuu na majabu Misri, na Farao na wana wa Misri wata muamini Mungu moja wa Kweli Mungu aliwatoa watu wake Misri.

 

Musa na Haruni kwa Farao

Musa alikuwa miaka 80 wakati alienda kuongea na Farao na Haruni alikuwa miaka 83.

 

Kutoka sura 7 Inatuambia kuushu ishara kumi ,ambao zilileta uchungu mwingi,sida na mateseko kwa wana Misri. Kutokea ishara ya kwanza wa tisa Farao alikata kutowa watu wa Mungu.

 

Ishara ya kwanza ilikuwa fimbo ya Haruni kugeushwa nyoka. arao naye aliwaita wanganga wake na kufanya sawa sawa nao.Kwa sababu kila mmoja aliaguza fimbo lake na ikageuka kuwa nyoka Farao ali kumbuka kuwa wanganga wake ni wazuri kuliko Mungu. Lakini fimbo la Haruni ikameza fimbo zao zote. Hata hivyo Farao hakukubali na hata hakusikia Musa na Haruni.

 

Ishara Kumi

Ishara ya Kwanza: maji ikawa damu

Farao alikuwa naoga katika mto ya naili. Fimbo la Haruni ilinguza maji na ikawa damu. Samaki zilikufa na kunuka na hatukuwa na maji safi kwa wana Misri kukunywamaada ya siku saba. Wanganga walijaribu kufanya maji damu nao (Kutoka 7:22). Sasa Farao alikuwa na ulewano huo sasa akuamini kuwa ni mujisha wa Mungu.

 

Itakuwa hivyo kwa siku za mwishi kama wa sayansi nao wata k=jaribua to sema vitu kwa sayari huu na kwa siku ya parapanda na gadhabu ya Mungu.

 

Ishara ya pili: chura

Haruni alinyosha fimbo lake kwa mto naili na chura zote zikatoka na kujasha Misri. Walikuwa katika nyumba, kitanda na hata sehemu zote za Misri. Wanganga wa Farao nao waliteta chura. Farao aliambia Musa kuongea na Mungu ili Mungu atowe hayo chura alafu atawacha watu waend. Musu alimwahidi kuwa chura hayo wata toka kabla ya asubuhi. Sasa asubuhi chura zote zika kufa kwa nchi mzima. Tena Farao alikuwa na maana ya huo na aliharibu ahadi yake.Bado hakuwacha watu waende. Chura zina maanisha mapepo zio ya Misri peke. Ishara hii ni kama ya roho za siku za mwisho. Ni kama chura ambazo zinatoka kwa midomo ya nyoka mnyama na nabii wa uongo (Ufunuo 16:13).

 

Ishara ya tatu: chwachi

Haruni tena alipinga ardhi ya ulimwengu na kulikuwa nachwachi kwa binadamu na wanyama. Sakafu zote za Misri ilikuwa na chwachi. Wanganga hawa wa Misri walijaribu kufanya hii lakini walikosa. Wanganga waliambia Farao kuwa hii ni mkono wa Mungu (Kutoka 8:19). Musa aliambia Farao awache watu wa Mungu waende hama bado ataona ishara mengi.

 

Ishara ya Nne: nyuki

Kwa Kutoka 8:20ff. Bwana aliambia Musa kuleta Ishara ya nyuki kwa binadamu na wanyama wa Misri. Aini Mungu aliweka utenganyifu kati ya watu wake na watu wa Misri wa sabau wana waisraeli waliishi kwa ardhi ya Gosheni, mbao ilikuwa utengano wa Misri, ungu alikatasha nyuki wasiende umo.

 

 Hii ilikuwa ina maanisha kuwa Waisraeli walikuwa watu wakipekee na watakatifu wa Mungu.Na ni muhimu kujua kwamba nyuki haya zilikuwa Baalzeebub, Mungu wa Ekron, kati yaw a Kaanani. Hawa watu walikuwa na usiano na Misri. Tunaona kuwa ishara hii ina maanisha miungu kuwa hawananguvu.

 

Farao tena aliahidi kuwacha watu kutowa dhabihu kwa mungu wao (Lakini sii bali sana), kama Musa atamwambia Mungu kutoa ishara. Nyuki zilitoka lakini moyo wa Farao bado ilikuwa ngumu na hakuwacha watu waende.

 

Ishara ya tano: Ungojwa ya wanyama.

Hii ilikuwa ungojwa ya wanyama. Baadhi walisema kuwa hii imetokana na nyuki, lakini kwa sayansi wa kisasa inafanya watu kutoamaini kuwa ilikuwa mujisha wa Mungu. Ng’ombe zote za Misri walikuwa wongojwa na kufa. Hakuna mnyama ye yote ya Waebrania ailikuwa mngojwa. Farao bado alikata kuwacha watu waende.Utakatifu huo ililetwa kwa ng’ombe. Hii ilikuwa ina maanisha dhabihu ya kipekee. Ilikuwa ina maanisha dhabihu ya Mesia. Ng’ombe dume ilikuwa ni ya utakatiku kwa mungu wa Misri Apis. Sasa kufa kwa Ng’ombe ilikuwa madhara kwao kama mungu.

 

Ishara ya sita: Safu

Musa alichukuwa safu mkono wake wote na kutwika kuelekea mbunguni kwa uso wa Farao. ii ilileta madhara au unyafu kwa binadamu na wanyama. Lakini Farao bado hakuwacha watu wa Mungu waende. Hata madawa ya wanganga haikuweza kuponya madhara hii.

 

Wakati huu itakuwa kwa siku za mwisho, wakati watu watakuwa na madhara huo mbaya kutoka kwa alama ya mnyama (Ufunuo 16:11).

 

Musa alionya Farao kwa Ishara inayo fuata. limwambia kuwa kama wanadamu na wanya hawataletwa  nyumbani kutunzwa wata kufa.

 

Ishara ya Saba:Moshi

Hii ilikuwa moshi mbaya ambayo ilikuwa na moto ambao wana Misri hawaja ona. usa alinyosha fimbo yake kuelekea mbinguni na Mungu alituma ngurumo na Moshi na moto kwa ardhi. Ili uwa wana damu na wanyama walio kuwa nje Ili pinga miti na kuuwa vijiti ambazo zilikuwa zina mea. Goshen pekee pahali wana Waisraeli walikuwa ndio akukuwa na huo ngurumo.

 

Farao alipewa onyo ya masaa ishirini na nne kuweka watu na wanyama kwa nyumba. Hii ilitolewa kwa sababu ya wanganga wa Misri amboa wana sema kuwa wana tabiri hali ya hewa. Tunaona kuwa hawange weza kuzuia mkono wa Mungu kufanya kazi.

 

Ishara hii itatumiwa kwa siku za mwisho (Ufunuo 11:19; 16:21). Walio ogopa Bwana walikimbilia nyumba. Wasio kufa kwa uwanja (Kutoka 9:21). Farao aliogopa lakini Musa alijua kuwa Farao na watu wake bado waja mwamini Bwana Mungu (Kutoka 9:30).

 

Farao aliita Musa kumwambia Mungu kukoma ngurumo na moshi. Musa aliambia Farao kuwa akitoka kwa nji na kutambua mkono huo ngurumo na moshi itaisha. Tena kama ishara huo ili simama Farao alingeusha mafikiri zake na hakuwacha watu wa Mungu waende.

 

Mungu aliendelea kufanya ishara na mujisha ili kizazi zote wajue Mungu Moja wa Kweli.

 

Ishara ya Nane: Vinara

Vinara ni kama nyajwa. Wana wezakula chochote ambacho ni majani miti zote na mimea zote waliaribu. Farao alijaribu kufanya ulewano na Musa kuwa watu wataenda kuabudu na kutowa dhabihu, l akini wanawake na watoto wata baki Misri. Farao alikuwa anaweka wanawake na watoto kama wasikwa ili wanaume warudi Misri. Mungu ana fanya nazi kama familia nah ii haikuwa vyema. Kulikuwa na vinara ambako ardhi ilikuwa giza. Walikula chochoye kilicho baki Misri. Tena ilikuwa yakawaida kuwa mungu zao hawaku weza kusimamisha ishara huo.

 

Bwana alifanya moyo ya Farao kuwa ngumu na watumishi wake ili aonyeshe watu hawa mujisha wake. Farao alikuwa ana funshwa na kuelewa haya kuwa hata kwa kizazi zote (Kutoka 10:2). Wote watajua kuwa Mungu moja wa Kweli ni Mungu wa wote na juu ya yote. Vinara walitumiwa kumalisha yale ambo moshi hayakumalisha (Kitoka 10:3-6).

 

Farao tena aliambia Musa kutowa vinara ambao lifanya. Kama saa ya samani Farao bado alikataa watu wa Mungu kuenda.

 

Ishara ya Tisa: Giza

Hii giza katika nchi ya misri kulizikiliwa. Ulikuwa kwa siku saba. Lakini wana waisraeli walikuwa na nuru kwao. Baada ya siku tatu Farao aliita Musa kwake na kumwambia watu waote wanaweza kuenda na kuabudu Mungu, lakini wanyama zao zita baki. Wanyama walikuwa sehemu ya Wana Israeli maisha yao na chombo cha dhabihu kwa Mungu Mkuu.

 

Hii tendo ilikuwa kinyume na nguvu za miungu za Misri, Sun god Ra au Amun-Ra.

 

Moyo ya Farao ilikuwa ngumu na akasema, “Toweka kwangu nenda, na usione uso wangu tena kwa kuwa siku utaona uso wangu utakufa.’’ Musa alikubali kuwa hataona uso wa Farao tena kwa sababu ilikuwa wakati wa Ishara ya mwisho.

 

Malaika akambia Musa kuwa Wana waisraeli wata lazimiswa kutoka Misri. Musa aliambiwa kuambia Wana Israeli kukopa na kuomba sawadi kwa wana Misri. Wa Misri kwa moyo safi walitowa saba zao, dhahabu, fedha. Hii moyo wa upujufu inaonyesha kuwa wali ogopa Musa na kuwakumbuka kwa siku za awali kama afisa mkuu wa Misri. Na tena Wa misri walikuwa na moya wa asante kwa yale wana Israeli waliwafanyia.

 

Musa alijua kuwa ishara ya mwisho ni kifo ya wana wa kwanza za wanadamu na wanyama. Wana wa Kwanza ama mazao ya kwanza ni ya kipeke kwa Mungu. Mungu aliambia Musa jinsi ya kusuhia kifo kwa Wana wa Kwanza za wana Isareli.

 

Pasaka ya Kwanza

Kutoka sura ya 12 ina tuambia: “Hii mwezi itakuwa mwanzo wa mwezi zote kwako. Itakuwa mwezi wa kwanza ya mwaka.’’ Kwa siku ya kumi wa mwezi wa kwanza kondoo itatengwa ya Familia. Hii kondoo inawekwa mpaka siku ya kumi na nne na kuhuliwa jioni.

 

Hakuna MIsraele yeyote atatoka nje usiku mpaka asubuhi ya kesho. Nyama zili nyomwa juu ya moto. Na kondoo wakila na vijani na mkate usiochachwa. Sehemu ye yote kilicho baki ya kondoo kina chomwa kwa moto kabla ya asubuhi. Waisraeli walikula vizuri wakiandaa kwa kutembea na viatu miguuni na vitu mikononi.

 

Waki uwa kondoo walikuwa wakipaka damu kwa nguzo la lango .Hii ilikuwa mfano wa ulinzi wa Mungu. Kama Malaika wa kifo akipita kwa usiku, anajua nakupita hayo nyumba ambayo yana damu milangoni.

 

Hii ilikuwa ya kuwekwa kama ukumbuzo; Kama sikuku kwa Bwana kila kizazi (Kutoka 12:14). Imewekwa kama Pasaka kila mwaka kwa siku ya kumi na nne wa mwezi wa kwanza.

 

Sura ya 15 Tunambiwa kukula mkate usiochachwa kwa siku saba. Siku 15th na siku 21st siku ya Abibu ni siku takatifu. Inafaa tusifanye kazi ye yote ingawa kupika chakula peke. Inafaa tusafishe chumba zetu kwbla ya siku 15th. Wana Israeli waliambiwa kutowa safu zote kama mkate, keki na vya kupika kwa nyumba zao kabla ya kutoka Misri (Kutoka 12:15).

 

Juma ambayo hatukuli chachwa yeyote saa ya kulinda milele na sisi. Kuna vitu nyingi tuanafaa kufindishwa kuushu hii sikuku lakini tutaongea kwa nakala God’s Holy Days (No. CB22).

 

Usiku Mungu aliukumu miungu zote za Misri. Kila ishara ilikuwa ya miungu yanayo habudiwa na wana wa Misri. Hakuna kutoamini kuwa haya Ishara yalikuwa ya hajabu na vibaya kwa watu kubeba. Hata hivyo Farao alikuwa mung kwa wtu wake na haya yote ilikuwa ya kuonyesha kuwa hakuna mungu, mfalme hau mwana mfalme au sanamu iliyo na nguvu juu ya Mungu Moja wa Kweli.

 

Kuheshimu Mungu Wana Israeli walikula Pasaka kwa haraka na kujiandaa kuanza mwendo.

 

Ishara ya Kumi: Kifo cha watoto wa kwanza wa Misri

Kati kati ya Usiku watoto wote wa kwanza ya wanyama na wanadamu walikufa. “Kutoka kwa mzak=liwa kwanza wa Farao ambao alikaa kwa kiti cha wa kwanza na wote hata wanyama zote’’ (Kutoka 12:29). Kulikuwa nakilio kubwa Misri kwa sababu kila familia walitupa mmoja. Lakini wana Isreali walikuwa sawa kwa nyumba zao walipo ambiwa kupaka damu kwa nguzo la mlango (Kutoka 12:27-28). Tena hii ilionyesha tofauti ya watu wawili.

 

Sasa Farao alijua kuwa Mungu wa nguvu wa Israeli ni mkuu kuliko mungo zote anayo jua. mungu zake walikua hai lakini wa kukufa. Sasa alikuwa na haraka ya kumalisha hawa wana Israeli.

 

Kutoka

Farao aliwaita Musa na Haruni kwa usiku na kwambia (Kutoka 12:3ff.) “Inuka toka kwa watu wangu, wewe na wana wa Israeli nendeni mtumikieni Bwana kama mnavyo sema. Tena chukua wanyama zetu na mnende na mnibariki mimi pia.’’

 

Israeli wli toka Misri siku hiyo vile waliingia karibu miaka 430 awali (Kutoka 12:40-41). Mungu aliambia wana Israeli kuambia wana wao kwa kila kizazi.Hakuwa akitaka wasahau vile aliwatowa Misri kwa utumani (Kutoka 13:3-10). Ni “Usiku ya kutengezwa”, “Usiku ya kuangaliwa’’ kwa kizazi zote milele.

 

Kama Malaika wa Mungu aliwalinda wana Israeli kutoka Misri aliwalinda kama nguzo ya mawingu kwa mchana na nguzo ya moto kwa usiku. Malaika wa Bwana akuwacha Israeli. Mungu aliwalinda wana Israeli kwa huru kutoka kwa jangwani mpaka bahari ya zamu.

 

Hii ilikuwa njia kafu lakini wa Israeli waliendelea na hawakurudi Misri, hata kama kulikuwa na majaribio na zida.

 

Baada yao kutoka Farao alilia kwa nini aliwaacha kuenda wana Israeli.Wana Misri sasa wali kosa watumwa. Sasa aliaanda farasi lake na wana jeshi wake kufuata watumwa zake.

 

Punde Farao na wana jeshi wake walionelewa na wana Israeli wakikaribia bahari ya zamu. Ingawa wana Israeli waliona ishara na mujisha ya Mungu Moja wa Kweli walinungunika na kutaka kurudi Misri.

 

Musa kama kiongozi wao: “Msiwe na hofu simameni na mtaona makuu ya Mungu siku ya leo. Kwa sabau wa Misri mnao waona leo hamuta waona kamwe. Bwana atawapigania na muta kuwa na amani” (Kutoka 14:13-14).

 

Musa aliinuwa fimbo lake na kupinga bahari ya zamu na ikapasuka na wana Israeli waka tembea kwa sakafu. Nguzo ambayo ilikuwa mbele ya Israeli ilirudi kuwa nyuma yao. Nguza sasa ilikuwa kati ya Misri na Wana Israeli. Nguzo ilikuwa giza kwa wa Misri lakini ilikuwa ikutowa nuru kwa wa Israeli. Mawingu ya masariki ilifanya bahari kuwa sakafu usiku huo, na wana wa Israeli walitembea kwa bahari ya zamu kama ardhi sakafu.

 

Wa Misri waliendele kuwafuata wa Israeli. Kama mwisho wa mIsraeli alizapita bahari ya zamu, Musa tena akaubeba fimbo lake na bahari ya Zamu ikameza wa Misri wote. Hivyo ndivyo Mungu Moja wa Kweli alivyookowa wana Israeli kutoka utumwani.

“Na wa Israeli waliona kazi kuu ambao Bwana alifanyia Wa Misri: na watu waliogopa Bwana na kumwamini Bwana, ma mfanyikazi wake Musa’’(Kutoka 14:31).

 

Tazama tena nakala Moses and the Gods of Egypt (No. 105).      

 


 

 

q