Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[CB20]

 

 

 

Kalenda Takatifu ya Mungu

 

(Toleo 3.0 20020131-20050212-20061224)

 

Mungu mmoja na wa kweli alikuwako tangu awali. Alitufanyia mfano mbinguni ili tuweze kufahamu namna ya kuzingatia sikukuu alizoziteua karatasi hii itaangazia dondoo za msingi za nyie ya Mungu za kulinda wakati.

 

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

 

(Copyright ă 2002, 2005, 2006 Diane Flanagan and Wade Cox)

(Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 


 Kalenda Takatifu ya Mungu [CB20]

 


Mungu mmoja na wa kweli (Yoh 17:3, 1 Yoh 5:20) ambaye alikuwako tangu awali (1 Tim 6:16) alituumba mbingu na ardhi (mw. 1:1) na wana wa Mungu wakatazama na kapaza sauti kwa furaha (Ayu. 38:7).

 

Ardhi alipobakia utupu usio na thamani (mwa. 1:2) Yesu Kristo, chini ya uongozi wa Baba yake, akaafuata mfano uliowekwa awali ba babake. Nawa kuimbe cha kiroho kristo aliifanya upya arthi ili kumwekeza bindamu kuishi.

 

Panapo siku ya nne ya uumbaji nuru iliweza kuonekana mbingun (Mwa. 1:4). Nuru kuu, jua ilitawala mchana na nuru ndogo, mwezi, kutawala usiku.

 

Usiku mmoja na mchana mmoja ni sawa na muda wa ishirini na nne. Tunasema kuwa hii ni “siku” moja hata ikiwa inaliusilia ule usik. Ungu anawashisha muda wake (siku na mwezi) jioni wakati wa giza (mambo ya Walawi 23:32). Alivyo siku inatangwa na giza la joni au siku ulitangulia. Aidha intambulishwa toka usik uliotangulia hadi jioni ijayo, wakati wa magharibi kwa haya yote yako chini ya Mungu na kwamba anayafahamu yote, aliifanya mfano mzima wa mambile ya angani kwa namna ambayo lazima nyakati mwafaka za sabato, miezi mipya na sikukuu.

 

Hivyo tunaweza kuzidumisha siku hizo sawa saBinadamu wa kisasa anaweza kuiazisha sikuu usiku wa manane. Lakini aamuacho Mungu hakiwezi kubadilishwa na binadamu. Hamna inadamu awezaye kuibadilisha mipango ya Mungu.

 

Zipo siku saba kwenye kama moja. Kati yyao tuna siku sita za kufanya kazi zetu (Kut. 20:8-11). Hii ina maana kuwa kwenye siku hizi sita, twapaswa kufanya kazi vilivyo. Nayo ya saba ni siku ya sabato ya Bwana Mungu. Katika siku ya sabato tunakomesha kazi zetu. Siku sita za mwanzo, Mungu alifanya kazi vilivyo, lakini katika siku ya saba, aliisimamisha kazi yake. Aliibariki na kuitenga siku hii ya sabato kuwa takatifu (Mwa. 2:2-3). Kila sabato twapaswa kukumbuka uumbaj ya Mungu na jinsi alivyotutoa katika nchi ya Misri.

 

Kalenda iliyoengemezwa kwenye miondoko ya jua inaitwa ‘kalenda ya jua’. Kalenda iliyoengemezwa kwenye miondoko ya mwezi inaitwa ‘kalenda ya mwezi’. Kalenda katatifu ya Mungu ni kalenda ya mwezi. Inauchukua mwezi takribau siku 29˝ kufanya mzunguko mmoja kwenye jua. Hivyo ipo miezi yenye ina siku 30 (Hes 20:29; Kumb 34:8; Est 4:11; Dan 6:7, 12).

 

Mwezi uizungukapo ardhi, huonekana tofauti angani kwani ni sehemu kadhaa tu za mwezi ambazo linakisiwa. Mwezi mpya ina maana kuwa mwezi umefichika. Kwa hiyo tukiangalia angani katika usiku wa mwezi mpya hututaona mwezi wowote ikiwa tunaishi mijini. Tukiwa mbali na mwanga wa mjini, tunaweza kuona kijiduara angani. Ni kama mpira mmjoa mviringo mbele ya mpira mwingine mkubwa kidogo zaidi yake, ukuonekana upande mmja tu.

 

Katika usiku wa mwezi mpya unaofuata tutaweza kuona kipisi kidogo cha mwangaza (hilahi) ambacho hukua kila usiku. Yapo majina ya kisayansi ya miezi hii ibadilikayo lakini tutaiongelea kwa njia rahisi mno. Kadri kipisi kile kidogo (hilali) kinavyokuwa kila usiku inageuka mwezi – duara (mwezi kamili) baada ya takriban siku 15 tangu siku mwezi mpya. Mwezi kamili hutumia sawia na sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu.

 

Mwezi kamili hufanane na mpira unaongaa angani. Baada ya mwezi kamili, ukubwa wake hupungua polepole kila usiku; hilali huwa ndogo ziadi na mwishowe hupotea. Takriban siku 15 kutoka mwezi kamili, tunauona mwezi mpya mwingine tena. Mfuatono huu huendelea vivyo hivyo wakati jua na mwezi vyote vikiwa angani.

 

Miaka mingi ina miezi kumi na miwili (1Waf 4:7; 1Mambo 27:1-15) miezi imeratibiwa ili kusiwepo uchanganyifu (Kut 12:2; 2 Mambo 30:2; Neh. 8:2).

 

Mungu atueleza kuwa kuna misimu miwili tu katika mwaka; hari na baridi (mw. 8:22 na Zab 14:17) upande mmoja wa ardhi ukiwa katika msimu wa hari, ule mwingine uko katika msimu wa baridi, na kinyime chake. Upo mstari wa kitaswira uitwao istawai ambao huingiwanya ardhi kati nusu mbili sawa za kaskazini na kusini. Jua limapoivuka, urefu wa mchana na usiku karibia huwa ni sawa. Baadaye harakati ya taratibu kuelekea katika msimu mwingine huanza. Hili hutokea Machi 21 katika kalenda ya kirumi na Septemba 23 katika kalenda iyo hiyo ya kirumi.

 

Tunaofahamu kuwa hatuwezi kuwa na sherehe za pasaka mbili katika mwaka mmoja. Tunafahamu pia kuwa mwezi mpya wa kwanza katika mwaka ni mwezi wa Abib au Nisan. Huu ndio mwezi ule wa “masikio ya kijani”. Katika mashamba ya wapalestina, shayiri huwa rangi ya kijani na kuanza kukomoa mwezi hu wa kwanza katika mwaka (kwenye nusu ya kaskazini) unaweza kuonekana katika awamu yak wanza ya jua kivuka istawai, ila iku ya kwanza ya mkate usiotiwa chachu, Abib 15, haiwezu kuiendeleza awamu hii, tunafahamu kuwa lazima tuongeze mwezi wa 13 (iutwao Adar iii katika mwaka).

 

Baada ya kila miaka 19, njia za jua mwezi na ardhi hushabihiana (tofauti huwa ji ttakriban saa 2).Hii iliitwa “metonic cycle” kutokana na jina la mgiriki meton, ila ufahamu wa mzungu huo ulimzidi mno katika kipindi hicho cha miaka 19, ipo miaka saba ambayi inahitaji kuongezewa ule mwezi wa 13 ili kusawazisha mfumo mzima wababeli walifahamu mfumo huu hata wahauratibu katika maandishi waliofahamu barabara.

 

Kama jinsi siku ya saba hutengwa kuwa takatifu, ndivyo ilivyo katika mwaka wa saba mwaka wa sabato (au mwaka wa saba) ni mwaka wa mapumziko. Kwa binadamu na sayari katika mwaka wa saba, mimea haipandio ili kuupa udongo fursa ya kupumzika na kurejea ngaru. Mdeni wetu yeyote husamehewa madeni yake katika mwaka wa saba. Yaani tunawaambia ya kwamba hatuwadai chochote. Katika sikukuu ya vibanda kwenye mwaka wa saba, torati ya Mungu humwona (Kumb 31:10-11; Neh 8). Hili liliamrishwa na Mungu ili tuweze kusikia na kujifunza kumcha Bwana Mungu wetu, na kuzingatia maneno yote ya sheria zake (Kumb 31:12).

 

1984, 1991, 1998 na 2005 ilikuwa miaka ya sabato, kwa hiyo, kw jinsi usayansi huu unavyoelekea tunauona 2012, 2019 na 2026 ni miaka ya sabato pia.

 

Kama pentekosti ilivyo, humaanisha kuhesabu 50, na pia tuna majuma saba tangu ‘wave sheaf’ ili kutimiza pentekosti. Ndivyo ilivyo siku ya mwaka wa hamsini.Tuna miaka saba kamili ya sabato ambayo ni sawa na 49. Katika mwaka wa 49 katika siku ya maadhimisho upende wa kondoo dume au ‘shofar’ hupalizwa kuashiria mwaka wa hamsini. Upembe huu hadhiharisha kuwa ni sharit tutakuze mwaka wa hamsini na kutangaza uhuru kote nchini (Mambo ya Wal 25:10). Kutokana na kupuliwa kwa upambe huu kumaanisha maadhimisho ya mwaka wa hamsini, ardhi zote harejeshwa kwa wamiliki wao wa haki. Kwa hiyo hatupandi wala kuvuna ila twaweza kula kutoka kwenye mazao yanajiotea yenyewe (mambo ya Walawi 2511-12). Mfano na utakatifu wa Mungu ni usio na kosa na wa haki kwa mwanadamu na sayari.

 

Kama tu mwaka wa Sabato katika ardhi ya kupumzika atupandi mbegu , kwahivyo iko tu katika mwaka wa jubilee. Mungu antupea mavuno mara mbili na kutupeleka mpaka mwaka wa saba mpaka tupande tena  kwa mwaka wa kwanza wa mfulilio( Walawi 25:21). Sasa pia na jublilee, mungu atatupea mavuno tele katika mwaka wa 48 kutupeleka mpaka mpaka mavuno ya mwaka wa kwanza . Ni lazima tu kumbuke udongo ni ya Mungu na hawezi uzwa milele . ni yetu kwa kutumia kama vile anavyo taka (Walawi 25;24). Mpango wa Mungu ni Nzuri na pia ya mwanadamu na ulimwengu. Atalama familia wako na deni na kupoteza pesa mingi, Jubilee initupea mpango kunaza tena baada ya kusoma kurekebisha makosa yao.

 

Hata ikiwa familia imelipa madeni na kupoteza pesa ili kuanza tena baasa ya kujifunza jinsi ya kukosoa makosa yao.

 

Maadhimisho ya miaka hamsini kutokea katika miaka 24 na 74 BCE na 27 na 77CE katika kila karma.

 

Huu wa mwisho unarejelea karatasi kwa jina “kalenda ya Mungu” ambamo maadhimisho ya miaka hamsini yalikuwa 1977. Maadhimisho yajayo, ambayo ni ya arobaini tangu huduma ya Mesia ni katika mwaka mtakatifu wa 2027/8.

 

 

 Tunaendelea kuenda kwa imani mipango ya sikukuu za Mungu tukijifunza zaidi jinsi ya kumtii (Methali 16:3).

 

 

q