Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[CB21]
Siku Ya Sabato
(Toleo 2.0 20020217-20061102)
Kila wakati watoto huwa na maswali kuhusu kwa nini watoto wale wengine wanaenda kanisani siku ya jumapili. Hii karatasi inaeleza maswali mengine watoto wachanga wanayoweza kuwa nayo kuhusu sabato. Itawasaidia kuelewa neon la Mungu na maana ya sabato ya wiki.
Christian Churches of God
E-mail: secretary@ccg.org
(Copyright 2002,
2006 Carrie Farris, ed. Wade Cox)
(Tr. 2009)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Siku
Ya Sabato
Siku ya sabato ni wakati mtakatifu. Mungu anataka sisi sote tushike siku ya sabato kila wakati (Kut. 20:8-11). Kwa hivyo sabato inatupasa sisi sote kupumzika (Kum. 5.14), kusoma neon la Mungu. Kumwomba na kufikiria mambo yote ambayo anatufanyia. Ni siku ya kupumzika kutoka kwa mambo ya kawaida yale tunaweza kuwa tunafanya siku zile zingine sita.
Sabato ni mojawapo ya Amri za Mungu kumi. Mungu alitupatia Amri kumi na tutaona yakwamba Amri ya kushika na kuitakasa sabato ndio ya nne.
1.Usiwe na miungu mingine ila mimi
2.Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.
3.Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako,
4. Ishike siku ya sabato uitakase, kama Mungu wako alivyokuamuru.
5Waheshimu baba yako na mama yako; kama Bwana, Mungu wako alivyokuamuru.
6.Usiue
7.Wala usizini
8.Wala usiibe
9.Wala usimshuhudie jirani yako uongo
10.Wala usimtamani mke wa jirani yako;
Tunapaswa kutii Amri zote kumi za Mungu lakini hapa tunahusika na Amri ya nne ya Mungu. Tunaweza kusoma mengi ya amri kumi za Mungu kwenye karatasi amri kumi (No. CB17).
Tunafanya kazi siku sita na tukapamzika siku ya saba
Tutafanya kazi siku sita za wiki. Hatupaswi kuwa watu wazembe. Lolote tunaenda kufanya, tunapaswa kufanya kwa nguvu zetu (mh. 9.10). Tunahitaji kusoma kufanya kazi kwa bidii kila wakati wowote kujaribu iwezekanavyo hata kama ni kazi gain. Tunaaswa kuwa tunafikiria kusaidia watu wale wanahitaji usaidisi. Hii inaweza kuwa kwa watu ambao tunajua au kwa watu ambao hatuwatambui. Ni jambo njema kila wakati kuwa mzuri kwa watu wale wengine, lakini tusinene kwa wapitaji au kutembea na watu tusiojua kabla ya kuwajulisha wazazi kama tunastahili (3 Yoh 1:5-7).
Siku kabla ya siku ya sabato ndio tunapaswa kujiandaa sabato (Kut. 16:5). Hii ndio tunaita siku ya kujiandaa. Siku ya sita ya wiki ni Ijumaa. Siku hiyo tunapaswa kununua vyakula, kusafisha manyumba ba kuandaa nguo zetu kwa sabato. Tunatakikana kuchunga kazi zetu zote na zaidi kwa wanawake kupumzika na kusoma mengi ya Mungu kwa sabato na hivyo hawatapoteza wakati wao wakipika na kuosha wanaume nao wapaswa kujitayarisha kwa sabau kwa kusaidia wake zao na hata watoto wawe tayari.
Kutoka 16:23 akawaambia, “Ndino neon alilonena Bwana kesho ni starehe takatifu, sabato takatifu kwa Bwana Okeni mtakachooka, na kutokosa mtakachotokosa, na hicho kitakachowasalia jiwekeeni kilindwe hata asubuhi.” (RSV).
Watu wengine wanasema sabato iligeuzwa na kuwa ya Ijumapili, au hatustahili kuweka siku ya sabatu hata kamwe. Hivyo Mungu abandiliki (Mal 3:6) hata hivyo kwenywe siku ya sabato.
Malaki 3:6 Kwa kuwa mimi, Bwana, sina kigeugeu; ndio maana ninyi hamkuangamizwa, enyi wana ya Yakobo (RSV).
Yesu alisema torati haitaondoka mpaka yote yatimizwe (Mt. 5:17-18). Kwa hivyo mpaka yote yakamilizwe yaliyo kwenye Biblia lazima tushike sabato kama mojawapo ya sheria za Mungu.
Mathayo 5:17-18, “Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii, la sikuja kutangua, bali kutimiliza. 18 kwa maana na, Amin nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, Yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie (RVS).
Hakuna mtu wala kanisa ambayo inayo mamlaka ya kugeuza torati za Mungu sabato ni ishiara ya watu wa Mungu (Eze 20:12). Kwa hivyo watu wale wanashika Ijumapili ikiwa takatifu hawatii sheria za Mungu. Yesu Kristo aliweka sabato na sherehe, na siku takatifu za Mungu; kama vile mitume na kanisa la zamani lilikuwa linafanya. Usiamini watu wakisema, “Sabato ilifeuzwa na kuwa Ijumapili. Mungu hajasema hivyo katika bibilia.
Siku ya saba ndio siku ya sabato. Inaitwa Jumamosi kwenye kalenda. Sbato ni ya siku ya saba kila wakati. Sabato inaanzia siku ya Ijumaa wakati giza kinaingia usiku, na kuisha siku ya Jumamosi jioni giza kikiingia. Sabato haiwezi kugeuzwa na kuwa ya siku nyingine zozote.
Hatupaswi kufanya kazi manyumbani au mashambani siku ya sabato.
Jeremia 17:22 wala msitoe mzigo katika nyumba zenu siku ya sabato, wala msifanye kazi ya yote; bali itakaseni siku ya sabato, kama nilivyowaamuru baba zenu (RSV).
Sabato ni ya kipekee kwa Mungu. Hii ndio siku alipumzika baada ya kuumba vitu vyote (Mwa. 2:2-3).
Mwanzo 2:2-3 na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya Mungu akaibariki siku ya saba, akaitakasa kwa sabau katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya (RSV).
Wazazi na watu wahe wengine wazima hawapaswi kufanya kazi siku ya sabato (Kut. 20:8-11). Watto nao hawapaswi kuenda shule siku hiyo ya sabato. Hata hivyo hatupaswi kucheza michezo ya kushindana siku ya sabato, au kwenda kutazama cinema au kutupoteza wakati kutazama televisheni. Hatuhitaji kwenda kula vyakula hotelini siku ya sabato. Pia tusinunue kitu au tusiuze kitu chochote siku ya sabato (Neh. 10:31).
Nehemia 10:31 Tena watu wan chi wakitembeza biashara, au chakula chochote, siku ya sabato, tusinunue kwao siku ya sabato, au siku takatifu, tena kwamba tuache mwaka wa saba, na madai ya kila deni.
Kwa lolote lile tukae mbali na watu, mahali na vita vinavyoweza kutusumbua kwenye sabato. Tunasoma kujua mambo haya tukiendehea kukua maarifa na kuelewa sheria za Mungu. Wakati tulikuwa wachanga, tulikuwa tunafanya vile wazazi walikuwa wanatuekeza kufanya.
Sheria hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya sabato (Kut. 35:3). Inaonyesha kufanya kazi kwa moto. Kunao watu ambao utumia moto kufanya kazi kwa vyuma na ghasi, na hatupaswi kuwasha moto kwa hiyo sababu. Hivyo haimaanishi tusitumie chombo cha kupikia, nyumba ya kupika au kuwasha msumaa.
Wanafunzi wa Yesu walikusanya masuke siku ya sabato a watu waliasirika juu yao kwa sababu walidhani Yesu alikuwa anavunja sabato. Lakini Yesu anatuonyesha yeye ndiye mwokozi wa sabato, si kwa kukosa kuweka sabato. Lakini iwekwe kama vile Yesu alifanya (Mt. 12:1-12). Alitufunza kuwa ni sawa kukusanya vyakula vya kutosha vya sabato lakini si kuvuna vyote na kufanya kazi ngumu.
Katika kitabu cha Luka 14:1-5 inaonyesha kuwa kuna maana ya kuchunga mambo ya ghafla inayoweza kutokea kwenye sabato.Tunaweza kwenda hospitalini tukipata ajali, au tukiwa wagonjwa, au kupata motto. Tunaweza kusaidia yule anahitaji usaidisi. Tunapaswa kupanga baadaye ikiwezekana kila wakati, lakini wakati mwingine ajali inaweza kutokea na hata watu kuwa wagonjwa na ni lazima tukabiliane na hayo yote. Hii inaitwa “Punda kisimani” hali ni mambo ambayo hatukuwa tumepanda, lakini ni lazima tukabiliane nayo, hata kama ni wakati wa sabato.
Siku ya sabato ni siku ya furaha, sio siku ya hasira. Tunapaswa kuwa tunafurahia wakati wa sabato na kuleta furaha katika nyumba ya Mungu (Isa 58:13-14).
Kuna mambo ambayo tunaweza kufanya siku ya sabato kuifanya kuwa wakati wa furaha. Kwa hivyo inamaanisha kukaa na familia yetu pamoja sikuhiyo na mara nyingi kukaa na watu wale wengine ambao wanashika sabato ya Mungu ikiwa takatifu. Waazi wengi wanapanda safari na mambo ya kipekee kwa watoto wao kufanya siku ya sabato. Ni haki ya motto kucheza wakati wa sabato lakini kusiwe na kelele kenye michezo. Familia zingine sinaenda kwenye wanyama pori au kwenda mahali engine ili wafurahie maumbile ya Mungu. Kusoma kuhusu Mungu mmoja wa ukweli na sheria zake inaweza kuwa wakati wa kufurahia. Hayo ni mambo ambayo hatufanyi siku zile zingine sita, kwa sababu ni wakati wa kipekee.
Kuweka sabato ikiwa takatifu inahusu tena kuungana pamoja na watu wenye nia moja ili kushiriki na kukua kwenye maarifa ya njia za Mungu. Hivi ilifunzwa na mtumwa wa Yesu, Paulo (Ebiri 10:23-25).
Kila wakati tunastahili kujipalilia kwa Sabato. Watu wachanga watategemea wazazi wao kuwafanyia hivyo. Tunapaswa tusaidiane sisi wenyewe na kuonyesha upendo sisi wenyewe na kuonyesha upendo sisi wenyewe kama vile Yesu kristo anavyotupenda. Na lazima tuendelee na kusoma sheria za Mungu hivyo tukiendelea kukua katika kuelewa.
Katika kitabu cha Luka mtakatifu (5:5-14) inanena hadithi ya Yesu kuonyesha wengine kama wangelimguata angeligeuza maisha yao na kwa mazuri. Vile, vile kwa usaidisi wake, wanaweza kusaidia watu wale wengine kufanya vile vile. Kwenye hadithi hii, Yesu aliponya mtu ambaye alikuwa na ugonjwa mbaya sana. Yesu alifanya mtu huyu kuwa mzima kwa kumponya na anatufanya kuwa wazima kwa kutusaidia kuja karibu kwa Baba yake na Mungu wetu.
Kanisa la Mungu ni ndogo na ni lazima tuungane pamoja wakati tunaweza. Ni vuzuri wakati wowote kuwa na watu wale wengine wanaofanya vile tunavyofanya, na wanaoamini vile tunavyoamini. Kumekuwa na majaribo mengi wakati mwingi wa kujaribu kusimamisha ushiriki wa siku ya sabato. Hii itafanyika tena.
Hatupawi kuwa na wasiwasi. Tukitii sheria za Mungu atatuangalilia sisi.
Kama huko na wazazi ambao wanashika sabato na kuiweka kuwa takatifu na ukufuna kuhusu Mungu mmoja a kweli na sheria zake, hivyo umebarikiwa, kumbuka, umeoshwa, inafanywa takatifu, na wazazi wako kabla yaw ewe kukua na kubatizwa katika mwili wa Yesu Kristo, hii ni kanisa la Mungu. Kila mmoja wetu ana jukumu kwa Mungu kuweka siku ya sabato tatifu.
q