Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[CB24]
Sababu Za Kutufanya
Tusisherekee Krisamasi
(Toleo 3.0 20021124 – 20061221-20140223)
Wakristo
wameshurutishwa kukubali krismasi ni sehemu maridhawa ya tamaduni za Kikristo.
Ukweli ni kuwa krismasi katu haihusiani na Ukristo. Dhana potovu za kisasa
zimenukuliwa kutoka mifumo ya kidumia ya kipagani.
Christian
Churches of God
E-mail: secretary@ccg.org
(Copyright © 2002, 2006, 2014 Erica
L. Cox and Wade Cox)
(Tr. 2009)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na
kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au
kufuta maneno. Jina la
mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe
pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote
atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja
ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Sababu Za Kutufanya Tusisherekee Krisamasi
Karatasi
hii imegawanywa katika vitengo vinavyoshughulikia machimbako ya tamaduni za
Kikristo zinafahamika, ziliufuatwa na siku takatifu ambazo Mungu anakata
tuzingatie:-
1)
Msimu wa sikukuu
2)
Ni kwa nini Desemba 25?
3)
Sherehe za Kuzaliwa
4)
Wafalme watatu
5)
Wafalme wa Krismasi (Kmrismasi)
6)
Nuru na mishumaa ya krismasi
7)
Santa klausia
8)
Santa Elve’s
9)
Keki (mkate) ya krismasi
10) Ivyi
Takatifu
11) Kigongo cha Kusimamishia
Mshumaa
12)
Nyongeza za kisasa kwenye dhana potuvu
ya krismasi
13)
Inachosema Bibilia kuhusu muda wa
uzazu wa Kristo
14)
Ni sikuu zipi tunazopaswa kuzingatia?
1) Msimu wa sikukuu
Ikiwa sikukuu katika
siku za kale iliyosherehekewa Roma katika mwezi wa Disemba. Sherehe hii
ilijengeka juu ya msingi wa kipindi cha baridi. Sherehe hii iliitwa
‘Saturnalia’, Mungu wa upanzi wa mbegu na mringo.
‘Siltice’ ni kitu gani?
Hii hutendeka mara
mbili katika mwaka baina ya vipindi viwili ambapo jua huruka istiwai. Wakati
huu, jua huwa mbali zaidi na istiwai.
Ikwinoks ni kitu gani?
Hii hutendeka mara
mbili katika mwaka. Hiki ni kipindi urefu wa uskiku huwa sawa na wa mchana. Jua
huivuka istiwai wakati huu.
Warwami walisherehekea
‘Winter Soltice’ tarehe 25 Desemva katika nuru ya dunia ya kaskazini, huwa ni
msimu wa baridi wakti wa ufalme wa Kirwi, sherehe hii ilifanywa kwa kipindi cha
siku saba, kutoka Desemba 17 hadi Disemba 23.
Sherehe hii iligawanya
katika sehemu tatu
1)
Saturnalia Kamilifu: ilisherehekewa kutoka Disemba 17 kwa ajili ya Mungu Saturu
2)
Opali:
ilisherehekewa kuanzia Disemba 19 kwa ajili ya Opis, kwa ajili ya ardhi na
mkewe Saturu
3)
Sigillaria: ilisherehekewa kuanzia Disemba 22
hadi 23 (siku za 6 na 7 za Saturnalia). Katika sikukuu ya sigillaria, mianasesere ya udongo
ilifinyangwa na kuuzwa. Mianasesere hii ilipeanwa kwa watoto kama zawadi. Hapa
ndipo utawaduni wa kuwazawadia watoto wa kati wa krismasi uliachimbaka
Sikukuu
ya saturnalia ilikuwa ni sherehe ya kitaifa. Biashara yoyote haikuruhusiwa na
shule zilifungwa. Wafungwa waliachiliwa huru. Kila mmoja alihusika katika
kusherehekea na kuburudika.
Saturnalia
ilisherehekewa na Warumi kwa kipindi kirefu. Hatimaye ikawa sehemu ya kile
kiitwacho krismasi leo hii.
Matamshi
‘kipindi cha sikukuu’ yalichimbuka kutoka katika sikukuu ya saturnalia.
2) Ni kwa nini Disemba 25?
Kalenda ya kijulia
iliweka Disemba 25 kuwa mapumzik katika msimu wa baridi.
Kalenda ya Julian Ni nini?
Kalenda
ya kijulia ilitengenezwa na Julias Caesar – kiongozi wa utawala wa Kirumi –
miaka 46 kabla ya tarehe iliyotengwa kuwa ya uzawa wa Kristo.
Disemba
25 ilichukuliwa kama ‘Nativity’ (uzawa wa jua) iliyozaliwa na mama wa angani
‘goddess’ mchana likawa mredu ba usiku kuwa mfupi. Iliminika kuwa mchana na
ulikuwa mrefu kwa sababu nguvu za jua zilimarishwa tangu siku hiyo.
3) Sherehe ya Kuzaliwa
Sherehe zilianguka
uzawa wa jua zilikuwa na mfanano za zile za krismasi. Katika utawala wa Kirwui,
ibada ya mama wa angani na mwanwe ilifahamika
Ibada
ilivumilia ubinifu wa ukristo uliofanywa na konstantino (utawala wa Kirumi).
Alama
ya mama wa angani na mwana si ya chimbako la Kikristo. Katika enzi za Agostino
makuhani waliponga kwata hapa kama katika kihima ya kadri.
Mama
wa angani akamilikiwa kwenye ukristo kama Bikira Maria.
Jina
la mamake kristo ilikuwa Mariamu na si Mary.
Mariamu
aliendelea kupata watoto zaidi, kinyume cha Mary wa angani, aliyemzaa mwana
mmoja tu anayeabudiwa na wadhhebu ya kikatoliki.
4) Wafalme watatu
Wafalme watatu
wanaohusishwa sikukuu ya ibada ya jua si wale mamajusi waliongelewa katika
Bibilia. Hawa wafalme wanaonekana kushabihiana na zile siku 12 za krismasi.
Siku hizi kumi na mbili
zinaoanishwa na Disemba 25 kipind cha muda tangu Disemba 25 hadi Januari 5
kilijulikana kama siku kumi na mbli za Krismasi. Usiku wa kumi na mbli ndio
usiku wa Januari 6.
Bible haizungumzii
ibada ya wafu waliotoka mashariki. Hata hivyo, inazungumzia juu ya zawadi tatu. Bibilia pia
haiwaiti wafalme bali ‘magi’ kumaanisha watu wenye busara.
Mathayo
2:1-12
Ysu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi, zamani za mfalme Herode, tazama, mamajusi kutoka mashariki walifika Yerusalemu, wakisema, yuko wapi yule aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki nasi tumekuja kushuhudia. Basi mfalme herode aliposikia hayo, alifadhaika, na Yesu haki wote na waandishi wa watu akatafuta habari kwao, Kristo alizaliwa wapi? Nao wakamwambia katika Bethlehemu ya Uyahudi kwa maana ndivyo ilivyoandikwa na nabii. “Nawe Bethlehemu katika nchi ya Yuda, hu mdogo kamwe katika majumbe ya Yuda; kwa kuwa kwako atatoka mtawala atakaye wachunga watu wangu Israeli.” Kisha Herode akawaita mamajusi faraghani akapata kwao hakika ya muda tangu iliponekana ile nyota. Akawapeleka Bethlehemu, akasema, shikeni njia, kaulize sana mambo ya mtot, na mkiisha kumwona, niliteeni habari ili mimi nizude kumshujudia. Nao walipiosikia maneno ya mfalme, walishika njia, na tazama, ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali alipokuwa mtoto. Nao walipoiona ile nyota walifurahi furaha kubwa mno. Wakaingia nyumbani mtoto pamoja na Mariamu mama yake, wakaanguka wakamsujudia, nao walipokwihsa kufungua hazima zao, wakamtolea tunu, dhahabu na uvumba wa manane. Nao wakiisha kounywa na Mungu kutoka ndoto wasimrudia Herode.
5) Mti Ya Krismasi
Mapambo ya mti huu
yanatokana na Mungu Attis
Attis ni nani?
Attis, Mungu wa
kipogoni, alisulubiwa mtini. Tamaduni hizi ina mfano na ile ya zama, ya roho wa mti.
Mtu hukatwa na kutiwa na kisha kwa fedha na dhahabu na nembo ya mauti na
kuzaliwa upya kwa Attis. Pamoja na nyota yenye ncha sita ta tambiko lake.
Wagiriki walimwabudu Mungu Adonis ambaye
alifanana na Attis.
Attis
alialamishwa na ule mrismosi uliobudiwa, na ambao kwake ulikuwa mtakatifu.
Sababu zilizowafanya watu kudhania kuwa mrismasi ulikuwa mti mtakatifu ni kuwa,
katika wakati wa baridi, mti huu ulibakia kuwa kijani ilhali mingine
ilipukutisha matawi yao.
Nembo
Attis zilizo juu ya mkrismasi huo umebadilika na kuwa nembo za jua na kisha
malaika marembo ya mti wa krismasi ni rahisi kutambulika kwani kuna nembo za
mwezi na jua. Katika mashariki ya kati, Atis alijulikana kama ‘Baal consort’ wa
‘Astarhe Istar’. Bibilia inapinga zazi hili. Katika Yeremia, tunaona maelezo ya
mti wa krismasi na tunaonywa tusifuate la watu waliozunguka kando kando.
Yeremia
10:2-5
Bwana asema hivi
Msijifunze njia ya
mataifa
Wala msishangae kwa
ishara ya mbinguni
Maana mataifa
hungungua kwa sababu ya ishara hizo
Maana desturi za
watu hua ni ubatili,
Maana mtu mmjoa
hukata mti mwituni
Kazi ya mikoni ya
fundi na shoka
Huupamba kwa fedha
na dhahabu
Huukoza kwa msumari
na nyundo, wakatike
Mfano wao ni mfano
wa mtende, kazi ya cherehani, hawasemi; wahana budi kuchukuliwa
Kwa sababu hawawezi
kuenda
Usiwaogope kwa maana
hawawezi kutenda uovu
Wala hawa uweo wa
kutenda mema.
6) Nuru na mishumaa ya krismasi
Wanaokinga
usega walinyenyekeshwa na watawala wao wakati wa saturnalia. Usega pia
ulitumika kufukuzia mbali miungu ya radi, ngurumo, mambo ya kichasi na roho
ovu. Mishamaa iliwashwa kishaye na kutandikwa mtini
7) Santa klaosia
Kama
tumfahamavyo sanata kiansia siku hizi, alitokea katika ufanyibiashara wa
marekani. Wamerekani walipata kutoka ujerumani na Uduchi, Folklove
Mtu
aliyejulikana kama mtakatifu Nicholas ni Nichokas wa ‘myra’. Alikuwa askofu wa Lycia huko
Asia Minos na aliaga dunia mnamo 352CE.
Hadithi
yake inaendelea kusema kuwa aliuchukua ujira wake kwa miaka mitatu na kisha
kufanya mshahara wa kila mwezi kuwa kipira kubwa alilolibingisha katika aila
zilizokuwa masikini. Hili ndilo chimbuko la kupokea zawadi za krismasi.
Mfano
wa Nicholas wa myra wa kuwatunuku masikini mlingwa na wakufunzi wa ubikira wa
Kifaraza. Zawadi zilisambszwa kutoka kwenye kisanduku cha ‘almas’ tarehe 26
Disemba, hivyo siku baada ya krismasi huitwa siku ya visanduku (Boxing day).
Huko
Nehetherlands, sawta claus anajulikana kama Sinter Klaas Sinterklaas alikuwa
askofu aliyekuwa jitabu la matendo mama na maovu. Ana wachungi wengi na yeye
alikuwa na mtumwa aliyeitwa “Black Peter”. Huko Netherlands, watoto huimba
nyimbo wakuzunguka madohani. Black Peter hutenga masikio kutoka juu ya dohan
ikiwa kweli watoto wanaimba wimbo iffao na kutoa sadaka zifaazo kwa furaha wa
sinterklass, abao ni karoti na nyasi kavu. Baada ya hayo, watoto hupokea zawadi
zao kupitia kwenye dohani.
Chimbuko
la kyerwamani la sinterklaas limeengemezwa kwa Mungu, Woden (ambaye kwake
tunapata neno ‘wodenesday’ linalomaanisha woden’s day – le twasema Wednesday).
Woden
alikuwa muhimu sana kwa wajerumani wa sasa, wa – Tenton na waingereza. Woden,
ambaye ametajwa kuendesha farasi wake mweupe angani alikuwa na kanzu
iliyonyiririka. Pia ana ndevu ndevu nyeupe na kofia kubwa inasemekana pia kuwa
na kusara mno. Yeye hubeba kitabu mkononi
8) Utowaji wa Santa
Wakzi
wa shetland waliita sherehe hii ‘Yutes’ siku saba kabla ya krismasi ‘elves’
zilioitwa ‘trows’ waliachiliwa huru kutoka manyumbani mwao na kuruhusiwa kuishi
juu ya udongo wakipenda. Katika siku ya mwisho ya sherehe, washetlandi
waliwatimua trows’ kurudi chini ya ardhi, kwenye makao yao. Huku kuliitwa
‘saining’ – saining’ alifanywa bila hitilafu ili kuiondohsa shehemu ya ‘torws’
ambayo pia aitwa ‘grey folds’. Kutokana ka dhana hii potovu, dnipo ‘allien
grey’ alipochimbuka.
9) Mkate (keki) wa krismasi
Baada
ya saturdalia, ilikuwapo sikuu iliyoitwa, sikukuu ya wajinga. Hii ilikuwa
kuanzia Disemba 25 hadi Januari 6. Katika kipindi hiki, mfalme wa malkia
aliteuliwa. Waliteuliwa katika suku wa 12 wa siku 12 za Krismasi. Waliteuliwa
na halaiki.
Hapo
mwanzo maharangwa yaliokuwa kufanya mkate ili kumtena mfalme na malkia. Mara
nyingine yalikuwepo mahahargwe mengi na yaliyokuwa na rangi yaliwakilisha
mfalme ay malkia. Huku uingereza, mfalme angeteuliwa kwa haragwe na malkia kwa
mbaazi. Baadaye, sarafu zingeje kwa badala ya maharagwe.
10) Ivyi Takatifu na Maslletoe
Nyekundu
na kijani ni rangi kale za kipagani. Zabibu na mwatwi yanayoonekana kwenye
mapambo ya krismasi, yamaanisha holly ivy, na mashtoe iliyona rangi za kijani
na nyekundu. Ivy alikuwa mti mtakatifu kwa Attis na katauhani wake Attis
wakachorwa. Miilini kwao. Msitletoe inayootwa kwenye mti ‘oak’ ilikuwa takatifu
kwa drius na aryans wazo hili lilitokana na ukweli kuwa Mistletoe ilisambaa na
kuja kama mti kutoka mbinguni na wala huikudaka ardhi.
11) Kigogo cha Kuwekea Mshumaa
Wajerumani
walichoma gogo la Yace. Hii ilikuwa ni tamaduni ya kale hadi 1184. Ilirekodiwa
kuwa parokia ya kuhani wa Lahen hoko mansterland alirekodi kalenda.
Mti
ili kuwasha moto wa sikukuu ya Bwana. Kuwashwa huku kwa mioto kulimaanisha
kulisaidia jua kii,arisha nuru yake.
12) Nyongeza za kisasa katika dhana
potovu za kikristo
Kris
kringle: Hii ililetwa na Waropa waliokuwa wakihamia Marekani.
The
knickerbocker tales: Washingtone irvine anamtwaa sauti klawia kuwa ndiye
aletewa zawadi nemi.
The
reinder: Clemet clack moore katika sairi “A visit from saint Nicholas ambalo
lilipewa jina “twas the night before Chrismas” alivumbua “reinderr” ya nane
ikiwa na ishara la kitamaduni za Mungu wa ngurumo na radi katika majina kama
donner na blitzeri.
Uso
wa santa klausia: mwaka wa 1931 Haddon sundblom wa Skandinevia aliidhinishwa
kuendehsa kampuni ya Coca Cola, na kuwa kutumia uso wake mwenyewe,
akamtambulisha santa Klansia kwa miaka 25 baadaye.
Mnamo
1941, Rudolph the noseal reindeer ulitiimbwa wa toleo ya mwisho kufanywa.
Rangi
na dhana otovu zinaisunguka picha ya kile kwa sasa kijulikanacho kama sauto
klansia ni matokeo ya mwisho ya miaka 3,000 ya ibada ya miungu na ufanyi
biashara.
13) Inachosema
bibilia kuhusu wakti na uzawa wa kristo kuna uwezekano kuwa
Kristo alizalwa katika kipindi cha sherehe
za namanda (septemba / Octoba) katika
muda wa kati ya 8 – 5 BCE. Bibilia inasema kulikuwapo wachungi
wakiwatazama kondoo wao usiku wakati Kristo alipozaliwa (Luka 2:8). Hili
halingeweza kutendeka Disemba, kwani hamlaiwa na kondoo wakti huo. Ilikuwa
takriban mwezi wa tisa wa kalenda ya mwezi wa Bibilia inasema pia kuwa
ilikuwapo baridi na mvua katka kipindi hiki cha mwaka, katika sehemu hiyo ya
ulimwengu (Ezra 10:9).
Disemba
25 si siku ya kuzaliwa kwake Yesu Kristo mitume na wakristo wa kanisa la kale
hawakusherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Kristo wakti wowote Bibilia hayaweka
wazi wakati Kristo alipozaliwa na huamua sharti kusherehekea uzawa wake, hata
hivyo.
14) Tuzingatie Sikukuu zipi?
Hakuna
sehemu yoyote katika bibilia tunapoambiwa tusherehekee krismasi. Hata hivyo
bibilia inatupa orodha ya siku takatifu za mwaka ambazo ni sharti tuzingatie.
Siku hizi takatifu ni msarura wa sikuu ambzo zinaonyesha lengo la Mungu la
wokovu
Siku takatifu mwaka
ni:-
q