Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[CB27]

 

 

 

Kuelewa Tabia

(Toleo 2.0 20050505-20061200)

 

Beatitudes ni misemo tisa yaliyosemwa na Kristo katika mahubiri ambayo twasikia kila mara lakini latutatafakari. Tutatazama kile Kristo alimaanisha na misemo hayo na jinsi yalivyo na maana katika maisha yetu ya kila siku.

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

 

(Copyright ã 2005, 2006 Dale Nelson, ed. Wade Cox)

(Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


 

Kuelewa Tabia

 


Mafunzo ni muhimu na yalijulikana sana katika mahubiri yali yotelewa na Yesu Kristo. Twazama anachosema katika kitabu cha Mathayo mlango wa tano. Ni baraka za Mungu kwa kanisa lake na mfano mwema ambayo twafaa kutazama kuishi maisha yetu. Ili kuzielewa twafaa kutazama kwa ugangalifu maneno na kufikiria yanayomaanisha.

 

Beatitudes ya kwanza ni “Heri waliomaskini kwa roho; maana ufalme wa mbinguni ni wao’’. (Mathayo 5:3). Tunaposoma hiimara ya kwanza twawezadhani”. Haitoi maana, sivyo?” kwa hakika twahitaji roho wa Mungu zaidi kwani hatutaki kuwa tajiri ndani au kwa kukamilifu kwa roho kama jinsi alivyokuwa Kristo? (Lu

ka 4:1). Ni nini haswa ambayo Yesu ajaribu akufunza? Tunaposoma maandiko haya katika Bibilia ya interlinear iliyo andikwa kwa na Jay P. Green twaweza ona uzito wa neno “masikini “sasa hili ni neno la ugiriki inayoshinwa 4434 na kutiitazamia ufuatano wa strong twaweza ona inamaa ya “kuomba” strong asema inamaana tu kwa twaishi tu kwa tunayapata kwa kuomba.

 

Sasa tunapojua maana. Maandiko haya sasa yana maana. Kristo anatuambia kuwa twafaa kufikiria juu ya roho mtakatifu twakufa hewa, maji, chakula na nyumba bila ya roho mtakatifu. Twakufa na twaweza ipata roho kwa kumuomba Mungu. Roho mtakatifu siyo kitu ambacho twaweza pata kwa kufanya kazi na wala siku kitu ambacho ni haki yetu kupata. Ni kitu ambacho lazima tuombe na nilazima tuiombe tukijua hatuwezi kuishi maisha ambayo Mungu ataka bila ya roho mtakatifu.

 

Ni tukiwa na Roho mtakatifu tu ndio twaweza kuelewa njia za Mungu na kuzifanya. Na ni kuzielewa na kuzifuata njia za Mungu tu ndio twaweza fufuliwa. Na ni kwa kufufuliwa ndio twaweza ingia kuzika uzima wa Mungu.

 

Tabia ya pili ni “Heri wengi wenye huzuni, maana hao watafajirika” (Mathayo 5:4). Je hii yamaanisha kuwa Mungu angependelea tuwe na huzuni kwa kuwa kufajiriwa ni kitu kizuri? Twajua kutoka katika kitabu cha ufunuo 21:4 kuwa Mungu atafuta kila machoni petu.

 

Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haita kuwapo tena; wala maombolezo wala kilio wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mombo ya kwanza yamekwisha kupita (Ufunuo 21:4).

 

Sio huzuni wala kufajiriwa ndiyo Mungu ataka acha tutafakati juu ya hii. Mungu atuuliza tuhuzumke juu ya kutotendewa haki na dhambi tunazoona katika ulimwengu ambayo haiheshimu sheria zake na wala kuelewa umuhimu zake. Atutaka tutake kile anachotoka na hicho ni: ulimwengu ambapo kila mmoja ataishi jinsi Mungu anavyotoka. Katika mpangilio huu kutakuwa na Mungu mmoja na njia moja ya kuobudu. Watu wataiweka siku takatifu ya Mungu. Kutakwa na familia wanaopenda, heshimu na kuwafurahia kila mmoja. Hapatakuwa uuaji, wizi au uongo. Watu watafurahia mafanikio ya kila mmoja na watawafaraji walio na huzuni. Twafaa kuellewa kuwa ulimwengu huu sio ulimwengu wa Mungu. Mungu ameipeana kwa msimamizi wa sasa kwa manufaa yetu sisi sote.

 

Sasa hukuku ya ulimwengu huu ipo; sasa mwana mfalme mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje (Yohana 12:31).

 

Twajua pia kuwa haitakuwa hivi kila mara. Tunamatumaini na faraja ya millennium ambayo itakuwa kulingana na sheria upendo wa Mungu. Si watu tu ambao hawataumizana pia wanyama hawatumizana.

 

Mbwa mwitu na mwana kondoo watalisha pamoja, na samba atukula majani kama ng’ombe; na mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka. Hawa tadhuru wala kuharibu katika mlima wangu mtakatifu, wote asema Bwana. (Isaya 65:25)

 

Ni faraja kujua kwanini dhambi au vituvionvu. Mungu lazima atuache tufanye matumizi yetu wenyewe na kusihi na matokeo ya mauzi haya ili mwishoni twawezaelewa kuwa hatuwezi kufanya vilivyo bila yeye. Twamuhitaji. Ni Mungi wetu na wala si mwenzetu. Shetani alitenda dhambi kwajili adhani angeweza kufanya vyema au vyema zaidi kuliko Mungu. Sasa ajaribu kutofanya tufikirie vivyo hivyo. Hatuwezi kuwa sawa na Mungu. Shetani hawezi kuwa sawa na Mungu. Kristo hawezi kuwa sawa na Mungu. Mungu pekee ndiye atakeyetupa uzima bila mateso iwapo watu wake wote wataelewa kuwa wamuhitaji yeye nay eye pekee. Ni hapo ndipo kila mmoja ataelewa na hawatatenda kile alichotenda shetani. Mungu atatuamini na kuwa na uhakika kwetu sote kumpenda, kama tunavyotarajiwa. Ni hapo ndipo kifo cha pili kitaharibiwa na tutaweza kuishi. Hilo ni faraja letu.

 

Tabia ya tatu ni “Heri wenye upole maana hao watarishi nchi” (Mathayo 5:5) yamaanisha nini? Je Mungu ahitaji watu wakae chini, wafanye walivyoambiwa na wasijitafutie? Yamaanisha nini kuwa mpole? Hili ni jina strong ugiriki nambari 4239. Neno hili lamaanisha kuwa mpole (mild) au mnyenyekevu. Kristo ni mfano wetu hapa. Hatufai kuchanganyikiwa kati ya “unyonge” na “upole”. Kristo alivinwanga meza vilivyokuwa vikifanyiwa biashara katika hekalu siku ya sabato Kristo alikasirika kwa kutokuwa na haki na dhambi yaliyptendwa na watu waliojua vyema/mema. Kristo alikuta kifo cha kutisha na matarajio na nguvu ya akila ambayo yawezapoatikana kwa mtu mwenye nguvu na mwenye matarajio. Aliongezwa nguvu na kufakiwa na roho mtakatifu alioyopewa na Mungu.

 

Walakini, nguzo ya haya yote ni kuwa lazima tuwe kama Kristo na lazima tufanye vitu vyote kwa sita na utukufu wa Mungu.

 

Hata hivyo, kifungu kwa haya yote ni kuwa lazima tuwe kama Kristo na kufanya kila kitu kwa utukufu wake na utukufu ya Mungu.

 

Hata akila, au kunywa, au kila mnacho fanya, fanyeni yote kwa ajili ya utukufu wa Mungu (1 Wakorintho 10:31).

 

Sasa Ahadi kwetu ni, tukifanya vitu kwa ajili ya utukufu wa Mungu, Baba na sio yetu, ndio tutakuwa wafakme na wakuhani wa Ulimwengu. Ndio warithi ya Ulimwengu. Hiyo ya maanisha kuwa tutakuwa waongozi na walimu wa wengine kulingana na matendo zetu duniani sasa na sasa katika Millenium.

 

Watoto wetu leo, ambao wanafikiria juu ya Mungu kwanza na ni watiifu,watakuwa wafalme wa maisha hijayo wakati wa Millenium.Kwa mengi juu ya kilichotendeka wakati wa millennium tazama nakala What Happens When we Die? (No. CB29) na God’s Plan of Salvation (No. CB30).

 

Angalia haya mambo zote ambao yaonyesha kama tume weka Mungu wa kwanza na atuta lalamika ukifika wakati wa mamlaka. Ameweka furaha mbele yetu kwa muda mrefu.

 

 

 

 

 

 

Ni peke tukifanya kuamini kuwa sisi ni waaminifu kwa Mungu moja wa Ukweli kwa kila tunaonyesha tukifundisha wengine, na kupata uhuru kuwa Wafalme na wakuhani kama Kristo.

 

Tabia ya Nne ni ``Heri walio na njaa na kiu kwa ajili ya utakatifu kwa sababu wata toshwa’’ (Mathayo 5:6). Lazima tutafute utakatifu kila mara kwa ombi kutoka kwa Roho mtakatifu. Neno hii ``Utakatifu’’ ni ngumu la Wagiriki kwa nambari 1343, ambao yamaanisha `` utakatifu’’ au`` kuacha tabia mbaya au matendo mbaya’’Tuwe sawa na haki katika kile tunachofanya twafaa tujue. Nini sawa na jinsi ya kukata kauli nzuri kwa mbaya au mema kwa mabaya. Twafaa kuelewa sheria ya Mungu. Kufanya hivi twafaa kusona bibilia na kujua na kuelewa amri zake (Deut 4:8; Hab 1:4 Psalm 119:42)

 

Kwa sababu hiyo sheria imelegea wala, hukumu haipatikani, kwa maana watu wabaya huwazunguka wenye haki kwa sababu hiyo hukumu ikipatikana imepotoka (Habakuk 1:4).

 

Amri kumi ndio tatuamua kuwa watakatifu tafadhali tazama makaratasi The Ten Commandment (No. CB17) na The Law of God (No. CB25) kwa habari zaidi kwa sheria ya Mungu. Ni kwa kuelewa sheria ambapo tutajazwa na hekima au kujua matakwa ya Mungu na njia zake.

 

Sio tumbo zetu ambazo zajazwa ni akili mioyo yetu. Twajua kwa pentekosti twaweza jazwa na roho mtakatifu. Tazama karatasi God’s Holy Days (No. CB22) Ni roho mtakatifu anayetusaidia kuifunza na keheshimu sheria na kuwa watakatifu (tazama  nakala  What is the Holy Spirit? (No. CB3). Kwa hiyo twajua hatuwezi kufikia hapa bila kutimiza “Tabia” ya kwanza.

 

Tabia ya tano ni “Heri wenye yehema; maana hao watapata rehema” (Mathayo 5:7) sheria moja ambayo Mungu utataka tuishi nayo ni “Mfanyie nzako kama vile ungeteka wakufanyie. “Hii inaonyshwa/inaonekana katika mathayo 22:39 ambapo Kristo anajuishwa sheria ya Mungu kwa mawili makuu. Yakwanza yahisioana na upendo wetu kwa Mungu “Na la pili (ni) kama lile mpende jirani yako kama nafsi yako” ikiwa hatutaki kitu kitufanyikie basi tujaribu kukizuia kisifanyie mtu mwingine. Ili tusiwaumize wengine; tusiwaibie; na tusiwadanganye N.K.

 

Hatakulingana na hukumu wa dhambi twaona jinsi Mungu ana jaribu kutufanya tuelewe hii. Tunapoiba lazima tulipe na pia tuongoze zaidi. Lazima tusikue uchungu ule uazaidi ya ile tuliyoweka kwa mwingine.

 

Kama hicho kitu, kilichoibwa chapatakana hai mkononi mwake kama no ng’ombe, au punda au kondoo; atalipa thamani yake mara mbili. (Kutoka 22:4)

 

Hapa Mungu atuambia tuwe waangalifu. Twafaa kuonyesha kila mtu upendo na huruma kwa kuwa Mungu utatuonyesha jinsi vile ikiwa sisi ni wagumu kwa wengine atakuwa mgumu kwetu. Soma Mathayo 18 kutoka msirati 20 kuendelea. Takari hadithi hii kwa kujiweka kama mtumishi na Mungu kama mkuu / tajiri kama mtumishi twamuomba Mungu msamaha na atusamehe, lakini tunapoombwa msamaha na watumishi twakataa.

 

Hatuambi tuwaache watu waliokutenda vibaya au tukaribishe dhambi, ila twafaa kufunza kwa upendo na kwa mfano kumbuka, nidhamu yamaanisha kufunza na wala si kuumiza. Tukiwatenda wenzetu vyema na kuwaongoza kwa upole Mungu atakuwa mwema na mpole kwetu. Soma Zakaria 7:8 mpaka mlango 8. Mungu anamengu ya kusema kuhusu kuruma na haki.

 

Tabia ya sita ni “Heri wenye moyo safi maana wao watamwona Mungu” (Mat. 5:8). Ikiwa tuna moyo safi sisi na wakueli katika mafakirio na mwatosha. Ili kufanya vitu bila uongo lazima tuyafanya. Hazima tu jionyeshe kitu vyote. Lazima tufanye yote tunayoamini ni kweli. Tusipofanya hivyo roho mtakatifu atuacha kwa kuwa Mungu ajua kuwa hatulihitaji. Lazima tuwe wakweli kwa Mungu na sisiwenyewe kwa kutenda yale tunayoyajua ni mema na wala sio kwakuwa mtu mwingine amesema au kwakuwa inaonekana nzuri wakati huo lazima tujionyehsa. Tuiamini na kuifanya.

 

Kumwona Mungu yamaanisha tunatazama utukufu wa Mungu twaingia pahala patakatifu. Paulo asema “Hakuna yeyote amewahi wala atakayemuona Mungu (1 Tim 6:16). Hakuna mwanadamu aliyewahi kumuona Mungu, kwakuwa Mungu ni nguvu ya roho. Lazima tuwe katika umbo ba kupimo ya roho ili kumwuona Mungu, na hakuna mtu anayeweza kuwa jinsi hii. Ni kitu ambacho itapatikana baada ya ufefuka. Tazama karatasi Who is God? (No. CB1)

 

Neno “tazama” neno la Strong nambari 3700, inayomaanisha macho yaliyokodolewa kwa kitu kizuri. Hatusemi kushusu mwili ila roho. Ikiwa sisi ni wakweli na wazi na kufanya vitu vyote na matarajio makuu tutazidishwa macho na kufunguliwa zaidi tutaelewa maajibu yote. Tutatazama kimwili na kiroho tutaelwa uwepo wa Mungu.

 

Tabia ya saba ni “Heri wapatanishi; maana hao wataitwa wana wa Mungu (Mathayo 5:9) kwa mapatanisho lazima walioko sehemu yao na kuwaeleza vitu ili waweze kuelewa na wasiudhiweke. Sirikwa na kudhiwa na kutafuta kiini cha ugomui/neno. Si vyema tukiwa na moya ya haraka na kufanya vitu za kuwacha zingine na shida tunayo pata kwa kiini cha jambo.

 

Kristo hakuwahi kupigana alieleza jinsi alivyo au alinyamana ingawaje alikuwa ameejelwa na kuhukumiwa bila kosa. Aliwarekebisha watu walipotaka kujua lakini sio walipokosa izutarajia kasitishwa kwa dhambi zao katika hekalu, katika nyumba ya Mungu kasha alikarishwa kwa dhambi zao katika pahali patakatifu (Mathayo 8:22; 26:63; Mariko 14:61; Yohana 2:14-15).

 

Kristo alikuwa mwana wa Mungu kwa kuwa alitenda kama Mungu nasi pia ni wana wa Mungu tunapotenda / fanya kama Mungu. Ikiwa sisi ni wana wa Mungu tutakuwa na urithi sawa na Kristo (Wagalatia 4:7; Waruni 8:14-18).

 

Kama Tabia ya nane Kristo asema hivi “Heri wenye kuudhuwa kwa ajili ya haki; maana ufalme wa mbinguni ni wao (Mathayo 5:10) anachosema Kristo hapa ni kwamba twafaa kufanya kila kitu mbele ya maudhi au dhihaka au ugumu.

 

Kwa Mungu anajifanya kutokuwa kwa sasa ili kuifunza ulimwengu hatuwezi kufanya lolote bila yeye, ni vigumu kwa wale wachache wanaoelewa kuishi katika dunia/ulimwengu virahisi. Ni rahisi tunapofaa kusema “Hapana” kwa mialiko mingi na sherehe ya dunia hii. Kwa mfano twafaa kusema “hapana kwa sherehe za kaster na krismasi (Tazama karatasi Why we don’t Celebrate Christmas (No. CB24)).  Twafaa kusema “Hapana” kwa kazi ambayo yatutarajia kufanya siku ya sabato na miaka kwa mikahawa ambapo mtu mwingi atakuwa anapata hela / mapato siku ya sabato kwa kutulisha sisi.

 

Kuwa mtiifu zingine yamaanisha batuendi katika sherehe zingine za kupatana. Watu wengine waelewa na watajaribu kutuzaribiwa wanapoweza lakini sazingine watu hawapendi tunapomweka Mungu mbele yao. Watulishukuwa ni kama kwamba hatuwapendi wala kuwa kuwathamini. Hwawaelewi kuwa kuzitii na kuziwe amri kumi za Mungu ni muhimu, lakini siku moja watafanya hivyo na watajua kuwa walitufanya kusikie vibaya / tufadhaike.

 

Ni lazima tuone kuwa tumeonyesha upendo na heshima katika nyanja zingine ambayo hayaambatani / hayazuii upendo wetu kwa Mungu. Ikiwa watu wataudhiika kwa kuwa hawaelewi juu ya kuweka Mungu kabla ya kutu chochote au mtu yeyete basi hatuwezi kuwa na wasisi kwa ajili hiyo. Twafaa kubakia wakweli kwa Mungu na tukifanya hivyo tutakuwa wakweli kwa sisi wenyewe na tutapata tuzo letu. Hii haimaanishi kuwa katutakuwa na nyakati zingine tunapohuzunika walakini tuzo/zawadi yetu itakuwa kubwa baadaye.

 

Tazama Matendo 7 na Isaya 66:5 ambayo ni mifano mingine ya ushawishi wa wana wa Mungu na watu wengine ambao wanadhani wanamjua Mungu na hawamjui.

 

Katika beatitude ya tisa twasoma “Heri watakapowastumu na kuwaudhi na kuwanenea kila uovu kwa ajili yangu (Mathayo 5:11).

 

Tuna watu hata waliokatika familia zetu na matafiki ambao hushangaa ni kwanini twafanya yale tunayofanya na saa zingine kuvifanya tunayofaa hata yakawa mugumu kwetu.

 

Roho ya mwanadamu haimpendi Mungu

 

Kwa kuwa ile nia ya mwili (ni) uadui juu ya Mungu: kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii (Warumi 8:7)

 

Ikiwa twasharia maisha ya Kimungu haiwezekani kuwa hatutakuwa tofauti na wale wengine duniani. Tutaonekana kutendana kidogo kufikiria kuwa kuna Mungu na mpango na hata ikiwa wataka, hawapendi kufikiri ni mpango unaowajumuishia. Twasema kuwa huo si ukweli ya kuwa kuna mpango na sehemu yetu katika mpnago huo ni kuwa twafaa tu kumpenda Mungu na kuwa watiifu kwa sheria, kujua kuwa Yesu Kristo ni mwanawe au kufikiria twaweza fanya vyema kama alieytuumba. Kwa sababu zingine hii haiweze kufurahisha watu, na kwa kuwa hawafurahii waweza kutumuangua ule hasira.

 

Kristo na manabii wengi walishutumiwa bure hivyo inapo, au itakapo fufanyika ilikuwa vivyo kwa hawa watu ambao Mungu aliwapenda.

 

Kumbuka Job (Job 1 and 2). Shetani aliulizwa amashambulie Job ili kuunyosha kuwa twampenda Mungu tu wakati anapotubariki moja kwa moja shetani amaani kuwa anapotuhukumu kwa muda tutavunjika. Tutavunja imani yetu na Mungu kasha mpango wa Mungu wa kuona kila mwanadamu akichagua kutenda kama yeye na kumwabudu havitafanyika / tendeka. Tangu wakati huu kumekupwepi wamaume wengi ambao kama Job, wakuvunjika. Ni nia ya shetani kutuhukumu lakini jua kama Jakob twaweza shikilia imani yetu. Hatuwezi pewa shida nyingi ambayo hatuwezi shikilia kiroho (1 Wakorontho 10:13).

 

Mungu anasema huzi ishii vibaya kama watu hawatubendi na hata kuenda kwa mje ya njia zao kutokoshea na kutuhukumu kwa maneno mabaya ambao sisi hatujalifanya. Kwa ikifika jioni, sio sisi wasioupenda lakini ni kwa maan tuna heshimu Mungu kama sio raisi kufanya hivyo na tuwafunze hao jinsi ya kuheshimu Mungu noa. Kwa maan shetani amewafanya raisi kutoelewa Mungu.  Kwa wa chache wanao sikia na kuheshimu Mungu wata kuwa mfano kwa wale watakao fufuliwa kwa fufuko wa pili, kuonyesha kuwa walikuwa na uchanguo. Inafaa waanze na kuomba na kushii Roho Mtakatifu.

 

Tazama Job, Danieli manabii na Kristo.

 

Kristo alisema

 

Furaha na kushangilia; kwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu. (Mathayo 5:12)

 

Nini kinyinge alichosema Bwana “wasamehe Baba kwa kuwa hawajui wanachifanya” (Luka 22:34).

 

Tazama kuwa kila beatitude imejishikila kwa lingine. Ni kama muiringo mkubwa na moja ikiongoza kwa lingine na kasha twaaja tena.

 

Kwa ufupi Tabia yatuonyesha twafaa tufanya: 

  1. Tafuta Roho mtakatifu, Kwa maana ni sawadi kutoka kwa mungu.  

 

  1. Kujua kuwa dunia haiwezi kukuwa mema na haliwezi bila ya Mungu. 

 

  1. Tujinyenyekeze mikononi mwa Bwana.  

 

  1. Kuinyesha Mungu twaelewa kwa kuzitunza sheria zake na kubadili mienendo zake Mungu.

 

  1. Fanya vyema na kukumbuka sisi pia si mamilifu.

 

  1. Kuwa mkweli kwa Mungu na wengine. Kufanya vitu kwa kuwa twaa mini ni sawa na wala si kwa sababu mtu ametuambia tufanye au ni rahisi kufanya.    

 

  1. Kuwa kwa amani na watu .Si kazi yetu kulazimiza Mungu au jukumu letu kuwa na mamlaka juu ya wengine. Mungu ana mpango mingi refu ya kulazimisha kila mmoja alimtii. Wacha mpango za Mungu ziwe vilivyo. 

 

  1. Asivunjike moyo iwapo watu hawapendelei tunapojaribu kutenda anavyosema Mungu.  

 

  1. Usishtuke wengine wanapotushutumu bure kwa maneno ambazo sisi wenyewe hatujui maana haelewi.  

 

Ni wakati tu ambapo tutapoelwe na kujua mahitaji yetu ya Mungu na kasha kutenda anavyotaka kutenda. Kwa upendo na uangalifu kwa walio miongoni kwentu bila kujali ni nani au wanachofikiria, hapo tutafufuliwa katika wafu kwa uzima. 

 

Kutoka kwa maandiko hayo twajua ikiwa twaweza kuweka maneno hayo akilini mwentu na Kristo na tutaweza kumuona katika karibishwa kwa Mungu na Kristo na kutaweza kumuona katika utukufu wake nzima. Tutajaribu ya baate. Tutaelewa kle Mungu anachofanya kwa sasa na baadaye. Tutakuwa wafalme na wakuhani wa millennium. Tutaelewa kuzuri kutoka kwa kibaya na Mungu atatuhurumia na izutukatibisha bila kutazamia makosa tuliyofanya njiani. Tutae huruma ambaye ndiye. Tutaelewa Mungu na kumuona kama mwenye upendo, na huruma ambaye ndiye. Tutakuwa wana wana wake na atakana baba yetu kama Kristo ni mwana wa Mungu. Tutarishi upwepo kama Kristo alivyo.

  
 

 

q