Makanisa
ya Kikristo ya Mungu
[CB51]
Yoshua Aliyemrithi Musa
(Edition 2.0 20060311-20061127)
Baada ya kufa kwa Musa Mungu aliongea na Yoshua na kumwambia kuwa ata kwa Kiongosi wa Israeli na alikuwa ana weka watu tayari ili wavuke mto yordani ili wachukue Ardhi ya Ahadi.Hiki karatasi ime tolewa kutoka sura 50 na 51 wa Adithi ya Bibilia sura II na Basil Wolverton, na kuchapwa na Ambassador College Press. Maandiko zingine sime tolewa kwa Bibilia Mtakatifu New International Version, Kuchapwa 1973,1978,1984 International Bible Society Kutumwa na rusa wa Zondervan Bible Publishers.
Christian Churches of God
PO Box 369, WODEN
ACT 2606, AUSTRALIA
Email: secretary@ccg.org
(Copyright © 2006 Christian Churches of
God, ed. Wade Cox)
(Tr. 2008)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia yanapatikana
Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org and http://www.ccg.org
Yoshua Aliyemrithi Musa
Tuna Endelea na hapa kutoka karatasi Nambari wa New Generation (No. CB50).
Musa ali toka inje na kuambia watu,``Sasa nime fika miaka mia moja na ishirini na siwezi kuendelea na kazi ya uongozi. Alafu Mungu aka niambia hati sita vuka nga’mbo yam to wa Yordani. Mungu hata vuka mbele yenu na kuaribu nchi zote ambayo yamo mbele yenu na mta Nyakua Ardhi yao. Yoshua naye atavuka mbele yenu vile Mungu amesema. Mungu hata wapaninyi maaduwi zenu na lazima mta wafanyia jinzi nimw wamuri. Kwa na Nguvu na Ushujaa na usi ogope au usi tetemeke kwa sababu yao. Mungu hata waacha au kuwatupa kamwe’’(Kumbu kumbu la Torati 31:1-6).
Halafu Musa akambia Yoshua mbele ya wana Israeli, ``Kwan a Nguvu na Ushujaa, kwa sababu lazima huta enda na hawa watu mpaka kwa Ardhi ambayo Mungu ali ahidi ma babu zao ati ata wapa, na lazima uta ngawanya jinzi wapo kw ukoo.’’
Kusomua Wa Amri
Amri zote ambazo Mungu ali wapa Musa ili apatie watu zili andikwa chini saa chingine na Musa na ku wapa wakuani, Wana wa Lawi, ambao wali kwa wana beba agano la kale. Uchapisi singine zili kuwa na wazee. Musa ali wamuri kusoma ilo kutabu cha Amri zote kwa watu kila miaka saba kama waIsraeli wana andaa Pasaka wakati wa miaka wa starehe, ambao ni siku ya Saba (JumaMosi) miaka baada ya miaka. Hii ni kwa watu kunyamasa na kujifundisa kuongopa Mungu na kwa makini kufuata neno za Amri (Kumbukumbu la Torati 31:9-13). Agano la Kale kuwa kama ushuda kwa wana Israeli ambao wame fanya dhambi kila mara na kufunja Amri za Mungu awali (vv.24-29).
Leo Tuna
kuwa na Amri za Mungu kati kati ya moyo Yetu. Sisi ni Hekalu wa Mungu na Amri za
Mungu ina faa intulunda. Inafa kukuwa taa la miguu zetu.
Mungu na Amri zake zina faa kutupatia mwelekeo,
kwanini na jibu ya swali zetu zote.
Wa kuani na wa lawi nao pia wali amuriwa kufundisa watu zeamu za Amri kila Mwaka katika pasaka na kila saa kwa Miaka katika mji zao(Kumbu Kumbu la Torati 33:8-10;2 Mambo Za Nyakati. 17:7-9;35;1-3; Nehemia 8:1-8; Watume 15:21).
Musa na Yoshua wali ambiwa kuja mbele ya Hema ya makutano na Mungu ali kuwa ana Kujia hao katika nguzo la Mawingu na mawingu ili kuwa ina simama juu ya hema (Kumbu kumbu la Torati 31:14-15).
``Kabla ya maisha yako kuisha,’’Mungu ali mwambia Musa, kuna vitu nyingi ambayo bado unaitaji kufanya. Ya kwanza ni kuandika nyimbo ya kufindiza watu. Najua wata enda na kufuata miungu zingine na wata zahau Amri zangu na kufunja agano. Na siku mbaya yata wafikia na hata wata tafuta ushaidizi wangu, Nita waacha kuteseka. Sura nakupatia lazima hiwe nyimbo la taifa na ifundiswa ukoo kwa ukoo. Watu wataikumbuka, na ita kwa usaidi kati yangu nao kwasababu ya dhambi zao’’(vv16-21)
Baada ya Musa na Yoshua kuacha Hema, Musa alikimbilia hema lake kuandika chini vitu ambazo zili kwa sinafaa zi imbwe na kufundiswa kwa wana Israeli (Kumbu Kumbu la Torati 31:22).
Njia
Ya kuenda kwa Furaha
Badaaye, Musa alienda na Yoshua mbele ya watu na kusema yale neno wa wimbo. Ilikuwa ina kumbuza wana Israeli koza lao, yale yana kuja, jukumu lao, jia ya kufuata na vitu ambao zita kuja mbela zao. Sura lili kuwa lina ongea kuusu Ukweli wa Mungu, Nehema na kazi makuu, na kulionyesa jinsi wana Israeli mi wenye Dhambi pasipo ona utukufu wa Mungu na jia zao. Watu walikumbuzua jinsi Mungu ni Mpole na ame nenda nao safari huko Jangwani na onyo kali ambao wali pewa kila mara. Sura lili kuwa lina Onyesa Israeli wasi ati ni watu ambao wako na hekima yaku hesimu, Maaduwi zao zote wange wa shinda, lakini upunguvu wa hekima hili rudi kukuwa sida duni kw Israeli.Kuli onyesa kuwa Israeli wange kuwa na swali kuu wa furaha mbele ya maisha yao, Na kabla ya hayo watu wange endelea kila saa wa hukumu mateso na baadaye inge kuwa kime ongeseka (Kumbu kumbu la Torati 32:1-43 tena ona karatasi wa Nyimbo wa Musa (No. CB98)).
Baada ya Musa kumalisa kusema haya maneno
alisema kwa wana Israeli ``Chukua kwa Moyo zenu neno haya nime wambia leo, hili mfundise watoto
wenu hili kwa upole wa hesimu neno zote za Amri. Kama ninyi mume Hesimu Amri Za
Mungu mta ishi miaka mingi kwa Ardhi ambao mna vuka Yordani kunyakua kama zenu’’(vv. 44-47).
Musa badaaye haka ongea neno mengi za kubariki kabila zote za Israeli, Na saa hiyo kusema vitu ambazo wana enda kufanya mbeleni kwa maisha yao (Kumbu Kumbu la Torati 33).
Kifo
cha Musa
Baadaye Musa akakaumbuka kuwa saa ya yeye kuenda kwa mulima Pisgah ume fika aka tasama juu yam to Jordani na kuona Ardhi ya wana Kaanani, ambayo hata ingia. Mungu ali muonyesa Ardhi yote kutoka Gileadi mapaka Dani, Naphtali yote na Ufalme wa Ephraimu na Manasseh, Ardhi zote za wana Juda mbali kufika mpaka magharibi wa bahari, ata Negev na upande zote za bonde la Jeriko, nchi wa zaburi kwa umbali adi Zoari. Alafu Mungu akamuambia,``Hii ndiyo Ardhi niliyo ahidi kama agano kwa Ibrahimu, Isaka na Yakobo nilipo wambia `nitawapa hii kwa wajukuu wenu ‘Nime kupa nafasi ya kuiona kwa macho yako lakini hauta vuka ili uingie’’(Kumbu kumbu la Torati 34:1-4).
Alafu Musa Mtumishi wa Mungu ali kufa hapa katika Moabu, Vile Mungu alisema. Ina onekana kwamba Mungu alimfanya akalala Usingisi wa Fofofo na baadaye aka chukuwa maisha yake. Mungu (i.e mungu wa Israeli na Malaika ambayo alionekana kwa Musa kwa mara kadhaa) baadaye alimshika hapo Moabu, katika bonde kumenyana na Bethi poari, Na mpaka waleo hakuna Mtu ambayo ana jua kaburi ni mwa Musa (vv.5-6).
Kama Musa
ange Kufa katika ardhi ya wana Israeli, watu wange chonga miungu kama yeye hili ibakie. Kwa sababu hii Malaika Mkuu
Michaeliali ngangana na satani kwa sababu ya mwili wa
Musa (Juda 9). Mungu kwa makini ali funika kaburi lake
kwa Binadamu, hili Mtu yeyote asi jaribiwe na mwili wake au pahali patakatifu
kama paali pa kuabudu.
Wasomi wengine wange kubuka ya kwamba ni kitu ya kiogopi kwa mtu kuabudu mwili ya mtu ambayo ame kufa. Lakina hata waleo, kama tunataka kuwa watu ambao wako na hekima na wanajua kenye wana fanya, Milioni ya watu ambao wana sema ni Wakristo duniani wako hivyo, wame weka mifupa za watu au mwili ambazo zime tengeswa kwa sitima kama vitu muimu za kuabudu na te vitu Takatifu;Hata bao au vitu singine wana hesabu kama muimu kwa wengine.
Hilo ndilo maisha ya Musa, Mmoja wa watumishi wa Mungu ambao wako wasi saa yote, alifika Miaka Mia Moja na Ishirini. Hivyo kabla yeye kufa, Musa alikuwa mwenye Nguvu na afya msuri kama wakati wake wa miaka dhamanini. Hata Macho zake bado zili kuwa kawaida kama ya vijana (Kumbu Kumbu la Torati 34:7).
Hakuna kiongozi mwingine wa Israeli ambayo alifanya kazi nyingi na makuu kama Musa (vv.10-12). Kwa sababu alikuwa karibu na Mungu, kuenjoy uhuru wa kuwa kiongozi ya watu saidi ya Milioni, kutoka kwa ukumu, kuwalekea mbele ya Mungu na Amri zake kuu, na kuongoza hao kuingia Ardhi ya Ahadi.
Ingawa kulikuwa na mara nyingi ambao walikuwa wana sahau Mungu na ata Musa, Na Israeli yote wali kuwa na usuni kwa kufo cha Musa na kiongozi Msuri. Baada ya siku Dhalathini watu wote wa Israeli wali lilia Musa kwa kifo chake (v.8).
Leo, watu wengi, hata watu wakuu kwa Dhehebu mbali mbali, Wanaona kuwa kitu kilicho muimu wa miaka na daari ya wana Israeli hati ni ya Wahibrania. Wana Kumbuka Musa kama Mtu ambayo aku faulu, hati ali linda baadhi ya wahibrania wengine kutoka nchi ya Misiri na kuwapeleka Kaanani, na Yule ali anza Dhehebu ya Wahibrania.
Musa haku anza Dhehebu ya Wahibrania. Neno Hibrania haija rudiwa hat katika Bibilia mpaka baada ya Musa, Ambapo Wahibrania wali kuwa kama watu wa kuenda vita na Israeli! (2 Wafalme 16:6). Wale ambao wana pusia kuwa neno Hibrania na Israeli mara inamanisha kitu kimoja wanaipata sio kawaida kuelewa sehemu nyingine za Bibilia haza Unabii.
Ni upumbafu kuwa watu ambao wana taka kufundiswa wana pata mafunzo kwa watu ambao ni kiongosi wabaya wana jua hati Amri za Mungu ni ya`` Wahibrania’’ wana Linda kinyume cha mafunzo wa Kristo na kifo lake. Wame telesa kw imani ambao ``freedi’’ kufanya vile tumaini yetu yapo.
Kwa Furaha, kulingana na Unabii wa siku isi saa muisho, Mungu pole pole ana fuguo akili za watu wengi na watu wengi ina faa kufundiza wale walikuwa wana fundiza Amri za Mungu, awana nafasi ya kuwa watu wakuogopa mbele ya Mungu, kama wahashi ambao imeandikwa katika Sura msima. Wasipo tubu, mwelekeo wa watu kama hao, ndiyo tuna sema ni wachungaji wa uongo, Hita kuwa chungu –kwa sababu ya dhambi yao ya kujifanya kama watumishi waukweli wa Mungu (Ezekieli 34:2,7-10; 2 Petro 2:12).
Mungu
ka Ongea na Yoshua
Baada ya kufa kwa Musa (Mtumishi wa Mungu) Mungu alianza na Yoshua mwana wa Nuni, Msaidishi wa Musa (Waziri). Mungu alimwambia Yoshua hati yeye ndio sasa Kiongozi ya Israeli na atawalinda Kuvuka Mto Jordani hili wanyakue Ardhi wa ahadi. Hali sii Youshua hili hawe na ushujaa nakumwaihidi rusa ya kusinda madui zake, Lakini kama wana Israeli wame ogopa Amri zake Mungu (Yoshua 1:1-4). Sasa kama Israeli wame hesimu Amri wata kuwa huru lakini kama wame ashi wata koma (Kumbu kumbu la Torati 28 na karatasi Blessing and Curses from Deuteronomy 28 (No. CB68).
Jina ``Yoshua’’ au Yahoshua ina manisha wokofu wa Mungu. Yoshua alikuwa mwana Nuni.Nuni ina manisha Kuendelea .Hii Yoshua beni (mwana wa) Nuni ina manisha Wokofu wa Mungu ume saliwa kwa Kuendelea. Yoshua (au Yohashua) lili kuwa moja wa jina la Kristo.
Mungu alimwambia Yoshua,``Vile nili kuwa na Musa, hivyo ndivyo nita
kuwa nawe. Sita kuaibisha wala kukuacha ukiwa na mimi
na kuendelea katika Amri ambao hulu pewa na Musa mtumishi wangu. Jifunze hayo Amri hili siwe kawaida kwako hili mpaka uwezi
kuyasahau. Kuwa na Nguvu kwa afisi mbao nime
kupatia. Kuwa naujashiri mkuu na usiogope ama kulegea.
Kumbukakuwa Mungu wako ako nawe popote uendapo’’ (Yoshua
1:5-9; Kumbukumbu laTorati 31:6).
Kujianda
kufunja Kampu
Punde baada ya miaka Dhalathini ya kulilia
Musa ime isha, Yoshua ali toa amri kwa mafisa zake
kutoa onyo kwa watu. ``Jiandaa kwa
mutiso wa kufunja kampu kati ya siku tatu’’Mofisa waka ambia watu kwa mshangao.
``Jiandaa chakula zaidi ya kutumiliwa kwa safari yetu ya kuvuka mto Yordani na
kuingia katika Ardhi ya ahidi wa Mungu’’(vv.10-11).
Yoshua halafu aka ongea na wakuu wa kabila wa, Reubeni, Gadi na nusu wa Manasseh-ambao wali rudi kutoka familia zao mashariki wa Yordani-kuwa kumbusa shida ya wenzao ambao wako kwa kabila tafauti.
``Nataka
kukumbuza wewe ahadi ya kutuma wana jeshi wako wazuri kutoka kw kabila zako
kukuzaidia kuchukua nchi ya Kanaani‘’, Yoshua aliwambia.`` Tuta tembea kuvuka
mto Jordani karibuni na wana jeshi wako wata ongoza njia, mpaka awata kuwa na
familia yao karibu.Baada ya kuchukua ardhi, wasujaa wata kuwa huru kurudi
makwao na kwa familia yao huku kando ya Mto’’(Yoshua 1:12-15).
Waongozi wali jiandaa,``Tuta beba ahadi zetu. Wanajeshi wetu wata enda popote utawatuma na kuhesimu amri.Kula mwana jeshi ambayo tuta tuma hata jua kuwa aki koza kutu hesimu, hata wekwa kukufa’’(vv.16-18). Hapa tuna ona hawa watu waki onyeza hesima na kuogopa kw wakuu wao.
Rahabu
na Wachunguzi
Yoshua ali kumbuka kuwa Mungu hata enda kupa ulinzi kwa Israeli kama kutembea ya upumbavu ume timiwa. Hali kuwa anajua ati lazima afanye uhamusi wa busara na mpango jeuri. Kwa sababu ya huu, alitume wachunguzi wawili kwa siri ku chenga Yeriko hili wajua jinsi gani nchi huo lime lindwa, jinzi wa ujenzi waukuta na mlango, na nguvu aina ngani liko karibu na Yeriko na akili ya watu walio katika mji huo. Sasa wachunguzi wali wali ingia katika Nyumba ya kahaba kwa majina Rahabu na kukaa hapo siku tatu (Yoshua 2:1)
Kutuma kwa watu wawili wachunguzi kina onyesa mfano wa watu wawili katika ushuuda siku ya mwizo mkuu la Bwana.Tena katika Kanisa ina onyesa pahali tuli tumwa wawili kwa wawili kumenyana na vitu tafautu kwa watu ambao wako na wokofu. Hapa Rahabu hali kuwa ana pewa nafasi kuwa mmoja wa Israeli na kuokolewa kwa ujusi hiyo. Rahabu ali tambua wokofu kwa walimuengu kwa kubatiswa na kuletwa katika Kanisa.
Mfalme wa Yeriko ali ambiwa,``Tasama!
Wengine wana Israeli wame kuja hapa usiku wa leo ili
watuchunguze kwa Ardhi yetu’’. Sasa Mfalme wa
Yeriko alitume ujumbe kwa Rahabu: ``Toa
inje watu hao ambao wali kuja na kuingia katika nyumba chako, kwa sababu wame
kuja kutuchunguza na Ardhi yetu yote’’ (Yoshua 2:2-3, NIV).
Rahabu
kamficha wana Jeshi
Lakini mwanamuke alisachukua hao watu wawili nje na kuwa ficha. Haka sema,``Ndiyo watu wawili wali kuja hapa, lakini sikijua pahali wali tokea .Jioni wakati iliopo fika wa kufunga malango wa nji ,watu hao wali toka .Sii jui njia gani wali fuata .Nenda nyuma yao haraka. Saa singine una weza kukutana noa.’’ (Lakini ali wachukua hoa wachunguzi juu ya paa na kuwa ficha umo chini ya vitu ambazo ali kuwa nayo.) Sasa watu katoka kufuata wale wachunguzi kwa barabarainayo lekea mwanzo wa Mto Jordani, na na punde walipo enda, Lango zote zili ilinguwa (vv. 4-7).
Mavuno wa Miongo na minyati wakati huo; hii ina tuocheza kuwa wakati huu ili kuwa wakati wa Pasaka.
Rahabu alidanganya kwasababu ya haya, lakini Mungu anatumia watu kama hao kuleta mafanikio yake. Kwa wakati huu na jia huu alikuwa anatumia mwanamuke mkanaani, ambayo haja fundishwa amri ya Mungu. Rahabu alijianda kuficha watumishi wa Mungu na kumenyana na chochotew kinacho kujia, kutokea ashira zake binafsi kwa watu wao. Sisi pia ina itajika to fanye usaidishi kwa watu wale ambao wana itaji ilo na wana tusaidia.
Kabla wachunguzi kulala usiku, Rahabu ali enda
juu kwa paa na kuwambia,``Muko huru wakati huu. Hawata rudi kwa Muda huu sisi wana Kanaani tuna juwa visuri mpango yenu
ya kuchukua nchi yetu. Najuwa kuwa Mungu wenu wa Nguvu
atawapa Nyinyi Ardhi huu. Nchi yetu yote wako na
mashaka kwa sababu msaa chukua nchi zote za mashariki na kusinimashariki. Tuli
kuwa na hofu siku ambayo wana jeshi wenu wata vuka Mto Yordani.Uhonga wetu ni
kubwa mpaka akuna mtu ambayo bado ni mjashiri hat Kidogo.Sasa nakuwasii katika
jina la Bwana hati mta onyesa huruma kwa familia wangu ,kwa
sababu name pia mime waonyesa Huruma .Mni patie mfano ambao una onyesa hati mta
wacha maisha ya Baba yangu na Mama Yangu,mandungu zangu na madada zangu, na
wale wote ambao ni wangu ,na kuwa hamuta tuuwa’’(vv.8-13).
``Tume
ahidi kufanya vile ume tu a,’’ Wa ombIsraeli
akawambia. ``Kama utakubani kusipo mwambia mtu yeyote kilicho tendeka usiku wa
leo, Tuta kufanyia Huruma na imani wakati Bwana ata tutupa Ardhi huu’’(v.14)
Rahabu alipewa usikivu kutoka kwa Roho Mtakatifu kuwa Israeli wata chukua Ardhi yao. Hali omba tuu ulewano kati kati yao. Rahabu kwa moyo waundani ali wambia kwa hakika wachunguzi kuwa hilo jambo hata ambia mtu yeyote mbali yeyetu. Wa Israeli wali mwambia kufunga kitamba nyekundu katika dirisa lake, na watu wao wote watafute ushaidizi kwake wakati wana jeshi wa Israeli watakapo fika Yeriko.
``Wana
Jeshi wetu wata ambia kuacha nyumba ambayo iko na kitamba huo nyekundu,’’Rahabu
aliambiwa, ``lakini kama mtu wako mmoja hata kuwa inje wakati, tutakuja
autatulaumu kwasababu yake .Kwa njia ingine, kama Mtu yeyote kwa familia yenu
ambayo hako kwa Nyumba ame dhuriwa, tuta kuwa wakulaumiwa mbele ya Mungu kwa
sababu ya dhuru ‘’(vv.17-20).
Kitambaa huo Nyekundu kilikuwa ina onyesa hulinsi wa Mungu. Kazi ya Kitambaa ya nyekundu nikama ndamu ya kondoo walio weka kwa Pasaka wakati Israeli wali weka ndamu kwa Msingi wa mlango yaokable ya malaika wa kifo kupita ardhi ya Misiri kati kati ya Usiku na kuwauwa kila motto wa kwanza ya wanadamu na wanyama (cf. Kutoka 12:12-13,22-23). Kulingana na ulinsi ambao walipatia Rahabu na familia yake hili kuwa wana kaa ndani ya Yumba wakati wana Jeshi wa Israeli wata kuwa na ushidi. Katika jia hiyo Israeli wali kuwa wana ka katika nyumba zao wakati malaika wa kifo ali kuwa ana pita katika Misiri. Hizo hatua zote zina onyesa Pasaka.
Rahabu baadaye akawa mwanamuke mwenye jina kuu.tuna kumkumbuka kwa Agano Jipya kwa sababu ya imani yake. (Wa-hibrania 11:31) na kazi yake masuri (Yakobo 2:25). Rahabu ali holewa na Salmoni mwana wamfalme wa Yuda (Ruthi 4:21; 1Mambo ya Nyakati 2:11; Mathayo 1:5). Alikuwa Mkuu wa wakuu kwa nyanya za Mfalme Daudi.
Rahabu hali wacha watu wawili akitumia kamba kwa dirisa, kwa sababu nyumba ambayo ali ishi ilikuwa kwa hukuta wa mji. ``Mshi jaribu kurudi kwa kampu yenu sa huu,’’Rahabu ali wa onyi.``Eneo hii kutoka hapa mpaka mto Yordani kuta kuwa na Wana Jeshi wetu kwa baada ya saa nyingi.Kimbieni mpaka kwa mlima wa magharibi kutoka hapa na mkae umo baada ya siku tatu. Kwa wakati huo itakuwa mbali nanyinyi sasa rudini’’(Yoshua 2:15-16).
Baada yao kuenda, Wachunguzi wali enda mpaka kwa mlima na kuka umo kwa muda wa siku tatu, mpaka wafuati wakatafuta kando ya barabara na kurudi bila kitu yeyote (v. 22, NIV).
Nambari tatu {3} ina onyesa umalisiko wakitu kwa laini wa tatu kwa jambo zetu. Ili tumiwa ata katika jinsi satani ame weka mpango yake wa Wakitatu kwa Mungu.Nuhu alikuwa na wana vijania wa Tatu; Pharao ali hota ndoto ambapo 3 alikuwa kime rudia kwa nambari na Yusufu aka kehusha maana ya ndoto hayo baada ya kupata usikifu kutoka kwa Mungu; Musa naye alificha na mamaye baada ya mwesi tatu. Kuna sehemu nyingi sime tumiwa tatu, Lakini cha msingi sana ni: Mesia alichukua siku 3 (na usiku 3) katika kaburi kabla ya kufufuilwa; siku tatu zina onyesa wakati washudaji wali laliswa katika jia ya kuenda Yerusalemu.
Wapelelesi waleta Ujumbe kuwa Yoshua
Baada ya ulmalisiko wa siku tatu watu wale wawilli wali toka mashariki katika usiku na kutenenda kwa huru mpaka Yordani. Hapo wali ngoja Mchana, na tena kuendea na kujitumbia mto na ku vuka. Kutoka hapo ili kuwa atua chache mpaka Kampu ya Israeli na kufika Salama.
Yoshua alifurahi na Ujumbe ya wapelelesi. Sana sana kwa kushinda akili yaw a Kanaani.Na kwa Rahabun na Familia yake, Yoshua alikimbilia kukubali na kuahidi familia hiyo ya wa Kanaani kuachwa (vv.23-24) Yoshua alijua mpango ya Mungu kuuwa wana Kanaani hahi kuwa inahambatana wale walio kuwa tayari kuacha miungu yao na waweke Imani yao kwa Mungu Moja wa Ukweli.Kwa Yote, Mungu alikumu watu wa Kanaani kwa sababu ya tabia yao mbaya ya kuabudu miungu (KumbuKumbu la Torati 9:4; 12:29-32). Wale wachache ambao wata tubu, kama Rahabu, ilikuwa ina faa kuwaonyesa huruma (Mwanzo 12:3).
Kuvuka
kwa Yordani
Punde si punde Youshua alimalisha kusikia ujumbe, aliwambia mafisa zake kuchukua maneno kwa watu ati wa jiandae kufunja Kampu siku hifuatayo.
Halfajiri siku hifwatayo wana Israeli wali
maliza kufunja Kampu katika Shittimi an kuanza mwendo
kuelekea Yordani, ambapo wali kampu kabla ya kuvuka Mto Yordani.Baada ya siku
tatu mafisa walitembea kwa kampu kupatiana onyo kwa watu: ``Wakati mtakapo ona Sanduku la Agano wa Bwana Mungu, na wakuani,
ambao ni wa Lawi waki hibeba, lasima mta toka paali mpo na kumfuata. Alafu mta
jua ni jia gani mnaenda .Lakini makae mbali kama yadi alufu moja mbali na
Sanduku; msi ende karibu naye’’(Yoshua 3:1-4, NIV).
Sanduku la Agano inaonyesa hakika hati Nguvu za Mungu ita enda mbela ya Israeli. Kwa Msingi Sanduku ilibeba nambari za vitu nyingi pamoja na Jiwe la Torati, Fimbo ya Aaruni na Manna.Inafaa kila saa tulinde Amri za Mungu.
Yoshua aliambia watu,``Kuwa wakfu kwa sababu kesho Bwana atafanya
vitu Makuu kati yenu’’(v.5).
Mujisha
ya Takikana
Siku ya kuamuka kesho Yoshua aliambia wakuani hati wachukue Sanduku wa Agano na kubeba mpaka Mto mbele ya wana Israeli na wasimame katika mto (vv.6-8). Kawaida Sanduku hili kuwa inabebwa katikati ya watu wengi, na kasi hiyo ni yaw a Lawi ambao wali kuwa wana wa Kohathi (Nambari 2:1-31; 4:15).
Alafu, Yoshua akambia watu waje karibu kusikia kila anaenda kusema.
Yoshua aliambia wana Isaraeli ‘’Sasa muwe na ujasiri kuwa Mungu ata onyesa sisi tena Nguvu lake
kutuchukua mpaka ngambo ya Mto huu’’. Yoshua aka onyi wakuu wa kabila wachanguwe
wanaume kumi na mbili, mmojo katika kabila moja, na watume kwake kw kasi malumu.``Punde baada ya wakuani ambao
wali beba Sanduku wa Bwana kuweka miguu yao kwa Yordani, kukimbia kwa mto huta
simamakuenda chini na kusimama kama jiwe’’(Yoshua 3:9-13).
Kama watu wali funjaKampu na kuvuka Yordani, Wakuani waliansha nje na Sanduku mbele yao. Sa huu Yordani ime jaa kwa hatua ya mavuno, na bado wakuani hata kufika hapo na Miguu yao linanguza kando ya maji, Maji kutoka juu yali simama kukimbia. Ili simama kama Jiwe juu mbali nao kule maji zina ingia nayo kwa baari na kusimama kabisa. Sasa watu waka vuka kumenyana na Yeriko. Wakuani ambao wali beba Sanduku la Agano wa Bwana wali simama kama msingi katikati ya mto Yordani ikiwa sakafu, Kama wana Israeli wana pita mpaka nchi msima ili pita na kuvuka ngambo ingine ya ardhi sakafu (vv. 3:14-17, NIV).
Mojo angewesa kusangaa vile watu wange weza kusimama muda huo, san asana kame wame beba sanduku. Sasingine Mungu ali wapa Nguvu ya kipekee ya kusimama kwa muda huo wote na hiyo msingo yote. Wakuani wali kuwa na jukumu wa kulinda na kuanda nchi kuchukua vitu zao. Kwa jinzi hiyo ina faa tufindiswe ukweli na kuonyeswa jinzi ya kuchukuwa vitu zetu (Wokofu) Katika Ufalme wa Mungu.
Na nikwa wakuani, walikuwa wamwisho kupita ngambo ya mto kwa Yoshua, wafany kazi wake na wale wanaume kumi na Mbili walichangua kutoka kila kabila walirokota jiwe lkile mmoja kwa magharibi wa mto kando naye. Yoshua aliwambia kuweka jiwe hayo kwa Mto Yordani kama kikumbukio paali wakuani wali simama kwa Muda na sanduku. Baada ya kazi ya ukumbuzi ulimalisika, wale watu kumi na Mbili wali toka kwa mto na jiwe ambayo mtu alikuwa ana weza kubeba kando ya mato.
Kulikuwa na aina mbili wa jiwe kuonyesa Mtume Kumi na Mbili na wahamusi Kumi na mbili wa Israeli; Kumi na Mbili-nne jiwe zote. Kumi na mbili-nne ni nambari ya wazee ambao wako na Kristo katika kiti cha Henzi wa Mungu. Mfano ingine ni jiwe zile Kumi na Mbili kwa mto kunaonyesa nambari ya wazee ambao wali hasii na wataingia Ufalme wa Mungu (au Ardh ya Ahadi).
Baada ya nchi yote kumalisha kuvuka Yordani, Yoshua aliwaita wale watu Kumi na Mbili aliwachangua kutoka kabila zote na kawambia kile Bwana ali wamuri wa fanye. Wali fanya jinzi Yoshua aliwambia na kubeba jiwe kumi na mbili mpaka kampu nao mpaka wali fika na kusiweka chini. Yoshua alitengesa jiwe kumi na mbili kama ukumbuzo (Yoshua 4:1-9). Ukumbuzo wa jiwe ilikuwa kawaida kutumiwa ali kizazi ufuatayo wakumbuke nayo Kenye ilitendeka.
Ahadi
ya Mujisha Kutimia
Wakuani ambao wali beba Sanduku wali baki wakisimama katikati wa Yordani mapaka vitu zote ambazo Bwana ali amuri Yoshua zime timia. Watu wali harakisha kuvuka na punde baada yao kuvuka, Bwana ali amuru Yoshua kuambia Wakuani kutoka kwa Yordani. Baabaye Kama Wakuani wame kanyanga ardhi sakafu alafu maji ya Mto Yordani yaka anza ku kimbia kama kawaida na kukimbia ikiwa ime jaa kama kawaida (vv. 10-18, NIV).
Hii Mujisha mkuu wa Mungu ili sa semwa na Yoshua, na ilikuwa wa msangao kubwa kwa wana Israeli.Walikumbuka kuwa Yoshua, ni kama Musa na wako Karibu na Mungu kama viongozi wakipekee. Hesima yaokwake hili kuwa mkuu siku hiyo (v.14) Wana Israeli tena walikumbuka kuwa Mungu amemalisha ahadi zake zotekuchukua kizazi hi kuvuka mto Yordani mpaka Ardhi ya Ahadi.
Kwa siku ya Kumi wa Mwesi wa Kwanza (Abibu au Nisani nasii January) watu wali toka Yordani na kupinga kambi Gilgali katika mashariki wa mapaka wa Yeriko.Hii ndiyo siku ya kuchangua kondoo wa Pasaka. Siku Kumi wa mwezi wakwanza ndiyo hili kuwa tarehe ya Mesia kuingia Yerusalemu hili hasulubiwe. Hili kuwa siku hii ambayo jiwe Kumi na Mbili silibebwa kutoka Mto Yordani na kuwekwa kama ukumbuzi. Gilgali inamaniza njia Roli. Hapa, Yoshua ambaye alikuwa kama Mesia ali towa nje dhambi ya Ulimwengu (vv.19-20).
Yoshua alafu akakuja mbele ya umati na
kusema:``Hiki kikundi cha jiwe kita kumbuswa kama ya Mungu na Mujisha makuu wa
kutuleta kuvuta ngambo huu’’, hali Sema.``Mwambieni watoto wenu wakati hukujao
maana yake.Uwakumbushe kuwa Mungu ndiye aliwaleta Israeli kuvuka maji mengi –
kama ya zamu.Hiki kudi ya jiwe ni Ukumbuzi kwa watu wote ambao wata uona au
kujifundisa kuwa Mungu anastaili kuwa mkuu na kuhesimiwa ‘’(vv.21-24).
Baada yaWafalme wa Amoreti Magharibi wa Yordani na Wafalme wote wa Kanaani pwani walisikia jinzi Bwana hali Sakafu Yordani mbele ya wana Israeli mpaka waka vuka,Wali ogopa na wakuwa na ujasiri wa kumenyana na wana Israeli(Yoshua 5:1).
Ulewano singine kutoka:
q