Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[CB65]

 

 

 

Funzo:

Efode, Kamba Ya Kiuno Kipande Cha Mashariki

 

(Toleo 1.0 20060422-20060422)

 

 

Padri mkuu inge faa avae vitu vingine ambaye padri wa kawaida haku vaa. Padri mkuu ilikua na jukumu ya kutmia hizi vitu sawa, Funso italeta ukweli, kutumia na mfano kulingana na ephod, aliyed grili, na kifua cha kifungo wa Mkuhani.

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

 

(Copyright ã Leslie Hilburn, Malonda Hutson, ed. 2006 Wade Cox)

 (Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 


Funzo:

Efode, Kamba Ya Kiuno Kipande Cha Mashariki

 



Maudhui

 

Maudhui ya funzo hii ni  kuangalia efode,  waaiojiamini na kipande cha na kupata uelewano a mfano wa majitokezano.

 

Dhamira

Seems to be one missing from this list

  1. Watoto watajufunza maelezo ya Bibilia wa Efode, wasiojiamini na kipande cha shtaka.
  2. Watoto watajifunza vile nguo iliashiria kuelekea upande wa Kristo kama mkuhanii wetu mkuu na pia jukumu letu kama makuhani chini ya uongozi wa Melchisedek.
  3. Watoto watajifunza nani ni mkuhani mkuu waw makanisa ya Mungu.
  4. Wtoto watajifunza nani ni mkuhani wa karibu wa dunia.

5.   Watoto watajifunza nani jaji mguana.

 

Mahali pa kuzipata

 

Revised Standard Bible

New American Standard Bible

King James Bible

Contemporary English Version Bible

The Garments of the High Priest (No. CB61)

The Tabernacle: Its Priests and Its Services, by William Brown 

The Companion Bible, King James Version (Bullinger)

J.P. Phillips Translation of the New Testament

 

Mahali pa kuzisoma

 

Kutoka 28:8-30

Kutoka 39:1-21

 

Somo la kushikwa akilini

 

Kutoka 29:9-11

Kutoka 39:14

 

Mpalingio

 

Kuanzishwa na maombi

Funzo

Ufupisho

Tukio

Kumaliza na maombi

 

Funzo

 

Soma Kutoka 28 bila sauti ya juu. Maneno haya  yametoka kwa Bibilia ya kiingereza ya kisasa.

 

Nguo za mkuhani

 

1 Nilimtuma ndugu Arun na wanawake Nahab, Abihu, Eleazar na Ithamar. Wao ndio nimewachagua kutoka kwa Israeli kumtumikia kama makuhani wangu.

2 Mkewe Arun nguo zingine zilizo sawa ambao ni vuzuri kama mkuhani mkuu.

3 Arun anafaakuwekwa kama mkuhani wangu, na nguo zake zinafaa kutengenezwa na walio na maarifa ambayo nimewapa

4 Hapa kuna vitu ambavyo vinafaa kutengenezwa sambamba tabari na sashi. Hizi nguo zilizoheshimiwa zinafaa kutengenezwa ndugu Arun na wanawe watakaokuwa makuhani wangu.

5 Ni dhahabu nguo iliyo iliyoshonwa na bulu zambarau na nywele nyekundu zinafaa kutengeneza hizi nguo. Mungu alisema.

 

Nguo ya kifaa ya mkuhani mkuu

 

6-8 Nguo ya ndani ya mkuhani inafaa kutengenezwa na nguo laini iliyotengenezwa kwa ueledi na blu zambazo na wuli nyekundu na kutengenezwa na dhahabu. Ni kuwa na mgongo miwili yanayokumbatia kuipa mkono sashi ambayo inajikaza inaozunguka kiuno.

9-12 Weka mawe mawili ya dhahabu na kuweka moja kwa kila mwisho wa mgongo. Kwa moja ya haya mawe inasimamia majina ya watoto sita wa Israeli kwa mpango wa kuzaliwa kwao. Na fanya hivyo na wanawe sita wanaobaki jiwe lingine. Kwa njia hii ama atakuwa akibeba majina ya kabila ya isreali akiingia kwa mahali takatifu na sitawasahau watu wangu.

13-15 dhahabu kwa mgongo na kuzikaza na kuweka vitu vya dhahabu safi. Mungu alisema.

 

Nguo ya kufua ya mkuhani mkuu

 

15 kutoka na bei hiyo ghali inaweka nguo ya kufua ili mkuhani mkuu kutumika kwa masomo kile inayowataka watu wetu wafanye.

16 Inafaa kuwa nchi  tisa ya duara na kukunywa mara mbili

17 Na laini nne yam awe yanayopendeza laini ya kusema weak kunelia kristolite na emaraldi

18 Kwa laini ya mbili takwis, safsiri na dhahabu

19 Kwa laini ya tatu jasirithi, agati na meteso

20 Kwa laini ya nne benl, oniksi ya paspi ziweke mawe ka nyingine ya dhahabu ya maundo

21 Na weak kwa kila moja jina moja ya kabila kumi na miwili ya Israeli.

22-25 Shikanisha pete mbili za dhahabu cha pembe cha juu ya nguo ya kujua na kuzikaza na nyoror ya dhahabu kwa mgongo.

26 Shikanika pete mbele za dhahabu kipende cha chini ndani ya pepembe ya nguo ya kifua.

27 Na zingine mbili zaidi karibu na mwisho juu ya sashi

28 Chukua kodi ya blue na funga juu ya sashi cha pete kwa zile zilizo kwa kujua. Hii itaishikanisha inapotakikana. 29 Kwa njia hii Marun atakuwa na majina ya ukowa waisraeli kumi na wawili ilioyoandikwa kwa moyo wake kila wakati anapoingia katika mahali takatifu wake sitaisahau watu wangu. 30 Lazima pia awae kwa nguo ya kifua vitu viwili vidogo ambayo atatumia kupata jawabu kutoka kwangu. Mungu alisema.

 

Nguo zingine za mkuhani mkuu

 

31 Chini ya kamba ya Arun lazima avae nguo ya pamba ya buluu.

32 Na kufungulia kwa katikati kichani. Uwe makimfu kuzinganisha vitu ikizunguka kola kuzima kutokana na uramaji.

33-34 Kupitia upindo wa kamba shona pomegranate ya buluu, zambarau na vyeupe, vyekundu mna kenyele ya dhahabu kati ya miongoni mwao.

35 Kama Arun akivaa nguo hizi hakungia mahali takatifu kama ukuhani Sauli ya kengele isikika na maisha yake hayata kuwa katika hali ya hatari.

36 Kwa laini ya dhahabu kuteneneza maneno “kumpletekea Mungu”.

37 Ikaze mbele ya tabau ya Arub na kodi ya buhu.

38 Ili aivae katika kichwa chake. Hii itaonyesha atakaye chukuliwa kuwa dhambi ya watu waisraeli kwa kutoa matoleo kwangu, na nita wa heshimu.

39 Tengeneza kamba na tabani ya nguo laini na kutengeneza sashi na shindano ya maana.

 

Nguo za makuhani wengine

 

40 Kama wanao  Arun ni makuhani wanafaa kusifiwa tengeneza kamba, sashi na kifaa cha kichwa kwake.

41 Valisha Arun na wanawe kwa nguo hizi, mwaga mafuta kwa kichwa chao,  na mwaweke kama makuhani wangu.

42 Tengeneza nguo laini inayofika kwa kiuno kutoka chini hadi juu na hawawezi kujionyesha.

43 Wakiingia mahali patakatifu au kuongoza kwa altari na kuingia mahali takatifu, wanafaa kuvaa simali haya au watakuwa wenye dhambi au kufa. Hii sheria moja inaonyesha kwa wafuasi wake wanaongoza kama makuhani (CEV).

 

Maswali ya watoto

 

Sw1. Ni vitu vipi vilivyo tumika kutengeneza efode nguo  ndani ya nguo ya kufua ya shtaka?

 

Jw. Tazama Kutoka 28:5,6,8,9,15; 39:8

 

Kutoka 28:5 Watachukua dhahabu na buluu na sambarau na kifaa cha skateti na nguo iliyo laini.

 

Tunaona kwamba vitu kadha tofauti kutoka mahali tofauti, nguo ya laini kutoka kwa mimea, za nywele kutoka kwa kondoo na dhahabu na mengine kutoka ardhini

 

Sw2. Hivi vifaa tano vilipatikana vipi?

 

Jw. Kutoka 25:5 inaonyesha kuwa vifaa vyote vilipatikana kupitia kwa matoleo ya watu. Mungu ndiye mwenyeji wa kila kitu (Neh 9:6) yeye nimwenywe ni muumbambi, mpeaji maisha na sheria. Anatukubalia kutumia niambile na maisha ngumu ya unyanyasaji na kushukakiwa chini ya uongozi wa wana Misri. Baada ya kifo cha kifungua mamba Farao alimshauri Musa kuandika Misiri. Musa aliwaongoza wana Israeli nje ya Misri mmchana siku ya kumi na sita wa mwezi wa kwanza wa Abib. Kabla ya kuondoka, wanamisri waliwapa watu wa Israeli vitu vizuri kama kifaa laini, ngozi, chuma na vitu  vingine vilivyo vizuri.

 

Watu walipeana vitu bure kama dhahabu na vitu vingine kwa nyenzi wa altari jangwani na kubufeneza ngup za mkuhani. Mungu kwa uwazi anayenda yule anayepeana (2 Kor 9:7). Tunaona Israeli ya kale watu walitaka kutoka kile walicho nacho kuambiwa waacha kuleta vitu wanavyo (Kut 36:6). Walitoa vitu kivyao kujenga hakalu na kumwalisha mkuhani ambapo sisi ndio hekalu ya Mungu (1 Kor 3:16; 17). Tunafaa kupeana kiwazi matoleo kama ya pesa kwa Mungu na katika kazi yakee kwa walioamini, kanisa na kazi ya Mungu.

 

Sw3.  Ni nani aliyetengeneza maralizi haya?

 

Jw. Vilitengenezwa na Bazaled

 

Sw4.  Beseled alifanya kazi wapi tena?

 

Jw. Lifanya kazi kwa hekalu kule jangwani (Kut 38:22)

 

Sw5. Kuna rangi tano zilzotumika kwa nguo ya mkuhani mkuu. Hizi namba  tano zilisimamia nini?

 

Jw. Kulingana na Bullinger (The Companion Bible) appendix 10, tano inasimamia nambari ya utulivu. “Inaongezwa na Mungu kwa kupeana vit na baraka kwa kazi ya mikono wako. Kutokana na matumizi ya nambari (No.7) tunaona tanoi ikiongoza kwenye altari kulingana na kipimo. Kuna ukatikali tano kwa Mungu  na sheria zake utakatifu, uwema, uzuri, kufanya kitu kizuri na ukweli. Ni kwa mapendeleo ya Mungu kwa kupeana asiyeahailika ili awe toleo nzuri ya dhahabu. Ni kutokana na dhahabu ambapo mwandalizi aliyeanguka na binadamu anaweza kurudhishwa kwa Eloah, Mungu mmoja wa ukweli.

 

Sw6.  Haya rangi tano yalisimammia nini?

 

Jw. Rangi iliyoko kwenye pasia ilitumika kwenye nguo ya mkuhani mkuu kwa kuongoza, waya ya dhahabu ilishiriwa kwa nguo hiyo.

 

Buluu: Tunaona umuhimu wa rangi ya buluu inayosimamia sheria ya Mungu. Fikiria hii imeendelezwa kutoka kwa karatasi funzo sheria kutoka ybao ya mlango yetu (No. CB80).

 

Nyekundu: Rangi nyekundu imasimamia damu ya Yesu kama dhabihu yetu ya psaka.

 

Zambarau: Rangi ya samawati inayounganisha nyekundu na buluu inatuashiria katika uongozi wa mkuahani inayonyeniisha uokovu ambao tumepewa kupitia kwa  dhabihu ya Kristo, na mapenzi yetu ya Mungu inayoonyesha kutokana na heshima yetu kwa sheria.

 

Nyeupe: Vile tumejifunza kutokana na funzo ya kwanza kwa mpangilio haya kwa nguo ya mkuhani mkuu. Rangi nyeupe inaonyesha usafi wa nguo setu tukijitayarisha kama bi arusi wa Kristo na uzima wa Yesu Kristo.

 

Dhahabu: Kwa haya rangi nne dhahabu uneongzwa kwa latari kule jangwani tunaona kiuni cha makubaliano iliyoko kwa utaktifu wa watakatifu. Pia ilitayenezwa kwa dhahabu. Kuna mkuhani mkuu dhahabu inasimamia hekalu inayoishi ambayo ni sisi hapa, wa Mungu kwetu. Vile dhahabu ilishonwa kati ya zile zingine pia kwa roho mtakatifu inafanya watu wote war oho mtakatifu kama wenyeji wa mwili wa Kristo pamoja.

 

Sw7. Zaburi 45:9 inasema: wana wa kike wa wafalme ni miongoni mwa wale wanaoheshimika. Kwa mkono wako wa kulia anasimamia malkia kwenye ofir (RSV) nani huyu?

 

Jw. Ni Israeli kama bi arusi wa Kristo. Nguo ni kamba ya ubatiso na dhahabu ni roho mtakatifu.

 

Sw8. Je efode na kamba ni nini?

 

Jw. Efode ni kama kabuti inayovaliwa juu ya nguo ya buluu. Kile imezungumuziwa hapo juu, ilitengenezwa na rangi kwa tano, buluu, kateti/nyekundu, zambazo, nyeupe na dhahabu. Hivi viko sawa na rangi nne zilizo kwenye pasia ya hekalu ilijuisha dhahabu. Mblele na nyuma ya efode ziliunganishwa pamoja kwa mgongo na pia kuslukanishwa ni kile ambacho Bibilia inasema karibu ya kmino. Ambayo ilikuwa kama sashi au kamba iliyotengenezwa na vifaa sawa na efode. Juu ya mgongo kulikuwa na vinyanishi vya dhahabu vya dhahabu, mawe mbili maridadi. Majina ya kabila kumi na mawili ziliandikwa kwenye mawe kulingana na kuzaliwa kwao. Mawe juu ya mgongo pia zilitumika kushikanisha nguo ya kifua na kulikuwa na pete mbili za dhahabu kwa kipande cha efode ambayo ilishikilia hadi mwisho wa kile cha kifua na riboni ya buluu.

 

Sw9. Zile mawe za oniksi zilipatikana wapi au kutumika wapi?

 

(Taz. Saa zingine majina tofauti yanapewa maana sawa)

 

Jw. Zililetwa / zilitolewa ardhi ya Havila (Mwanzo 2:11-12) kwenye dhamba za Edeni (Ezek 28:13) zilitumika kwenye hekalu ya Solomoni (1 Kor 29:2) zilipatikanaa kwenye mzingi wa Yerusalemu mpya (Ufunuo 21:20).

 

Moja mawe 12 kwenye nguo ya kifua ni oniksi, kuna oniksi tatu zilizotumika kwa nguo ya mkuhani mkuu. Oniksi kwenye mgongo inasimamia serikali ya Mungu (Tazama ungano ya chini). Inaweza kuwa kwa onkisi moja kwa shtaka inayonyesha moja ya mawe kwa nguo ya kufua kinaonyesha kwambashtaka imeendelezwahadi kwa wanadamu kw fikra ya kisasa, na pia walichaguliwa pia wana moyo inaoshi na kuwa kwa umoja ya waandalizi walio bora kwenye familia ya Mungu.

 

Sw10. Je mawe ya oniksi ilifanana na nini?

 

Jw. Mawe ya oniksi huwa ziko nyeusi

 

Sw11. kwa nini mawe ya oniksi yalikuwa kwenye mgongo.

 

Jw. Mgongo ndio pale penye tunaweza kubaba vitu vilivyo nzito. Nguo ya kifua ambayo mkuhani mkuu anaivaa kwenye efode ilikuwa nzito nah ii ingezuiliwa na lile mgongo wa mkuhani mkuu. Bullinger anasema kwa Kutoka 28:10 Kuwa mgongo ni mahali pa nguvu na makabila yote yanazaliwa / kubebwa ilhali kile cha kifua makabila yaliweka kuhungana na chafuo ya Mungu.

 

Juu ya mgongo wa efode kama aniksi mbili na majina ya makabila kum na mwili wa Israeli iliyopangwa kulingana na kuzaliwa kwao. Kwa fikira hii, mkuhani mkuu angezibeba majina ya waisraeli mwenye migongo yake. Yesu Kristo ndiye mkuhani wetu mkuu leo, na tunajua kutokwa kwa Kumbukumbu la Torati 32:9 kuwa ako na Israeli kwenye umiliki wake kwa njia hii tunaweza kusema kwamba Yesu Kristo anatubeba juu ya mgongo wake.

 

Pia Isaya inatuambia kwamba serikali ya Mungu iko kwenye mgongo wa Kristo. Haya mawe mawili yanatuonyesha kuwa uongozi wa Kristo kwa milima itakuwa kupitia wanafunzi wake kumi na wawili inayosimamia kabila kumi na mbili ya Israeli.

 

Kutoka kwa karatasi Musa na Mungu wa Misri (No. 105) tunaona kwamba Mungu alimchagua Musa kuwa Elohim kwa Farao.

 

Kutoka 7:1 na Mungu akamwambia Musa “Mlikuweka kama Mungu kwa Farao na Aruni ndugu yako  atakuwa mtume wako….” (RSV).

 

Uchaguzi huu ilionyeshwa kutumika kwa dunia, omba Kristo kupitia kwa waliochaguliwa na hapa. Musa kama mmoja wa Elohim uliffaa kuchukua uongozi juu ya mataifa. Muunano ya Musa kama Elohim iko kwenye ubadilishaki wa Kristo kwa Mariko 9:4. Uongozi wa mataifa ni Elohim kama Musa na Elija chini ya Kristo, na Daudi kama Elohim wa  Israeli kutoka kwa zakaraya 12:8 ambapo  nyumba ya Daudi itakuwa kama Elohim kama malaika ya YHVH kabla yao.

 

Kutoka kwa Kutoka 7:2-5 Mungu anamwambia Musa (Kupitia kwa malaika ya YHVH)

 

Ulayanena yale yote niliyokuamrisha, Arun ndugu yako atamwambia Farao kuwaacha wanaisraeli kuenda. Na nmtaweka moyo wa Farao kuwa nguvu na nitazidisha dalili zangu kuwa nyingi hapo Misri, Farao hatakusikiza mtaweka mokono wangu kwa Misri na kuwalita wanaondalizi wangu. Hata watu  wangu wana wa Israeli nje ya Misri na vitendo vya shtaka. Na wanaamini watajua kuwa mimi ni Mungu, nikipeana mkono wangu kwa wana Misri na kuwatoa watu na Israeli kutoka kwao (RSV).

 

Na sasa ni muhimu kukumbuka maana ya neno Israeli. Israeli ni muungano wa maneno El (SDH 410 au Mungu) na Sarah (SHD 8280 kuwa na nguvu kama kiongozi) kwa hivyo. Atakuongoza. Hii ndio maana kamili ya jina Israeli. Israeli ya kimoyo ni kuongoza kama Elohim.

 

Kama Mesaya ni mkuhani akivalisha nguo nyeupe. Mungu aneapa na hatasita, kuwa kwa mkuhani baada ya Melchisedek (Ps 110:4, KJV).

 

Mesaya amejitokeza kuwa mkuhani mkuu vile imeonyeshwa kwa Waebrania 1:8, 9 na Zaburi 45:6 na mkuhani wetu mkuu vile imeandikwa kwa Zakaria 6:13. Pia tajenga hekalu ya Mungu na atapewa utukufu na atakaa na kuongoza ufalme wake na atakuwa mkuhani kwenye ufalme wake na waongozi wa amani watakuwa katikati yao. (KJV).

 

Sw12. Inawezekana kuwa nguo za mkuhani mkuu inayonyesha kile ambacho tumeambiwa kwenye maandiko?

 

Jw. Kwa Bibilia Abrahamu (mwanzo) na Musa (Kutoka) wamejajwa kama Elohim. Enock na Elija walicjukuliwa na Mungu kwa kazi myingine. Mbili ya hawa wame walibadilizwa kwa cheo kwa kizi ambayo madamu ndiye aliyeongoza (Lusifa) sherani na samba akaonyoza (Ion) aliwachwa wazo kupitia mgomo. Abrahamu ndiye baba wan chi nyingi Musa alipewa shria za kuongoza nchi za dunia.

 

Enoch alikuwa mwema katika kutoa shataka  za zamani kabla ya kusambuliwa na maji iliyofurika. Elija anasimamia imani ya ukahani wa Shem kupitia kwa Takubu (Israeli) ambaye ahaminiwa na imani na ambaye kanisa inaachwa uongozi kama mkuhani wa Milchesedek.

 

Sw13. Je! Inawezekana kuwa mawe yale mawili ya oniksi kwenye mgongo wa mkuhani mkuu / ngongo wa Mesaya inacyojitokeza kutokana na nafasi jipya ya shtaka?

 

Jaw. Mawe ya Oniksi zimewekwa kwa dhahabu na tunaoma kwamba dhahabu kwenye hekalu nu nguo a mkuhani inayosimamia roho mtakatifu.vile iko nazi sote hamakimu wa Israeli kama ya Mungu.

 

Zimeshikamwa na Kristo na Eloah kupitia kwa roho mtakatifu. Majina ya makabila inasimamia mtume kumi na miwili juu ya Israeli juu ya mataifa.

 

Kwa agano jipya, Luka anatuambia kama kondoo aliyepotea tutampata mchungaji alibeba kwa mgongo kwa umoja wao.

 

Luka 15:4-6 Nani kwenu mwenye kodnoo mia akipoteza na mmoja wapo, aziyawaacha wale hisi na kende nyikani, aende akamtafute yule aliyepotea hata mawone? Naye akiisha kumwona humweka mbinguni kwake hawaita rafiki zake na majirani zake akawaambia furaha pamoja nanzi kwa kuwa nimekwisha kumpata kondoo wangu aliyepotea (RSV unless otherwise stated).

 

Tumeambiwa kwa Wagalatia kujumudu shida za wengine.

 

Wagalatia 6:2 Mchukulie mzigo na kuitumiza hivyo sheria ya Kristo.

 

Lakini pengine ni Mungu tunayeupa shida zetu na kumkubalia abebe shida zetu.

 

1 Petro 5:6-7 Basi nyonyekezi chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake. Huku mkitwika yeye fedha zenu zote, kwa maana yeye hujidhughulisha sana kwa mambo yenu.

 

Ni vyema kujua kuwa kipande cha sadaka ya amani iliyopewa mkuhani mkuu kwa kipande chake ulikuwa mgongo wa kulia na matiti.

 

Sw14. Vitu vipi tunavyoweza kujikina ambayo vimeshikanishwa kiunoni chetu au kiuno cha makuhani na makuhani wakuu na vinasimamia nini?

 

Jw. Kutokana na funzo wa nguvu ya Mungu tunajua kuwa tunafaa kuzungukua na ukweli (Waefo 6:14). Tunafaa kuyanywa kwa ukweli wa Mungu ili tusipotezwa / kudanganywa na kuchukuliwa na shetani. Eloah na sheria zake ni ukweli nazi tunajua kuwa wa ukweli (Efeso 4:24. NASV).

 

Vile tumejufunza kwa funzo la wali makuhani na makuhani mkuu alikuwa na sashi iliyofungwa kiunoni mwao.

 

Sw15. Je! Karibu hizi zinaonyesha nguvu na utukufu?

 

Jw. Tazama maandiko Ayub 12:18, 21; 30:11, Isaya 22:21; 45:5, kwa Isaya 11:5 ambayo inasimamia Mesaya siku za usoni inasema ukweli utakuwa karibu na imani itakuwa karibu inayozunguka kiuno.

 

Sw16. Je! Kile kifaa cha kujua, efode na kamba inatenga vipande? Walifaa kuwekwa pamoja kupitia kwa efode?

 

Jw. Katika kitabu cha Kutoka 28:22-28 na 39:15-21 tunaona kuwa walikuwa tofauti lakini wakaunganishwa pamoja ili kile nguo cha kuvaa kisianguke.

 

Kutoka 39:21 Na walinganisha kipande cha nguo ya kiffua kutuma pete kwa efode na karibu ya buluu ambayo ingekuwa juu ya karibu ya kiuno ya efode. Na kufaa cha kifaa hayari kufinyuliwa kutoka kwa efode vile Mungu alimuisha Musa.

 

Sw17. Je! Kile kifaa cha kuja kilichonekana aje?

 

Jw. Kifaa hi cha uhukumu ilitangenezwa kupitia kifaa moja kama efode na kamba ya kiuno. Ilikuwa kama mstatili ambayo ilifungwa katikati ilitengeneza duara mbili ambayo zimeunganishwa na mpaka moja. (Hii ni fikira tuliona kwenye hekalu nyikani). Kulikuwa na pete nne za dhahabu kwa kila pembe ya nguo hiyo.

 

Pete za juu zilikuwa na nyoror ya kuzishikanisha (ninayosimamiaroho mtakatifu)ikipitia kwa pete. Nyororo za dhahabu ya nguo ya hukumu kwenye mgongo, inayoonyesha sheria ya Eloah kwa Musa, kupitia kwa Elijah na Yesu Kristo. Chini ya nguo hiyo na pete zingine mbili. Riboni ya buluu (kama sheria ya Mungu) ilipitia ndani ya hizi pete na kuzifanya au kuzilinda hivi kipande cha uhukumu kwa efode na kamba ya kino.

 

Mbele yake ya nguo hiyo kulikuwa na mawe kumi na mawili. Mawe yalisimamia makabila kumi na miwili na zilipangwa kwa mstari nne ya mawe yanayotakikana, tatu kwa kila laini. Kila mawe yaliwekwa majina ya makabila kumi na mawili (Kutoka 28:15-21; 39:8-21) kwa hivi sasa wenye manenena au kuona rangi na mipangilio yam awe lakini hakuna aliyeamini.

 

Kumbuka kipande cha nguo ilinjwa na kutengeneza kabeti au mfuko. Hapo mfukoni mkuhani mkuu alibeba urim na thummin. Ingawa Kristo ni mkuhaniwetu mkuu sasa hivi. Hajini kila kila kitu (Ufunuo 1:1). Ni Mungu pekee ndiye anajua kila kitu. (Mathayo 24:36). Hapa pia tunaona fikira ya kiroho ikijitokeza kwenye nguo ya mkuhani mkuu. Eloah ndiye mhakimu wa ardhi (Zaburi 82:1; Isaya 3:13). Kristo anataka kutazama Mungu kupewa mwelekeo kama mkuhani mkuu na sisi sote pia.

 

Katika maandiko yake kwa Kutoka 28:30 Bullinger anasema

 

Waebrania Umin Thummnin inamaanisha mwangaza na uzuri. Pengine huu ni wingi wa makuu mwimbaji, mwangaza (being put by methony fof what is brought to light i.e guilt) na uzuri (Put bu metonyng for moral perfection innoncence) kwa hivyo, hici mbili vikiwekwa kwa kikapuna moja ikatolewa nje itatoa fikra ya mhakimu (the name commented with the breastplate CP v15 above) ambayo itakuwa ya Mungu kwa hivyo kifaa cha kijua pekee ilijulikana kama kile cha kutoa uhakimu (v 15) kwa sababu na hiyo, hukumu ya Yehova pale ilivyokikana.

 

Maandiko mengine ya Bullinger kwa umri na hukumin pia ziko kwa kitabu cha Kutoka 28:30.

 

Hakuna amri ya Mungu kufanya hivi. Ambayo imeambiwa kuviweka kwa kifaa cha kifua. Hii kikapu ilipigwa mara dufu na umri na Thammin vilikuwa mawe muhimu mbiliambayo zilizotolewa nje kutoa hukumu Yehova. Hiyo kitu imewekwa kwa kumi ya kukimbia (Hebrew Bossom). Lakini hukumu yote kwa Mungu (Methali 16:33)

 

Zaburi 43:3, eh tuma mwangaza wako na ukweli wacha waliongeze wacha wamletea mlima ulio takatifu kwa hekalu yako.

 

Maandiko ya Bullinger kwa hii Zaburi inasema.

 

Mwangaza ….ukweli. Pengine ni fikira kwa umri na thummisa ambapo mwandishi wa Zaburi (Mfalme daudi). Hakuwa kwa wakati huu, kwa ndege kutoka Absolom.

 

Hivyo pia sisi sote tunalitaja ukweliwa hukumu ya Mungu.

 

Kipande cha nguo cha hukumu iliwakumbusha mkuhani kwa kazi yake ya kusimamia. Ilitiwa ukumbusho (Kutoka 28:29).

 

Vitu vingine vilivyokaribishwa na kipande cha hukumu zimeonekana katika maandiko haya.

 

Waefeso 6:14 pia inasema nguvu ya Mungu kama kipande cha hukumu. Ni kupitia tu kwa hukumuulio kweliili watu waishi nwa kujiendeleza.

 

Isaya 59:17 inasema kwa sababu ameuweka ukweli kwa kipande kile na kile chapeo ya uokovu kufiachi mwake.

 

1 Wathesalonike 5:8 inasoma lakini  sisi tulio wa mchana tuwe na kiasi hali tukijirika kufuani imani na upendo na chepeo yetu iwe tumaini la uokovu.

 

Bullingwe anasema katika kitabu cha Kutoja 28:10 inayosema kwamba moyo ni mahali pia upendo. Hapa tunaona makubali yanayoandikwa tofauti katika kipande cha nguo kwenye moyo wa mkuhani. Mkuu kama maendelezi ya makumbusho ya upendo ambayo Mesaya alionyesha kwa makabila na watu waliokuja kwa Mungu kupitia kwa makabila.

 

Sw18.  Ni vitu gani tatu zilizoachikwa?

 

Jw. Kipande cha hukumu ilifumika moyo wa mkuhani mkuu (the place od love)

 

(Kutoka 28:29) mawe mbili za oniksi zilandikwa sita kati ya makabila kumi na mwawili wa iraeli kila moja na kuwekwa kwenye mgongo (The place of strength) wa efode (Kutoka 28:12).

 

Mkuhani mkuu alivaa dhahabu yenyewe usoni mwake (Mahali pa kufikana na kutoka sababu) na hapo alhadikwa “utakatifu kwa Mungu” (Kut 28:36).

 

Sw19. Nini tena tunapata kwa Bibilia ambayo ihandikwa?

 

Jw. Sheria kumi ambazo ziliandikwa na malaika wa uwepo kumi (2 Wakorintho 3:7).

 

Sw20.  Je! Hizi sheriakumi zinafaa kuandikwa wapi?

 

Jw. Kwa nyoyo zetu. (2 Wakorintho 3:3)

 

Tunafaa kujaribu kukumbuka maana a nguo ya mkuhani mkuu vile sisi pia tutakuwa wakuhani wa Mungu (Ufunuo 1:5-6).

 

Tunafaa luzilinda sheria za Eloah ambazo zimeandikwa kwa nyoyo zetu na kujaribu kutochafua nguo zetu eupe na  safi vile sis tunajaribu kuwa kama Eloah na sheria zake, utakatifu, uwema, uzuri na ukweli

 

Kuwa jaribu kukumbuka

 

Waefeso 4:20ff

20-21 Bali ninyi sivyo mlivyojufunza Kristo. Ikiwa mlisikia Yesu. Mvue kwa habari ya mwenendo wa kwanza utu wa zamani umaoharibika kwa kuzifuata tama zenye kudanganya. Na mfanywe wapya katika roho za ina zenu. Mkavae utu mpya ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli (CEV).

 

Waefeso 4:22ff kuwa kutokana na aina ya maisha yake ya kale uliweka kando maisha ya zamani ambayo unahambiwa kutokana na tama za mchanganyifu, na utengendewe tena kwa roho ya akili na kuweka upya wako ambayo inafanana na Mungu ambayo imeumbwa kwa uwema na utakatifu wa kweli (NASV).

 

Uchunguzi wa Tukio

 

Endelea kutengeneza vitu vinanvyo na nguo ya mkuhani kutoka na karatasi au vitu vinavyofanana na binadamu.

 

Wakubalie watoto kulingana na efode/kamba/kipande cha uhakama. Hii ikisha tengenezwa, langali na watoto wakati watatamia “elezaa nun na thummin”  kuuliza maswali.

 

Wakubalie watoto kutua rangi tano na wadhone vitu kwa waumini.

 

Wape karatasi ya rangi ya mkuhani mkuu na kujaza tamani yaliyo wazi na mshale zimechowa kuelekea penye ngou ya mkuhani mkuu ipo na kulazimisha mafunzo yao ya majina ya nguo na mfano iliyoko kwao.

 

Tengeneza ueleko au mchezo na umakini inayolinganisha vipande vya nguo ya mkuhani mkuu na ile mfano wa koroho uliko sawa.

 

Maache watoto wanandike katika karatasi iliyo nyembamba kujua vile ni vugumu kuandika kwenye vitu vilivyogenezwa na binadamu au kupewa kifaa cha kuandika na kuwacha watoto wakubwa kuona vile hiyo ni ngumu.

 

 

 

q