Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[CB96]

 

 

 

Milio Saba Wa Tarumbeta

 

(Toleo 1.0 20060711-20060711)

 

Milio saba wa tarumbete imeelezwa kwa kifungo wa mili saba, kupitia nusu wa saa wa kimia katika binguni. Katika karatasi hii tuta angalia maandiko ya hizi ukweli wa tarumbete.

 

 

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

 

(Copyright ă 2006  Ruwani Wijesuriya, ed. Wade Co)

(Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


 Milio Saba Wa Tarumbeta

 


Kimya Binguni 

Kutokana na karatasi hii (CB 95) tunajifunza kuwa uelewano wa saba ulifungua kimya binguni. Hatujui kamili kuwa huu ukimya umesababishwa na au utakuwa kwa muda gain kulingana na hesabu yetu wa wakati. Tunaweza kuamua kuwa ukimya huu ungechukua nusu saa wakati wa watume ambao ungechukua miaka ishirini. Tunaweza sana kuwa labda ingesababishwa na upepo ulivyoshukwa na malaika wane.

 

Ufunuo 17:1

Baadaye uliwazona wane wakisimama katika pembe nne za dunia. Wakishika upepo hiyo nne ya dunia ili uziwe na upepeo utakaruma kwenye dunia, ziwa au kwa miti. (American Starndard Version)

 

N baada ya kimya huu ambapo macho sasa ilipewa kwa kila wale malaka saba.

 

Ufunuo 8:1-2

Wakati mwanakondoo alipofungua makubaiano ya saba kulikuwa na kimya binguni kwa nusu saa. Nikawaona malaika wakisimama mbele ya Mungu na mlio saba ulipewa kwa kila malaika. (RSV)

 

Tukiangalia nyuma kwa makubaliano, mwanakondoo au mezenya aliyefungua haya makubaliano saba. Ingawa na zile mlio kila moja alipigwa na malaika tofauti Kristo kwa wakati huu alijihushisha katika makubaliano na kujitayarisha kwa tukio lililofuata. (kujumika watu 144000 na watu wengi) na kujitayarisha kwa kuja kwake.

 

Wakati malaika walikuwa wakitengeneza mlio, mwenyewe alizabadilisha tetemeko la ardhi na mwangaza inayojishelesha mara moja. Malaika huyu alikuwa na talaka ya juu na kuwaongoza watu kwenye altan, kama askofu wa sinagogi (angalia kiljikaratasi 19 see paper The Tabernacle in the Wilderness (No. CB42)). Malaika huyu angeaminiwa kumziamini mkuu wa sinagogi.

 

Tukiangalia kulian kilio tuhifashi akilini kuwa mlio hshughulikia vitatu. Inamanisha kuwa thuluthi tatu ya vitu vilitamka na kuhamriwa na thuluthi mbili wakasamehewa. Sababu Mungu anatufunza vitu mbili vinafaa kuonekana kiroho (Wahibrania 8:5) kuhusu mlio tatu ni kumbukumbu kuleta kuwa malaika mmoja alitengana na Mungu.

 

Kilio Cha Kwanza La Tarumbeta

 

Ufunuo 8:7

Malaika wa mwanza alitoa sauti ambapo kelele na moto ikaguatia, nikachanganyika na damu ndipo wakarushwa kule juu ardhi. Thuluthi tatu ya miti iliunguliwa kule juu na nyasi zilizokuwa kijani kibichi zote zilichomeka binguni. (NKJV)

 

Hili linakaa kama shida zilizokuwa Misri (Kutoka 9:22-26). Misri kama aina ya duia ilishihudia uharibifu wa miti na nyasi. Hili linaonyesha kulichokuwa kikija kutokana na kilio cha kwanza. Mtume pia aliliashiria hii kwa (Ezekieli 38:22).

 

Moto na jime kamamvua ingekuja kwa njia nyingi tofauti. Ingekuwa kama viumbe vya bingu au mvua kali au vitu thuluthi tatu viangamivyayo mimea. Hii inaoshiria kungekuwa na njaa na watu watakuwa wagonjwa na kufauki kwa njaa.

 

Katika uwezekano mwingine kumonyesha kwa mvua nyingi ingeonyesha kuanguka kwa utawala wa malaika ambaye angelaaniwa kuja dunia na kwa yule uharibifu unatendeka. Watu huabudu vitu vingi siku hizi ambazo huwa miungu kwao. Malaika aliyeletwa ndani angewazimamia kilchohambika. Hii ni kama ya Musa kule Misri. Alihambiwa miungu ya Wanamisri moja kwa moja. Muses and the Exodus (No. CB16) and Moses and the Gods of Egypt (No. 105).

 

Kilio Cha Pili La Tarumbeta

 

Ufunuo 8:8-9

Malaika wa pili akatoa mlio na kitu kama ,lima kubwa inayoungwa iliyorishwa kwenye ziwa na thuluthi tatu ya ziwa ikawa damu. Na thuluthi tatu vya viumbe hai walikuja na thuluthi tatu za meli ziliharibiwa. (NKJV)

 

Milima inaweza kuzimamia shida kama kuporomoka kwa ardhi kwenye maji na kusababisha kibunga kama Isunami. Hili hauwezi kutambua viumbe vya maji na meli lakini katika eneo la pwani, tuliona aliyekuja wa kwanza ambapo mporomoko ulitoka ziwa la India Desemba 2005.

 

Kwa upande mwingine, mlima hapa ni kusimaia kitu. Ingesimamia malaika, kama Jeremaya 51:25, inayosababishwa uharibifu, ziwa husimama watu kama taifa, viumbe husimama binadamu ne meli husimamia dini la uongo. Ni miungu ya dunia inayoharibiwa vile Musa alifanya Misri.

 

Inaonekana kuwa mtume Amos alipewa kipawa cha kutabiri haya.

 

Amos 7:4

Mungu amenionyesha ya kwamba, Mungu alimtuma na kunionyesha moto na kuingilia kwenye ziwa na kuweka pande.

 

Kilio Cha Tatu La Tarymbeta

 

Ufunuo 8:10-11

Malaika watatu akalitoa sauti, nyota kuu ukaanguka kutoka binguni ikitoa mwanagaza kama tochi, na kuangukia thuluthi tatu ya moto na maji kidimbwi. Jina la nyota hiyo ni dudu la mti, thuluthi tatu ya maji ikwawa dundu la mti na wanaume wengi wakafa kutokana na wanaume wengi wakafa kutokana na maji sababu uliwekwa kali.

 

Wakati maji ya mt na ziwa yamechafuliwa, huu unamaanisha kuwa maji safu ya matumizi umeharibiwa uugawaji wa maji yalichafuliwa husababisha ugonjwa na kifo ambacho ndicho kitakachotenedka. Kwa sasa kuna watu wengi wanahiharib maji kutokana na maisha mabaya. Itakuwa vibaya na kwa haraka sana kwa sauti ya tatu.

 

Jeremaya 9:15

Mungu wa miungu akanena, Mngu wa Israeli, shikilia kuwa mtawalisha na dudu la mbao na kuwapa maji ili wanywe. Kutokana na watume na watume wa Yerusalemu walienda ndani ya dunia kuhubiri.

 

Jeremaya 23:15

Mungu wa miungu akanena, Mngu wa Israeli, shikilia kuwa mtawalisha na dudu la mbao na kuwapa maji ili wanywe. Kutokana na watume na watume wa Yerusalemu walienda ndani ya dunia kuhubiri.

 

Mara nyingi tunaweza kusema kuwa hii nyota ni ya kimalaika. Malaika huwa wanaitwa nyota kwenye bibilia inayoonyesha kuwa nyota huweza kuharibu dini ya Mungu na kumwabudu Mungu mmoja wa ukuelenyachinwa na maji safi. Tunafahamu kuwa maji hutumiwa kusimamia roho mtakafitu kwa agano.

 

Kilio Cha Nne

 

Ufunuo 8:12

Malaika wa nne akalitoa kilio chakena thyluthi tatunya mwangaza kuwa giza, na thuluthi tatu ya jua, mwezi na nyota zilihautiwa ili siku ilikuwa na mwangaza kuwa giza, na thuluthi tatu ya usiku ilikuwa na mwangaza.

 

Kutokaa na kilio hii chanza cha mwangaza tatu zilipunguzwa hadi thuluthi tatu. Inayewekuwa Mungu anaweza kukatalia mwangaza kutokana na sabab zingine kama mlipokuwa bomu, mlipuko wa ardhi au zote.

 

Isaya 13:10

Kwa nyota za binguni na viumbe vingine hamtatoa mwangaza haitaweka mwangaza kumetameta. Kando maandiko

 

Mengi yanayoongea kuhsu wakati huu. Ezekiel 32:7-8, Joel 2:10, Amos 8:9, Mariko 13:24, kama moja wao.

 

Sasa siku ntakuwa fupi na nziku uwe ndefu; wakati usawa kati ya usiku na mchana ulipohautiwa shida nyingi huweza kutokea.

 

Kutokana na kinyume ya mfano kuhusu kuongezeka kwa jia itasababisha joto mingi duniani na kiasi cha maji kwenye ziwa kuongezeka sababu vitu hivi viwili huzumliwa na jua na kipindi cha mwezi.

 

Nini katika roho humaanishwa na haya? Pia haashina kuanguka kwa utawala wa tatu wa shida zinazojikoteza kwa Kristo, kanisa na viumbe vyote ambavyo vimewahi kuisha.

 

Kutokana na macho mine tunakumbwa na matatizo mengi. Ardhi na mbingu zilitingizika na nyota kuonguka kutoka binguni.

 

Mathayo 24:29

Kwa muda mfupi kutokana na uhukumu, kuwa jina hahtapewa mwangaza na mwezi kutoipa mwangaza nyota kuanguka kutoka binguni na nguvu za binguni zitahatiwa (NKJV)

 

Amos 3:7 tuki fikiria kuwa Mungu itakuwa mbay zaidi, Mungu hutenda vitu baada ya kuwaonya watu.

 

Ufunuo 8:13

Na mhishikila na kuzikia makika akinika kutoka miongoni mwetu binguni, akisema kwa sauti ya juu, akisema hatari kwa wahoishi kutokana na sababu ya sauti zingine za kilio cha malaika watatu ambavyo viko katibu kuzikika.

 

Sasa hapa, Mungu aliwatuma malaika kuwaonya kuwa wakati mlio mitatu itakapisikika shida na matatizo chungu mzima yatafuatilia. Hii ndio sababu zinaitwa hatari. Hii inawatenganisha kutokana na wale wane wa kwanza inayoangaziwa kuwa kutakachaguata ni mbaya zaidi ambayo haiyashuhudiwa duniani.

 

Aasa tuangazia wale watatu wanaitwa shida au hatari.

 

Kilio Cha Tano (1st Woe)

 

Ufunuo 9:1-9

Malaika wa tano alipuliza tarumbeta yake nyota ikaanguka kutoka binguni hadi ardhini na kupewa ufunguo wa kidimbwi kizichokuwa na mwisho. Akalifungua na kukatokea moshi kama ile ya mioto kubwa na jua halafu hewa ikachafuliwa na moshi kutoka kwa hicho kidimbwi. Kutokabna na moshi nzinge sikaja nyingi na kupewa nguvu kama ya skopioni ya ardhi. Zihambiwa zicharibu chochote kilicho kijani lakini zile za kibidadamu ambao washizingatia kwa miezi mitano lakini mwanano, walikubaliwa kuwanyanyasa ulikuwa kama skopioni ambapo inamuma mtu. Na kwa wangetaka kufariki na ardhi litaenda mbali nao, kutokana na sura, nzige zihonekana kama farasi zilizokuwa tayari kwa vita kichwani kulikuwa na vazi ya dhahabu, macho kama ya binadamu, nywele kama za mwanamke, meno kama ya samba na kelele kama farasi wanaoingia vitani. Zina mkia kama skopioni uumaji na nguvu za kuumiza watu miezi mitano ipo kwenye mkia yao.

 

Hatari ya kwanza ni wakati kidimbwi kusichokuwa na mwisho kilipofunguliwa na nzige kutoka. Hii huzungumizia vita na vitu chemikali unaosababisha uharibifu nyingi. Hii itapangwa na kutendwa na shetani na ibilizi wake. Hii itapangwa na kutendwa na shetani na ibilizi wake. Itakuwa wakati mbaya watu watajiribu kufaniki hakini hawatakutaliwa sababu shetani anataka kuwazumbua na kuwateza. (Jer 8:3; Hos 10:8; Luka 23:30)

 

Ufunuo 9:12

Hatari ya kwanza imepita na wengine wawili bado wanakuja.

 

Kilio Cha Sita

 

UFUNUO 9:13-19

Malaika wa sita alipuliza tatumbeta na mkazikia sauti kutoka kwa pembe nne zote za nyota mbele ya Mungu akiona na malaika wa sita aliyekuwa na tarumbeta. Waachilie humu malaika wane wahodhikwa kwenye mto wa Yufreti. Malaika wane wahachiliwa huru waliokuwa tayari kwa saa, siku, mwezi na mwaka kuwauwa thuluthi tatu ya wanadamu. Kiwango cha wanajeshi ilikuwa naradufu mara elfu kumi mara elfu kumi mtakazikia idadi yao. Hii ndivyo mlivyouona farasi kwa ndoto yangu, waliowandesha walivaa nguo zenye rangi ya moto wa dini ya Salfa. Na wakuu walikuwa kama simba, moto na moshi na salfa iliyotolewa kwenye mdomo, kutokana na shida hizi thuluthi tatu ya wanaoishi mdomo. Kwa nguvu ya farasi ilio kwa mdomo na mikia, mkia yao ni kama joka, kichwa na kutokana na hayo walikeruhiwa kitokakana nah ii tarumbeta, malaika ya kuhambu waliachiliwa. Walishikwa sababu shida ni mpaka sasa sababu ni sjetani. Walipewa nguvu ya kuharibu thuluthi tatu ya binadamu.

 

Kawa tarumbetaya sita ambayo inazimamia vita ya uharibifu lakini hii ni kwa nguvu na uharibifu. Kutajiwa kwa msafara inatupa fikra kwa inaongea juu ya vita. Hii ni kutokana na Yohana na maelezo ya vita ya kisasa. Katika siku zake hizo hazikutumika (tangi, bunduki, bomu na salaha zingine na na anazilewa kutumia vita vya enzi zake zinazojulikana kwake.

 

Tunafahamu kuwa shetani ndiye jemedari sabawbu ya mfano aitumiayo Yohana. Nyoka inasimamia setani katika Bibilia. (Ufu. 12:9; 20:2)

 

Kutokana na haya kuna uharibifu na thluthi tatu ya watu duniani. Hii inamaanisha kuwa mmoja kati ya watashi huukuwa. Watu wengi sana. Tunatafakati kwamba waliobaki waliojaina haya watatubu kosa lao na kumgeukia Mungu lakini kawakuweza. Hawataki kuacha tama ya shetani na tabia za binadamu.

 

Ufunuo 9:20-21

Binadamu waliobaki ambao hawakuuwawa na shida hizi hawakutubu na kazi ya mkono yao au kuacha kuabudu shetani na ibilizi ya dhahabu ambao hawawezi kuzikia au kuongea na kutembea hawakutubu mauti waliyoyatenda na usherati waliyatenda na uwizi wao.

 

Kwa wakati huo wale washahidi watatu wa Mungu bado wanaambiwa watubu makosa yao. Wanawaaya watu walibaki kutakachotokea. Mata nyingine, Mungu ni mwenye huruma na kuwakutaka kutubu mara ya mwisho. Badala ya kuona kosa lao na kutubu mara ya mwisho. Wahshidi wa Mungu walowaonya dhidi ya tabia yao. See the paper The Witnesses (No. 135).

 

Kitu muhimu kilichoteneka kwa wakati huu huiotwa mlio saba. Hizi hazieleweki na Yohana aliambiwa azitoe siri yoyote hadi (Uf 10:3-4). Maana ya hizi zitagunduliwa wakati wa kilio cha saba, wakati Kristo atakaporudi duniani na vitu visiyoeleweka kuonekana. (Uf 10:7)

 

Kilio Cha Saba (3rd Woe)

 

Mungu anautoa onyo kuwa kilio cha saba inaonyesha mwisho na vitu ambavyo viko karibu kutendeka washidi wawili watapewa uhai baada ya kuwa kaburini kwa sikui tatu na nusu na kuenda binguni kwa mawingi. Wakati huu, kutakuwa na tetemeko la ardhi itakayowauwa watu elfu saba (Uf 11:11-14).

 

Baada ya hizi vitu kufanyika tunajua milio ya saba ya tarumbete iko karibu kulia.

 

Ufunuo 11:15

Malaika wa saba akaupuliza tarumbetayake na kulikuwa na kelele binguni ikisema kuwa utawala wa dunia umegeuka kuwa ya Mungu na Kristo na utawala milele na milele.

 

Kutokana na kilio hiki, Kristo atarudi duniani na kuwagawaga watu kutokana na matendo yao.

 

Watu hatawamkubali wakati wa kwanza na kutengeneza wanavita kumpiga na shetani na wafuasi wake. (uf 16:14) Mungu kumpiga na shetani na wafuasi wake. Kutokana na hayo vitu vingine vitatokea inayoitwa shida saba kutokana na matezo ya Mungu.

 

Kufikiria akilini kilichotendeka misri wakati Farao na Wanamisri walimataa Musa. Hii ilimrudhi Mungu na akawatesa. Hii huonyesha kinachotendeka wakati Kristo. tuma soma katika kutoka 7-11 kuwa  kristoTunamekataliwa duniani.

 

Bakuli saba ya matezo ya Mungu

 

Ufunuo 16:1

Nikasikia sauti ya juu ya kutoka kwa sinagogi ikiwaambia malaika saba, “nenda ukamwage kwenye dunia bakuli saba ya mateso ya Mungu:

1)      Kufura kwa mwili

2)      Ziwa kugeuka damu

3)      Maji safi kugeuka damu

4)      Wanaume kuuguliwa na jua

5)      Giza na maumivu

6)      Roho ya chura na vita

7)      Tetemeko kuu la ardhi

 

Baada ya kumwaguliwa kwa mateso ya Mungu vita kuu kati ya Kristo na shetani kuwa na mwisho. Kristo alishunda vita na shetani akashindwa kwa miaka elfu moja.

 

Ufunuo 20:1-2

Tena mkamwona malaika akitoka binguni akiubena kufunguo cha shimo kisichokuwa na mwisho na mlolongo kubwa. Aliofumbania joka ambaye ni shetani na kumbukumu miaka elfu moja.

 

Huu ndicho mwanzo wa miaka ya elfu mbili ambapo Kristo ataongoza na sheria za Mungu.

 

Isaya 11:6

Siku hiyo mbwa mwitu na mwanakondoo wataishi pamoja nyani na mbuzi watakuwa na amani. Ndama watakuwa na amani katikati mwa samba, na motto mdogo atawaongoza wote. (New Living Translation)

 

Dunia ya sasa haifai kushuhudia matendp haya kama watu wangetumu na kumwabudu Mungu. Ni kwa wamaminifu kwa Mungu ndio Mungu anatuokoa.

 

For further study see the paper The Seven Trumpets (No. 141).

 

Mlio Wa Saba

 

Wakati wenyewe haikujulikana (haijulikani kama washahidi watakuja wako hapa miaka mitatu na nusu kabla ya kurudi kwa mezaya).

 

(144,000 zimehiyadhiwa na umati wa watu watasafisha mwili wao kwa damu ya Yesu kabla ya kurudi kwake).

 

Kimya kwa nusu saa

1)      Miti na nyasi kuteketea

2)      Shida kwenye ziwa

3)      Shida kwenye maji

4)      Shida binguni

5)      Shimo husiokuwa na mwisho

6)      Thuluthi tatu ya watu kuuwawa

7)      Kutetemeka kwa bingu na washahidi kuuwawa

 

Jambo la tatu 7. Kristo arudi na bakuli saba

1)      Kufurika kwa mwili

2)      Ziwa kugeuka damu

3)      Majio kugeuka damu

4)      Jua inayochoma

5)      Giza na maumivu

6)      Wafalme wa mashariki

7)      Tetememo kuu la ardhi

 

 

q