Makanisa La Wakristo Wa Mungu

 

 

[CB99]

 

 

 

 

Siku ya Upatanisho

 

(Edition 1.0 20060917-20060917)

 

Kiini ya siku ya utakazwa ili kuwa kuiwekwa takatifu makanisa na upatano na kusamehana  kwa kila moyo katika kila Miaka wa Mungu ya kuwa hidi.Alafu iko na laini na urafiki na kuchagua makanisa wa Mungu kuwa na roho wa Mungu .

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

Email: secretary@ccg.org

 

(Copyright ă  2006 Ruwani Wijesuriya, ed. Wade Cox)

(Tr. 2008)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 


 

Siku ya Upatanisho


 

Upatanisho

Siku ya utakazo ni la juu sana kuwa siku ya Sabato katika miaka. Ina linganishwa na “Sabato’’ kuwa “sabatowangu’’ ambaye ina maana ya Sabato na sabatawangu. Ni la kitakatifu likiunganishwa hayo maneno mawili.

 

Mambo ya Walawi 23:26-32 Kisha Bwana akanena na Musa, na kumwambia, 17 Lakini siku ya kumi ya mwezi huo wa saba ni siku ya upatanisho; itakuwa kusanyiko takatifu kwenu, nanyi mtaziteza nafsi zenu; nanyi mtasongesa sadaka zenu kwa Bwana kwa nji ya moto. 28 Nanyi msifanye kazi yeyote siku hiyo; kwa kuwa ni siku ya Upatanisho, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu mbele za Bwana Mungu wenu. 29 Kwa kuwa mtu awaye yote asiyejitesa mwenyewe siku iyo hiyo, atakatiliwa mbali na watu wake. 30 Na mtu ye yote afanyaye kazi ya namna yoyote siku hiyo, mtu huyo nitamwangamiza atoke katika watu wake. 31 Msifanye kazi ya namna yeyote; ni amri ya milele katika vizazi vyenu, katika makao yenu yote. 32 Itakuwa kwenu sabato ya kustarehe kabisa, nanyi mtazitesa nafsi zenu; siku ya kenda ya mwezi wakati wa jioni, tangu jioni hata jioni, mtaishika hiyo sabato yenu (RSV).

 

Kwa nini upatanisho ina simamia na umuhimu wake kwa siku zingine ya sabato ya miaka? Ni kwa sababu upatanisho ni dhabihu yenye ime beba zote za kimuili na zile za kiroho za Bwana Mungu.Hili upatanisho la dhabihu bi Kristo pasipo na yeyote hata wezi kuka na mUngu. Hiyo ndiyo sababu yeyote ambayo awezi kua na upendo na upatanisho wali kuwa wana tolewa nje katika mwili wa Kristo, ama kwa Kanisani (v.29). Kama mtu akataliwa nje kwa mwili wa Kristo, ina maanisha hata kuwa kati kati ya wale ambayo wata fufuliwa katika kizazi la kwanza ambaye ni la muhimu kwa ufufuo.

 

Ufunuo 20:6 Huo ndio Ufufuo wa kwanza; juu ya hao mauti ya pili haina nguvu; bali watakuwa makuhani wa Mungu na wa Kristo, nao watawatawala pamoja naye hiyo miaka elfu. (KJV)

 

Madhabahu ya kufukizia

 

Kutoka 30:1-6 "Nawe fanya madhabahu ya kufukizia uvumba; utaifanyikakwa mti wa shita. 2 urefu wake utakuwa dhiraa moja, na upana wake dhiraa moja; itakuwa mraba; na kwenda juu kwake

 

dhiraa mbili pembe zake, zitakuwa za kitu kimoja  nayo. 3 Nawe utaifunzika dhabahu safi juu yake, na mbavu zake kando kando, na pembe zake, nawe utaifanyia ukingo wa dhabahu kuizunguka. 4 Kisha utaifanyia ukinge wake. Katika mbavu zake mbili, katika pande zake mbili utazifanyanazo zita kuwa mahali pa kuita miti ya kuichukulia. 5 na ile miti utaifanya kuwa mti wa mshita, na kuifannikiza dhabahu safi. 6 Nawe utaitia mbele ya lile pazia lililo karibu na sanduku la ushuhuda mbele ya kiti cha rehema kilicho juu ya ushuhuda, hapo nitakapo kutana nawe (RSV).

 

Nawe tungika lile pazira chini ya vile vifungo, nawe leta lile sanduku la ushuhuda na kulitia

 

Kati ya patakatiku, na mahali patakatifu sana (Angalia Kutoka 26:33) ina simamia kati kati ya umati wa Israeli, katika hinyakati ya upatanisho utatengenezwa maraa moja kuwa mwaka kuwa lile muda ambaye Kristo alikufa lile pazia lili rarika vipande viwili (angalia Mariko 15:38; Wahibrania 6:19-20; 10:19-22). Hadi hizi nyakati tuna kutana na mUngu katia pale pa takatifu, inamaanisha ya kuwa tunawaza kuomba ama kusali moja kwa moja kuenda Mungu katika lina lake wa Mungu, Yesu Kristo.

 

Dhabihu ya Upatanisho

Mungu aliwapatia wana wa Israeli sheria za kueleweka kuwa ule ambaye atafanya dhabihu kuwa huru na siku ya Upatanisho.

 

Kutoka 30:7-10 Na Haruni atafukiza uvumba wa manukato juu yake; kila siku asubuhi atakapozitengeza zile taa, ataufukiza. 8 Na Haruni ata kapoziwasha zile taa wakati wa jioni, ataufukiza, uwe uvumba wa daima mbele za Bwana katika vizazi vyenu vyote. 9 Humtafukiza juu yake uvumba mgeni, wale sadaka ya kuteketezwa, wala sadaka ya unga, wala hamtamimina juu yake sadaka ya kinyweo. 10 Naye Haruni atafanya Upatanisho juu ya pembe mara moja kila mwaka kwa damu ya ile sadaka ya dhambi ya kufanya upatanisho, mara moja kila mwaka ataifanyia upatanisho, katika vizazi vyenu vyote; ni takatifu sana kwa Bwana (RSV).

 

Mkuhani mkuu ambaye ni Haruni ndiye aliye kubaliwa kufanya matolewo ya dhabihu ya upatanisho ili ilikua ilani kutoka kwa Kristo ambaye atakuja na atakuja na upatanisho wa dhabihu ya kutupatiana maisha yake kwa sisi upatanisho kua sisi na kutolewa katika dhambi, katika hizo nyakati la sadaka (v.9). Hii ni kwa sababu hatuna la kufanya wala kutenda kwaida kutenda titu cha kutoleza na kufanya dhabihu ya upatanisho kwa dhabihu zetu. Kuwa kutoka kutenda ama kufanya au kutowa dhahibu Mungu ana tufindisha sisi ya kwa mafundisho ya shabihu wa mkuhani mkuu ni la maana sana hiuzi nyakati na kukubaliwa mbele za zake mwenyzi Mungu.

 

Uvumba na maana ina maanisha maombi ya wana wa Israeli (Angalia Zaburi 141:2, Luka 1:10; Ufunuo 5:8; 8:3-4).

 

Madhabahu halikubaliwa kuwa wale ambao sio watakatifu kufoa ama kufanya dhabihu katika hizo nyakati. Hii ndiyo sababu hata tarusiwi kufanya ama kutowa kwa Mungu tena ni kinyume kwa Mungu na Kristo tutupa matoleo yetu kwa mchanganyiko. Ndito sababu matoleo zetu ni za dhambi vile sisi ni watenda dhambi kuanzia zamani.

 

Warumi 3:23 Kwa sababu sisi wote ni watenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu (KJV).

 

Kwa sababu hatutowa matoleo hayo nyakati, tuna ukubalia Kristo kamilifu na Dhambi la matoleo la kufuweka sisi kuongeza kuwa sisi kuwa mbali na Mungu na Baba yetu. Kristo na matoleo yake yali kuwa yenye maana kwa sababu hali kuwa bila lawama lolote la dhambi. Tena lime fanyika la maana sana na kuwekua juu sana na upendo.

 

Yohana 15:13 Hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu, wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake (NLT).

 

Kitu la muhimu ambayoina simamia hizi nyakati ni kua tuelewe na kila mara kuweka mafikira zetu kwa ukona damu wa Kristo ambaye ana tutengeneza kuwa Mungu na kutupatia kibali kuwa wake (Waibrania 9:22-28). Bila hilo tuna kufa na kuharibiwa kwa maana ishara wa dhambi ni mauti (Warumi 6:23). Uzuri wa Kristo na matoleo si heti ya tuongezia binadamu lakini pia kuwa roho pia na wale ambao ni wa Mungu. Mungu ali kubaliwa kwa sababu alikua na mwili wa kiroho na mwili wa binadamu. Aliye kuwa na mwili war oho vile wandugu zake wali kua nayo. Tena kuzaliwa kupitia binadamu vile wengine wali zaliwa kupitia kimwili kama mandugu zake. Hii ilimfanya kwa na roho ya binadamu na kutoa maisha yake kuwa sisi.

 

Mbuzi Wawili

Siku ya Upatanisho tena inamaanisha kufunga kuzitowa kutoka shetani kabla ya millennium. Hii ina simamia mifano ya mbuzi mbili ambazo yalikuwa sehemu ya mapatanisha ya dhabihu (Mambo ya Walawi 16:1-34). Haya mbuzi mbili yana yalitolewa kuwa hukumu kua mbili kuwa kuendelea na  kutoendelea na kuaanguka kuwa wengine. Angalia nakala Azazel  and Atonement (No. 214).

 

Usuru ya Hekalu

Kutoka 30:11-16 Bwana akanena na Musa, na kumwambia, 12 Utakapowa hesabu wana wa Israeli; kama itakavyotokea hesabu yao, ndipo watakapompa Bwana kila mtu ukombozi kwa ajili ya roho yake, hapo utakapowa hesabu; ili kwamba yasiwe maradhi kati yao, hapo utakapo wa hesabu. 13 Macho watakachotoa ni hiki kila mtu upitaye kwa wale waliohesabiwa atatoa nusu shekel kwa kuiandama shekel ya mahali patakatifu; shekeli nig era ishirini; nusu shekel kwa sadaka ya Bwana. 14 Kila mtu apitiye kwa wale walio hesabiwa tangu huyo ambaye umri wake ni miaka ishirini au zaidi, atatoa hiyo sadaka ya Bwana. 15 matajiri hawataleta zaidi wala maskini hawataleta kilichopungua, katika hiyo nusu shekel watakapotoa hiyo sadaka ya Bwana ili kufanya upatanisho kwa ajili ya roho zenu. 16 Nawe utapokea hizo fedha za upatanishi mikononi mwa hao wana wa Israeli na kuziweka kwa ajili ya utumishi wahema ya kukutania; ili kwamba ziwe ukumbusho kwa ajili ya wana wa Israeli mbele ya Bwana. Ili kufanya upatanisho kwa ajili ya roho zenu (RSV).

 

Nyakati za upatanisho wa Israeli waliombwa kutoa usuru au hesabu ya usuru ya shekel; au usuru ama hesabu ya watu wa wana wa Israeli. Ili hili kuwa matoleo, lakini ilikuwa ni usuru. Lakini matoleo yalikuwa yana tolewa kulingana na Baraka ambazo uliyapokea. Haya hesabu ya matoleo ya kuwa katika kipimo. Kila mtu alikuwa anatoa nusu ya fedha ya shekeli ya maskini na matajiri wali kuwa wanatoa sawa sawa. Kiwango la matoleo ambayo yaliwekua kuwa kila mtu yali kuwa sawa mbele ya Mungu na yali kuwa yana simamia bei moja mbele ya (Damu ya Kristo) na kulipia  kila moja wokovu. Wokovu watu haliwezi kununuliwa na fedha. Mungu ana tupatia amri kwa sababu ataki kukoshua kama dhabihu la kweli ambayo ni matoleo ya dhabihu za upatanisho, ambaye ni Kristo.

 

Hii hesabu ya usuru elichukuliwa hadi kifo cha Krsito. Baada ya kufa kwa Kristo hatujakuwa na matoleoa kwamue. Kristo alilipa usuru ya hekalu kuwa wote kuwa kimuili na kiroho.

 

1Petro 1:18-19 Nanyi mfahamu kwamba mlikombolewa si kwa vitu viharibikayo, kwa fedha au dhahabu, mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu; 19 bali kwa Damu ya dhamani, kama ya mwana – kondoo asiye na ila, asiye na waa, yaani ya Kristo. (KJV)

 

Kufungaa

Siku ya Upatanisho ni kama mbili kati ya mwaka ya kufunga wa Kanisa kufunga ni 7th siku ya kwanza ya mwezi ni ya kutakazwa  kwa nchi angalia Sanctification of the simple and Erroneous (No. 291). Kufunga wa 10th kila mwezi wa (Tishri). Ambaye ni upatanisho ni amri ya kufunga vile lime shemekana hapo hawali ya kuwa kama hatuwezi kufunga na kuliweka siku hiyo takatifu tutatolewa kutoka katika jamii ya mungu.

 

Hesabu 29:7 Tena siku ya kumi ya huo mwezi wa saba mtakuwa na kusanyiko takatifu; nanyi mtazitesa nafsi zenu, msifanye kazi ye yote ya utumishi (RSV).

 

Mungu ana tuamrisha kua kufunga, ili tufurahia sisi wenyewe. Na tukilifanya hayo tuna jipata katika kimueli na kufunga katika kiroho tena kukesa na kuji nyima mkate na maji ambazo mwili zetu zina zitaka. Maana ya kufunga upatanisho ni yakua yana fanya mamlaka unyonge ambayo shetani ame weka kuwa kila mtu.

 

Tuki funga tuna jifanya kua sisi si kitu lakini ni kupitia kuwa Mungu na utukufu wake ambaye inatufunga wazima. Kati hii kipindi hatu jiwezi, katika kimwili sababu tuna itaji chakula ya kumwili. Roho zetu pia hazi wazi kufanya bila chakula ya kiroho, ambaye ni roho mtakatifu. Ni kujinyenyekea na kukumbusa na kuwa na hekima ya kufunga .Ina tufanya tusonge karibu na Mungu wetu ambaye ni mkuu.

 

Isaya 58:1-5 Ina ongea kuhusu yale ambayo yana fanyika wakati tuna funga kwa njia ya kujijua. Tuna takikana tujielewe na tuhesimiane kua siku hii. Yayake ya 6-14 yana endelea kufafanua vile nguvu za Mungu hana tuaidi kama tume muogopa na kufanya matendo zake na njia zake tukinye kaye mbele zake na kufanya matendo yake na upendo na Tumaini.

 

Jubilee

Maana lingine ya upatanisho tena ni kufunga kwa mwaka Jubilee.Ni vizuri kuwa upatanisho ina tumika kwa sababu ni jubili ndiyo mfano ambayo Mungu alitumia kulinganisha binadamu katika dunia hii kwa roho upatanisho, kuwa dhabihu ya Kristo, yana jumulisha viumbe vyote.

 

Mambo ya walawi 25:8-12 Nawe utajihesabu sabato saba za miaka, maana miaka saba za miaka saba mara saba; zitakuwa ni siku za sabato saba  za miaka kwenu, maana miaka arobaini na kenda 9 ndipo utakapoipeleka pande zote hiyo baragumu yenye sauti kuu, siku ya kumi ya mwezi wa saba; katika siku hiyo ya upatanisho mtaipeleka baragumu katika nchi yenu yote. 10 Na mwaka wa kamsini mtautakasa, na kupiga mbiu ya kuachwa mahuru katika nchi yote kwa watu wote waiketio; itakuwa ni jubilee kwewbu; nanyi kila mtu kwa jamaa yake. 11 mwaka huo wa hamsini utakuwa ni jubilee kwenu; msipande pengu, wala msivune kitu hicho kimeacho chenyewe wala msizitunde zabibu za mizabibu isiyo pelewa 12 Kwa kuwa ni jubilee; utakuwa mwaka mtakatifu kwenu; mtakula maongea yake yatakayo shambani  (KJV).

 

Jubilee ina maanisha 50 (omer) na 50 ni moja juu ya tano ya ephah Kutoka 16:36 .Hii ni mifano lingine tena kutoka kuwa jubilee na upatanisho. Tuangalie upatanisho ya dhabihu wa.

 

Hesabu 29:7-11 Tena siku ya kumi ya huo mwezi wa saba mtakuwa na kusanyiko takatifu; nanyi mtazitesa nafsi zenu, msifanye kazi ye yote ya utamishi; 8 lakini mtamsongezea Bwana sadaka ya kuteketezwa kuwa herufu ya kupendeza; ng’ombe mume mdogo mmoja na kondoo mume mmoja ina  wuna–kondoo waume wa mwaka wa kwanza saba; atakuwa wakamilifu kwenu; 9 pamoja na sadaka zake za unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, ehemu ya kumi tatu kwa huyo ng’ombe na sehemu ya kumi moja kwa kila mwana kondoo katika wale wana kondoo saba; 11 na mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi; zaidi ya hiyo sadaka ya dhambi ya upatanisho, na hiyo sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote, na sadaka yake ya unga, na sadaka zake za vinywaji (RSV).

 

Kuwa jumlaa wali kuwa wanyama kumi asilimia kumi yana simamia kwanza upiya. Angalia kijikala tasi Symbolism of Numbers (No. 7). Hiipiya yana weza kulinyanishwa na upatanisho ni 10th wa mwezi. Kila mnyama kati ya kumi ambazo yali kuwa ni sehemu ya matoleo sehemu pia yali pimua alama juu ya kumi) ya elfu. Tuna jua ya kuwa ephah ni 50×10 Kutoka 16:36. Na tena nambari 50 ina simamia matoleo la maana la enye utukufu kawaida na nambari 5). Sasa Ephah ni 50×10 ina simamia kuanzilishi upiya kutoka kwa Mungu. Hii ni ukweli kuwa upatanisho la dhabihu kuwa kwa ndiye ni ukweli na kulifanya. Ina tupitia uzima upia kupitia utukufu wa Mungu. Ndipo tuna weza kuona ya kuwa ni sababu gani Mungu aliutumi upatanisho la matoleo. Shehemu zingine za Ephah tuna ona ya kuwa Mungu ana fanya kitu kuamano na maana sawa. Ndipo tuna ona ya kuwa siku ya upatanisho ni ya maana sana katika kalenda ya Mungu. Ina tupatia imani kuwa Mungu na vitu vya ajabu ambazo zina kuja kwa Mesia na watu kwa ukweli.

 

 

 

 

 

 


 

 

q