Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[CB144]
Elisha Amridhi
Elija
(Toleo 1.0 20081215-20081215)
Elisha alijua kwamba huduma ya Eliya alikuwa
karibu kumaliza na kwamba kuondoka kwake ilikuwa karibu na hivyo hakuwa na unataka kuondoka Eliya. Hatimaye aliona
Eliya amechukuliwa na Mungu katika kimbunga. Karatasi hii imekuwa ilichukuliwa
kutoka sura 122-126,
Volume V za hadithi ya Bibilia na Basil Wolverton, iliyochapishwa na Ambassador College Press.
E-mail: secretary@ccg.org
(Copyright © 2008 Christian Churches of God, ed. Wade
Cox)
(Tr. 2009, ed. 2012)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Elisha
Amridhi Elija
Tunaendelea hapa na karatasi Israeli Wapgana na Syria (Nambari CB131).
Ahazia akumiwe na
Mungu
Ahazia alimridhi babake Ahab kama mfalme wa israli. Ahazia alikuwa ameanguka kutoka
chumba chake kikichokuwa juu huko
Wakati huo huo, malaika wa Mungu akaambia Eliya aende akutane na wale ambao mfalme aliwatuma kuenda Ekron. Kwa hivyo Eliya alienda vile Mungu alivyomweleza. Eliya aliwauliza ni kwa nini wanaenda mpaka Ekron kuliza Baala – Zobuli badala ya kuendea Mungu wa Israeli.
Rudini na mwambie mfalme wenu kuwa ni mjinga kwa kujaribu kuliza Mungu aisyejuwa chochote” akawaambia. “Kwa nini hakuuliza Mungu wa ukweli? Kwa sababu mfalme wako ametafuta Mungu usiowa ukweli hataponya. Atazidiwa na kukufa!” (vv. 3-4)
Waliporudi waliambia mfalme kilichotendeka na vile kifo chake kime
“Alikuwa anaonekana aje?” mfalme akauliza. Alikuwa …….na mshipi wa ngozi kiunoni mwake. Nguo ya Elisha ilikuwa inatengenezwa kutoka kwa shinga za ngamia ama mnyama yeyote. Hii ilikuwa kawaida ya nabii kuzaira hivi (Zacharia 13:4 mathayo 3:4).
Huyu ni nabii Elija! Akasema. Huyo alisumbua babangu na sasa ananisumbua (vv. 5-8).
Baadaye kidogo nahodha
aliongoza wanajeshi hamsini (kundi) kutoka
Elija akamjibu “
Baadaye kidogo nabii alikujiwa na kundi la wanaume hamsini ikiongozwa na nahidha. Nahodha akasema “mewana wa Mungu hii ndiyo mfalme amesema” shuka chini haraka! Elija alimjibu jinsi alivyofanya wa kwanza na moto wa Mungu ikashuka na kuwachoma (vv. 11-12).
Mfalme akatuma nahodha wa tatu na kundi la wanaume hamsini. Nahodha akakuja kupiga magoti na kumwomba Elija awasamehe.
Malaika wa Mungu akamwambia Elija. Enda na usiogope.
Hakujali kingetokea nini
Mfalme hakuwa na mwana mwanaume wa kumridhi Johoram ndugu yake akawa mfalme wa pili, kwa miaka karibu kumi na mbili angefuata njia ya Ahaziah, mwenye mapenzi yake inakuja badala ya watu wake (vv. 15-18).
Baadaye, vile Mungu alivyokuwa tayari kuchukuwa Elija yeye pamoja na Eliaha walikuwa njiani wakitoka gilgali. Elisha ndiye alikuwa mshiriki wa karibu wa Elija.
Ilikuwa wazi kuwa Elisha ndiye angekua
nafasi wa Elija
Hii wakati ilikuja na
kifo cha Ahazia kazi ya Elija iliisha na jinsi alivyokuwa akiendelea vizuri kwa
hizo miaka, Mungu alichagua Elisha kufanya kazi na mfalme mwingine. Elija
pamoja na Elisha walielewa hizi vizuri
“Elija akaambia Elisha kaa hapa kwa maana Mungu amenituma Betheli.”
Lakini Elisha alisema hatamwaacha Elija kwa hivyo walienda pamoja mpaka Betheli. Kulikuwa na kikundi cha wanabii kilichoiwa “wana wa wanabii”. Walikukia Elisha na kumwambia kuwa wamesikia kuwa Elija angechukuliwa na Mungu.
“Najua Elisha akasema” lakini msiongee juu yake (2 Mfalme 2:1-3).
Elija akwambia Elisha kuwa Mungu amweleze
aende
Walipofika Jericho, kikundi cha wanabii aliuliza Elisha kama anajua kuwa Mungu alikuwa karibu kumchukua mkubwa wake.
“Ndiyo najua” akajibu lakini msingungumzie hayo” (vv. 4-5).
Baadaye Kidogoelija akamwambia Elisha kuwa
ameambiwa asonge mpaka mto
“Vile Mungu anavyoishi sitakuacha” Elisha akasema kwa vivyo wakaenda wawili. Wana hamsini wanabii pia walienda na kusimama mbali kidogo na wao wakasimama karibu na mto Jordani.
Baadaye Elija akatoa akakunja na kuenda karibu na mto na kupiga maji nayo maji ika upande wa kushoto na kulia na kuwavuka (vv. 6-8).
“Walipokuwa wamevuka,
Elija akamgeukiaelisha. Najua
kuwa unafahamu kuwa nikokaribu kuchukua kutoka hapa na najua umekuwa karibu
nami kwa sababu hiyo”.
Elisha akamjibu “nauliza unipe mara mbili ya nguvu yako spesheli kutoka kwa Mungu.
“Umeuliza kitu kigumu” Elija akamjibu
lakini
Vile walivyokuwa wakiongea na kutembea, kwa ghafla moto ikiendesha na farasi iliwangawanya Elija akaenda na upepo mbinguni.
“Babangu, babangu” Elisha akalia kwa uchungu.
"Baba yangu, baba yangu!" Elisha kelele kwa masikitiko. "Magari ya Israeli na wapanda farasi wake!" (vv. 11-12). Na Elisha hakumwona ten Waisraeli na farasi na Elisha hakumwona tena. Elisha akachukua nguo ya Elija ilinguka na kurudi mto Jordan akapiga maji na kusema. “Wapi mungu wa Elija?”Alivyopiga maji ingawanyika mara mbili. (vv. 13-14)
Kuchukuwa nguo ya Elija inaonyesha kuwa Elisha kuwa Elisha ameridhi Elija kupiga maji na kwa nguo ya Elija inaonyeshwa kuwa Elisha amepata nguvu za Elija.
Kwa Centuri nyingi watu wamefundishwa kuwa Elija alichukuliwa kutoka dunia na kupelekwa penye mungu, anaishi, penye anatawala ingawa biblia huonyeshwa kuwa hakuna yeyote ambaye amaenda mbinguni isipokuwa yesu (Jn. 3:13; Matendo 2:29-34).
Maandishi huonyesha kuwa Elija alichukuliwa juu mbinguni. Lakini kuna mbingu tatu zimetajwa kwa biblia ya kwanza ni upepo unazingira dunia chini yake penye ndege (Mwanzo 1:20). Ya pili ni nafasi ilioko na ni bilioni na mieli kuenda mwanzo 1:14-16; Eze 32:8). Mbingu ya tatu ni pahali pasipoonekana au ni ufalme wa mungu anapotawala (Isa 66:1; Act 7:49; 2Cor 12:2).
Mbingu ya kwanza, ndiyo Elija alichuliwa. Tunaishi naa kuenda kwa mbingu hiyo vile tunahitaji hawa kwanza.
Wale wanafundisha uongo kuwa Elija alichukuliwa mbingu ya tatu wanachukuliwa ile hadidhi ambapo Yesu aliendakwa mlima na wanafunzi wake watatukuomba. Wanaona Elija na Musa wakiongea na kristo ambayo alimwambia wasiambie yeyote (Mathayo 17:1-9).
Miaka minne baada ya Elija kuchukuliwa mtu mwovu ilikuwa mfalme wa Juda na alipata barua (Kutarajia) kutoka kwa Elija ilimwonya kuwa atakuwa mgonjwa na kukuja kwa sababu ya maovu ambazo amefanya (2 Chr 21:12). Katika kijikaratasi klwa companion Bibilia. Bulinge anasema kuwa haikuwa barua iliyotumua.
Ingeonyesha
maandishi ambayo ingeandikwa kwa wakati yeyote. kwa hivyo hatuwezi tukasema nikutoka kwa Elija. Kwa sababu Elija alichukuliwa kutoka Israeli haimanishi aliaga.
Kwa kuwa Elija alichukuliwa bila kukufa. Bibilia
inasema “na
Kando na Elija, Henoka ndipo mtu pekee ambayo Bibilia husema alichukuliwa. (Mwanzo 5:24) (Waebrania 11:5). Kwa kuwa Elija ama Hanoko alichukuliwa, hawakukufa tunaweza tukauliza wako wapo?
Tunataangali jinsi ukalimali imefanywa kwa Waebrania 11:5.
Kwa imani Henoka alihamishwa asije akaona matuti wala hakuonekana kwa sababu Mungu alimhamisha na ingine inasoma.
Kwa imani Henoka alihamishwa ili asione mauti na hakupatikana sababu Mungu alimhamisha.
Neno kuhamisha kubadilisha inamaanisha kuhamisha, kubadilisha, kugeuza kubeba, kubadilisha kutoa kugeuza.
Kwa hivyo kwa maneno zingine Henoka na Elija walihamishwa /kubebwa kuenda pahali pengine.
Ama Henoko hakukufa (Mwanzo 5:24) Waebrania 11:5 kwa hivyo Elija ama Henoko hakukufa, walichukuliwa basi tunaweza uliza, wako wapi leo?
Tutaangalia ukalimali imefanywa kwa Waebrania 11:5
Kwa imani Henoko alihamishwa asije akaona mauti na hakuonekana, kwa sababu Mungu alihamisha (concordant literal New Testament) na even interlinear Bibilia husema “kwa imani Henoko alihamishwa ili asione mauti na hakupatikana kwa sababu Mungu alimhamisha” neno imehamishwa (SGD 3346) inamanisha.
Hekono na Elija walihamishwa ama kupelekwa pahali pengine (kwa wakati)! Inaweza kuwa ni sayansi potofu lakini ni ukweli tukiweka maandishi pamoja na hakuna kilichongumu mbele ya Mungu.
Hii inaonekana ni ngumu angalia karatasi washahidi (Nambari 135) kwa
maelezo zaidi ya Honomo na Elija na kazi
Elisha aliwajibu “hakuna haja kumtafuta” lakini walimhimiza mpaka akakubali kwa siku tatu walitafuta Elija lakini hawakumpata walirudi kwa Elisha na kumwaambia penye alikuwa akrishi kwa muda “nilijua hamgempata” Elisha akasema.
Siku chache
baadaye, wakati Elisha alikuwa
Aliuliza bakuli mpya na chumvi ndiani ambayo alibeba mpaka kwa mto na kumwaga chumvi bakuli listahili kuwa safi maana iliulizwa chumvi ilikuwa ni kama imani (Nambari 18:19; 2 Chr 13:3; Lev 2:13).
Basi Elisha akasema, "Mungu anataka kujua kuwa imekuponya maji hayo, na kwamba kuanzia sasa watatoa afya njema kwa wanywao na ukuaji lush kwa wote maisha kupanda katika eneo hili."
Elisha akasema Mungu anataka kutibu maji ili ilete afya kwa wanaokunywa na mimekumea. Hii ilikuwa miujiza wa pili Mungu alitonda kupitia Elisha (2 Mfalme 2:19-22).
Elisha
Baadaye kidogo wanabii walipokuwa wakienda Betheli vijana wajeuri wakakuja kutoka mji na kumshambulia “enda juu wewe mjinga! Enda juu wakasema Elisha aliwaona na kusema kwa jina la bwana watu wengine husema kuwa kwenda juu inaweza ikamanisha ukalimali wa Elija kuwa vijana walikuwa wakimkeji Mungu kupitia kwa Elija.
U lilikuwa gani kwa wajahudi na kichwa iliyojaa nywele ilikuwa ishara ya imani (2 Sam 14:26) vijana hao walidhani Elisha hakuwa na nguvu lakini Elisha iliwaonyesha. Keleke iliisha wakati ikatoka.
Elisha akaenda mlima Carnel kutoka huko akarudi
Miaka kumi na
nane wa uongozi wa Jehosephat mfalme wa Juda Johana mwana wa Ahab alikuwa
mfalme wa Israeli kwa samaria na alitawala miaka kumi na mwili. Alifanya dhambi
mbele ya Bwana lakini alitoa jiwe la baali ambayo babake aliweka lakini
hakuachana na dhambi ya Jeroboam chenye alifanya
waisraeli kufanya. Kwanza uongozi wa Suleimani, taifa
la
Moabi
ilichukuliwa na Daudi (2 Sam 8:2) na mfalme
ilipgawanywa iliendea Israeli.
Kwa hivyo Johoram
aliamua achukue jeshi kwa
Jehoram alikuwa na imani kuwa nchi ya kumunga mkono na Jehoshephat hupigana na maoni ingawa Inaob na Edom saa zingine kuitwa Seir waliungana mkono kupinga Judah 2 Wako 20:10-11 wanajeshi wa ufalme tatu wakioendea Moab, ushindi wa upeshi ulionekana lakini baada ya siku saba ya kupigana hakukuwa na maji kwa watu na wanyama (2 Wafalme 3:9-10).
Inaonekana kuwa kama Mungu anaimpanga wa kutuweka pamoja ili tuanguke
mkononi mwa
Kuna mwanaume hapa, mmoja wa maofisi wa Jehoram akasema” anasema nabii wa Mungu ambaye alijuwa hiyo kazi akiwa chini ya Elisha.
Neno la Mungu liko nay eye “Jehoshaphat akasema sasa wafalme watatu wakamwendea. Mwishowe akasema kwa nini msiende kwa wanabii wa Ahabi na Jezebeli wazazi wako?” Hapana Mungu amechukua wafalme watatu hawa na kuwaweka kwa Moab Jehoram akasema.
Kutoka na heshima wa mfalme wa Juda nitauliza Mungu chenye
inastahili yanywe: Elisha akasema
Kwa hizo nyakati wafalme walikuwa wanachukua wanamuziki nao hata kwa vita.
Wakati Elisha
alikuwa anasikia muziki mkono wa bwana lilimkujia na
kumwaambia hii ndiyo neno la Mungu. Chimbeni mashimo.
Mungu ananiambia kuwa hii bonde hapata maji mengi kwa
watu na wanyama “Elisha akawaeleza” hamtaona upepo ama mvua lakini maj litakuja
kwa wakati waokoe. Hii ni ndogo tuu. Mungu hawasaidia
kuwashinda
Kwa siku zilizokuwa na usiku wanaume walifanya kazi ya kuchimba. Kabla ya asubuhi miji ilijaa machimboko kwa upande wa Israeli na maji kutoremka. Asubuhi kazi haikufanya ili kufara ya asubuhi ifanyiwe Mungu vile Jehoshphati alipanga.
Kafara ya asubuhi
ilipoisha maji ilikuwa ikimwagika upande kutoka
Mazigazi
Wakati huo
Kwa hivyo wale
ambao wangeweza kuvalia mishale waliitwa na kuwekwa
kwa mpaka. Siku iliyofuata, jua lilichoma maja na
wakaona tu
“Hapo chini
imejaa na damu” ofisa akasema maudui wetu walikuwa wakipigana baina
“Basi endeni kwa maadui, muchukua zana za vita na
Waisraeli na waedom walichija wengi vile wanataka. Walienda kwa miji
Walipofika Kir-harasoth, mji mkuu wa Moab, walipata vitu vigumu sana ilizingiriwa ukuta uliokuwa juu na ngumu ambao mesha na wanajeshi waliobaki walijificha waka mji na kuanza kuharibu.
Mesha alijua kuwa
wangeshindwa waisraeli na Edoni wakiendelea. Aliita
wanaume mia saba wa mikuki kuhani na kuingia. Mfalme wa
Mesha ilikuwa na imani moja, angeendea Chemash (Molech) kiungu chake
imlinde ili kupata hii lazima angemtolea kafara. Kumtolea kafara kiungu hakiko
ilikuwa hana maana na ujinga lakini hapa kafara
ilikuwa kitu cha ajabu. Kafara hapa lazima iwe binadamu san asana mtoto kwa hivyo akachukua nimwanawe mkubwa ambaye angemrid na
kumchoma
Basi akamchukua mwana
wake mkubwa, aliyekuwa mrithi wa kiti chake cha enzi na kutolewa yeye kama
sadaka ya kuteketezwa juu ya ukuta. Ni kiasi gani imani ya bure Mesha alikuwa
katika Moleki hawezi kujulikana. Lakini kulikuwa na kitu kingine mfalme wa
Moabu alikuwa kuhesabu. Alitumai kwamba tendo lake la kutisha lilijaa adui zake
kwa hofu vile sickening kwamba watakuwa pia kuchukizwa kuendelea kuzingirwa.
Hiyo ilikuwa ni nini kilichotokea. Kwa upinzani wao kuelekea Israeli Mesha
wengi na Waedomi walitoweka na kurejea kwa nchi zao (v. 27). Kwa sababu ya
hasira ya Mungu dhidi ya Ahabu, labda Alitumia tukio kusababisha Israeli kuenda
vita hata ingawa alionekana kuwa na kushinda.
Hiyo ndiyo
ilitendeka waisraeli na Wadom waliacha na kurudi kwa
nchi
Mafuta ya mjane
Siku moja mke wa mwana (mtoto wao) wa wanabii walikujia Elisha na
kumwambia kuwa mumewe alikuwa na deni kabla akufe. Ila
wanataka kuchukua wanawe wawili wawe wafanyikazi ili wawe
Kwa sheria
ilikubaliwa watu kuuzwa ili iwe kama malipo kwa deni
lakini miaka ya saba wanaachwa “
“Enda ukawamiuze marafiki zako chungu na majagi iliyowazi.
Mwanamke alifuata vile alivyoambia mwishowe mwanawe mmoja alipoleta ya mwisho. Aligundua kitu cha ajabu.
Zote zilijaa mafuta, halafu ikaacha kuniwangika. Alienda kuambia Elisha kilichotendeka na Elisha akasema “nenda uuze mafuta na ulipe deni na wewe na wanao watumie zilizobaki.
Hii ndio ilikuwa miujiza ya tano Elisha alifanya kulingana na Bibilia.
Mvulana kutoka Shunem
Miujiza ya sita Mungu alifanya kupitia Elisha ilitendeka siku moja
wakati Elisha alienda Shunem. Mwanamke tajiri
alikaribisha Elisha kwa mlo. Sasa
wakati wowote alipokuja alikuwa akila huko. Huyo mwanamke aliambia
mumewe kuwa anajua kuwa Elisha ni mtu mtakatifu. Baada
ya muda mwanamke alimshauri mumewe waongeze chumba kwa
nyumba
Siku moja aliposimama huko, Elisha aliamua kuwa huyo mwanamke amekuwa akimsaidia na anastahili zawasi.
“Iha mke wa
nyumba hii” Elisha atamshauri mfanyikazi wake Gehazi” mwambie juu amekuwa mtu
mwema, nitafurahia kumwombea kitu chochote kizuri kutoka kwa mfalme au mtu
yeyote wa ngazi wa juu huko
“Lazima kuna kitu tumfanyie.” Elisha akaambia Gahazi.
Gahezi akasema “hana mwana na mumewe ni mzee”
“Muuite Elisha akasema. Akafanya hivyo, mwakanke alipofika mlangoni mwake, nabii akamwambia ana habari njema kwake.
“Kabla ya mwaka kuisha utakuwa na mtoto mvulana.” Elisha akasema.
“Kwa nini mtu wa Mungu, unaniogopesha kwa kusema hivyo” aliuliza.
Elisha alijua kuwa hakumwamini na kukaa kwake ingemsumbua. Kwa hivyo baadaye kidogo akatoka na Gehazi.
Elisha akamwambia “huoni kuwa amedhafika kimoyo? Kitu kimemtendekea ambayo Mungu hakachagua kuniambia kabla ya saa hii.”
“Sikuambia kuwa nataka mwana” huyu mwanamke akaambia Elisha” ya kwanza nilidhani ulikuwa unaiambia uongo na sikuelewa”
Neda Shunem Elisha akamwambia Gehazi, usipumzike njia hata kusalimia mtu fika kwa nyumba ya huyu mwanamke haraka iwezekanavyo ukifika weak kwa uso wa mvulana.
Lakini nataka urudi na mimi. “Mwanamke akasema” sitatoka mpaka utoke” akasimama na kumfuata.
Baadaye kifogo, mwanamke akagundua kuwa amebeba mtoto, mwaka iliyofuata alizaa vile Elisha alisema wakati alikuwa na miaka michache alienda kwa babake aliyekuwa na wafanyikazi. Baadaye kifogo mwana akalia kichwa kinaniuma akamlalamikia babake.
Baba aliwacha mwana akabebwa mpaka kwa mamake kwao na akukufa baadaye kwa mkono wa mamake.
Mwanamke alienda akamweka kwa kitanda cha Elisha. Akatoka na kufunga mlango. Hii ingekuwa sababu mtu asijua kuwa mwaka amekuja.
Kumwacha mwanawe huko alituma neno kwa babake alituma mmoja wa wafanyikazi na punda moja ili aende kuona Elisha.
Kwa kuwa hakujua kuwa mwana amekufa alistaajabu ni nini mkwewe anataka kuenda kuona Elisha lakini haikuwa sabato ama mwezi mpya wakati watu wanaenda kwa nabii.
Aliambia bwanake kuwa mambo ni sawa akachukua punda na kumwambia mfanyikazi aharakishe. Alijua atapata Elisha huko milimani Carnel.
Nabii alimtambua
Mwanamke wa Shinem anakuja hawezi akakuja hapa isipokuwa anahitaji
msaada. Kimbia umpokee umlize
Kila kitu ishwari mwamke akaambia Gehazi alipompata.
Baadaye kifogo, kwa nabii iliyekuja kumsalimia akaangia na kushika mguuu mwa Elisha. Gehazi akakuja kumfokoza usimguze.
Gehazi alipofika nyumbani mwa mwanamke huyo. Aliuguza uso wa huyo mtoto lakini hakuna kilichotendeka. Hivyo alirudi kukutana na Elisha kumwambia kuwa hajafaulu.
Elisha alipofika nyumbani na huyo mwanamke, alienda kwa chumba chake, akafunga mlango na kumuliza Mungu kumrudishia mwana uhai. Akamlalia ili kumrudishia joto wakati alipomua kwa mdomo wa huyo mvulama ili moyo ifanye kazi baadaye akaamka na kutembea baadaye akarudi kumpatia joto na kupumua kwake. Alifanya kila njia ya kawaida kumsaidia mwana na wakati huo kuomba Mungu atende miujiza.
Ghalfa yake,
mwana aka mara saba na
kufungua macho. Elisha aliita Gehazi na kumwambia
ambaye mamake akuje. Mwanamke alipokuja Elisha alimwambia,
“chukua mwanako”. Alifurahia
Mwana aliyepomuliza ali mara saba kuonyesha roho saba ya kufufua katika nguvu war oho wa Mungu (2 Mfalme 4:35-37) angalia karatasi Roho saba wa Mungu (Nambari 64).
Hii ilikuwa miujiza wa saba Mungu alitenda kupitia kwa Elija kwa sababu ya heshima yake ambayo tama yake na mahitaji ilikuwa pamoja na muumba. Miujiza wa pili ilifanywa Gilgal Elisha alikuwa na kundi la nabii chakula haikuwa na kutosha kwa sababu ya ukame. Elisha aliambia mfanyikazi wake hii ilikuwa miujiza wa saba Mungu alifanya kupitia Elisha.
Miujiza wa pili ilitendeka wakati Elisha alikuwa Gilgal akikutana na kundi wa wanabii chakula kilikuwa haba sababu ya ukame Elisha aliambia mfanyikazi wake kuwapikia.
Mwanaume mmoja alienda akatafuta miti wa kuliwa na kupata mzabibu. Alichukua na alipofika akazikata na kuweka kwa chakula. Hakuna mwenye aligundua ikuwa na sumu.
Baadaye, wakati alipokuliwa kulikuwa na shinda wakalilia Elisha. O mwna wa Mungu kuna kifo kwa hii chungu! Na hawakukula (vv. 38-40).
“Nileee unga” Elisha akasema. Akaweka kwa chungu na chakula kikapakuliwa ikulwe na wanaume. Haikuwa na madhara kwa chungu (v. 41) tunaona hapa miujiza wa nane kupitia Elisha.
Pahali pengine,
Nawezaje kulisha watu mia nah ii? Manyikazi wake akamjibu
Elisha akasema wapatia wakula maana bwana husema “watakulwa na zinine zitabaki na hii ndio nitondeka.
Tutaendela na
hadithi hii kwa karatasi kazi ya Elisha Indelee (No. CB145).
q