Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[CB109_2]
Mafunzo:
Altare ya Kufukria Ubani
(Toleo 1.0 20070909-20070909)
Katika funzo hili tutaangalia tena dhamira kuu katika karatasi (Nambari CB 109) na kupeana kazi ili kuwezesha kutafakari hasaa ni kwanini maombi ni muhimu.
Christian Churches of God
E-mail: secretary@ccg.org
(Copyright ã 2007 Diane Flanagan, ed. Wade Cox)
(Tr. 2009)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Mafunzo:
Altare ya Kufukria Ubani
Lengo:
Kutazama tena dhana yanayoambatana / husiana na altare ya kufukiza uvumba / ubani na maana yake katika ujumbe.
Matarajio:
1) Watoto wataweza kuelewa nani katika histroria ndiye aliyekuwa akitunza altare ya kufukuza uvumba / ubani.
2) Watoto wataweza kujua kwamba moto wa altare ya uvumba/ubani ulitokana na moto kwenye altare ya dhahabu ya kuteketezwa.
3) Watoto wataelewa ni nini hasa ambacho altare ya kufukiza uvumba / altare ya ubani ya maanisha.
4) Watoto wataelewa kwanini maombi ni muhimu
5) Watoto wataelewa kuwa tusipomtii Mungu wa kutubu, kuwa maombi yetu ni kama kelele mbele za Mungu
Chemichemi (Resources)
Hekalu alilolijenga Suleimani [CB107]
Altare ya kufukiza ubani [CB109]
Tabanako jangawani [CB42]
Mafundisho juu ya maombi sehemu ya mwongozo wa mwalimu [CB31]
Mafunzo juu ya maomi sehemu ya B Worksheet [CB32]
Maandiko kutoka 30:8, Zaburi 51:17; 141:1; 2 Proverbs 29:9; Luka 1:10; Wakorintho 15:34; Ufunuo 5:8; 8:3
Format
- Anza kwa maombi
- Waulize watoto wanachofikiria kuhusu altare ya kufukizia uvumba / ubani na kile kinachowakilisha
- Endesha mafunzo juu ya altare ya kufukizia uvumba / ubani.
- Endesha kazi zinazohusiana na altare ya kufukizia uvumba / ubani
- Maliza kwa maombi
Mafundisho
/ mafunzo
- Somo karatasi latare ya kufunzia uvumba / ubani isipokuwa kama mahubiri / maandiko
- Tumia maswali na majibu kutazamia tena dhana makuu ya CB109.
- Maswali ya watoto lazima yafuatwe na majibu.
Maswali
na majibu
Swali
1. Ni wapi ambapo alrate ya uvumba / ubani ulikuwepo / ulijengwa ulitoshanaje?
Jibu. Altare ya uvumba / ubani uliwekwa / jengwa mbele ya pazia kabla ya kwenda pahala patakatifu. Ilikuwa ni kama kuwa karibu na Mungu zaidi bila ya kuwa mbele yake (Kutoka 30:6) altare ya uvumba ulijengwa kama mraba wenye urefu wadhiraa moja upana wa dharaa moja kwenda juu kwake dhiraa mbili.
Swali
2. Uvumba utokao kwenye dhahabu ya uvumba yaashiria nini?
Jibu. Uvumba unapopaa juu jinsi ifanyavyo ni picha ya maombi ya mitume yanayopopaa mbinguni (Zaburi 1414:1-2).
Swali
3. Ni mara ngapi kwa siku ambapo
makuhani ambapo makuhani walitarajiwa
kuitengeneza dhahabu ya uvumba na ubani ulitengenezwa kwa kutumia nini?
Jibu. Makuhani walitajariwa kutengeneza dhahabu ya uvumba mara mbili kwa siku mara moja asubuhi saa tatu na tena jioni saa tisa (Kutoka 30:7-8). Uvumba ulitengenezwa kwa kutumia viungo vine spesheli natafi, shekelethi, kelbena na ubani (Kutoka 30:34).
Swali
4. Maombi yetu ni kama viumbe mbele za Bwana kwa hiyo ni mara ngapi kwa siku
ambayo twahitajika kuomba?
Jibu. Isipokuwa mara mbili kwa siku, mara moja asubuhi na tena jioni kwa mfano makuhani ambao wali tengeneza dhahabu (1 Chr 23:30) (Mambo ya nyakati)
Swali
5. Moto kutoka dhahabu ya uvumba ulitokana na moto kutoka dhahabu gani
nyingine?
Jibu. Moto ulitoka kutoka kwa dhahabu ya sadaka ya kuteketezwa mioto mingine yote yalikuwa ya miujiza (Mambo ya Walawi 16:12).
Swali
6. Uvumba usiojulikana na kuomba na kuwaabudu Miungu. Je nini kutakachotendeka
tusipomwabudu Mungu mmoja na mkweli?
Jibu. Tutakuwa wafu kiroho na Mungu hatayasikiza maombi yetu. (Prov 28:9).
Swali
7. Ni nini kilichokuwa juu na kwenye pembe nne ya altare ya uvumba / ubani?
Swali
8. Pembe zile zilitumika kwa kufanyaje?
Jibu. Kuhani anglifanya toba au kutoa kafara kwa pembe zile mara moja kwa mwaka kama tolea la dhambi (Kutoka 30:10)
Jibu. Kulikuwa na mfano uliochangwa kama taji juu yake na katika pembe nne kulikuwa pembe / kutoka 30:3.
Swali
9. Ni siku gani iliyotakatifu zaidi ya siku zote?
Jibu. Siku ya toba sabato / matendo ya Walawi 23:23
Swali
10. Ni nani aliyekuwa na jukumu la kazi zilizoendelea ndani ya tabanako
jangwani na hekalu siku ya toba?
Jibu. Hakuna kuhani angalikuwa ndani ya hema ya tobanako au hekalu mpaka kuhani mkuu angemaliza kazi yake (Levi 16:17).
Swali
11. Ni wazee wakuu wangapi na viumbe vilivyo hai wanaofuailia mambo yetu.
Jibu. Kuna wazee ishirni na nne na viumbe vine.
Swali
12. KUlikuwa na pazia kilichogawa pahala patakatifu ambapo altare ya dhahabu ya
uvumba ulikuwa kwa pahala patakatifu zaidi ambapo Mungu angelikuwa. Nini
kilichofanyika kwa pazia hiyo Yesu alipokufa msalabani? Yamaanisha nini kwetu
leo hii?
Jibu. Pazia liligawanyika mara mbili (Mariko 15:38) na yaamisha twaweza omba kwa Mungu kupitia kwa mwanawe Yesu (Wahibrania 10:19-22).
Swali
13. Tunako jangwani na hekalu yalikuwa na vyuma vitatu yaliyotumika ndani yao.
Je waweza kuvitaja?
Jibu. Shaba, fedha, dhahabu.
Swali
14. Altare iliyombelea ya kiti cha enzi cha Mungu una mataji matatu ya dhahabu.
Je waweza kuyataja?
Jibu 1) Ark of the covenant ni taji la sheria (Kutoka 25:11)
2) Latare ya uvumba / ubani ni taji la ukuhani (Kutoka 30:3)
3) Meza (showbread) ni taji la ufalme (KUTOKA 28:24).
Swali
15. Ni rangi gani ndizo zilikuwa nguo
za makuhani, makuhani wakuu na pia mitume?
Jibu. Wate wavaa nguo nyeupe kwa kuwa uepu viliashiria utakatifu na usafi (Ufunuo 19) na (Kutoka 28:39) kazi.
Tengeneza
altare ya uvumba / ubani
Maombi
ya kibinafsi
Kazi
Tengeza altare ya uvumba / ubani
2)
Maombi ya kibinafsi
Mikato
ya wonyesho
Wahimize watoto kuweka karatasi tatu wazi katika vitabu vyao na waulize watoto wa tatu au sita wanochahitajia maombi na uandike majibu yao katika kitabu chao cha maombi
Kurasa hizo zaweza kushikanishwa au kutobolewa shimo na kufungwa kwa kutumia uzi.
Vitabu vya maombi vya zamani pia vyaweza kutumika.
q