Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[D3]

 

 

 

Sherehe Ya Ubatiso

 

(Toleo  2.0 20000916-20071204)

 

Tuna batizwa kwa mamlaka wa Baba Mungu. Halafu tuna wekwa, kama ndugu, katika mwili wa mwanawe. Hi nikatika maonyesho na nguvu za Roho mtakatifu wa Mungu. Imewekwa katika kutubu na kubadili kwa kuitika katika wito.

 

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

(Copyright ă 2000, 2007  Wade Cox)

(Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 


 

Sherehe Ya Ubatiso


Ubatiso

 

Ubatiso ndiyo moja wa sacramenti mbili ya kanisa. Wapili ni meza la bwana ambayo haifai kufanywa bila kutubu na Ubatiso. (Angalia karatasi The Sacraments of the Church (No. 150).) Tume okolewa kwa huruma na imani, lakini tunapitia dhuluma  kwa kuharibu sheria la Mungu (Warumi. 5:20-6:19). Tuna pokea na kuchukua Roho mtakatifu wa Mungu kwa agizo.

 

Kando na kuhubiri na kufundisha, ubatiso na jukumu  ambayo imepewa Kanisa La Mungu.

 

Mariko 16:15-16 Akawambia, Endeni ulimwenguni mwote, mkahihubiri injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

 

Mathayo 28:19 Basi endeni , mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza  kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho mtakatifu;

 

Amri kuhusu ubatiso ni katiak daraja tatu:

 

Kwanza laizima tu tubu, kumaanisha kubadilika;

Wapili tuna batizwa kutoka kwa dhambi zetu;

Watatu tunapata zawadi ya Roho Mtakatifu.

 

Kutubu

 

Kutubu inatuhitaji kubadili tabia zetu na kutoka katika dhambi zetu ya zamani ya kuhishi, na kuhishi na amani katika mahitaji za Mungu. Si jambo rahisi kutubu, lakini inategemea na tabia zetu. Tukipeana maisha yetu kwa Mungu atapata fikiria zetu (Prov. 16:3).

 

Matendo ya mitume 2:38 Petro akawambia, tubuni mkabatizwa kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.

 

Ni lazima tutubu, na lizima tuamini andiko la hekalu la Mungu. Pamoja hiki inatoa wokovu na kutokubali kwetu kushirikiana ili dhambi zetu itolewe nje (Acts 3:9). Tusipo Tubu tutakufa( Lk 13:1-5)

 

Ubatizo kamili ina mfano kufa katika njia ya maisha yetu ya zamani katika dhambi, ambaye ni sheria au kuharibu sheria (1Jn. 3:4). Ni lazima tubadilishwe kamili kwa maji, na “kuzikwa” kwa maisha la sivyo tutakufa isipo kuwa tukifufuliwa kutoka kwa maji (Rom. 6:1-9). Kutoka kwa kaburi la maji ni mfano  kufufuka katika maisha mpya (cf. karatasi Repentance and Baptism (No. 52)).

 

Tuna batizwa katika Kristo Yesu (Rom. 6:3) na sio katika dini yeyote, hekalu au kanisa lolote. Hi ni katika mwili moja na wanachama wengi (1Cor.12:13-14). Ni lazima tubadiliswe (Rom. 12:12), kujengwa katika amani na uwezo  (2Pet.3:18) na kuzaa matunda (Gal. 5:22-23) kuingia kama ushaidi wa kutubu kwetu (angalia pia karatasi Fruit of the Holy Spirit (No. 146)).

 

Kunayo kwahivyo, bei. Hi inafaa kupewa fikiria, au kuhesabiwa, kabla ya hi daraja ya ubatizo kuchukuliwa (Lk. 14:25-33).

 

Roho Mtakatifu

 

Roho Mtakatfu inaelekezwa kwa maagizo ya Mungu, kupitia kwa kuwekwa mikono. Kwahivyo Roho Mtakatifu inaingia kwa yule aliye tubu. Yule au wale aliyeweka mikono, anafanya hivyo kisimamizia kanisa, na si yeye ndiye anatoa Roho Mtakatifu. Roho inatoka moja kwa moja kutoka kwa Mungu kupitia Kristo (Heb 7:25). (Angalia pia karatasi The Holy Spirit (No. 117).)

 

Watu wote wenye asili ya binadamu wamekosa! Sisi sote ni lazima tukubali kuwa tumeksoa.

 

1Yohana 1:8-10 Tukisema yakwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. Tukiziungama dhambi zetu, yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, yeye ni mwaminifu wan a wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, twamfanya yeye kuwa mwongo wala neno lake halimo mwetu.

 

Sheria zilizokubaliwa kwa sherehe ya Ubatizo

 

Mwanafunzi ni lazima apaewe mawaidha kamili kwa Ubatizo kwa mikono, na nilazima abatizwe kwa mahali pazuri nay a usalama.

 

Hi inaweza fanywa kabla ya pasaka au kwa sherehe ya bwana, na pia inaweza fanywa  wakati wowote iliyotengwa na waziri wa kufanya shere hilo.

 

Mwanafunzi ni lazima andamane na ofisa wa kufanya sherehe hilo, ambaye ni lazima achunguze pahali pazuri.

 

Katika maji, waziri atasema haya maneno (bala kwoti):

 

Sema majina zako zote:

 

*********************************

 

Una amina kuwa kuna Mungu mmoja ambaye ni Baba yetu yote, na mfalme mmoja Yesu Kristo?

 

(cf. 1Cor.8:6; Eph. 4:6)

 

Jibu: Ndiyo

 

********************************

 

Ume tubu dhambi zako?

 

(cf. Lk. 13:3; 11:32; Acts 3:19; 2:38)

 

Jibu: Ndiyo

 

*******************************

 

Unajua kua umekufa na dhambi zako na unahitaji kupata uwokovu ya Yesu Kristo?

 

(cf. Rom.6:10-12)

 

Jibu: Ndiyo

 

******************************

 

Una amini kuwa Yesu alikufa kulipa deni ya Dhambi zako?

 

(cf. 2Cor.5:21; Heb.10:14-17; Col.4:12-14).

 

Jibu: Ndiyo.

 

******************************

 

Una apakufuta sheria za Mungu na Imani ya Yesu Kristo, Mesia?

 

(cf. Rev. 12:17;14:12)

 

Jibu: Ndiyo

 

******************************

 

Sasa tunakubatiza kwa kuwacha dhambi zako.

 

******************************

 

Mwanafunzi sasa ataambiwa kuweka mikono yake na kuziba mapua zake, na wazi anaye ongoza sherehe hilo ataweka mikono yake nyuma ya mwanafunzi kwa kumsaidi asianguke na kumweka chini kupitia nyuma kwa maji, na kuhakikisha kuwa mwanafunzi ame zima kwa maji.

 

Mwana funzi huyo sasa anaweza pelekwa mahali kumekauka (amabye inafaa kama kuna watu wengi wakubatizwa), apige magoti chini na waziri kuweka mikono kwa kichwa ya mutu huyo na aseme:

 

Baba wa milele,

Nuta batiza huyu mutu [taja jina] kwa nguvu wako katika jina lako na wa Mwili wa Mwanawe Mesia, kwa kupitia Roho Mtakatifu, vileinavyofaa, Baba, tunaomba kua Roho Mtakatifu imewekwa kwa huyu mutu katika jina ya mwanawe Yesu Kristo. Amen.

 

Huyo mutu sasa atapewa uwongozo yafwatayo:

 

Tuna apa yakwamba umebatizwa katika jina la Mungu Baba yetu, ambaye ni Mungu Baba ya wote.

 

Tuna kubatiza katika mwili wa Mwanawe Yesu Kristo, Mesia

 

(cf. Rom12:4-5; Eph. 4:4,12,16),

 

Na wengine

 

(cf. 1Cor.12:12-27),

 

Na katika mandungu zake

 

(cf. Rom. 7:4; Rev. 19:7-9)

 

Haubatizwi katika dini yeyote wala hekalu.

 

Unabatizwa kwa nguvu wa Yesu Kristo na kwa Nguvu Ya Roho Mtakatifu wa Mungu.

 

(cf. 2Cor. 5.5; Rom. 8:23; 1Cor 6:19; Heb. 7:25).

 

 

q