Makanisa
la wakristo wa Mungu
[002]
(Edition 1.1
19940312-19980613)
Utata umeibuka kumuhusu mungu wa bibilia. Sababu moja kubwa ni kuwa majina mengi ya kihibrania ya mungu ambayoyamefanywa kuwa neno moja kwa Kingereza na hata upotovu wa habari kamili na hata kueleza uewepo wa Madhehebu mengi kama vile Binalarianism, polytheism kuabudu miungu na hata Malaika. Nakala hii inazungumzia ju ya Mungu wa Agano la kale na Agano Jipya na mmoja anaestahili kuabudiwa na Wanadamu wote.
Christian Churches of God
PO Box 369,
WODEN ACT 2606, AUSTRALIA
Email: secretary@ccg.org
(Copyright ã 1994, 1998 Wade Cox)
(tr. 2008)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
This paper is available from the World
Wide Web page:
http://www.logon.org
and http://www.ccg.org
Mungu Tunaemwabudu
Tofauti iliyoko kati ya mteule na Ukristo ni utata wa kuelewa umbo la Mungu tunaemwabudu. Mungu Kichwa ni umbo inayoendelezwa kwenye jopo. Jopo hili limegusiwa kwenye zaburi pamoja na nakala nyingine hapa chini, Ufalme wa Mungu na jopo la wazo yameangiziwa kwenye Ufunuo 4:1 hadi 5:14. Jopo hili linamhusisha Yesu Kristo kama mwana wa kondoo na pia Kuhani Mkuu (Kutoka Wahibrania 8:1-2) Anaemtumikia Mungu baba aliye Mkuu (Ufunuo 4:8-11).
Ufunuo 4:8-11 Na hawa wenye uhai wane, kila mmoja alikuwa na mabawa sita; na pande zote na ndani wamejaa macho, wala hawapumziki mchana wala usiku, wa kisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu Mwenyezi, aliyekuwako na aliyeko na takayekuja. 9 Na hao wenye uhai wanapompa yeye aketiye juu ya kiti cha enzi utukufu, na heshima, na shukrani, yeye aliye hai hata milele na milele, 10 ndipo hao wazee ishirini na wanne huanguka mbele zake yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi, nao humsujudia yeye aliye hai hata milele na milele, nao huzitupa taji zao mbele ya kile kiti cha enz, wakisema, 11Umestahili wewe Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa. (KJV)
Kwa kumcha Mungu, Kristo alitoa maisha yake, kila Kuhani anastahili kujitolea kwa Mungu (Wahibrania 8:3). Ufunuo 4:8-11 Mungu baba anautukufu juu ya wazee wote. Na mataji yao ni madogo kwa baba. Yeye ni Mungu baba wa Yesu Kristo na baraza.
Kutoka hapo juu na kutoka Matamko ya Imani ya Makanisa ys Kikristo [A1], Mkuu wa ulimwengu na dunia mzima ni Mungu yeye ndiyo muumba wa mbingu na inchi na vyote vilivyo (Mwanzo 1:1; Nehemia 9:6, Zaburi 124:8; Isaya 40:26,28; 44:24; Matendo 14:15; 17:24,25; Ufunuo 14:7). (1Timotheo 6:16) Yeye ni Mungu Baba na Mungu Baba wa Yesu Kristo. (Yohana 20:17) Yeye ni Mungu Mkuu. (Mwanzo 14:18; Hesabu 24:16; Kumbu 32:8; Mariko 5:7 na Mungu mmoja wa Kweli (Yojana 17:3; Yohana 5:20).
Yesu ni mwana wa Mungu asiyeonekana Wakwanza aliyetolewa kwa viumbe. (Wakolosai 1:15) na vivyo mwanzo wa viumbe wa Mungu (Ufunuo 3:14). Yeye ndiyo mwana wa Mungu wa kipekee aliyezaliwa (monogenes). Aliyezaliwa na bikira Maria alishika mimba yake kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Yeye ndiye mkombozi aliyetumwa kuja kutukomboa. (Mathayo 14:33; Yohana 8:42; Waefeso 1:7; Tito 2:14).
Kumwelewa tunaemwabudu imeelezewa kupitia ishara mbili ambazo pamoja kuelewa umbo la Mungu kwa minajili ya kujumuisha vitu hivi viwili.
Sabato (Kutoka 20:8,10,11; Kumbu 5:12). Sabato ni ishara ya upatanishi kati yetu na Mungu (Kumbu 31:12-14); na
Pasaka. Hii ni ishara ya umoja, Kumbu 13:9,16/Pasaska inajumulisha mkate, ishara ya sheria ya Bwana. (Kumbu 6:8) na wa kuwaokoa wana wa Israeli (Kumbu 6:10) ambapo zote zimeendelezwa hadi agano jipya na kwa wote wanaomwamini Kristo (Warumi 9:6; 11:25-26).
Amri hizi, Sabato na Pasaka zinalinda dhidi ya kuzini (Kumbu 11:16). Hizi Amri ni kifungo kwenye mkono na kichwa cha bwana pamoja na Ubatizo kama kifungo cha siku za mwisho 144,000 Wa siku za mwisho Ufunuo 7:3.
Amri za Mungu Emanates Kutokakana na Uzuri wa Umbo Lake
Amri ya Mungu inatokana na umbo lake na nafsi yake isiyobadilika pamoja na uzuri wake.
Mariko 10:18 Kristo alisema: Kwanini muniite mzuri, ni Mungu pekee andiye mzuri. Uzuri wa Mungu unatueleza zote kwa uokovu. (Warumi 2:4). Umbo la Mungu ni uzuri usiobadilika, na kwa hivyo Kristo ni mwana leo kesho na hata milele. (aiõnas)(Wahibrania 13:8). Mteule kwa umbo wa uzuri wake (2Petro 1:4), (Wahibrania 7:24) Kristo anahudumia wale wanomfuata Mungu Kupitia kwake (Wahibrania 7:25 Marshall’s Greek-English Interlinear). Lakini siyo chombo cha kuabudu ama Mungu.
Amri ya Mungu inapatikana kwa imani na wala sio kufanya kazi (Warumi 9:32).
Sehemu ya Kawaida na Uonyesu kuu wa kuchanguliwa na na yakawaida kwa kila jambo Monotheism na imani kwa usihano wa Yesu Kristo. Hakuna Elohim tunaemwabudu ila Mungu ambayo ni Baba (Kutoka 34:14; Kumbu 11:16) au tuta jiharibia (Kumbu 30:17-18). Mungu alitoa Amri ya Kwanza.
Kutoka 20:2 Mimi ni Bwana Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri,katika nyumba ya utumwa .
Nakala wa Awali hapa ni ya Pande kama sehemu au bila mamlaka ya Mungu Tunaelewe kuwa Mungu Baba. (Kujua mengi kuhushu elohim angalia The Elect as Elohim (No. 1).
Tunastahili kumpenda Mungu Baba wetu na Kumtumikia na mili na moyo yetu yote na nafsi yetu zote na wakati wa masika atatupa mimea na malisho ya mifugo yetu. Kwa ufupi atatulisha na lishe nyingi (Kumbu 11:13-15). Lakini tuna Agano Jipya ambayo imeandikwa kwa mioyo zetu. Yeye ni Mungu wetu na sisi watumishi wake, tunamwabudu kwa kufuata Amri kwa nafsi zetu (Wahibrania 8:10-13).
Tunafaa tuabudu mbele ya Mungu Baba (Kumbu 26:10; 1Samuel 1:3; 15:25). Je hawa Mungu nimengi na ni sawa kusema kuwa Yesu Kristo mwana wa Mungu ni Mungu? Jawabu ni LA!
Kristo alijaribiwa Jagwani na Shetani na huvyo basi majaribu ya Shetani yakanzia hapo. Shetani aliye kuwa nyota ya asubuhi Lucifer au mtia mwanga. Kwa sayari yake (Isaya 14:12) Kama mlinszi na mwalimu, kwa saba, Mmoja wa Elohim au Mungu, Ambao alikuwa Mungu Baba.
Kristo alistahili kuwa aliyotoka kwa Yakobo katika Hesabu 24:17. Inaangazia kitabu cha Musa kuwa moja ya nyota za asubuhi kuwa mwisho wa sayari kwenye Ayubu 38:7, elohimmmoja alistahili kuwa mwanadamu wa Yakobo na kutoka Daudi (Ufunuo 22:16).
Huu elohim tunaejua kama Yesu Kriso hakuwa nyota ya asubuhi wa sayari hii. Cheo hicho kilikuwa cha Shetani (Isaya 14:12 na Ezekiel 28:2-10).
Kristo alitiwa mafuta kama elohim wa Israeli kutoka Zaburi 45:7 alileuliwa juu yaw engine wote hata hivyo hakuwahi kamwe kushikilia nafasi hii ya nyota ya Asubuhi na hatashikilia kazi hizi hadi kuja kwake mara ya pili (Tafsiri ya Day Star 2Petro 1:19). Mteule alihahidi kugawa mamlaka kwa Ufunuo 2:28.
Shetani kama Nyota ya Asubuhi alitoa changamoto kwa Mungu kama tnavyoona kwenye Isaya 14:12. Alijaribu kuteremsha utukufu wake.
Hili baraza ni kaniasa ya Elohim au Mungu tunavyona kwenye Zaburi 82:1. Inafurahisha kuona Irenaeus ambaye ni mfuasi wa Polycap, na mfuasi wa Yohana akishikilia kwa Zaburi 82:1 kulinganishw Miungu vol, ambao kimejumlisha mteule, kuitwa Hao wa kuchukwa (Against Heresies, Bk.3, Ch.6, ANF, vol .1, p.419).
Kuna wana wengi wa Mungu, Kutoka Ayubu 1:6; 2:1; 38:7; Zaburi 86:8-10; 95:3; 96:4 135:5 wanaotumbuliwa kama Elyon au wana wa Mkuu (Tazama pia Sabourin SJ, Zaburi na kutikoyo na maana yao, Alba House, NY, pp.72-74). Mwanadamu mteule amejumulisha na Baba wa mbinguni na wana wa Mungu Warumi 8:14.
Warumi 8:14 Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.
Krito kama mteule na mwana wa Mungu ni
mmoja na Mungu kupitia Roho Mtakatifu. Wote ni moja lakini siyo kama kwenye
Trinitarians wanavyosema. Je tuseme wote ni moja kwa vile Mungu ni mmoja? La!
Watrinitarian wanastahili kuelewa kuwa Kristo alikuwa mwana wa kupekee wa Mungu
kama ilivyo kwenye Bibilia na sio kutoka kwa Mwanzo wa Dunia.
Tukisema kuwa malaika ni wana wa Mungu basi pia lazima Kristo ajumulishwe kwenye hiyo orodha. Kutoka kwa Matendo 7:35-39 ilikuwa malaika aliyenena na Musa kwenye Sinai na malaika huyu alikuwa Kristo. Wagalatia 4:14 Paulo ajifanya Malaika wa Mungu hata Yesu Kristo. Tena pia tutakuwa kama malaika (Mathayo 22:30) kama amri au isaggelos kutoka Luka 20:36 Kuwa pamoja na Kristo (Warumi 8:17; Wagalatia 3:29; Tito 3:7; Wahibrania 1:14; 6:17; 11:9; Yakobo 2:5; 1Petro 3:7).
Agano la Kale linatambua Messiah kama Malaika wa YHVH iko kwenye nakala The Elect as Elohim (No. 1) na The Angel of YHVH (No. 24); (angalia tena Kutoka 3:4-6 ambapo Mungu kama elohim alikuwa malaika).
Zaburi 89:6-8 Inaonyesha kuwepo kwa baraza la watakatifu (qedosim au qadoshim, na kutumika kwa wanadamu pia) na mtihani wa nakala itaonyesha kuwa kuna baraza la ndani na la nje.
Hakuna tashwishi wa mtihani wa nakala za karne ya kwanza (DSS na Pseudepigrapha, Ugaritic na Nag Hammadi) hati kulikuwa baraza la Mungu wa haki na Elohim wa haki.
Haki (tsedek) na wajibikaji ni neno moja kwa Wahibrania. Wanazielewa kama neno moja. Hili izirudiwe kila mara kwa Haki kutoa wateule wa kwanza siku za mwisho.
Shetani alitupwa kutoka mbinguni kwa ukosefu wa nidhamu, na kwa kujilinganisha na mungu. Kuabudu sanamu (Au uchawi kama inavyoelezwa kwenye 1Sam 15:23). Shetani alijifanya sawa na Mungu Mkuu au Mungu Baba. Kristo naye kwa njia nyingine hakujifanya hivyo kuwa sawa na Mungu, na kujifanya bure nafsi yake (Yohana 4:34).
Wafilipi 2:6-9 Ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa kitu cha kushikamana nacho: 7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu; 8 tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam mauti ya msalaba. 9 kwa hiyo ten a Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina
Mungu aliajibika Kristo kwa utiifu wake kwani hakujifanya sawa na Mungu na akutakua kuwa kama yeye kwa utatu elohim na bene elohim waliifanya.
Katika Luka 10:8 Kristo anasema alimwona shetani akianguka kama moto kutoka mbinguni. Shetani alivuta nafasi ya tatu ya malaika au Nyota wa mbinguni. (Ufunuo 12:4) malaika hawa walitupwa ardhini pamoja na Shetani (Ufunuo 12:9).
Hili uaribifu ni kama lile katika Ufunuo 8:10 ambapo malaika wa tatu fufanya tena uaribifu kwa kuanguka wa nyata mkuu na kuaribu tatu wa umbo.
Shetani alimjaribu Kristo kwa njia nyingi. Mwanzo shetani alimtambua Kristo kama mwana wa Mungu kwenye Mathayo 4:3; 4:6 na Luka 4:3. Mashetani au mapepo yalimtambua Kristo kama mwana wa Mungu Mathayo 8:29; Luka 4:41 na Mariko 3:11. Shetani alimjaribu Kristo kwa kumshwishi aongoshe nguvu zake kama yeye ni mwana wa Mungu kwani Mungu aliahidi kumpa malaika Zaburi 91:11,12 Shetani alijaribu kuchukua maisha ya Kristo.
Kristo hakujaribu kumkosoa shetani au mapepo kuwa alikuwa Mungu badala ya mwana wa Mungu. Hakuna pepo iliyomtambua mpaka baada ya kifo chake, Kristo alikuwa Mungu na sawa na baba madai aliyokanusha wakati wa uhai wake.
Haya yalilenga kuvunja utifu wa Kristo kwake Mungu na hali kadhalika kuvunja maandika. Shetani alijaribu kushwishi Kristo amwabudu. Kristo hakujaribu hata kutoa changamoto dhidi ya uongozi wake na badala yake akajibu:
… Na imeandikwa: Utamwabudu Mungu baba na kumtumikia yeye pekee.
Kristo hakumwambia shetani amwabudu bali alimwelezea amri. Kristo hakusema kwa wakati wowote kwa yeye ni Mungu. Alisema yeye ni mwana wa Mungu. Ni kwa sababu hii alijaribiwa Mathayo 27:43.
Anamini kwa Mungu.Mungu amwakowe kama anamhidi kwani alisema mimi ni mwana wa Mungu.
Hapo ndipo Kristo alilia kukamilisha maandiko Zaburi 22:1
Mungu wangu Mungu Wangu mbona umeniacha.
Kristo hakujitambua kama Mungu kusema kuwa yeye pia ni Moja wa Utatu, kwa sambamba, sehemu ambao iliwachwa.
Mara nyingi, Ni kunyume na Ukristo kama inavyoelezewa 1Yohana 4:1-2. Nakala ya kweli ya samani 1Yohana 4:1-2 Kujengwa kutoka kwa Irenaeus (Mambo ya nyakati 16:8, ANF, Vol.1, fn. p. 443).
Hapa ninyi inafaa kujua Roho wa Mungu;Kila roho inayo kiri Yesu Kristo alikuja kwa mwili ni wa Mungu; na roho inayo kiri kuwa Yesu Kristo sio Mungu ni wa Kinyume ya Ukristo.
Socratino na wanahistoria wanasema (VII, 32, p.381) maandiko yamevunjwa na wale waliotaka kuvunja utu wa Kristo na utukufu wake.
Tena kwenye Luka 22:70 wote waliuliza wewe ni mwana wa Mungu kweli?
Akajibu huko
sawa mkisema hivyo.
Alitambuliwa kama mwana wa Mungu kwenye
Ili kuelewa kuwa Kristo ni mwana wa Mungu kwenye Ufunuo:
Mathayo 16:16-17 Simon Petro alijibu na akasema, wewe ni Kristo mwana Wa Mungu aliyehai. Yesu alijibu na kusema, kwenye Baraka ni Simon Bar-Jonah, kwa mwili na damu kukutolea wewe, na lakini ni BABA yangu ambayo hiko Mbinguni.
Tena Mathayo 11:27 usema:
Vitu vyote nimepewa na Baba yangu na hakuna anaemjua mwana isipokuwa Baba .Na hakuna anaematambua Baba ila Mwana na yule ambayo Mwana akamruhushs kumjua.
Ndiposa Baba anajihirisha kwa watu na kumpa Kristo ambaye anafanya hivyo kwa Baba.
Hii ni kusema Mungu ni moja. Mithali 30:4-5 inaonyesha jina la Baba na kuwa ana Mwana.
Nani amewahi kupaa mbinguni na kurudi?
Nani amewahi kushika upepo kwa mkono?
Nani amewahi kufunga maji kwa vazi lake?
Nani amewahi kuona mwisho wa Dunia?
Jina lake ni nani na la Mwanawe? Niambie kama unajua?
Kina leno la Mungu (ELOAH) yeye ni ngao kwa wanaojificha kwake.
Usiongeze kwenye maneno yake, ama atakufanya uonekane mwongo.
Bibilia inatafsiriwa na jina la Mungu liko na ni wazi kuwa si kusema baba na mwana. Agano Jipya inaeleza kuwa ni Baba ndiye wakuabudiwa. Kristo alikanya mwanawake mama msamaria kwenye Yohana 4:21 wakati anakuja ambapo hawataweza kumwabudu Baba sio kwa milima (Samaria) au Yerusalemu, Lakini alisema wasi kwa Yohana 4:23.
Wakati unakuja na umefika ambapo waumini wa kweli wataabudu baba kwa Roho na kweli.
Hapa Kristo ametambuliwa chombo cha kuabudu kama baba na sio yeye. Hivyo basi ni makosa kuwa Kristo anastahili kuabudiwa kama ilivyo katika Yohana 3:14 ambako mwana wa Adamu alifanywa Nyoka vile Musa alivyofanya nyoka kwenye jangwa. Dhamira ya kusulubiwa kwa Yesu ilikuwa ili wanadamu wawe na Uzima wa milele.
Trinitarian wanasema kuwa roho Mtakatifu ni nafsi ya utatu ya Mungu kichwa, huu ni uongo.
(Imenakiliwa kutoka Matamko ya Imani ya Makanisa ys Kikristo [A1], pp.1-4).
Roho Mtakatifu (Matendo 2:4) ni nguvu ya Mungu ambayo Kristo aliahidi kutumia wateule (Yohana 16:7). Si mwanadamu bali nguvu za Mungu anaeishi (2Petro 1:4), kujazwa na Roho Mtakatifu (Mitume 9:17,Waefeso 5:18) na kadhalika wana wote wa Mungu (Ayubu 38:7; Warumi 8:14; 1Yohana 3:1-2), na waridhi wa Kristo. (Warumi 8:17; Wagalatia 3:29; Tito 3:7; Wahibrania 1:14,6:17,11:9; Yakobo 2:5; 1Petro 3:7). Inatolewa na Mungu kwa wale wanuliza (Luka 11:9-13) na kumwabudu na kutii amri yake. (1Yohana 3:24; Mitume 5:32) Roho mtakatifu ndio kiongozi wa mtumishi wa Mungu na kuwaelekeza kwa ukweli (Yohana 14:16,17,26). Roho Mtakatifu ina uwezo wa ushahidi (Matendo 1:8). Wanafunsi wamezawadiwa kama ilivyo kwa 1 Wakorintho 12:7 na ina matunda kama ilivyo kwa Wagalatia 5:22-23 (Yohana 3:34, RSV, Warumi 12:6). Ndiyo jinsi Mungu anaweza kuwa wote kwa Mmoja (1Wakorintho 15:28; Waefeso 4:6).
Roho Mtakatifu huwa kabla ya Ubatizo. Kisha Roho humleta mtu karibu na mUngu kupitia Kristo (Wa hibrania 7:25).
Matunda ya kwanza ya Utakatifu hupewa mtu
wakati wa Ubatizo kutoka Warumi 8:23 inayosema kuwa mabadiliko hutokea tuu baada ya mwili Kutakaswa.
Hivyo basi tumezatiwa upwa na tunazidi kutembea katika Yesu Kristo hadi tunapoingia katika utukufu wa bwana. Roho Mtakatifu ni roho wa Kweli (1Yohana 4:6,5:6) kwa kunena ukweli tunakuwa katika Kristo (Waefeso 4:15) Roho mtakatifu ni Roho ya Mungu (Warumi 8:14) na Roho ya Imani (2Wakorintho 4:13) inayotafuta vitu vyote na kutambua vyote (1Wakorintho 2:10-11; 12:3ff.).
Roho Mtakatifu sio tofauti na mUngu lakini kilichokuwa elohim. Roho inamwezesha Mungu kutuelewa kupitia Yesu Kristo kama daraja elohim. Au Theos (Zaburi 45:6-7; Wahibrania 1:8-9) inamwezesha Kristo kutifunza amani ya Bwana na kutumia nguvu zake. Roho uwapa watu nafsi ya Mungu ambao Mungu na amri juu ya Mwili yetu 1 Wakorintho 12:7-11.
Roho inaweza tulizwa (1Wathesalonika 5:19) kwa kuisahau, kuihusunisha (Waefeso 4:30) kadhalika kukubali kupoteza au kupata kwa watu binafsi.
Matunda ya Roho Mtakatifu ni Upendo Wagalatia 5:22. Hivyo basi tusipopendana basi Roho Mtakatifu haionekani.
Roho ndiyo njia tunayoabudu Mungu kama inavyoelezewa kwenye Wafilipi 3:3. Hivyo basi siyo Mungu kama chombo cha kuabudu bali usawa na mUngu Baba.Ndiyo nguvu za Kristo na basi Baba wa Milele (Isaya 9:6) ambako kuna wengi baba Mbinguni na hata Ulimwengu (Waefeso 3:15). Kristo alikuwa Baba wa Milele kwa uchanguzi.
Mababa wote na mafamilia zote zimepewa majina mdiposa tunainama mbele ya Mungu tukiabudu (Waefeso 3:14-15).
Kristo alikuwa mwana wa kwanza na wakipeke kwa viumbe. Kwake yeyer viumbe vyote waliumbwa mbinguni na duniani za kuonekana na zisicoonekana. Viumbe vyote viliumbwa kupitia kwake na aliumbiwa (Wakolosai 1:16-17). Lakini ilikuwa mUngu ambao alimfanya na aliyeruhusu vitu kuumbwa na kuwacha Kwa Kristo.Sasa Kristo sio Mungu kwa ulewano huu, Mungu baba ni Mungu nay eye binafsi (1Timotheo 6:16) kudumu kwa milele.
Mungu kwenye Bibilia ni Mungu na Baba wa Kristo (Warumi 15:6; 2 Wakorintho 1:3; 11:31; Waefeso 1:3,17; Wakolosai 1:3; Wahibrania 1:1ff; 1Petro 1:3; 2Yohana 3; Ufunuo 1:1,6; 15:3). Kristo ana pata uwezo wake kwa Amri wa Mungu Baba (Yohana 10:17-18).
Kristo ni mfano wa Mungu, ambaye ni Baba (Mathayo 21:31; 26:39; Mariko 14:36; Yohana 3:16; 4:34). Mungu alimtoa krosto Mteule na Mungu ni Mkuu wa Kristo (Yohana 14:28) na Mkuu wa wote (Yohana 10:29). Mungu alimtuma mwanawe wa kupeke (monogene) duniani Mungu akiwa ili ulimwengu kuishi kumpitia (1Yohana 4:9). Ni Mungu ambao anamtukuza na kumwogopa Kristo (Yohana 8:54), Mungu kuwa Mkuu wa Kristo (Yohana 14:28).
Mungu ni mwamba (sur) Jiwe katika Milima ambao kila mawe utoka Yoshua 5:2 inayo tumiwa kutohara wana Israeli, mara na vizuri (Kumbu 32:4)[maimonedes Guide of the Perplexed, Univ. Of Chicago Pree, 1965, Ch. 16, pp. 42ff.]. Mungu ndiye Mwamba wa Israeli mwamba wa wokovu (Kumbu 35:15), Mwamba iliyowaza (Kumbu 32:18,28-31). 1Samuel 2:2 inaonyesha Mungu wetu nndiye Mwamba la kudumu (Isaya 26:4). Ni kutoka kwa huu mwamba ndiye mengine imetokea na wafuasi wa Abrahamu kwa imani (Isaya 51:1-2). Messia ni sehemu ya huo Mwamba (Danieli 2:34,45) na kuchukua Ulimwengu. Mungu ndiye Mwamba na ni msingi ambao uliwekwa chini ambayo Kristo anajenga kanisa lake (Mathayo 16:18) na ndipo anapumzika. Mesia ambao ni Jiwe la pembeni la hekalu la Bwana, ambao waliochanguliwa ndiyo wata Naos au Mtakatifu patakatifu, pahali pa Roho Mtakatifu. Jiwe la Hekalu limekatwa kutoka kwa Mwamba ambayo ni Mungu, kama Kristo, na kupeana Kristo, Mwamba la Roho (1Wakorintho 10:4) Mwamba la wenye dhambi na jiwe la kupona (Warumi 9:33) Nayo kutoka Kwa Hekalu.
Kristo anajenga Hekalu ili Bwana awe kwa yote (Waefeso 4:6). Mungu aliwapa Kristo kuwa yote na ndani ya yote (panta kai en pasin Wakolosai 3:11) kuweka mambo yote jina ya miguu yake (1Wakorintho 15:27) na kumfanya kuwa mkuu wa vitu vyote na kanisa ambayo ni mwili wake, nafsi yake ambao ujaza yote kwa ndani ya yote (Waefeso 1:22-13). Wakati Mungu anaweka vitu vyote chini ya Kristo kunaonyesa kuwa Mungu ni moja ambayo uweka vitu chini ya miguu ya Kristo (1Wakorintho 15:27).
Kama Kristo yuko juu ya kila kitu, Je
Kristo atakuwa kubali kuwa chini ya Mungu ambayo ameweka vitu chini ya Kristo
hili Mungu hiwe kwa kila kitu na ndani ya yote (panta en pasin 1 Wakorintho 15:28 sio vile RSV) Hivyo basi kuwaka
Kristo na Mungu pamoja kwa Utatu katika hali hii inatofautiana na mandiko.
Kristo ataketi kwa mkono wa kiume wa Mungu kama vile hata agizwa na Mungu.
(Wahibrania 1:3,13; 8:1; 10:12; 12:2; 1Petro 3:22) na kuketin na Mungu kwa kiti
chake cha enzi kama ule ambayo amechanguliwa wataketi pamoja kwa kiti cha enzi
na Kristo (Ufunuo 3:21) ambayo ni Kiti
cha enzi cha Mungu. (Zaburi 45:6-7; Wahibrania 1:8) au Mungu ni enzi lako kukalimiwa Enzi
lako o Mungu (Tazama RSV).
Mungu anayetuma ni Mkuu kuliko anayetumwa (Yohana 13:16) Mtumwa hawi mkuu wa bwanawake.
Ni makosa kusema kuwa mtu anaweza kujifanya dhabihu yake binafsi. Kitendo hilo ni asili kujinyonga aua kati wa Trinitarianism, kujiaribu. Hivyo basi funzo cha dini inakatakufufuka sana (Wakorintho 15).
Tofauti ya kusulubiwa na kufufuka ni lazima na bora. Kufufuka ni tafsiri ya dhabihu la sivyo hakuna wokovu na hakuna mafuno ya kuendelea. Kujianda wa Kristo kusulubiwa kwa Mungu na Mungu wetu, ambayo ni Baba yetu (Yohana 20:17), ilikuwa kweli na hakika. Kristo alipata kuwa mungu na kupata utukufu wa Mungu kichwa kupitia Roho Mtakatifu. Hili funzo ya mwana kutoka batiso hiwe kweli na bora.
Hata hivyo kuna Mungu moja mkweli Eloah na mengine Elohim zina kuwa kwa mapensi lake na heshima kwa jukumu lake. Nguvu zote na Enzi na uwepo zote ya mbinguni na ulimwengu zitaletwa kwa ulinzi wa Yesu Kristo na kwa amri ya nafsi yake, ambao ni Mungu Mkuu wa Juu na chombo cha kuabudu.
Hakuna haja ya kutofautisha kuadubu kwenu na matendo yenu kama Sabato na suku zingine Takatifu kama Pasaka. Kama kanisa au lingine kwa sababu huo, chukueni Trinitarian au njia ya kukutana na Mungu na kuogopa Utukufu wa Mungu Mkuu ambayo ni Mungu Baba, lime chukuliwa na kakufa rohoni. Wakati itkapo fika muda ya kujua kuwa inafaa kuwa uongo, laini yako ni udongo utakuwa ukilinda siku zako na utakuwa ukafa rohoni. Huta kuwa umefuta laini nyuma peke yako.
Tuliitwa kuabudu Mungu Mkuu kupitia dhabihu wa mwanawake Yesu Kristo. Sabato na Pasaka ni ishara ya kuabudu. Sio mambo ya kuamulia imani yako. Mungu peke ndio kati ya nafsi yako. Mwabudu.
Watrinitariana waliwazia juu ya Mungu watatu kutumia Stoic hypostases na platonic ousia kumanisha Uhai wa Nafsi.
Maana hypostases kiliunganizwa katika Kanisa la Katholiki na funzo lake kutoa Anathemas wa baraza wa Chalcedon na Constantinople II. Mfano huo ilikuwa ya Monarchia na Circumincession. Kusema kuwa Mungu kichwa ni utata lakini sio tofauti ilikuwa zamani tamko la Monarchia na Circumincession. Philosophical yake kilisuhuliwa kutoa Kingeresa lake. Kutumia wa hypostases na Ousia kama tamko inaonekana kuwamba kime ficha upatanisho. Mungu kichwa kime chukuliwa na Trinitarians kuwa Tatu hypostases kua moja ousia kutumia Stoic na Platonic kwa utata.
Watrinitaria wengine wamekana kuwa Mungu ninafsi na hata kujaribu kushawishi ukweli waona hata kusema kuwa swala lote ni kitendawili. Swala hili linapinga uwepo wa nafsi na Mungu na kusema Mungu ni ulimwengu na (moyo). Wamekana uwepo wa mwana wa Mungu na uwepo wake ni maneno tuu.ambao uleti wokovu wa kweli. Kwa njia lingine, ni ukweli wa mwana kuwa juu, alafu mafunzo ya Amri ya Kwanza.
Hamtakuwa na elohim mwingine kabla yangu.
Kwa utatu ni YHVH Eloheik (YHVH Elohim) anaetambuliwa kwenye Zaburi 45:7-8 kama Elohim ambao umechanguliwa kama Elohi wa Israeli. kwa kuchambua elohim, moja wa baraza (Zaburi 89:7), kwa kiwango cha Eloah, Mungu Baba, tunavunja amri ya Kwanza.Hii ndio dhambi wa Shetani ya kutaka kuwa El wa baraza wa Elohim(Ezekieli 28:2).
Funzo la Utatu kukaa kwenye haki ya uongo aliyefanywa paradigm haya ni:
Elohim
kama mUngu kichwa inashiria viumbe wawili na kutotafautisha Eloah na miungu
wengine pamoja na baraza na mkuu.
a) Haya ni majina mawili (na Roho Mtakatifu) ambayo
hayawezi kutengwa au fikira na sio mambo kimeelezwa na nafsi.
b) Preincarnate wa kukuwa wa Kristo haulinganishwi na
wa malaika wa YHVH.
c) Kuwa Kristo ndiyo alikuwa Mwana wa kipeke wa Mungu
hata kabla ya viumbe (Ayubu 1:6; 38:7).
d) Kuwa Kristo na Shetani walikuwa tuu wawili ambao ni
Nyota za Asubuhi (Ayubu 38:7; Isaya 14:12; Ufunuo 2:28; 22:16).
e) Kuwa Kristo ni Mungu vile Mungu ni Mungu hakuna Mungu wa upande (Wahibrania 1:9) aliyetumwa na Bwana Mkuu (Zekaria 2:10-11). Hivyo basi kufanywa nyombo cha kuabudu na kinyume na (Kutoka 34:14 na Mathayo 4:10 nk).
f) Kristo ni mwana wakipekee na kutolewa bali si mwana wa kipekee na Mungu aliyezaliwa na Mwana (monogenes theos&uion) (Yohana 1:18; 3:16; 1Yohana 4:9; tena Luka 7:12; 8:42; 9:38; Wahibrania 11:17 wa uliganisho) Hapa ndio wa kwanza kuzaliwa (prototokos) wa kila viumbe (Wakolosai 1:15) na hapa ndipo mwanzo wa umbo la Mungu (Ufunuo 3:14 sio kama NIV).
g) Kuwa Kristo aliishi kando na uwepo wake wa pili na hivyo basi alikuwa na uwezo wa kujiumbea kama Mungu. Jambo hili lia utata huhusu tofauti ya Baba na Mwana na kina cha fufuo .Ni ya kinyume na Ukristo (1Yohana 2:22; 4:3; 2Yohana 7).
h) Kwamba Kristo na Mungu ni wa kitu Moja na kwamba Kristo hakuwa na nafsi tofaut. amba ni kama ya Mungu kupitia kuitaji na heshima kinyume na Mathayo 21:31;26:39; Mariko 14:36 na Yohana 3:16; 4:34.
i) Nafsi ya Utakatifu wa matokeo na sio kupotea kwa Kristo. Swala hili lingekanusha kufufuka kwa watakatifu kama inavyo andikwa kwenye 1Wakorintho 15, na kwa ahadi ya Bibilia kwa wateule. Utatu kutafuta kuwa haki ya nafsi kupewa kwa wateule kwa njia ambao twangawanya na Kristo.
j) Kuwa Roha Mtakatifu upewa na kipimo kando na Yohana 3:34 (RSV) na Warumi 12:6.
k) Kwamba Kristo hakufanya Dhambi (Kutoka
kwa funzo ya haki na nafsi ya kutoa bila faida na kupotesa bila wa Omniscience
wa Mungu, ambao alijua kuwa Kristo hata fanya dhambi).
l) Kristo alikuwa sawa na Mungu na kugawa naye kawaida na kuwa wamilele na Mungu kinyume na Wafilipi 2:6 na 1Timotheo 3:16 ambao inaonyesa kuwa ni Mungu peke ambao ni wa kudumu. Maisha ya undani wa Kristo au aioonion (1Yohana 1:2) na viumbe vyote, hata Kristo zinatoka kwa aliyedumu. Kristo na wateule wote ni wa chanzo Moja Wahibrania 2:11 (RSV) kuendeza maish yao na kudumu kutokea sheria ya kuheshimu Mungu (Yohana 5:19-30) aliye umba yote (Malachi 2:10-15). Kwa vile Mungu ana maisha ndani yake, alitowa mwanawake ili kawe na maisha yake (Yohana 5:26), na sisi ni warithi na kutengwa kuwa na Miasha nafsi yetu kupitia amri ya Mungu.
m) Kwamba wateule sio wana wa Mungu kama vile Kristo ni mwana wa Mungu na hivyo basi warithi kinyume na Warumi 8:17; Wagalatia 3:29; Tito 3:7; Wahibrania 1:14; 6:17; 11:9; Yakobo 2:5 na 1Petro 3:7.
n) Kwamba Mungu mkuu alishuka chini kwa mwili na kuishi ka wanadamu. (Upotevu wa kugha kutoka kwa 1Timotheo 3:16 kwa Codex A. Na kutengeswa kwa lugha ulifanywa na KJV na kuchanganywa nkwa NIV). Lugha ya Mungu Mkuu kushuka kwa mwili ni kinyume na Yohana 1:18 (na Yohana 1:14 ambako alikuwa logos (au Memra) aliyekuwa kimwili) na nakala nyingi zinazoweka Kristo mbali na Mungu (Eloah au Theon ambao ni Mungu Baba), Mungu wa Yesu Kristo (Yohana 17:3,20:17; 1Wokorintho 8:6; 2Wakorintho 1:3) ambao alikuwa kwa jina lake (Mika 5:5).
Ulewano wa Mungu kuwa mmoja umewatatanisha wa Trinitarian Shema (Kumbu 6:4) inazungumzia kwa undani sana. (Tazama nakala Joshua, the Messiah, the Son of God (No. 134)). Utata wa Kumbu kumbu la torati 6:5 inatambua Mungu aliyejuu, Mungu aliyemteua Kristo kama Elohi wa Israeli katika Zaburi 45:7. Umoja wa Mungu, utakikana kwa Monotheism, ni wa kuendelea na kudumu wa umoja chini ya kati wa ulewano na kulewana kwa Roho Mtakatifu na Nguvu wa Mungu (1Wakorintho 2:4-14) ambao kupitia Kristo kuelekea Mungu (2Korintho 3:3-4).
Utatu hii inakana uwepo wa Mungu. Moja na kuangazia miungu, haya yanafanyika kwa kiongozi haelewi kutokua na imani anu Roho mtakatifu (2Wakorintho 2:8,14).
Maswali kwa Trinitarians
Kama Mungu ni nafsi moja ndani ya tatu hypostases, au watu, kama Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ilikuwaje haya kutendeka kama ilivyo kwenye maeleso ya Bibilia?
· Kwa Yesu Kristo kupata Ufunuo kutoka kwa Mungu?
Ufunuo 1:1
inasema hii ndiyo Ufunuo huu ndiyo Mungu
alimpa Yesu Kristo iliwatumushi wake waelewe badhi ya mambo yatakayofanyika kwa
ufupi. Nakumtuma malaika kwa mtumishi wake Yohana.
· Kwa kristo kuketi kwenye kiti cha Baba yake?
(Ufunuo 3:21) kwake,
yeyote aliyenauwezo nitamkubalia kuka name kwenye kiti change. Nilikwa na uwezo
na nikaketi na Baba yangu.
· Kichwa cha kristu kuwa Mungu?
(Wakorintho
11:3) Nataka muelewe, kichwa cha mwanadamu ni kristo na cha bibi ni bwana na
kichwa cha kristo ni mungu.
· Kristo kulia?
(kama alivyo
Math 27:47, Mk 15:34): Mungu wangu, mungu wangu, kwanini umeniacha.
· Krito kupaa kulingana na Yohana 20:17?
Yesu
alimwambia usijinginize kwangu kwani sijapaa kwa Baba na enda kwa mandugu zangu
na uwambie nipaa kwa Baba yangu na Baba yenu na Kwa Mungu Wangu na Wako.
· Kwa mioyo za Mungu Kwa Mungu?
Johana 10:34-36 Yesu
akawajibu, haijandikwa kwa sheria zenu, nilisema nyinyi ni Miungu? Kama
anawaita miungu ambayo Maneno la Mungu ilitpkea- na mandiko usema hawezi ku
vunjwa-kwa nini yule ambayo Mungu alitawanya kama wake na kutuma kwa dunia kama
yeye ni Mungu na hakuna wengine?
Mandiko hayawezi kuvunjwa limeangizwa kwa sisi ni Elohim na mwisho wetu hauwezi ukavunjwa. Inawezekanaje kristo kuwekwa kando ya mungu na kutumwa duniani kama hakuna wengine?
·
Kristo
kuumbwa na Baba?
Kwake kuwa mwanzo (arche-si rula wan iv) kwa
viumbe wa Mungu (Ufunuo 3:14) sura ya Mungu asiyeonekana (Col 1:15).
Watrinitaria walijaribu kusema kuwa arche na
protokos ni mfumo kutoroka malizo wa wazi kuteremka kutoka kwa hiki kifungo
kulinganiswa na timothy 16:16 ambayo huonyesha kuwa Mungu ni wa milele.
·
Kwa
wa kipekee?
(Jn 3:16) kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu
na kumtoa mwanawe wa kipekee.
·
Kwa
Baba pekee kuwa kila mahali?
(Wafeso 4:6) Mungu na Baba wa wote walio
juu na chini.
Nakala inakanusha kuwa Baba ni mwana na Mwana
ni Baba pekee. Hiki inaungua kwa msemaji.
Yesu ni mwana wa Mungu (Mk. 5:7) mungu na
Baba wake ni nani (Col 1:3; 1Thes 3:11) ikilafeutiswa Baba na Mungu wetu (2Thes
2:16). Alisema Mungu ni Babake na kujilinganisha nae kama ilivyo semwa na
wafarisi katika joana 5:18. Kwa hivyo mahoni wa wanatrinitari ni sawa na uhongo
kama kristo ali ali agizwa nazo. Hiki iko vipi?
·
Kama
kuna nafsi tatu, roho saha zitakuaje (ufuno 5:6)? Macho saba hizi kwa pembe
saba za kondoo ni tofauti na kristo kama mwana kundoo si saba kugawanya vikundi
au mamlaka alituma nje kwa maagizo Wa kristo kama vile mwana kondoo anatawala
ulimwengu.
·
Kiumbe
kinawezaje kujitoa sadaka?
(1Pet. 1:19) Lakini kwa damu muhimu wa yesu kristo, kua mwana kondoo ambayeana hatia
na ambaye ana alama… ambaye kutupitia kwake ana amini Mungu, ambaye alimfufua
na kumpea mamalaka, kwa hivyo imano yako na tegemeo iko kwa Mungu. Warumi 5:15
sema kama kwa makosa ya mwanaume mmoja watu wengi wali kufa, kwa kwingi umihimu
wa Mungu na Zawadi wa umuhimu wa waman mme mmoja Yesu kristo ana mwingi wa
watu. Imani yetu na matarajioiko kwa Mungu, si kwa kristo, lakini kupitia
kristo kupita roho ambaye ni roho wa imani na ukweli.
·
Inawezekanaje mtu kujiumbea au kujiba kitu? Kwa
mfano
(Lk 11:13)… ni nini zaidi ambayo baba wa
binguni anapeana roho mtakatifu kwa wale wanaouliza.
(Jn 17:4)… nimemaliza kazi uliyonipa.
(Jn 17:9) nawaomba, siombei ulimwengu
lakini kua wale ulionopa kwani ni wako.
(1Jn 5:10) kwa sababu hana imani kwa
injili ambayo Mungu atoa mwanawe.
·
Mtu
anaeza kuwamkubwa kumliko vipi?
(Jn 14:28) Mlikwisha sikia nikiwaambieni.
Ninakwenda zangu, kasha nita tena kwenu. Kama mngalipenda, mngalifurahia
kwasababu nina kwenda kwa Baba maana yeye ni mkuu zaidi kuliko mimi.
·
Kiumbe
kilagawanyaje kama inavyojijua?
(Mat 24: 36) hakuna anaejua siku wala saa
sa hata malaika wa binguni lakini baba yangu.
(Ufunuo 1:1) ufunou wa kristo ni ishara ya
kitu kita kacho fanyika punde baadaye.
·
Kiumbe
kinawezaje kujitekesa?
(1Tim 2:5) kuna mungu moja na mpatanishi
kati ya Mungu na mwanadamu ambaye ni yesu kristo.
(Wagalatia 3:20) Mpatanishi hapatanishi
mungu mmoja bali ni mmoja.
(1Jn 2:1)… tuna wakili ambayo ni yesu
kristo.
(1Jn 2:22) Anaemkana Yesu kristo basi
anamkana Mungu baba.
·
Mwili
utajifanyaje kuwa mfano wake?
(Jn 10:18)…Amri hii nimepewa na baba
yangu.
·
Unawezekanaje
mtu kukana itikadi zake?
(Jn 7:16) itikadi yangu si yangu ni
ya aliyeituma.
·
Mtu
atatafautina vipi na mtu wake na ni kipande cha kristo ambaye ni Mungu?
(Mat 7:21) Si wote wanaoniita bwana bwana
wata weza kuuona ufalme wangu ila wanofanya mapenzi ya Baba yangu.
(Mat 12: 50) Anaefanya mapenzi ya baba ni
kaka na dada na mama yangu.
(Mat 26:39) Baba, ikiwezekana nipitishie
kikombe sie kama ninavyotakawalakini kwa mapenzi yako.
(Mk 3:35) Mtu yeyote anayefanya anayotaka
Mungu, huyo ndiye kaka yangu, dada yangu na mama yangu.
(Jn 4:34) Chakula changu nikitimiza ya aliyenituma kumaliza kazi yake.
(1Wathesalonika 5:18) Toa shukrani kwa
kila kitu kwani ndiyo mapenzi ya Mungu.
·
Inawezekanaje
mfano wa binadamu kugawanywa sawa kwa mfumo nab ado inakuwa mwelekeo wa nguzo,
ka mwili wa yesu kristo bili ladha ya kuwa mfumo wa mwili?
·
Mtu
anawezaje kujiabudu kama hanaugonjwa wa kimawazo?
Mungu ndiye wa wa kuabudiwa ilivyo kwenye
Isaya na kurejelewa na kristo kwenye mathayo 15:10.wali niabudu kwa uchngu;
mafundiso wako lakini ni sheria inayo fundishwa na wanaume.
(Lk 4:8) Kaa nyuama yangu shetani kwani
imeandikwa, utamwabudu Mungu baba na kumtumikia.
(Jn 4:21-23) …Abudu baba. Unabudu
usichojua. Junaelewa tunachoabudu. Wakati unakuja na umefika ambapo waumini wa
kweli wataabudu baba kwa roho na kwa ukweli; kua baba inawaitaji waombaji kama
hao kumuabudu.
(Eph 3:14-15) Kwa sababu hii namwinamia
baba wa wokovu wetu yesu kristo, kupitia kwake familia yote wa binguni na
ulimwengu umepewa jina.
·
Inawezekanaje
kiumbe kilichokila mahali kuja na kujiendea?
(Jn 14:28) Unaesikia nikikuambia, naenda
zana na nitarudi kwako. Kama unanipenda, utafurahia kwani naenda kwa baba, kwa
baba yangu ni mkuu kwa mimi.
(Jn 16:27-28) …ninaamini nilitoka kwa
mungu. Nilitoka kwa mungu… nawaacha ulimwengu naenda kwa baba.
·
Vilevile
atakwaje mkubwa kujiliko? Au inawezaonekanaje nakuna kuwa kila mtu ameiona?
(Jn 6:46) Hakuna ambaye amewahi kumwona
baba ila anaotoka kwa mungu.
(Jn 5:37) Baba aliyenituma, amenena juu
yangu. Haujasikia sauti yake wala kumwona.
·
Mungu
anawezaje kuwa bila umbo?
·
Kiumbe
nawezaje kujisikiza na kwa nguzo wa maombi yake?
(Jn 11:41-42)…nakusukuru Baba kwa kuwa
wewe wanisikiza. Najua kwamba wanisikiliza daima. Kwa ajili ya watu hawa
wailopo hapa ili wapate kuamini kwamba wewe ndiye uliyenituma.
·
Kwa njia gani binadamu inakuwa bila
nguvu angalau inajisimamia?
(Yohana 5:19...Kwa kweli, nawambia, Mwana awezi kufanya chochote peke yake,
lakini alichoona Baba akifanya, kwa sababu chochote anacho tenda Mwana pia
utenda. Kwa njia gani anaweza kufanya mapensi lake.
·
Kiumbe
kiswicho na nguvu kitajisimamiaje?
(Jn 12:49-50) Mimi sikunena kwa mamlaka
yangu mwenyewe, ila Baba aliyeni tuma ndiye aliyeniamuru nisemenini na niongee
nini. Nami najua kuwa amri yake huleta huzima wa milele. Basi, mimi nasema tu
yule Baba aliyoniagiza niyaseme.
·
Kiumbe
chenye uwezo kitalezaje uajibikaji wake?
(1Cor 15:28) mambo yote yakiwekwa chini ya
sheria basi mwana pia atakuwa chini ya baba aliyeziweka sheria.
(1Cor 15:24). Alafu ikaaja wakati wa
mwisho, ambaye atamkabidhi ufalme kwa mungu baba, wakati ataweka mwisho wa
mamlaka na nguvu.
·
Kiumbe
kinaweza kujipa nguvu?
(Jn 5:30) Siwezi kufanya lolote.
Ninavyosikia naamua na uamuzi wangu ni haki kwani natumia busara Baba yangu
anayenituma.
(Jn 5:19)…kweli nawambieni, mwana hawezi
kufanya kitu peke yake; anaweza tu kufanya kile anachomwona Baba akifanya.
Maana kile anachofanya Baba, mwana hukinya vile.
·
Kristo
anawezaje kumiliki ufalme wa Mungu ikiwa yeye na Baba ni kitu kimoja?
(Mat 26:29) Nawambieni, sitakunywa divai
tena hadi kwa baba kwenye nitkunywa divia mpya.
(Mk 10:15) Nawambieni asiyempokea ufalme wa bwana angali motto hataweza kwa
njia yeyote.
(Lk 12:32) Msiongope nyinyi wachache kwani
kwani Baba ana penda kuwapa nyinyi ushindi.
·
Inawekanaje
kiumbe ambaye ufanana na kristo kuwa kristo kama kristo tayari ni mungu kuwa na
mamlaka ya Mungu kuta uko? Kuna nina hapo kuridhi?
(Lk 22:29-30) Na, kama vile Babayangu
alivyonikabidhi ufalme, vivyo hivyo nami nitawakabidhi ninyi Ufalme. Mtakula na
kunywa mezani pangu katika Ufalme wangu, na mataketi katika viti vya enzi
kuyahukumu makabila kumi na mawili ya Israeli.
·
Wateule
watakuaje waridhi na kristo kama kristo tayari ni Mungu?
(Rom. 8:17)…ni watoto wa Mungu, tutapokea
baraka zote za Mungu, natuta shiriki pamoja na kristo…
·
Mtu
anawezaje kuwakana wengine kwake?
(Mat 10:32-33) Kila mtu anayekiri
hadharani kwamba yeye ni wangu, mimi pia nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye
mbinguni. Lakini yeyote atakayenikana hadharani, nami nitamkana mbele ya Baba
yangu aliye mbinguni.
·
Kiumbe
kitawezaje kujikana au kujipenda kama kwa kifikira?
Yohana 15:23 Snasema anaenichukia anamchukia
baba yangu, si kwasababu ni mmoja kama vile tunavyoona katika Yohana 5:20: kwa
kuwa Baba alipenda mwanawe, nakumoenysha vitu vyote ambayo yeye mwenyeweufanya;
na atmounyesha kazi kuu kuliko hizi, ili ufanikiwe. Kupewa hii mwadui
inawezaje kuonyeswa vitu na uhadui yake? Itakwaje basi, kupewa juu (na Rev
1:1), yesu anaweza kua mwadui?
Mungu ni
Roho. Yohana 4:24 inasema mungu ni Roho. Wanomwabudu wapaswa hivyo kiroho na
kwa ukweli. Kusema mungu ni roho haikubaliani na tafsiri ya nakala na jinsi
anavyotumika wani –Nicene wathiologia au wabadilisaji. Hiki maneno ni kueleza
kutosimamia maoni kweli ya Mungu. Mungu basi inaelezwa kuwa. Hiki kina pita
watrinitari kuwa theologia.
Mungu ana
jamii kutoka wafeso 3:14-16 kwa maana jinsi hii nampiga magoti chini baba mungu
ambayo jamii zote zimeandikwa binguni.
Watrinitari
wafanisha na kujaribu kusema kristo na Mungu ni kitu kimoja hata zaidi kuwa
kristo ni Mungu, johana 1:1 inayosema mwanzo kulikuwa neno na neno ilikuwa na
mungu (theon) na neno lilikuwa (a ou yetu) Mungu (theos).
Tazama
yohana 2:19 inayosema kristu ni Mungu. Bomoa hekalu hii na kwa masiku tatu
nitaiamsha tena.
Changamoto
la swali hili linapatikana kwenye Yohana 10:18 ambapo kristu anazungumuzia
maisha yake,
Hakuna atakalichukua kutoka kwangu bali ninao
uwezo wa kuichukua kwani amri hii nilipata kutoka kwa baba.
Hakuna pingamizi kuwa kristo ni mtumishi mtiifu na mwaminifu wa Mungu. Ni kaka na mridhi mwenza kwenye ufalme wa Mungu. Walakini hatumwabudu au hata ishara yake au sanamu. Kwa amri hii tunawabudu Mung
q