Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[044]
Dahadhari ya Siku za Mmwisho
(Toleo la 2.0 19940730-19990724-20070602)
Mungu hataangamiza watu wake hadi Atakapo kuwa amewadahadhari mwanzo. Onyo hili linatelekezwa na watumishi wake ambao ni manabii. Onyo la siku za mwisho linatekelezwa kwa mpangilio ambao umewekwa kwa njia ya kipekee katika unabii. Mchakato huu wote umechunguzwa.
Christian
Churches of God
Barua pepe: secretary@ccg.org
(Hatimiliki ã 1994, 1998, 1999, 2007 Wade Cox)
(tr. 2012)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakaotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Inabidi Mungu hataangamiza watu wake ila wamejua makosa manaofanya. Hivyo inaitajika kuwadahadhrisha dhidhi ya adhari zinazowakabili. Mungu ameamua kufanya hili kupitia kwa watumishi wake Manibii.
Amos 3:7 Hakika
Bwana MUNGU hatafanya neno lo lote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii
siri yake. (Bilblia Takatifu BT)
Wakati mwingine onyo huwa kwa wakati mfupi kama hile ya nabii Yona, onyo ilikuwa zaidi ya siku tatu walakini kipindi kilijotolewa juu ya Nineva kutubu kilikuwa siku arobaini, na wakatubu. Mchakato wote wa Unabii huu na umuhimu wa ishara ya Yona vimetolewa katika masomo haya Ishara ya Yona na Historia ya Ujenzi mpya wa Hekalu [013] [The Sign of Jonah and The History of the Reconstruction of the Temple (No. 13)] Pengine mchakato huu ulikuwa kwa kipindi kirefu kwa uvumilivu na kwa maumuvi mengi inavyotajua katika
Nehemia 9:30 Lakini miaka mingi ukachukuliana nao, nawe ukawashuhudia kwa roho yako kwa vinywa vya manabii wako; wao wasitake kusikiliza; kwa hiyo ukawatia katika mikono ya watu wa nchi. (Biblia Takatifu BT)
Mungu hataanzisha mchakato wa siku za mwisho hadi atakuwa amedahadhari mataifa usika. Pengine hii ni kuwafanya mataifa usika kuelewa maana ya unabii uliotolewa kitambo na ambao hujafahamika hadi leo hii.
Jukumu la ushauri haliwa kwa Mungu kudhihirika kwa maono kwa watumishi wake tu. Bali ni kwa sababu hii ambapo wateule walifanywa watunzi wa siri za Mungu (1 Wakorinto 4:1-2) Yeye ufunua dhamiri ya unabii kwao kupitia kwa Roho Mtakatifu tunavyoona hapo juu.
Mchakato wa kushahuri ulifunuliwa kwa watumishi wake katika mafungu ya Ezekiel sura ya 3 na msitari wa 33. Ezekiel alitumwa kwa nyumba ya Israel. Kwa kweli alitumwa pale kuna mto wa Khabori (Ezekiel 3:15) ambao utofautiana na kebari (Chebar) katika 1:3 pale ambapo alifunua maono. Alitumwa
katika kijito cha Yuphirati kadili mahili 45 kutoka Babuloni kutokana na makala haya inaweza kuaminika kwamba alitumwa kwa nyumba ya Israel iliyokuwa kati ya wababuloni wakati wa utumwa. Hii ni dai la wayuda wa leo. Ingawaje, jukumu la Ezekiel lilikuwa kwa nyumba yote ya Israel na bila shaka kitabu cha Ezekiel Kinao dhalili za wakati wa mwisho kwa nyumba ya Israel, linalojumuhisha wateule wa mataifa yote walakini, zaidi sana wale Waisreli wa kimwili. Majukumu ya watumishi wa Mungu ni kuelewa mapenzi ya Mungu, ambao ni sheria, na matokeo yatokananayo na uvunjaji wa sheria za Mungu (taz Ezekiel 3:17-27).
Ezekiel 3:17-27 Mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi wa nyumba ya Israeli; basi, sikia neno hili litokalo
katika kinywa changu, ukawape maonyo haya yatokayo kwangu. 18 Nimwambiapo mtu mbaya, Hakika utakufa; wewe usimpe maonyo, wala husemi
na huyo mtu mbaya ili kumwonya, kusudi aache njia yake mbaya na kujiokoa roho
yake; mtu yule mbaya atakufa katika uovu wake; lakini damu yake nitaitaka
mkononi mwako. 19 Lakini
ukimwonya mtu mbaya, wala yeye hauachi ubaya wake, wala njia yake mbaya,
atakufa katika uovu wake; bali wewe umejiokoa roho yako. 20 Tena
mtu mwenye haki aiachapo haki yake, na kutenda
uovu, nami nikiweka kikwazo mbele yake, atakufa; kwa sababu hukumwonya, atakufa
katika uovu wake, wala matendo yake ya haki aliyoyatenda hayatakumbukwa; lakini
damu yake nitaitaka mkononi mwako. 21 Bali ukimwonya mwenye
haki, kwamba yule mwenye haki asitende dhambi, tena ikiwa yeye hatendi dhambi,
hakika ataishi, kwa sababu alikubali kuonywa; nawe umejiokoa roho yako. 22
Na mkono wa Bwana ulikuwako juu yangu huko; akaniambia, Ondoka,
enenda uwandani; nami nitasema nawe huko. 23 Basi,
nikaondoka, nikaenda uwandani, na tazama, utukufu wa Bwana
ulisimama huko, kama utukufu ule niliouona karibu na mto Kebari; nami
nikaanguka kifudifudi. 24 Ndipo roho ile ikaniingia,
ikanisimamisha kwa miguu yangu; akasema nami, akaniambia, Enenda
ukajifungie nyumbani mwako. 25 Lakini wewe, mwanadamu,
tazama, watakutia pingu, nao watakufunga kwazo, wala hutakwenda nje kati yao; 26
nami nitaufanya ulimi wako ugandamane na kaakaa lako, hata utakuwa
bubu, wala hutakuwa mwonyaji kwao; kwa kuwa wao ni nyumba yenye kuasi. 27 Lakini hapo nitakaposema nawe, nitafumbua kinywa
chako, nawe utawaambia, Bwana MUNGU asema hivi. Yeye asikiaye na asikie; naye
akataaye na akatae; maana wao ni nyumba yenye kuasi. (Biblia Takatifu BT)
Kuendelea kwa utaratibu wa kitabu cha
Ezekiel uanzia majukumu ya siku za mfumo
wa kibabuloni hadi kuangamishwa kwa mfumo wa ulimwengu mwishoni mwa kipindi
kijulikanacho kama wakati wa watu wa mataifa. Mpangilio huu utaendelea kufikia
wakati wa walinzi katika sura ya 33 kipindi kilicho
karibu sana kabla ya hayo ni kipindi kinachoelezewa na unabii kuhusu kuanguka
kwa misiri kipindi hiki ni mada ya masomo ya Kuanguka kwa Misri: Unabii wa
Mikono Iliyovunjika ya Farao [036] [The Fall of Egypt (No. 36) The Prophecy of Pharaoh's Broken Arms].
Masomo haya yanarejelewa katika fungu la Yeremia 4:15ff. Yeremia 4:15 inaayo maelezo yenye utata.
Yeremia 4:15-16 Maana sauti yatangaza habari toka Dani, yahubiri uovu toka vilima vya Efraimu; 16 Wapasheni mataifa habari; angalieni, hubirini juu ya Yerusalemu, ya kwamba walinzi wanatoka katika nchi ya mbali, wanatoa sauti yao juu ya miji ya Yuda.
Taarifa kwa maelezo ya Biblia ya oxford mpya yanataja juu ya hii na pia mafungu mengine mengi yanayofuata:
Taarifa kwa maelezo ya Biblia ya oxford mpya yanataja juu ya haya na pia mafungu mengine mengi yanayofuata:
Yeremia 4:13-18;
13-18: Upesi, kama tai na kama dhoruba, gari la vita na askari wapanda farasi wa adui watufikia. Wachnganuzi ufuatilia kauli hii kutoka kitabu cha Daniel (8.16), kupitia mulima Ephraim (katikati ya Palestina), Benjamini (6.1) hadi ngome ya Yuda.
19-12: Ingawa watu ni wapumbavu na wajahili (5.2-3), Nabii anaomboleza changa la ghafula ambalo limeangamiza nchi aipendayo; changa lililotokea sawa na kurarua hema/kitambaa (10.19-21).
23-28: Katika maono, nabii anaonyeshwa matokeo ya kuogofya ambayo ni ya hukumu wa Mungu usiobadilika (7.16; 15:1-4). Kana kwamba imepigwa na kilipusi kikubwa cha kiniuklia, ardhi imerejeshwa katika hali yake ya mwanzo: ambopo iko bure na tupu (Mwanzo 1.2).
29-31: Kama kahaba aliyekataliwa (3.2-3), kama mwanamke katika uchungu wa kuzaa, kama mhanga bila msaada mbele ya mwuaji, yerusalemu, binti zayuni, ananyoosha mikono yake katika ombi lisilo na matumaini hapo akivumilia maumivu makali ya kifo chake peke yake.
Marejeleo ya siraha za nuklia si za kusitukiwa kwa kuteleza kiuandishi wa kalamu.
Wajanganuzi wanafahamu kwamba Yerusalemu ilikuwa upweke wakati huu sababu Israel ilikuwa imeenda utumwa mwaka wa 722 BCE. Dani na Efrahimu zilitwaaliwa na watu wageni ambao hawangeweza na hawakuweza, kuchangia au kudahadhari Yuda juu ya lolote. Watu hawa walikuwa maaui wa Yuda na walipaki maadui wa Yuda baada ya uamisho wakati wa kukarabatiwa kwa hekalu iliyotajua katika Ezara, Nehemia, Haggai na Zakaria. Unabii huu unayo maana mbili katika matumishi.
Umuhimu wa kitabu cha Yeremia ni kuwa unasimulia usababishi wa kuharibiwa kwa Hekalu, ulio na dalili za wakati wa mwisho katika kuaribiwa kwa hekalu ambao ni wateule. Wateule hawataangamizwa hivyo, wametawanyika kwa mfano kule na kule, wengi wakiwa wameuawa. Hiki ndicho kitendo ambacho Ezekiel anaangazia kutoka sura ya 34 baada ya mchakato wa walinzi katika sura ya 33. Mlolongo huu utaweza kuonekana kutoka wakati wa mwisho wa watu wa mataifa, pamoja na anguko la mwisho la Misiri, kufikia kuunganishwa kwa utawala wa mashariki ya kati tunaoona sasa unaungana pamoja kuwa ndio uasili wa |Uislamu. Hao wamekusanyika kwa ajili ya kufunguliwa kwa malaika wakubwa wanne walio katika mto Yufirati (Uf. 9:15) kwa ajili ya vita vya siku za mwisho, ili kuwaua theruthi ya binadamu. Mchakato huu unaelezewa katika masomo haya Kuanguka kwa Misri: Unabii wa Mikono Iliyovunjika ya Farao [036] [The Fall of Egypt (No. 36) The Prophecy of Pharaoh's Broken Arms].
Masomo ya kisasa ya kidunia yanajitahidi kupungusa uwezo na upeo wa Unabii wa Kibiblia kwa kutenga matumishi yake kwa kurejelea utimilifu wa mashambulishi ya hawali ya Kibabuloni. Kijadi kuna hoja kwamba kabila la eneo la kazikazini la Dani ndio sehemu ingevamiwa baadaye Efraimu nakuendelea. Shida na mpango huu ni kwamba wakati Unabii uliandikwa makabila ya kazizini yalikuwa yameenda utumwa na walienda zaidi ya Arexes, na walipelekwa pale na Waashuri. Shalmanesa (724-721 BCE) walishinda makabila ya kazikazini katika mwaka wa 722 BCE na wakahamisha wakaaji kutoka Cutha, Babuloni Hamathi na maeneo mengine (kama vile Uamedi) (taz Interpreter’s Dictionary of the Bible, Vol. 4, p. 191). Shalmanesa waliwashinda Israel mwaka wa 722BCE.
Lakini uamisho mkubwa
ulifanyika chini ya Sargon II (McEvedy, The
Century World History Factfinder, 1984,
p. 20). Kabila la Dani na
Efraimu walikuwa wameenda wakati wa uvamizi wa Babuloni. Zaidi ya hayo, si
sahihi kusema kwamba maeneo ya Dani na Efraimu
yalitwaaliwa na Waisraeli, la asha. Kulingana na
Msamaria ni kwamba walipewa makaazi mwaka wa 722 BCE lakini wao kama Waisrael
halali walirejeshwa baada ya miaka 55 ambapo ni, mwaka wa 667 BCE.
Wasamaria kisha walidai kuwa wao ni uzao wa Waisraeli asili pale wakichanganyika na makabila yaliokuwa pale kama machakato wa kimakusudi wa kisiasa wa kupewa makazi upya. Wasamaria wanadai kuwa wakilisi halali, kwa kutafsiri mafungu ya Kumbukumbu la torali 12:5 kufanya ionekane kuwa Mungu amechagua mulima Gezirimu na kubadilisha Kumbukumbu la torati 27:4 kwa laana kutoka mlima Ebali na baraka kutoka mlima Gerizimu. Maandiko ya Wasamaria ya Amri kumi uingia kama fungu asili na hili ni unganisho kutoka Kumbukumbu la Torali 27:2-8 na 11:30 ili kuonyesha kuwa kafara itatekelezwa kwenye huo mlima. Hapo mtazamo wa Wasamaria ni kwamba wao walirejeshwa mwaka wa 667 BCE na walikuwa katika shughuli za Israel kwa wakati huo. Wayaudi wana mtazamo kuwa dhahiri wao hawakuwa Waisraeli na wala si Waisraeli. Kwa hizi njia mbili Yuda hawana yeyote. Labda Waisraeli hawakuwa pale nalo tamko la unabii ni la siku za mwisho au walikuwa pale na Wasamaria ni Waisraeli kwa njia ya baraka za kweli.
Hakuna ushahidi kuwa Wasamaria walirithi baraka za Efraimu na Manase. Kwa kweli, matendo ya Kristo unena sana kwa hilo na hakuwatambua kama Waisraeli. Zaidi sana, Kutafsiriwa kwa bahari ya wafu vitabu vinaainisha kuwa jamii ya Wayahudi wakati wa Kristo walichukulia Efraimu na Manase kuwa mataifa mbali mbali yaliyo na uwezo mkuu katika siku za mwisho. Ni dahiri sivyo. Wale mataifa kumi yaliyopotea yalielekezwa kazikazini mwa Araxes na hakuna ushahidi wa Kibiblia unao weka wazi kuwa walikuwepo wakati wa Yeremia na wakati wa uamisho wa Babuloni. Kwa kweli, Yeremia anasema kwamba hawakuwepo. Anasema hivi, Mungu atatupiliwa Yudah mbali jinsi uzao wote wa Efraimu ulivyotubiliwa nche (Yremiah 7:15). Zaidi ya yote, Yeremia 4:23 chgusia haswa siku za mwisho na kuangamizwa kwa Nchi na miji yake. Unabii huu unaunda kiungo cha kati cha (SDA) watunza Sabato wanaomgoja Yesu mara ya pili kuamini kuwa kunyakuliwa kwenda Mbinguni na nadharia ya Nchi kuwa ukiwa wakati wa miaka elfu moja. Wamekosea, kwa kuwa wamepuusa mstari wa 27 kwamba Mungu hatatamatisha ulimwengu kabisa. Hata hivyo hakuna tofauti kuwa Yeremia 4 inayo dalili za mwisho. Yeremiah ameibua mfumo na kuonyesha maendeleo ya dalili zake kutoka kuanguka kwa Yudas chini ya Wababuloni hadi uasisi upya katika siku za mwisho. Kwa hivyo unabii uhusisha wakati mwingine ambao tutachopoa kufuatia unabii wa Biblia. Dhamiri ya ujumbe wa Yeremia 4:15 ni hile kwamba katika siku za mwisho Mungu atanena kwa mdomo wa Efraimu wala si wa Yuda, hivyo kuondolewa kwa Ukuhani. Ni kweli kwamba Kristo aliondoa Ukahani na nafasi yake kupea taifa linalozaa matunda.
Yeremia anaendelea kuangazia kushindwa kwa Israeli kwa kutii ushahuri wa watumishi wake. Onyo la wakati wa mwisho wa machakato huu ni ishara ya Kanisa la Kilaondekia, ambayo haisikizi na pia fidhuli na kuwa na haki ya kibinafsi ndiposa Mungu ataitema kama mate kutoka kinywani mwake. (Uf.3:14-22). Fahamu maelekezo yaliyotolewa kwa Walaondekia. Kristo amesimama mlangoni na anapisha. Kurejea kwa Masihi kwa zaidi ya kanisa nne zimepita ni maendeleo yaliyo karibu sana. Ujumbe kwa Walaodekia kwamba yupo mlangoni. Hata hivyo, sote nne zitakuwepo pale katika wakati wa kurudu kwake. Amewatuma watumishi wake kwa Walaodekia na hawakutii. Si uongozi tuu unaoshidwa baina ya walaondekia, bali pia wateule katika daraja zote kuambatana na majukumu yaliyo elezewa katika Ezekieli 3 na 33. Wanastahiki watu na mali kwa hivi kwamba hawafahamu uji wao. Tafakari jinsi wateule wataukumiwa kwa ajili ya heshima zao kwa watu ambayo wamefanya zaidi ya miaka hamsini iliyopita.
Yeremia anatazama mchakato wa kuonya Kusanyiko kwa mafungu mengi muhimu. Yeremia 7:25-28 inasema:
Yeremia 7:25-28 Tokea siku ile baba zenu walipotoka katika nchi ya Misri hata leo, nimewatuma watumishi wangu wote manabii kwenu ninyi, nikiamka mapema kila siku, na kuwatuma. 26 Lakini hawakunisikiliza, wala kutega sikio lao; bali walifanya shingo yao kuwa ngumu; walitenda mabaya kuliko baba zao. 27 Nawe utawaambia maneno hayo yote; lakini hawatakusikiliza, nawe utawaita; lakini hawatakuitikia. 28 Nawe utawaambia, Taifa hili ndilo lisilosikiliza sauti ya Bwana, Mungu wao, wala kupokea mafundisho; uaminifu umepotea, umekatiliwa mbali na vinywa vyao. (Biblia Takatifu BT)
Hivyo majeruhi ya mwisho ya ukaidi na kifidhuli wa Israel ilikuwa ukweli. Hali hii himo ndani ya Walaodekia katika siku za mwisho. Kanisa hilo halijapondeka kwa kuzikisa ukweli, si katika huduma yake wala baina ya wenzao kwa ujumla.
Ujumbe wa Yeremia ni wa kwanza kwa Yerusalemu, kwa Yuda na pia kwa Israeli kijumla. Ujumbe pia tualiwa katika
Yeremia 25:4-6 Naye Bwana ametuma kwenu watumishi wake wote, hao manabii, akiamka mapema na kuwatuma, lakini ninyi hamkusikiliza, wala hamkutega masikio yenu, msikilize. 5 Akasema, Rudini sasa, kila mtu na aiache njia yake mbaya; uacheni uovu wa matendo yenu, mkae katika nchi ambayo Bwana aliwapa, ninyi na baba zenu, tangu zamani za kale na hata milele; 6 wala msiwafuate miungu mingine, ili kuwatumikia na kuwasujudia, wala msinikasirishe kwa kazi ya mikono yenu; basi, mimi sitawadhuru ninyi kwa dhara lo lote.(Biblia Takatifu BT)
Ujumbe huu umerejelewa katika Yeremia 35:15 walakini tofauti pale ni kuwa kuna masazo wachache ambao walikuwa Warekabi waliofuata Sheria za baba yao na za Mungu.Wao walipewa thawabu.Dhana hii pia imerejelewa katika wana wa Sadoki wanaokadiliwa kuwa karibu kundi ndogo tiifu la wateule katika siku za mwisho. Dhana hii uunda msingi wa jamii ya Qumran na masomo ya bahari za wafu.
Maoni kuwa Bwana ametuma Manabii wake wakiamka mapema si kwamba bwana uamka alfajiri bali ni kuwatuma watumishi wake kwa wakati mwafaka kufanya kazi na kufanya watu watubu dhambi. Hawakuzikia wakati hule (Yeremia 25:7) na wala hawatazikia hata sasa (Isaya 26:15-18)
Ujumbe umerejelewa katika Yeremia 26:3-6.
Yeremia 26:3-6 Labda watasikia, na kughairi na kuacha kila mtu njia yake mbaya; ili niyaghairi mabaya niliyokusudia kuwatenda, kwa sababu ya uovu wa matendo yao. 4 Nawe utawaambia, Bwana asema hivi, Kama hamtaki kunisikia, kwenda katika sheria yangu, niliyoiweka mbele yenu, 5 kuyasikiliza maneno ya watumishi wangu, manabii, ninaowatuma kwenu, naam, nikiondoka mapema na kuwatuma; lakini ninyi hamkuwasikiliza; 6 basi, nitafanya nyumba hii kuwa kama Shilo, na mji huu nitaufanya kuwa laana kwa taifa zote za dunia. (Biblia Takatifu BT)
Shilo (au Seila) ni pale ambapo bwana alianzisha jina lake mwanzo (taz. Kumb. 12:5-11, 1 Samuel 4:4) na huo ndio mji Bwana aliangamiza kwa ajili ya dhambi zake (Yeremia 7:12). Ujumbe hapa pia umelekezwa kwa wateule wakishauriwa kuwa ikiwa Bwana hakuhurumia Nyumba yake mwisho wa taifa lenyewe utakuwa upi. Fahamu pia dhamiri ya kuhurumiwa kwa njia ya toba inaafikiwa kufuatia kwa onyo la mapema. Hii usisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa wakati ufaao kwa watumishi wa Mungu. Yeremia 29:18-19 pia ameandika dhimiri ya kudahadhali taifa.
Yeremia 29:18-19 Nami nitawafuatia kwa upanga, na njaa, na tauni, nami nitawatoa watupwe huko na huko katika falme zote za dunia, wawe kitu cha kulaaniwa, na cha kushangaza, na cha kuzomewa, na cha kulaumiwa, katika mataifa yote nilikowafukuza. 19 Kwa sababu hawakusikiliza maneno yangu, asema Bwana, ambayo naliwatuma watumishi wangu, hao manabii, nikiamka mapema, na kuwatuma; lakini hamkutaka kusikiliza, asema Bwana. (Biblia Takatifu BT)
Fahamu ukweli kwamba adabu hapa ni sawa na ule muhuri wa pili,wa tatu na wa nne. Mihuri ya Ufunuo 6. Hapo dalili pacha za wakati wa mwisho ni dhahiri.
Maoni pia ya aonekana katika Yeremia 44:4-5:
Yeremia 44:4-5 Tena nalituma kwenu watumishi
wangu wote, manabii, nikiamka mapema na kuwatuma,
nikisema, Basi ninyi; msilifanye chukizo hili linichukizalo. 5
Lakini hawakusikiliza, wala hawakutega masikio yao,
ili wageuke na kuacha uovu wao, wasifukizie uvumba miungu mingine. (Biblia Takatifu BT)
Amri ni sharti la seria halali ambayo Bwana Utumia kuwashugulikia wateule wake vile vile taifa. Hoja hii pia imeagaziwa katika Zakaria 1:4-6.
Zakaria 1:4-6 Msiwe ninyi kama baba zenu, ambao manabii wa zamani waliwalilia, wakisema, Bwana wa majeshi asema hivi, Rudini sasa, na kuziacha njia zenu mbovu, na matendo yenu maovu; lakini hawakusikia, wala kunisikiliza, asema Bwana. 5 Je! Baba zenu wako wapi? Nao manabii je! Waishi milele? 6 Lakini maneno yangu, na amri zangu nilizowaagiza hao manabii, watumishi wangu, je! Hazikuwapata baba zenu? Nao wakageuka na kusema, Vile vile kama Bwana wa majeshi alivyoazimia kututenda, sawasawa na njia zetu, na sawasawa na matendo yetu, ndivyo alivyotutenda. (Biblia Takatifu BT)
Matokeo ya mwisho ni kwamba kuna kushindwa kijumla. Lakini Bwana hatawaangamiza watu wetu ikiwa tutafanya kazi inavyostahili na watubu. Wingi wa wajibu huko juu yetu. Bwana hataweka agizo hili kwetu mlangoni lazima tutoke.
Nikatazama, wala hakuna wa kusaidia; Nikashangaa kwa kuwa hakuna mwenye kutegemeza; Basi, mkono wangu mwenyewe uliniletea wokovu, Ghadhabu yangu ndiyo iliyonitegemeza.
Kifungu hiki kimenakiliwa kutoka Isaya
63:1-8 na kinaelezea wazi habari za Masihi. Kifungu
hiki kinarejelea ukombozi wa Israel sababu hawangenena
uongo. Upendo wa ukweli utarejeshwa kati
Hata hivyo, Masihi atakapokuja, haitakuwa kwa vitendo vya Kanisa kwamba Ulimwengu utaokolewa kwavyo ama hata kwa ushindi wa kutilia shaka. Watahubiri ujumbe wa ufalme wa mungu. Na hapo ndipo mwisho wa ulimwengu utakuja. Hata hivyo, Isaya 26:15-21 huonyesha vitendo vya waisraeli wa kimwili na wa kiroho.
Isaya 26:15-21 Umeliongeza hilo
taifa, Bwana, umeliongeza taifa; wewe umetukuzwa, umeipanua mipaka yote ya nchi
hii. 16 Bwana, katika taabu zao walikwenda kwako; waliomba maombi mengi wakati adhabu
yako ilipokuwa juu yao. 17 Kama vile mwanamke mwenye
mimba anayekaribia wakati wake wa kuzaa, alivyo na
utungu na kulia kwa sababu ya maumivu yake, ndivyo tulivyokuwa sisi mbele zako,
Ee Bwana. 18 Tumekuwa na mimba, tumekuwa na utungu,
tumekuwa kana kwamba tumezaa upepo; hatukufanya wokovu wo wote duniani, wala
hawakuanguka wakaao duniani. 19 Wafu wako wataishi, maiti zangu zitafufuka;
amkeni, kaimbeni, ninyi mnaokaa mavumbini, kwa maana
umande wako ni kama umande wa mimea, nayo ardhi itawatoa waliokufa. 20 Njoni, watu wangu, ingia wewe ndani ya vyumba vyako, ukafunge
mlango nyuma yako ujifiche kitambo kidogo, mpaka ghadhabu hii itakapopita.
21 Kwa maana, tazama, Bwana anakuja kutoka mahali pake, ili
kuwaadhibu wakaao duniani, kwa sababu ya uovu wao; ardhi nayo itafunua damu
yake, wala haitawafunika tena watu wake waliouawa. (Biblia Takatifu BT)
Katika masomo haya kifungu hiki kimehakikishwa sana Kuanguka kwa Misri: Unabii wa Mikono Iliyovunjika ya Farao [036] [The Fall of Egypt (No. 36) The Prophecy of Pharaoh's Broken Arms].
Jambo la shauku hapa ni kwamba kifungo bayana kinaelezea juu ya Masihi na uhusiano wa siku za mwisho na kutawanyishwa kwa wateule wakati wa dhiki. Fungo hili lausisha madhara ya Ardhi baada ya watumishi wa Mungu kutiwa muhuri (Uf. 7:13)
Kwanza wateule wataalikwa watolewe nche na kuendeleshwa kiroho.
Hapo baada ya mateso ya siku za mwisho, walioalikwa watatengwa wakati wa kurejea kwa Masihi hili Ulimwengu uweze kuafikiwa katika toba.
Umuhimu wa mchakato huu ni kwamba kufanya yote tunayoitajika kufanya bado haijatosha kuleta Ulimwengu katika toba. Hata hivyo, iwe taifa limekabiliwa kwa ukali au taifa moja binafsi au Israeli binafsi imeletwa katika tobana kupata rehema labda itategemea na hile kazi tutakayoifanya. Mwisho hatutahukumiwa kwa mafanikio ya vitendo vyetu bali ni kwa hali zetu za kiroho. Bila shaka hata hivyo, tunayo kazi bora ya kufanya katika hilo.
Haikubaliki kabisa kujaribu kufutilia mbali Unabii kana kwamba hauna dalili sosote za nyakati za mwisho wakati ambapo unalingana kabisa katika hatua ambazo uelekeza hadi kipindi cha miaka elfu moja. Biblia yote yaweza kutupiliwa mbali vile imewaitokea katika karne nyingi nyuma na kwamba haina maana kwa nyakati za mwisho ikiwa mbinu za kutumia maoni ya kidunia zitafuatwa. Biblia ujitafsri yanyewe na kunayo jukumu kwetu kuwa watunzi wanaofaa wa siri za Mungu.
Ujumbe wa ufalme wa Mungu ni somo la onyo katika maisha ya kila siku na kwa unabii wa moja kwa moja. Vinaenda pega kwa pega na havitenganishwi katika utekelezaji wa majukumu yetu. Kujaribu kufanya hivyo ni kujaribu kuheba majukumu yetu katika hali ngumu. Ikiwa tutachagua kuhubiri mambo laini sasa, wakati hakuna tishio au mateso, tutasimama aje wakati mtoYorodani utakuwa umefurika?
Ikiwa hatutashindana na watumushi tutakimbiaje na farasi wakati wa majaribu?
Yeremia 12:5 Ikiwa umepiga mbio pamoja na hao waendao kwa miguu, nao wamekuchosha, basi wawezaje kushindana na farasi? Na ujapokuwa katika nchi ya amani u salama, lakini utafanyaje hapo katika kiburi cha Yordani? (Biblia Takatifu BT)
Wateule wamo katika wakati wa usalama, sawa kusema, katika ulimwengu wa kingereza. Bado hatujisugulishi na chochote na tunashindwa. Tumevunjwa moyo na mambo havivu katika baadhi ya mfano kuwapepesa wengine misigo ambayo tunafaa kubeba.Kumbuka kuwa kifungu cha Yeremia 12:6 chaendelea kunena:-
Yeremia 12:6 Kwa maana hata ndugu zako, na nyumba ya baba yako, wamekutenda mambo ya hila; naam, wamepiga kelele nyuma yako; usiwasadiki, wajapokuambia maneno mazuri. (Biblia Takatifu BT)
Kutamka mambo laini ni rahisi. Kumwendea ndugu ni ngumu. Kumtembelea ndugu wa mwingine yaweza sababisha sisi kuaua. Lazima tujifunze kukimbia na farasi wakati Yordani imefurika.
Msemo wa bunduki ya askari usema. vile umejifunza kupigana hivyo ndivyo utapigana vita. Hamna tofauti kati ya ukali wa vita. Shetani atapigana kwa kila siraha iliyo katika ghala lake la siraha. Tunayo roho ya ukweli na neno la Mungu. Sasa yatupasa kuwa tiyare kufahamu siri za Mungu hivi kwamba maisha yetu yanategemea kwayo. Maisha yetu yanawezakuwa vizuri sana na wengi kati ya watu wa taifa letu wafaa kufaa siri za Mungu na wataletwa katika toba.
Mukurngezi wa
kanisa lingine alitamka hivi maajuzi kuwa Makanisa
ya Kikristo ya Mungu ndipo mahali ambapo neno la mungu linaubiriwa ampapo ni
tone tu la mwangaza katika bahari ya giza. Alisema kwamba
neno la mungu alitarudi bure (Isaya 55:11).
Dumu katika hii kazi nzuri na mkitiliana nguvu moja
kwa mwingine. Msife moyo maana hiyo ndiyo silaha ya adui.
Jukumu linalofuata ni maelezo ya mwisho wa wakati wa watu wa mataifa na kujitayarisha kwa ajili ya vita ambavyo vimekaribia kutuangukia. Kudahadhriwa mapema ni kujiami mapema. Kujianda kwetu si kuweka kando masharti ya kimwili. Lazima tufae ufahamu. Israel haikushindwa siku sote walitembea jangwani. Ilipotimia wakati wa kuingia Israel, Adui alikabidhiwa mikononi mwao.Hilo litakua hivyo kwetu.
Hadi wakati huo tutahifadhiwa na Bwana. Si kwa nguo za bamba bali kama askari wa Mungu alie hai.