Makanisa La Wakristo Wa Mungu

 [077]

 

 

 

 

Utakaso wa Mataifa

 

(Toleo 2.0 20060425-20080126)

 

Nyakati za mwisho zina upungufu katika mataifa, kiasi cha kuwaleta karibu kwa uhusiano wa Mungu na dunia nzima yajitayarisha kwa utawala wake Yesu Kristo. Nyakati za mwisho zitamulika katika muda wa utakaso wa hekalu na matendi ya sherehe ya muezi saba za kwanza.

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

Email: secretary@ccg.org

 

(Copyright ă 2006, 2008Wade Cox)

(Tr. 2008)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 


 

Utakaso wa Mataifa




Katika nakala hii tutazingatia mabaki ya Jubilee ya kizaza na hata muda wake Jubilee hii pia humulika hesabu ya Omer toka pentekosti hadi siku ya zaka. Ni muda wa miaka hamsini ya sabato saba bora ambazo zimejikita katika hesabu ya Omer. Inamulika roho mtakatifu iliyokua ndani ya mwanadamu na maisha ya mwanadamu kwa jumla inayoanguka kati ya miaka ishirini na miaka sabini aliyokabidhiwa.

 

Miaka wa 2006 (au 29/120) iliidhinisha dhana inayofurahisha au mwenendo wa utakaso wa hekalu kama utakaso wa wateule na pia utakaso wa Mataifa kama hawamu ya mwisho ya mpango wa Mungu.

 

Tunapopitia utakaso tunaanza Abibi ya kwanza na utakaso wa Hekalu. Abibi ya Saba tuna utakaso wa wale wa kawaida na huwa kwa wakati huo kuna maombi wa kufunga. Siku saba zifuatazo hutuelekeza kwa lishe ya Bwana ambayo ni utakaso wa mtu binafsi na Kanisa anamoomba na kupitia Yesu Kristo ikifufuatwa na siku ya Kwanza takatifu na siku ya ishirini na moja ni siku ya mwisho takatifu ya mkate usiofinyangwa.

 

Mtindo uko katika siku saba saba -7,7,7, na hiyo kwa jumla ni siku ishirini na moja. Chochote tufanyacho kila mwaka na chochote ambacho tumekuwa tukifanya kila mwaka kwa muda mrefu Kristo hawezi kusahau. Kwa miaka mia moja iliyopita hatujaelewa mtindo huu. Tumeelewa tuu jinsi pasaka ilivyotekelezwa lakini sio Utakaso. Wazo hilo lilipotelea wanakanisa kwa karibu miaka mia mbili au mia tano.

 

Maisha ya Jubilee kutoka kwa ile iliyopita katika mwaka wa 1977/8 inamulila miaka ya sabato (ipashataji kusoma Amri) 1984,1991,1998,2005,2012,2019 na 2026. 2027 ni mwaka wa jubilee. Jubilee hii ya sasa ni ya mia moja ishirini tangu kufungwa kwa Edeni na kulaaniwa kwa ardhi.

 

1984 ilikuwa ni sabato ya kwanza tangu kuzalishwa kwa jubilee na kwa hiyo sabato iliyoonza iliidhinishwa mwendo nyingine ya siku za mwisho tangulia 1987. Hiyo ndiyo ilikuwa mwaka wa kwanza iliyorejelewa kama kizazi hiki ambayo ni kipindi cha miaka arobaini hadi 2027,1997 ni miaka thelathini kabla ya 2027 na ni kizazi kipya. Hiyo mwaka arubaini ni kizazi ambacho Kristo huzungumzia kuwa haitapita hadi utabiri zote zikamilike. Huo ni wakati ambayo hekalu ilikuwa ipimwe. (Tazama Measuring the Temple (No. 137)). Katika 1987 Joseph W.Tkach, wa kanisa la mungu wa dunia kote alinena kuwa hekalu ilikuwa inapimwa. Jambo hilo lilikuwa ukweli na hakika huko ndiko tulikuwa kwa wakati huo.

 

Kipindi kutoka 1987 kupimwa kwa hekalu ilianzishwa. Iliendelea hadi katika mwaka wa sabato wa 1991 hadi mwanzo wa kipindi iliyofuata 1997 ambayo ilikuwa ni kipindi cha miaka thelathini ya huzuni. Kwa Musa ilikuwa ni swala la mwaka moja kuwakilisha siku moja (Kutoka 1997 hadi 2027). Hiyo ilikuwa ni mwisho wa wakati wa ulimwengu. Hii kumimwa wa Hekalu aliletwa kwa msingi mwisho wa kizazi na Mataifa.

 

Katika mwaka wa tatu wa kipindi hicho, 1994 CCG iliidhinishwa. Mwanzo mpiya kulingana na utata ulioendelea kutoka mwaka wa tatu kila mara.

 

Tuliendelea kutoka 1994 mpaka mwisho wa Adar 2006, ambayo ilikuwa kipindi cha miaka kumi na mbili. Mwaka wa kumi na miwili ulikuwa ni mwaka wa uongozi, amri na mtindo. Mwaka wa kumi na tatu bila shaka ni mwaka wa uongozi wa washirika wa Mungu. Kama vile Lawi alivyokuwa mamlakani mwa tabaka la kumi na tatu na kwa hivyo ni sawa na nambari inayoambatanishwa na upinzani wa unyakuzi wa mamlaka.

 

Wakati wa Pasaka wa mwaka wa 28 au 2005, United States Churchilionywa kuwa na utengano. Walielezewa, kwa njia inayoeleweka kuwa kutokuwa na mashambulizi Kanisani mwaka huo kaskasini mwa Meriani, Kutakuwa na hatua ya kubomoa Kanisa. Waliambiwa kuwa hiyo ndiyo iliyohitaji umuhimu wa mkuu wa kamati kubaki uongozini. Kila mpiga kuwa akakubali na wakuamua iwe hivyo.

 

Katika Sherehe ya Pasaka ilikuwa ni lazima kuwa pepo chafu ilikuwa imeingia katika Kanisa, na kulikuwa na pepoe la unyama na ukatili ambayo haifai kuwa Kanisani. Waliohudhuria waliopnywa wakati picha zilipigwa kwamba watu wengine waliopigwa picha hawatakuwa tena Kanisani katika sherehe lijalo. Hata kwa maonyo hayo watu bado hawakuyatilia maanani. Watu wengi walipata adhibu na wakaacha Kanisa kwa moyo wa Upingamizi.

 

Mtindo huu ulipangiwa Pasaka, lakini Mungu hakuiruhusu kutendeka siku ya pasaka. Alilazimisha kuamuriwa kwa Abibi ya 1 na akatoa uzima wao katika Abibi ya 7. Kwa hivyo Bibi ya 1 wa 29/120, mwaka wa 2006 waliamua pingamizi. Ilijulikana kama pingamizi ya Korahita.

 

Tuliona kwa mwanzo wa miaka wa kumi na tatu ilikuwa kazi ya uongozi na upinzani jinsi kulivyokuwa na tabaka kumi n atatu na Lawi wa lile tabaka la kumi na tatu alikuwa anakamilisha ukuhani. Kama wana kanisa tunaunda kazi ya ukuhani katika serikali huo. Ndiposa katika mwaka wa 2006, upinzani Kanisani huko kaskasni mwa Amerikani iliidhinishwa na katika Abibi wa 1 na ikaisha Abibi wa 7. Mungu haangerihusu Pasaka kusherekewa iwapo upinzani ule bado ungeendelea.

 

Abibi wa 1 haikuwa siku ya kwanza ya utakaso wa mwaka wa 2006, mwaka wa 29 wa mwaka wa 120 wa jubilee. Ilianza na utakaso wa Hekalu ya Mungu ya siku za Mwisho. Ilianzisha miaka ishirini na moja zitafika 2012,2019 na 2026, ambayo itakuwa ni mwaka wa sabato kabla ya jubilee. Jubilee itakuja punde tuu mwaka unapoanza.

 

Tuko njiani kuhakikisha utakaso wa hekalu inayoelekea Pasaka ya 14 kwa muda huu ambayo ni 2019. Yesu Kristo atakuwa hatamuni ifikapo 2019.Kwa kipindi hicho Kristo atachukuwa hatamu ya uongozi duniani kote na kutakaza Mataifa na muda utakaoletwa kwa tuba na Batiso kwa mtindo huo.

 

Njia hiyo ya maendeleo itahitaji mambo mawili kutendeka: Ubadilisho wa Yuda na kubadilika kwa Waislamu kupitia tabaka mbili .Kwa hiyo tabaka zitakuwa kumi na mbili na kumi na mbili na hiyo kwa jumla huwa ishirini na nne ambayo ni ukuhani wa serikali wa Mungu. Mtindo huo lazima itekelezwe na ndiposa mapepo yamechukua muda mrefu kujaribu kubomoa Kanisa na inajaribu kukabiliana na swala hilo sanasana katika mwaka huu wa mienendo iliyozingatiwa kimakinifu iti kubuni maelewano kati ya Yuda na Waislamu. Hakuna Kanisa lingine liwezalo kuzungumza nao.

 

Sheria za Makanisa ya Bwana katika Karne ya Ishirini

Kati ya Makanisa yote ya Mungu ambayo yalikuwa na uwezo wa kufanya kazi kikamilifu katika karne ya ishirini, kanisa la Bwana haikufanya kazi ya Bibilia kikamilifu na kasha badaye ikaharibu sheria zake zote kwa Ubitariani.

 

Katika enzi hizo, au ``Sardis’’ Herbert Armstrong hangeweka sheria za kutosha .Katika somo la kurani, tukiangazia sura 30,31,32 na 33 tunauna usisitizo wa Mungu mmoja wa kuaminika na ufufuo wa wafu .Mtindo wa Kanisa la Bwana katika Karne ya Ishirini haikuweza kuwapo uwezo wa kurena kwa robo moja ya sayari. Kwa hivyo Mungu hangeweza kuwatumia. Ndiposa Mungu hakuwatumia walijaribu kupata pesa huko Merikani kwa wale wapentekosti. Kwa hivyo waliamua kulaghai sheria za Kanisa kupata pesa kutoka kwa Wapentekosti wa Merikani. Kinayo katika fukio hilo ni kuwa familia ya kifalme cha Saudi Arabia kwa wakati huo ulimiliki subui ya Merikani. Wachina pia walimiliki sehemu kubwa.

 

Kinachotendeka ni kuwa watu watafikiwa na sheria za bibilia zinazofaa. Tutatoa huo ujumbe unaohusiana na kurani katika miaka saba zi jazo. Ndiposa hatua imechukuliwa kuharibu Kanisa pamoja na viongozi wake.

 

Utakaso

Utakaso wa wale wa kawaida katika siku ya saba ama 2012 – mwaka wa saba ama mwaka wa sabato kwa dhana ya mwaka kusimama siku – ambao ni mtindo muhimu sana.

 

Tunaweza kutarajia kuwaona mashaidi kwa kipindi hicho (Tazama The Witnesses (No. 135)). Kutoka pasaka ya 2012 hadi siku ya tarumbeta kule 2015 itahakikisha kipindi cha siku 1263½ kwa ile maktadha ya mwaka kwa siku. Siku ya kumi ya Abibi inawalalisha na mwaka 2015. Kristo aliingia kwa njia ya kipekee kule Yeriusalemu enzi la kusherekea Pasaka na mwanakondoo. Tunatarajia kushuhudia kifo cha mashaidi na kurudi kwa Yesu kule na kipindi cha kuamboleza hadi 2019.

 

Kazi ya kanisa yafao iwe tayari ifikapo 2012. Twafaa kuhakikisha kuwa injili imehubiriwa katika kila taifa ifakapo mwaka wa Sabato wa 2012.

 

Mashaidi wawili hao watafanya kazi yao na kuangazia sayari. Tunajua hakuna mtu aijuaye siku au saa lakini tunajua kwamba kuna siku 1263½ kati ya wakati wa mashaidi na wakati wa kurudi kwa Yesu. Twatarajia kuwa 2015(kama mwaka wa kumi wa mtindo) inawakilisha kuingia kwake Kristo Yerusalemu, kama alivyokuja chini ya minazi akibebwa na punda huko 30CE.Tukiangazia kurudi kwa Kristo kulingana na utabiri, lazima tuichukulie ni kama Mungu atafuata kalenda yake alivyoifanyia Millenium.Yeye hufuata njia yake ya wokovu.

 

Kwa uaminifu tumefuatilia hayo yote kama njia au mipango ya Mungu wa wokovu. Tumezingatia sherehe na siku takatifu kama sehemu ya kalenda ya Mungu na wamekuwa hivyo kwa miaka 6000 iliyopita. Mpango wa wokovu imedhihirisha kulingana na kalenda yake Mungu. Hatuani akiitupilia mbali kwa miaka Kristo atapambana na dunia nzima kutoka 2019 hadi 2027, na sisi zote tutakuwa katika uridhi wetu ifikapo 2028.

 

Mtindo wa miaka kumi na tatu ya maendeleo ya kanisa kufika mwaka wa kumi na tano kama miaka mitatu ya rehema. Katika mwaka huo tunatarajia makuu. Kuna yale yatakayokua na kuendelea. Mashambulizi katika kanisa na viongozi wake yataendelea. Yafaa tuyazoee na tujiandae kwa mashambulizi hayo.

 

Lazima tuhakikishe kuwa tumefika 2012 na sheria zote na kwa mtu yeyote apendaye. Iwapo mashahidi watakuwa kusoma amri ifikapo 2012, jinsi tunavyodhania tunawezafuata yote tuliyaombiwa.

 

Huo ni maandalizi ya sherehe ya mkate isiyochochwa. Kumbuka, Yashua alipanena na Kristo, waliingia Israeli huko Gilgal na kila MIsraeli alitahiriwa kabla ya Pasaka. Huo ulikuwa ni kipindi cha kutahiriwa. Mashahiti watapambana na mtindo huo kati ya 2012 na 2015 na kasha kutoka 2015 hadi 2019 ni matayarisho chini ya Mesia.

 

Sherehe ya mkate usiochachwa ni upungufu wa Mataifa. Tazama siku saba kusunguka Yeriko kwa nakala The Fall of Jericho (No. 142). Siku ya saba wa mtindo huo wote ulianguka mwishoni mwa sherehe ya mkate usiochachwa. Siku takatifu ya mwisho ya makate usiochachwa ni 2026, ambayo ni mwaka wa sabato mwichoni mwa Jubilee ya mia moja ishirini.

 

Shahidi wa Pili

Shahidi wa pili inapatikana katika mwezi wa saba. Kuna siku ishirini na moja yalihusishwa katika mtindo huo. Hii imerudiwa kwa kurudi kwa Mesia na Kuhani Mesia wa kwanza na Mfalme Mesia  wa pili .Kihini kimetolewa kwa nakala Atonement (No. 138) na Azazel and Atonement (No. 214). Siku ya tarumbeta na kuhidhihinishwa kwa muda wa kurudi. Kuna siku kumi kabla siku ya kutakazwa ambayo ni kipindi cha kurudiana kwa sayari kwa Mungu. Siku nne zifuatazo zitatuleta kwa kuidhinisha kwa sherehe ya dhabihu.

 

Mtindo huu unafuata kipindi cha siku kumi na nne. Jambo la dhabihu la Kristo nasi yaonyesha kuwa kuna mavurugano katika kipindi hicho ambapo kanta tayari ishapelekwa kwake Kristo kutoka siku ya kutakazwa, halafu kutoka hapo dunia nzima italetwa katika hukumu. Kutoka siku ya kumi 2015 hakuna kamwe kukiri ufufuo. Kwa hivyo kama kumbukumbu ya wakti hadi itakapofika 2027 na itakuwa hivyo mpaka 3027, ambapo kila mtu atategemea ufufuo wa pili.

 

Mashaidi hao wawili watakapouwawa, watu watasherekea kila mahali na hawatajali kuwazika kwa kuwa tunajua watu watajua jaribu la utabiri wa mashaidi wale kuhusu ufufuo wa Kristo.

 

Wanafunza kuhusu mtindo wakidini wa Kikristo dhidi ya Uislamu, na dhidi ya mwenendo wa ulimwengu. Watakemea sayari hii na kupambana naye. Wakati wataacha kama vile kila mtu ni lazima afe. Watalala kisha watafifuka baada ya siku au nusu ya siku tatu ya kila mtu .Inaonyesha kuwa kuna ufufuo moja  kwa kila mtu.Hivyo tunaweza kusema kuwa jinsi Kristo alikufa na kufufuka ndivyo tutakaa Kila atakayeachwa akiwa hai watajumuika nao katika ufufuo wa Kwanza kuwa elohim. Hii ni fufuo wa kwanza. Tutaenda Yerusalemu na kuwa na Kristo milele.

 

Wakati huo utakapofika, utakuwa umechelewa sana na sehemu kubwa ya dunia utalia kwa vile hakutakuwa na muda. Watakuwa wamekanusha nafasiyao na ndiposa hawatapata nafasi yeyote ya miaka mengine 1007.Watachukua muda huo kwa mateso na majaribio ili hawaja ona bado.

 

Kipindi toka 2015 hadi 2027 itaona ufufuo wa Isreali na utakaso wa dunia nzima. Sherehe ya dhabihu inawakilisha usalama wa Mungu kwa ufunuo. Sherehe ya mkate usiochochwa inawalalisha kuomdolewa kwa dhambi duniani na kuridisha mataifa wangumu kwa Mungu popote. Wakati wa sherehe ya wateuliwa ni sawa na siku za mwisho na muda wao.

 

Siku ya kumi na nne Abibi inawakilisha wakati wa mwisho wa kubadilishwa kwa Yuda na kutahiriwa kwake huko Gilgal na kwa wokovu wa wote kama ilivyowakilishwa na Rahabu na nyuzi kwenye viegemezi vya ukuta wa Yeriko. Wokovu ni ngumu kudhibitisha, iwe ya kiroho au ya kimwili. Kukawia kwa ufufuo wa kwanza kuachia watu muda ya kubadilika katika siku za mwisho.

 

Wakati hautakuwa yaonekana kuwa tukiangalia kubadilishwa kwa Yuda ili kuadimisha nchi takatifu ifikapo 2019.Kutokana na huko kusomwa kwa sheria huko 2019, mataifa yatangamizwa kwa adhabu wa Mungu (Tazama nakala The Seven Seals (No. 140) na The Seven Trumpets (No. 141)).

 

Siku hizo takatifu na sherehe ya mwezi wa saba inaangazia siku 21 ya mwezi wa kwanza, lakini pia yaangazia au yaashiria ile hali ya Milliniumu. Siku ya kwanza ya mwezi wa kumi na saba yaweza pia kuashiria kuja kwake Mesia ikiambatana na tarumbeta za malaika kumi baada ya kuwasili kwake kule 2015. Mileniumu itaanza ifikapo utakaso huko 2026 na itaendelea hadi 2027.

 

Mtindoi wa miaka itaendelea kutoka 2028 na siku ya mwisho itafuata milleniumu na ufufuo wa mwisho kutoka 3028.Kwa hivyo hiyo ndiyo udanganyifu wa kila mwaka katika Ufalme wa Mungu makanisani. Hata hivyo, tunavyoona mtindo inadhibitisha siku zile ishirini na moja za mwezi wa kwanza moja zijazo, na kama ulinganisho sahihi wa mwisho wa miaka 21 wa kila mara za siku za mwisho.

 

Hiyo ndivyo tunavyo elewa kile ilicho mbele yetu miaka 21 ijayo. Kazi yetu ni kuhakikisha kuwa hatupatezi chochote kwa ujinga wetu Njia ya kuambatanisha kurani na Bibilia ni muhimu sana ili kuwashuhudia waislamu, wakiwa moja ya robo wa sayari. Hatuwezi kuzingatia sana umuhimu wa kazi hiyo.

 

Mungu hafanyi chochote ijapokuwa kwa huwoonya watu kuhusu watumishi na watabiri ambao ni Kanisa la Mungu. 

 

 

 

q