Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[082]

 

 

 

 

Uhusiano Kati Ya Wokovu Kwa Rehema Na Sheria

 

(Toleo 3.0 19941217-20000408-20071014)

 

Hi ndio kifungo cha kwanza wa uokovu na sheria, karatasi inasema na Bibilia msimamo wa Mungu kama chanzo cha uokovu. Msimamo wa sheria kususiana ina elezwa. Njia kupitia sheria inaelezwa kwanini wa Kristo wana tii sheria.

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

 

(Copyright ã 1994, 2000, 2007  Wade Cox)

 (Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


Uhusiano Kati Ya Wokovu Kwa Rehema Na Sheria

 

 


Rehema haikumaliza wala kuondoa sheria. Sheria haijaondolewa kwa kuwa imeandikwa, “Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii, la, sikujua kutangua bali kutimiliza 18 Kwa maana, amin, nawaambia mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie (Mathayo 5:17-18).

 

Hiyo haimaanishi kuwa kuna sehemu ambayo itatoweka. Haimaanishi kituo au kitone au wakati utapita kwa sheria mpaka sayari hii iharibiwe. Hiyo inaenda hadi milenia kupitia hukumu. Atakapokuja hapa, Kristo atashikilia sheria kutumiwa kiwango cha kisu na atawaua watu wasio sheria. Hakuna kitu kinyonge kwa mkombozi wetu. Hiki kisipichukuliwa kwa makini, chini ya Yesu Kristo, tusipishikilia sheria, tutakufa.

 

Watu watakufia njaa polepole au kwa wasipoheshimu sheria. Tukifikiria hayo si tukufu basi ingekuwa bora kama kungesoma Zekaria 14:16 kuendelea pahali ambapo pameandikwa kuwa tusipotii sheria ya sherehe ya madhahabu hatutapata mvua wakati ufaao.

 

Hatua hizo zote zitakuwa kuchomeka kwa sayari na mataifa ambayo hayatii sheria ya madhabahu. Watakufa njaa, mpaka waende chini kwa magoti yao na kusema “Bwana tupe mvua; tutawatuma wawakilishi wetu Yerusalemu,” kama Kristo anaenda kufanya hivyo katika milenia, hataturadhi kwa makosa kutii sheria kama bado tunamng’ojea na ukombozi kama ilikipa upeo chini ya Musa, anaenda kuirudisha katika milenia.

 

Ubishi kuwa Rehema umeondoa masharti ya kutii sheria ni mzee sana. Iliibuka kutoka waprostestanti na kupata. Kuanzilisha ni kwa Mungu kama mleta ukombozi. Ni kimbilio letu na mwanzo wa mpango aliyepanga kupitia Yesu Kristo, mwana wa pekee wa Mungu.

 

Hii ni hatua ya kwanza katika ambapo wanasema Kristo ndiye chanzo cha ukombozi wala si Mungu. Wanajaribu kupotosha wa ukombozi. Mungu ni mwamba wetu, nguvu yetu na ukombozi wetu. Hiyo ndiyo kazi ya Mungu. Ukombozi uliletwa kupitia Yesu kwa uongozi wa Mungu. Kitu cha kwanza cha ukuu nbi kusawazisha Kristo na Mungu na kumfanya Kristo chombo cha sala na ukombozi kwa hakika inamwondoa Mungu.

 

Mungu ni mwamba wetu, nguvu yetu na mkombozi wetu na tunayemkimbilia.

 

Zaburi 18:1-2 kwa kiongozi wa nyimbo. Zaburi za Daudi mtumwa wa Yehova aliyewasilisha na kuzungumzia maneno katika wimbo huu kwa Yehova siku ambayo Yehova alimtoa katika mikono ya adui na kwa mikono ya Saulo. Alisema nakupenda, oh Yehova, nguvu yangu, Yehova ni mwamba wangu na mlinzi wangu, mkombozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu, maficho yangu.

 

Sheria na ukombozi zimetoka kwa Mungu kupitia Yesu Kristo. Kristo aliidhinisha sheria pale mlima Sinai kama malaika wa Mungu na alikufa kama kafara na chombo cha ukombozi.

 

Tunamwamini na hatumwogopi (Isa 12:2) kumwanini Mungu kunaondoa uoga.

 

Isaya 12:2 “Tazama, Mungu ndiye mkombozi wangu, nitaamini na sitaogopa; kwa kuwa Yehova Mungu ndiye nguvu yangu na wimbo wangu na amekuwa ukombozi  wangu (RSV).

 

Hekima ya ukombozi ni kazi ya Kristo na manabii (Luka 1:77) Yohana alienda kama nabii mbele za Mungu.

 

Luka 1:77 kutoa hekima ya ukombozi kwa watu wake katika kuwasamehe dhambi zao (RSV).

 

Hii hekima imeenezwa mpaka kanisani, ambapo watukufu ni wawakilishi wa maajabu ya Mungu

 

Wakorintho I 4:1 hivi ndivyo mtu anafaa kutuhudumia na kutuona, kama wajakazi na wawakilishi wa maajabu ya Mungu.

 

Ukombozi ulitoka kwa Wayahudi.

 

Yohana 4:22 mwanamwabudu msichokijua tunamwabudu tukijuacho kwa kuwa ukombozi umetoka kwa Wayahudi (RSV).

 

Hata hivyo, ilienezwa kwa Kristo kwa wanaawabudu Mungu kwa roho na ukweli.

 

Yohana 4:23-24 lakini wakati umewadia na ni sasa ambapo wanaoabudu kwa kweli watamwabudu Baba kwa roho na ukweli, kwa kuwa hao ndio baba anawatafuta wamwabudu. Mungu ni Roho na wale ambao wanamwabudu lazima wamwabudu kwa roho na kweli (RSV).

 

Hakuna ukombozi katika jina lingine chini ya mbingu ila ya Kristo – ilitolewa kati ya wanadamu ambapo tunaweza kukombolewa.

 

Matendo ya Mitume 4:12 wala hakuna wokovu katika mwingine, kwa kuwa hakuna jina lingine chini ya mbingu iliyotolewa kati ya wanadamu ambapo tunalazimishwa kukombolewa (RSV).

 

Kwa hivyo ukombozi uliletwa na injili kwa nguvu za mwenyezi Mungu ya ukombozi kwa yeyote aliye na imani kwanza kwa wayahudi na wayunani. Katika injili, utukufu wa Mungu inadhihirishwa kupitia imani, kwa kuwa yeyote kupitia imani ni mtukufu ataishi.

 

Warumi 1:14-17 “Nawiwa na Wayunani na wasio Wayunani nawiwa na wenye hekima na wasio na hekima. Kwa hiyo, kwa upande wangu mimi ni tayati kuihubiri injili hata na kwenu ninyi mnaokaa Rumi. 16 Kwa maana siionei hata injili; kwa sababu ni uwezo wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye kwa myahudi kwanza na kwa Myunani pia. 17 Kwa maana haki ya Mungu inadhihirishwa ndani yake, toka imani  hata imani kama ilivyoandikwa mwenye haki ataishi kwa imani.”

 

Mungu hakutuweka kwa hasira yake bali tupate wokovu kwa bwana wetu Yesu Kristo.

 

1 Wathesalonike 5:9 kwa kuwa Mungu hakutuweka kwa hasira yake, bali tupate wokovu, kwa Bwana wetu Yesu Kristo (RSV).

 

Kwa hivyo Mungu hushunguliki nasi kwa hasira ili atuangamize. Atashughulika nasi ili kutuleta sote kwa wokovu kwa Yesu Kristo na kufanya hivyo kunafaa kuwa na mwelekeo.

 

Ufahamu wa Mungu unasababisha toba liletao wokovu na unaleta kutubu unaongoza kwa wokovu.

 

2 Wakorintho 7:7 maana huzuni iliyo kwa jinsi ya Mungu hufanya toba liletalo Wokovu lisolo na majuto bali huzuni ya dunia hufanya mauti.

 

2Wakoritho 7:10 kwa miungu kulia na kutengeneza ambayo ni sehemu na kuleta, lakini dunia inalia na kifo (RSV)

 

Injili ndiyo neno la kweli na kwa hivyo njili ni wokovu wenu, unaasababisha kutiwa muhimu na Roho yule wa uhadi aliye mtakatifu.

 

Waefeso 1:13, “Nanyi pia katika huyo mwekwisha kulisikia neno la kweli, habari njema za wokovu wenu, tena mmekwisha kumwanini yeye na kutiwa muhuri na roho yule wa uhali aliye mtakatifu.”

 

Wokovu unapatikana kutoka vitabu vitakatifu kwa kuongozwa na Mungu. Kitabu kitakatifu kinaweza kumwongoza unayetubu kwa wokovu kupitia imani katika Yesu Kristo.

 

2 Timotheo 3:15-16 Na ya kuwa tangu utoto umeyajua maandiko matakatifu, ambayo yaweza kukuhekimisha hata upate wokovu kwa imani iliyo katika Kristo Yesu. 16 Kila andiko lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho na kwa kuwaonya watu makosa yao na kwa kuwaongoza na kuwaadibisha katika haki (RSV).

 

Ingawa alikuwa mwano, alijifunza kutii kwa mates ohayo yaliyompata naye alipokwisha kukamilishwa, akawa sababu ya wokovu wa milele kwa wote wanaomtii.

 

Waebrania 5:8-9 Na ingawa ni mwana, alijifunza kutii kwa mates ohayo yaliyompata; naye alipokwisha kukamilishwa akawa sababu ya wokovu wa milele kwa watu wote wanaomtii (RSV).

 

Kudhalika alitolewa sadaka mara moja asichukue dhambi na atatokea mara ya pili pasipo dhambi kwa hao wamtazamia kwa wokovu.

 

Waebrania 9:28 Kadhalika Kristo naye akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi atatokea mara ya pili, pasipo dhambi kwa hao wamtazamao kwa wokovu. (RSV).

 

Wokovu kwa hivyo najulikana kwa wote waliokabidhiwa watakatifu mara moja tu.

 

Yuda 3 wapenzi nilipokuwa nikifanya bidii sana kuwaandikia habari ya wokovu ambao ni wetu sisi sote, naliona imenilazimu kuwaandikia ili niwaonye kwamba msishindanie imani waliyokabidhiwa watakatifu mara moja tu. (RSV).

 

Kwa hivyo hakuna ufunuo baada ya ileiliyotolewa kwa Yesu Kristo na Mungu na kupewa Yohana. Yote yanayotakina kwa wokovu wa wanadamu imeandikwa kwa Bibilia. Wokovu na nguvu na utukufu yote ni ya Mungu na ameyafunua yote kwa watumishi wako kupitia Yesu Kristo na haibadilishwi.

 

Urunuo wa Yohana 22:18-19 Namshuhudia kila mtu ayaskiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki. Mtu yeyote akiyaongeza Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki. Na mtu yeyote akiondoa lolote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki. Mungu atamwendelea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki (RSV)

 

Muhuni wa mwisho wa watakatifu  basi ni kupitia Roho mtakatifu ikizingatia sheria ya Mungu ilivyofunuliwa katika Bibilia kutoka agano la kale.

 

Kristo alitoa sheria huko mlima sinani pale malaika wa Akidi – malaika wa Yehovah – alisema

 

Kwa maana, amini nawaambia. Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu yeyote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni ili mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni…….. (Mathayo 5:18-19).

 

Kwa hivyo, Kristo kwa vyovyote hakuondoa sheria. Alitii sheria na kuwaamuru watu wafanye hivyo. Torati manabii walikuwa mpaka Yohana. Kutoka kwa Yohana habari njema ya ufalme wa Mungu hutangzwa na kila mmoja hujiingiza kwa nguvu (wana sukumwa).

 

Lakini ni vyepesi zaidi mbingu na nchi vitoweke kuliko itanguka nukta moja ya torati (Luka 16:16-17).

 

Torati lilitolewa kupitia Musa, lakini haikuthaminiwa.

 

Yohana 7:19 “Je, Musa hakuwapa torati? Wala hakuna mmoja wenu aitendaye torati. Mbona mnatafuta kuniua? (RSV)

 

Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii (Warumi 8:7) kwa hivyo inatafuta kuwaondoa wanaotii torati kukanywa na utiifu wao.

 

Kwa kuwa wote waliotenda dhambi pasipo sheria watapotea bila sheria. Wote waliokosa wenye sheria watahukumiwa kwa sheria.

 

Warumi 2:12 Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea posipo sheria, na wote waliokosa wenye sheria watahukumiwa kwa sheria. (RSV)

 

Kila atendaye dhambi afanyo uasi kwa kuwa dhambi ni uasi (waraka wa kwanza wa Yohana 3:4). Hukumu ya dhambi ni fiko hata kama ilitendwa katika uongozi chini ya sheria au nje ya sheria. Haina maana hata kama sheria za uongozi ziatofautiana na torati. Wale wanaotenda dhambi watakufa ila wakirudishwa kwa upya mwa maisha katika wokovu wa Kristo. Baadaye wanatii sheria.

 

Kupsh tohara ni ya moyo na kutii vipengele vya sheria ndio vipimo vya tohara. Yule anayetii sheria amepashwa tohara ya moyo, lakini yule uliyepashwa toraha na hatii sheria ni mwongo. Wale walio Wayahudi ni wale wanaotii sheria kutoka katika mioyo yao, kuwa Wayahudi ndani kwa ndani, bali wale wanaosema kuwa ni Wayahudi, nao sio bali wasema dongo (Rev. 3:9) na nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako.

 

Ufunuo 3:9 Tazama nakupa walio wa sinagogi la shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi nao si bali wasema uongo. Tazama nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa ninekupenda.

 

Ubishi wa waprotanti ya rehema kuondoa sheria imaangemezwa katika sentensi inayosema kuwa waliochaguliwa wamekufa kwa sheria, kutoka katika Warumi

(Warumi 7:4).

 

Warumi 7:4 kadhalika ndugu zangu, ninyi pia mmeitia torati kwa njia ya mwili wa Kristo mpate kuwa mali ya mwigine yeye aliyefufuka katika kusudi tumzalie Mungu matunda (RSV).

 

Muundo huu hauondoi sheria lakini inasisitiza nguvu ya roho mtakatifu kwa kuongoza mtu binafsi kwa asili ya Mungu anayoanza kwake kupitia Roho mtakatifu. Tofauti unakuwepo kati ya kuishi kwa mwili na judusi za kuongoza uhusiano baina ya mtu na Munu kwa vizuizi vinavyotolewa na sheria ambalo kwako ni tukufu na uzuri. Torati sio kitu cha maumbile. Wale walio wa mwili wanaichukua kama kitu cha maumbile. Tumekufia hilo wazo kwa sababu hatuishi kwamo katika mwili. Mkombozi ataileta tena sheria katika jadi ya milenia kulingana na maandiko na maandiko hayawezi kuvunjwa. Ni kwa njia gani ambalo sheria inafutwa kabisa? Sheria haileti uzima. Roho mtakatifu inafanya hivyo kupitia Kristo.

 

Warumi 7:5-7 Kwa maana tulipokuwa katika hali ya mwili tamaa za dhambi. Zilizokuwako kwa sababu ya torati, zilizotenda kazi katika viungo vyetu hata tukaizalia mauti mazao.6Bali sasa tumefunguliwa katika torati, tumetia hali ile iliyotupinga ili sisi tupate tumemika katika hali mpya ya roho, si katika hali ya zamani ya andiko. 7 Tumeseje basi? Torati ni dhambi? Aasha! Walaki singalitambua dhambi ila kwa sheria kwa kuwa singalijua kutamani kama torati isingalisema usitamani (RSV).

 

Pasipo Roho mtakatifu tama ya mwili inachemshwa na ufahamu wa mazuri na mabaya ambayo imekashifwa na sheria pasipo asili ya Mungu hatuwezi kutii sheria kwa njia ya ya utukufu. Kwa hivyo tumetolewa kwa tprati tukawekwa kwa Yesu Kristo. Hiyo haiwezi kwa leseni. Tukimpenda Mungu tunaki amri zake.

 

Yohana 14:15 Mkinipenda mtazishika amri zangu (RSV)

 

Hakuna tofauti katika maandiko haya. Amri kumi zilitoka kwa Baba na kutumiwa kwa kutiii kwa Kristo.

 

Yohana 15:10 Msizishika amri zangu ,taka katika pendo langu, kama vile mimi nilivypozishika amri za baba yangu na kukaa katika pendo lake.

 

Ni nini hasa kilichoshulubishwa msalabani?

 

Wakolosai 2:13-15 Na ninyi mlipokuwa mmnekufa kwa sababu ya makosa yenu na kutokutaniriwa kwa mwili wenu, alikuwafanya hai pamoja naye, akiisha kutusamehe makosa yote, 14 akiisha kuifuta ile hati iliyoaandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, ailiyokuwa na uadui kwetu, akaondoa isiwepo tena, akaigongomea msalabani; 15 akiisha kuziwa enzi na mamlaka, na kuzifanya kuwa mkogo kwa ujasiri akizishangilia katika msalaba huo (RSV)

 

Wakolosai 2:14 inaandikwa hivi katika andiko kuu na Marshall kama:

 

¦>"8,\R"H    6"2z º:ä< P,4D`(D"N@< J@ÃH *`(:"F4<   Ô        µ<

exaleipsas       to    kathi  emõn  cheirographon     tois     dogmasin       ho      en

wiping out      the   against us     handwriting                   in ordinances which was

 

ßB,<"<J\@<  º:Ã<s 6"4 "ÛJÎ µD6,< ¦6         J@Ø :XF@Ls  BD@F08fF"H

upenantion        emin,     kai  auto    erken     ek          tou  mesou,     proselõsas

contrary            to us     and  it         has taken out of the midst (way) nailing

 

"ÛJÎ      FJ"LDèq

auto          staurõ

it         to the cross [stake (staurõ)].

 

Kwa hivyo, deni ya akounti (cheirographon) ilitokea kwa watu wa sherehe na sheria ilikuwa ni kitu ilihukumiwa. Kwa hivyo, vitu wa kusafisha na sadaka zilitolewa au kuchukuliwa nje ya njia mara moja na Kristo.Hiki kifundisho ya uongo wa Colosea inatazamwa kwa kiini katika karatasi Heresy in the Apostolic Church (No. 89). Roho mtakatifu na Sabato si moja wa msanyiko wa sherehe wa sheria, ni sheria ya sadaka tu zina tolewa. Kwa kutolewa kwake, Kristo kwa kauli moja alijitoa kwa sehena na nguvu. Wa Griki ndiko wa archas (kubadilishwa Viongozi) na ezousias (uwezo). Alitoa wazi, na kujijudu kwao.  Kwa hivyo, kristo alinena nguvu za Mbinguni (na zile za Setani) ambeya ange peana kwao kwa binadamu. Sheria ina simama.

 

Kwa kuwa torati ni takatifu na amri zile nitakatifu nay a haki na njema.

 

Warumi 7:12 Basi torati ni takatifu na ile amri ni takatifu nay a haki na njema (RSV)

 

Kristo alisema “Nikitaka kuingia katika uzima, zishike amri”

 

Mathayo 19:17 Akawaambia, kwani kuniuliza habari ya wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini akitaka katika uwima zishike amri.” (RSV)

 

Kwa hivyo hatuwezi kumiliki uzima wa milele pasipo kutii amri. Hapa Mungu ni kiini cha mazuri na hivyo neno la Mungu. Katika amri hizi mbili hutengemeza torati yote na manabii (Mathayo 22:40).

 

Mathayo 22:36-40 “Mwalimu katika torati ni mari ipi iliyo kuu? 37 Akawaambia mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote. 38 Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii. Mpende jirani yako kama nafsi yako. 40 katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii. (RSV)

 

Torati kwa hivyo imeelekezwa mwisho au lengo, ambayo iko kwa Kristo na imedhamiriwa kuturudisha kwa Mungu. Torati kwa kuwa ni tukufu inatoka kwa Mungu na inshungulikiwa katika asili zetu ili aturudishe kwa Mungu. Torati kwa hivyo hauleti mauti, bali ni dhambi ambayo ni uasi wa torati, inayofanya kazi ndani ya mtu na kusababisha kifo.

 

Warumi 7:13 Basi je! Ile iliyo njema ilikuwa mauti kwangu mimi? Hasha! Basi dhambi, ili ionekane kuwa ni dhambi hasa! Ilifanya mauti ndani yangu kwa njia ya ile njemo, kusudi kwa ile amri dhambi zidi kuwa mbaya mno (RSV).

 

Kwa kuwa torati ni tukufu lakini mimi ni mtu wa mwilini aliyeuzwa chini ya dhambi.

 

Warumi 7:14 Kwa maana twajua ya kuwa torati asili yake ni ya rohoni, bali mimi ni mtu wa mwilini nimeuzwa chini ya dhambi.

 

Ubishi wote kuwa torati si tukufu na kwa hivyo sio ya agnano jipya ni uongo mtupu. Aliyetubu kwa kweli anafurahi kuwa katika amri za Mungu ndani yao.

 

Zaburi 119:1 wamebarikiwa wale ambao njia zao ni ya haki wanaotembea katika amri za Bwana! (RSV).

 

Warumi 7:22 Kwa maana maifurahia sheria ya Mungu kwa utu wa ndani (RSV).

 

Kwa maana sheria huelekeza watu kwa Kristo ambaye ni mwisho wa sheria.

 

Warumi 10:4 Kwa maana Kristo ni mwisho wa sheria ili kila aaminiye ahesabiwe haki (RSV).

 

Mwisho wa torati (telos gar nomou) hapa hitimisho kama lengo au bao, ndio  kitendo au hali  ilicholegnwa sio kukamilishwa kwa torati.

 

Kuongezwa na roho kunamtoa mtu kutoka chini ya sheria.

 

Wagalatia 5:18 Lakini mkiongozwa na roho hampochini ya sheria (RSV)

 

Si kwa sababu inaodnoa sheria lakini kwa sababu inawesha sheria kuiitwa kutoka ndani ya mtu na tendo njema kuwa katika asili yetu.

 

Waebrania 8:10-13 Maana hili ndilo agano nitakalogana na nyumba ya Israeli. Baada ya siku zile asema Bwana. Nitawapa sheria zangu katika nia zao, na katika mioyo yao nitaziandika; nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.11 Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake. Na kila mtu na ndugu yake akisema. Mje Bwana; kwa maana wote watanijua. Tangu mdogo wao hata mkubwa wao. 12 Kwa sababu nitawasamehe maovu yao. Na dhambi zao sitazikumbuka tena, 13 Kwa kule kusema Agano jipya amelifanya lile kwanza kuwa kukkuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka (RSV).

 

Kwa hivyo roho imeandikwa kwenye mioyo na nia ya watu. Watu wanatii sheria kupitia roho mtakatifu. Watu wakatii sheria kupitia moyo kwa njia halisi inafanya kazi kama alama ya waliochaguliwa. Na tena mawazo yasiyotubu inatambulishwa na kukataa kwake kutii sheria na ubishi ambayo yanalenga kuondoa sheria.

 

Sheria za Mungu inafutwa kwa njia ya imani bali si kwa matendo.

 

Warumi 9:32 kwa sababu gani? Kwa sababu hawakuifuata kwa njia ya imani bali kuna kwamba kwa njia ya matendo. Wakajikwaa juu ya lile jiwe likwazalo (RSV)

 

Utiifu kwa amri ni nguzo kwa kuhifadhiwa kwa Roho mtakatifu ambaye inaishi kati ya wale wanaotii amri za Mungu.

 

Waraka wa Kwanza wa Yohana 3:24 nayo azishikaje amri zake hukaa ndani yake yeye. Nayo ndani yake. Na katika hili tunajua ya kuwa nakaa ndani yetu, kwa huyu roho aliyetupa. (RSV)

 

Matendo ya Mitume 5:32 Na sisi tu mashahidi wa mambo haya pamoja na Roho mtakatifu ambaye Mungu amewapawote wamtiio (RSV)

 

Kwa hivyo hawazekanani ktu kuwa mkristo na kumpenda Mungu na Yesu kama hatii sheria kinachotakikana ni kutii sabato kama amri ya nne.

 

Wokovu Kwa Neena

 

Neema ya Mungu imefunuliwa kwa wokovu wa watu wote inatufundisha kukataa ubaya na tamazaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki na utauwa katika ulimwengu huu wa sasa, tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu wa mwokozi wetu (Tito 2:11-13; see Marshall's RSV Interlinear Greek-English New Testament). Kristo kwa hivyo ndiye ufunuo wa ushahidi wa Mungu mkuu ambaye ndiye mwokozi wetu (Tito 2:10). Neema kwa hivyo ni matunda ya kazi ya Yesu Kristo.

 

Kanisani inalindwa wa nguvu za Mungu kupitia imani kwa wokovu ulio karibu kufunuliwa wakati wa mwisho.

 

Waraka wa kwanza wa 1Petro 1:5 Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani hata mpate wokovu ulio tayari kufunuliwa wakati wa mwisho. (RSV).

 

Matokeo ya imani ni wokovu wa Roho. Manabii walitabiri juu ya wokovu lakini hawakujua wakati au mtu wa mkombozi walipotabiri mateso yake na hatimaye ushindi wake.

 

Waraka wa kwanza wa 1Petro 1:9-10 katika kuupokea mwisho wa imani yenu yaani wokovu way oho zenu. Katika habari ya wokovu huo manabii walitafuta – tafuta na kuchunguza – chunguza ambao walitabiri habari za neema itakayowafikia ninyi (RSV).

 

Dhambi iliingia duniani kupitia Adamu na ikaendea kutoka kwa Adamu hadi Musa. Mauti ndiyo matokeo ya dhambo

 

Warumi 5:12 Kwa hiyo kama kwa mtu mmoja dhambi ilingia ulimwenguni na kwa dhambi hiyo mauti na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi (RSV).

 

Dhambi ilikuwepo kabla Musa hajapewa sheria

 

Warumi 5:13 Maana kabla ya sheria dhambi ilikuwamo ulimwenguni lakini dhambi haihesabiwi isipokuwa sheria (RSV)

 

Kwa hivyo madhara ya sheria yalijulikana kutoka Adamu, kwa kuwa dhambi haihesabiwi pasipo na sheria kwa hivyo watu wote walikufa na wanasubiri kufufuka kwa mara ya pili nje ya sheria. Chini ya sheria manabii na waamini walipata ufufuo wa kwanza.

 

Neema kwa hivyo ilienea kwa sababu yakuwakuwa huru kutoka dhambi na sheria. Pahali dhambi ilizidi chini ya sheria neena ilihepa.

 

Warumi 5:15-21 Lakini karama ile haikuwa kama lile kosa kwa naama ikiwa kwa kukosa kwako yule mmoja wengi walikufa zaidi sana neema ya Mungu na kipawa kilicho katika neema yake mwanadamu mmoja Yesu Kristo kimezidi kwa ajili ya wale wengi. 16 Wala kadiri ya yule mtu mmoja aliyefanya dhambi si kadiri ya kile kipawa; kwa maana hukumu ilikuja kwa njia ya mtu mmoja akaleta adhabu, bali karama ya neema ilikuja kwa ajili ya makosa mengi! Ikaleta kuhesabiwa haki. 17 Kwa maana ikiwa kwa kukosa mtu mmoja matuti ilitawala kwa sababu ya yule mmoja zaidi sana wao wapokeao wingi wa neema na kile kipawa cha haki, watatawala katika uzima kwa yule mmoja, Yesu Kristo. 18 Basi tena kama kwa kosa moja watu wote walihukumiwa adhabu, kadhalika kwa tendo la haki watu wote walihesabiwa haki yenye uzima. 19 Kwa sababu kama kwakuasi kwake mtu mmoja watu wengi wallingizwa katika hali ya wenye dhambi, kadhalika kwa kutii kwake mmoja, watu wengi wameingizwa katika hali ya wenye haki. 20 Lakini sheria iliingia ili kosa lile kubwa sana ba dhambi ilipozidi ineema ilikuwa nyingi, 21 ili kwamba kama vile dhambi ilivyotawala katika mauti, vivyo hivyo kwa njia ya haki neema itawale hata uzima wa milele kwa Yesu Kristo Bwana wetu. (RSV)

 

Kwa hivyo sheria haikuletw kuongoza uasi ili ufahamu wa masharti ya matawa kupitia upendo wa Mungu ilikuwa hdahiri kwa wale wamtafutao Mungu. Lakini waisraeli hawakuwa watiifu. Lakini sheria iliingia ili kosa lile liwe kubwa sana na dhambi ilipozidi, neema ilikuwa nyingi zaidi ili kwamba kama vile dhambi ilivyotawala katika mauti vivyo hivyo kwa njia ya haki neema itawale hata uzima wa milele kwa Yesu Kristo Bwana wetu (Warumi 5:20-21).

 

Hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu.

 

Warumi 8:1 sasa, basi hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu.

 

Torati kwa hivyo imetimizwa ndani wale wanatembea wakifuata mambo ya roho.

 

Warumi 8:4 ili maagizo ya torati yatimizwe ndani yetu sisi tusioenenda kwa kufuata mambo ya mwili bali mambo ya roho (RSV).

 

Kwa kuwa roho inaongoza akili kulingana na lengo lake

 

Warumi 8:5-6 Kwa maana wale wafuatao mwili huyafikiri mambo ya mwili, bali wale waufuatao roho hayafikiri mambo ya roho. 6 Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti bali nia ya roho ni uzima na amani (RSV).

 

Nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu kwa maana haitii sheria ya Mungu wala haiwezi kuitii.

 

Warumi 8:7 kwa kuwa ile nia ya mwili ni wadui juu ya Mungu kwa maana haitii sheria ya Mungu wala haiwezi kutii (RSV).

 

Kwa hivyo nia ya mwili au isiyotubu inagunduliwa kwa kuasi kutu sheria za Mungu. Ubishi kuwa neema imeondoa sheria ni ile isiyotubu. Ubishi wote wa wokovu – torati inawagundua wale wanaotii Mungu na wale wasiomtii Mungu, ukweli sio “kama” bali “vipi” sheria inatiiwa. 16 Basi mtu aiswahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato, 17 mambo haya ni kivuli cha mambo yajayo, bali mwili ni wa Kristo. Kristo basi alitoa sheria chini  ya uongozi wa Mungu na ni msemaji na nia ya sheria. Kwa hivyo hakuna kitakachopita kutoka kwa sheria mpaka yote yatimie-kama kurehemu sayari kwa sheria na  hivyo kwa Mungu mwishoni mwa milenia. Hiyo ndiyo sababu Kristo alirehemu siku zote takatifu, miezi mipya na sabato kwa kurudi kwake. (Isaya 66:23, Zacharia 14:16-19). Akitaka yote yaliyohifadhiwa katika melenia, basi wanananwa kwa walioteuliwa siku zote.

 

Roho wa kwake ambaye alifufua Kristo kutoka uwavu kwa Wakristo, kupeana maisha kupitia Roho kwa Binafsi.

 

Roho wake yeye aliyemfufuo Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu ataihushisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa rohowako anayekaa ndani yenu. (Warumi 8:11) (RSV).

 

Warumi 8:14 Kwa kuwa wote wanaoongzwa na roho wa Mungu nao ndio wana wa Mungu.

 

Warumi 8:12-14 Basi, kama ni hivyo ndigu tu wadeni si wa mwili tuishi kwa kufuata mambo ya mwili, 13 Kwa maana kama mkiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa, bali kama mkiyafisha matendo ya mwili kwa roho mtaishi. 14 Kwa kuwa wote wanaongoozwa na roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu (RSV).

 

Na haya yote ni kupitia neema ya Mungu. Torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo.

 

Yohana Mtakatifu 1:17 Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkonowa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo (RSV).

 

Hivyo basi tunalia abba au baba kufanywa wana pamoja. (Warumi 8:15) kama alivyopewa ndugu yetu Yesu Kristo.

 

Warumi 8:15-16 kwa kuwa hamkupokea tena rohoya utumwa iletayo hofu, bali mlipokea roho ya kufanywa wana ambayo kwa hiyo twalia, Aba yaani Baba. 16 Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu. (RSV).

 

Sheria haileti haki kwa matendo ya sheria. Mwanadamu anahesabiwa haki kupika imani kwa Yesu Kristo.

 

Wagalatia 2:16 hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu, sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo; wala si kwa matendo ya sheria; maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki (RSV).

 

Maisha wanaoishi ni kupitia imani kwa mwana Mungu.

 

Wagalatia 2:20-21 Nimesulubiwa pamoja na Kristo, lakini ni hai wala si mimi tena, bali Kristo yu hai ndani yangu, na uhai nilio nao sasa katika mwili, ninao katika imani ya mwana wa Mungu, ambaye ilinipenda akijitowa nafsi yake kwa ajili yangu. 21 Siibatili neema ya Mungu, maana ikiwa haki hupatikana kwa njia ya sheria basi Kristo alikufa bure. (RSV).

 

(Angalia pia kazi za sheria au MMT (Nambari 104).

 

Kupitia Torati, tunatika torati ili tumwishie Mungu

 

Wagalatia 2:19 Maana mimi kwa njia ya sheria, niitia sheria ili nimwishie Mungu.

 

Hata hivyo hatubatili neema ya Mungu maana ikiwa haki hupatikana kwa njia ya sheria (Wagalatia 2:21). Tunatii sheria kwa sababu Roho inatuongoza, ili kwamba kwa hizi mpate kuwa washirika wa tabia wa uungu (Petero wa Pili 1:4) kama vile Kristo.

 

Waraka wa pili wa 2Petro 1:4 tena kwa hayo ametukirimiwa ahadi kubwa mno, za thamani ili kwamba kwa hizo mpate kuwa washirika wa tabia ya uungu. Mkiokolewa na uharibifu uliomo duniani kwa sababu ya tamaa (RSV).

 

Tumeokolewaa si kwa sheria bali kwa neema ya Yesu Kristo.

 

Matendo ya Mitume 15:11 Bali twamini kwamba tutaokaka kwa neema ya Bwana Yesu vile vile kama wao (RSV)

 

Dhambi haina utawala kwa waliochaguliwa kwa sababu hatuko chini ya sheria bali chini ya neema na tu watumwa wa Mungu.

 

Warumi 6:15-14 Kwa maana dhambi haitawatawala nyini, kwa sababu hamwi chini ya sheria bali ya neema. 15 Ni nini basi? Tufanye dhambi kwa sababu  hauwi chini ya sheria bali chini ya neema? Itaisha! (RSV).

 

Hata hivyo, hatufanyi dhambi kwa kuasi sheria kwa sababu sisi tu watumwa wa Mungu na haki na wala si wa dhambi kwa watiifu kutoka kwenye mioyo yetu ile elimu ambayo tuliwekwa chini yake.

 

Warumi 6:17-18 Lakini Mungu na shukuriwe kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mlitii kwa mioyo yenu ile manma ya elimu ambayo mwilikweka chini yako. 18 na mlipokwisha kuwekwa huru mbali na dhambi mkawa watumwa wa haki (RSV).

 

Wakati ule tulipokuwa wafu kwa sababu ya makosa yetu, tumeokolewa kwa neema.

 

Waefeso 2:5…. Hata wakati ule tulipikuwa wafu kwa sababu ya makosa yetu; alituhisha pamoja na Kristo yaani mmeokolewa kwa neema. (RSV).

 

Tume fufuliwa na kuka na Kristo mbinguni ili Mungu atatounyesha, kwa kuja kwake. Uwezo na mali zake za upole na uzuri wake kupitia Yesu Kristo. 

 

Tumefufuliwa na kuketishwa pamoja na Kristo katika ulimwengu wa Rono katika zamani zinazokuja audhihirishe wengi wa neema yake upitiao kiasi kwa wema wake kwetu sisi katika Kristo Yesu (Waefeso 2:6-7 RSV).

 

Kwa hiyo huruma tume okolewa kupitia imani. Hili sio kufanywa kwa binfsi; ni zawadi wa Mungu sit u kwa kazi, ili hakuna mweny atakuwa na ezembe. 
 

 

Waefeso 2:8-9 Kwa maana mmeokolewa kwa neema kwa njia ya imani ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu ni kipawa cha Mungu; 9 Wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu (RSV)

 

Hivyo tunatii sheria kupitia Roho ya Mungu wa neema.

 

Masharti Chini Ya Torati

 

Kuna kipengele cha masharti yanayoendelea ya kutii sheria ambayo haipati na wala haibadilishwa, kama ambavyo tumeona (Mathayo 5:18 Luka 16:17). Wayahudi hawakutii sheria wakati wa Kristo (Yohana 7:19) ikabidilishwa na mapokeo ya wazee (Mathayo 15:2-3,6; Mariko 7:3,5,8-9,13).

 

Mathayo 15:2-6 Mbona wanafunzi wako huyahalifu mapokeaji wazee kwa maana hawanawi mikono walapo chakula. 3 Akajibu akawaambia mbona nyyini haihalifu amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu? 4 Kwa kuwa Mungu alisema mheshimu baba yako na mama yako, na atmtukaye baba yake au mama yake kufa na afe. 5 Bali ninyi husema. Atakayemwambia babaye, au mamaye chochote kukupasacho kusaidiwa na mimi ni wakfu. 6 Basi asimheshimu baba yake au mama yake mkalitangua neno la Mungu kwa ajili ya mapokeao yenu. (RSV).

 

Mariko 7:3-13 Kwa maana Mafarisayo na Wayahudi wote wasiponawa mikono mpaka kiwiko, hawali, wakishika mapokeo ya wazee wao; 4 tena waktoka sokoni, wasipotawadha, hawali na yako mambo mengine walyopokea kuyashika kama kuoasha vikombe na midumu na vyombo vya shaba. 5 Basi wale mafarisayo na waandishi wakamuliza, mbona wanafunza wako hawaendi kwa kuyafuata mapokeo ya wazee, bali hula chakula kwa mikono najisi? 6 Akawaambia Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki; kama ilivyoandikwa, “watu hawa huniheshimu kwa midomo, ila mioyo yao iko mbali nami, 7 Nao waniabudu bure, wakifundisha wafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu. 8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu na kuyashika mapokeo ya wanadamu. 9 Akawaambi, vema mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu. 10  maana Musa alisema waheshimu baba yako na mama yako na amtukanaye babaye au mamaye kufa na afe. 11 Bali ninyi husema mtu akimwambia babaye au mamaye, ni korbani, yaani wakfu kitu changu chochote kikupasacho kufaidiwa nacho, huwa basi, 12 Wala mumkuhusu baadaye ya hayo kumtendeo neno babaye au mamaye; 13 huku mkilitangua neno la Mungu kwa mapokeo yenu mliyopokeana tena mwafanya mambo mengi yaliyo sawasawa na hayo. (RSV)

 

Sheria ilibadilishwa kuwa mzigo au nira na walimu wa wayahudi wa siku wakamjaribu Mungu. (Angalia karatasi Matendo ya sheria – au MMT (No. 104).)

 

Matendo ya Mitume 15:10 Basi sasa mbona mnajaribu Mungu na kuweka kongwa juu ya singo za wanafunzi ambalo baba zetu wala sisi hatukuweza kulichukua? (RSV).

 

Kuna masharti inayotoka juu kutii amri za Mungu. Zinadumu na hazitapata mpaka mwisho wa miongo, ambayo inahusu kuishi kwa wanadamu.

 

Mbona Wakristo Wanatii Sheria

 

Wakristo wanaokolewa kwa neema bali si kwa sheria. Mbona basi huu ukweli potovu unakubaliko na wanatii sheria? Ni kwa sababu sheria ya Mungu iltokana kwa kukubali uzuri wa nafasi yake. Sheria ya Mungu inatoka kutoka asili ya Mungu na kwa hivyo inasimama daima kwa kuwa Mungu mwenyewe habadiliki kutoka kuwa mzuri kama kinii cha mazuri. Katika Mariko 10:18 Kristo alisema kwa nini kuniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, ndiye Mungu au kwani kuniuliza habari ya wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini ukitaka kuingia katika uzima zishike amri (Mathayo 19:17). Wema wa Mungu inaongoza mmoja wetu katika kutubu.

 

Warumi 2:4 Au waudharau wingi wa wema wako na ustahimili wake au uvumilivu wake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvuia upate kutubu?  (RSV).

 

Asili ya Mungu ni ule ambao haubadiliki. Wamiliki wa mbinguni wanaurithi asili yake kwa hivyo wanadamu tatika urukufu wa asili yake na uzuri wake, kwa njia hii, Yesu Kristo ni yeye yule jana leo na hata milele

 

Waebrania 13:8 Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo  hata milele (RSV)

 

Wateule tena kwa hayo ametukirimia ahadi kuwa mno za thamani ili kwamba tuwe wakuhani kwa nyumba ya Melkisedekia ambayo haisambazwi (aparaban) wala haibadiliki milele (aioona).

 

Waebrania 7:24 Bali yeye kwa kuwa akaa milele anao ukuhani wake usipoondoka (RSV).

 

Kwa njia hii, wateule wanaendelea katika ukuhani wao milele, kugeuzwa kuwa wafalme na makasisi wataongoza katika na juu ya ardhi (epi) (Ufunuo wa Yohana 4). Huu ndio utabiri wa milenia.

 

Kristo anaweza kuokoa kwa wote wanaokaribia Mungu kupitia kwake (Angalia WAEBRANIA 7:25; Marshall’s Uguriki – Kiingereza Interlinear). ta hivyo Kristo si chombo kuwabudu, wala si Mungu anayeamuru.

 

Waebrania 7:25 naye kwa sababu hii aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai siku zote ili awaombee. (RSV).

 

Sheria ya Mungu inatufuwa kwa imani wala si kwa matendo.

 

Warumi 9:32 kwa sababu gani? Kwa sababu hawakuifuata kwa njia ya imani, bali kwamba kwa njia ya matendo wakijikwaa juu ya jiwe lile likwazalo (RSV).

 

Tuna agano ambapo Mungu ameelekeza sheria zake kwa nia yetu na kuandika katika mioyo yetu. Yeye ni Mungu wetu na sisi ni watumishi wake, tunamwabudu kwa kutii sheria zake katika asili yetu (Waebrania 8:10-13).

 

Basi ishara za nje ni za bure. Ni kutii sheria na amri za Mungu kati yetu inayotutahiri (1 Wakorintho 7:19) kama vile wakristo na watakatifu wa Israeli.

 

I Wakorintho 7:19 kutahiriwa si kutu na kutotahiriwa si kitu bali kuzihifadhi amri za Mungu (RSV).

 

Ni walewanao tii sheria na amri za Mungu ambao wanashambulia joka na wanatambulika katika mateso

 

Ufunuo wa Yohana 12:17 Joka akamkasirikia yule mwanamke akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu naye akasimama juu ya mchanga wa bahari (RSV).

 

Hawa ni watakatifu ambaye wana tii Amri wa Mungu na kuvumilia.

Ufunuo 14:12 hapa ndiyi mwito wa kuvumilia wa watakatifu, wale wana tii Amri wa Mungu na imani wa Yesu. (RSV) 

 

Wateule wanatii amri za Mungu na imani ya Yesu mhitaji ya uvumilivu inatoka kwa juhudi za kila mara za kuhujumu nguvu za mari za Mungu kupitia ujuzi unaonuia kuungonga ukuu wa Mungu mmoja  (Yohana 17:3; 1 Yohana 5:20) na umuhimu wa amri zake. Sabato ni moja kati ya amri ambayo inatishwa kuondolewa na ubishi wa neema – amri. Ile kitu ambacho ni potovu na imetafsiriwa vibaya kwa maandiko ineenezwa na wakristo wanaotubu ambao kwa maoni yao, wanaonyesha ukatili amri za Mungu wao, huonyesha utu wa mwilini kwa kuamini kwao na asili yao usiobadilisha katika mawazo yao. Wateule wameteswa kwa kukosa kutambua uongo huu. Kwa sababu wanaendelea kutii sheria za Mungu na imani ya Yesu mwana wake wanateswa.

 

Mfumo wa uongo Mungu mkuu inaanzwa kama mhukumu kwa jadi ya neema – sheria uasi wa siku za mwisho kati ya wateule inaendelezwa katikati ya sheria. Mwanadamu wa dhambi ni kweli mtu asiye na sheria (anomies) kumaanisha pasipo sheria.

 

Kwa hivyo mtu asiyejua sheria anajaribu kuondoa mangizo za sheria anajielkeza mwenyewe juu ya yote yaliyo ya Mungu. Amekalishwa katika naos ya Mungu, ambapo sisi pia tupo.

 

I Wakorintho 3:17 kama mtu akijiharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo, kwa maana hekalu la Mungu ni tukufu ambalo ndilo ninyi.

 

Neon kubadilishwa temple hapa ni naos. Ndiko imeandikuwa na Marshall kama;

Kama muta ana Vuma (wa) Mungu kufia, kufia jina lake (wa) Mungu; kwa ku vuma (wa) Mungu mtakatifu ni (Mwenye) wa ye.

 

Ilo siri ya kuasi hivi sasa inatenda kazi pale Paulo alipoandika kwa Wathesalonike.

 

2 Wathesalonike 2:7-10 maana ile siri ya kuasi hivi sasa inatenda kazi lakini yuko azuiaye sasa, hata atakapoondilewa. 8 Hapo ndipo atakapofunuliwa yule asi ambaye Bwana Yesu atamwua kwa pumzi ya kinywa anake na kumwangamiza kwa ufunuo wa kuwapo kwake; 9 yule ambaye kuja kwako ni kwa mfano wa mutenda kwako shetani; kwa uwezo wake, na ishara na ajabu za uongo; 10 na katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotoa kw sababu hawakukubali kuipenda ile wapate kuokolewa.

 

Kuna hatua ya ubishi ambayo imedumu katika miongo yote ya kanisa na ambayo imenajisiwa na kuteswa na ile ya masalista – trinitanana au ubishi wa ukuu wa Mungu, na ubishi wa neema – sheria ambayo inaifuata. Ubishi huu ulionekana katika Yohana wa kwanza kutoka kwa wamodalisa kama mwanzo wa ukuu ambayo mwishowe ilifika kwa kundi la Baba, Mwana na Roho mtakatifu. Masaibu mengine katika mwongo huu yalionekana Kolosai na Galatia pamoja na Efeso. Upendo wa kweli ndiyo muhuri ya uteule. Wale wasiopinga ubishi huu na wasiotii sheria za Mungu wametakaliwa na Mungu. Hatua hii liko wazi kabisa na ni ya kupinfukia nyakati za mwisho na katika Laodekia na makanisa ya Sardi. Makanisa hayo yote yamekataliwa na watu wachache wanakombolewa.

 

Angalia makaratasi haya:

 

Ubainifu katika sheria (Nambari  96)

Hatujakombolewa kwa matendo mena (Nambari 189)

Upendo na maandiko ya torati (Nambari 200)

Barua ya Yakobo (Nambari 279)

 

 

 

q