Makanisa La Wakristo Wa Mungu

[099]

 

 

 

Umuhimu Wa Uoshaji Wa Miguu

 

(Toleo 3.0 19950401-19990-20070120)

 

Pamoja na karatasi ya umuhimu wa mkate na divai (No. 100) hiyo inakumbana umuhimu ya vifaa vya lishe ya bwana ambayo inajumisha sacramenti ya pili ys kanisa uashaji wa miguu inasheria kutengwa kando kwa maisha ya Messiah.

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

Email: secretary@ccg.org

 

(Copyright ã  1995 Ben Johnston, 1999, 2007 ed. Wade Cox)

(Tr. 2008)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


 

Umuhimu wa Uoshaji wa Migu



 


Ni sawa kwa wakati huu wa mwaka kufikiria sana kuhusu pasaka. Karatasi hii inajumuisha dhana ya sherehe ya uoshaji mguu. Tumeona sote kuwa hali ya binadamu iwapo mtu atafaulu, hawa tuna mpa pongezi kasha tunasahau. Lakini isipofaulu tutaanza kujiuliza “ Ni kwa nini? Kwa kufanya hivyo, tunajifunza. Paulo alikuwa akifanya hivyo tu.

 

Paulo aliandikia kanisa huko korintho na waraka huo umehifadhiwa katika Bibilia ili kutoka kwake tuweze kujifunza na pia tuweze kujirekebisha, Paulo alianza kanda ya koritho miaka michche kabla na waraka inaonekana kuwa iliandikwa muda mfupi kabla ya pasaka. Kanisa ya koritho ilikuwa na shida na matendo sanasana ya wakafiri. Sisi kama kanisa ndogo, twaweza kuwa na shida kama hizo. Kukiuka kwa mambo mengine katika waraka huo itabuni kuelewa kwetu na kuileta sana dhana ya pasaka. Uchoyo, fahari na ndoto. Hiyo imekua pasipendeka kwa koritho.

 

1Wakoritho 11:17-22 “Sasa siwasifu kwa kwao maelekea kubaya si kizuri 18 kwanza, mkiungana pamoja kanisani, kutakuwa na utengano kati yenu; ninaimini kidogo. 19 kutakuwa na wale wa kuchukua hatima kutoka kwenu. 20 Mkija pamoja siom kwa minajili ya kula lishe ya Bwana. 21 kwa kuwa kwa kila mmoja ataikuwa amekula chakula chake cha jioni, mwengine atakuwa amelewa kabla ya kupata lishe ya bwana. 22 Nini? Kwani hamna manyumba ta kulia wa kunywa? Ama ni kwa vile mnaidhrau sana kanis ya bwana na hamna aibu? Ntawambia nini? Nitawasifu nini kwa sababu hiyo? Kamwe sitawasifu.

 

Kwa kujumika pamoja kataika lishe ya Bwana, kanisa ya koritho walitazama kwa namna Fulani baada ya sherehe ya Bwana, kanisa ya koritho walitazama kwa namna Fulani  baada ya shere ya makafiri ikiangizia swala la Paulo kuhusu ubinafsi na Ulevi. Umuhimu wa roho na ishara ya mkate na divai haikutuliwa maana ni hata kidogo. Kwa hekima, yaweza kuonekana kuwa kanisa ilipata shida kwa kutolewa sherehe ya uoshaji miguu ambao Yesu aliwaagizi wanafunzi wake wafanye kabla ya kula mkate na kunywa divia. Yohana 13:1-17 inatufanulia hayo zaidi.

 

Yohana 13:1-17 kabla ya pasaka, ambapo yesu alijua ya kwamba muda wake ulikuwa umewadia na alikuwa aenda kwa Babake. Na mwisho wa lishe, shetani alimwingilia Yuda Iskariot ili akamsaliti Yesu; 3 kwa vile alijua kuwa alitoka kwa Baba na huko ndiko alikokuwa akirudi. 4 Alinuka kutoka mezani na kujitenga na kasha akijifunga leso. 5 Baada ya hayo alimwanga maji katika karaya lasha akaosho na kuyapanguza miguu ya wanaafunzi wake. Alipofikia Simoni Petero; alimuliza, Bwana mbona wataka kuniosha miguu? 7 Yesu akamjibu kuwa nifanyalo sa hii hauwezi kujua lakini utayaelewa baadaye, 8 Petero akamwambia hutaniosha mguu naye Yesu akamwabia, huna lako kwangu iwape sitakusafisha mguu. 9 Simioni akamwabia basi usisafishe miguu yangu bali hata kichwa na mikono pia. 10 Yesu akawambia kuwa si lazima mtu aoshwe kote ndipo awe safi. 11 kwa vile alijua yule atakayemsaliti, na hivyo basi akasema, hauko safi.12 Baada ya kuwasafisha miguu, alirudi akakaa chini, akawauliza, mnajua kitu nimefanya? 13 mnaniita mwalimu na Bwana; na hay yote ni kweli, 14 Basi kama mwalimu na mwana amewasafisha miguu, mbona nanyi pai msishafishane miguu, 15 kwa vile niwapa mfano, yafaa nanyi pai sio kwa aliyemtuma. 17 mlalajua haya,basi ni vyema mkiyatekeleza.

 

Uoshaji wa miguu ni jambo la labinafsi na shere hiyo huwa haifanyiki mara nyingi katika enzi za kale, ilikuwa ni sehemu ya salama na utu wema. Watu walivaa patipati au walikaa bila na hivyo basi miguu yao ilichafuka. Katika manyumba ya matajiri kulikuwa na mjakazi wa kiwango cha chini ambaye  alifanya kazi hiyo.

 

Ni sawa na kupangusa viatu kwenye gunia mlangoni ama kuvivua viatu na kuviacha nje jinsi wafanyvo wazungu wengine humu nchini. Yesu alipoanza kusafisha miguu ya wanafunzi wake, ilikuwa ni kunyume na matarajio yao. Alikuwa ni mkuu wa akisha miguu yao. Yesu aliamua kuifanya kama mfano wa jinsi tunavyostahili kukaa. Ni tendo la kitu na unyenyekevu.

 

Wanfunzi walitumia muda mwingi kuongea juu ya nani atakuwa mkubwa kwa Ufalme wa Mungu jinsi imeandikwa kwa Mariko 10:35-45.

 

Mariko 10:35-45 James na yohana wanawe zebedee, walikuja kwake wakisema, mwalimu utafanya jinsi tukakavyo, 36 akauliza, mnataka niwafanyie nini? 37 Tupe uwezo wa kukaa mmoja upande wa kushoto mwingine upande wa kutia katika kiti chako cha enzi .37 Yusu akajibu hamjui mnachouliza: unaweza kukunywa  hii kikombe nilichokunywia? nakubatizwa jinsi nilivyobatizwa? 39 Na wakajibu, tuwaweza. yasu akawajibu, iwe hi viyo: 40 Lakini namna ya kukaa sio jukumu langu  kuamuwa, litapewa anayestaili. 41 wengine kumi walipoyasikia  ,hawakufurahi na James na Yohana, 43 atakaye kuwa mkuu wangu atakuwa mhudumu wenyu. 44Yule atakaye kuwa mamlaka kuwazidi ataku wa mtumisi kwa wote. 45 Vile hata mwana wa mwanadamu hakuja kuhudumiwa bali alikwa kuhudumu.

 

Mawazo ya ufalme na uchyo ziliwafanya wanafunzi. mfano mwingine uko katik : Luka mtakatifu  22:24-27.

 

Luka 22:24-27 Kulikuwa na jitihadi kati yao ambao inaonekana kuwa kuu kupita yote . 25Akawambia, walfme wa wa gentali walitawala.26. lakini hamtakuwa hivyo: lakini atakayekuwa mkuu kwenye wote,acha wae ndiye mdogo zaidi, na yule aliye na mamlaka kushinda wote acha taumikie watu.27 yupi mwenye mamlaka, kati ya anayetymikia  na anayetumikiwa? Nimo kati yenu kama anayetumikia.

 

Katika tamaduni zao, utumishi na utu zilidharauliwa kama matendo ya watumwa wazuri. Ilikuwa ni udhoufu. Nafasi ya mtu katika jamii ilimulika mamlaka yake juu ya watu wenzake. Kwa twndo la yesu, twajifunza kuwa utumishi na utu ni mahitaji ya wokuvu,

 

Wafilipo 2:3-4 tulijitahidi sana: bali tulijifunza kukubali kuwa wengine wantuzidi kimarifa. 4 Angalia, sio kila mtu ana vitu vyake binafsi, lakini kila mtu hutegemea ya mwenzake.

 

1Yohana 3:16 Hapa tutaona kwamba sio kwa utu na utumishi tu, bali ule hisia wa kijitolea jinsi kristo alivyofanya.

 

Sasa tunaona kuwa sio kazi na ubinadamu, lakini ni moya wa kutamani kutoa maisha yetu kwa ajili ya ndugu zetu kama Kristo alivyo fanya,na kile matendo yake ulionyesha kulingana na Yohana 13:6-7.

 

Yohana 13:6-7 Alimjia Simioni Petero aliyejuliza kwa nini alikata kumsafisha miguu? Yesu akamwambia kuwa afanyalo kwa sasa hakuna aliye weza kuelewa lakini wangkuja kuielewa baadaye.

 

Jambo ambalo kristo alifanya ni wazi kwetu sasa, na sio kwa watumishi kwa wakati huo.

 

Yohana 12:1-8 Siku sita kabla ya pasaka Yesu alienda Bethani mahali Lazaro alikuwa amekufia. 2 Hapo aliandaliwa mlo ambayo Martha alimletea lakini Lazaro alikuwa ni mmojawapo walioketi nao mezani. Kasha Maria akachukua mafuta lililokuwa ni la bei kali na kupaka miguuni mwa Yesu na kupangusa miguu hiyo kwa kutumia nywele zaka na nyumba yote ikajawa na harufu ya mafuta ile. 4 kisha akasema kuwa Yudas Iskariot, mwanawe smioni, atamsaliti. 5 Mbona mafuta haya hayangewezwa na pesa kupewa maskini? Alisema sio ati aliwajali, bali nim kwa vile alikuwa ni mwizi. 7 kisha akasema, mwachilieni. 8 nikom kwa vile maskini wako naynyi kila siku bali  mimi sitakwepo nanyi kila wakati.

 

Maria akapaka miguu yake Yesu kwa mafuta ya bei kali iliyotumiwa kuifadhi wafu kabla ya kuzikwa. Yudas Iskarioti atateta akizinatia huo kama uharibifu, kwa kile ambacho tumekisoma, ita kuwa sawa kusema kwamba watumishi hao hawakutaka kuamini utabiri kuwa mwalimu wao alistahili afe. Angazia Yohana 13:4,12.

 

Yohona 13:4 Alinuka na kuandaa taulo. Yohana aliongeza kutumia neno  la kigreeki lithnia kumaanisha kutenga kando.

 

Yohana ulijazwa kutumia neno ya Wagiriki Tithenai maana ya kupaa kando kulingana na jambo ilo.Kwa Sura 10,11,15,17 na 18 hili neno linatumiwa kuongea juu ya Kristo kutoa maisha yake kwa ajili ya kondoo.

 

Yohana 13:12 Sasa baada ya kusafisha miguu zao, na akuchukuo vasi lake, ana kupaa chini tena aliwambia, mnajua kenye nime wafanyia ninyi?

 

Yohana alitumia lugha ya Wagiriki lambenei (kutoa ) kumaanisha Yesu kutoa maisha.

 

Katika sura za 10,17 na 18 lambenei imetumika kufafanua mamlaka ya Kristo kuishi tena. Kristo kishi tena. Kristo aliona kifo na ufufuo wake kabla ya.

 

Katika aya ya 6-10 maongezi ya Petero na Yesu yanajikita ambapo Petero anashanga akiona mwalimu wake akitaka kumuosha miguu. Petero aliona ni kama haikuwa sawa. Yesu naye akajibu “ Nisipokushafisha, huna lako nami”

 

Jibu lake Yesu: “Yule ambaye ameoga anashtahili tu kusafisha miguu lakini yu safi, kwa hivyo uko safi lakini si nyingi nyote,” kwa kuwa Yesu alijua Yudas angemsaliti.

 

Kwa kukuwa pamoja kwa mfano wa kuosha muguu,tuna fanya kuwa kwetu kwa ufufuo wa kristo mapya ,huduma na uridhi.

 

Jibu la Petro: ``Bwana sii miguu yangu peke lakini tena mkono wangu na kichwa’’.

 

Yesu’ kajibu: ``Yule ameoga anaitaji kuosha miguu yake peke, lakini mwilini zote ni safi, na wewe yu safi,lakini sio ninyi zote’’. Kwa maan Yesu alijua kuwa Yuda hata msaliti.

 

Kristo alikuwa akisema ya kwamba baada ya kuoshwa katika maji ya batis dhambi. Kwa vile sisi hutenda dhambi, kuna vile tunahitaji utakase wa kila mara inayonyeshwa na miguu michafu - ilivyochafuka  katika safari yetu na nia ya kutembea katika njia za bwana lakini tunateleza. Huwo tunakosea ndiposa tunahitaji msamaha.

 

Kujimuhisha  katika sherehe zaq uoshaji miguu kila mwaka huendeleza utakatifu tuliopokea wakati wa batiso.

 

Kwa kutamatisha, twapata kuwa kuoshana miguu hutuanda kwa mkate na divai na hutukumbsha  juu ya hali utulivu unaofaa. Tunapenda mbele zake Bwana; sio kama Wakoritho, Waza kuhusu sisi ni nani, twatoka wapi na twalekea wapi, rehema na upendo wa Mungu utatayarisha kuchukuwa ishara ya mkate na Divai. Ufufuo wa kristo, utumishi na Urithi.

 

q