Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[105]

 

 

 

Musa na Miungu za Misri

(Toleo 4.019950415-20001212-20080122)

 

Nakala hili linaelezea jinsi Musa alivyokabiliana na Pharaho. Mateso iliyowekwa Misri zinaelezea kulingana na Miungu za Misri ambayo Mungu hakupenda. Mateso hayo yanaonekana kibibilia. Maisha ya Musa inaelezea kulingana na vigao vya mpango wa wokovu ambayo inaonyesha namna ya nyakati. Kutoka inalinganisha na muundo wa kitabu cha wafu na jambo hilo linaeleweka kama terminologia. Nakala hili ni muhimu kwa kuelewa kutoka.

 

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

 

(Copyright ã 1994, 1995, 1999, 2000, 2008 Wade Cox)

(Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


 

Musa na miungu za Misri

 


Hadithi ya Musa sio hadithi tu bali ni hadithi ya kuachiliwa huru kwa watumwa kutoka Misri katika mileniumu wa pili BCE.Ni swala muhimu katika mpango wa wokovu wa ulimwengu inavyojitika katika Bibilia.

 

Musa ni mfano wa Kristo au Mesia .La muhimu ni kwa Waisraeli walimwanoa Musa ni kama mfano na Bibilia inatueleza hayo. Musa alisema:

 

Na Yaweh akaniambia, wamesema vyema kili walicho sema. Nita towa mnabii kwao kati ya wandugu, kama wewe; na nita tia neno langu mdomoni mwake; na ataongea nao kilichomwamri (Kumbu Kumbu la Torati 18:17-18 The Interlinear Bible).

 

Vungu hili inatokana ni kama:

Yohana 6:14 Watu walipoiona ishara hiyo aliyoifanya Yesu, wakasema, ``Hakika huyu ndiye nabii anayekuja ulimwenguni.’’  

 

Matendo 3:22-23,26 Kwa maana Musa alisema` Bwana Mungu wenu atawapelekeeni nabii kama mimi kutoka kati yenu ninyi wenyewe. Yeyote yule ambaye hatamsikiliza nabii huyo atatengwa mbali na watu wa Mungu na kuangamizwa…………26 Basi, Mungu alimfufua mtumishi wake kwa faida yenu kwanza, akamtuma awaleteeni Baraka kwa kumfanya kila mmoja wenu aachane kabisa na maovu yake’’.

 

Matendo 7:37-38 Musa ndiye aliwaambia watu wa Israeli:` Mungu atawateulieni nabii kama mimi kutoka katika ndugu zenu ninyi wenyewe. ’38 Wakati wa Israeli walipokutana pamoja kule jangwani, Musa ndiye aliyekuwako huko pamoja nao. Alikuwa huko pamoja na babu zetu na yule malaika aliyeongea naye mlimani Sinai; ndiye aliyekabidhiwa yale maneno ya uzima atupe sisi.

 

Hata hivyo babu hao walikataa kumtii Musa, kama tu walivyoweza kumkana Kristo.

 

Matendo 7:39 ``Lakini yeye ndiye babu zetu waliye kataa kusilaliza; walimsukuma kando wakatamani kurudi Misri.

 

Watitengeza ndoma na wakaichomea Dhabihu.

 

Matendo 7:42 Lakini Mungu aliondoka kati yao, akawaacha waabudu nyota za anga kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii ; Enyi watu wa Isreali si Mimi ,,liyenotoa dhabihu na sadaka kwa muda wa miaka arobaini kule jangwani!

 

Fikiria juu ya kuabudu wa wenyeji wa Mbinguni (Stratia tou ouranou).

 

Tunaona kuwa tamko, Nyota za wenyeji inarejelea elohim, ikijumuisha Kristo ambaye nyota zinashiria (Hesabu 24:17; Danieli 8:10; Amosi 5:8,26; Mathayo 2:2; Matendo 7:43; 1Wakorintho 15:41; 2Petro 1:9; Ufunuo 1:20; 2:1; 3:1; 8:11; 9:1; 22:16). Ni Mungu anayeweka nyota saba (Kihibrania, Kumah the pleiades) na Orion ambayo iliabudiwa (Amosi 5:8). Maana ya nyota saba inahusiana na roho wa Bwana. Nyota hizo saba zaonekana kama malaika wa kanisa saba, ambao yalikuwa kama Pleiades.

 

Malaika aliyetokea Jangwani na kutokea kwa Musa mlimani wa Sinai (Matendo 7:30) naliyefikisha sheria kwa babu zetu (ambazo hawakuzingatia), alikuwa ni Yesu, matakatifu, aliyesalitiwa na kuuwawa.

 

Nabii aliyefaa kuinuliwa katika Kumbukumbu la Torati 18:15 alifaa pia kuwa kuhani katika Zaburi 110:4 na tena kuhani mfalme katika Zekaria 6:13. Hakuna kutoamini kuwa tunazungumzia Mesia atakayetoa mamlaka juu ya wafalme nne katika hekalu (Zekaria 6:14). Inamulika mtindo wa Cherubi katika Ezekieli 1:1ff; 10ff na Ufunuo 4:7.

 

Maisha ya Musa kama Mpango

Mpango ya wokovu ulitokana na Maisha wa Musa, kuzaliwa na hatua za maisha yake. Maisha ya Musa yaligawanywa katika hatua tatu za miaka 40. Aliishi miaka 120 (Kumbu Kumbu la Torati 34:7).

 

Miaka arobaini za kwanza alikuwa Misri.Miaka arobaini ya pili alikuwa Midiani kama mchungaji (Matendo 7:29); na miaka arobaini za mwisho alikuwa jangwani.

 

Ishara ya miaka arobaini mara tatu inaweza tu kueleweka kwa mtindo wa Jubili ya Kalenda takatifu.

 

Lutoka mpango wa wokovu iliyopangiwa na juma ya sabato tunapata fununu ya miaka elfu sita ikifuatiwa na mtindo wa mileniumu au utawala wake Yesu Kristo anayodumu kwa miaka elfu moja, katika Ufunuo 20:26. Petro alielewa swala hilo wa siku hiyo kutoka miaka elfu moja kwenye 2Petro 3:8. 

 

La muhimu zaidi ni kuwa kwa maisha ya Musa tunaelewa kuwa muuda wa miaka elfu sita ilikuwa ivunjwe mara tatu, ya karibu Jubilee araobaini kwa kila kundi. Hiyo ni 40×50=2000 miaka. Hawamu ya kwanza ilikuwa ni kuumbwa kwa Adamu na Abrahamu kuendelea kuunda taifa la Israeli. Swala la hawamu ya kwanza bado haijaeleweka idhinisho la sayari mpya pia yaendelea chini ya muundo mpya kutoka kwa Adamu ambayo haieleweki kwa sababu ilichukuliwa na Austine katika Mji wa mungu, kuwa bibilia ilimchukulia Adamu kuwa mwanadamu wa kwanza. Kwa hasasa ni halaka kuwa Wahibrania waliwaelewa wana wa Mungu katika Mwanzo 6:4 walikuwa za malaika. N sasa ni juu ya kutoamini kuwa Waebrania walielewa mwana wa Mungu kwenye Mwanzo 6:4 kama ya malaika (tazama Vermes, Bahari ya zamu na scroli wa Kingereza) Yuda 6 yasema kuwa malaika walikuwa ni kama Sodoma na Gomora, wakitenda hukahaba na kuenda mbali na mwili lingine(sarkos eteras).

Kuelewa utu wa binadamu ni somo tofauti na kwa mtihani wa kazi Creation: From Anthropomorphic Theology to Theomprphic Anthropology (No. B5), na The Nephilim (No. 154). Umuhimu wa rekodi za Bibilia ni kuwa kuangamia kwa mUsa ulikuwa inamulika wokovu wa binadamu kwa njiia ya Nuhu na Safina. Hadithi hii inapatikana pia katika historia zingine za mashariki ya kati. Hadithi ya musa huenda iliwathiri lakini ni kama mzizi ni mafuriko ya kawaida. Huu ilikuwa ni hawamu muhimu katika kutakasa sayari. Muhimu kabisa ni kwa inamulika upinzani wa wenyeji kuondoa ufufuo wa sheria na wokovu katika sayari. Jaribio la kumwangamiza Musa utotoni mwake unaangazia jaribio la kumuuwa Kristo utotoni mwake katika uuwaji wa watoto na Herode katika Mathayo 2:13:14.

 

Kristo alikuwa tena ishara ya utakaso wa Israeli, na hivyo basi sayari. Kristo alifaa pia kuondelewa nje wa Misri (Hosea 11:1, kufafanuliwa Mathayo 2:15), ambayo ilitumika kama ishara ya dunia chini ya upinzani miongoni mwa wenyeji.

 

Abrahamu alipewa Israeli. Isaka na Yakobo alipochukuwa haki ya kuzaliwa kwa njia hiziyo ya maana kulingana na mwenendo. Matabaka mengine yalizalishwa katika kizazi cha Abrahamu kama Waishmaeli (Mwanzo 25:12), Waedoni kutoka kwa Esau (Mwanzo 25:25ff), na kwa wana wa Ketura kulingana na Mwanzo 25-1 amabyo Midiani ilikuwa mmoja. Haki ya kusaliwa kulipitia Isaka (Mwanzo 25:5), na kisha kwa Yakobo (kutoka Mwanzo 27:6-30). Hata hivyo Bwana aliamua kuwatuma Misri kuzaana. Mfano ni ule wa mchaguliwa (Ufunuo 1:9) na kuenea kuingia ufalme wa Mungu (Matendo 14:22).

 

Waisraeli waliwazidi hata wenyeji wa Misri kwa idadi (Kutoka 1:9). Walifanywa kama watumwa (Kutoka 1:11) na wake wakati (Shiphrah: kumaanisha kung’aa au kumeremeta) waliamuriwa kuwaua watoto wote wa kiume (Kutoka 1:15-16). Wake wakati walimcha Mungu walikataa kuwaua waume hao. Wake wakati walimcha Mungu kuliko Pharao na wliprewa chumba cha kufadhiuwa na Mungu (Kutoka 1:21). Hili kwa wle walio hesabiwa kwa hekima zao walifanya kazi zao kwa maangizo la Mungu, na walipewa nafasi kwa maisha hijayo kwa wana Israeli.

 

Hadithi inahusika na kuondoa werevu wa kielimu na ukuhani kw amika ya Israeli kiroho na kuendelea kwake chini ya mateso. Wanaomcha Mungu kuliko serikali watalindwa na kupewa urithi.

 

Pharao aliamuru watoto wote wa kiume kutumbikizwa kwenye mto wa Nile (Kutoka 1:22) ili kuchukua mamlaka ya Israeli.Musa alizaliwa kwa kabila ya Lawi (Kutoka 2:1-3). Alifichwa kwa miezi mitatu na kisha akawekwa mtoni akalindwa na dadake Miriamu hadi bintiye Pharao, alipomokota, aliyemlea kama mwanawe (Kutoka 2:5-10). Hii tendo uloichukua hadithi ya Horus kuokolewa na Buto kutoka kutambaa wa pwani wa Chemmis. Buto alikuwa mungu wa Pe-Tep, mmoja wa kumi takatifu wa kawaida wa Misri (Maelezo).

 

Kulingana na Josephus (A wa J, Bk.II, Ch.X), Musa aliwekwa amri jeshi mkuu wa jeshi la Misri katika vita kuu dhidi ya Misri na Uhabeshi. Walishambulia hadi Mephis. Sheria ya Misri ilieleza kwa Musa alikuwa anafaa kuzifikisha na Pharao akamuru bintiye ampeleke kulinda wana Jeshi. Irenaeus alisema hivi kwa tamaduni kwa maneno zake (ap.ed.Grab, p.472, kusemwa na Whiston). Matendo za zingine inaongea juu ya hadithi hiyo. Musa aliowa binti wa Mfalme wa Ethiopia, ambayo alimpendeza, na jiji hilo lilipewa kwake. Kwa maana alielimikwa ka masomo na maangizo la kijeshi wa Misri aliajiandaye kwa vita wa Israeli na kuwaongoza jangwani. Mungu aliandaa mtu na kumlea kwa njia ya ulimwengu kuwatowa katika mtindo huo.

 

Miaka Arobaini ya Pili

Musa alitoroka Misri baada ya kumwua mwalinzi wa Misri. Alikimbia juu ya ndugu zake walimtoroka.

 

Matendo 7:27-30 Lakini yeye aliyemdhulumu mwenziwe akamsukumia mbali, akisema, Ni nani aliyekuweka wewe kuwa mkuu na mwamuzi juu yetu? 28 Je! Wataka kuniua mimi kama ulivyomua yule Mmisri jana? 29 Musa akakimbia kwa neno ilo, akakaa hali ya ugeni katika nchi ya Midiani, akazaa wana wawili huko. 30 Hata miaka arobanini ilipotimia, malaika wa Bwana akamtokea katika jangwa la mlima wa Sinai katika mwili wa moto, kijitini

 

Umuhimu wa muda uliochukuliwa katika kuchunga mifugo ilikuwa ishara ya kwamba Isareli ingechukua Jubilee arobaini toka kwa Abrahamu hadi kwa Mesia katika kuendeleza historian a mila zake kibibilia yaoni hazina yake ya hekima. Mwana wa kwanza wa Musa aliyeitwa Gershom (Kumaanisha mtu katika eneo lisilo lake halali) alikuwa mwakilishi katika Israeli na Yuda.

 

Miaka Arobaini ya Tatu

Utakaso wa sayari kama Israeli kuu ingeidhinisha na mesia ilivyomtendekea Musa na wana wa Israeli. Musa aliitwa na mungu kupitia malaika (Kutoka 3:2) aliyemwita kwa neno Yaweh (Kutoka 4:10; aliyebadilishwa na Sopherim kuwa Adonai). Hivyo basi Malaika alimiliki jina kama ishara ya mamlaka kutoka kwa Yahwe mwenyeji. Mungu alinena kupitia kwake (Kutoka 3:4).

 

Funzo ya ufufuo inaelezewa katika Mathayo 22:31-32 inayotokana na maneno yaliyonenwa katika Kutoka 3:6 kutoka kwa Kristo hadi kwa Musa katika jina wa Mungu.

 

Hivyo Alisema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa isaka na Mungu wa Yakobo.

 

Mungu alijitambua kwa Musa na hivyo basi Israeli kupitia Kristo, kama alivyoweza kufanya mengi kwa ulimwengu kupitia Mesia mwenyewe. Kulingana na Bullinger (angalia Bibilia ya Umoja tambua Kutoka 3:14), Mungu alijitambulisha kwa Musa kama: `ahyeh’asher’ehyeh Nitakuwa nitakachokuwa.

 

Muuda inayopatikana kwa urahii ni YHVH, aliyeitwa Yah(o)vah au Yahoveh.YHVH ni kama wa kwanza kwa wenyeji,lakini kwa utambulisho Oxford tafikiri wa RSV usema YHVH kwa kumaanisha mtu wa tatu kumaanisha  Aliye fanya kuwa.Umuhimu wa Ufunuo huo ni kwa Mungu alijitambua kama chombo cha maendeleo, ambao tunaelewa kuwa yote ka yote (1 Wakorontho 15:28; Waefeso 4:6). YHVH alikuwa mtu wa tatu kwa ufunu. Huu aliyefanya kuwa inamaanisha kwa kila moja wa elohim neno YHVH.

 

Waisraeli walichunguzia na Musa akatuma kuwafanya kutoka Misri ili wakaridhi kile ambacho waliokuwa wanafaa kurithi walitupilia mbali na wapinzani .Kwa kiulimwengu ilikuwa ni wana wa Kaanani kwa sabau ya laana ya Nuhu (Mwanzo 9:25-26) lakini kwa ajili ya mwenyeji aliyeangamia. Mungu alimwamuru Musa kwenda kwa Pharao na wazee wa Israeli kuwambia fursa ya kuenda katika safari ya siku tatu jangwani kutoa dhabihu kwa Mungu (Kutoka 3:18) (hili pia inalinganishwa na Ishara ya Yona).

 

Musa hakushugulika sana na shuguli zake. Mungu alimtuma Haruni kuwa mnenaji wake Musa na akamteuwa Musa kama elohim kwa Haruni (Kutoka 4:16).

 

Na yeye (Haruni ) atakunenea kwako na watu. Na itakuwa, mdomo wako na utakuwa mungu (elohim) kwake.

 

Kuwa kama mmoja wa Kristo kwa mungu, kama neno la Mungu, ulkitolewa kwa usiano wa Musa na Haruni.

 

Mungu akambia Musa kuwa atafanya Musa kama elohim kwa Farao katika Kutoka 7:1.

 

Na Jehovah akambia Musa, kula, tazam, nimekuweka mungu wa Farao; na nduguye Haruni atakuwa nabii yako.

 

Kuteuliwa kulifananishwa na mtindo wa ulimwengu mahali Kristo kupitia mchanguliwa na hapo, Musa kama mmoja wapo elohim alifaa kuipuuza mamlaka juu ya mataifa.

 

Uhusiano wa Musa kama elohim inamulikwa kwa utukufu katika Mariko 9:4.Serikali hiyo ingeendela katika kipindi cha hapo baadaye. Viongozi vya mataifa ni kama Musa na Elia chini ya Kristo na Daudi kama elohim wa Israeli katika Zekaria 12:8, ambapo chumba cha Daudi itakuwa kama elohim kama malaika wa YHVH awali.

 

Kwenye Kutoka 7:2,Mungu aliambia Musa (kupitia malaika wa YHVH):

Utaongea chochote nilicho kuamuri; na Haruni nduguye ataambia Farao kuwacha watu wa Israeli kutoka nchi yake. Lakini nita fanya moya ya Farao kuwa ngumu ingawa nitaongeza ishara yangu na maajabu katika nchi ya Misri, Farao hatasikia; halafu nitaweka mkono wangu kwa Misri na kuleta kuwepo wangu, watu wangu wana wa Israeli watatoka katika nchi ya Misri kwa mikono ya nguvu na hukumu. Na watu watajua kuwa mimi ni Bwana, kama nittanyorosha mkono wangu kwa Misri na kutowa watu wa Israeli kati yao.

 

Ni jambo la ishara kukumbuka maana ya neno Israeli. Isareli ni kusanyiko wa neno El (SHD 410,au Mungu) na sarah (SHD 8280, kuwa na nguvu kama mwana mfalme au kutawala) kuendelea: Hata tawala kama Mungu. Hii ni maana kamili ya Jina wa Israeli. Israeli ya kiroho ni utawala kama elohim.

 

Ishara ya kukabiliana na Misri ni kuwa ilikuwa chini ya uongozi wa mwenyeji aliyeanguka, na inawakilishwa na kamati ya Mungu, na kuangaliwa na kuanguka wa elohim. Farao mwenyewe alionwa katika mfano wa mungu aliyehai kwa watu wake. Ingawa hivyo haza Mungu angeonyesha ukubwa wake juu ya kamati zote ulimwengu atakavyotenda katika siku zake za mwisho na mtindo wa matoleo.

 

Misri, Mungu alimenyana na kila miungu za Misri.Kitabu cha Ufuuo ni kilelezo hawamu ya mwisho ambapo Mungu atapambana na miungu za ulimwengu inayoabudiwa mwishoni mwa karne ya ishirini. Huko Misri alipambana na ishara yao.

 

Kutokana na maelezo, tuko na nafasi ya kuona maana wa kuelewa baraza wa Mungu na kazi wa uhusiano na muumba wake, ambao ni Baba.

 

Muuda wa Misri ilijumuisha miungu 10 tofauti kutoka kitabu wa kifo (tazama maelezo) na ilionekana kutoka kwa misingi kuwa kulikuwa na miungu kumi na miwili iliyoashiriwa na afisi au baraza kuangalia na chifu wa Misri, kumaanisha Amun au AmunRa.Dhana hilo Kihibrania inabebwa katika karne ya kwanza CE walikuwa ni wana kumi na miwili wa mwanga na wana kumi na miwili wa giza. Inadhihirisha kuwa nusu ya kamati ilikubaliwa na shetani.

 

Kitabu cha Wafu ilirejelewa Misri REU NU PERT EM HRU au Sura ya kuja kwa siku nne. Ndiposa neno Kutoka ni rejeshi kwa mila wa Misri imani na mtindo wao. Ishara yanayorejelewa katika kutoka ni shambulizi kwa majukumu yanayohusika.

 

Mungu alimpa Musa ishara tatu ili  Wamisri wa mwamini. Kulingana na Kutoka 4:2ff haya yalikuwa:

1.Fimbo iliyogeuka kuwa nyoka.

2.Uwezo wa kuwa na ukoma na kuponywa papohapo.

3.Uwezo wa kugeuka maji yam to Nile kuwa damu.

 

Umuhimu wa ishara hizo ni kuwa Musa alimewa mamlaka juu ya mapepo ya shetani, juu ya wanadamu, na juu ya maji yote kama nguvu la Roho.

 

Tisha la mwisho ililopewa Farao ni kifo cha kifungwa mimba wake wa kiume (Kutoka 4:23). Umuhimu wa tukio hilo inaelezewa katika swala wa Kutoka 4:24, ambapo Bwana alidhniwa kujaribu kumwua Musa. Kisha na sababu kuwa mwana wake hakuwa ametaariwa kulingana na amri aliyopewa Abrahamu. Ndiposa Zipora bibiye alichukua vinand ana kumtairi ngozi la mwanawe (Kutoka 4:24-26). Huu, Musa alikuwa na agano ya damu. Kutariwa ya kinanda alikuwa, kamatunavyo elezewa awali, kuwa Mungu ndiyo alikuwa Mwamba ili kila nyama kina tairiwa kwa moyo na kupewa wokovu.

 

Mungu alimtuma Haruni pia kwa Musa na hivyo basi mashaidi wa Kutoka kama ile ya nyakati za mwisho Kutoka Ufunuo 11:3.

 

Farao alipoambiwa kuachilia Wana Israeli kwenda kuabudu jangwani aliteta kutomjua Yehova na kasema hangewachilia na akawaadhili kwa kuongeza sehemu zao ya kazi. Ni kweli kwamba Farao hakumjua Yehova. Mungu hakuwa amejitumbua kwa Misri na baada ya mafuriko, Wamisri waligeuka kamuabudu mwenyeji ambao walikuwa wakimjua na kuwekwa. Kumbu kumbu la Torati 32:8 limetolewa katika Masoretic na vungu lake: Aliweka waku kwa kifungo kulingana na nambari ya wana wa Israeli. Ingawa wa Septuagint wanasoma:

 

Kama Mkuu wa juu amengawanya mataifa, kama amengawanya wana wa wanadamu, anawafuinga kulingana na nambari ya malaika wa Mungu.

 

Hii inaungwa mkono na Bahari ya wafu,ambayo usema bene eliym au wana wa Mungu (The Elect as Elohim (No. 1)). Hivyo mataifa yaliwekewa kupeanwa kwa wenyeji na Misri ilikuwamo majawapo ya kamati zilizoongamia. Kuna miungu 70 kati ya Wamisri kulinda taifa.

 

Baada ya ombi la kwanza watu walimgeukia Musa kwa sababu aliwavunja moyo yao na kazi msito (Kutoka 6:9), na Musa hakuamini swala la ndimi zisizotahiriwa (Kutoka 6:12,30). Hata hivyo, Mungu alisema ``Sasa utaona kile nitakachomtendea Farao: kwa vile kwa mkono wenye nguvu atawaachilia huru’’…. (Kutoka 6:1). Baada ya kurudi kwa mesia ambapo ndigu za Israeli wataletwa kutoka kwa mataifa yote kama dhabihu kwa Bwana na Makuhani na Walawi (Isaya 66:20). Ungumu wan yoyo za Wamisri, ilikuwa kudhihirisha ukuu wa Yehova juu ya wenyeji na kumwanguza kimwili.

 

Musa alikuwa na umri wa miaka themanini alipowekwa elohim (Kutoka 7:1) na katumwa kwa Farao (Kutoka 7:7). Hiyo ilidhihirisha katika hawamu ya tatu.

 

Miujiza

1.Nyoka

Fimbo ya musa iliyogeuka nyoka ilimeza nyoka za Wamisri (Kutoka 7:10-13), ikionyesha utukufu wa Yahova. Nyoka hizo aina ya Kobra ilikuwa ni sihara ya utawala wa Misri.

 

2.Damu

Maji yote ya Misri n anile iligeuka damu na samki wote wakafa (Kutoka 7:17-19). Waganga wa mIsri nao wakafanya hivyo na mIsri ikapata maji (Kutoka 7:24) na ikachunga maji kwa kutumia changarawe. Sasa Farao alikuwa na quasi- wa kisayansi kueleza maana ya Phenomenia na na kutoamini kama ni ya Mungu, kama wanasayansi wa nyakati za mwisho itaeleza kinachotendeka sayari wakati wa tarumbeta na ashira za Mungu. Mashambulizi hapo ni kwa Buto wakaazi wa eneo la Kuingilia ya Nile.

 

3.Chura

Baada ya siku saba Musa alitumwa tena kumsihi Farao awaachiliye huru wana wa Israeli la sivyo mateso ya chura ingefuata na pia kuhusu Nile (Kutoka 7:25 hadi 8:2). Nile ilikuwa mzizi wa uzima kwa Misri na hata Wamisri wakaitegemea hata kushinda Mungu. Ndiposa Waisraeli hawakuachiwa Misdri (au Assyria), lakini Israeli tuu kwa sababu mvua kwa moimu moja ingeangamiza uhusiano wao na Mungu.

 

Chura hizo ziliwakilisha nyoyo lakini sio Misri tuIshara hayo ya mioyo michafu za nyakati za mwisho, ambao ni kama chura ambazo zinatokea katika midomo yaw a Dragoni, mnyama na nabii ya uongo (Ufunuo 16:13).

 

Wanganga pia walifanya hivyo, kuleta chura kwa ardhi (Kutoka 8:7). Farao akamuhamuru Musa kuondoa chura zile, kuwaacha kwenye mto nile pekee (Kutoka 8:9) Musa alifanya hivyo lakini Farao kwa kuwa alipata kielelezo cha mateso hayo hakuachilia huru Waisraeli. Hata  hivyo itatokea tena.

 

4.Nzi

Katika Kutoka 8:20ff. Mungu alimtuma Musa kuleta ishara ya nzi katika Misri. Hata hivyo eneo la Goshen walimoishi Waisraeli hapakuwa na nzi na huru. Ilikuja ishara ya kila aina ya nzi, viroboto na umbu.Mpaka vitu avikuwa zikionekana wasi.

 

Hivyo ilikuwa kubainisha kati ya Misri na Israeli. Ilikuwa kuweka maana ya Israeli watu waliotakatifu. Kati ya Wakaanani, walio na Uhusiano na  Wamisri, nzi likuwa tena ishara ya Baalzeebub, mungu wa Ekron.Tattoo wa nzi ulionekana katika Misri kutoka mwisho wa Milleniumu wa tatu BCE,kama msalaba ni mfano kama swastika.Hili swala imefichwa katika Mfano na Tattoos na tena kwa nakala Tattooing (No. 5).

 

Nzi ilikuwa kwa mahali popote kwa ugenini kwa dhabihu na inaonekana kuwa ilichukua mfano wa ukweli kuwa mungu alichukua dhabihu yao kwa maana. Hili kitu kilicho chukuliwa ilikuwa ya maana na kuweka kuwa kama ishara isiyohalali. Mfano ilifanya kinywa cha wana wa Misri kuwa zaka.

 

Farao akasema kuwa Waisraeli wangetoa dhabihu kwenye mipaka ya Misri (Kutoka 8:25), lakini Musa alikataa kwa kuwa Wamisri walikuwa na mila nyingi kulingana na dini za kigeni, kakufunzwa na kuwa kama maana mzuri na sababu kuu. Farao tena akasema angewaruhusu tu kusongelea mbali kidogo (Kutoka 8:28). Musa alitoa nzi, lakini Farao tena akakataa kuwaacha kuenda.

 

5.Ishara ya Mifugo

Ishara lingine ilitokana ya kuwa anthrax au maradhi yaliyoenezwa na nzi lakini kwa kisayansi hichi ilikuwa ni kuimarisha uwezo wa Bwana kutenda miujiza na utu wa Mungu kuonekana. Hata hivyo, ng’ombe (pamoja na farasi, assesi, ngamia na mifugo) wa Israeli haikuambukizwa. Hakuna kutoamini kwamba ilikuwa kwa maana ya nzi haikuwa kati yao kwanza. Farao alipewa muda wa masaa shirini na nane lakini bado ng’ombe zilikuwa zi kafaa. Kuwepo wa Utakatifu ulienezwa hadi kwa mifugo kwa vile ndiyo kuchomwa kama dhabihu na ilikuwa iwe ishara ya dhabihu kwa Mesia. Fahali iliheshimika na kutokuzwa sana toka Misri hadi Apis, na ilitambuliza kwa alama zake. Uuaji wa mifugo ilikuwa ni ya kipekee kwa kinaganaga wa Apis.

 

6.Vijipu

Farao bado hakuachilia huru Waisraeli na hivyo Wamisri wote wakaambulizwa vijipu (Kutoka 9:8-12). Waganga pia waliambukizwa ishara kuwa hawakuwa na uwezo wa kuukingeuka. Ishara hii ilikuwa imelenga wa Shamani wa Medico-mystical kuelelezo kwa Misri. John J.Davis kwa Musa na Miungu za Misri, tazama hukosefu wa Misri kati ya uganga na dawa (p.82).

 

Ishara alihudhuru vifugo na hata wanadamu, kuonyesha uchafu wao, lakini Farao akuachilia au kutoa rusa wa kuaacha. Mfano huu itakuwa hata katika nyakati za Mwisho wakati wanadamu tena watakuwa wakiangamishwa na shinda wa idhara, kutokana na alama wa Mnyama (Ufunuo 16:11).

 

Baada ya ishara wa vijipu, bado Farao hakuwaruhusu wana wa Isareli kuenda, na ikadhihirisha kwa Wamisri kuwa Mungu angeshawaangamiza tiari, lakini haikiwa hivyo ili kumuadhi uwepo wa Mungu kuonekana kote katika Ulimwenguni (Kutoka 9:16).

 

7.Mvua yenye Mawe

Wamisri walipewa masaa ishirini na nne kujikinga kwa kila mmoja atafute pahali pa kujificha kama nyumba na la zivyo watakufa kwa uwaja na wanadamu na wanyama. Hawakujali kwa vile waganga na wachawi wa Misri wangeweza kuithibiti hali ya anga. Hiyo itatokea tena katika nyakati za mwisho (Ufunuo 11:19; 16:21). Waliomcha Mungu walijikinga lakini waliompuuza wote waliangamia uwanjani (Kutoka 9:21). Ngurumo, mvua yam awe na moto yalinyesha ulimwengu ikiharibu kila mahali binadamu na wanyama na kila mti wa uwanjani isipokuwa Goshen (Kutoka 9:26). Farao akalegeza kamba lakini Musa kasem akuwa najua kuwa Farao na watu wake hawakumcha Bwana (Kutoka 9:30).

 

8 Nzige

Bwana alitumia ishara kujenga upatanisho na unyenyekvu wa Farao na MIsri na hata kuendelea kwa vizazi zi fwatayo (Kutoka 10:2). Nzige ilitumika kuharibu mimea iliyobaki bila kuharibiwa na mvua ya mawe (Kutoka 10:3-6).

 

Farao alithubutu kuachilia huru wanaume na kubaki na wanawake na watoto kubaki kama mateka (Kutoka 10:8-11). Ishara ilitumiwa ambao uliharibu ardhi, na hata nguvu za miungu na wanganaga wa kilimo. Kupitia ombi la Farao, Musa akanena na Mungu aliyeleta upepo yenye nguvu ulielekeza nzige wale kwenye bahari ya shamu (Kutoka 10:19).

 

9 Giza

Kulikuwa na nguvu ya kuzambuliza wa mungu wa Misri, mungu wa jua, Ra au Amun Ra. Giza totoro ilikumba Misri kwa muda wa siku tatu, lakini watu Wa Israeli waikuwa na mwangaza mahala pao pa makao (Kutoka 10:21-23).

 

Farao akawaruhusu wa Israeli kuenda, lakini mifugo yao na maliyao ubaki. Musa akakataa swala la dhabihu (Kutoka 10:25). Farao naye akakataa na kasema kuwa atakapomwano Musa tena, uso kwa uso atakufa. Musa akasema: ``Jinsi usemavyo; sitauona uso wako ten a’’ (Kutoka 10:29). Farao akatamka adhabu yake binafsi. Mungu akasema kuwa baada ya ishara moja Farao atauwacha wana wa Israeli kuenda huru kabisa (Kutoka 11:1).

 

10.Kuuwa kwa wana wa Kwanza

Mungu alihamua kuwauwa wana wa Kwanza wa Misri (Kutoka 11:4), lakini alihamua kulinda Waisraeli kwa kiwango ambacho hata mbwe hangeweza kubweka ili kubainisha tofauti kati ya watu wawili wanao julikana. Wazaliwa wa Kwanza walikuwa ni watakatifu wa Bwana na ishara ya mazao ya taifa; Wamisri walibadili kalenda kufanya mwanga hata usiku na kuwa wa sayansi.Thoth, Mungu wa mwezi alikuwa mkuu wa miungu wa Misri na sawa na Hermes. Alikuwa karibu kama msemaji wa miungu hao. Bibiye pia aliitwa Mke wa Nyumba ya vitabu na mwanzilishi wa Hekalu. Huu kipande ilikuwa na mri kuwa Bibilia usema kama Mesia na Kanisa lake.

 

Hivyo ishara ya kuwaua wazaliwa wa kwanza usiku wa mwezi mzima kutowa kwa Wa Israeli kutoka kwa Misri ilikuwa ni mamlaka juu yao. Ilikuwa ishara ya mamlaka juu yao: Siku inayao kuja au kuwa kwa siku, mamlaka zingine ilikuwa ya neno la Wamisri.Mawazo huu ulitowa mazao la kale kwa jina Sura ya kuja kwa Masiku wa kilicho julikana kama Kitabu cha wavu  (Budge, Arkana, NY, 1985 Kielelezo, pp.xciii-xciv): Kutowa Sura I ya PERT EM HRU,

 

Ishara haya yanajulikana kwa imani wa kale ya Wamisri kuwa safari wa kila ulimwengu inachukua wavu usiku kucha wa siku wa kifo chake, na kuwa haikuwekwa kwa mfano wa kweli wa waliobarikiwa mpaka Asubuhi wa mwisha wa jua.

 

Kama mtu aliye kufa hako katika kaburi, kuhani anasema kwa aliye kufa kuwa: Alikuwa Thoth [andiko la Mungu]na Mungu mkuu na kuwa alikuwa na nguvu ya kutumikia kwa nafasi yak e na Horus alifanya kwa Osiris……(ibid).

 

Hivyo Mungu akwaondoa Waisraeli katika usiku wa Pasaka ilikueleza kinaga ya Kimisri baada ya kuwaua wazaliwa wa kwanza katika usiku wa manane. Hivyo basi safari ya wafu haikueleweka kikamilifu na kuwa Mungu alikuwa na mamlaka juu ya uzima na Mauti.

 

Orodini huu wa Pasaka na sikuku liliidhinishwa kutendeka kwa mwezi wa Abib au Nisan, amabo katika sikuku hiyo kungekuwa kutoka kwa mwanzo wa mwaka Mtakatifu. Ndama ilikuwa itengwe kando siku ya kumi ya mwezi kulingana na jumba. Ndama ya pasaka ilikuwa ni Mesia na aliuawa kulingana na mahitaji ya sikuku hiyo kama tofauti baina ya dhambi na utakasho. Ndama ilikuwa iuwawe siku ya kumi na nne ya mwezi na tunaamuriwa pia kula mkate usiochachwa na hivyo hadi siku ya ishirini na moja wa mwezi jioni (Kutoka 12:18). Huo ndio sikuku ya mkate usiochachwa.

 

Baada ya kuuwa kwa pasaka, damu ilikuwa ipakwe kwenye sehemu iliyo juu ya mlango, na Waisralei wote walifaa kukaa ndani ya nyumba zao. Umuhimu wa Paskaa ni kuwa malaika wa mauti malaika atapitia juu ya Israeli, na kondoo la dhabihu –Mesia –kuwa kama dhabihu hilo. Alikuwa akiuwawa kama ilivyo kwa sikuku, hili kufunga njia ya Israeli kwa usihano kati yetu na Mungu. Pasaka yafaa kuwa alama mikononi na katikati ya macho, kati yetu na Mungu.

 

Bwana hakuwaacha watu kwenda kama Wafilistia iwapo waliona vita n akurudi Misri hata ingawa ilikuwa njia fupi mno na raisi mno. Kwa hivyo aliwapeleka na njia ya Bahari ya Zamu (Kutoka 13:17-18).

 

Waisraeli walipinga kambi katika Pi Ha Hiroth mbele ya Baal-Zephon. Wengine wanaisoma Baal-Zephon kama Bwana wa Typhon au Mwaribifu, ingawa Bwana wa baridi. Tuna, ingawa menyana na maana lingine ya utatu na ishara Kumi wa Misri. Hilo tunamenyana na upunguvu kumi yaardhi wa Misri na Osiris.

 

Wakati Waisreali walipitwa na jeshi la mIsri Bibilia za siku hizi zaeleza kuwa huko kulikuwa ni kaskasini mwa Bahari ya Zamu. Katika jaribio la kuumeza kiwanga cha mujiza kilicho kuwa kwa tendo hilo. Kristo aligeuka kuwa ni kama nguzo la moto na wingu kati ya Waisraeli na Wamisri. Adithi huu inajulikana katika Kutoka 14:10, wakati Jeshi la Misri lilipokaribia Waisraeli waliogopa. Musa alisema:

 

Msiogope, simameni imara,na mtazame wokovu wa Bwana ambayo itafanya kazi leo ; Kwa maana Wa misri mnayo waoona leo hamtawaoona tena. Bwana atawapigia vita na ninyi mtakuwa imara.

 

Musa aliamuriwa kuinua fimbo lake n akuigawa bahari kisha kupiga hatua, ili farasi za Wamisri zingezama:

…..Hili wa Misri wajue kwamba mimi ni Bwana.

 

Hiyo ilikuwa inamaanisha mwisho wa ugumu wa moyo wa Farao kwa Bwana. Kuwa hii ndiyo ilikuwa ishara ya mwisho na ya kumi.

 

Nguzo wa Moto na Wingu

Nguzo wa Moto lilikuwa na umuhimu kwa Wamisri. Sura ya 63rd wa kitabu cha wafu kutokana na kichwa chake inamaana kuwa kichwa cha mtu halitakatwa katika ulimwengu ya wavu. Katika Sura hiyo alalamikia kichwa cha Krsto kama Mesia. Inasoma:

Mimi ndiyo mkuu wa mmoja, mwana wa aliye mkuu mmoja; mimi ni moto, mwana wa moto kwa yule aliye pewa kichwa baada ya kutatwa …nime jiyanya tena bora nma sawa; Nimekunya ujana wangu tena; Mimi ni Osiris, Bwana wa Millele (Budge, idid., kele., p.xxxiv).

 

Vivyo hivyo, katika sura ya 69 (Budge, op.cit., p.234), Osiris alilalamikia kuwa Mungu wa moto na ….mzaliwa wa kwanza wa mungu na mrithi wa babake Osiris-Seb (?).Hivyo basi `nguzo la moto na wingu’ ulitumikana kama beacon kwa Israeli na ulionekana kama jambo la kukemea Misri (na Osiris) aliyeona kama moto walipozama ingawa hakukuwa na mtu ambayo alipaki na kichwa chake. Kuendelea kifo cha majini ni ishara ya maisha ya kale n akukemea kuchemsha miili ya wafu majini (Budge, ibid).

 

Hadithi ya Musa ni sehemu ya kuelewa pasaka .Ina umuhimu pia katika kukabiliana na namana ya uongo inayohisishwa katika kuzuia kuelewa kwa kulichotendeka katika upinzani wa wenyeji na mpango wa wokovu katika kupambana, na muundo na kuleta wenyeji kama kitu kimoja chini ya mapenzi ya Mungu.

 

Hili mwisho wa hadithi ni safari ya jangwani kwa miaka arobaini. Safari ilikuwa ni ishara ya kuzunguka wa kiroho kwa Waisraeli ulimwenguni kama watu waliotezwa lakini wamekua kwa neema na hekima. Miaka hiyo arobaini yalishiria Jubilee arobaini au miaka elfu mbili ambayo ilikuwa inaisha wakati wa kuja kwa Mesia na nguvu na utukufu. Kwa mkono wa kuzangaza atauleta Waisraeli kwenye Kutoka mara ya pili, ikirejelewa katika Isaya 66. Wakati huu wachanguliwa watazaidia kama mwili wa kiroho.Ishara wa Misri yatarudiwa ilivyo tapiriwa kulinganan na sikuku wa dhabahu na kurudi kwa Mesia.

 

Dibaji

Cosmologia ya Mashariki ya kati

Ilielekeswa kote ulimwenguni kuwa baada ya mfuriko, na ilichukuliwa katika cosmologia ya Sumerian a Wamisri, kuwa mungu ulionekana kuwa katika baraza. Hapo ulieleweka kuwa na muumba ya hao wazee mungu na kulitawalwa na rais. Wachina wanaiita aliye juu zaidi kama Mungu Mkuu wa mbinguni na wa mwansilizi wa kwanza. Mtu wapili wa Mungukichwa ulijulikana kama Agusto mtu watatu wa Jade, ambao alitawala akizungukwa na baraza. Utawala ulimwengu lakini siku moja atabadilikwa na Mkuu wa mbinguni na wa Asubuhi wa Jade wa ndama ya dhahabu (New Larousse Encyclopidia of Mythology, p.381). Kuelewa huu wa Bibilia inaweka kuwa ulimwengu unatawalwa na Nyota ya Asubuhi, Kristo. kuelewa huu inaruhushu mataifa za ulimwengu na kati kwa kuelewa maana ya Mysticim.

 

Wa Assyro –Babeli wanaangazia baba wa elim au mungu, aliyeiitwa Ea (New Larouse, p.56). Aliumba Marduk, ambao ni mwanga wa Baba aliye mzaa. Marduk alikuwa mkuu alivyoteuliwa na baraza ya mungu kabla ya vita vya mbingu na Tiamat.Aliumba kwa mfano wa kila kitu na mchungaji wa mungu. Marduk alikuwa na mamlaka aliyepewa na Ea na kuangalia elim zingine na kuchukua jukumu yao na kazi zao. Hivyo anajaribia nafasi ya Bibilia kusema.

 

Wasumeri vivyo hivyo walikuwa na semi ya Kienki:

Babangu, mfalme wa ulimwengu aliniweka ulimwenguni, Mzee wangu, mfalme wa ardhi zote, alikusanya pamoja mfano wangu mkononi mwangu …..mimi ni `mkubwa wa ndugu zangu mungu….mimi ni kiongozi wa Anunnaki ,mimi ndio aliye zaliwa wa kwanza aliye mtakatifu na (Eliade, Mungu, Miungu na mujisha ya uumbaji,Harper na Row, p.22).

 

Hata hivyo, ni kwa huruma kwa wazo wa maana kuwa mapenzi na milele kwa yeye aliye Mungu Baba.Ndipo mitindo wa Misri ya kuelewa tena. Misri lina maana moja ya mtindo. Vungu katika saduku (1,161ff.,Tr.na R.T.Rndle Clark ni Mujisha na Mfano kwa Misri ya kwanza, London, 1959, p.80), ikidhaniwa kati ya 2250-1580 BCE, Atum ndiye aliiyeuumba miungu makubwa (ikilinganishwa na kamati ta wazee). Hivyo basi Wamisri waliamua kuunda baraza juu ya Elohim, ambao ulikuwa chini ya urais wa Atum.

 

Kutoka sura ya 18 wa kitabu cha wafu, Wamisri walikuwa na makundi ya miungu katika maeneo kumi inayewakilisha matukio ya muhimu katika Historia ya Osiris, kila mmoja chini ya mungu. Eneo hizo ni:

1.Annu (Helopolis)

2.Tattu (Busiris)

3.Sekhem (Latopolis)

4.Pe-Tep (Buto)

5.Ardhi ya Rhekti

6.Abtu (Abydos)

7.Sehemu ya Hukumu.

8.Tattu (Mendes)

9.An-rut-f

10.Re-stau.

Miungu za sehemu haya ni:

1.Tem,Shu,Tefnut

2.Osiris,Isis,Nephthys,Heru-Netch-hra-tef-f

3.Heru-khenti-an maati,Thoth.

4.Horus,Isis,Kestha (Awali Mestha),Hapi.

5.Horus,Isis,Kestha.

6.Osiris,Isis, Ap-uat.

7.Thoth,Osiris,Anubis, Astennu.

8.Amun,Shu,Hatmeyt*

9.Ra,Osiris,Shu,Bebi.

10.Horus,Osiria,Isis (Budge,op.cit.,p.cvii).

N/B Hatmeyt ni sawa na Dercato (miungu ya samaki).

 

Wamisri waliamini kuwa kwa mila zingine za makuhani wateule, wangeweza kupata nguvu za kuendeleza kutoka kwa mwili yam fu kuliko mfano inayoitwa sahu, ambayo ingeweza kupaa bingani na kukaa n amiungu mingine huko. Ingechukua mfano wowote bora iliwekwa na miungu. Sahu alikuwa wa moyo, kuwa sehemu hapo na Mungu (Budge, ibid., p.280).

 

Ilikuwa inapumua moya wake ulijumuisha kwa ambayo iliishi na maiti kaburini. Hata hivyo, ingeweza kutawala kwa mapenzi yake na kuingia sanamu ya mtu yeyote. Hivyo basi Wamisri walikuabudu masanamu; waliabudu Ka kumaanisha. Matoleo na dhabihu kaburini ilikuwa kuhakikisha kuwa ka hakuzurura. Ba au Moyo ulihusiana na ka na na kukaa kwa vitu au vingu fomu yao. Ilisemekana kuwa na kichwa cha binadamu, ilihali ilikuwa ni kama ndege ya Nebget katika Paris.

 

Maisha ya wanyama, na jema na baya, iliishi katika moyo au ba. Ilipimwa katika hukumu la, ambao ulichikuwa nafasi baada ya kufa katika Jumba la Hukumu la Osiris, aliyekuwa hakimu. Waliohukumiwa walilishwa mla wafu. Hivyo hakukuwa na swala la ufufuo wa wafu. Wale ambao hawakuhukumiwa wa Osiris na furaha walipata uzima wa milele. Inadhibitishwa katika King Unas (Budge, ibid.,p.lxvii& p.286) inadhibitishwa katika khaibit au kifuli,iliyohusishwa na ba aliyeishi na ka. Khu pia ilihusishwa na ba au moyo wa kiroho lakini ni Roho. Haiwezi kamwe kufa. Ilitawala Sahu.

 

Sekhem au nguvu inaonekana kama uhuishaji wa nguvu za mtu. Sekhem aliishi miongoni mwa khus au roho. Ni kawaida kusemwa kwa usioano na moyo na roho (ibid., p.lxviii).

 

Wamisri walishikilia kuwa jina la mtu ni lazima ingehifadhiwa au aache kuiishi. Ilisawazishwa kwa nafasi na ka. Dhana hilo ni la kawaida na kitabu cha bibilia ya Uzima. Hivyo kuna maswala yenye yanapinga Bibilia ili kusawazisha ukahaba wa kila mmoja, ambayo bibilia ni inaonyesana mahitaji Mungu pekee.

 

Miungu wa Osiris, Isis na Horus ni sehemu nzuri ya muundo wa mungu anayekufa tunayemuona na Attis na Adonis. Kule Misri, Isis alionwa kama Mama-miungu katika mtindo wa mungu wa Triune. Aliashiriwa na SSS katika matamshi ya kinambari ilikuwa ni 666. Hivyo wakristo walijitambulisha kwa mtindo wa shetani aliyeshirikishwa n ahadithi za Isis.Alikuwa pia ndiye nyota ya vahari au Stella Maris. Dhana hilo lilianzishwa na manahadha wa Ugiriki n ainaeleweka kuwa Sirius inayoinuka Juni na kugatuliwa maji katika eneo hilo. Utambulisho wa dhana zingine za Isis zilipitishwa kwa mtindo wa mama-miungu na kahaba. Katika umario pia alitambulika na Hathor katika uzalifu wa makundi na ilishirikishwa n adhana la Ndama la Dhahabu, iliyoundwa na dhahabu tunavyoona katika The Golden Calf (No. 222).

 

Osiris pia aliombolezwa kama kifo cha Mungu na inahusishwa na vikundi visivyoeleweka katika dhana hilo. Wenye kundi hizo walinyoa nywele zao wakawalia nywele za kuhandikwa. Hiyo  inachukuliwa kama cha kuaminika katika Monasti ya Wakristo na inaeleza tofauti baina ya mtindo wa Celtic kupitia Carthage, na ule wa Kirumi. Frazer ana maswala mengi kuhusiana na mtindo huo katika The Golden Bough (Vol.iv;v; & vi, McMillan, 3rd ed. 1976 kuchpishwa).

 

  

q