Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[143]

 

 

 

 

Ufufuo ya Waliokufa

 

(Toleo  3.0 19940927-20000926-20071223)

 

Nakala hii inaongea juu ya ufufuo ya kwanza na ya pili ya waliokufa. Maana ya ufufuo hayo imeelezwa, kama mwisho wa kila kitu. Kitambulisho wa Nephilim na kukana wa Ufufuo kwao imetatuliwa na kuelezwa. Nakala huu pia inaongea kwa maelezo zaidi wa kuwepo wa Adamu kama binadamu na ni ya muhimu kwa kila mmoja ambao natafuta kihini cha Bibilia na wa sayansi kwa waliopata katika karne ya 20th.

 

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

(Copyright ă 1994, tena 1995,1996,1998,2000,2007 Wade Cox)

(Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 


 

Ufufuo ya Waliokufa

 


Sikuku la mwisho ni siku la ajabu katika sehemu yake yenyewe. Sio siku yakawaida ya dhabahu; ni siku la kikoma. Vyote vina elekezwa. Katika sehemu wa binadamu na matendo yake katika sehemu zote za maisha yake mwenyewe, na katika sehemu zote za kazi ya Mungu na mipango na siku yake. Ni kikomo ya vyote ambavyo yana ishi ambaye ni kizazi ya binadamu.

 

Siku ya Mungu ambayo ni la mwisho yame nenezwa hadi katika Yesu Kristo na tena siku ya kwanza mpaka siku ya Mwisho ambaye ndio sikuku, amabye ni siku ya hukumu. Siku hii ndiye siku ya mwisho ambaye ya kusamehewa katika sayari wa Mungu.

 

Ni vizuri tukirudi katika historia ya mwanadamu, kabla ya Adamu. Ni alzima tu jaribu kufafanua yale yalio magumu ambao hawaja tumia sawa. Ufufuo ayamaanishi wale ambao walikufa tu bali pia wale ambao wata patikana kama wako hai. Sio biandamu wote ambao wata fufuliwa – hiyo ni kuwa sio wanadamu. Kizazi cha Adamu watakao fufuliwa. Na wale kizazi za nyakati za Adamu hawata fufuliwa.

 

Nephilimu

Katika Nakala The Fall of Egypt (No. 36):  Unabii ya Farao wali fujika kwa mapavu –sehemu y akwanza na sehemu ya pili katika kuonekana katika Binadamu wa Adamuvile yana elesewa katika vungu za Bibilia. Tamuko hilo yalikuwa na maana ya Wanadamu wa kuu wa zamani. Watu wa wakuu zamani yana maana sawa na Nephilimu au gianti wa Mwanzo 6:4. Nakala ya kuanguka katika wanetili yame tengua katika ya kizazi ya waliokuwa na kuonekana sehemu ya ufufuo. Isaya 26:13-14, sana kukanaa kwa ufufuo kwa Rephaimu au Nephilimu. Neno Rephaimu ilinakiliwa kama aliyekufa au kifo.

 

 

 

Isaya 26:13-14 Ee Bwana, Mungu wetu ,mabwana wengine zaidi yaw ewe wametumiliki; lakini kwa msaada wako peke yako tutalitaja jina lako. 14 Wao wamekufa, hawataishi; wamekwisha kufariki hwatafufuka; kwa sababu hiyo umewajilia, na kuwaangamiza, na kuupoteza ukumbusho wao. (KJV)

 

Haya alijatajiliwa katika ukumbusho wa Mungu.Hao sio sehemu ya Ufufuo. Ni dhahiri tena ni wazi kuwa Hawata fufuka.

 

Neno la Waliokufa hapa ni Rephaimu (yana usiano na Nephilimu, jitu chanzo ya kuanguka kwa Wana wa Mungu) na Companion Bible ni tamuko ambayo si vizuri kutafasiriwa na kunakiliwa. Repahimu yamaanisha kwa mabwana wa sura 13. Ambapo yame nakiliwa, yanakuwa kawaida kuiitwa Gianti au Wafu (Ayubu 26:5; Zaburi 88:10). Ayubu 26:5 lazima yasome:

Repaimu lina baki (Heb.: hul) chini ya maji (Companion Bible, fn.hadi sura ya 5).

 

Ufunuo 20:13 Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Wakahukumiwa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake. (KJV)

 

Rephaimu hawatakuwa juu ama kutoka juu. Bali watabaki ndani ya maji. Katika vungu yana semekana wazi ya kuwa hawata uliuona Ufufuo wa pili.

 

Isaya 26:13-14 yana kanaa ufufuo ya wafu kwa Rephaimu, ila wote ambao ni binadamu wata fufuliwa katika (Danieli 12:2; Yohana 5:28-29; Mitume 23:6-8; 24:15; 1Wakorintho 15:22; Ufunuo 20:4-6,13). Kuendelea Rephaimu wako tofauti na waliokuwa hai. Nephilimu sasa wana jumuika pamoja, ingawa bado wako na uhai katika dunia. Hakuna kizazi ya Nephilimu ambao wako katika sayari hii. Majaribio ya kupatanisha Australia Aborgini nyuma ya miaka 40,000 kwa wenyeji wan chi huo ni wafanyi kazi wa Aborigini, na kujaribu kama binafi, kutofautisha wa Aborigini kwa kizazi cha Adamu.

 

Hakuna kunoamini kuwa Judaic walinakili kama saa wa Kristo na kwa saa wa umaliziko wa Agano Jpya kinaonyesha kuwa kuanguka wa mwenyeji baada ya kufanya ukahaba na binadamu waliouumbiwa (kutoka Mwanzo 6:4 na tenaYuda 6) na hiyo ndio maana iliyo tolewa kwa wanawake kumea nywele refu (cf. Wakorintho 11:10). Bibilia limeandikwa kwa lugha ambao yana eleweka kwa binadamu ambaye hakukuwa na elimu ya kisayansi mtu wa kawaida kuelewa. Lakinin Bibilia inasema kuwa ukahaba ilikuwako. Malaika walikuja kwa mfano ya Binadamu na kufanya ukahaba. Inaonekana wali umbaa kitu, ambao kwa kweli ilikuwa yaonekana  na ambao alienda kwa kitanda na mwanamke huyo.Inaeleweka wazi kuwa kujaribu kusema awali mpango ya Mungu. Huu, Nephilimu walikuwa hapo kukomesha umbo la Adamu na kuliharibu, kutesha, au kufunja mpango wa Mungu.Hakuna kutoamaini kuwa haya Nephilimu walikuwa hai. Mmoja aliweshi kukanaa kuwa kulkikuwa na watu katika sayari hii ambao walikuwa tofauti na wakubwa kwa umbo kuliko sisi. Ukahaba ya mwenyeji inapatikana katika Ethoipic Book of Enoch, na katika Genesis Apocryphon katika kitabu cha bahari ya wafu na maandishi ya Pseudepigraphical. Kuharibu wa Binadamu zote kwa mfurumuko wa maji ilukuweko kwa sababu ya Nephilimu au Rephaimu.Wali haribiwa alafu, au baadaye kama Anakim (cf. nakal The Nephilim (No. 154)).

 

Midrash katika mfiriko walijaribu kuheleza barua kulingana na Nephilim kati ya Anakim kwa kusema Og ambao alikuwa juu ya safina, na hayo ndiyo tamuko la Wayahudi Talmudic kueleza kwa Nephilimu ya awali. Mmoja hawezi kusema ati mmoja ya Nephilimu alichukuliwa kwa safina. Lakini tukiangalia katika Epic wa Gilgamesh na maandishi ya wababiloni juu ya mfiriko (Ni dhahiri kuwa kuna maandishi wa mfuriko katika kitabu cha Epic wa Gilgamesh), Kutengeneza wa safina ni tofauti na mtindo wake. Katika Epic wa Gilgamesh, safina hilitengenezwa kwa mfano wa mraba .Na tena ina eneza katika nambari za kuingia katika safina. Inaonyesha ya kuwa wale ambao wali kuwa katika wakwanza katika jaami, wali pata kuhesabiwa na kurusiwa kuingia katika jaami yao, Na wale ambao wali zaidia Nuhu kujenga safina. Sasa, tukihesabu watu nane ambao waliingia ndani ya safina wali kuwa jaami yake, ndipo wakagundua ya kuwa kulikuwa na watu wengi ambao wange panda hilo safina, na hapo kulikuwa nafasi ya kabila moja ambao walikuwa katika hilo safina. N kuna humuhimu ya kuelewa jinsi hayo yalitendeka, ndipo pia yata tendeka katika kizazi ya leo sasa, sababu tuna waendea watu wa mataifa mbali mbali katika watu tofauti na sehemu mbali mbali katika sayari hili tuna ishi. Pia tuna pata ya kuwa kuna kutoelewa. Watalamu ya Archaeological walipata sehemu ya Chekoutien hema ya china ambapo mifupa hili zikwa upande upande zili kuwa Eskimo, Mongolian na mwingine kutoka Kusini mashariki wa Asia. asa jibu ilionekana kuwa ni kama walienda mashariki kuvuka nje wa kilindini na kutambaa kwa uwezo wao na kujaza tena ulimwengu .Lakini tuna wapata ya kwamba  wako pamoja ,na kuongea kuhusu hilo ni Berndt, Aboriginal Man in Australia .

 

Swali ambao ni lazima tuulize ni :Je tuna ushaidi kuwa kizazi cha Adamu walikuwa wanadamu  walio hai? Jawabu ni ``ndio!’’ Swali la pili ni kuwa: Je jwabu inalingana na ushaidi wa bibilia? Jawabu pia ni ``Ndio!’’ Ushuhuda wa bibilia ni kuwa tulikuwa na gianti katika ulimwengu katika siku hizo na baadaye. Jawabu hii imetolewa katika vungu wa Mwanzo (Mwanzo 6:4). Neno ambo liletumiwa hapa ni Nephilimu ambao toleo la kuonga mkono wa kuanguka, na kuendelea tamko wa Feller.Kuonga mkono huu baadaye ikawa bully au tyrant (angalia SHD 5303, cf. 5307). Neno hilo tena limetumiwa katika Hesabu 13:33. utoka kifungu na neno gibbowr au gibbor (na tena geber kuwa ya maana) inanukuliwa Binatabu wakuu. Gibberish ndio lugha wa Nephilimu (Heb.: ish kumaanisha Binadamu.).

 

Bibilia liko wazi kulingana na Augustine kuchukua sehemu ya Bibibilia katika Kutoka 6:4. Katika nji ya Mungu, kitabu XV, sura 23, ni sehemu ambalo iliungwa mikono kwa wana wa Mungu, kulingana na jinsi linasemwa na Malaika wa Mungu, ambao walikuwa wana wa Sethi.Sababu alifanya hayo ilikuwa sababu ya mwana wa Mungu, kwa ukweli bibilia ni wazi kutoka katika kitabu cha Ayubu kuwa kulikuwa na wana wa Mungu wengi ambao wako katika ulimwengu. Utatu ilikuwa inachukua Kristo kama mwana wa kipekee wa Mungu – sasa waliandika historia tena. Walisema kuwa wana wote wa Mungu katika bibilia kwa kihini sio wa Kiroho kutokana wana wa Mungu – ni kizazi wa Sethi. Sas Agustine alijaribu kuharibu maana kuwa kuna wana wengi wa Mungu juu Mbinguni na tena tena kuwa kuna wana wa Mungu ambao walitengeza Kuanguka ya mwenyeji, na tena walifanya ukahaba.

 

Kile ambacho Augustine alisahau kwa kuwa wakati alianza kutafuta kihiini wa maandishi, Utatu alingeweza kuanguka pekee lakini tena wote wa Ukristo walikuwa pamoja naye. Augustine aliuanza kupanda pengu za kugawanya watu wa Kristo katika nji wa Mungu na kuwa tofauti na Amri za Utatu zake ambao zilianzika na yeye alikuwa likiunga mkono kuliko Kanisa la kipentekosti wa United states of America katika karne ya 20. Ilikuwa kwa sababu wa utatu kuwa na upungufu wa kuwa pamoja na maana ya nje wa Bibilia kuwa Ukristo ilikuwa na upungufu kufanya na wa Sayansi.Huu ndio mwanzo wa somo wa Thiologia wa Evolution. Yalianzia katika nchi ya Amerikani na Uropa sababu wa funzo la Wakatoliki wa Rumi na Wapentekosti wa Amerikani ulifngwa bila swala. Hakuna pahali ambao kulikuwa na ushaidi kuliko katika Kanisa wa Mungu. Tabu hii ilitokana na kuunga mkono wa watu ambao walisema kuwa kizazi cha Sethi na za Caini inapatikana katika kizazi cha Binadamu, kuwa pamoja na anthropologio wa binadamu ili Ukuhani ikuwe huru na timisho kwa umbo la wanadamu. Hii iliwacha kizazi cha wanadamu kuwa bila matarajio kuwa Archaeological kupatana juzi. Kila mara, thiori wa Evolution inaweza kuwa wazi kwa sababu Wasomi wa Bibilia hawakuwa na jibu kutoka katikati yao wa Paradiamu. (Mambo ili limesemwa katika kazi ya Cox, Creation: From Anthropomorphic Theology to Theomorphic Anthropology (No. B5)) (kwa ch .4.).) Tazama tena nakala Creation Versus Evolution (No. B9).

 

Kihini cha tabu ya kusema kuwa kizazi wa  Adamu kuwa ndio alikuwa ya kibinadamu wa kwanza. Hakuwa kizazi wa Binadamu. Amri hii ilitolewa kwa Adamu katika Mwanzo 1:27-28a jinsi ilivyo kwa Nuhu katika Mwanzo 9:1. Wote walikuwa wakijazaa (waume au mala) ulimwengu halikuwa pahali pa wa kuwepo-kwa mwenyeji au tsaba. Kama Nuhu aliambiwa kuenda na kujazaa ulimwengu, hakukuwa na mtu wa kufikiria kama kunayo kitu chochote katika Ulimwengu. Hakuna aliye amini kuwa kulikuwa na kitu katika sayari. Sasa kwa nini tujidanganye kuwa wakati Adamu aliambiwa aende na akajazaa Ulimwengu kuwa hakukuwa na kitu chochote lingine hapo.

 

Malalamiko ya Kaini katika Mwanzo 4:14 yana onyesha ya kuwa pali kuwa na wengine katika Sayari.Kama maandishi ya Augustino yalikuwa sawa, Kaini aliuwa mmoja wa wawili wpekee wa binadamu katika sayari. Sethi hakuwa amezaliwa. Kaini aliuuwa Abeli na kulikuwa na yeye pamoja na babake walio kuwa hai katika sayari, kama Augustine alikuwa sawa. Alikuwa nao katika kati ya jangwani. Mmoja wa mwisho amboa alibaki ulikuwa babake, hapo Kaini anambia Mungu:

 Mwanzo 4:14b-16b Na lita kuja kupita kuwa yule ambao ata ni kuta mimi ataniuwa. Na Bwana akamwambia yeyote ambaye atamstumu Kaini, hukumu lita kuwa juu yake mara saba. Na Mungu aliweka ishara kwa nyuzo yake kuwa kama kuna mmoja atakaye mpata hata mwinda. Halafu aliishi katika nchi wa Nod (Nowd kutoka Nod) kama palipojificha au aliye tembea wazi (KJV).

 

Kaini hakuwa na kuogopa wa Babake au dadake, lakini aliogopa viumbe zingine, Nephilimu. Hakuna mahelezo lingine. Kulikuwa na watu katika ulimwengu kwa wakati huo. Huo ndio maelezo ya Bibilia na kwa nini alikuwa na alama katika nyuzo yake. Ilikuwa ya kujitambua, hili watu wasiomjua wamjue, ambao walikuwa wazima ulimwengu, wazi muuwe. Nephilimu walikuwa watu wa vita.

 

Ni la muhimu kuelewa tamko ngerezani ambao wako katika hii dunia ambao sio wakuu wa misingi (tazama Cox ibid.). Ukweli wa mambo ni kuwa kulikuwa na watu wengine ambao Kaini alifaa kutunza, na Sethi hakuwa amezaliwa. La muhimu, Kaini alijenga mji, ambao aliuanza jina ya mwanawe Enoka (Mwanzo 4:17). Mji ambao ulikuwa wazi kwa kila mtu. Hakujenga kijiji hali ujenga mji na ukuta pia uli uzingira huo mji. Miji yalikuwa na ukuta ambao lina wazingira na nchi alikuwa nayo. Kwa nini ukuta? Kwa sababu wa Nephilimu; walikuwa wenye vita. Kaini aliujenga ukuta wa mji wake kuonyesha au kuwafundisha Nephilimu jinsi ya kufanya vita kwa kituo kubwa. Kwa Kaini kulitokea hekima kuwa wa Nephilimu kukosa na kuwa alikuwa kiongozi kutoka kwa Mungu juu ya wa Nephilimu. Mfano haya ni ya kweli kutosha kuonyesha kuwa kulikuwa na watu katika Ulimwengu nyakati hayo. Lakini watu hawaja amini maana hiyo. Wana likana na kukana  waliuchimba. Tume chimba mwili baada ya mwili na Wakristo wana sema kuwa hawako.

 

Hakuna yeyote ambayo amafanya DNA na kutoa jibu kulingana na binadamu hao ambao wamechimbwa. Pengine DNA ni tofauti. Kama wana chapa na kutangaza, tuba pata kuwa DNA sio sawa kama DNA ya wanadamu. Kuna tofauti ya maana kulingana kwa kati wa Nephilimu na kizazi wa kiumbe cha Adamu ambao alionyeshi kuweka pamoja wa mazao hayo. Lakini wataku wa tofauti.

 

Naphilimu sasa yana patikana katika nambari kubwa sana. Ushaidi sasa ni ya juu sana kuwa kulikuwa na kizazi cha Wanadamu ulimwenguni awali kabla ya Adamu ambao hesabu ya Mwanzo linaonyesha. Hiyo sio shida ya Mwanzo. Ni shida ya wanadamu ambao wamelitowa bibilia kwa lugha kwa karne siliopita.

 

Mfano ambao ni mzuri kwa kutumiwa ,ambao limetajwa kutoka nakala The Fall of Egypt (No. 36): The Prophecy of Pharaoh’s Arms – Phrase one Part Two.  Ni ya Australia kwa kihini. Katika Australia, tunapata kizazi cha binadamu kuwapo mpaka miaka 40,000. Kusunguka hiyo inaonyesha kuwa ni wa Aborigines ambao wamechukua hapo, na wanajua kuwa ushaidi inaenda kinyume na hicho. Ethnolinguistil tabia ya wa Australia Aborigine inaoynesha kuwa walikuja hapa kwa kikundi nane ya mavuno.Hakuna husihano kati yao na kizazi kilichopita wa kwanza. Ushaidi yana onyesha ya kuwa no-arthaeological. R.M. na C.H. Berdit inaonyesha maana ya huru kwa maoni katika hilo jambao na inaonyesha kuwa kuna mwili ya maoni ambao inaambatana Austaralia Aborigine ambao sasa in wakimbishi wa mji wa magharibi wa Asia, na wako na ushiano na kabila walimimani wa Dekkan na kizazi wa kwanza wa Misri au kuwepo wa Drabidian Wa Meditaranian kwa asili kutapaa mpaka India na nchi wa Malayan na sehemu wa Veddas wa Ceylon (Aboriginal Man in Australia, Angus and Robertson, Sydney, 1965, pp. 31-33). Montagu (1965) pamoja na Ainu katika kundi hilo (ibid., p.34). Haya malalamiko yana simama na kumbingana juu wa tofauti na ukimbilisho mara kadhaa. Ingawa tunasema kuwa kutumiwa kwa shehena  (Berndt, p.39).

 

Archaeological wa karibu na ushaidi yana onyesha kuwa wingi au chache ya kila mara wa sehemu kama Arunka na kaburini yao katika pande ya Murray. Pahali hapa kuli nyakuliwa kutoka 18,000 BCE mpaka miaka 5,000 iliyo pita. Vivyo hivyo, yale ya kale yana patikana katika bonde la upendo wa Murray ya tuonyesha kila mara kuwa sehemu ilichukuliwa na wakimbishi wa kabila tofauti kuliko futi saba juu kutoka 6000 BCE mpaka 4000+ BCE. Bahari ya Nitchie kiume ilikuwa maoni wa giant na lina meno ya mbele mbili kigumu. Alizikwa katika sehemu ya chini la bonde la kumi kutoka sehemu ya 47 Mapepo ya Tasmanian (sasa ndiyo pahali kati kati wa Ardhi) karibu na shingo lake. Alikuwako kabla ya tarehe za awali karibu kabla ya wakati wa Adamu katika Milleniumu wa tano BCE. Alikuwa hai katika Australia, akiwinda na mwingine alimzika. Alikuwa mkubwa agiant na aliishi wakati Adamu alikuwako. Sasa ni sawa kuwa Mapepo wa Tasmanian alikuwa katika ardhi atakabla ya mfuriko. Mfuriko pengine iliwatowa.

 

Watu wa Kowe maji walikuwa tena kuwepo wa Adamu na walikuwa na vichwa kubwa. Nambari yao katika hesabu ya Australia Aborgine imetolewa kata uraishi wa kichwa kutengeshwa. Pengine lakini ushaidi linakosea. Watu hawa walikuwa wakuu wa Neanderthal. Walikuwa kizazi cha wanadamua kati ya Neanderthal na sisi, lakini hawakuna na ushioano lolote nao.

 

Toleo la archaeological linaonyesha kutoaendelea kwa sehemu. Lampert, katika The Great Kartan Mystery (ANU, 1981) pengine ni mfano mzuri wa toleo wa archaeological. Lampert alifuata Jones (1973) kwa kutoa maoni kuwa vungu la pili wa wafinnyanzi wa Australia ilianzika karibu 20,000 BP (p.166). Na hii inaufuata katika kutapaa katika Arunka na kile tunacho jua pahali pengine. Ingawa hakuna ushaidi kuwa hao watu walikuwa na ushiano lolote na Aborigine na akuna ukaribu na DNA ambao yako .ni maandishi ya mwandishi ambao yataonyesha katika kutoaminiana katika njia ya maandishi. Bowdler (1977) wanasema kuwa uchumi wa maritime kwa mfano wa kuendelea kwa vioumbo wa kiteknologia (Lampert, ibid.).

 

Mmoja ya maana ambao ya onyesha kusnyiko wa ushaidi ni, katika wakati wa Pleistocene, bahari ya chini iliwacha pwani, ambao sasa yako chini ya maji, ambao ingezaidia kwa safari. Hii ndio kwa maana hatuja chimba hii kwa ndani. Teknologia yao yote na masomo yao ilikuwa kwa nyakati za Pleistocene kutoka kuwapo wa laini wa pwani. Laini wa pwani katika Australi katika nyakati za Pleistocene ilikuwa mile mangi kutoka kwa jiji kubwa. Watu hawa wote walibaki na ushaidi ya walichofanya, ziko hapa chini ya maji na hatuwezi kuzichimba nje. Tunajua kuwa kuna jiji chini ya maji katika Amerika kaskasini. Kuna ufamle zingine katika Caribbean na hatuna kihini cha maelezo juu yao. Ni historia ya awali katika nambari ya Historia.

 

Kuna vitu vingine ambao hatu wezi kusema kwa sababu watatowa maisha ya kisasa ya Wakristo wa orthodox kwa maelezo ya kila kitu. Wamekubali kuichukua katika kisayansi na sio kuelezewa na wakristo hata kidogo na inafanya Ukristo kuonekana kama upumbavu. Ni njia ya kutowa Ukristo kama ya lazima katika Theologia au maelezo wa uumbaji. Tuna funja ushaidi wote wa Mungu katika kuumba zote kwa njia hiyo. Katika bahari ya Willandra, tarehe za sehemu hayo inaonyeshwa kutoka 24,000 BP mpaka awali 33,000 BP. Viyakula yao ilikuwa tuu samaki na samaki ya sheli, na fauna ya ardhi ambao ilikuwa kidogo. Hii inaonyesha uchumi ya Pwani kwa wakati huo, ambao kama limesafirishwa lingeleta mahala kubwa chini ya bahari hilo. Kutoweka wa bahari wa Willandra karibu 17,000 BP inaonyesha kunyakuliwa wa teknologia kutoa mbengu za kusiaga katika 15,000 BP.

 

Bila kunakiliwa, kuna kutoamaini kidogo ambao imechukua sehemu wa Australi katikati ya ardhi ambao ilifanyika katika miaka 30,000 kabla ya kuonekana wa Adamu.

 

Usahidi inaonyesha ya kuwa Nephilimu wame ishi na tena kizazi cha binadamu ambo wako katika sayari ni kizazi cha huyo kundi la binadamu, ambao kwa listi ni kizazi cha Adamu. Utafiti huu wa ndani, inatowa maana kamili na ukweli. Kuwa waliokuwa katika Yericho miaka kupita 9,00 hawa onyeshi Mwanzo – kwa nje inaonyesha tu umuhimuwa maana wa Nephilimu. Maelezo ambao inaonyesha walikuwa nani na njia ngani wali hesabiwa katika maandishi ya cox (ibid., ch.4). Kazi nyingi katika laini hii yanaitajika.

 

Sehemu sasa ni ya kizazi cha Binadamu ambaye wana ishi na ambao wata fufuliwa. hiyyo ndio laini ya chini .Limefanywa katika njia hilo hili kila mmoja afufuliwe.

 

Nephilimu wali tolewa na mfuriko. Na hiyo ndio ilikuwa sababu ya mfuriko, na Enoka ndio alikuwa njia mabo hilo kizazi wa masomo wali hukumiwa, Na Nuhu ndio alikuwa chombo ambao hilo kizazi lili okolewa na kuaribiwa. Lakini Enoka ndio ilifanya watu hao kuhukumiwa.

 

Ufufuo wa wafu

Ufufua limenenewa kwenye Isaya 26:13-14 na kuelekea katika saa iliyo wekwa katika Isaya 26:15-18.

Isaya 26:15-18 Umeliongeza hilo taifa, Bwana umeliongeza taifa; wewe umetukuzwa, umeipanua mipaka yote ya nchi hii. 16 Bwana katika taabu zao walikwenda kwako; waliomba maombi mengi wakati adhabu yako ilipokuwa juu yao. 17 Kama vile mwanamke mwenye mimba anayekaribia wakati wake wakuzaa, alivyo na tungu na kulia kwa sababu ya maumivu yake, ndivyo tulivyokuwa sisi mbele zako, Ee Bwana. 18 Tumekuwa na mimba, tumekuwa na utungu, tumekuwa kana kwamba tumezaa upepo; hatukufanya wokovu wo wote duniani, wala hawakuanguka wakaao dunianai. (KJV)

 

Hili ni taifa la Israeli ambao yana ongezewa, maisha ya mbele wa taifa hilo Mathayo 21:43.Taifa hii ndio mwanamke ambayo alikuwa na mimba ya mtoto wake katika Ufunuo 12:17, ambao mbegu wa mwanamke walikuwa pamoja Wayahudi na mataifa na Israeli wote. Lakini hawakuleta wokovu lolote. Hawakuongea na mataifa kuchukua Amri na hawakuokowa dunia.

 

Dragon alimwaga maji nje kama mfuriko kutoka katika mdomo wake kuielekea mwanamke. Roho yote na matendo yake au nguvu wa nyoka ulimwagika nje au kuleta kuharibifu wa mwanamke huyo. Ingawa, haikuwa yakutosha kumwaribu waliochanguliwa. Mwanamke hiyo alikuwa taifa ya Isareli pamoja na Kanisa. Waliochanguliwa sio kundi kidogo mbali ni taifa kubwa. Israeli ndi waliochanguliwa.

 

Maana hapa inamaanisha Isaya anavyo sema waliochanguliwa wanakuwama kutowa wokovu kwa ulimwengu, au kuleta ulimwengu kwa kutubu, au kuaribu mtindo yake. Matendo sasa ni ya mara moja tukielekea mwisho wa sura ya pili (Isaya 26:19ff.) inaendelea kuongea juu ya fufuo.

 

Isaya 26:19-21 Wafu wako wataishi, maiti zangu zita fufuka; amkeni kaimbeni, ninyi mnaokaa mavumbini, kwa maana umande wako ni kama umande wa mimea, nayo ardhi itawatoa waliokufa. 20 Njoni watu wangu, ingia wewe ndani ya vyumba vyako, ukafunge mlango nyuma yako ujifiche kitambo kidogo, mpaka ghadhabu hii itakapopita. 21 Kwa maan, tazama Bwana anakuja kutoka mahali pake, hili kuwaadhibu wakaao duniani, kwa sababu ya uovu wao; ardhi nayo itafunua damu yake, wala haitawafunika tena watu wake waliouawa. (KJV)

 

Tukienda kutoka Rephaimu kusio kuwa na fufuko na kuongea juu ya ufufuo kwa sura 19. Sasa inaleta kutoambatana kati ya Rephaimu na kizazi ambao ni wa kiumbe wa Mungu.

 

Muda wa Unabii ni juu ya tamko uitwayo Saa ya mataifa na kutapaa kwa nambari mengi ya historia. Sana sana mwisho wa muda inaingilia na nambari wa matendo. Fufuko la wafu lieme wekwa katika kundi. Isaya anamaanisha kuwa wafu katika siku za mwisho wa dunia na mtindo hao kama kuwa watu wa Mungu walio kufa na kuwa yeye pia atakuwa nao katika Ufufuo hilo. Hiyo ya onyesha kuwa Wanabii wako katika ufufuo wa kwanza. Ya pili, watu wa Mungu sasa wanaingia katika nyumba iliyo amdaliwa kwao na milango yata fungwa nyuma yao. Hii ni kufungwa kwa milango liko katika Mathayo 25:1ff., ambako kuna methali ya wasichana wapumbavu nja wenye busara, na hapo wenye busara walitumiwa –kumaanisha waliochanguliwa ambao wamejashwa na Roho na ni wasichana ambao limesemwa kwenye Ufunuo 14:4- wana ingia katika mlango wa ufalme na milango zinafungwa nyuma yao na hakuna hatakaye ingia ndani baada yao. Huo ndio wakati majaribio itakapo kuja katika ulimwengu mzima hili mtindo wa Philadelphia litunswe.

 

Katika mtindo wa Laodicea, wasichana wapumbavu, na mtindo wa Sadris hawa nendi katika kutunzwa. Hayo Kanisa mbili hawatakuwa katika Fufuko wa kwanza .Ni baadhi ya wachache watakao ingia. Sasa hawa watu wataingia katika nyumba na wataku wa hekalu wa Mungu.Vungu hii inaenda pamoja na Ufunuo 7:3 pahali ambapo Ulimwengu na bahari watakuwa katika hukumu hadi mtumishi wa Bwana wakekwe katika vungo. Haya yalikuwa vungo la taifa wa Israeli ambao linasemwa kwenye Isaya 26:19ff. juu. Hawa waliochanguliwa wa Mungu waliwekwa katika Kundi pamoja na Kondoo mapaka mataifa yote wawekwe chini yao. Muda wa huu wa unabii inamenyana na Siku ya Bwana, ambao inachukua muda wa miaka elfu kutoka Fufuko wa kwanza mpaka fufuko la pili kama ardhi litatowa damu na hakuna kutunzwa juu ya kuuwawa. Hiyo ni Isaya 26:19-21 inachukua miaka elfu moja wa Ufunuo 20:4ff., au Millenium.Sasa hatuitaji Agano jipya kujua kuwa Millennium ni miaka elfu moja na na kuwa muda wa fufuko inaufuata, kama tunavyo jambo hilo kutoka Agano la Kale. Kutumia Agano la kale tuna tengeneza kitu kimoja ambayo Yohana alitengeneza. Ni sawa na alali kuendelea kati ya Agano la Kale na Agano Jipya.Walikuwa wanasema kitu kimoja.

 

Sehemu ya Wafu

Kihini cha Funzo ni lingine kutoka ndani ya Funzo la Utatu ambao yana chukua hiki kwa chache. Sehemu ya Wafu ni kimya (Zaburi 115:17) na giza (Zaburi 143:3). Hakuna moya ambayo linadumu milele. Hukumu moja linakuja kwa kila mtu (Mhubiri 9:5). Kihini cha Funzo, lime tambuliwa na maana kamili ya Ukristo, na litakuwa kuwepo usio na ladha kama hakuna kukimya, giza, kutazama bure na kujua bure. Na huo ndio kuwepo au sehemu ya Wafu. Wanngonja katika Bwana.

 

Baadhi ya kizazi cha kwanza waliokufa hawatakuwa na Fufuko (Isaya 26:14). Hii limetajwa juu.

 

Watakatifu waliokufa wanatambuliwa kama walio lala au walio kwa usingizi (tazama Mathayo 9:24; Luka 8:52;Yohana 11:11; 1Wakorintho 11:30; 15:6, 18,51; 1Wathesalonika 4:13,15; 2Petro 3:4).

 

Ufufuo 

Kwa kweli Mungu anafanya mujisha kwa walio kufa na wafu wana fufuka kumtukuza (Zaburi 88:10a), Lakini Rephaimu hawa fufuki. Upendo wake linasemwa kutoka kaburini (Zaburi 88:11) kama wafu wamefufuliwa. Ayubu alikuwa anajua kuwa mwakoshi yake yuhai (Ayubu 19:25) na siku moja ata simama juu ya ulimwengu. Baada ya Ayubu kuaribiwa, alijua kuwa katika mwili hii wa nyama atahuona Mungu, ambayo atakuwa upande wake na macho yake litamuona na sio mwingine [macho] (Ayubu 19:25-27).

 

Kristo alifufua wafu ilitujue kuwa yeye ndio Mesia (Mathayo 11:4-5). Lazaro alikuwa mfano wa nguvu hii (Yohana 11:11). Mahali lingine ni kuwa wakati alipo sulubiwa kulikuwa na wengine walio fufuliwa kutoka kwa wafu katika kufa kwake. Tamaduni ya Waisrali ni kuwa kwa wakati ufufuko lina limishwa mwingine anauwawa. Maana ya ufufuo kama mmoja kwa Mesia ilikuwa ikijulikana na kukaribishwa (Mathayo 14:2).

 

Ina julikana kuwa sisi zote tusikuwe kwa usingizi, na kuwa sisi kubadilishwa katika siku ya mwisho wa tarumbeta (1 Wakorintho 15:51). Huu, ni kuwa ndugu zetu wata lala, na kupitia kila kizazi, lakini kwa siku ya mwisho Mesi atakuja na watakatifu wengine ambao bado wako hai. Ambako kila mmoja atabadilishwa kwa mwili wa utakatifu (1Wakorintho 15:44ff.). Waliolala wata fufuliwa. Wale walio hai ambao bado wako wazima mpaka siku ya Bwana hawatatangulia walio lala  (1Wathesalonika 4:13-15). Bwana atasuka kutoka mbingu ni na malaika mkuu akiita na sauti ya tarumbeta wa Mungu, na walio kufa watafufuka kwanza na sisi tuliohai tutakuwa pamoja na kuwa mara kadhaa na Bwana  (1Wathesalonika 4:16-17).

 

Kutoka ufufuo ya wafu milleniamu ya utawala wa watakatifu utauanza. Watakatifu watautawala mataifa kwa fimbo ya chuma (Ufunuo 2:26-27). Kuna nambari wa mfano katika hilo fimbo. Fimbo hilo lina nguvu la kufinya mataifa kama chombo wa udongo na tena alikujiki au kufunjika kama vijiti. Misri ilifananishwa na vijiti, ambao ilifinya na kuwinda mkono wa Israeli kama Waisraeli waliilalia. Kama wametulalia fimbo yetu halite funjika.

 

Katika ufufuo hatutakuwa ndoa (Mathayo 22:30). Watakatifu watafufuliwa kwa mwili wa kiroho.Hilo ndilo siku ambao ndoa zita funjika. Hilo ndio kufunjika wandoa iliyo kubaliwa. Sisi zote tuta funja ndoa letu na kuolewa na Kristo, kila mmoja wetu. Hakuna ngono, hakuna mume na mke, ni mwili wa kiroho tuu ambao watakuwa wana wa kiroho wa Mungu, ambao wanafanya kazi pamoja na Kristo kwa nguvu. Kristo alikufa ilitukiamka kutoka uzingizi tuwe pamoja nay eye (1Wathesalonika 5:10).

 

Ni la muhumu kuwa tina lielewa maana ya ufufuo wa kwanza la utakatifu. Utakatifu na ukweli kwa Kiebrania zote ni neno moja (tsedek) – yana eleweka kuwa kitu kimoja. Kuwa wasiotubu wa ukweli watakuwa katika ufufuo wa kwanza.

 

Hukumu wa Wenye Dhambi

Binadamu wako chini ya mtindo wa utakatifu kama funzo. Sio tamaa ya Mungu ili mmoja akafe, lakini kila mmoja kufika katika kutubu (2Petro 3:9). Kama Mungu amechukua kwake roho basi kila binadamu amekufapamoja na binadamu atarudi katika udongo (Ayubu 34:15)- hivyo moyo alitakuwa na uhai.

 

Utu wa Binadamu kuzipo fufuwa katika fufuo wa kwanza- ambao ni fufuo iliyo bora (Waebrania 11:35)- wata fufuliwa kutoka kwa wafu katika ufufuo wa pili, baada ya utawala wa milleniamu wa Mesia. Muda huu ni muda wa hukumu ambao inaonekana kuw itaendelea zaidi ya miaka 100 (Isaya 65:20). Maisha ya binadamu ilikuwa miaka 120 (Mwanzo 6:3), Lakini chini ya Musa ilifipishwa mpaka miaka sabini (cf Zaburi 90:10). Kwa ufufuo wa pili itakuwa miaka 120,kulingana na kufufuliwa kama mtu mzima, na miaka 100 ya hukumu kama ya kubadilika (cf tena Mhubiri 8:12).

 

Kama watu ukufa, kama wamebadilishwa tayari. Kama wasipo tubu na kubadilika na wasipoingia katika ufalme wa Mungu kawaida watakufa na mwili yao litachomwa. Ufufuo wa Hukumu (Yohana 5:29) ni mmoja wa marudio na funzo hili kila mmoja ya binadamu watayarishwe kwa kupata uzima wa milele. Neno la Hukumu (Kriseos, limechukua nafasi katika KJV) yana maana ya kukata kauli. Maana ni marudio ya bure na kukata kauli kulingana na matendo .Kwa namna lingine, hukumu hii ni kulingana na matendo, ambao linarekebisha matendo la binadamu kwa muda. Sasa ni hukumu la matendo ambao lina rudiwa kuwa matendo za haki. Sio kuachiliwa, lakini kurudiwa ambao linaelekea kwa uzima.Inaweza kubeba pande la Hukumu au wa matesho.Ingawa, baadhi ya watu ambao hawaja mjua Mungu litakuwa ngumu kwa kuwa hukumu kwa maana hilo.Wenye dhambi wataelekeshwa katika funzo la kipekee.Kama wazipo tubu kati ya miaka 100 ambao limekubaliwa katika ufufuo wa pili, watakubaliwa kufa na mwili yao lita haribiwa na moto la Gehena (Mathayo 5:22,29,30; 10:28; 23:15,33; Mariko 9:43,45,47; Luka 12:5; Yakobo 3:6).

 

Kuna neno tatu katika Agano jipya ambalo linabadilika kuwa neno mauti. Moja ni Kuzimu (SGD 86) ambao no sawa na sheol (SHD 7585), kusimu au kaburi- pahala ambapo mwili ya waliokufa uwekwa. Neno la pili ni gehena (SGD 1067), ambao ni ya Waebrania kiasili kutoka katika bonde wa Hinnon. Hapa ilikuwa pahala pa takataka na pahala pa wanyama waliokufa kutoka Yerusalemu zilikuwa zina chomwa. Huu Kristo alikuwa akalitumia kama mfano wa pahala ambapo watu walio kufa kwa mwili na moyo wanatupwa (Mathayo 10:28), baada ya Hukumu. Neno la tatu tarataros (SGD 5020) ambao ni abyss pahali ambapo malaika walikuwako walio kataa.

 

Hukumu ya milele (kolasin, ya kindani) limetajwa katika Mathayo 25:46 ambao ni kinyume na uzima wa milele. Ni kifo tuu.

 

Kuelewa wa Hukumu, kama hii la timoria kwaWaebrania 10:29, kutokana na maana ya kuwapo. 2 Wakorintho 2:6 linatumia neno epitimia kutoka kuwa mwenyeji. Hivyo Hukumu lina maana wa kutolewa wa mwenyeji.

 

Huu hakuna pahali pa uchungu ambapo kama wafu wakifika wana tesheka. Watakatifu watiitwa katika ufufuo wa kwanza kufanya kazi la kufundisha katika milleniamu, ili mapepo yana hukumiwa dhidi ya watakatifu kufanya na dunia kuwa mapoja na kwa kipimo cha majibu. Mungu anaona kuwa haki lime timishwa, na Mungu amechangua wanyonge na waliochini kutuleta katika usawa ambako mapepo yana pimwa dhidi yetu. Shetani alipimwa dhidi ya Kristo. Kristo alikuwa katika usawa kwa kimwili ya nyama na shetani kama roho ilipimwa dhidi ya Kristo kama binadamu kwa mwili ya unyonge. Sasa kutoka kwa unyonge ambao Kristo alijifanya, mwenyeji wa wote na nguvu lake na kichwa wa mapepo mwenyeji wa yote nguvu lake ilipimwa. Katika njia ilo, mwenyeji aliyeanguzwa, mapepo chini ya shetani, zote watapimwa dhidi yetu. Sisi ndio usawa. Hilo ndio kwa maana msaliti wa ndugu anaendelea kutusaliti sisi- kusaliti nyingi linakuwa juu yetu, na hivyo ndivyo hukumu linakuwa.

 

Kufuka kiwango ambapo mwenyeji aliyeanguka alio hukumiwa, shetani lazima afungwe katika shimo isilkuwa na mwisho kwa muda wa milleniamu. Kupata usawa lazima tutowe shetani na mapepo mbali.

 

Milleniamu liko hapo ili tushiende na kilicho tushuhia `nzi meupe’, kwa maana mapepo ni nzi mweupe tuu au mfano kama huo. Nguvu lao ya kuwa kama wanadamu lita tolewa. N hatuta sema kuwa hatukuwa na nafasi mzuri. Shetani nayo atauachwa huru ten akumenyana na waliokuwa watakatifu peke yao ambao wamefika kiwango huo mwisho wa milleniamu- na wakatu huo sayari nzima litajaa na utakatifu ya kibinafsi.

 

Ufunuo 20:1-4 Kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni, mwenye ufunguo wa kuzimu, na mnyororo mkubwa mkononi mwake. 2 Akamshika yule nyoka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni ibilisi na shetani, akamfunga miaka elfu; 3 akamputa katika kuzimu, akamfunga, akatia muhuru juu yake, asipate kuwadanganya mataifa tena, hata ile miaka elfu itimie; n abaada ya hayo yuapasa ufunguliwe muda mchache. 4 Kisha nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yake nao wakapewa hukumu name nikaona roho zao waliokatwa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu, na kwa ajili ya neno la Mungu, na hao wasiomsujudia yule mnyama, wala sanamu yake, wala hawakuipokea ile chapa katika vipaji vya nyuso zao, wala katika mkono yao; nao wakawa hai, wakatawala pamoja na kristo miaka elfu. (RSV)

Hawa watu wote waliuwawa au waliteshwa na pahali chini ya mtindo ambao walikataa. Hakuna kutokua wa kuteshwa. Kama tuko katika ufufuo wa kwanza, tuko na Hukumu. Tume teshwa.

 

 

Ufunuo 20:5-10 Hao wafu waliosalia hawakuwa hai, hata itimie miaka elfu. 6 Huo ndio ufufuo wa kwanza. Heri, na mtakatifu, ni yeye aliye n asehemu katika ufufuo wa kwanza; juu ya hao mauti ya pili haina nguvu; bali watakuwa wakuhani wa Mungu na wa Kristo, nao watatawala nay eye hiyo miaka elfu. 7 Na hiyo miaka elfu itakapokwisha, Shetani atafunguliwa, atoke kifungoni mwake; 8 naye atatoka kuwadanganya mataifa walio katika pembe nne za nchi, Gogu na Magogu, kuwakusanya kwa vita, ambao hesabu yao ni ya machanga ya vahari. 9 Wakapanda juu ya upana wan chi, wakaizingira kambi ya watakatifu, na mji huo uliopendwa. Moto ukashuka kutoka mbinguni, ukawala. 10 Na yule ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kebiriti, alimo yule mnyama n ayule nabii wa uongo. Nao watesewa mchana na usiku hata milele na milele. (RSV)

 

Hawa hawatakufa kwa jinsi tunavyo wa hukumu sasa. Baadhi ya dunia halikumiwi sasa. Sasa watakao fufuliwa kwa ufufuo wa kwanza ndio wata hukumiwa sasa.Tunaenda katika hilo sehemu ya kupimwa na marudio. Halafu tunaenda mbele kwa kawaida wa hekalu, mtindo wa jubilee wa kila miaka saba, na tena katika hilo mtindo mpaka tuletwe katika sehemu ambapo Mungu ana weza kutuleta katika ufufuo wa kwanza. Pende zote za ulimwengu pia ita fufuliwa na marudio chini ya ulinzi kwa ufufuo wa pili (Ufunuo 20:11-13).

 

Ufunuo 20:11-13 Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa cheupe, nay eye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana. 12 Nikawona wafu, wakubwa kwa wadongo, wamesimama mbele ya kiti hicho kiti cha enzi; na vitabu vikafunguliwa; na kitabu kingine kikafunguliwa, ambacho ni cha uzima; na hao wafu wakahukumiwa katika mambo hayo yalioandikwa katika vile vitabu, sawasawa na matendo yao. 13 Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na kuzimu zikawatoa wafu waliyokuwamo ndani yake. Wakahukumiwa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake (RSV)

Sasa kila mme na mke ametoa hesabu wa kile walicho kifanya mbele ya mungu. Watu hawa wanapewa kutubu wakati huu. Kawaida wataenenda na walicho tenda. Wengi wata lalamika na kujaribu kutubu vyema sehemu yao kwa nini wako sawa. Shida kubwa itakuwa jinsi ya kumenyana na tabia yao.

 

Maana ya hajabu katika Ufunuo 20:11-13 ni kuwa limetumika kwa kuzaidia maana ya ufufuo. Maana ya kamili ya ufufuo wa wafu katika bahari haliungi mkono hilo theory; kwa kweli, kinyume yao imekuwa lile maana. Kutumia ya bahari na kwa mauti na kuzimu  inaonyesha kuwa tamko la kuzimu inamaanisha kaburi ya ulimwengu kwa kinyume cha kaburi la maji (tazama nakala The Fallacy of the Third Resurrection (No. 166)).

 

Hakuna ufufuo au hukumu lolote kama sio ya pili au ufufuo wote. Waliotubu wata pewa uzima wa milele pamoja na watakatifu wa ufufuo wa kwanza, na wasiotubu kawaida wata kufa na mwili yao litachomewa. Baada ya hii sehemu au sara wa kufa na kaburi, au kuzimani, halitaonekana (Ufunuo 20:14).

 

Sasa, mapepo, ibilisi, kifo na kaburi ni maana –sio watu. Aliye na uhai, Lucifer, alikuwa bora na hivyo atakuwa tena. Maana ni kitumishi wa kuwepo na zote zita tupiwa katika ziwa la moto. Wata  chomelea. Hii sio kuwa tuna jitupa katika ziwa la moto. Mnyama ni mtindo wa sirikali, na sio nabii ya uongo, lakini ni unabii ya uongo ambayo lita pupiwa katika ziwa la moto. Maana haya yote –mnyama na mtindo ya sirikali, na demokrasia jinsi inavyo fanya leo, wana siyasa na utawala wao, mapepo chini ya mwenyeji wa ibilisi –wote watatupiwa katika ziwa la moto. Wata teketeshwa kama maana na hakuna mmoja –sio shetani, sio mwenyeji alioanguka kwa lolote ya chombo lao, sio kilicho hai –wote wataenda katika hukumu ya milele. Hakuna mmoja aliye tesheka na Mungu, wala sio kwa mkono wa mwenyeji wa mbinguni au sio wa mwenyeji wa binadamu. Mungu hana moyo ya uchungu. Ni  Mungu wa Nehema na haki na kawaida atauwacha vitu kufa.

 

Mwenyeji ibilisi atatolewa na kupungushwa kuwa kama binadamu, katika ufufuo wa pili. Halafu wata menyana noa na kuwachiwa kufa na kuchumewa, au wata tubu –na baadhi yao wata tubu (cf. nakala The Judgment of the Demons (No. 80)). Ni sa zingine kuwa sio mmoja ya mtu au roho ya hai kote iliyo umbwa wa Mungu atakufa, kwa maana ni mapenzi ya Mungu ili tukufe. Shetani atapewa nafasi ya kutubu, na kila binadamu aliye hai atapewa nafasi ya kutubu; na tuta waonyesha mappenzi ya Mungu.

 

Wenye dhambi ambao watakuwa hai kwa kurudi wa Mesia wata uwawa (Malaki 4:3) na kuwachwa katika ufufuo wa pili.

 

Huu ndio matesho iliyo pewa kwa Yuda kwa sababu ya kusaliti Kristo. Walikuwa wana wa ufalme ambao walitupwa katika sehemu ya giza (Mathayo 8:12). Walipewa ufufuo wa pili badala ya kuw apamoja katika ukweli wa utu (2 Petro 1:4) na Ufufuo wa kwanza. Hawa hawakupewa nafasi ya kuchukua ufufuo wa kwanza. Wengi wameiitwa lakini wachache wame changuliwa kuchukua jukumu hii (Mathayo 22:13-14). Wanao sem akuwa wanapenda Kristo lakini wana tesha wamute wake, au wasio pewa jukumu (Mathayo 25:30), nao pia wata chukuwa ufufuo wa pili (Mathayo 24:51; 25:30), kwa maana mengi wametolewa (Luka 13:26). Hata walio kuwa katika ufufuo wa kwanza wame pewa sehemu yao (Luka 13:30).

 

Swali wa ufufuo ni la kutengeswa kutoka njia ya uharibifu wa shetani na mtindo wake. Kuumbwa wa kizazi cha kuwepo wa Adamu kama binadamu ilikuwa sehemu wa njia wa kutengeneshwa wa sayari katika maana wa elohim ambayo unaitawala. Shetani alikuwa mmoja wa elohim ambao alikuwa ana uitawala sayari huu. Sasa Mungu alitengenesha miaka 6000 ya mpangilio kwa maana ya kumenyana mbengu zake. Wali uumba vitu tofauti, mtindo yote, epoch na dinosaur. Rangi ya maisha huu ilikuwa inamaanisha na hakuna kutoamini kuwa kulikuwa na binadamu katika sayari hii. Mungu alichukua jukumu ya kuonyesha na kwa hukumu watu na kuonyesha mwenyeji aliye anguka kile wange jaribu kufanya.

 

Kuumbwa kwa Adamu na mpango ya miaka 6000 inaonyesha hekiam wa Mungu na kumenyana na mwenyeji na kutambaa mpaka vungu lingine la uumbaji, ambayo litakuwa la furaha kuliko vungu hii la kwanza. Ulimwengu, ambao linatambaa kwa haraka, hatauchukua vitu zingine na tutaenda katika kuumbwa ya pili wa ulimwengu. Tunafanya katika ulimwengu kilicho fanyika katika sayari –na tutaufanya vyema. Sasa mpango ya miaka 6000 ni ya kuteshwa kwetu, na kila kiumbe cha binadamu, kuwa tayari kuenda mbele na kuchukua na kufangia nje matesho ambao yalifanyika kwa muda huo.mungu wa dunia huu yutayari kumenyana nao jinsi inavyo sawa kwa muda mrefu kutoka kuumbwa wa Adamu. Mpango wa miaka 6000 ya Wokovu ni wa mkuu kwa maana.

 

 

 

  

 

    

 

 

 

q