Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[150]

 

 

 

Sakramenti Wa Kanisa

 

(Toleo 3.0 1995 1216– 20011118-200770723)

 

Makanisa mengi hulalamikia kuwa wana uwezo dhidi maisha ya binadamu, kuwa watu lazima wajiimudu katika matendo hayo ili yawe hahali. Karatasi hii inahcunguza malalamiko za ndeo, mila za mwisho, saa ya Bwana, batisa na meza ya Bwana na inatamatisha kuwa kuna wawili walioruhusiwa na Agano jipya.

 

 

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

 

(Copyright ă 1995, 2001, 2007  Wade Cox)

(Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


 

Sakramenti wa Kanisa

 


Swala linalowasumbua sana wakristo ni lile la Ukristo wa Orthodox yalalamika kuuzaana kwa sakramenti. Kwa mfano Kanisa la Katoliki katika utata kama vile Anglican, Roman ama Orthodox lazingatia dhana la sakramenti inayohifadhi mamalaka yake juu ya maisha ya binadamu ili kuweka marudiano ya sheria za Agno Jipya na maisha ya Kifamilia katika muundo wake na kujipa mamlaka dhidi ya madini zinazoshindana.

 

Inadhihirishwa na kupuuzwa kwa kazi za kiwango cha sakramenti. Zinajikita katika dhana kama ya sakramenti za Ndoa, Sheria za mwisho, meza ya bwana na mengi mengineyo. Malalmishi hayo yana misingi inayojisimamia dhidi bya dini zisizo za kibibilia ili kuendelea.

 

Ndoa

Ya kwanza ni ile kuhusu skaramenti ya ndoa. Hakika ni kuwa ndoa ni swala takatifu lakini si kweli kusema kuwa ndoa ni sakramenti ya kanisa na kazi yake. Bibilia inadhihirisha wazi kuwa ndoa hujisimamia katika kanisa.

 

Wanaounga mkono kuwa ndoa nje ya kanisa si halali machoni mwa Bwana na Yesu Kristo, ni uongo. Kanisa la katoliki la kirumi inashikilia dhana kuwa kwa sababu za kisheria, ndoa na asiye mkatoliki wa kirumi inaweza kutupliwa mbali na wanaohusika wako na huru kuoa katika kanisa hiyo. Hiyo yaonekana kama sheria ya lazima. Sheria ya ndoa inajikita katika Agano Jipya, lakini si kwa sababu sakramenti ya ndoa imehifadhiwa kanisani hata kidogo. Sababu ni kuwa sheria ya ndoa na talaka ni nje ya kanisa. Talaka ni jambo lililokubaliwa na kazi za mataifa na Israeli chini ya sheria nje ya ndoa katika kanisa. Swala kuu chini ya sheria ni kuwa wazazi wanafaa kuhakiki kabla ya ndoa na kuitakaza. Hilo ndilo tukio linalokubalika katika bibilia kwa utakaso wa ndoa. Ndoa imekubaliwa katika  machoni pa Bwana iwapo wazazi watahusishwa ambapo wasipohusishwa, ndoa hiyo haiwezi kubalika. Iwapo wachumba wako katika umri unaofaa, kutohusishwa pia haina maana. Inajikita katika Kutoka 22:16-17. sheria hiyo ni ya kuwaokoa wanawake.

 

Siku kuu inafaa kuhakikishwa na mashahidi, kama ilivyo katika Ruthu 4:1-11 na Isaya 8:1-3. hakuna popote katika agano ambapo ndoa yahitaji ruhusa ya kanisa na makuhani. Hayo ni sheria ya wanikolaiti ambapo kuhani angetawala familia. Uchumba ni nusu-kuolewa (Mathayo 1:18; Luka 1:27). Yusufu alikuwa anaenda kumweka Mariamu mbali kwa sababu alikuwa na mamba na haikuwa sawa. Alichumbiwa na hiyo ilikuwa ni nusu-kuolewa. Hiyo inaashiria ndoa ya mungu na Israeli na lina umuhimu kiroho. Inafanywa na roho (Ezekiel 16:8). Ni uhusiano wa kiroho au kimwili. Hizo ni mizizi wa ndoa, ikiwa ni uungano wa kiroho. 

 

Ubikira inatazamwa katika bibilia katika Waamuzi 11:38, Isaya 4:1 na Yeremia 16:9, lakini haikubaliki ba Paulo katika 1 Wakorintho 7:7-8, 24-20 kuna sababu nyingi kwa matendo ya nyakati na mahitaji ya kanisa, ambayo yanaaangwa katika The Marriage (No. 289). Paulo hakuwa yanazungumza kwa roho ama aliyoaagiza na Roho  mtakatifu kusema alisema hivyo kwa sababu ilikuwa ni tendo la wakati huo ilikuwanyima waume chipukizi uzazi wao. Kulikuwa na waume wengi wasio na uzazi kanisani, na walipuuzwa. Hivyo basi Paulo alikuwapa mioyo ili kuwatayarisha kurithi ufalme wa Mungu. Paulo alikuwa anashugulikia suala la kimawazo.

 

Iliwapa uwezo wa kuhifadhiwa kwa Mungu na kuwa na uhusiano bora ambayo angalau ingekuwa kiwango cha wale waliofaa na uwezo wa kuwa wazazi. Tasa huo hawangeweza kuzaa. Walifaa kupata dhana ya usawa katika kanisa na faulu aliwapa hiyo katika Wakorintho 7. Wazo la Kristo kuhusu uhalali wa ndoa inalinganishwa na mwanamke msamaria katika Yohana 4:16-18.

 

Yohana 4:16-18 Akamwambia, “Nenda ukamwite mume wake mje hapa” 17 Mwanamke huyo akajibu aksema “sina mume” Yesu akamwambia “Umesema vema “sina mume” 18 Kwa maana umekuwa na waume watano, na mwana mume uliyenaye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli”. (KJV)

 

Kristo alijaribu uaminidu wake na akajaribu uhalali wake katika kubadili waume. Alikuwa anaenda kuweka sheria dhidi ya ndoa. Fanya hili ndilo dheria ya ndoa kutoka mdomo wake Yesu Kristo.

 

Kuna maswala mengi yanayajikita katika fungo hili. Kristo alitambua msamaria huyo kama mojawapo mataifa; akatambua ndoa kuwa halali katika mataifa, na pia atachukulia talaka kuwa halali kwa sababu hakuwachenga wale wote watano. La muhimu ni kuwa alikanusha ndoa ya defacto kwa sababu alipinga kuwa aliyeishi naye si mumewe. Hivyo basi kristo alikabili ndoa atakatoatenda la dhambi la kubadili waume kama uhalalia wa ndoa. Hakuuliza uhalali wa ndoa nje ya Israeli. Wasamaria pia walijumuisha Gentiles. Walijumuisha watuthi na wamele ambao wali badilishwa wakati Waisraeli walirudishwa. Waliwekwa chini ya shalmaneser labda na mabaki ya Israeli.

 

 Wasamaritani ilikuwa ungano wa Mataifa. Walikuwa pamoja na Cithian na Medes (Kutoka sehemu ya Persia), ambao walikuwa ngeushwa na waliookolewa wa Israeli.Waliwekwa umo chini ya Shalmaneser, pengine kwa kiasi kidogo ya Waisraeli waliokuwa. Kwa hivyo katika taarifa fupi sheria yote ya bibilia kuhusu ndoa maelezwa kutoka kwa Kristo. Kanisa yafaa iwe imeelewa wazi ambayo haikufanya. Hapa twaona ndoa katika mataifa ikiwa si haba kama talaka lakini uhusiani ya de facto hayakutambuliwa.

 

Majukumu chini ya ndoa ni duni kwa kazi, ya Mungu katika Kumbukumbu la Torati 13:6-10 kwa ufupi, iwapo mchambaa aliabudu sanamu, alifaa kuuwawa. Na hiyoo ndiyo aliyokuwa Amri.

 

 Mtindo huo unaimarishwa katika Mathayo 19:29 na Luka 14:26 na hivyo ndoa haiwezi kufungwa baada ya kifo. (Mathayo 22:29-30 Mathayo 12:24-25). Tendo la marmon la ndoa la milele ni kinyume na manenyo ya Yesu Kristo. Hivyo ndoa huvunjika wa kifo, na hivyo basi kanisa haliwezi kuigilia kati kwa uzima au kifo kuhusu ndoa. Hivyo kanisa ambayo hujaribu kufanya hivyo hafanyi ipasavyo.

 

Kuelezea dhana la utakatifu wa ndoa, twazingatia mifano mitatu, ya kwanza ni ya Adamu na Hawa.

 

Mwanzo 2:23-24. “Ndipo huyo mwanamume akasema: “Mwishowe huyo ni mfupa wa mifupa yangu na nyama ya nyama yangu, huyu ataitwa mwanamke kwa sababu huyu alitolewa katika mwanamume”24 hivyo ndipo sababu mwaqnamke atamwacha baba yake na mama yake atashikamana na m ke wake nao watakuwa mwili mmoja.{KJV}

 

Swala la ndoa liliidhinishwa na Adamu lilipatikana kuwa halali kwa kila taifa kwa wakati wa Abrahamu tunavyoona katika mifano kupitia kwa Farao na Sara {Mwanzo. 12:11- 20}. Hakuna kushuka kuwa  swala la ndoa lilikuwa hata kabla ya sheria na hata kaua kanisa, hivyo kabla ya Musa kukabidhia amri. Ilikuwemo na Abrahamu na hata pia na Farao, na Farao alielewa ndoa kwa jinsi ile Abrahamu alivyoelewa.

 

Mfano mwingine ni wa Abimelek na Sara na kulala naye lakini alionywa na Mungu kuwa alikuwa ni mke wa mtu. Farao alimrudishia Abrahamu mifugo na mali nyingi kwa kumchukua Sara hata ingawa alidanganywa, ilikuwa ni jukumu lake kuchunguza ndoa hiyo ambayo hakufanya bali alimchukua tu bibiye Abrahamu. Hakuna mtu anayefaa mfalme katika uhusiano na swala la ndoa. Swala hilo pia ulijumuishwa katika amri chini ya Musa na mtindo wa uchumba na ndoa (Kutoka 22:16-17). Shinda za ndoa ni sheria, kulingana na urithi wa mataifa na matabaka (Hesabu 36:8).

 

Hiyo inahusiana na swali la kuidhirisha au kudumisha ardhi miongini mwa tabaka chini ya mtindo wa jubilee. Mtinfo wote wa sheria yatafaa kuhakikisha kuwa kahuna taifa litajalochukwa bila ardhi. Watu walio na urithi lazima wangeoa mmjoa katika tabaka la babu yake. Ndiposa hakuna taifa katolewa kununua arthi ilipitishwa katika Fulani au kuzipata kwa urthi chini ya ndoa. Hivyo basi mazao ya arthi yaweza kuuzwa kwa muda, lakini ardhi hubaki wakati wa jubilee.

 

Mataifa yana uwezo wa kuona ambayo inapita kanisa. Haiwezi kamwe kuepukika kutoka kwa Bibilia kuwa ndoa ni swala lililokataswa na Mungu. Hivyo kanisa haiwezi kuhifadhi haki ya ndoa. Kivyake haiwezi kusema kuwa ndoa nje ya kanisa si halali. Wali la urithi linatinrika kutoka hapo. Ndoa hivyo basi si mila ama sakramenti ya kanisa na si kitu ambacho kanisa inaweza kuchulia hatamu.

 

Mila Za Mwisho (Matendo ya Ajabu)

Mtindo huo sio sheria ya kibiblia inayojikuta na swala la hatamu ya kanisa juu ya moyo wa bonadamu baada ya kifo. Kanisa haina mamlaka hayo, kwa kuwa majina yaliyoandikwa mbinguni ni hivyo tu. Ufufo wa watu imegawiwa mara mbili ya kwanza naya pili. Ya kwanza ufufuo wa wale waliorelewa katika Ufunuo 20:40-6. Hao ni kaokole waliotii amri za Bwana na inami au ushuhuda wa Messia ambaye ni Yesu Kristo (Ufunuo 12:17; 14:22; 22:14). Ufufo wa kuanza ilijumuisha ama hao bila shaka ni nyoyo tu (watu waliofufuliwa) kwa sababu hakuna mtu anayeweza  kumwona Mungu kimwili. Ni vigumu sana na 144,000 katika enzi ya Bwana viumbe vingine vimejumuishwa katika ufufuo wa pili wa wafu (Ufunuo 20:7-15).

 

Kanisa haina mambika juu ya mtindo huo ila tu kuongesha hali ya dhambi. Kanisa hujaribu kupata faida kutokana na hayo kwa kusema kuwa watu wengine wamo katika purgatory. Sheria ya purgatory ni yaw a kafiri lakini inajikita na kazi za apocrypha. Kuna kitu kinachihusiana na swala la purgatory lakini hainauhusiano wowote la bibilia. Swala hilo mlote kuwa na mamlka ya kupma mtu milaza mwisho ni kusema “kwa baraka ya kanisa mwanangu, anaweza kuingia mahala hapa”. Hakuna msingi wa kibibilia hapo.

 

Paulo alitenda hayo katika 1 Wakorintho 5:5 ili mutu apate kukosa. Swala hapo ilikuwa ni kuweka mtu nje ya kanisa kumtahamisa kuwa shambi zao wenyewe ziliwatenga na mwili wake Yesu Kristo na hivyo hawatapata nafasi katika ufufuo wa kwanza. Pia lifanyiwa mtu mwenza aliyekuwa anaishi na bibi ya babake nani mfano mkuu wa shria ya mataifa yaliyoitwa katika kanisa la Korintho.

 

Hakuna uwezekano kuwa baba alioa akiwa kanisa la Korinto alikuda naye mwanawe anamchukua mkewe na hata akalala naye. Paulo akasema kuwa hata Gentiles hawakufanya hivyo. Wakorintho walichukulia ni kama lilikuwa jambo zuri, lakini Paulo akaelezea kuwa lilikuwa ni kinyume na sheria . alitengwa na kanisa ili afahamishwe kuhusu dhambi yake Kanisa halikuwa na mamlaka ya kumwandoa katika ufufuo wa kwanzi alitolewa na dhambi zake ambayo ilikuwa ni sheria ya kubadili umbo.

 

Kuhaba anaonekana kuwa ametubu na kujumuishwa tena kanisa. Kanisa pia haina mamlaka ya kuruhusu au kutawala mtu wakati wa kifo kumzuia kuingia popote baada ya kifo. Swala kuwa nyoyo huenda binguni ni mila na desturi ya Gnestics na mystery cults. Justin maryr alichikilia tofauti hiyo kuwa njia ya kutenfa walrit na wasio wa Kristo (Justin Martyr, Dialogue with Trypho, chapter 80; na The Ressurection of the Dead (No. 143)).

 

Mila na desturi ya nyoyo ilijumuishwa katika mtindo wa ardhi hata ingawa haikuwa na msinai wa kibibilia kwa sababu ingetumika kwa utawala wa watu na kanisa kwa minajili ya mamlaka. Madhumuni ya makanisa ilikuwa kupata mamlaka dhidi ya mataifana bado ndiyo lengo lao. Kuna kung’ong’aniwa kwa mamlaka kwa sasa kati ya kanisa la kutulika la kumi wa ulimwengu. Communities walikuwa miongini mwa ntindo na Wachina sasa wangaingilia kati vita hivyo. Hao na Asio wanaingia vita vya utawala wa ulimwengu chini ya mtindo huo. Kanisa ya kikatoliki ya Warumi kutumia watu wake kuwa kushindwa na watu wengi watauma wakati huo.

 

Kanisa la Bwana halina mamlaka juu ya maisha ya mtu baada ya kufa. Swala la dhambi kuoshwa baada ya kukiri inahunishwa na Mungu wake kupitia Messia Yesu Kristo. Kichwa cha kila mtu ni Kristo na kichwa cha Kristo ni Mungu (1 Wakorintho 11:3).

 

Kanisa haiwezi kuacha dhambi za mtu yeyote. Hiyo ni mila ya kanisa ya kikatoliki na iliingia kanisa ya Bwana katika kanisa ya ishirini USA. Walioungana mkono waliweza kuufa. Kanisa ingetunga sheria ama uamuzi wa utawala ambayo ingetenga mtu na jukumu zilizorodheshwa kwa mtu aliyebatiswa chini ya agano jipya na la kale. Kanisa haiwezi kufanya hivyo. Ni jukumu letu kuhakikisha uhusiano baina yetu na Yesu Kristo kwa niaba ya uhusiano wetu na Mungu  chini ya sheria na tunajipata katika ufufuo wa kwanza kwa sababu ya uhusiano wetu na Yesu Kristo na uhusiano huo tu. Hatuwezi kuwa na uhusiano na Yesu Kristo iwapo tu Mungu Baba atatujalia. Mungu mmoja wa kipekee ndiye kiini cha ibada. Sababu ya kuwa na uhusiano na Yesu Kristo ni kuwa tumeitwa na Mungu Baba.

 

Mila za mwisho si sakramenti za kanisa. Hazijahifadhiwa kwa kanisa na hayashuguliki na kinachotendeka kwa mtu baada ya kufa Kusa hakuzikwa na bnadamu. Hakupokea mazishi lakini atakuwa katika ufufuo wa kwanza. Musa alixidi kanisa la Agano jipya na miaka 1,300. Abraham vivyo hivyo alizidi kanisa na atakuwa katika ufufuo wa kwanza tukio la walazao kupumzika kwa heshima.

 

Mtu hafai kuwa wa kanisa Fulani ama kuhani kuzika mtu yeyote. Ni kwa heshima ya anayehusika na kuilwaza mwili kwenye ardhi. Neema (moyo) inayatawala kuirudisha kwa Mungu aliyeitoa (Mhubiri 12:7). Bibilia inasema kuwa watu hawajua chochote (Mhubiri 9:5). Kanisa haliwezi kulalamika haki ya kuzika.

 

Meza Ya Bwana

Mila yake ina msingi ya kanisa sakrameti ya Bwana yaweza kuhamishwa kutoka sikukuu ya pasaka kila mwaka kuwa jambo la kila juma. Ina msingi kwa kuchanganyika kwa sikukuu ya meza ya kwana na kula mkate usiochokwa ambaye ilikuwa ni tukio waliohifadhiwa Walawi. Ni jaribio la kuidhaniwa mila ya wanikalait na mtidne wa walawi katika kanisa.

 

Mkate huo ulikuwa ni mkate wa wanyesho. (1 Samweli 2:6) ilikuwa na sababu au kazi. Upako wake unapatikana katika (Walawi 24:5-9).

 

Walawi 24:5-9 Nawe atachukuwa unga laini na kuuka awe keli kumi na mbili za mviringo. Kila keki atafanyzwa kwa sehemu mbili za efa. 6 Nawe utaziweka katika vikundi viwili ya tabaka sita katika kikundi kimoja cha tabaka juu ya meza ya dhahabu safi mbele za Yehova 7 nawe utaweka ubani safi juu ya kila kikundi cha tabaka nao utakuwa mkate kwa ajili ya kumbukumbu, toleo linalotolewa kwa Yehova kwa njia ya moto. 8 Katika siku moja ya sabato baada ya nyingine atauweka kwa utaratibu mbele za Yehova daima. Ni agano pamoja na wa Israeli mpaka wakati usio na kipimo. 9 Nao utakuwa wa Haruni na wa wanawe nao watakula katika pahali takatifu kwa sababu ni kitu kitakatifu zaidi kwa ajili yake kutoka kwa matoleo ya Yehova yanayotolewa kwa ajili yake kutoka kwa matoleo ya Yehova yanayotolewa kwa njia ya moto, kama sharti mpaka wakati suio na kipimo (KJV).

 

Watoto wa Israeli wana upaka wa kutoa chakula cha mkate wa wonyesha ambayo lihifadhiwa kwa mkuhani. Ilikuwa ni mikate kumi na miwili. Zote yaliashitia mataifa ya Israeli na yalianzia kazi za kanisa.

 

Inezingatiwa katika siku ya sabato ama jumamosi. Ilikuwa kwenye meza ya mkate wa wangesho (Kutoka 40:20-23). Ya kwanza ilihusishwa na dhabihu na mweza moja na msumaa moja. Hekalu chini ya Solomon ilikuwa na candelabra kumi na kila moja ma meza yake.

 

Mkate wa wanyesho uliwekwa mbele za Bwana kila mara (Kutoka 25:29-30; 2 Mambo ya Nyakati 2:4).

 

Kutoka 25:29-30 Nawe utafanya sahani zake na vikombe vyake na mitungi yake na bakuli yake watakayotumia katika mumimina natoleo ya kinywaji. Utavifanya kutoka na dhahabu safi. 30 Nawe utaweka mkate wa wonyesho juu ya meza hiyo mbele zangu kila mara. (KJV)

 

Mkate wa wanyesha ulikuwa muhimu na takatifu. Ilizingatia katika sabato. Hatuwezi kuwa na sikukuu ambapo kubakula wafaa.Jumapili na kusema haina uhusiano wowote na Bibilia. Pia hatuwezi kutumia mkate wa monyesha kwa kazi zisizodoa.

 

Mkate wa wonyesho nitolewa na ada ya per capital inayotuzwa kila mwaka tunavyoona chini ya Nehemia 10:32-33). Iliandaliwa na Walawi (1 Mambo ya Nyakati 9:32; 23:29). Hatuwezi enda kununua ama kufanya mtu asiye Mlawi kuiunda. Ilimulika mtindewa Melkisedeki akichokua hatamu ya kazi za makuhani kanisani tunavyoona katika Daudi. Meza ya Bwana ya kila mwaka ilihakikisha swala hilo.

 

Katika hali hiyo dhabahu inatawalwa na kutoka 26:35 na 40:22 vifaa vya mbao pia yapatikana ktika Kutoka 37:16 na Hesabu 4:7. Mwenendo wa utakasa wa meza ya mkate wa wanyesho iko katika Kutoka 30:26-29.

 

Kutoka 30:26-29 Nawe atayatumia kutia mafuta lile hema la mkutano na vilem sanduku la ushuhuda. 27 na vile meza na vyombo vyake vyote na kile kinara na vyombo vyake na ile madhabau ya uvumbi, 28 na ile madhabahu ya toleo la kuteketezwa na vyombo vyake na ile baseni pamoja na kinara chake. 29 Nawe atavikatasa ili kwa kweli view takatifu zaidi. Yoyote atakayevigusa atakuwa matakatifu (KJV).

 

Swala hilo linafurahisha. Ni kitu takatifu tu ndico kinachoweza kuweka takatifu kile kilichoharibiwa. Kuna agano linalouliza” iwapo kitu kilicho takatifu kikikuwa kiishi takatifu, je itazidi kuwa takatifu? Jibu ni “La” bila kuvumisha yale katika dhabihu. Kutolewa kwa meza ya mkate wa wanyeho iko katika Flesabu 4:7, 15. Hakuna aliyeweza kugosa hizo vitu kwa uchungu wa mauti. Ni Mlawi tu ndiye angeweza kuigusa. Daudi alikula mkate wa wonyesho kinyume cha sheria (1Samwel 21:16; Mathayo 12:3-4; Mariko 2:25-26; Luka 6:3-4). Mbona Daudi aliruhusiwa kuila? Kwa sababu ilimuliki kitu ambacho hakikustahili kuliwa na wasi Walawi.

 

Makuhani hivyo waliili mikate ya woneysho na vifaa vile nao Walawi 7:9 inarejelea matoleo ya nyama (Kibbrawa – Minhah) ambao pia ni ya makohani kila isipokoa sehemu ya makumbusho (Walawi 2:4-10) Paulo anatumia dhana hizo (1 Wakorintho 9:13-14) na dhana likaunda msingi wa Wagalatia 6:6.

 

Yaani mwalimu anahimizwa na kile kinachofunzwa katika mema yote; na ilikuwa ni majereo ya mahitaji ya sehemu ya kubwa sheria kwa Wagaltia hawaelewi wagabita. Alizungumzia jambo lingine tofauti kabisa. Tazama nakala The Works of the Law Text –or MMT (No. 104).

 

Dhana hizo pia zilihusana na muundo wa matoleo ya dhabahu ambayo twaona ilikuwa ya:-

 

1)      Sadaka ya kuteketezwa (Walawi 1:3-17)

2)      Sadaka ya vyakula (Walawi 2:1-6)

3)      Sadaka ya amani (Walawi 3:1-17)

4)      Sadaka ya dhambi (Walawi 4:1 hadi 6:7).

 

Sheria ya sadaka iliwekwa kwa mtindo huu

1)      Sadaka ya kuteketezwa (Walawi 6:8-13)

2)      Sadaka ya vyakula (Walawi 6:14-23)

3)      Sadaka ya dhambi (Walawi 6:24 hadi 7:10)

4)      Sadaka ya amani (Walawi 7:11-34)

 

Mwelekeo huo ulitatikana katika kugawanyima kwa kazi za halahani ma watumishi ambayo ilikuwa inajikita wazi na sheria inaangazia kazi sio dhana ya agano jipya. Kristo alilitupia mbali utengano huo ya kanisa katika utakasa wa taifa.

 

Utengano huo pia iliundwa kwa msingi ya mila ya wanicolaiti ambayo ilitumika. Utawala na utengano na matusi na iliwakisha ujuzi wa kiwango kimoja kupita nyingi i.e gnesis kupitia ujuzi ulioongezeka kuunda kiwango cha makuhani na kile kishicho cha makuhani.

 

Agano la kale lilitunga sheria kwa watu katika Walawi 3:1-17 kwa uhusiano na sheria ya matoleo. Masharti yalipeanwa kwa makuhani zaidi ya yale waliopewa watu (Walawi 3:1-15). Ilikuwa ni hivyo katika sheria ya sadaka ya dhambi (Walawi 6:26-30) na sheria ya sadaka ya kukiuka (Walawi 7:1-10; 15:1-13).

 

Twaona kupitia muundo huo kuwa sadaka ya amani huja kabla ya sadaka ya dhambi lakini sheria ya sadaka inaweka sadaka ya amani kuwa ya mwisho. Tofauti ipo kwa sababu inategemea anayetoka na inafuatilia mwisho. Udhirika inaoonyesha mwelekeo unaotirika toka “Ujuzi timamu ya kila aina ya utabiri. Utaratibu mrudia Yesu iwapo hatujajitenda na dhambi zetu (Companion Bible, fn wakili 7:11). Mtindo huo inatuambia vitu mbili: wana tazama katika mkate usiochachwa na matoleo, njia ya kulinganisha na sakramenti; na wanatambua maana yake na jinsi ya muhimu wake kama dhabihu iliyo tolewa kwa ajili ya kila mmoja kwa kutengenesha makosha. Hakuna kutoamini kwa maani sisi zote tunaongea kuhusu kimoja.

 

Mtindo wote wa sadaka inayotabiri Kristo na kanisa kuwa wachaguliwa na naos ama watakatifu wa watakatifu katika hekalu ya Bwana (1 Wakorintho 3:16). Ishara ya dhambi kuchunjwa katika sikuu ya pasaka na mkate usichochwa na paulo katika 1 Wakorintho 5:7-9.

 

1 Wakorintho 5:7-9 Ondoleni mabli chachu za zamani, ili muwe donge jipya, kulingana na mlivyo bila chachu. Kwa maana, kwa kweli Kristo pasaka yetu amatolwe dhabihu.  8 Kwa hiyo na tufanye sherehe si kwa chachu ya zamani wala si kwa chachu ya abaya na uovu, bali kwa keki zisizo chachu za unyoofu na kweli. 9 Katika barua yangu niliwaandika ninyi mwache kuchangamana katika ushirika na waasherati (RSV).

 

Paulo alitumia Wakorintho kama mfano wa dhambi ambayo ilikuwa ni lazima iondolewe kanisani. Ilikuwa ni maandalizi ya pasaka. Walikuwa wakilewa na kushiriki katika sherehe. Aliwaelewa kuwa hawakuwa wanafaa kula na kunywa wakati wa meza ya Bwana. Ni kusanyika takatifu. Hata hivyo sherehe yote ni ya furaha na bashasha. Twafaa kula nje ya chumba ambamo tunatulia meza ya Bwana. “Kuishi kama Mkorintho” ilikuwa ni semi ya wakati huo, maana kuwa mtu alikuwa “maini ya juu”.

 

Kulikuwa na makahaba 1,000 wa hekalu la artemis kule korintho peke yake na mvundo. Ulikuwa kiwango cha kutupilia mbali dhambi zao wakati wa maandalizi ya pasaka. Kwa hivyo dhana ya kuondoa dhambi ilikuwa shuguli ya pasaka katika mpangilio wa Mungu. Ilikuwa ni shuguli ya mkate usiochoswa, kwa juma au mkate wa wonyesha ilihusika Dhabihu inaonyesha kuendelea Kristo na nje kutoka awali ya dhabihu, ambao mkate ilikuwa tofauti.

 

Dhambi hapo basi iliondolewa katika kipindi hicho hadi meza ya bwana. Pasaka au mkate usiochochwa zinawezeshwa namatoleo ya krito kama sadaka yapasaka ilipasulihiwa. Usijku wa pasaka (usiku usioweza kamwe kusahaulika) inaangazio ukombozi kutoka utumwani hadin kwa dhambi na hata matekwani mwa Messia (tizama nakala Night to be Much Remembered (No. 101). Mkate usiochochwa maashiria hali ya kutokua na dhambi ukingoja Roho mtakatifu. Sadaka ya Wave sheat (tasama nakala The Wave Sheaf Offering (No. 106b) inakumbuza kuhusu kupaa na kubalika kwa yesu kwa Mungupasaka alichukua siku hamsini toka sadaka ya wave sheat (tazama nakala  Pentacost at Sinai (No. 115) kasha inawakilisha mavunbo ya kwanza ya wachaguliwa.

 

Candelabra ya dhabihu ya kwaza na mkate wake wa wonyesho ilioangazia hekalu na candelabrazile kumi ziliangazia krito, makanisa saba na masaidi wawili. Hivo ishara haiwezi kujikita toka sabato na mpangilio wa wokovu.

 

Kuna ala mbili kwa shida. Hatuwezi kula mkate wa wenyesho Jumapili na kuiita meza ya Bwana na kuitarajia kuwa na sababu kama meza ya Bwana na kisha kwa sikukuu ya mkate usiochachwa. Inafaa tuelewa kitu kimoja kama upatanisho iliyo na maana mbele ya Kristo kama Bwana wa chakula cha Usiku na tena kwa sukuku ya mkate usiochachwa.

 

Mkate usiochachwa (Pamoja na dhabihu kwa jumla) ilihifadhiwa kwa makuhani wa Walawi. Hata hivyo uchanguliwa waliwakilisha makuhani wapya – wa Melkishedek – aliyepakwa na kupokewa kwa Kristo aliyekuwa kuhani mkuu (Zaburi 110:4; Wahibrania 5:6,10 6:20, 7:10-21). Dhana hilo lote pia inafungamana na dhabihu.

 

Daudi ambaye hakuwa wa Lawi alionyeshwa na tendo lake la kutabiri kuenezwa kwa ukuhani hadi Israeli kupitia Messia. Meza ya Bwana ni la kila juma. Ikizingatia sheria la agano la kale la mkate wa uongesha kama sehemu ya matoleo. Hatuwezi sema kuwa matoleo haya yameondolewa kwa Yesu Kristo kasha kusema ni muhimu kula mkate huo katika meza ya Bwana.

 

Tofauti baina ya makohana na watu katika tendo hilo lashangaza iwapo ilikuwemo na ikaondolewa na makuhani wa Walawi. Ukuhani wa Walawi uliondolewa, wale sabini walipatwa na wakapokea roho mtakatifu wakati wa pasaka. Kulikuwa na makuhani wapya baada ya Melkisedek. Wote walikuwa makuhani walishiriki katika matoleo ya mkate na dhati Wakatuliki Warumi wanafunza kuwa ni wakuhani tu wanaofaa kunywa divai. Waanglikana kula divai na makte pamoja. Hivyo basi meza ya Bwana si mtindo sawa katika makanisa. Hatuwezi kuwa mwili wa Kristo tusipokunywa damu yake na kula nyama yake.

 

Hata uliondolewa na Kristo. Mtindo huo wote uliangazia pasaka ya Kristo kufa na kufufuka.

 

Waliochaguliwa walifaa kula mkate na kunywa divai kama kumbusho la Kristo na kama mahitaji ya uzima wa milele (Yohana 6:53-63) hoja katika utata huo ni kawaida ambao sherehe ititendeta. Iliambatanishwa na pasaka na ikadhinishwa na sherehe ya kuoshwa miguu (Tazama Yohana 13:3-17 na nakala ya Significance of Bread and wine (No. 100); Significance of the Footwashing (No. 99) na  The Lord’s Supper (No. 103).

 

Ni wazi kuwa Kristo anatumia isriara ya kiroho lakini anazungumzia pasaka. Kasha anaeleza kuwa ni divai na mkate inaasimia mwili na damu. Hatuwezi kuwa na moja bila nyingine. Kwa hivyo wakatiliki warumi ambao kuwakunywa divai kawewezi kuingia ufalme wa mbingu. Meza ya Bwana ya kikatoliki hielekezi kwa maisha milele hata kwa mpokeaji yoyote kwa sababu ina upungufu wa vitu viwili mojawapo ikiwa ni divai kunywa na makuhani tu.

 

Meza ya Bwana ni eneo linastahili mtindo huo. Uoshaji miguu ni sehemu ya sherehe na inaambatanishwa na kula kwa mkate na kunywa divai, hatuwezi kutaliki divai hivyo vitatu. Meza ya Bwana hivyo basi sio sakrameti wa Kanisa.

 

Sakrameti Za Kanisa

Ukweli ni kuwa sakramenti mbili za kanisa. Hizo batiso na meza ya Bwana.

 

Sacrameti Ya Kwanza Kanisani Batiso

Kristo alikuwa hivyo na vile vile watumishi wake walibatiswa na Yohana (Tizama Mathayo 3:1-17). Hata hivyo batiso ya Yohana ilikuwa ni mfano wa Kristo na watumishi waliobatiswa kwa wakati moja na Yohana, hiyo ni hadi baada ya pasaka ya 28CE (Yohana 3:22-24) wakati Yohana alifungwa (Mathayo 4:12, 17) Kristo mwenyewe hakubatiza (Yohana 4:2).

 

Batiso ya Yohana ilikuwa mwanza wa batiso ya roho mtakatifu (Matendo 1:5-211). Hiyo haikutendeka hadi pasaka roho mtakatifu. Tendo la roho mtakatifu ilikuwa ni kipawa cha rehema ya Bwana ilivyoonyesha kupokewa kwa Kristo mbinguni mitume walikuwa wamebatiswa muda mrefu kabla ya kupokea roho mtakatifu. Hwawakuwa wamebatiswa tu bali wao pia walikuwa wakibatisa kwa njia ya Yesu Kristo nab ado hawakuwa wamepokea roho mtakatifu. Walupatisa wakingoja kupokea roho mtakatifu. Batiso ni muhimu kwa kupokea roho mtakatifu batiso ilifuata batiso la Yohana (Matendo 19:1-7). 

 

Matendo 19:1-7 Ikiwa Apolo alikuwa wa Kirintho Paulo akipita darani na kushika mpaka Efeso, akakuta wanafunzi Fulani 2 akawaambia “Je mlipokea roho takatifu mlipokuwa waamini?” Watamwambia, “La hatujapata kusikia kamwe kama kuna roho takatifu. 3 Naye akasema “Basi mlibatisa katika nini?” Wakasema “Katika ubatiso wa Yohana” 4 Paulo akasema “Yohana alibatisa kwa ubatiso unaonyesha taba, akawaambia watu wamwambia yole ambaye angekuja baada yake. Yaani Yesu. 5 Waliposikia hilo wakatatiswa katika jina la Bwana Yesu. 6 Na Paulo alipoweka mikeno yake juu yao, roho takatifu likaja juu yao, nao wakaanza kusema katika lugha na kutoka unabii. 7 Wote pamoja pamoja walikuwa wanaume karibu kumi na wawili. (KJV)

 

Hawakuwa wamebatiswa katika mwili wa Kristo; walibatiswa katika toba la Yohana. Kwa hivyo tunaweza tubatizwe lakini ubatiso unaweza kuwa kinyume na sheria. Twafaa kubatizwa kwa mwili wa Yesu Kristo na si kwa dini au kundi lolote. Kanisa kupitia wasimamizi wake, walihitaji roho mtakatifu na ikawaingia. Hiyo ilikuwa kabla ya dhana ya batiso la Yohana na mtindo wake haukufanya Roho Takatifu kuwaingia kila mmoja.

 

Kazi hiyo ilionekana kuwa jukumu la waliochaguliwa kuweka wanafunzi wa kila taifa. Hiyo ni kazi ilitopewa Kwa Kanisa.

 

Mathayo 28:19-20 Nenda basi ukaweke wanafunzi wa kila taifa 20 Na kuwafundiha kushika mambo yote ambayo nimewaamuru ninyi. Na tazama! Mimi nipo pamoja nanyi siku zote mpkaka umalizio wa mfumo wa mambo (RSV).

 

Kazi ya batiso ina msingi wa toba kama mtu mzima mbele za Bwana. Tizama nakala  Repentance and Baptism. (No. 52).

 

Batizo hivyo basi ni sakrameti ya kwanza ya kanisa na kupitia njia hiyo Roho takatify hutenda na wanafunzi huwekwa kwa kila taifa. Watu hawa kumi na wawili waliwekwa wanafunzi kwa sababu walikuwa tayari kubatizwa katika mwili wa Yesu Kristo na walikuwa tayari kumfuata Yesu Kristo na Roho Takatifu ikatii wito wao.

 

Sakramenti Ya Pili Kanisani: Meza Ya Bwana

 

Ni lazima wachaguliwa kunywa damu na kula mwili Krito ili waingie ufalme wa Mungu (Yohana 6:53-58). Hivyo divai ni sehemu ya meza ya Bwana isiyoweza kuondolewa kwa kila mtu. Swala la Eucharist hivyo basi si sawa kwa sababu hizi.

 

1)      Mkate wa wonyesho inefungwa kwa sabato na hivyo kaiwezi kuskumwa hadi jumapili au siku yoyote ile.

2)      Mkate wa wonyesho ni sehemu ya matoleo na inaangasia meza ya bwana na ukuani wa kiroho

3)      Meza ya bwana inaambatana nauoshaji wa miguu.

4)      Mkate na divai yahitajika kuliwa na wahushika.

5)      Meza ya bwana yafaa kutekelezwa siku ya pasaka-haiwezi pelekwa kwa Easter ya wakafiri au sabato ya kila wiki (tazama nakala The Passover (No. 98)).

 

Mambo hayo fane ziko na msingi wa kibibilia ambayo ina pinga swala la meza ya bwana kusukumwa kutoka siku yoyote, ama ibadiliwe na Eucharist ama ati meza ya bwana ina kazi kwa wakati unaofaa, na hiyo ni katika pasaka.

 

Hivyo kuna sakramenti mbili za kanisa. Zingine ni mila ambazo huangamizwa na kanisa. Kaisa huweza kuoza, kuzika, pambana mamlka kupita hizo. Hizo mbili ni muhimu kwa kurithi uzma wa milele ambapo bila hizo sakramenti mbili hatuwezi kuwa katika ufalme wa Mungu na hakuteza kujumuishwa katika ufufuo wa kwanza.

 

Kanisa la kikatoliki halielewi swala hilo. Ndiposa makanisa kati la siku za baadaye yatakuwa na watu wangi wakikiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana na wata kuwa wachache katika Ufalme wa Mungu.

 

 

q