Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[159]
Kupima Wakati wa
Kusulubiwa na Kufufuka
(Toleo 4.0
1996413-20040321-20070511)
Conversational chrtendom (yafundisha kuhusu kusulubiwa ijumaa na kufufuka kwa Yesu wa Nazareti Jumapili. Rekodi za kihistoria yaonyesha kuwa sheria hiyo haikudunzwa na mitume ama lile kanisa la Agano jipya la awali karatasi hii inachanguza maandiko, historia wakati haswa. Matoleo haya yalithibitisha kuwa utumishi wa ktisto ulidumu miaka miwili na nusu, sio mitatu na nusu kama ilivyo katika tafsiri ya Danielib 9. Uchunguzi wa matukio kabla ya Pasaka. Karatasi hi inajumuisha kazi mpya inayonyesha kuwa mwaka wa kusulubiwa ulikuwa 30 CE ana 33 CE kama ilivyoaminiwa na wengi.
Christian Churches of God
E-mail: secretary@ccg.org
(Copyright ã 1996, 2004, 2007 Wade Cox)
(Tr. 2009)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Kupima Wakati wa Kusulubiwa
na Kufufuka
Kusulubiwa na kufufuka kwa Kristo huenda ikawa ndilo jambo moja mihimu katika maisha ya binadamu na tena ndio lisilieleweka kata. Mila na desturi zinazohuaka na kusulubiwa zoongesha kuwa Kristo alisulubiwa msalabani. Hiyo inatafsiriwa kutoka katika lugha ya Latin, “Crux” kiini na umuhimu wa msalaba umezungumziwa katika The Cross: Its Original and Significance (No. 39). Bibilia la companion katika, appendix 162 yagusia maneno mawili yaliyotafsiriwa kama msalaba katika NT ya ugiriki. Maneno haya ni “stauros” na “xulon”. Bibilia la companion yanakili kwa neno “Xulon” nalo husimamia kipande cha mbao iliooza yaani kisiki, mbao au kuni kwa ajili ya kazi yoyote nyingine. Sio kama dendron inayomaanisha mti unaomea wenye rangi ya kijani (kama ilivyo katika Mathayo 21:8; Ufunuo 7:1; 8:7; (:4; n.k). appendix yasema kuwa:
Kama neno la babaye Xulon inatumika badala ya Staures ya awal, inaonyesha kuwa maana yao ni sawa. Neno letu la kizungu, “ross” ni tafsiri ya Crix ya kilatin; lakini staures ya ugiriki yamaanisha kijiti. Homer hutumia neno staures kumanisha nguzo ya kawaida, ama kipande cha mbao. Na hivyo ndiyo maana na matumizi ya Ugiriki. Haimaanishi vipande viwili vya mbao vilivyopitenwa katika sehemu Fulani, bali kipande kimoja tu. Ndiposa neno Xuon hutumika kuonyesha kifo cha Kristo, na mti katika Matendo 5:30; 10:39, Wagalatia 3:13; 1 Petro 2:24. Imehifadhiwa katika jina letu la zamani la kizungu, roud au rod. Tizama encyclopedia Brit, 11 (comb) ed, Vol. 7, p 505d.
Hakuna kitu katika Ugiriki katika agano jipya hata kuashiria vipande viwili vya mbao.
Jerusi cha X, neno la awalio la Kristo (christos, iliyotumika kumtaja ana XP iliyoelezwa zaidi na ishara____ na _________ na hata ya kwanza ilikuwa ba vyao vinne sawa. Msalaba hizo zilitumiwa kama ishara ya Mungu wa jua wa Babiloni, na yalionekana kwanza katika hela ya Julias Caeser 100-44 BC halavu kwenye hela ya mrithi wa Caesar (Augusto), 20BC…….. (Tizama Appendix 162, p. 186).
Kuchanganika kwa swala la sulubisho haijadhirihishwa ipasavyo. Kristo alisulubiwa kwenye stawes au stake, sio masalabani. Alisuubiwa katika Nisan 14 katika utawala wa Tiberius Caesar. Utambulisho wa siku hiyo ya wiki itategemea mwaka ambao aliuwawa na mpangilio wa matukio ya wiki kama ilivyo. Kuna idadi ya utabiri ambayo yafaa kuafikishwa kwa ajili ya Yesu, ama sawa kwa Jehoshua kuwa Messiah.
Njia ya kuchagua mwaka wa sulubisho inaidhinishwa na tarehe za maandiko. Tarehe ambayo tuko nayo ni ile ya huduma ya Yohana mnatizaji
Luka 3:1-6 katika mwaka wa kumi na tano wa kumiliki kwa Kaisar Tiberio, Pentio Pilato alipokuwa governor wa Yuda na Herode alipokuwa mtawala wa wilaya ya Galilaya. Lakini Filipo ndugu yake alikuwa mtawala wa wilaya ya nchi ya Hurea na Trakaniti na Lasania alikuwa mtawala wa wilaya ya Abilene, katika siku za mkuu wa makuhani Anasi na za Kayado tangazo la Mungu likamjia Yohana mwana wa Zekatia nyakati. 3 Basi akaingia katika nchi yote kuzunguka Yordani akihubiri utatizo unaonyesha toba kwa ajii ya msamaha wa dhambi, 4 kama ilivyoandikwa katika kitabu cha maseno ya nabii Isaya: “Sikulizeni mtu Fulani anapaaza sauti nyikani, “Tayarisheni njia ya Yehova, nyosheni barabara zake 5 Kila mtaro lazima ujazwe na kila mlima na kilimo vifanywe tambarare, palipopinduka pawe njia nyarufu na mahali penye miparuzo pawe njia laini, 6 na wote wenye mwili wataona njia ya Mungu wa Wokovu (KJV)
Lika 3:1 inatoa tarehe ya idhinisho ya huduma ya Yehova mbatizaji kwa kuwanzisha huduma, andiko inatoa uwezekano wa kuturuhusu kwanzisha uhakikisho wa idhinisho ya kipindi cha huduma ya Yesu Kristo.
Tiberia Claudius Kaisari Agusto aliyechukuwa mamlaka ya utawala wa Roma. Agusto alizaliwa 42B CE kwa wazazi waliotakiana ili Livia mama yako ongea Octavian (Agusto). Agusto alimlazimu kutaliki bibiye ili angemwoa binti ya emperoro, Julia ili kupata urithi wa ufalme wao. Julia alishtumiwa kule 2B CE kwa tabia isiyofaa na kufuatia kifo cha wanawe wawili kupitia ndoa ya wawli, Tiberio alibidi achukuliwa wa Agusto kama mrithi kule 4 CE. Kamati ilimpa nguvu za Tribunicia na mamalaka. Agusto alipokufa, kamati itamtaja nguvu za Tiberio kama emperior tarehe 17 Septemba 14 CE (Interpreter’s Dict. of the Bible, Abingdon, 1962, Vol. 2, p. 640).
Agusto alitawala hadi tarehe 19 Agosti 14 CE. Inathibitishwa na Schurer (The History of the Jewish People in the Age of Christ, T & T, Clark 1987, vol 1, p. 203). Schurer awanweza kutambua tarehe ya utawala wa Tiberio toka sasa. Hivyo kuna tarehe mbili iliyolalamikiwa na inayfanywa.
Mwaka takatifu wa Israeli ilianzia Nian, lakini mwaka wa serikali mashariki ilianza kitu kama Oktoba, mwezi wa mwanzo wa Tishiri. Miezi mpya ya 14 CE ilianza Yerusalemu Alhamisi tarehe 13 Septemba 14 CE saa 0431hrs na ijumaa 12 Oktoba 14 CE 19:47hrs (determined from H.H goldstone new and Full moons 101BC to 1651 CE, American philosophical society 1973). Tishri hueza kuanzia 13 Octoba ama mwaka wa kumi na tano wa Tiberio kule 28 CE. Ikitegemea njia ya hesabu, haiwezekani kwa tishiri 1 kuwa zaidi ya siku 77 toka Nisan 1 chini ya kuahirishwa kwa mtindo ambayo labda ni chote (hadi 173) kwa miezi iliyohirishwa toka 13 Octoba, Nisan 1 ingekuwa hapo mwendo wa Aprili 26.Hiyo ni zaidi ya siku 30 toka, quinox, inayotendeka katika tarehe za julikana za Juliano 20-21 Machi. Tarehe hiyo haiwezekani. Inatokea kuwa 1 iliangukia Septemba 13 14 CE, mwaka wa pili wa Tiberti yatachukuliwa kuanzia Tishri ya 27 CE iwapo tarehe hiyo itachukuliwa kuwa hivyo.
Pontia Pilato alikuwa afisini kwa miaka 10 (A of J, xviii, 4,2) toka 26 CE had 36 CE alipokuwa kabla ya matembezi ya vitellius Yerusalemu, muda mfupi tu kabla ya pasaka ya 36 CE. Josephus akumbuka tarehe ya pilato kuichukuwa mwaka wa kumi na mbili ya Tiberio ambayo ni 25-26 CE (Schurer, p. 382 fn. 130). Inazingatia taarifa ya Josephus. Swala hilo iyaleta utata katika dungu la bibilia ambayo inaweza kurudiana ikichukuliwa kuwa Josephus anafanya kazi toka tarehe ya kuteuliwa kwake na kamati na Luka toka kifo cha Agustus.
Swala lingine linafaa kushugulikiwa pia. Majina ya macedona ya miezi yalichukuliwa kutoka Syria kutoka kwa Seleucid dominion na kuchanganyikiwa kwa kalenda ya Julai iliona mwaka ikianzi kwa siku tofauti kwenye miji tofauti. Taya ilianza 18 Novemba, Gaza na Askalon 29 Agosti (Bickerman chronology) na miezi ya Julai hapo baadaye yaliitwa na majina na Macedania (Ideler I, pp. 429ff.). Hivyo kuna utata kama jedephus alikuwa akirejelea miezi ya Wayahudi kutumia jina la Macedonia / Julai. Swali hilo na kuwa kalenda hiyo inayotumika inachanguzwa na Schurer (ibid., Vol 1, pp. 595-599) Schurer anakana kutumika kwa kalenda ya Tyrian na wayahudi (ibid., p. 599).
Huduma ya Yehana mbatizaji ingegongana na mwezi wa kulipuliwa kwa jubilee, kama 27 CE ilikuwa mwaka wa jubilee na utakaso katika Tishiri 10 ndiyo wakati iliyolipuwa. Yohana hangeweza kuidhirihisha kabla ya Tishri 27 CE kama mwaka wa kumi na tano wa Tiberio ilidhirishwa mwezi huo, ya mapema zaidi, ikihesabiwa toka kifo cha Agusto.
Uchunguzi kutoka kuundwa kwa kalenda katika cha jubilees, ikiangazia mwaka wa siku 364 ya juma 52 kamili iliweka pasaka siku ya jumatano kila mwaka wa utakaso siku ya Ijumaa na dhabihu itaidhirihishwa Jumatono. Kuna matkabaliano ya jumla kati ya serikali kuwa jamii ya Qumran alipouuza matumizi ya kalenda ya mwezi na jua na ikafuata kalenda iliyofanana na ile iliyotumika katika kitabu cha Jubilee (Schwe, Ibid, PP 600-601. tunaweza kuichukuwa ni kama Qumran ilifanya pasaka Jumatano, iliyongana na jamii kwa ujumla, miaka chade zaidi ya muda huo.
Kuwekwa kwa pasaka Jumatno katika 31 CE imekubaliwa kwa ujumla na kanisa la Mungu katika karne ya ishirini. Fred Counter “Harmany of the Gospels inaiweka jumatano katika 30 CE kama ilivyo katika 31 CE. Hata hivyo, Daniel-Rops Jesus and His Times, tr, Ruby Millar, Duton & Co, New York 1954, inaweka sulubisho kuwa Aprili 7, 30 CE ambayo ni Ijmaa (p. 432).
Fred Coulter anakosea na hata pengine katika kuelewa kwake na mabishoni kuhusu pasaka katika kazi yake, The Christian Passover, York Publishing Co, CA, 1993. Hata hivyo yaonekana kuwa Danieli – Rops anaiweka Ijumaa kwa msingi ya kuwa sulubisho ilitekelezwa siku ya Ijumaa na matukio yanaangaziwa vilivyo. Ijumaa ya mnazi inangazia historian a inalinganisha njia zilizofuatwa na Kristo na jiji ya kisasa. Mabishano hayo yana mengi wa Ijumaa kawa siku ya sulubisho kuliko kuweka jeduali za matukio yanayoonyeshe mpangilio ya mazoea tokea kuingia kwa Bethany katika sabato iliyofuata. Hakuna maelezo iliyotolewa kwa siku takatifu. Zaidi ya hayo, pasaka ilidhibitishwa na mwezi mpya ambayo tunaona kule 30 CE inayoangazia kusulubiwa Ijumaa.
Ni la muhimu kwa kanisa la Orthodox kuanzisha 30 CE kama pasaka ya Ijumaa tunavyoona kwa mpanglio ya pasaka za Yohana kutoka mwaka wa kumi na tano wa Tiberio inaoonyesha sulubisho ya 30 CE, kufuatia hadithi ya pasaka katika Yohana 11:55 na Yohana 12:1 kupimwa kwa pasaka iwe 30 CE ama 31 CE ina umuhimu mkubwa kwa ishara ya Yohana Danieli – Rops anaelewa kwala hilo anapochunguza kuwa:
Miaka arobani baadaye, mwanzoni mwa Nisan mwaka wa 70 jeshi la Roma uliangazia jiji takatifu. Legion manne wa Sirya na Namidia, watu elufu sita na ala laini wakiongzwa na Emperor Tito, mwana wa Vesposian, aliyemilikiwa miezi sita tu na wanajeshi wa Misri (ibid., p. 452).
Hivyo, iwapo injili ya Yohana inarejelea pasaka moja katika sura ya 11 na 12, ambayo nikaribu kuwa hakika, na idhinisho ya hadithi ni katika pasaka ya 28 CE, tuna pasaka ya 30 CE. Hivyo Orthodox lazima ihakikishe sulubisho ya Ijumaa na ishara ya Yona inayoidhirishwa 30 CE na inaisha Nisan 1, 70 CE. Kubomolewa kwa hekalu na kufungwa kwa hekalu ya leontopolis, Misri ni hadithi tu. Iwapo katika 31 CE kufungwa kwa ishara ni kama dhabihu, basi tuchunguze jawabu.
Hatua muhimu ni kutafuta tarehe za miezi mpya Yerusalemu kti ya 28-33 CE ili kuchunguza wakti Nisan 1 na pasaka ili kuwa katika miaka hiyo. Hivyo itawezekana kuhilaki iwako sulupisho ilikuwa jumatano ama Ijumaa, na kama wazo hilo linagongana na agano la bibilia.
Afisi ya Nautical Almanaka ya Malkia inatoa tarehe za miezi mpya katika miaka ya 28-33 CE tukiangazia kazi ya H.H Goldstine (ibid.). nyakati zatoka na uchunguzi wa Babylon (Baghdad) na hivyo dakika 37 lazima yaondolewe ili kupata wakati wa Yerusalemu. Makosa katika kupinduka kwa ardhi huleta makosa katika nyakati. Equinox inatokea mapema katika tarehe za Juai mfano 20-21 Machi. Equinox inawezakuwa Machi 20 Katika mtindo wa Gregory. Tarehe na saa zaweza kupatikana katika Naral observatory ya US na kusawazishwa katika saa ya Yerusalemu.
Jumatatu Machi 15, 28CE @ 03:38
Jumanne Aprili 13,
28CE @17:21
Ijumaa Machi 4,
29CE @04:13
Jumamosi Aprili 2, 30CE @20:43
Jumatano Machi 22, 30CE @20:59
Ijumaa Aprili 21,
30CE @12:48
Jumatatu Machi 12,
31CE @ 01:29
Jumanne Aprili 10,
31CE @14:45
Jumamosi Machi 29, 32CE @23:08
Jumatatu Aprili 28,
32CE @10:09
Alhamisi Machi 19,
33CE @13:41
Ijumaa Aprili 17,
33CE @22:12
Kutoka saa za mwezi moja, mwanzo wa mwaka takatifu au Nsani 4, ilikuwa ifuatavyo kutumia sheria za mwezi mpya iliyo karibu na equinox na pasaka, katika Abib 15, iliyo fuata baada ya equinox tukifuata evening nautical twilight (EENT) siku niyafuata.
Jumatatu Machi 15, 28CE
Jumapili Aprili 3, 29CE
Alhamisi Machi 23, 30CE
Jumatatu Machi 12, 30CE
Jumapili Machi 30, 32CE
Alhamisi Machi 19, 33CE
Hivyo sulubisho ingekuwa ifuatavyo
Jumapili Machi 28, 28CE
Jumamosi Aprili 16, 29CE
Jumatano Aprili 5, 30CE
Jumapili Machi 25, 31CE
Jumamosi Aprili 12, 32CE
Alhamisi Apriil 2, 33CE
Sulubisha haingewezekana kuwa ijumaa. Tarehe katika 30 CE ni wazi kuwa jumatano. Hivyo 31 CE inatupiliwa mbali na mawakili wa sulubisho la juma tano. 31 CE itaweza kuchukuliwaje? Mabishano ni kuwa mwaka ya 31 CE haikuanza hadi ilipofka Aprili 11, 31 CE kulingana na sheria za kuanrishwa. Hata hivyo hiyo bado inaweka sulubisho kuwa Jumanne, Aprili 24 kando na hayo, kuna shida nyingi zinazopinga tarehe hiyo. Hata kulingana na hesabu za nyakati za kale ilihyotizamwa na wakristo wa orthodox na wayahudi kabla ya kalenda ya Hillel kati ya 344-358 CE tarehe la baadaye kabla ya Nisan 1 na Aprili 7 ya Gregory (ama mapema na tarehe ya Julai).
Karibu mwezi mpya uliokaribia sana equinox na pasaka baada ya equinox inaleta tarehe uliyochelewa sana kuwa Aprili 7 (Gregory) kuahirishwa kumefanya tarehe hizo kufika Aprili 8 (mfano kalenda ya Wayahudi ya 1997). Lakini haina mamlaka yoyote kibibilia kabla ya 344 CE. Pasaka haiwezi kuwa baaday ya 22-23 Aprili mwaka wowote. Chini ya mtindo wa Julai tarehe huja mapema hivyo Aprili 25, 31 CE ni uongo.
Kwanini uongo huo ulitangulizwa? Jibu lapatikana katika mawazo ya uongo nyumaya maswala ya kibibilia tukizingatia juma sabibi za miaka zinazoishia Messaih. Hiyo ina msingi ya kutafsiriwa vibaya kwa Danieli 9:25. Tarehe ya idhinisho ya utabiri huo inatokea katika utawala wa artaxerxes 1 na juma sitini na tisa zinazoisha 27 CE ambayo inalomilikiwa kuwa mwanzo wa huduma ya Kristo. Analalamikia kuhubiri kwa kipindi cha miaka mitatu unusu. Juma hiyo inagaliwa na kipindi kingine kinalalamikuwa kuwa mwisho inayotengewa mashahisi ama kitu kama hiyo. Mabishano hayana msgi wowote kibibilia H. Haeh alitumia swala hilo la unafiki kama msingi wa kazi yake ya The crucifixion was not on Friday (Ambassador College Press, 1959, 1961, 1961). Hata ingawa kichwa ni jambo lililo kweli malalamishi yake na wengine kama coulter kuthibisho jambo hilo sio kweli. Ishara ya Yona ni jambo gumu kidogo linaloguswa katika The Sign of Jonah and the History of the Reconstruction of the Temple (No. 13).
Labda zaweza kuwa Jumatano, Aprili 5, 30 CE, Jumapili Machi 25, 31 CE, Jumapili, Aprili 13, 32 CE, na Alhamisi, Aprili 2, 33 CE. Sasa tunaweza kujaribu lipi linaweza kuwa mwaka wa pasaka ya kusulubiwa tukiangazia msingi wa kibibilia na kuhistoria. Twajua kuwa Kristo hakuidhinisha hudumu yake hadi baada ya Yohana kufungwa jela (Mathayo 4:12-12, Marko 1:14).
Mathayo 4:12-17 sasa aliposikia kuamba Yohana alikuwa amekamatwa, aliodoka akaingia Galilay. 13 Zaidi ya hayo, baada ya kuondoka wilaya ya Zabuloni na Naftali, 14 ili lipate kutimizwa lile lililosemwa kupita Isaya nabii, akisema: 15 Ewe nchi ya Zabubini na nchi ya Naftali kando ya barabara, katika upande ule mwingine wa Yordani, Galilaya ya mataifa! 16 “Watu wanaokaa katika giza waliona nuru kua na kuua bahari ya wale wanaokaa katika eneo la kivuli cha kifo, nuru iliwazukia” 17 Kutoka wakati huo na kuendelea Yesu alianza kuhubiri na kusema: “ Tubuni kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.” (KJV)
Zile ambazo ziko sawa ni ya Juma tano 5
Aprili 30 CE, Juma pili 25 Machi 31 CE, Juma pili 13 Aprili 32 CE, na Halhamizi
2 Aprili 33 CE. Sasa tunaweza kujaribu kilicho onekana kama mwaka wa kusulubiwa
na pasaka, kulingana na ushaidi wa bibilia na ushaidi wa Historia. Tunajua kuwa
Kristo haku hanza huduma wake mpaka Yohana aliwekwa gerezani (Mathayo 4:12-17;
Mariko 1:14).
Mathayo 4:12-17 Basi Yesu aliposikia ya
kwamba Yohana amefungwa, alikwenda zake mpaka Galilaya; 13 akatoka
Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa
Zabuloni na Naftali: 14 ili litimie neno lililonenwa na nabii Isaya,
akisema, 15 Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, njia ya bahari,
ng'ambo ya Yordani, Galilaya ya Mataifa 16 Watu wale waliokaa katika
giza wameona mwanga mkuu, Nao walioka katika nchi na uvuli wa mauti mwanga
umewazukia. 17 Tokea wakati huo Yesu alianzia kuhubiri, na kusema,
Tubuni; kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia. (KJV)
Tunajua kutoka injili ya Yohana kuwa Yohana alikamatwa jela hadi baada ya pasaka inayoonekana kuwa ya 28 CE, ikiwa ya kwanza kutajwa kufuatilia idhinisho ya Yohana ya hudumu kama ilivyowekwa. Pasaka inatajwa katika Yohana 2:13, 23.
Yohana mbatizaji alibatiza Aenoni karibu na Salim. Yesu aliingia Galileo na wanafunzi waliokuwa wakibatiza; hata ingawa yeye mwenyewe hakubatiza (Yohana 4:2). Yohana hakuwa amewekwa jela.
Johana 3:22-24 baada ya mambo yao Yesu na wanafunzi wake wakaenda katika nchi ya Yudea, na huko akatumia wakati Fulani pamoja nao naye alikuwa akibatiza. 23 Lakini Yohana pia alikuwa akibatiza katika Ainoni karibu na Salim, kwa sababu kulikuwa na kiasi kikubwa cha maji huko na watu wakawa wakija na kubatizwa; 24 Kwa maana Yohana alikuwa hatatupwa gerezani bado. (KJV)
Tunajua kuwa Kristo alifahamu kuwa usirika hakuwa amwwacha kuwa ushirika hakukuwa amewahi kuwa alitoa hoja hito kwa mwanamke katika ndoa kule (ona (Yonaha 2:4).
Kwa urekebisho wa nyakati za matukio, twaweza kuthibitisha kwamba Kristo alibatizwa Februari, siku 50 kabla ya pasaka. Injili haitoi ushahidi kwa idadi ya pasaka zinazohusika. Yohana, hata hivyo aliorodhesha idadi kuu ya maswali. Pasaka ya kuanza inayoonekana kuwa 28 CE, inatajwa katika Yohana 2:13,23.
Sikukuu ifuatayo inatajwa katika Yohana 5:1. sikukuu haijahakikishwa lakini inafikitwa kuwa purim na wengine (tizama Comp. Bible, fn. to v.1). Kristo hata hivyo ananakiliwa na Yohana kuwa msamaria katika kavuno (na labda miezi mine ya kusanyiko) ambayo iko katika pentekosti ya 28 CE (Yohana 4:35).
Sikuu ya pasaka iliyofuata kwa kile ambacho kingekua 29 CE, inatajwa katika Yohana 6:4.
Yohana 6:1-4 Baada ya mambo haya Yesu akaondoka kwenda ng’ambo ya bahari ya Galilaya au Tiberia. 2 Lakini umati mkubwa wakamfuata kwa sababu walikuwa wakiona ishara alizokuwa akifanya juu ya wale walikua wakiugua. 3 Kwa hiyo Yesu akapanda mlimani, na hapo alikuwa ameketi pamoja na wanafunzi wake. 4 Sasa pasaka, ile sherehe ya wayahudi ilikuwa karibu. (KJV)
Alifundisha kupernauma baada ya kipindi hicho (Yohana 6:59) kuna sikuu iliyotajwa katika Luka 6:1 wakati tamko la sabato ya pili baada ya kwanza inatumiwa kutafsiri “deuterotos” au sabato ya pili ya kwanaza. Hiyo inarejelea sabato ya pili ya sikukuu kutoka Yom Tov ama siku takatifu ya kwanza. Hivyo, huenda ikawa sabato ya kila wiki (tizama fn. Hadi companion Bible) ama siku takatifu ya pili (Fredrich Westburg Die Biblische Chronologie, p. 122 – tizama H.Hoeh The Crucifixion Was Not on Friday, 1968 reprint, p. 32). Companion Bible inaweka fungo hiyo inarejelewa kama pasaka na wale halali kutoka zile zilizotajwa katika pasaka ya nne, na moja halali kutoka zile zilizotajwa katika Yohana ili kuweka 31 CE kama mwaka wa kifo cha Kristo.
Sikukuu ya Luka 6:1 kwa matazamo wa kwanza yaonekana kuwa Dhabihu, sio pasaka wakti mtama uko bivu. Hata hivyo matama ingetumika kurejelea ngano, ha hivyo inaweza kurejelea kipindi kati ya Machi, Juni na hivyo pasaka au pentekosti. RSV mpya inatafsiri Luka 6:1 kama shamba la mafaka na sio matama. Iwapo ilikuwa pasaka na ilikuwa na sabato ya kila wiki, basi Wave sheaf, haikuwa inawesilishwa, itakayowasilishwa asubuhi baada ya sabato (sio shabbatown ama siku takatifu), kumbuka Sivan 6 ilikuwa sehemu ya kuaharisha iliyoaanza chini ya mtindo wa Hellel. Kristo huenda akawa amevunja amri zake kwa kula nafaka kabla ya wave – sheaf iliwasilishwa (Walawi 23:14).
Ngano lazima isagwe Luka 6:1 inaonyesha kuwa matawi yam tama husonguliwa mkononi kabla ya kuliwa. Mahindi (mtama) haihitaji tendo hilo bali huumwa. Hivyo siku hiyo yaonemana kuwa siku takatifu ya pili ya pasaka ya mapema kabisa. Uwezekano mwingine ni kuwa alikuwa Jumapili ya pentekosti katika mavuno ya ngano. Kristo alifaa kubariki. Tendo hilo lilifuata kuteuliwa kwa mitume kumi na wawili (Luka 6:13) na ilikuwa na pamema sana. Katika tukio hilo, ingeonekana kuwa pasaka ya 28 CE ambayo ingechelewa sana) hilo ndilo swali. Matendo yalifanywa katika pwani kabla ya Kristo kuingia Kapernaumu.
Siku ya Dhabihu inatajwa katika Yohana 7:2, Yesu alipaa kisiri siri hadi sikukuu lakini akafunza katika hekalu (Yohana 7:10, 14, 37, 8:1-2, 20).
Siku ya kujitolea au Hanukkah inatajwa kutoka Yohana 10:22 sikukuu ya siku nane inayindhinishwa toka tarehe 25 ya mwezi wa chislev. Pia inaitwa sikuu ya mwaka na Yuda. Hiyo ilikuwa ni winter, miezi miwili baada ya sikuu ya Dhabihu. Serikali ya Wayahudi ilithubutu kumwu, lakini Kristo aliepa na kwenda mbali na Yordani ambako Yohana alikuwa alabatiza kwa mara ya kwanza (Yohana 10:39-42). Hakuna lolote lililotajwa kuhusu kipindi hicho mbali na Yordani. Alirudi kumfufua Lazaro na kicha akaenda katika kijiji cha Ephiaimu mahali alikaa kwa muda.
Pasaka inayofuata katika Yohana 11:55.
Yohana 11:55-57 Sasa pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu na watu wengi walipanda kutoka nchi hiyo mpaka Yerusalemu kabla ya pasaka kusodi wajitakase kisherehe. 56 Kwa hivyo wakaenda wakimtafuta Yes nao wakawa wakiambiana huku wakiwa wamesimama kulizingukua hekalu: “Mnaonaje? Kwamba yeye hatakuja kamwe kwenye sherehe?” 57 Ilivyokuwa ni kwamba, wakuu wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa maagizo kwamba ikiwa yoyete angepata kujua alikokuwa, anapaswa kufunua hilo, ili wamkamate. (KJV)
Kutoka kwa agano hilo tunafuatilia Yohana 12:1 inayoangazia kuingia Bethany. Lazaro alikuwa amefufuliwa na alikuwa nao mezani. Yesu aliwaacha wayahudi na akaenda katika eneo nyingine ya jijila Efrahim baada ya kumfufua Lazaro na akaenda huko na wanafunzi wake (Yohana 11:54).
Inachuliwa kuwa pasaka ya Yohana 11:55 ni ile ya Yohana 12:1 na inaonekana kuwa na uwezekano katika fungo. Hivyo basi, kuna pasaka mbili zilizotajwa katika Luka na tatu katika Yohana. Inaaonekana kuwa hakuna msingi wa pasaka ya nne, isipokuwa kwamba ingedhirisho na sikukuu ya Luka 6:1 ni pasaka nyingine tofauti na rekodi ya Yohana.
Shida haswa ni kuwa siku arobaini kwa Yona ilipewa miaka arobaini kwa Yuda tokea huduma ya Mesia. Huduma ya Mesia katika tafsiti ya ‘nje’ ya Yohana ni chini ya miaka miwili tu na tofauti kati ya umri zao (tizama Luka 1). Hivyo huduma ambita ilikuwa chini ya umri ya miaka mitatu kama huduma ya Yona ilikuwa chini ya siku tatu. Hivyo, Yona aliingia safari ya siku moja (inayoambatana na huduma ya Yohana) na ikatabiriwa kwa siku mbili inayoambatana na huduma ya Kristo kwa miaka miwili. Ile dhana ya mwaka kwa siku bado ilishikiliwa. Kutoka kwa urekebisho, tunakumbua na pasaka ya 30 CE kuwa tarehe ya kusulubiwa.
Hata ingawa ni vigumu kukabiliana na matukio yote ya kipindi hicho katika karatasi moja, nim muhimu kuunda keduali ya matukio. Hiyo lazima ifanywe ili kujaribu msingi wa kibibilia dhidi ya tarehe hizo.
Zoezi nyingine ni utulivu wa siku za mwisho wa kipindi cha pasaka tokea kuingia Bethany.
Sheria inahitaji kuzingatia maswala mengi kwa minajili ya pasaka. Matendo ya Kristo kabla ya pasaka yalioshiria mahitaji ya upako kuhusu sikukuu ya pasaka na mkate usiochochwa.
Mahitaji yalikuwa ni:-
1) Hekalu inatakaswa tokea Nisan 1
2) Watu wa kawaida kutokaswa siku ya saba ya Nisan
3) Ukuhani kutakaswa chini ya jukumu yao.
4) Mwanakondoo kutengwa siku ya kumi ya Nisan
5) Umiliki wa muda mfupi unaandaliwa siku ya kumi na tatu ya Nisan. Mlo
wa “chegigch” ama mlo wa matayarisho inaliwa siku ya kumi na nne ya Nisan. Hiyo
ilikuwa ni meza ya Bwana. Ni mlo wa pasaka lakini sio mlo haswa wa pasaka
(tizama the Passover (No. 98)).
6) Mwanakondoo wa pasaka inauawa mchana wa siku ya kumi na nne, kasha pasaka huliwa joini ya kuidhirisha siku ya kumi na tano ya Nisana.
7) Asubuhi ya siku ya kumi ya tano watu huruhusiwa kurudi makwao (Kumbukumbu la Torati 16:6). Sikukuu huendalea baadaye kwa siku saba, ambayo ya mwisho huwa ni siku takatifu.
Mpangilio huo hutusaidia kuelewa kinachoendelea katika pasaka ya kusuubiwa.
Kipindi cha sikukuu ya mkate usiochochwa ni kipindi kilichoendelezwa inayoafikia siku za maandalizi, pasaka na sikukuu ya mkate usiochochwa siku ya kwanza ya mkate usiochochwa ni matayarisho ya idhihilo ya siku ya kumi ya nne ya Nisan. Kipindi inayozoa swali katika Mathayo 26:17 ilikuwa katika kipindi cha matayarisho ya Nisan 13 kabla ya kupewa makaazi kwa kipindi cha maasa thelathini na sita kutoka jioni ya Nisan 14 hadi kwa siku takatifu ya kwanza asubuhi (Kumbukumbuku la torati 16:6).
Zoezi ya kwanza ililolifanya Kristo katika pasaka ya mwisho ilikuwa ni utakasi wa Hekalu. Mtindo ulifanywa tokea Nisan 1. Alitakasa hekalu mwanzaoni mwa huduma yake kama ilivyo katika Yohana 2:13-21.
Kulikuwa na kuingia kuwili na Mesia Yerusalemu katika hawamu hii ya mwisho, na sio moja ya kwanza inatajwa katika Mathayo 21:1-7 na haitarajiwa kwa hivyo ilikuwa duni kwa yya pili iliyotarajiwa.
Mpangilio iko kueleza utulivu wa matukio ilioyochukuliwa na Kristo ili kutii mahitaji iliyopepa Musa kule Sinai kama malaika wa upon a Elohim ya Israeli, kuitakswa kwa kiwango hicho na Mungu aliye wa juu ambaye alikuwa ni Yehova wa wenyeji, Elioah (KUmbukumbu la Torati 32:8 (LXX; RSV); Zaburi 45:6-7; Wahibrania 1:8-9).
Makuhani walijiandaa kulingana na sheria. Ezekieli 45:18-20 inayonyesha mtindo wa utakaso. Dhabihu inatakaswa katika Nisan 1. Watenda dhambi wanatakaswa siku ya saba (Ezekieli 45:18-20). Makuhani walijitakaza kwa minajili ya pasaka. Alihirishwa na Ezekieli kwa sababu ya kutofaului kwa makuhani kutakaza. 2 Mambo ya Nyakati 30:3).
Twaweza sasa kushugulikia matukio ya siku sita kabla ya pasaka tokea Nisan 9.
Siku
ya sita kabla ya pasaka Nisan 9 (jioni ya Alhamisi hadi jioni ya Ijumaa)
Tukio |
Mathayo |
Mariko |
Luka |
Yohana |
Kristo
akakaribia Yerusalemu kutoka Yeriko |
|
|
19:1-10 |
|
Kristo apita
Athamesi kutoka nyumba ya Zakayo |
|
|
19:6 |
|
Kakatoa funzo ya
hela |
|
|
19:11-27 |
|
Akaelekea
Yerusalemu |
|
|
19:28 |
|
Anatuma
wanafunzi wawili kuleta Punda kuna wanama wawili |
21:1-7 |
|
|
|
Anaingia kutoka
Bethphage (si Bethany) na kutiiza Zakaria 9:9 |
|
|
|
|
Hatarajiwa na
wanauliza “nani Huyu?” |
21:10-11 |
|
|
|
Anatakasa hekalu
Kulingana na sheria |
21:12-16 |
|
|
|
Alitoka Behtani
kwenda kwa Lazaro |
21:17 |
|
|
12:1 |
Twaona kuwa madhumuni ya safari ya kwanza kuenda Yerusalemu ilikuwa ni kutakasa Hekalu, ambayo ilikuwa ifanywa kwa minajili ya pasaka ambapo Kristo alifaa kuwa mwanakondoo wa pasaka. Alitimiza kila kilichoandikwa na nabii Zakaria (Zakaria 9:9) na Mathayo anarekodi kwa wakati huo watu waliyatandika nguo zao mbele yake (Mathayo 21:1-17). Makuhani wakuu walifahamu kuwa walifaa kufanya kuitu kumhusu (Mathayo 21:15). Kasha akatoka kwenda Bethany kwenda kwa Lazaro maali Mariamu alipaka miguu yake na Spikenard. yudas Iskariot I alichanganya upako huo na Kristo anafunua kuwa ili kuwa ni madhumuni ya kifo na mazishi kuwa mafuta hiyo iliwekwa kwa kazi hiyo. Upako ulionyehsa kujitolea kwa Kristo kama wamakondoo wa Mungu. Limtunga kwa sababu hiyo. Matukio hayo yalitendeka jioni ya Nisana 10 ambayo ilikuwa ni ya kutengwa kando kwa mwanakondoo kwa matoleo ya pasaka kulingana na Kutoka 12:3 ilitokea Ijumaa jioni hadi Jumamosi joini. Kristo alijitolea na alipakwa siku ya sabato.
Siku
ya tano kabla ya Pasaka 10 Nisan (Ijumaa jioni hadi Jumamosi jioni)
Tukio |
Mathayo |
Mariko |
Luka |
Yohana |
Bwana alipitia
sabato Bethany |
|
|
|
|
Kutoka jioni ya
sabato (Jumamosi moja yam lo hizo tatu zinaliwa (Katika nyumba ya Lazaro. |
|
|
|
12:22 |
Katika mlo huo
upako mbili za kwanza inatendeka |
|
|
|
12:3-11 |
Lazaro anatendewa kukaa naye katika mlo (Yohana 12:2). Yohana aeleza kuwa Wayahudi wengi walijua kwamba alikuwa hapo na wakaja kumwona siku ya sabato na pia kumwona Lazaro aliyefufua (Yohana 12:9). Ilikuwa ni kwa sababu hiyo ambayo ikafanya makuhani wakuu (wakiwemo wale makuhani waliosonga cha juu katika vigao) waliagana kuwa wangeweza kumwuona Lazaro (Yohana 12:10-11). Neno “apakkeno” (kuuwa) inayomaanisha kifo baya kuliko kifo kisheria.
Fungu katika Yohana inaendelea katika 12:12 kusema” “siku iliyofuata, wengi wa waliokuja kwenye sikuu waliposikia kuwa Yesu alikuwa anakuja Yerusalemu walichokua watawi ya mnazi na kwenda kumlaki na kutimiza kilichoandikwa katika Zaburi 118:25-26 na kulia Hasanna! “Abarikiwe mfalme wa Israeli anayekuja kupitia jina la Bwana”. Luka 19:38 ni tofauti kwa kilio lakini ujumba ni sawa na fungu katika Yohana inapuuza mwana wa Daudi ambaye imemjumiishwa katika kitabu cha Mathayo 21:9.
Kosa ni kuwa inachokuliwa ati tamko la siku iliyofuata inarejelea sabato baada ya chajio kuliko Abid 11. Hata hivyo, tamko hilo atarejelea siku iliyofuata na sio asubuhi au siku inayofuatia sabato. Bullinger pia anashikila kuwa tamko linalorejelewa katika Abid 11 ambayo ilikuwa Jumapili. Swala hilo linapigwa debe na swala la watu wengi kuja katika sabato kumwona Kristo na ingekuwa vigumu sana kwao kukutana katika nyumbo uskiku. Pia kujumuishwa kwa makuhani wakuu ingetendeka sabato hiyo. Hivyo, Kristo alitengwa kama sadaka na upako na kuagana kwa kuhani mkuu wa makuhani wakuu, katika sabato, siku ya kumi ya Abib, walikuwa hapo katika sehemu moja kwa sababu ya sikukuu. Kristo basi alikuwa tayari kuingia Yerusalemu kwa shangwe.
Siku
ya nne kabla ya pasaka 11 Nisan (Jumamosi jioni hadi Jumapili jioni)
Tukio |
Mathayo |
Mariko |
Luka |
Yohana |
Kuingia
Yerusalemu kwa muda ya pili |
|
|
|
|
Kristo atuma
wanafunzi wawili kuleta mnyama mmoja |
|
11:1-7 |
19:29-35 |
12:12 |
Bwana atoka
Bethany Sr. Bethpage) na anaklakiwa na umati kutoka Yerusalemu |
|
1:8-10 |
19:36-40 |
12:12-19 |
Alilia mji |
|
|
19:41-44 |
|
Aingia hekaluni
na kuitizama kote |
|
11:11 |
|
|
Kisha anarudi
bethany |
|
11:11 |
|
|
Siku
ya tatu kabla ya pasaka 12 Nisana (Jumapili jioni hadi Jumatatu jioni)
Tukio |
Mathayo |
Mariko |
Luka |
Yohana |
Kristo arudi
Yerusalemu asubuhi |
21:18 |
11:12 |
|
|
Mti wa muguma
analaaniwa |
21:19-22 |
11:13-14 |
|
|
Anatokeza tena
hekaluni na kutakasa tena |
|
11:15-17 |
19:45-46 |
|
Afundisha
hekaluni |
|
|
19:47 |
12:20-50 |
Akumbwa na
upinzani wa watawala |
|
11:18 |
19:47-48 |
|
Atoka mjini
(labda kwenda Bethani, tizama Luka 21:37-38 |
|
11:19 |
|
|
Siku
ya pili kabla ya pasaka 12 Nisan (Jumatatu jioni hadi Jumanne jioni)
Tukio |
Mathayo |
Mariko |
Luka |
Yohana |
Maswali ya wanafunzi
kuhusu mti wa mungumu yajikita wakielekea Yerusalemu |
|
11:20-26 |
|
|
Kristo kwa mara
nyingine tena yumo hekaluni Yerusalemu |
21:23-27 |
11:27-33 |
20:1-8 |
|
Kristo atunza
kwa maswali na mafumbo |
21:28-23;39 |
12:1-44 |
20:9-21;14 |
|
Utabiri mkuu wa
kwanza inatolewa hekaluni |
|
|
|
21:5-36 |
Taarifa ya
sheria za Mungu katika wiki hii ya mwisho |
|
|
|
21:31-35 |
Utabiri wa pii
kuhusu mlima Olive |
24:1-51 |
13:1-37 |
|
|
Utabiri wa pili
unaendelezwa |
|
25:1-46 |
|
|
Hoja hiyo laonekana kwa mazungumzo lakini ni marudio ya matuio na jioni kabla ambapo matendo nyumbani mwa Simon aliyekuwa na ukoma alitokea. Taarifa baada ya siku mbili ya pasaka ni kiongosi cha wakati hadithi hiyo inagusia matendo yanayofuatana iliyowekwa kwa mnajili ya matendo katika nyumba ya Simon. Yudas Iskarioti alienda kumsaliti Kristo juu ya matendo ya siku hiyo. Wanafunzi wengine walitumwa adhuhuri kuendea makaazi ya muda mfupi. Iwapo hadithi inaendelea, basi mlo katika nyumba ya Simon ingekuwa chakula cha mchana na matendo yakafuata. Mapngilio huo wa wakati inaonyesha kuwa huenda hadithi inasimulia jioni kabla ya hadithi katika Mariko uaonekana kuendeleza tendo katika orodha ya matukio ya siku iyo hiyo. Yaonekana kwa mambo mengi yalitendeka wa matayarisho ya siku na iliyochelea kabisa, mlo nyumbani mwa Simon lazima ni chakula cha mchana kule Nisan 13. Appendix katika campanion Bible kuhusu chakula hivyo vitatu vya jioni (appendix 157 P. 182) hivyo basi yajitegemea katika marejeleo ya jioni hiyo tukiangazia mlo hizo tatu, ikiwa ni mbili za jioni na moja ya mchana. Katika tukio yoyote, wanafunzi na Kristo walishapata makaazi ifikapo jioni ya Nisan 14 kwa chakula cha jioni ya mwisho.
Tukio |
Mathayo |
Mariko |
Luka |
Yohana |
Taarifa “baada
ya siku mbili ni pasaka” |
20:1-5 |
14:12 |
|
|
Anarudi Bethani
na yumo nyumbani mwa Simon aliyeugua ukoma utakosa wa pili |
26:6-13 |
14:3-9 |
|
|
Yudas Iskariot
apanga kumsaliti Kristo |
26:14-16 |
14:10-11 |
22:1-6 |
|
Matayarisho ya
chakula cha jioni ya mwisho |
26:17-19 |
14:12-16 |
22:7-13 |
|
Wanafunzi hapo wanatayarisha meza ya Bwana katika makaazi ya muda mfupi.
Kumbukumbu
16:5-7 Hutaruhusiwa kutoa dhabihu ya
pasaka katika lolote ya majiji yako ambayo Yehova anakupa wewe. 6
Bali mahai ambapo Yehova Mungu wako atapochagua ili jina lake likae, hapo
utatoa dhabihu ya pasaka wakati wa jioni mara tu baada ya jua kutua, wakati
uliowekwa wa kutoka kwenu Misri. 7 Nanyi mtapika na kula mahali
ambapo Yehova Mungu wenu atachagua na wakati wa asubuhi atageuka na kwenda
kwenye mahema yenu. (KJV)
Hito inatuleta kwa Nisan 13.
Matayarisho ya siku ya 14 ya Nisan – siku ya kusulubiwa, 14 Nisan (Jumanne jioni hadi Jumatano Jioni).
Tukio |
Mathayo |
Mariko |
Luka |
Yohana |
“ Kuna
aliyekuja” kuunda njama dhidi ya Kristo |
26:20 |
14:17 |
|
|
Meza ya
Bwanakutamatishwa na uoshaji miguu |
|
|
|
13:1-20 |
Kutangazwa kwa
usaliti |
26:21-25 |
14:18-21 |
|
13:21-20 |
Chajio kinaliwa
na agano ya Yohana 31:31 inatangazwa. Na mkate na divai inangaziwa |
26:26-29 |
14:22-25 |
22:14-23 |
|
Utabiri wa
kwanza wa Peteru kukana Bwana |
|
|
|
13:31-38 |
Mabishano ya
ukubwa |
|
|
22:24-30 |
|
Utabiri wa pili wa Peteru kukana |
|
|
22:31-34 |
|
Kilio ya mwisho
kwa tume ya kwanza (Luka 9:3) |
|
|
22:35-36 |
|
Eneo ya mwisho
ya kumi na moja mafuatiwa na maombi ya Kristo |
|
|
|
14:1-17;26 |
Chama chaenda
Gethemane |
26:30-35 |
14:26-29 |
22:39 |
18:1 |
Utabiri wa tatu
ya Petero kukana |
|
14:30-31 |
|
|
Kisa kwenye
bustani |
26:36-46 |
14:32-42 |
22:40-46 |
|
Bwana
ajitambulisha |
26:47-56 |
14:43-50 |
22:47-54 |
18:2-11 |
Lazaro kutoweka
(tizama Mariko 14:51-52 Comp Boble |
|
14:51-52 |
|
|
Majaribu ya
Kristo katendelea usiku wa Jumanne |
26:57-27;31 |
14:53-15:19 |
22:54-23:25 |
18:12-19:18 |
Usiku wa manane
Jumanne saa sita Pilato kasema |
|
|
|
19:14-15 |
Kristo aelekezwa
kusulubiwa |
27:31-34 |
15:20-23 |
23:26-31 |
19:16-71 |
Naye waliongazwa
wezi wawili (kukuorgol) |
|
|
23:32-33 |
19:18 |
Mazungumuzo na
Pilato kuandaliwa |
|
|
|
19:19-22 |
Kugawiwa kwa
nguo |
27:35-37 |
15:24 |
23:24 |
19:23-24 |
Alisubiwa saa
tatu asubuhi Jumatano |
|
15:25-26 |
|
|
Wezi wawili
walisulubiwa pamoja naye |
27:38 |
15:27-28 |
|
|
Kuachiliwa huru
kwa viongozi na wezi hao |
27:39-44 |
15:29-32 |
23:35-13 |
|
Baba atikisha
mamake kwa Yohana |
|
|
|
19:25-27 |
Giza yakumba saa
sita mchana |
27:45-49 |
15:33 |
23:44-45 |
|
Kristo kutoa
kilio cha mwisho jumatano saa tisa adhuhuri na kasha anaaga |
27:50 |
15:34-37 |
23:46 |
19:28-30 |
Matendo na
matukio ya baadaye |
27:51-56 |
15:38-41 |
23:47-49 |
19:31-34 |
Kristo azikwa
kwa haraka kabla ya jua kutia Jumatano, mwendo wa saa kumi na mbili jioni
kabla ya siku takatiu kuanza jioni |
27:57-66 |
15:42-47 |
23:5-56 |
19:38-42 |
(Tizama pia Schaff – Herzog encyclopia of religious knowledge. Fasting for a Wednesday crucifixion).
Kristo ailala kaburini kwa siku tatu na usiku tatu kutimiza ishara ya Yonah (Mathayo 12:39-41).
1) Siku ya kwanza ilikuwa siku ya juu (Yona Tov) siku ya kumi na tano ya Nisan, toka jioni hadi jioni.
2) Siku ya pili ilikuwa jioni ya Alhamisi hadi jioni yan ijumaa na hivyo basi Mariamu na wengine wangepata viungo vya kumpamba Kristo (Mariko 16:1). Kasha wakaenda kaburini alfajiri ya Jumapili (Mariko 16:2)
3) Siku ya tatu ilikuwa vya kutoja Ijumaa jioni hadi Jumamosi jioni iliyokuwa ni sabato ya kila wiki.
Hiyo alimaliza usiku tatu na siku ya tatu kaburini. Hiyo ilitabiriwa katika Mathayo 12:40 na inatumika katika Mathayo 27:63 na Mariko 8:31 Kristo alifufuka jioni ya siku ya nne iliyokuwa ni mwanzo wa Nisan 18. Alikaa usiku kucha katika hali ya uhai akiwa na malaika. Mariamu magdaline alizungumza naye alipoenda kaburini Jumapili asubuhi ilipokuwa bado giza. Yaani wakati bado ilikuwa jioni kabla kufuatia kwa Jusaik
Tukio |
Mathayo |
Mariko |
Luka |
Yohana |
Ufufuo |
28:1-10 |
16:1-8 |
24:1-49 |
20:1-23 |
Mathayo 28:1-10 Baada ya siku ya sabato kulipokuwa kukipambazuka katika siku ya kwanza ya juma, Maria Magdaline na yule Maria mwingine wakaja kulitambua kaburi. 2 Na, tazama! Tetemeko kubwa la nchi lilikuwa limetokea; kwa maana malaika wa Yehova alikuwa ameshuka kutoka mbinguni akakaribia na na kulioviringisha jiwe, naye alikuwa ameketi juu yake. 3 Alionekana kama umeme na mavazi yalikuwa meupe ka theluji. 4 Ndiyo wale walinzi wakatetemeka na kuwa kama wafu kwa sababu ya kumwogopa. 5 Lakini malaika akawajibu wanawake hao akawaambia! “Msiogope kwa sababu najua manamtafuta Yesu aliyetundikwa mtini. Hayupo hapa kwa maana alifufuka alivyosema. Njooni, tazama mahali alipolala 7 Ninyi nendeni upesi waambie wanafunzi wake kwamba alikuwa amefufuka kutoka kwa wafu na tazama! Atawatangulia kuingia Galilaya; huko amamwona. Tazama! Nime waambia ninyi. 8 Kwa hivyo wakaondoka upesi kaburini wakiwa na woga na shangwe kubwa, wakakimbia kuwajulisha wanafunzi wake. “Na tazama! Yesu akakutana nao na kusema: “siku njema!” wao wakakaribia waka mshika miguu yake, wakamsujudia. 10 Ndipo Yesu atawaambia “Misiogope! Nendeni mkawajulishe ndugu zangu ili wapate kwenda zao Galilaya, na huko wataniona. (KJV)
Mathayo 28:1 imetasiriwa katika mwisho wa sabato ilipoona kupamabzuka siku aya kwaza ya wiki, wakaja Maria Magdaline na Maria mwingine kutizama “sepulcher” n.k.Fungu hilo imapotesha. Grin achukluliwa fungu toka kwa Griki baada ya sabbato wakati wa mapambazuko hadi sabato ya kwanza. Sabato kwa wingi hutumika kila mara. Maana ineleweka zaidi ikirejelewa kwa wingi na wazo wa kutumatisha sabato ama wiki ya siku saba. Hakuna muvurugano kati.
Mathayo, Mariko na Yohana. Lazima
yasomwe kwa pamoja. Ingesema: mwishoni mwa wiki alipombazuka siku ya kwanza ya wiki. Funga katika Mathayo 28:1 yaoneysa kuwa kristo alifufuka kabla ya mapambazuko. Hivyo hakufufuka Jumapili fungo katika Mathayo yaonyesha kua malaika alibingiriza jiwe. Kristo tian alishafufuka. Maria akaonelea kuwa hakuwa. Ksiha akaenda kwa wanafunzi warudi mapambazuko. Mathayo yashikila kuwa wanawake hao wawili walianguka miguuni mwake na kuyashikila. Yohana yaelezea kuwa hakukubali kugeuswa.
Yohana 20:7-17 siku ya kwanza ya juma Maria magdaline akaja mapema kwenye kaburi, kulipokuwa na giza bado, naye akauona jiwe tiyari limeondolewa kwenye kaburi. 2 Kwa hivyo akakimbia kwakwe Simoni petro na kwa yule mwanafunzi kwingine, ambaye Yesu alikuwa amempenda, naye akawaambia “wamemondoa Bwana kutoka alikuwa kaburi, nasi hatujui wamemlaza wapi.” 3 Ndipo Petro na yule mwanafunzi mwingine wakatoka kwenda kaburini. 4 Ndiyo hao wawili pamoja wakaanza kukimbia, lakini yule mwanafunzi mwingine akakimbia mbele ya Petro mbio zaidi naye akafika kaburini kwanza. 5 Naye akainama akaona vitambaa vyake vikuwa chini humo, lakini hakuingia. 6 Ndiyo Simeoni Petro pia akaja akimfuata naye akaingia dnani ya kaburi. Naye aaona vitambaa vikiwa chini humo. 7 Pia nguo iliyokuwa juu ya kichwa chake haikuwa pamoja na vitambaa bali ilikuwa imekunjwa ikiwa peke yake. 8 Kwa hivyo wakati huo mwanafunzi mmoja aliyekuwa amefika kwanza kwenye kaburi alifkiak naye akaona na kuamini. 9 Kwa maana hawakuwa bado wamefahamu andiko kwamba lazima ufufuke kutoka kwa wafu. 10 Na kwa hivyo wanafunzi wakarudi nyumbani kwao. 11 Hata hivyo, Maria akaenda kusimama nje karibu na kaburi akilia. Ndipo alipokuwa akilia, akainama kutazama ndani ya kaburi. 12 Naye akaona malaika wawili waliokuwa wamevaa mavazi meupe wakiwa wameketi mmoja kichani na mwingin miguuni ambapo mwili wa Yersu alikuwa maelazwa. 13 Nao wakamwambia! “Mwaname, kwa nini unalia?” Akawaambia “Sijui wamemlaza wapi?” 14 Baada ya kusema hayo, akageuka na kumwona Yesu akiwa amesimama lakini hakumfahamu ni Yesu. 15 Yesu akamwambia, wanamke, kwa nini unalia umantafuta nani? Yeye akiwaza ni mtunza-bustani, akamwambia: “Bwana ikiwa amemchua, niambie amemlaza wapi, nami nitamwambia.” 16 Yesu akamwambia! “Maria alipogeuka, Maria akamwambia, katika Kiebrania “Roboni!” (ambao linamaanisha mwalimu) 17 Yesu akamwambia! “Acha kuinginia, kwa maana bado sijapanda kwenda kwa Baba. Lakii nenda kwa ndugu zangu nawe uwaambie, “mimi ninapanda kwenda kwa Baba yenu na ungu wangu na Mungu wenu.” (KJV)
Wanawake waliruhusiwa kumgosa kumgusa Kristo kwa mara ya kwanza kwa sababu bado hakuwa takatifu alipofufuka na akawa hivyo hadi siku ya sabato ilipopambazuka siku ya kwanza ya wiki (Jumapili) hawangemgusa tena hadi alipopanda kwa Babake kama wave shoef na tena akarudi. Marudiano ya fungu hizi ni ngomu. Kuelewa ufufo ilifikia wanawake na si kwa mitume. Wanawake wote wawili walikuwa lakini Maria tu ndiye anayetajwa katika Yohana. Jawabu ni kuwa ni Maria ndiye alijaribu kumdhikila lakini alizuiliwa. Ujumbe haikufikishwa mitume kwa vile hawakuelewa agano zilizokuwa zikitimizwa.
Vitu tofauti vinazingatiwa katika kila Kristo iliyotokeza kwa barabara ililielekea Emaus ilikuwa siku tatu baada ya sulubisho na mwazishi (Luka 24:21) Hiyo inaweza kurudiana kwa kuhesabu toka Alhamisi kama siku ya kwanza. Inatafriswa ijuisho Jumapili kama siku ya tatu na hivyo inaidhinishwa Ijumaa. Mariko 16:12 hauna muda. Hiyo ikiwa ni siku nyingine (tizama Marchallis RSV main text).
Ni vigumu kuwa Kristo angesulubiwa Ijumaa na kufufuka Jumapili kutimiza ishara ya Yono na utabiri za Messia. Hangewekwa kaburini hadi ijumaa usiku na hivyo angechukua jioni mbili (moja isiyokamilika) na siku moja kaburini. Mahitaji ilikuwa ni kuchukua siku tatu. Hiyo ingefuatia sulubisho ya inaangazia suluisho ya Jumapili, 32 CE inahitaji maandalizi ya Jumamosi na sulubisho, na hivyo sulubisho ya Jumapili (iliyohirishwa toka Jumatano) 33 CE hata hivyo imechelewa sana kulingana na injili ambayo haiambatani na mtindo wa matukio katika injili, 32 CE tu ndio inayo maandalizi na sulubisho (iliyohirishwa toka Jumatano). 33 CE hata hivyo imechelewa sana kulingana na injili ambayo haiambatani na mtindo wa matukio katika njili? 30 CE tu ndiyo inayodhirihisha dhana hizo. Hivyo inatamatishwa kuwa ufufuu ulikuwa Jumatano, tarehe 5 April 30 CE.
Kristo alipanda kwa Babake, Baba yetu na Mungu wake na Mungu wetu (Yohana 20:17), wakati wa wave Sheaf (Walawi 23:11) kama matunda ya kwanzaa ya Israeli aliyekuwa. Alikuwa mzaliwa wa kwanza kwa uafu. Alikuwa mwana wa Mungu kupitia roho mtakatifu kupitia ufufuo wake. (Warumi 1:4. Wake Sheaf ilifaa itekelezwe asubuhi inayofuata sabato na sio siku ya juu ama shabbathewn (tizama The Wave Sheaf Offering (No. 106b)). Matendo yanayofuata sulubisho na ufufuo na kipindi kilichotabiriwa kuifanya katika kipindi ambacho hakiezi singezwa kuleta mtindo wa Estaer kama uabudu Miungu wa ukafiri.
Kristo alisulubishwa Jumatano na kufufuka Jumamosi jioni, usiku. Bibilia na hadithi zake haziwezi kutosha njia yoyote kutimiza utabiri na fungo.
q