Makanisa ya Kikristo ya Mungu

[177]

 

 

 

 

ZABURI 45 [177]

 

(Edition 2.0 19960904-20000712)

 

Hapa kuna zaburi nzuri amboyo kichwa ni “wimbo wa mapenzi) ina maelezo ya unabii wa yesu kristo kama bwana arusi mwaminifu na kanisa lake kama bibi arusi mwaminifu. Hiki zaburi pia ina eleza urafiki wa yesu kristo na Mungu ambaye ni baba yake. Si bali tu ati Mungu ame paka ua kubariki yesu kristo kwa jmbo muhimu kama kukua bwana arusi mwamnifu kwa watu wake, bali kua kumtairisha kua kuendelea kipawa chake.

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

Email: secretary@ccg.org

 

(Copyright ã  1996, 2000  Wade Cox and Ian Gudze)

(Tr. 2008)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org and http://www.ccg.org

 

 


 

 

 ZABURI 45




Kuingiza

 

Hapa kuna zaburi nzuri amboyo kichwa ni “ wimbo wa mapenzi) ina maelezo ya unabii wa yesu kristo kama bwana arusi mwaminifu na kanisa lake kama bibi arusi mwaminifu. Hiki zaburi pia ina eleza urafiki wa yesu kristo na Mungu ambaye ni baba yake. Si bali tu ati Mungu ame paka ua kubariki yesu kristo kwa jmbo muhimu kama kukua bwana arusi mwamnifu kwa watu wake, bali kua kumtairisha kua kuendelea kipawa chake.

 

Wakuu wa rabbinia wako na maoni tofauti kwa zaburi. Ibn ezra ana elewa mfalme kua Daudi, kwa kadiri yo yote, wa Targumi na kimchi wali elewa hiki nymbo kuhusiana kua mesia, na ndoa husiana na wokokuvu waka kwa Israeli. Umuhimu wa mwili na roho wa Israeli aiweleki kwao. Rashi alijaribu kueleza zaburi kwa uelezo wa tora wasomi mabayo walidaiwa kua wafalme (cf. Methali 8:15). Hivyo, Rashi aliona uzalendo kama tora-wasomi ndio viongoza halisi wa Israeli ambaya ata wasaidia kuhisi. Hiki ina eleza kutokua yote, kupewa maelezo kamili ya ufungo. Mailbim aliweke kwa undani ubadili ya mwili na ubongo ambayo tena ni haitosheki, kama sio nenea Mungu.

 

Zaburi 45:1-17 Kwa mku wa kwaya: kutokana na Lilies. Wa maskii wa wanawe wa kora Nymbo wa mapenzi. Moyo wangu umufurika kwa neon jema, mimi nasema niliyomfanyiza mfalme; Ulimi wangu ni kalamu ya mwandishi mstadi. Wewe u mzuri sana kuliko wanadamu; kwa hiyo mungu amekubariki hata milele. Jifungie upanga wako pajani, wewe uliye hadari, utukufu ni wako na fahari ni yako. Katika fahari yako usitawi uendele kwa ajili ya kweli na upole na hak. Na mkono wako wa kuume utakufundisha mambo ya kutisha. Mishale yako ni mikali, watu huanguka chini yako; imo mioyoni mwa adui za mfalme. Kiti chako cha enzi, mungu, ni cha milele na milele. Fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili. Umuipenda haki; umuichukia dhuluma. Kwa hivyo Mungu wako, amekupaka mafuta, mafuta ya furaha kuliko mwenzako. Mavazi yako yote hunukia manemane na uudi na mdalisini. Katika majumba ya pembe vinubi vimekufurahisha. Binti za wafalme wamo miongoni mwa akina bibi wako wastahiki. Mkono wako wa kuume amesimama malakia, amevaa dhahabu ya ofiri. Sikia, binti, utazame, utege sikio lako, uwasahau watu watu wako na nyumba ya baba yako. Naye mfalme atautamini uzuri wako, maana ndiye bwana wako, nao umusujudie. Na binti Tiro analeta kipawa chake, Nao matajiri wa watu wata jipendekeza kwako. Binti mfalme yumo ndani ana fahari tupu, Mavazi yake ni za nyuzi za dhahabu. Ata peleka kwa mfalme. Na mavazi yaliyofumwa kwa uzuri. Wanawali wenzaka wanomfuata, watapelekwa kwako. Watapelekwa kwa furaha na shangwe, na kuingia katika nyumba ya mfalme. Badala ya baba zako. Watkuepo watoto wako, utawafanya kuwa wakuu katika nchi zote. watakusukuru milele na  Milele. Jina lako nitalifanya kuwa kumbukumbu katika vizazi vyote. Kwa hiyo mataifa

 

Magawanyiko ya Zaburi

 

Hiki zaburi ina sehemu tatu au mahali tatu.

 

Sehemu 1. fungu la kwanza kina onyesha maono ambayo mwimbaji ya zaburi, kadiri ya roho mtakatifu, kunao onyeshwa kwa wimbo au “nyimbo nzuri ya mapenzi”

 

Zaburi 45:1 mku wa kwaya: kutokana na Lilies. Wa maskii wa wanawe wa kora Nymbo wa mapenzi. Moyo wangu umufurika kwa neon jema, mimi nasema niliyomfanyiza mfalme; Ulimi wangu ni kalamu  ya mwandishi mstadi.

 

Tafsiri zingine inaweza soma moyo wangu imejazwa na jambo kizuri, nina tunga nyimbo yangu kulinga na mfalme etc (NKJV). Maneno ina furika imetumiwa hapa tu pekee. Kama jina inaweza maanisha mnyama mwenye damu baridi na maana  yake halisi ni ku songeza au kujongea. Linganisa hiki na na badili ya Isaya 6:5-7 kuhusu maana ya seraphim.

 

Sehemu 2. fungo 2-9

 

Hapa tume ambiwa kuhusu bwana arushi mwaminifu. Ni kuongea kwa unabii kuhusu yesu kristo. Ngalia maneno muhimu ya mamlaka mkuu katika sehemu hii kutokea fungo la 2 Mungu amekubariki milele. Hiki maneno kimetoka katika mafundisho ya binitaria. Mungu angefanya hivi kama ange kuwa yomo kuanzia na Babake katika ufalme wake kuanzia mwanzo.

 

Tuna tazama kwa fungo 4 kua bwana arusi  ana pambanisha na satani ambeye amejijuja kutoka kwa sehemu yake kwasababu ya bwana na ufitina.

    

Zaburi 45:2-5 Wewe u mzuri sana kuliko wanadamu; kwa hiyo mungu amekubariki hata milele. Jifungie upanga wako pajani, wewe uliye hadari, utukufu ni wako na fahari ni yako. Katika fahari yako usitawi uendele kwa ajili ya kweli na upole na hak. Na mkono wako wa kuume utakufundisha mambo ya kutisha. Mishale yako ni mikali, watu huanguka chini yako; imo mioyoni mwa adui za mfalme. Kiti chako cha enzi, mungu, ni cha milele na milele. Fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili

       

Kumwagwa kua madaha kwa ulimi wa mesaya ni utendo wa wokovu. Hi inafanywa kupitia roho. Hi upendo ni kuamini mwanzo wala kikomo chake. Kuita ku toa kisu, kama vile anavyo sema Rashi, no kutita kujilinda Tora au amri ya Mungu. Ushindi mkweli  ina patikana si kwa ujeuri na kisu bali ni kulinda ukweli na usimamizi wa ukweli (Metsudath Daudi na Malbim) ambayo wakona ujuhudi ya kulinda (cf. Hirsch). Mkono wa kweli ni kionyesho ya kipawa nay eye vile vile na Mungu (cf. Ps. 44:4).  Mshale zake kina pita moyo.

 

Katika fungo wa 6 na 7 tuna onea jambo muhimu kuhusu atua ambey kristo ata chukua kama bwana arusi mwaminifu. Kwakutaja hivo kwasababu ana mteta setani na kupenda ukweli, Mungu ambaye ni Baba, Mungu wake, anamuinua juu kupita rika zake. Wanabii wakuu walijaribu kukatalia maombi ya mesaya kuwa mfalme. Rashi na Hirsch Wajulisha eloi kua jaji. Uandishi ya ufalme wa Mungu in julishwa si kukubaliana na mstari. Ibn Ezra ana tazama fungo vile ufalme yomo (ufalme ya) Mungu (cf. 1Wakoritho 29:23 na Solomon ali kaa katika ufalme wa Mungu). Hapa tuna ona usambazaji wa ufalme na nguvu kulingana na nguva za Mungu milele (cf. 2Sam. 7:16).

 

Zaburi 45:6-7 Kiti chako cha enzi, mungu, ni cha milele na milele. Fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili. Umuipenda haki; umuichukia dhuluma. Kwa hivyo Mungu wako, amekupaka mafuta, mafuta ya furaha kuliko mwenzako

 

Mafuta ni mfano wa furaha (Isa 61:3) kimchi alisema kua mtungaji wa wimbo alita kuwa Mungu, kuwa kupaka Mesaya kama mfalme wake, ata muinua juu ya wengine na kultea furaha dunia nzima (cf. n. to v. 8, Soncino).

 

Mstari kumerudiliwa katika Hibrania 1:8-9 amboyo inaonysha ukweli kuwa hiki undashi inahusiano na yesu kristo kama mesaya. Kifungo kinaonyesha kwa ukweli kuwa:

a) Mungu wa yesu kristo ndiye Mungu Baba; na

b) Ni moja ya wengi waliokuwa ambaye ni rika zake na ame fusu kufanya kazi muhimu, kama kuwa bwana arusi mwaminifu katika kanisa ya mapadri wa kuu (cf. Zab.110:1-7) kwa kulinda ukweli na uzuri.

Zaburi 45:8-9 Mavazi yako yote hunukia manemane na uudi na mdalisini. Katika majumba ya pembe vinubi vimekufurahisha. Binti za wafalme wamo miongoni mwa akina bibi wako wastahiki. Mkono wako wa kuume amesimama malakia, amevaa dhahabu ya ofiri.

 

Hapa Malkia ndiye kanisa katika mkono wake wa kiumbe na yuko katika mkono wa kiumbe ya Baba. Karafu ina mfano wa katika hiki karatasi kama fafanusi wa Esta. Karafu kinaonysha tabia nzuri (kimchi) alipata kupitia Roho mtakatifu.makao makuu zime chukuliwa kama mahalipa zina makuu na Malbim ambay ataenda kukutana “bibi” yake (Soncino, 9). Rashi ana sema yakwamba kupewa kwa ukweli inafa ikwe zaidi kuliko mahali pa kujirembesa, je wenye wata kuja kwangu wa furahiswa na wewe. Neneo minni kime fupiswa kuoka kwa neno mimenni kutoka kwangu, isipokuwa wengine wanaiona katika hali tofauti.

 

Maneno wakuu wanawake ni jambo ambayo ina semwa na watu wajeuri kufatia Ibn Ezra na Kimchi. Wa soncio wako na fungo muhimu ya kuwapendza. Rashi ana eleza hiki maneno kuwa kutembelea. Kwahivyo, watoto wakike wa mfalme wali kuja kutemblea. Wa Targumi wana eleza kuwa kifungo ana kuja kutembelea na kuonyesha hesima kuu (n. 10, Soncino).

 

Sehemu 3. kifungo 10-17

 

Hapa tuna ujumbe (v. 11-13) kwa bwana arushi mwaminifu amboyo kina eleza vitendo vizuri Mungu ameweka katika kumweka tayari kuwa bibi a yesu kristo. Mschana ame wekwa na wa rabbi kuonyesha nchi ya Israeli alafu waliifupisa kuonyesha kuwa mschana wa Yuda kwa kulinganisa na kutafakari 2:6 (Soncino, n. 11).

 Zaburi 45:10-17 Sikia, binti, utazame, utege sikio lako, uwasahau watu watu wako na nyumba ya baba yako. Naye mfalme atautamini uzuri wako, maana ndiye bwana wako, nao umusujudie. Na binti Tiro analeta kipawa chake, Nao matajiri wa watu wata jipendekeza kwako. Binti mfalme yumo ndani ana fahari tupu, Mavazi yake ni za nyuzi za dhahabu. Ata peleka kwa mfalme Na mavazi yaliyofumwa kwa uzuri. Wanawali wenzaka wanomfuata, watapelekwa kwako. Watapelekwa kwa furaha na shangwe, na kuingia katika nyumba ya mfalme. Badala ya baba zako Watkuepo watoto wako, utawafanya kuwa wakuu katika nchi zote. Jina lako nitalifanya kuwa kumbukumbu katika vizazi vyote. Kwa hiyo mataifa watakusukuru milele na  Milele.

 

Fungo la 10 inamuita nnje kutoka kwa watu wake. Hiki kimeimarishwa kwa karatasi wimbo wa nyimbo. Wa sancio wana sema Bibi anatoka kwa nchi ingine ambyo masetani wana budiwa. Ibn ezra kwahivyo ana amua ni bibi ya Daudi. Wengine wana jaribu kuingiza solomoni abaye alioa Maacha wa Geshur na Bintiye Farao. Maoni ni kuwa wa misiri wana ongezwa hapa kuwa wana Israeli. Kujuulisha wa Israeli ina weza onyeshwa tu na wamisri waliyo badilisha madili, si kuwa Judea. Metsudath Daudi anasema:

Soma kwa maoni wa mesaya, ni kuitwa kwa nchi zote kujulisha na kuweko wa mesaya na si kwa maadui zake (Soncino, n 11)

 

Fungo 11(12) kunaonyesa uzuri wa kanisa ambayo inatamiwa sana na mfalme. Mungu ndiye mfalme wa kanisa na kitu cha kuabudu. Binti wa Tyre ni mfano wa mfumo wa dini ya dunia (cf. Ezekieli 28). Kimchi asema kuwa Tyre pekee lakini machochezi za nchi zingine wataleta zawadi zao (Soncino). Hapa kanisa ina kua Binti ya mfalme kwa tayari kupeana kwa bwana arusi amaye ni mesaya aliye pakwa kuwa mfalme. Mabikira ni wale waliye fuata kanisa kama wafuasi. Hi mgawanyiko ni mfano wa 144,000 na watu wengi iliye andikwa katika kitabu cha Ufunuo 7:1-17.

 

Fungo 13 in kadili katika KJV kama Binti ya mfalme ana furahia nayo. Mavazi ya dhahabu ni mfano ya wokovu inayo pewa kanisa katika ndoa, usafi wa kanisa ni mfano wa kamba nyeupe inayo badilishwa kuwa nguo ya dhahabu vile inavyo onyeshwa moto na mfano wa wakuu wamnifu wa kanisa.

 

A bizarre kwa ku jitolea kufafanua kifungu vibaya, wa rabbinicali wengine wakuu, wali kadiri kua walifunza ushindi wa mwanam ke mjeuri yumo katika maficho ya nyumba yake (shavouth 30a; ona pia maimondes Mishneh Torah, sheria kuhusu wanawake 13:11; na pia cf. Hirsch, Soncino). Kwa mapendeleo kukataza mesaya na kanisa, walifunga wanawake zao binafsi.

 

Fungo 14 pia inaonyesa kuwa ataletwa kwa mfalme kwa kamba yenye rangi mingi. Makira wafuasi wake wataletwa kwako. Kuna madili ya maneno SHD 7553 riqma kumaanisa uwingi wa rangi, na kufananishwa na mtengenezaji wa rangi (kutoka 26:36), kutumiwa kuifadhili rangi y njano, (Bibilia ya wingi) wasomaji vile wame wekwa kwa kazi. Haiki kamwe hi badili kujitosheka anasa wake bali kujiongeza heshima wa mfalme (cf. Hirsch). Wafuasi wake ndioa wasaidizi wa bibi arusi ambay wanamfuta kwa mlolongo.

 

Shahidi kwa wa Baba na wanawe kinaonyesha kua umuhimu wa mesaya aihusiki na kifungo ndogo za nyuma bali kwa wajukuu. Kimchi asema hawa watoto wali mmahidi kuwa na mwelekeo njema (Soncino). Kwa hivyo upadri wa Melkizedekia aihusiki ustadi, kama vile ili kuwa na Aroni, lakini na kweko bila mwisho kupitia uzuri au umwaninifu (Aa. 110:1-7; Hib. 5:6).

 

Ufalme wa Mungu ita endeleswa na viungu ya watu wengine juu yao yatakwemo wanawe wa mesaya, wata ongoza (cf. Soncino). Ni mungu ambaye ata mfanya jina la mesaya ku kumbukwa milele kwa hivyo wata mskuru milele na milele.

 

Kwa machache

 

Hapa tuko na zaburi nzuri ambaye ni Mesaya. Kwa maneno ina eleza mwaminifu bwana arusi kama:

 

·        Urembo yake mwenyewe

·        Thamani ya ujeuri wake

·        Uzito wa ufalme wake

·        Furaha ya ndoa yake

·        Husiano wa binti na babake

 

Kwa maneno ya bibi arusi mwaminifu tuna hizi:

 

 

Zaburi inaisha kwa kifungo cha 17 na nitafanya jina lako kukumbukwa kadiri ya miaka. Kwa hivyo watu wako watu wako wata kushukuru milele na milele. Mungu ame mweka kristo na, kwa kupakuliwa, watu wata msukuru. Zaburi ni nyimbo ya ndoa wa bwana arusi Mesaya kwa bibi arusi ambaye ni kanisa. Mungu ni baba wa bibi arusi na nguvu ya kuinua Mesaya. Yaye ni mfalme ya eloi au Mungu wa Mesaya na bibi arusi. Mungu asifiwe kwa uzuri wa hiki nyimbo na umoja.

 

 

 

 

                                

 

 

q