Makanisa Ya Kikristo ya Mungu
[187]
Jinsi Mungu Alivyokuwa Familia
(Edition 3.0
19961228-19990622-20070906)
Katika upweke ya mwanzo wa saa na nafasi alikuwamo. Alikuwa mmoja na pekee. Hakuumbwa kwa kuwa alikuwawemo na kwa hivyo Wahibrania walimtambua kama Elioah na wa Chaldean kama Elijahh. Jina hili lilijilikana kwa waarabu kama “Allah” hili laonyesha kuwa Mungu ni Muumbaji.
Christian Churches of God
PO Box 369,
WODEN ACT 2606, AUSTRALIA
Email: secretary@ccg.org
(Copyright ã 1996, 1999, 2007 Wade Cox)
(Tr. 2008)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Jinsi
Mungu Akawa Familia
Kabla ya mwanzo wa masaa na nafasi alikuwepo. Hakwmumbwa kwa kuwa aliwepo na kwa hiyo yupo (Yohana 5:26; 1Timothia 6:16). Alikuepo na alikuwa nafsi (au kile kilichokuwa) Wahibrania wa kisasa walimtambua kama Eloah na Ma Chaldeans kama Ellah. Jina hili lilishuka chini kwa wa Arabu kama Allah. Alikuwa mmoja na pekee. (Tz Duet. 32:15,17; Jakobo (Mahala 42); Ezra 4:29 mpaka 7:26, Danieli 3:25; Proverbs 30:45 alikuwepo.
Eloah alikuwa roho (Johana 4:24) hakutenda kwa kusita. Alifikiria tu atakavyofanya katika ukubwa huu, kama roho mtakatifu alikagua uzito wa matendo yake. Habadiliki (Jas 1:17; Mal 3:6) ama kwa kujaribu kwa hiyo hasemeki. Alifikiria kwa ukubwa wa zile ambacho kilikuwa mbele. Kiumbe nguvu na roho mtakatifu alitazama ugumu wa vitu vilivyoshikwa wenye ukweli. Alitazama kilichosababisha na kile kitakacho sabanishwa na matokeo yoyete ya mwendo mwelekeo atakao chukua au kufanya na tahadhari zake zote. Kwa kuwa hakukuwa na ukuepo wa kushikwa / kuona, vitu vyote hivi vilikuwa katika akili / fikra tu ya Eloah hivyo kisa na matokeo yalikuwa ya uhusiano ya kiakili. (Tazama kuumbwa kutoka Anthropomorphic Theology na Theomorphic Anthropology (Nambari B5).
Alielewa kwa kikamilifu mazingira ya ukweli. Alijua ukweli wote jinsi alivyokuwa roho mtakatifu, maafira hii aliwekewa kama ukweli wake. Alikuwa ukweli (Deut. 32:4). Aliweza kuona mwisho kutoka kwa mwanzo kwa hiyo alikuwa mwanzo na wmisho (kujua yote) (Isaih 46:10; Zaburi 147:5; Mathayo 24:36; Timothia 6:16).
Alijua kilichokuwa kikiwezekana kufanywa na alijua jinsi ya kukifanya. Alikuwa mwenye uwezo Omnipotent (mwenye uwezo) (Mk. 14:36; Luka 1:37).
Alijua kilichokuwa mema kutokana na matokeo ya utu na hisia zake kwa hiyo
alikuwa
mwema (Zaburi 34:8) kutokana na uzito wa umwema na kwa utu wake kile ambacho hangelifanyatu kufa (Ezra 9:15). Kutoka kwa utu wake alikuwa takatifu, ambao ni mtakatifu (Walawi 19:2). Kwa ulinganizo alikuwa nzuri (Mathayo 5:48).
Jinsi ya kuishi na kutenda mambo yalikuwa katika sheria yake iliyotoka kwa mazingira yake hivyo alikuwa mkweli (Zaburi 119:172), aliyetosha (Zab. 19:7) mtakatifu (Warumi 7:12) mwema (Warumi 7:12) ukweli (Zab. 119:142). Hivyo aliamua kuwa kile atakachokuwa. Hii ilidhirihishwa baadaye katika Wahibrabia kama “eyeh” “eyeh” au nitakuwa kile nitakachokuwa (ama kuwa) tazama bibilia n mpaka (Kutoka 3:14).
Alijua kwa matokeo ya kazi kuwa bila mwisho lazima yawe jinsi alivyo lazoma idlamnshe jinsi alivyojiamrisha mwenyewe na lazima iwe ya sheria zinazoamia utu wake.
Aliamua kutoa familia yake kutokana na nambari na mpangilio Fulani kwa kujua mipango yake kwa kil; e kitakachoamua jinsi vitakavyofuata (Isaiah 40:35, 26 Hesabu 24:17, Zaburi 147:4). Ndani ya mpango huo lazima pawe na uguru wa kutenda katika elimu ya familia yake na kua kwao, la sivyo hasingeli umba dunia kwa kutumia mkono na hivyo sanamu na wala sio mtu kama yeye.
Aliumba vitu vyote kulingana na jinsi alivyopanga. Hasabu alianzia na “moja” kama umoja yeye mwenyewe alikuwa. Tutaona kuwa alitumia mfano wake kama msingi wa watu binafsi waliofaa kutengeza familia yake. Aliumba familia yake kwa mfano wako mwenyewe – koroho ma kimwili (wakonnth wa pili 4:4; Wakolosai 1:13; 3:10) walifaa kuwa pande mbili ya kitu kimoja wote wakifaana kwa wema mwishoni.
Tutaona baadaye kutokana na jinsi
alivyoumba kuwa vile ulioumba vyote vilikuwa na uhusiano wa Kimungu na ulikuwa
na msingi wa uhusiano mbili na tano kwa nambati ya mwisho ambayo ni kumi na
mbili. Nambari hii ilikuwa msingi war oho yote ya familia yake ambayo inaitwa
mji wa Mungu (Ufunuo 2:12, tazama nakala The City of God (No. 180)).
Alifanya mfano wake iliyodhihirishwa na nambari ya tano. Alitua Roho ya tano pamoja na mbili. Aliamua kuumba roho mtakatifu. Roho ndiye aliyechukua nguvu ya kuwapa familia yake uzima wa milele na kufanya aliuyokuwa akifanya roho mtakatifu alikokana na nguvu wa roho saba wa Mungu wanao nyeshwa mbeleni katika kiti chake cha enzi. Hili wana wake waumbwe kwa mfano wake wakipewa Roho Mtakatifu kulingana na Roho saba wa Mungu (Ufunuo 1:4; 3:1; 4:5; 5:6) ambao utakuwa wazi, kulingana na mfano wa Mungu na Roho lake kama saba na tano. Baadaye alikuwa anawapa hili nguvu kwa sisi kupitia Messiah (Ufunuo 5:6) kwa hiyo kumi na mbili ndilo nambari ambalo angaliumba familia yake. Familia yake ingekuwa kwa mifano miwili na ingine lakini msingi wao kwa moja. Mfano huo imeandikwa katika misemo ya ufalme wa Mungu kama jinsi Mungu alivyowalisha watu elfu tano na pia mikate ya hekalu (Mathayo 14:17-19; 15 34-36; 16:9-10; tazama izarati pasaka (Nambari 123) ufalme wa Mungu ulikuwa na uzuri na tofauti kwa mfano, hapangeliwkuwa na uhusiano kati ya mume na mke na kwa hiyo hawangezaa watoto wakweli wa Mungu. Wot wanaitwa wana wa Mungu na kwa uftikufu mfano huu utaweza kuwa na uhusiano kama wana wa Mungu (Mathayo 22:30; Luka 20:34-36). Isitoshe familia hii inaamini Mungu ni Mungu mmjoa na Baba ya wote na juu ya yote na yote (Waefeso 4:6).
Elioah aliamua kuwatoa wanawe kwa heshima na hivyo basi walichukua mifano miwili na uendelezo. Hivyo roho mtakatifu alikuwa ndiye mwenye masharti yaliyowawezesha kufanya kama wana wa Mungu chini ya matakwa ya Mungu. Kwa hiyo ushairi wake na jukumu lake kwa viumbe kwa maumbo yawza kuendelezwa / kujaribu. Kutotii utatolewa kwa kutoa roho mtakatifu kwa msingi wa mfano.
Eloah alianza kuwatoa wanawo kwa hesabu / nambari na mpangilio. Wakwanza kutoka moja mpaka mbili na kama tatu na kisha saba. Kumi na mbili ikagawanywa kwa nne makuu. Alitanya ishirini na nne kikundi hili kiliashinaa kama thelathini (Ufunuo 4:1 tu 5:15). Huu ulikuwa karne yake ya kwanza. Aliendelea mpaka sabini na kasha mpaka elfu moja (Jakobo 33:23).
Ayubu 33:23 ikawa kama kuna malaika wake, npatanishi moja wa elfu, kuambia binadamu kile ambacho ni uzuri kwake (RSV)
Kwa elfu moja, aliendelea kutoa mpaka familia ya kiroho ulikamilika. Binadamu walibadilisha mfano huo ilikutoa mfano huu ili kutoa mfano wa utakatifu wa mbinguni na mfano (Luka 10:1, 17; Mitume 1:15, Wahibrania 8:5). Mfano huu uliendeleza mpaka 144000 na hata kupita (Ufunuo 7:1-17) mpaka kwa uumbaji mzima (Ufunuo 20:11-15).
Wana hawa wa Mungu ndio waliokuwa mfano wa kwanza wa Mungu. Kwa kitendo hiki alikuwa baba war oho (Hibrania 12:9). Alikuwa Mungu kama Baba kwa kutoka kwa ukoo wa wana wa Mungu. Kwa kufanya hivi alikuwa wingi na hivyo Elhim ambayo yamaanisha wingi. Kabala ya mwanzo kulikuwa Eloah pekee Elohim walikuwa wa kwanza ama mwanzo wa uumbaji au kuumbwa na Mungu (Ufunuo 3:14). Yeye na wanawe walikuwa elohim lakini yeye alikuwa hahohim ama elihim. Alikuwa Mungu pekee mkweli (Yojana 17:3; 1Jn 5:20) au Eloah.
Elohim alitokana na matakwa ya Eloah na akawa mfano wa nguvu zake kutokana na kitendo hiki, wana wa Mungu waliweza kusema kuwa walikuwa na baba mmoja aliyewawmba wote (Mal 2:10) wana wa Mungu walipewa roho mtakatifu ambaye wangewajiliana kupitia kwake kupitia kwa roho mtakatifu waliungana na Eloah ama haeloim kama eloim. Alivumbua utu wake na sababu zake kwao, Mungu mwenye maarifa pekee na asiyekufa wala kuumbwa na asiyeonekana (1 Timotheo 1:17).
Timothia 1:17 Sasa kwa mfalme aishiye milele,
asiyekufa asiyeumwa, Mungu pekee mwenye maarifa, heshima na utukufu milele na
milele Amina.
Jua kwamba RSV kulingana na ujumbe ya undoa yaondoa neno hekima hapa kwa msingi kwa ujumbe yatua lugha 16:27.
Warumi 16:27 kwa Mungu mkuu pekee kuwa na utukufu milele na milele kupitia kwa Yesu Kristo! Amina (RSV).
Yeye ndiye aliyeketi kwenye kiti cha enzi (Ufunuo 4:2)
Mungu aliwatakasa wawili kama alivyofunika masherubu wa kikundi cha Elohim protokos au wakwanza kuzaliwa wa Uumbaji (Wakolosai 1:15) wa wana wa Mungu (Zaburi 45:6-7; Hibrania 1:84) na azazeli, yule mtu tumjuaye kama shetani (Ezekiali 28:14-18).
Ezekieli 28:14-16 Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afanikaye, nami nilikuweka hata ukawa juu yam lima mtakatifu wa Mungu, umetembea huko na kati ya mawa ya moto. Vilikuwa mkamilifu matika njia zako tangu siku ile ulipoumbwa, hata uovu uliponekana ndani yako. Kwa wingi wa uchuuizi wako watu walikujaza adhalimu ndani yaku, nawe dhambi kwa sababu hiyo nimekutoa kwa nguvuu kativia mlima wa Mungu, kama kitu kilicho nafasi, nami nimekwangamiza. Ewe kerubi ufanikayo utoka mawe hayo ya moto. (KJV)
Viumbe hivi vilikuwa vizuri kwa jumla wa maarifa yao kutoka ule wakati wa kuombwa kwa karne hii ya wana wa Mungu, watu wa kwanza wa familia ya kiroho ya Mungu, watu wa kwanza wa familia ya kiroho ya Mungu ulikuwa ume wekwa Mungu hajaonyesha familia yake ya pili. Alifaa kuto kuwa njia kiyojulikana kwa yeye mwenyewe kutambulisha ukweli wetu kupitia kwa familia kwa mpangilio kwa hiyo umbaji wa kiroho ulifaa kitembea kwa imani 1 petro 1:12 kutoka kwa wanawe walikuwemo, kwa hivyo walikuwa, walikuwa mmoja wa Mungu kupitia kwa nguvu ya roho mtakatifu. Hivyo kabla ya Abrahamu kuwa, messiah yupo (Johana 8:58).
Kuundwa kwa roho na kuumbwa kwa wana ulianza kwa ujumla. Wana wa Mungu walivyo songa kwa uhusiano kwa kila mmoja, vitu vilianza kugeuka na kuwa wakati uliopita. Kwa hivyo wakati ulianza. Eliah alikuwa mkuu kwa mpangilio. Aliweka vitu kwa wakati na kwa sababu hiyo alikuwa mfalme wa miaka 2 Timothy 1:17 na Mungu wa miaka (cf Eclus 36:17, Isa 9:6, Jeremiah 10:10 tazama nakala The Government of God (No. 174)).
Alipeana maagizo kwa “protokos” au wanadamu wa kwanza. Mwanzo wa umbaji wa Mungu (Rev. 3:14). Hawa “protokos” waliwagawa wana wa Mungu kwa Mikoa, serikali, viti vya enzi na ukuu “principalities” na nguvu kulingana na matakwa ya Mungu walakini Mungu ndiye aliye umba vitu viote (Eph. 3:9, Wakolosai 1:15, Ufunuo 4:1); jua maneno ya Yesu Kristo sio maneno ya saa hizi (Eph 3:9) na viliwekwa kwa receptus hivyo (KJV). Mungu aliumba vitu viote na aka akachifa mipango yake kama maajabu.
Ephesians 3:9 na kuweka watu wote waone mipango ya kiajabu ulio fichwa chini ya miaka ndani ya Mungu aliumba vitu viote. (RSV)
Watoto walikuwa wana wa Mungu na walisimama kwa uhusiano kwa Mungu kama Baba wa roho kwa wakati huu. Hivyo hapa kuwa na malaika (watumwa) kwa wakati huu. Kazi ya kuhubiri na roho mhubiri alikuja baadaye. Matakwa ya Mungu yaliwasilianwa kwa wanawe kwa roho mtakatifu kupitia kwa matakwa ya Baba kujitambulisha.
Mungu alipeana vitu vingi kabla ya mwanzo wa wakati kutokuna na kabla au maarifa ya kabla – maarifa yake ama maarifa ya kabla. Kitu cha muhimu ni unyenyekevu fadhili ilupeanwa kabla ya mwanzo wa wakati ama wa milele (2Tim. 1:9) Chronon Alonion ama uzima wa milele, kuchukuliwa kwa ubaya kabla ya mwanzo wa ulimwengu kwa (KJV).
Fadhili ulikuwa matunda ya roho mtakatifu kwa mfano wa Mungu hivyo nambari ya fadhili ilijulikana kama tano. Hiyo basi grace (fadhili) ni matunda ya “omniscience” ama kuelewa Baba au Mungu (Zab. 147:5). Uzima wa milele pia ni matunda ya kuepo kabla ya mwanzo wa wakati (Tito 1:2;) kupeanwa vibaya miaka ilioyo pita, tazama Marshal Greek – English Interlinear main text. Uzima wa milele ulipeanwa kwa wana wa Mungu kama matumizi yao kupitia uzima wa milele ulipeanwa kwa wana kama matumizi yao kupitia kwa roho mtakatifu na kuundwa kwa mfano wao kwa roho. Hatapa wana uzima kutokana fadhili kwa Mungu hivyo Eloah alikuwa Baba na kama Elohim, familia na wana wengi. Alikuwa Eloah na Elohim hivyo basi Elyon au Mungu, mkuu zaidi (Mwanzo 14:18, Nambari 24:16, Deut 32:8, Mk. 5:7) ni Jehova.
Uumbaji
Mungu alikusaidia kuumba. Alikusaidia kutoa maumbo yale ambayo roho angeliweza kuingia ndani na kuzizuta. Alifanya hivi ili wana wa Mungu wapate jinsi ya kufunzwa. Kwa njia hii wangejua utiifu na imani kwa Babayao
Mungu alianza uumbaji kwa kidole cha akili yake aliamuru roho kwanza mpangilio kwa kuwa ili ugumu uweze kuumbwa kwa kile kisicho onekana na kisichosikika hii iliwezekana kwa njia hii. Roho iliwekwa kwa uhusiano wake kwa kuzunguka kwa kazi na nguvu. Hivyo aliamua umbali katikati ya vitu na hivyo kuipa “properties”. Kwa mpangilio huu wa roho anayo zunguka na subatomic system uliumbwa prosesi ya kwanza, ulikuwa wenye uchovu na uzito mwingi na kuelewa big bhang ama mwanzo wa ulimwengu. Mwanzo wa ulimwengu huu ulitokana na Mungu kama matokeo yake kwa kutumia uumbaji wa roho ambao hauonekani (Hibrania 1:3). Vitu vinavyo oonwa havi iishi ni vya muda na vile ambavyo visivyo onekana ni vya milele (2Wakorintho 4:18) miaka isio hesabika akili ingeangalia nyuma na kuona prosesi na kuamua kwa hesabu kile watakacho ita. Phase-space selection wangejua kuwa mwanzo wa ulimuounga ungekuwa kutoka sehemu moja na wala si lingine wangeamua kwa hesabu kuwa nafasi na usito ulikuwa10 kwa nguvu10mpaka nguvu 123.Nambari hii ilikuwa kubwa haingeweza kuandikwa chini kwa njia ya kawaida hata kwa kuweka surufi kwa sub particles of matter. Hili lina ongeza tu kuwekwa pahala pamoja pekee; ilijulikanayo kama pahali ambapo Mungu aliamua kulanzidia kuimba ulimwengu.
Kutokana na kitendo hiki, Mungu alikuwa muumbaji na mwekezaji ya mbigu, dunia na vitu vyote ndani yao (Mwanzo 1:1; Nehemia 9:6, Zaburi 124:8, Isaih 40:26; 28:44-24, Matendo ya Mitume 14:15, 17:24-25; Rev Ufunuo 14:7).
Nguvu za roho zilizotumiza kuumba vituvya kuumba ulikwenda kwa kasi na nguvu na kuanza kupanua ulimwengu ilihitaji kugawanya vizuri na mbali zaidi ili ingeliweza kujiweka kama atoms na molecules ya uzito na ugumu ili mawe, maji na hewa yaliwezekana vitu hivi, vilivyoungana kwa kiwango tofauti ndiyo barafu galarees yalivyojiunda vingeweka moto. Moto huo ulitokana na matendo hayo ambayo yalitoa nguvu ya horo. Mwanzoni Mungu aliumba mbingu na dunia.
Wana wa Mungu waligawanywa kwa serikali “administrative”. Ulimwengu aligawanywa mara nne kama kiumbe hai. Kila upande ulikuwa na mpangilio tatu, mbili ukawa wa mpangilio wa baraza kuu.Kwa njia hii kulikuwa wazee ishirini na nne kwenye baraza na viumbe hai, wanne wa aliye wa kwanza kuzaliwa ama ‘protokos’. Wakati huu wote ushindani haukushuhudia na azazel alikuwa wa pili kutakaswa.
Sababu ya kwamba alifunuliwa kamao maajabu wana wa Mungu walifaa kwendelea kwa imani uumbaji uliwezekana kwa wana wa Mungu kama baraza ya Elohim (Mwanzo 1:26) wana wa Mungu walipangwa na wakaimba kwa furaha kwa maumbile ya dunia na Eloah mpangilio uliwekwa chini ya nyota ya asubuhi kama viongozi.
Yakobo 38:4-7 ulikuwa wapi nilivyoweka msingi wa dunia? Nieleze kama unaelewa anayeamua ukubwa wake ‘measurement’. Kweli wajua! Aualiyevuta mstari kwake? Kwa msingi gain ndio msingi wake ulizamishwa, au nani aliyeweka jiwe la pembeni, wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja na wana wote wa Mungu kurukaruka kwa furaha? (RSV).
Ulimwengu mzima ulikwa chini ya mpangilio wa serikali na sheria ambao teaona ukimulikwa katika tabanako la wahibrania. Wahibrania 8:5. Azazel aliwekwa kama nyota ya asubuhi au mwangaza wa dunia (Isa. 14:12) na alifanywa Elohim wa dunia (2Wakorintho 4:4) messiah ndiye nyota ya asubuhi au mchana aliyekuwa kuchukua pahala pake (Hesabu 24:17; 2Petro 1:19; Ufunuo 2:28; 22:16).
Sayari ulijawa na viumbe vilivyoumbwa ambao hawa kuwa kama sisi. Nyota ya asubuhi alitua uzima wenye msingi wa familia ya nyuka. Nyota ya asubuhi juu ya sayari kutowa maisha ya mpagilio ambao uonekana yana msingi. Maisha ya hustarehe ya wana sayansi ambao ni kati ya kuongeza na kutowa wa milioni mbili wa maisha ya nyota. Tunaona katika ulimwengu kuwa sayari yana maisha ya kisayansi. Kenye inamaanisha maisha ya wanadamu, kinyume na ya kawaida. Miaka 100,000 iliyo pita Neanderthals alijitowa kuchukua karibu miaka 40,000 siliyo pita ka mpangilio kama yetu.
Katika steji zingine katika kitu hiki, Mungu atufuulia kuwe sehemu ya wanawe matarajio ya uumbaji.ukweli wote ulifichwa kwao na kufunuliwa baadaye kupitia kwa kanisa (1Petro 1:12) viumbe vingine havikuwa na imani kwa baba na vilianza kuvutana. Azazel alichukua nafasi ya tatu kwa mvutano huu mpaka wakati wa Yakobo, wana wote wa Mungu walikuwa waweza kuona ufalme wa Mungu na shetani alikuwa miongoni mwao (Yakobo 1:6; 2:1).
Mvutano huu ulikusaidia kuihanbu dunia na ndio njia katika kitabu cha Mwanzo 1:1-2 dunia ulifaa kuubwa upya na binadamu pia kumbwa ambayo angeweza kufunua mpangilio mwingine uliofwata wa mpango wa Mungu. Huu ulikuwa kwa mfano wa Mungu ili angepewa roho. Wana wa Mungu wakati wote hawakuaa, hawangekuwa, hawangewekwa maka malaika. Categoria haukuanza mpaka alipoumbwa adamo. Mpaka wakati ule hapakuwa na haja ya kategoria ya kiumbe; anayeitwa mtumwa mpaka wakati akipokea habari hakungekuwa na mtuimwa kwa kuumbwa kwa Adamu kukawa na mustano na dhambi Azazel alitenda dhambi na wana wa Mungu walitenda dhambi na uhusiano wao na wanadamu.
Wakati huu wa kuanguka, twaona uumbaji wa
Nephilim ama Rephain (Tazama nakala The Nephilim (No. 154)).
Wana wa Mungu walitenda dhambi kwa hii na baadaye (Jude 6).
Uumbaji
wa watu wa Judd kama (Nenderthals cro-magnons na Rephain ama Nephilim)
ulihisisha muda wa miaka elfu miamoja. Hakuna ufufuko kwa watu hawa (Isa
26:13014 karatasi The Resurrection of
the Dead (No. 143); The Nephilim (No. 154)
na The Fall of Egypt (No. 36): the
Prophesy of Pharaoh’s Broken Arms.
Kufika steji ingine katika mpangilio huu uharibifu wa dunia ulinekana uumbaji wa Mwanzo 1:1 ulikuwa toho nab oho ama bila umbo wala chochote. Mandiko ya mwanzo pia ni kuumba kwa mbingu na nchi maumbo haya yanatolewa kwa siku kama tuna vyoona kwa kisa. Ila yaitwa uumbaji (Wahibrania tolehad SHD 8435 kutoka SHD 3205) kwa wingi pekee, ikamaanisha ukoo au familia hivyo historia vivyo hivyo kuzaliwa au kuumbwa. Neno hili si kama dor (SHD 1755), ambalo ndilo neno litumikalo kuashiria karne na kumaanisha uzunguka wa wakati hivyo basi historia ya ukoo na familia pia.
Hadithi ya mwanzo yasema wazi kuwa mimea yaliumbwa kwa siku ya sita baada ya wanyama twajua bila shaka kutoka. Kwa rekodi ya vituvyajadi kuwa hii haiambatani na kuundwa kwa ulimwengu kwa miaka milioni ya historia ya maisha. Hii yaweza tu kuambatania kama kuumba tena ilioandkiwa katiak protokos. Hili lingesababisha tu uharibifu juu ya hilo hili lilionekana kama Adamu na Eva. Bibilia yasema katika Yohana 1:18kuwa “Hakuna binadamu ambaye amewahi kumwona Mungu hata Mungu tu aliyezaliwa” (Monogenese theo) huyu kuwa kwa baba alinena (Tazama maishals Greek English interlinear (RSV)
Mwanzo 6:2 yasema wana wa Mungu walizaana na mabinti wa binadaam.
Mwanzo 6:2 Wana wa Mungu waliona kuwa binti wa
wanadamu walikuwa wazuri wakawaoa (RSV).
Bibilia mpya yalikanayo kama oxford yasema mwishobi kwa kifungo 2 “wana wa MUngu walikuwa watakatifu na walikuwa wa kibingu (1:26 n.) ingawaje tama yao iliwapelekea kuingia wanawatakatifu wanadamu hakuwa mtakatifu kwa ukamilifu (tofautisha 3:22-24) lakini akabakia mtu ambaye roho wa Mungu hukaa ndani ye (Taz 2.7 n). Hivyo Nephilim hakuweza kupata ufufuko na roho mtakatifu.
Walewanoaamini kwa utatu wamesisitiza kuwa Yohana 1:10 yaashina kuwa uumbaji wengine na kwa kuwa haiambatani na Ufunuo 4:11 na Ephesians 3:9 (RSV) wasema kuwa utatu umewekwa kama ukweli kutoambatana kwa nafasi imewawekwa kwa ‘odds’ na historia kasha wanakumbua na kutotambua uumbaji kwa sababu ya kutolewana kanisa la kikatoliki mwanzoni walifuatilia historia hii ya uumbaji kuwa kwa ulimwengu mwaka wa 1996 badala ya kupeana uongo wa utatu.
Maishara
ya Mbingu
Katika kitabu cha Mwanzo 1:14 imeandikwa Mungu aliweka mwangaza wa mbinguni wa mchana na usiku, kwa ishara na sababu, kwa siku na miaka kutembea kwa mbingu yaweze kutabiriwa na uhusiano wake. Matendo yote ni sawa hata chini ya uhusiano wa mwesi na urefu na siku na msimu na miaka. Miaka imeundwa kwa miezi kumi na mbili, iwe ni jua au mwezi. Jinsi jua inavyokwenda kupitia kwa mbigu ni kwa mpangilio kumi au nyumba na muda huu wa mwaka ilivyokekua mbinguni yaweza kuonekana kutimiza mipango ya Mungu kama uumbaji wake. Muda wa jua –mwezi ama jinwezi – jia mwaka inaamanisha kutoak kaskazini wa vernal equinox Machi kila mwaka ni kwa uhusiano huu pia wa saba na tano kwa njia hii, uhusiano huu huu kati ya binadamu kuumbwa kwa mfano wa Mungu na binadamu kama mwana wa Mungu kupitia kwa roho mtakatifu ina dhihirika. Hivyo basi uhusiano huo huo yapatikana kwa wana wa dunia wa Mungu kwa kuchukuliwa jinsi wana wa mbinguni kwa ukoo wao.
Kalenda ya jadi kutoka tishri na yenye msingi wa kiroho ya wanadamu kalenda jipya kutoka Nisan inapitisha roho mtakatifu mpaka kwa binadamu kupitia kwa messiah mkate yaashina wokovu na pentekosti yaachina kanisa. Mwesi wa saba (Tishri) yasimamia ufunuo wa kila mwanadamu mpaka siku kuu ya mwisho. Kwa kuhesabu kutoka Molad wa Tishri messiah na risiti ya roho mtakatifu kwa mpango huu.
Mungu alimmumba binadamu kwa nia ya kuikaza dunia (Mwanzo 1:26; 2:15) kwa njia sawa aliwapa wana wa mbinguni jukumu la ulimwengu na mahitaji ya wana pamoja na viumbe vya wanadamu, Mungu aliweka jukumu la wana wa Mungu kama watumwa na wala si mwanzo. Mwanadamu akapewa jukumu la Adamu alikuwa Yehova Elohim. Hii ikawa prototokoa au ishara logi la Mungu. Hivyo ndiyo ilikuwa Elohim ambaye mapatriaki waliona na ambaye walimnenea. Kiumbe hicho ndicho kilikuwa malaika wa ufunguo na malaika wa Yehova ama kuwepo kwa Mungu (Mwanzo 48:15-16), (Zech 12:8, Matendo ya Mitume 7:30-32). Wana wa Mungu walikuwa roho wa wanadamu ili wapate wokovu (Hebrania 1:14).
Mungu aliweka mataifa kutokana na mafunizo mpaka wanawe sabini wa kamiti yake wakwanza kama Yehova alipewa Israeli kama jukumu lake ambao ulifaa kutolewa kutoka mataifa mengine.
Deuteronomy 32:8-9 Wakati ambapo aliyejuu zaidi aliwapa mataifa undhi wao, wakati alipowatenga wana wa wanadamu, aliunganisha binadamu kulingana na hesabu ya wana wa Mungu, kwa kipande cha bwana kwa watu wake Yakobo mndhi wake (RSV).
Baada ya kifo cha Kristo ujumbe huu
ulibadilishwa kwa MT mawarabbi ili isomwe kulingana na wana wa Israeli na
inayofuatwa kwa KJV. Twajua kwa uhakika LXX and DSS yaonyesha kuwa maana yake
katika RSV ndiyo ya kweli nay a kisasa Rabbi Akiba alisema kuwa LXX si kweli
kwa 130 CE. Ingawaje ujumbe huu ni sawa kwa mataifa yaliwekwa kulingana na wana
Mungu. Neno Bwana hapa ni Yehova ambayo pia ilibadilishwa na Wasopherim ili
kufunga ujuaji wa viumbe walio husika. Yehova ni mdogo wa yahova war oho ambaye
alitumwa Yehova wa ‘hosts’ alimtakasa kama Elehim juu ya wenzake (Zaburi 45:6-7;
Hibrania 1:8-9). Alipewa Israeli kwa kuwa taifa hilo ndilo ingekuwa njia ambalo viumbe vyote
vingepatanishwa kama familia kwa Mungu kwa muda wa uumbaji. Mungu alitaka roho
wa uumbaji na kujitolea adhihinke miongoni mwa wanawe na kwa hiyo aliamuru kuwa
mkubwa jua lazima aweze kuonyesha kujitolea. Ndio sababu messiah alichaguliwa
katika kitabu cha uzima kama tuliyochaguliwa kutoka mwanzo kabla ya kuumbwa
msingi wa ulimwengu huu (Rev./Ufunuo 13:8).
Ufunuo 13:8 na wote wanaoishi kwenye ardhi
wataiabudu, mtu yeyote ambaye jina lake halijaandikwa kabla ya msingi wa dunia
katika kitabu cha uzima wa mwana Kondoo aliyetolewa (RSV).
Kutoka kwa ujumbe katika (RSV) twaona kujitolea kwema sisi sote tuliandikwa katika kitabu cha uzima kabla ya mwanzo wa ulimwengu. Kristo hakutolewa kama mwanakondoo bali tulitangazwa tumeokolewa kwa wokovu kutoka wakati huo. Kristo alilizamika kujionyesha kama mnenyenyekevu ingawaje alikuwa mkuu.
Shetani alikuwa amejitenga. Alichotaka Mungu alikuwa kutii Yesu alijitwika jukumu wa kutokuwa wamanufaa na kuwa na umbo wa binadamu ili sisi sote tuokolewa.
Wafilipi 2:5-11 kuwa nah ii kwa nafsi yako.
Iliyo yako kwa Yesu Kristo 6alipo fikiri yesu alikuwa na umbo wa Mungu.
Hakuesabu usawa wa Mungu ni kitu cha kushika. 7 Bali kwa hiari yake mwenyewe,
aliachiliwa hayo yote, hakajitualia hali ya mtumishi, akawa sawa na wanadamu,
akaonekana kama wanadamu. 8 Alijinyenyekea na kutii hadi kufa, hata kufa wa
Msalabani. 9 Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa akampa jina lililo kuu
kuliko majina yote.10 Ili kwa heshima ya jina la Yesu, viumbe vyote mbinguni,
duniani na kuzimu, vipige magoti mbele yake, 11 na kila mtu akiri kwamba yesu
Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba. (RSV)
Mungu (bestowed) kwa messiah jina lake ambacho kitofuci ya kila jina. Messiah alichukuwa (ukuu) ya heshima kutoka kwakikosi tele cha Mungu Baba. Alifanya Yehovah Elohuw namuhumbiri mkuu. Alikuwa Baba wa uzima wa mwili wa akina baba ama (Patria) ili sisi sote humuabudu Mungu Baba kwa mwana kila (Patria) au akina Baba Bringuni na nchi wanaitwa kulingana nayo (cf: Isa: 9:6) the angel of councel, LXX Eph 3:14-15) Yesu alitii. Kristo alipata imaarifa Said katika neno la Mungu kwa kujitoa vitu na wala si vitu vya dunia pekeekwa kujitolea mhanga alitaka ufalme wa bingu na binadamu wa dunia yeye alitakasaye na wao ukanaotakaswa ni wa ukoo moja (Heb. 2:11 RSV). Alijitikwa mfano wa binadamu ili tuweze kutakaswa na matendo yake. Kristo alikuaja kutimizi matakwa ya Baba na ni baada tu ya kufanya hivyo na kujita kama dhabibu wa dhambi milele.alitumwa chini kwenye mkonowa kulia wa Baba (Hibrania 12:2).
(cf. nakala The Pre-Existence of Jesus Christ (No. 243)).
Mungu ndiye Baba wa roho, ambaye hufusifu kwa mapato yetu. Hivyo, roho ni wana wake na kama sisi sote pia ni wanawe Kristo akawa mwana wa Mungu kwa nguvu ya ufufuko wake kutoka kwa wafu (Rom 1:4).
Rom 1:4 na mwana wa Mungu kwa nguvu kulingana na roho kwa utakatifu na kwa ufufuko kutoka kwa wafu Yesu Kristo Bwana wetu. (RSV)
Alikuwa aliyechaguliwa mwana wa Mungu kulingana na roho mtakatifu kwa ufufuko wake kwa wafu. Kristo hakumiliki ukubwa huu na wala hakumiliki utakoso wake ingawa alikuwa mtukufu mwenyewe (Jn. 17:1-5). Biblia hatofautiani nalou bila ya kutofautiana ili kuleta maelewano ya tofauti. Kristo alikuwa milele. Mungu pekee ndiye aliye milele. (1Timotheo 6:16) Kristo alitolewa kuwa na uzima ndani yake vile Baba ana uzima ndani yake (Yohana 5:24-26).
Johana 5:24-26 Ukweli ukweli nawaambia, yeye
asikiaye maneno yangu na kuamini kwa yule aliyenituma ana uzima wa milele,
hatahukumiwa bali amepita kifo na kupata uzima. ukweli kweli nawaambieni
nyakati yaja na sasa ndio wakati wafu watalisikia sauti ya mwana wa Mungu na
wale watakaomskia wataishi. Na kama jinsi Baba anauzima ndani yake, vivo hivyo
amempa mwanawe kuwa na uzima ndaniye.
Messiah alisema kuwa Baba ana uzima ndaniye na amempa mwanawe uzima ndani yake. Pia asema binadamu ambaye amewahi kusikia sauti ya mungu au kuona umbo lake wakati wowote (Johana 5:37)
Yohana 5:37 Na baba aliye nituma anatoa ushaidi wangu.Sauti yake hamja sikia ,umbo lake hamja liona; (RSV)
Roho
mtakatifu ndiye mbinu ambayo wana wa Mungu wanachagulia sisi humpokea kupitia
ubatizo huru ama kuchukuliwa ambayo ni kuwekwa huru kwa miili yetu.
Romans 8:11-17 kama roho aliyemfufua Yesu katika wafu u ndani yake, yeye aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu atawafufua pia kutokana na roho wake aliyendani yenu kwa hiyo sisi ni wenye deni si kwa mwili, kuishi kulingana na mwili, kwa kuwa ukiishi kulingana na mwili utafa wala kini ikiwa kwa roho huwe kwa kifo matendo ya mwili utaishi. Kwakuwa wale wote ambao wanaongowazwa na roho wa Mungu. Kwa kuwa humeupewa roho ya utumwa kundi nyuma kwa kuogofya bali mmepewa roho ya uwana. Tuliapo ‘abbal!’ ‘badd’ ni roho mwenye anayeona na roho yetu kuwa sisi tu wana na Mungu. Na kama wana wana ua Mungu na wana wa Kristo, bora tutaabike naye ili tusifiwe pamoja naye.
Warumi 8:22-23 Kwa maana tunajua kwamba mpaka
hivi sasa, viumbe vyote vinalia kwa maumivu kama ya kujifungua mtoto. 23 Wala
sio hivyo viumbe peke yake, bali hata sisi tulio na huyo Roho, aliye wa kwanza
wa zawadi za Mungu; sisi pia tunalalamika ndani yetu, tukitazamia kufanywa
watoto wa Mungu, nazo nafsi zenu zikombolewe. (RSV)
Sisi pia tutakuwa kama wana wa Mungu kutoka kwa wafu. Tulipangwa kupata kuchukuliwa kama wama (Eph. 1:5, Gal 4:5) kabla ya msingi wa ulimwengu. Tulikususiwa kuwa wana wa Mungu kwa nguvu kwa ufufuko. Tutaunganishwa na malaika kama wana wa Mungu chini ya uhubiri wa Melkisedek inayodhihitishwa kwa Messiah hebrinia 6:11, 12:10).
Uunganisho wa mwisho wa uumbaji unadhihiriswa mwisho wa pili ama ufufko kasa ujumla. Wakati ambao mji wa bwana utashushwa chini ya yote kuwekwa chini ya Mungu Baba ili awe yote juu ya yote. (Eph. 4:6) taz karatasi The City of God (No. 180) roho mtakatifu ni ndugu zetu Rev. 6:11; 12:10). Ni nduguye kwa kuwa wao pia ni wana wa Mungu, kwa kuwa sisi tu kwa ufufuko wa kwanza tazama (Rev. 20:1-6). Maandiko katika kitabu cha Wakorinth 6:2-4 yaashiria kuhusumia kwa malaika aliyeteleza na hivi sasa huleta kutolewana. Malaika pia huchukuliwa (1Tim 5:21).
Roho mtakatifu ndio mbinu ambayo viumbe vyote weza vyounganisha na Mungu ili wote wawe wanawe na wote ni wa ukoo moja (tazama karatasi The Holy Spirit (No. 117) and Consubstantial with the Father (No. 81). Watoto wake huchanguliwa kutoka na utabiri (1Petro 1:2). Hii ndio maana hungaliwa, huitwa huamuliwa na kutikizwa (Ro. 8:29-30).
Utatu hugonga roho ya uelewano wa mpango wa Mungu na huzuia watu ili wasielewe jinsi ambavyo uumbaji mzima waweze kuwa wana wa Mungu and warithi wa Kristo uongo wa kristo ambayo huchangia Kristo kama wana wa Mungu. Mungu hukubalia kutolewa kwakuwa issiani na ulimasengo. Dunia bado iko chini ya uongozi wa shetani ambaye ni miungo wa dunia hii na ambaye amepeana wakati kwa mpango wake kujitokeza.
Shetani ataharibu dunia. Mungu ataingalia kati kwa kumtuma messiah kuchukua dunia kabla ya kuhariniwa kwa ajilim ya waliochaguliwa ambayo ni kiroho na kimwili Isa 42:1; 45:4 Mat 24:22) kwa njia hiyo sis kama watoto tutaona mfano wa Baba yetu chini ya sheria ni sawa. Mungu ataka utiifu lakini pia aongesha mpango wake kwa wachache kwa sasa. Mpango wake wote upo kwa wote kuona lakini wachache huelewa kwa kuwa huwa wana poteshwa na walimu wao
Mungu alikuwa familia kuanwanzo wa roho. Hakumaliza matendo yake kama
Baba na wala hatumaliza mpaka mwisho baadayya hukumu na ubadilisho wa dunia.
Ulimwengu nzima basi watakuwa wana wa Mungu Elohim chini ya matakatifu ya Mungu
wakitenda kwa roho mtakatifu kama kitu kimoja ambayo familia ya Mungu.
q