Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[195]

 

 

 

Kalenda Na Mwezi

Uhairishiau Sherehe?

(Toleo 2.0 19970308-19990315-20071911)

 

Kwa usaidisi wakawaida kwa wakuu na andiko, hiki karatasi imeandikwa kuwa weza msomi kuona vitendo na vibaya kutka Tabia na uko wa yuda. Kupelekwa mbele haikuwa hakika hadi karne wa kumi na moja kwa kujumikwa kwa hakiba wa tabia hizo kwa kweli tuta zifany sisi wenyewe.

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

 

(Copyright © 1997, 1999, 2007 Wade Cox, anor (ed. Wade Cox)

 (Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


Kalenda Na Mwezi

Uhairishiau Sherehe?

 


Utangulizi

Vile inajulikana kama kalenda ya Hiller, kalenda ya wayuda ni utengenezaji wa uchukuaji kuliko inavyojulikana. Hakuna kutokuwa na imani kwamba mipango ya uhamishi kulingana na encyclopedia Judania na kazi vingine vya kurejelewa haukuwa sawa hadi karne ya kumi na moja na siyo matokeo ya Rabbi Hiller II kutokea 358CE, ingawa ilijulikana kwao. Tunafaa kuona nenezi kutokana na haya, na pia kujua kwamba tumekumbatiwa kutoka na mtazamo wa sherehe ya Mungu au uhairishi. Kulingana na kalenda ya katoliki ni kuzuia makubaliano ya kalenda ya Wayuda na ile ya wayahudi iliyo na kalenda ya jumla ya wakristo. Hivi vitaonekanakwa karatasi hii.

 

Mwezi Wa Tashri Na Abib

Tutatazama kwanza kwa mwezi wa Tishiri.

 

Tishre: kutokana na aramani shera au sherei kuanshisha. Mwezi wa saba kwa ukristo au mzinguko wa sherehe, kwanza kwa mipangilio. The 1st never falls on Sunday, Wednesday or Friday. Katika karne ya ishirini mwanzo wake ni tarehe 6 Septemba na mwisho wake ni tarehe 5 Oktoba (The Jewish Almanac, Bantam, 1980, p. 241).

 

Hii sheria ya uhairishi inashikilia kwamba  siku ya tammbeti(1 Tishii,roshhashanah) na siku ya sadaka (10 tishini,Yom  Kippir) haina siku ya ibada ya kwa haraka kabla au baada ya siku zilizotengwa.Uainishi ya sheria ya wayahudi pia inataka ukweli wa kuheshimiwa   Areheke ya sadaka  vile iko 1997 ambapo  atamina ikwiriksi alikuwa katika  siku za mwisho  za sherhe(21 Tishin) na  kuweka mwezi moja baadaye (16-23 okoba 1997) nzuri baada ya ataminna ikristo (23 September 1997).

 

Almanak ya wayahudi pia iko katika mwezi wa Nisani au Abibu.

 

Nisani: Inahusiana na Wababilona mwezi wa kwanza wa Nisani “Kuanzisha” au pengine Waebrania Nistani “blosomi”. Jina lake la kamili ni Aviv (or Abib) “Chemichemi”wakwanza ambayo haishi jumatatu, jumatano na ijumaa. Katika Karne ya Ishirini mwanzo wake wa mapema  Machi13 na mwanzo wake wa mwisho Aprili 11 (ibid., p.245).

 

Nyakati zote za pasaka pia inasimamia utengenezano wa matunda ya kwanza ya Mungu ya matunda ya kwanza. Mavuno, pentecosti Uhainishi ulio hapo juu inazuia pasaka na juma nne Usiku inayotendeka 14 Abib (i.e Where a Wenesday is Abib). Shina za Abib inakubalia siku ya ibada kuwa Tarehe 14 (Ambapo Nisani 1 ni Jumapili) ambayo ni siku ya Utengenezo hapa tarehe 15,siku ya kwanza ya mapumziku ya siku 7  ya mkate wa Wishwa.Ingawa Tishri,siku ya ibada haikubaliwi kabla ya tarehe Mosi (1) au kumi (10) ya mwezi.

 

Encyclopaedia Britannica, andiko la tisa “kalenda” ilikuwa nah ii kusema:

Chemichemi ya ikwinoksi imewekwa kwa tarehe ya 21,Machi ingawa jua linaiingia kwa aria kwa tarehe ishirini kwa mwezi huo, pengine tarehe  19.Pia haiwezekani kwa mwezi kamili inaweza kufika baada ya ikwinoksi na kuendelea na tarehe 21st Machi.Hii kwa hivyo haitakuwa mwezi wa paskalib ya calendar ingawa ingefaa hivyo ikiwa mafikirio ya jumuia ya Nice (Nicea) iliyofatiliwa kimakini. Mwezi mpya unayoonyeshwa na epacts (extra days needed to determine Easter Sunday). Pia inatofautiana na mwezi mpya wa angani na pia kutoka kwa mwezi mpya kwa ujumla kwa siku moja au mbili, epacts zimewekwa ili ionyeshe mwezi iliokamilika badala ya siku moja au mbili baada ya mwezi kubwa. Lakini hii ilifanywa kuepa uwepo kuvuingana na pasaka Wayahudi. Na watengenezaji wa kalenda waliipa nafasi kazi ya kishetani kuliko ile ya kusherehekea pasaka juma moja baadaye (p. 599).

 

Mwezi Mpya Na Molad

Tunafaa kujua kwamba kunyanashi au Molad ni upitisho wa kiastronomia ya kuvuka kutoka kwa upande moja hadi nyingine na ubaishi wa mwezi mpya na Molad vyote kuhusiana. Mfano wa Dehiyyah (sheria ya uhairisho) ni kama Molad ya tishni ikitendeka saa sita siku ya Jumamosi (under ideal conditions, the very first shines of the crescent would be visible after the ensuring Sunset i.e. about 6 to 8 hrs after the molad). Rosh Hashanah ingehairishwa Jumapili “ambayo tena haikubaliki ili sherehe ipelekwe siku nyingine hadi Jumatatu. (Encyc. Judaica, Vol. V, Jerusalem, p. 44). Kutokana na hayo wengine wangeanza kutazama 1 Tishiri ijumaa usiku, Jumamosi usiku na wale wanafuata ibada ya wayahudi ambapo wanaanzisha mtazamo Jumapili jioni.

 

Kalenda ya Wayahudi ya kisasa ni ya mwezi na jua, miezi zinazotazamwa kulingana na mwezi na miaka kulingana na jua. Mwezi ni nyakati iliyo kati ya mwezi na jua na nyingine. Kulinganishi ya mwezi na jua ni hoja katika nyakati ambazo mwezi iko katikati ya ardhi na jua (lakini siyo kwa laini moja) na haionekani. Hii inajulikana kama Molad (Uzalizi) (ibid., p. 43).

 

Kama Molad ni uunganishi (uongozi wote unakubalia hayo) na wakati kabla ya Molad mwisho wa mwezi uliopita na wakati baada ya Molad ni ya mwezi unaofuata. Siku ya Bibilia ni jioni hadi jioni (anguza hadi giza). Kwa hivyo siku ya mwezi mpya inachukuliwa kama siku ya Molad au uungamia. Hii inajitokeza kuwa mafunzo ya kiundi ya kukumbana na vyaa vya uunganishi. Pia inaonekana kama njia ambayo imekumbiwa nayo katika nyakati za uungamishi katika rejeleo la kawaida yanakumbana na fikira ya wale wasioelewa na mpangilio hii wangefaa kufikia maelewano kuhusu sheria uhairisho ambayo haihusiani na sheria za kibibilia ambayoiko kwa mipango na astiomia. Hakuna uungano wa kifahari itakayo kubali hayo.

 

Inafaa kuangaliwa katika mazungumuzo ya mwezi kuwa mwezi huo ni mfano wa zamani ya Mungu ya mwezi, Qamar na mwenzako wa kike hiitwayo Shams wa jua. Mwezi ndogo siyo mwezi mpya na hayajulikana kuwa mwezi mpya.

 

Mwanzo 1:14 inatuambia kuwa jua na mwezi (hawee solar-lunar calender) ni za mfano na sababu. (Mo’ed times) sherehe quaredi nay a siku na miaka. LXX inashikilia utafshiri huu. Targum Neofiti na (Mwanzo 1:14).

 

Na Mungu (kulingana dikri ya memra yake) (Memra ni tamshi sawa na logos ya Waebrania na Aranaic, Cox ed) ilisema: wacha kuwe na mwangaza binguni kutenganisha mchana kutokana na usiku na ziwe kama dalili na (zinazofichuliwa) nyakati ili iwepo wa mwezi (na) miezi iundwe nazo (The Aramaic Bible, Tr. Martin McNamara MSC: T&T Clark, Edinburgh, 1992).

 

Ingine ya Aramaic Targun, Pseudo – Jonathan, inasema

Mungu alisema, “waache uwepo wa mwangaza ya binguni kutenganisha usiku na mchana za ufanya kama dalili na nyakati za sherehe nay a kuhesabu utazamaji wa siku na kueneza iwepo wa mwanzo wa miezi na mwanzo wa miaka, uhesabati wa miezi nay a miaka, wa jua, mwezi mpya na mzunguko (wa jua) (The Aramaic Bible, tr Michael Maher MSC, The Liturgical Press, Collegeville, MN, 1992).

 

Kwa jumla imekubaliwa kuwa Targums za apostoliki na bei zao inayoeleza uelewi wa Mwanzo 1:14 inayoonyeshwa kwa grafu.

 

Mwaka Mpya Kulingana Na Mungu

Abib au Nisani ni mwezi wa kwanza wa mwaka kulingana na mwelekeo wa Mungu na tarehe ya kwanza (1) ya Nisan au Abib ni siku ya kwanza ya mwaka na kwa hiyo huanzisha mwaka.

 

Kutoka 12:1-11 Mungu alimwambia Musa na Arun kwenye ardhi ya Misri. Mwezi huu (Abib au Nisani) itakuwa yenu mwanzo wa mwezi. Itakuwa mwezi wa kwanza wa mwaka kwenu. Waambie wote Wanaisraeli katika siku ya kumi mwezi huu kila mmoja atachukua mwanakondoo kulingana na nyumba ya baba yao, mwanakondoo ya nyumba. Na kama nyumba ni kidogo kwa mwanakondoo, kwa hivyo mwanaume na jirani karibu na nyumba yake watachukua kulingana na idadi yao. Kulingana na kile ambacho wanaweza kukula unasimamia. Wewe mwenyewe kwa mwanakondoo. Mwanakondoo lazima na madoadoa, wa kiume na mwaka mmoja wakati ambapo guaredi ya wanaisraeli, wote wa Israeli watayatoa kutoka kwa kikundi cha kondoo au mbuzi na kiiua jioni. Halafu watachukua damu zingine na kuziweka kwa milango ambazo wanazila. Wataita nyama usiku huo, iliyochomwa kichwa chake, miguu na sehemu za ndani. Na chochote kusibaki ifikapo asubuhi, kile kitakachobaki itachomwa. Kwa njia hii utaikula, nguo zenu tayari, ilipazi kwa miguu, vifaa vyenu kwa mkono na mtakula haraka. Ni pasaka ya Mungu (RSV).

 

Mwezi wa pasaka ambayo ni Nisani au Abib imeamwishwa na Mungu kuwa mwanzo wa mwaka (Tazama Hesabu 9:1-13; 33:3; Josh 4:19, Ezek 45:18, 21). Mwanzo huu husimamia uongozi wa waisraeli wa Mungu kutokana na mipangilio ya kidunia (Wagalatia 1:4; Ufunuo 14:4).

 

Utazamaji wa ikwinoksi kama kuisha kwa mwaka (Tazama Kutoka 23:16) na chemichemi ya ikwinoksi inayoitwa kumdushwa kwa mwaka (1 Wafalme 20:26, 2 Kronokoli 36:10 AV) ilikuwa muhimu katika kuzuia kalenda na sherehe. Kwa hivyo mwaka ulianza na mwezi mpya iliyoko karibu na ikwinoksi wakati jua lilikuwa kwa aria. (JOs Ant 3, 201 vizuri kuona Ant Antigutus of the Jews III x 51) na pasaka siku ya kumi na nne ya nisani iliyoko na mwezi wa kwanza uliojazika. (Kut 12:2-6) (The Illustrated Bible Dictionary, J D Douglas & N Hillyer, editors, IVP, 1980; art. ‘Calendar’, Vol. 1, p. 223).

 

F.F bruce mwandishi wa kifaa inaendelea kusema:

Kwa jumla kalenda ya Wayahudi katika nyakati ya NT (atleart before AD 70) iliyofuata utangamaji ya sadusi ambapo kutokana na hayo harakati za hekalu zilibadilishwa. Kwa hiyo siku ya pentekosti ilichukuliwa kama siku ya hausini baada ya maonyesho ya mavuno ya kwanza wa mtama kama vile siku ya hamsini (msimu) kutoka kwa Jumapili ya kwanza baada ya pasaka (cf L.V 23: 15t) kwa hivyo ilitazamiwa jumapili na vivyo katika kalenda ya Wakristo. Utazamaji ya wafarisai ambayo ilitazamiwa baada ya AD 70, ilisema “ibada” katika LV 23:15 kama siku ya sherehe ya mkate wa wishwa na siyo ibada ya kila wiki, kwa njia hiyo, ibada huwa inakaa siku sawa ya mwezi. (Sivan 6) ibid., p. 225)

 

Inajulikana kwamba 1 Ibib haijahesabiwa vizuri na sherehe mwanzo wa mwaka itatazamwa tarehe haja na 1 Tishiri hajatazamiwa vizuri sherehe zilizobaki pia zitatazamiwa tarehe mbaya. Na vipi tunavyomsikiza Isaya 1:13-14 na Hosea 2:11?

Isaya 1:13-14 usilete tena matoleo ya uchungu, uchomaji ni hatia kwangu. Mwezi mpya na ibada na utaji wa guaredi – mwezi kubalia kutokuwa sawa na guaredi isisyoidhinishwa. Mwezi wemu mpya na sherehe zilizopewa kipao mbele mahasimi wangu wanekuwa mizingo kwangu, mmechoka kuzibeba (RSV).

 

Hosea 2:11 nitauwekwa mwishi fikra zake, sherehe mwezi mpya, siku ya ibada na sherehe zake zilizopangwa (RSV).

 

Hapa tunaona uharibifu wa sherehe mwezi mpya, siku za ibada. Mungu anazimaliza hapa kwa sababu hayaikubalia jinsi ambavyo vinachojuliwa na kulifadhiwa.

 

Mwaka Mpya Kulingana Na Uyuda

Tazama hapa fikra za encyclopedia judaia kuhusu ukweli au zingine za uhamishaji.

 

Fixing Rosh Hashanah (New Year’s Day). Mwaka inaanzia 1 Tishri ambayo ni siku ya Alolad ambayo kuna kuzuizi nne au mazingatio iitwayo deliyyah kwa kuilazimisha siku ya kwanza wa mwezi (Rosh hodesh). Kila deliyyot inaweza kusababisha itakwisha ya siku mbili (1) ili kuituifadhi siku ya sadaka (Tishri 10) kutoka kwa ijumaa au Jumapili na Hoshana Robba (siku ya saba ya Sukkot, Tishri 21) kutokuwa Jumamosi, na pengine kusimamia shughuli za astronia…..12) katika shughuli za astronomia kama Molad iko saa za alasiri au baadaye Rosh Hashannah inaweza kucheleweshwa na siku moja (ibid., p. 44).

 

Dehyyah watatu na nne ziko na sheria ngumu sana inayohusu nyakati za Motad na uhamisho wa 1 Tishri. Hizi Moladot zimewekwa na uhamisho iliyoko kwenye Encyclopedia Judaica. Hii sheria ya uhairisho haikujulikana katika nyakati za Kristo na nyakati za utengenezaji wa Talmud. Talmud inaonyesha wazi kwamba siku ya sadaka ilikuwa Ijumaa au Jumapili katika nyakati za utengenezaji wa Mishanah na kwa hivyo katika nyakati za Kristo.

 

Siku za mapumziko zilianshiwa kuwa kabla au baada ya siku ya ibada (cf Soncino Talmud: Shabbat 114b; Menachoth 100b).

Mishnali

(Besah 2:1) katika sherehe ambayo ulizatiti na siku ya ibada (Ijumaa). Hakuna aliyefanya Aprili yaw a siku ya sherehe (Ijumaa) kwa shughuli ya ibada. Lakini anautengeneza chakula ya siku ya sherehe na akiacha juu yake, amualia kwa matumizi ya ibada. Natengeneza chakula mwanzo wa siku ya sherehe (alhamisi) na kuamima (kwa chakula kulitengemezwa Ijumaa) ya siku ya ibada pia.

 

(2:2) (Siku ya shereha) imejumuishwa na siku baada ya ibada (Jumapili) nyumba ys shammai mazama, waitambukiza kila kitu kabla ya ibada. Na nyumba ya Hillel ilisema vyombo (visafuliwe) kabla ya siku ya ibada. Lakini binadamu (anaweza kujitambukiza / siku ya ibada yenyewe).

 

(Shabbat 15:3) walikunja nguo mara nne au tano hivi na kuipanga kitanda katika usiku ya ibada kwa matumizi kwa siku ya ibada. Lakini siyo kwa sabato kwa matumizi baada ya ibada. R. Ishamael anasema walikunja nguo na kuzitoa kitanda kwa siku ya sadaka ya ibada.

 

(Sukkah 5:7) mara tatu kwa mwaka saa za makuhani wote ziligawanywa sawa katika matoleo ya sherehe na katika migawano ya mkate. Wakati wa pentekosti wangemwambia hapa tuna mkete wa wishwa, hapa kuna mkate usio wa wishwa kwako. Masaa za mkuhani za kufanya kazi imetayarishwa wa mwaka huo ambao unatoa matoleo ya kila mwaka, matoleo ya kuamiminia na matoleo ya bure na matoleo mengine ya kihadhara. Na inatoa kila kila kitu. Katika siku ya matoleo ambayo inakujia karibu na siku ya ibada, ikiwa ni kabla ya au baadaye, vyote mkuhani viko sawa katika ugawanyi kuonyesha mkate.

 

(Arakhin 2:2) hawawezi kuhesabu inayopungua miezi minne kwa mwaka, na (to sages) hawajajitokeza kuzidi mara nane.

 

(Hagigali 2:4) Pentekosti ambayo ilihusiana na ijumaa nyumba ya shammai inasema siku ya kuchinja (matoleo yote yaliyoletwa kudhibitisha matutaji ya kujitokeza mbele ya Mungu) iko siku siyo baada ya ibada. Na nyumba ya Hillet ilisema “siku ya kuchinja (Matoleo yote). Baada ya ibada. Mkuhani mkuu haweki kwa nguo zake. Wamekubaliwa kufanya maombi au kukesha ili mafikiano ya wamesemao tarehe ya Pentekosti (lazima itayaushishwa) baada ya ibada (Jumapili).

 

Kwa hivyo uharisho haiwezekani kuwa katika uelekeo katika nyakati za Kristo. Tunaendelea.

 

Mpangilio ya hivi sasa ilifaa kubadilishwa (ulizimisha kuongezwa) tena na mipangilio iliyowekwa kwa mwelekeo thabiti (tafauti na idadi iliyozungumziwa) ulio mwangalifu kuliko kalenda ya Wayahudi ya awali ambapo mwezi mpya (nyakati za ulazimisho kama nyakati ilioko wa uundaji wa ukweli kwa uonekano wa kwanza wa mwezi) na hesabu iliyoko ambayo vilihitajika kupitia kwa maono na hesabu (ibib., p. 47).

 

Inafaa kuzingatiwa vile tunaambiwa kalenda ya wayahudi ya kisasa si sawa na inahitaji marekebisho. Kuzidisha tumeashiriwa kuwa siku ya tarumbeta ni chache siku za Molad (uunganishi) ambayo inamaanisha haizingatiwi katika nyakati za sherehe. Tafadhali jikumbushe marejeleo ya awali na Mwanzo 1:14.

 

Kihistroria kuhujania na utamaduni ilinenepwa wa Hai Goan (d. 1038) kalenda Wayahudi ilianzishwa na parinaki Hillel II. 358/59 AD pia haina hoja kushukuru Hillel II ulazimishaji wa mipangilio ya kawaida ya hesabu upande wake katika kalenda za kisasa isiyoaminika (ibid., p. 48).

 

Nyakati za kuhesabu mara za kwanza hazikupangiliwa vizuri, kuwa katika maelewano kulingana na nyakati za mazao ya kilimo na nyakati nyingine, hali za mimea inalingana na penye jua lipo katika njia zake za kila mwaka (ibid., p. 49).

 

Wasomaji pngine walishagundua kwamba kalenda zingine inaazimia sawa anga ya kawaida kutafsiri ikiwa nyakati za kupalilia zimefika au la. Inajulikana kama nyakati za chini na ikweta inayojulisha kuhusu nyakati hizo. (The right of the 15 Abib) baada ya ikweta, uzingatizi wa nyakati za pasaka.

 

Kunayo kwa njia nyingine dhibitisho iliyopingwa kutokana na kazi ya waandishi na fikira kamili za kalenda ya Molad ambavyo hawikuwa vipande vya kalenda ya karne ya kumi na moja. Zilihambiwa na mbili zilizobaki Dehiyyot mbili. Karne ya kumi kalenda ya Wayahudi ilikuwa sawa na ya hivi sas (ibid., p. 50).

 

Fikira ya kuzingatia kalenda ilizunguka kalenda ya Wayahudi hadi karne ya kumi ambapo walikuwa hapo. Kutoka hapo, Wayuda wanayafuata mpangilio yao ambapo inaweka na kuzingatia mwaka wake mpya kutokana na utamaduni wao siyo tarehe ya kwanza ya mwezi vile imewekwa na Mungu kupitia kwa Yesu Kristo.

 

Mwezi Mpya

Mwezi mpya ndiyo ilikuwa nguzo muhimu ya kuzingatia miezi na mwezi mpya ya Nisan ilihusu mwaka, siyo Tishri ilivyotazamwa na Wayuda. Rosh Hashanah chini ya mipangilio yake ya kisasa, hatambuliki kama utazamaji wenye manufaa au kama mitazamo ya Ukristo.

 

Philo of Alexandria (tr. by F.H. Coloson (Harvard University Press, Loeb Classical

Library Cambridge, MA, 1937); The Special Laws II, XI, 41) inatuambia wa watu (sherehe) ni mwezi mpya inaofuata mmoja wa mwezi na jua. Na kwa II, XXVI, 140). Huu ndio mwezi mpya au mwanzo wa mwezi wa kivuli cha mwezi moja na nyingine nyakati zimepigwa hesabu ya shule za Astronomia. Inafaa kuzingatiwa kuwa Hindnakson publishers edition (1993) of C.D jonge’s 1854, utafri haina maana sawa ambayo Colson anapeana, kuonyesho ni kwamba vivumishi kuzingatia siku ya kwanza ya mwezi.

 

Kalenda Ya Ukristo

Wasomi wanajua kuzungaria kwamba kuonyesha ya kutokuwa na sheria ya uharibifu katika makanisa ya zamani kama Katoliki lakini pengine kwa fikira zetu kuzungatia kalenda ambayo wakaristo wanafaa kuitazama.

 

Hippolytus (170-236 CE) kwa kazi zake The Refutation of All Heresies (VIII.xi, in ANF, Vol. V, p. 123) inasema:

Pasaka inafaa kuliyadhiwa siku ya kumi na nne kulingana na shena ya torati kwa siku (of the month) inafaa kutendeka.

 

Anatotius of Alexandria (ca 230-ca 280 CE) The Paschal Canon (ANF, Vol. VI, pp. 146-147):

 

Inasema

Vile (Isodore, Jerome, Clement) tofauti kwa lugha ambapo pengine inakuja kwa upole kwa moja au pamoja ya vitu vinavyofurahisha ya pasaka, siku na mwezi na mkutano wa nyakati na heshima ya juu ya ufufushi. Lakini ongeni pia anasema vyote na yenye umakini katika hesabu amechapisha kwa njia ya umakinju ya kitabu cha pasaka. Na kitabu hiki inayoonyesha kwa heshima kwa siku ya pasaka.  Ubumjui hasima ipeanwe katika mwezi nay a ikwita na pia upitisho wa jua II kunayo, kwa mwaka wa kwanza ambayo ni mwanzo wa mizunguko wa miaka kumi na tisa, kwa siku ya sita au ishirini ya mwezi itwayo Phamenoth ya wanamisri. Lakini kulingana na mwezi wa Macedonia. Ni mbili na siku ya ishirini ya Dystrus. Na pia wamini wangesema siku ya kumi na moja kabla ya kalenda (first) ya Aprili. III nah ii inaweza kujulikana kutoka kwa Philo, Josephus na Musaeus ameandika. Agothobuli mbili ambao walipewa jina na inayofikia Aristobulus ambayo ilikuwa moja ya sabini ambao walitafsiri na maandiko ya utakatifu wa Ptolemy philidephu na babake. Waandishi wanatafuta namna ya kupata jawabu ambavyo vinaendelezwa na heshima kwa kutoka, inasema kwamba wanaokutoa madhabibu kwa pasaka baada ya ikimtia katikati ya mwaka wa kwanza. Na hiyo inapatikana kuwa wakati jua linapopita migawo ya jua au na zingine kati yao zimepewa majina, mizunguko ya Zochacal. (iv) Nah ii Aritobudui inaongeza, katika sherehe ya pasaka ilikuwa muhimu siyo jua inajaa kupita ikwita.

 

Hii fikira ya nicea kutoka kwa emperor Constantine I (306–337 CE) inajua kuonyesha njia ya shida ambavyo mnatojuatana na kukumbatiwa.

 

Constantine August kwa makanisa

Ikiwa maswali yamejitokeza kuhusu ruhusa ya pasaka, ilikubaliwa kwamba ili iwe mwangalifu ili sherehe hili hiwe shwari kwa siku moja kwa wote, kila mahali, ilikuwa rahisi kwa kila mtu kile ambacho tunafaa kufuata ya wayahudi ya hii kitu muhimu ambayo imechagua mikono na dhambi; na wako vipofu kwa akili yao. Ni vyema kwa hivyo. Tuzime na kitu cha maana ya Wayahudi ya nyakati hizi. Na kwa hivyo kile kilicho cha maana na mpngalio inafaa kutuata mipangilio kuyafikia fikira zako. Utamaduni unaoendelea na fikira moja kule Roma na kwote nchini Italia, Afrika na Misri, Uispania, Gual, Abntania, Lybia, Uguriki wote, Asia, Pontus na Alcia, inafaa kushukuriwa na kutokuwa na ibada na fikira ya Wayahudi. Kwa hivyo, kuvifupisha kwa maneno mengine, imekubaliwa na uhukumu wa kalenda kwamba sherehe takatifu inafaa kusherehekewa siku moja iliyo sawa (A Historical View of THE COUNCIL OF NICE; with a TRANSLATION OF DOCUMENTS by Rev. Isaac Boyle, D.D.; T Mason and G Lane, New York, 1839; pp. 51-54).

 

Siyo tu tunavyonakili maneno ya hali ya juu, propaganda na fikira za kikristo, tunaona mguu ya wasemita wa utamaduni ya magharibi kutoka kwa serikali ya siku.

 

Ni vyema kuona vile mgogoro wa zamani Britania iliangukia ukombozi wa uharibifu wa vitu vya kikristo. Mwana historia ya Briatania na askofu, Bede (ca 672–735 CE) katika maandiko ya The Ecclesiastical History of the English People, [especially in chapters 25-26 of Book III], ya kitabu cha III nia vingi kusema kuhusu Synod of Whilby of 664 CE and mjadala iliyohujumiwa na mfalme Enthusla ya Warumi, Abbot wa Ripon, Wilfred, kwenye monestaria ya Streanaeshalch (lit. The Bay of the Beacon, later known as Hilda’s Abbey).

 

Bede akaiweka wazi kwamba kupiga hesabu wa tarehe ya pasaka haikuwa ya uwatusi. Matendo ya pasaka ni moja ya vitu vingi ambapo za mifano (as we would say but symbol is for us a limiting word mysteries they would say) ilionyesha kuwekwa uzito na umuhimu. Pasaka inafaa kuwa kwa ikweta. Urefu wa siku inaonyesha nguvu ya Yesu juu ya giza. Inafaa iwe katika mwezi wa kwanza wa mwaka. Hii ndio ilikuwa mwezi ambao dunia iliumbwa. Ilifaa kuwa vile mwezi uliweka kutoka kwa dunia hadi zile za binguni (Ufunuo 12:1, Mal 4:2; Lk 2:32, Isa 60:1-3). Ilikuwa mufti kuwa pasaka inafaa kuwa kati ya siku saba ambayo ilikuwa imetengwa kiroho. Kutazamiwa kupitia kwa hoja nyingine. Pasaka ilihesabiwa kuthibitisha sheria za kale za Wayahudi na zile mpya za Kristo. Kama ilisherehekewa kwa siku nzuri ambayo ilikuwa kwa amani (Introduction, p. xviii, by James Campbell, who translated Bede’s The Ecclesiastical History of the English People for The Great Histories Series by Washington Square Press, NY, 1968).

 

Hii ndio maana tunasherehekea sadaka la matunda Jumapili Nisani 15 1997 ambapo tulihesabu pentekosti. Hiyo ndio maana pia makanisa na ilifaa kungojea hadi mwezi nyingine anapohesabu pentekosti.

 

Kabla ya kunakili kutoka kwa Bede, tutazame footnote.

CPITS na wapenzani wao walikubaliana kwamba pasaka ingehesabiwa kwa kutumia mwezi ambayo ilijitokeza wa kwanza kabla ya ikwita. Lakini selt ilikuwa na Jumapili ya pasaka ile inayokuja siku ya kumi na minne baada ya mwezi (i.e the day of full moon) nay a ishirini yote yalikuwa moja. Mipangilio ambao Bede alitumia na kuwa ya jumla kule magharibu, walitubu pasaka ya Jumapili kama ile iliyoanguka kati ya siku ya kumi na tano na ishirini na moja ya sherehe. Kama mwezi au ifuatayo baada ya Jumapili, halafu Jumapili nyingine ilikuwa Jumapili ya pasaka (ibid., n. 44, pp. 400-401).

 

Baada ya askofu Colinan alionyesha utazamo ilipatikana kutoka kwa wakubwa sawa na ambayo mwingilisti Yohana mwanafunzi wa Yesu alisherehekea mwanzilishi wa Benedichne order kule Britania, Wilfred, alijibu.

 

Pasaka ambayo tunatazama ikisherehekewa kule Roma ambapo mwanafunzi Paulo na Petro walipbaukiwa waliishi, kufunza na kuteseka na kuzikwa. Hii ndio kile tulioona ikitazamiwa na Gaulo na Italia tulipotembelea kati yao kusoma na kuomba. Hii tumejifunza Afrika, Asia, Misri na Ugiriki na dunia nzima penye imani ya Yesu imeenezwa kupitia makabila kadhaa na nchini tofauti – wote walituma funzi moja ya kulazimisha siku ya pasaka. Kulichoachwa ni hawa watu na kilio chao, mmeamini Picts na Britons ambapo (the inhabitants of the two last islands of the ocean and only one part of these) wamesimama kupinga dunia nzima wanaojimudu kiujinga (ibid., pp. 160–161).

 

Uhakilisho wa Wilfred nyingine ni muhimu tunapogundua kuwa wote walikuwa waongo lakini Wilfred alikuwa mwerevu sana na kuyatambulisha.

 

Mbali iwe nasi kumweka Yohana na ujinga, anapozingua torati za Musa katika nyakati ambazo kanisa ilifuata Wayahudi kabisa na wanafunzi hawangeweza kwa gafla kutujumuisha mtazamo wa torati ya Mungu kwa hiyo Yohana kulingana na utamaduni wa torati, walianshisha sherehe za mankuli ya pasaka jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza kutozingatia hata kama ilifika kwa siku ya ibada au siku nyingine (so there were no postponements here) (ibid., pp. 161-162).

 

Wilfred anaendelea kumpinga alichoweka kama ubumju wa kikatoliki.

 

Hii mpangilio ya kutoa tarehe na mtazamo wa pasaka imeeneza kwa karne nyingi. The New Catholic Encyclopedia inaarifu.

 

Kuna wakristo wengi walikuwa Wayahudi waliobadilika kifo na mwandunzi wa Kristo ilitendeka nyakati za sherehe ya wayahudi mihimu, Pasch au pasaka ambayo ilisherehekewa siku ya 14 ya mwezi wa Nisan kama kwa mwezi mpya unaofuata nyakati ya ikwita. Ingawa kuliko ujuazi wa pasaka ya wayahudi, sababu hii itatukumbuisha ujuzi kwa wiki tofauti kwa kila mwaka, fikira za kikristo (Surmmoned by the council of Nicea I in 325, condecdecr 2-3 n.b) iliyojumuisha makumbusho wa ufufuzi wa Kristo kwa siku hiyo ya wiki (Jumapili) baada ya mwezi kubwa iliyofuata chemichemi ya ikwita na inaweza kuwa mapema kama Machi 22 na ikichelewa kama Aprili 25 (which will make it the second full moon after the equinox) (ibid., McGraw Hill, NY, 1967, pp. 1062-1063).

 

Tarehe za mwisho hapa haziambatani ujuzi wa tarehe za pasaka 14-15 Nisan lakini inalinganisha na tarehe za kale ambayo Jumapili inaangukia ambayo waweza kuwa siku nyingi baada ya 14 Nisan. Tarehe zingine ambazo pasaka inaweza kuwa zinaonekana kwa sheria zingine inayosema kwamba jua liko katika hali ya aria. Jua linaacha aria kutoka 10-20 Aprili na tarehe za mwisho ni 20-21 Aprili.

 

Kilicho muhimu na matamshi haya ni kuona mabadilishi ya yote Roma na baadaye Wayuda ambao wameyadhi pasaka ya ukweli. Othodoksi ya baadaye imeweka shida kuwa ngumu ambapo walianzisha mitazamo wa Kiyahudi ya uhairisho na kuiyadhi pasaka ya vita baada ya tarehe za Wayahudi baada ya Nisani 14-15.

 

The Catechism of the Catholic Church (St Pauls, Libreria Editrice Vaticana, 1994, Item 1170) inasema “katika jumuiya ya Nicea 325, makanisa yote yalikubaliana kwamba siku ya Ista, pasaka ya wakristo, inajaa kusherehekewa jumapili ilijutia mwezi kubwa (NIsani 14) baada ya ikwita ya Vaneli. Utengenezaji wa kalenda ya magharibi utwayo Gregorian baada ya askofu Gregory XIII (1582) ilisababisha uharibifu wa siku nyingi na kalenda ya mashariki. Leo, makanisa ya magaribi tena kusherehekea siku ya ufufuzi wa Kristo kwa sherehe ya kawaida.”

 

Mwaka wa 1997, makanisa ya magharibi walisherehekea pasaka wiki moja baada ya Jumapili ambayo ilitendeka Nisani ya kweli ya 15 Machi. Mipangilio ya othodoksi ambapo kanisa ya ukrania ni mfano, walisherehekea pasaka yao jumapili, jioni moja kabla ya uhamisho ya Wayahudi ya 27 Aprili. Wayahudi wako nyuma na mwezi moja kuliko magharibi kwa miaka nane nay a tisa ya mzinguko wa kalenda yao. Kuna ijumuisha ambapo pentekosti na mwisho wa sherehe wa mwaka ulioheshimiwa (sherehe ya tambete, siku ya sadaka, sadaka ya hekalu) itakuwa mwezi baadaye. Vitu kama haji ulichukuliwa kwa mpangilio ya othodoksi. Mwanzo ni mafikirio ya Mesopotamia kutoka antiola wa maonyesho 341 ambapo maaskofu wa mashariki ilichuliwa kuikubalia mipangilio ya Wayahudi vile ilijulikana na Alexandria (see the paper Jeroboam and the Hillel (No. 191) for details). Waruzi walibalika kuwa wakristo inayofuata wa olga wa kiev 955. Mwanawe Svyatoslav wa Kiev alikuwa khazar ufalme wa Wayahudi ya Skanez 967. Kwa hivyo walijunzwa kwa urusi na Olga kulembiwe Vlamidir alikubalia Ukristo na kukubalia uamini 988/989 cf. Milner-Gulland and Dejevsky, Cultural Atlas of Russia and the Soviet Union, Time-Life Books, 1994, p. 8).

 

Uzumbufu wa Khazar wa Wayahudi haifai kudhawauliwa. Usubufu wa Uyuda kwa othodoksi wa urusi ilikuwa ya maana na nusu ya milioni ya karne ya kumi na tanmo ambayo ilichukuliwa kuwa muhimu chini ya uongozi mwingine (see ERE art Russian Church, vol 10 p 869). Hadi 1480 na Evan III vasiherich, Urusi ambayo ilikuwa chini ya Tartars am Mongols (Ibid p 870) na walikuwa wavumilivu wa uamini wa Khazaria kabla yao. Urushi uligawanywa mara mbili kisian. Katikakati ya karne ya kumi na tano na kipande cha magharibi chini ya kutoka ua Lithuano. Polisi inayosimamiwa na kanisa  ya othodoksi kuanzisha kalenda ya Gregori. Hii iko katika mabadiliko katika utaonaji tarehe. Ni muungano wa kutobadilisha makosa katika makalenda kuambatana na mipangilio Gregori na ulioansha wa mwezi mpya unafuata ambayo kwa 1997 inahusiana na uhawisho wa Wayahudi.

 

Nyakati Za Pasaka

Yesu Kristo alipokutana na wafuazi wake kwa kile Paulo anauita chakuja cha jioni cha Mungu (1 Wakorintho 11:20, tazama pia tohana 13:2, 4; 21:20). Hiyo ilikuwa usiku kabla ya pasaka ya wayahudi. Kile ambacho wakristo wanafaa kuutazama ni jioni ya Abib 14 ambapo Wayahudi wanatazama jioni ya Abid 15 na mauaji wa mwanakondoo wa alasiri inayofuata usiku huo baada ya usiku wa Kutoka 12:40-42 chakula cha jioni cha Kristo ya 1997 ilianguka jioni ya ijumaa, 21 Machi (14 Ibid) ambapo mwezi mpya wa 9 Machi na renali ya ikwita ilikuwa kabla ya usiku wa manane wa 20 Machi haieleweki kwamba Machi 22 ilifanyika pamoja na purini wa Wayahudi (14 Ada III)? (Tazama Estha 9:18-19).

 

Jioni ya Nisani ya 15 ilielezwa usiku wa kutazamwa na wakristo wanatazama vyote. Lakini uzingatizi uko kwa Nisani 14 kuliko Nisani 15 na pasaka kuliko Nisani 15 na pasaka inaendelea hadi Jumapili (vile imerekodiwa na Tertullian) kutozingatia Nisani inakaa. Kulingana na Tertuliana usulubishi na ufufuzi zilifanyiwa vizuri na neno Pascha (au pasaka) ilifanywa siku zote au nyakati za usulubishi inayoanzia Nisani 14 jumapili (which was the wave sheaf offering and from which Pentecost was determined) (cf cath ency Vol III art “Calender” pp 159ff). Inafaa kukumbukwa kwamba ijumuishi ya siku ya pasaka ni kulingana na jumwa ya Nicea lakini hakuna rekodi kwa kanoni ya kumuia ya fikira hayo ((cf. Cath. Encyc., ibid., p. 160; cf. Turner, Monumenta Nicaeana 152; cf. Cath. Encyc., Vol. V, art. ‘Easter’, p. 228).

 

Ufupisho

Kutokana na historia ya mafikirio vile imeonyeshwa kwa karatasi hii ni ya kusababisha kutoelewa kuiweka kutokuwa rahisi kuweka pasaka kwa tarehe sawa vile imewekwa na mwezi mpya wa chemichemi ya kaskazini. Kalenda za kibibilia na nyakati za sherehe zinajulikana kutoka kwa mwezi wa kwanza, Abid (Kut 12:2; 23:14-16) vin inasema kwamba sherehe ya hekalu ni kwa mwisho wa mwaka (au sawa sawa kwa miji uujuapo wa mwaka) tazama kutoka 34:18-22) Walevi 23:4, Hesabu 9:1-2, 28:16 Kumbukumbu la Torati 16:1, Josh 4:19, Ezek 45:18-21. Uhairisho ni unyimaji kwamba kalenda inatazamiwa kutoka kwa siku ya kwanza ya mwezi, ufuazi wa sherehe ni kutoka kwa mwezi wa kwanza, Abib na siyo mwezi wa saba, Terhin.

 

Kwa hivyo inajionyesha kwamba tuna kazi kwa imani kuihayadhi na kutengeneza ili wwengine waitazame kwa heshima kwa maneno ya Mungu Baba. Tazama pia karatasi Distortion of God’s Calendar in Judah (No. 195B).

 

 

q