Makanisa Ya Kikristo ya Mungu
[241]
Utakaso wa Hekalu wa Mungu
(toleo 2.0 19980307-20000408-2007110)
Israeli iliamuriwa kutakasa Hekalu kabla ya pasaka. Kulikuwa na mtindo wa utakaso unaoelekea pasaka. Wakati mwingine Pasaka ulicheleweshwa kwa sababu utakaso haukufanywa kikamilifu. Ishara ya mtindo huo una umuhimu sana kwa Wakristo.
Christian Churches of God
PO Box 369,
WODEN ACT 2606, AUSTRALIA
Email: secretary@ccg.org
(Copyright ã 1998, 2007, 2007 Wade Cox)
(tr. 2008)
Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia
yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org
and http://www.ccg.org
Kabla ya Pasaka, tunaambiwa kuweka siku ya kwanza Nisan kuwa kama ya mukusanyiko (Angalia nakala The Moon and the New Year (No. 213)). Ufufuo wakusifiwa kwa mUngu aishiye itaidhinisha na alyumba ya Mungu na kutoka kwa ukuhani. Matayarisho huanzishwa katika Nisana ya kwanza. Hadithi ys Hezekia inaonyesha Hekalu kukosa utakatifu. Alipoanza kufawala, aliidhinisha ufufuo kutoka siku ya kwanza ya mwaka takatifu.
2 Mambo ya Nyakati 29:1-11 Hezekia alikuwa na
umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika
Yerusalemu miaka ishirini na tisa; na jina la mamaye aliitwa Abiya binti
Zekaria. 2 Akafanya yaliyo ya adili machoni pa Bwana, sawa na yote aliyofanya
Daudi babaye. 3 Yeye katika mwaka wa kwanza alifungua milango ya nyumba ya
Bwana, akaitengeneza, 4 Akawaingiza makuhani na walawi, akawakusanya uwandani
upande mashariki, 5 na nyumba ya Bwana, mungu wa baba zenu mkautowe uchafu katika patakatifu. 6 kwa maana baba
zetu wamewaasi, na kufanya yalio maovu machoni pa Bwana, mungu wetu, wamemuacha na kugeuza mbali nyuso zao na kumpa
maungo. 7 Tena wameifanya milango ya ukambi, na kuzizimia taa, wala hawakufanikisha
uvumba, wala hawakumtolea mungu wa Israeli sadaka za kuteketezua katika
patakatifu. 8 Kwa hivyo hasira ya Bwana imekua juu ya yuda na yerusalemu, na
yeye amewatowa kuwa matetemeko, wewe ushangao na mazomeo, kama mwanavyo kwa
macho yenu. 9 kwa kuwa, tazama, baba zenu wamaungamiya kwa upanga, wana wenu na
binti zanu wametekuwa kwa ajili hayo. 10 Basi nia yangu ni kufanya agano na
mungu wa Israeli ili kwamba hasira yake kali ituangukiye mbali. 11 Basi
wanangu, msijipurukishe sasa, kwa kuwa Bwana amwachakuwa ninyi msimame mbele
yake, kumhudumia, nanyi mpate
kuwa watumisi wake, mkafukize uvimba
(KJV).
Hezekia alianza na nyumba ya Mungu na makuhani wake kwa kuwa hapo ndipo shida palipotokea. Alianza mashariki kwa vile hapo ndipo mtoto wa mfalme aliruhusiwa kuingia mahala pa kutakaswa, ishara ya Mesia na Roho Mtakatifu.
2Mambo ya Nyakati 29:16-19 Nao makuhani wakaingia nyumbani mwa Bwana katika pahali pa ndeni ili waisafishe, wakatoa uchafu wote uliokuwa ndani ya hekalu wakatupa nje uani mwa Bwana. Walawi wakaitwaa ili wauchukue nje mpaka kijito cha kidroni. 17 Basi wakaanza kutakaza siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, hata siku ya nane wa mwezi wakafika katika ukumbi wa Bwana; wakaitakasa nyumba ya Bwana katika muda wa siku nane; wakamaliza siku kumi na sita ya mwezi wa kwanza. 18 Wakaingia ndani kwa Hezekia mfalme, wakasema, tumeisafisha nyumba yote ys Bwana, na madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, pamoja na vyombo vyake vyote; 19 Tena vyombo vyote alivyovitupa mfalme Ahazi alipotawala hapo alipoasi, tumevitengeneza na kuvitakaza; navyo tazama, vipo mbele ya madhabahu ya Bwana (KJV).
Ufufuo ulikuwa ni lazima itekelezwe kwa vile Hekalu ilikuwa imeangamia, Ukuhani ndio uliokuwa sababu kuu ya kuangamizwa kwa taifa na sehemu ya kaskazini ys taifa ilikuwa matekani.
Utakao ulikuwa ngumu kwa sababu hali ya hekalu na ukuhani ulikuwa umetupiliwa mbali. Ilikuwa ni jukumu la mfalme kuhakikisha kuwa ilitekelezwa. Hezekia aliinuliwa kurekebisha jambo hilo.
Walikuwa washaitakasa Nyumba ya Bwana kwa siku nane na iliwachukuwa siku kumi na sita kukamilisha utakaso kwa hivyo ilibidi pasaka icheleweshwe kwa siku mbili. Walichoma madhabahu lakini walikuwa wamechelewa.
Mambo ya Nyakati 29:20-33 Ndipo Hezekia akaamka mapema, akakusanya wakuu wa mji, akapanda nyumbani kwa Baba 21 Wakaleta fahali saba na kondoo waume saba na wanakondoo saba, mabeberu saba, kuwa sadaka ya dhambi kwa ajili ya ufalme,kwa ajili ya patakatifu na kwa ajili ya Yuda. Akaamuru makuhani, na wana wa Haruni, wawatoe madhabahuni pa Bwana. 22 Basi wakawachinja ng’ombe, na makuhani wakaipokea damu, wakainyunyiza madhabahuni; wakawachinja na wana kondoo wakanyunyiza damu madhabahuni; na wakachinja kondoo waume pia na kunyunyiza damu madhabahuni. 23 Wakawaleta karibu mabeberu ya sadaka ya dhambi mbele ya mfalme na kusanyiko; wakawakea mikono yao 24 na makuhani wakaichinja, na kuweka damu yao kuwa sadaka ya dhambi madhabahuni, ili kufanyia Israeli yote upatanisho; maana mfalme aliomuru Israeli yote ifanyiwe sadaka ya kuteketezwa na dhambi. 25 Akawasimamisha Walawi nyumbani mwa Bwana wenye matoazi; wenye vinanda na wenye vinubi kama alivyoamuru Daudi, na Gadi mwonaji wa mfalme na Nathani nabii; kwani Bwana aliamuru hivi kwa manabii wake 26 Wakasimama Walawi wenye vinanda vya Daudi, na makuhani wenye mapanda. 27 Hezekia akaamuru kutoa sadaka ya kuteketezwa katika madhabahu. Na wakati ilipoanza sadaka hiyo ya kuteketezwa, ukaanza na huo wimbo wa Bwana na mapanda, pamoja na vinanda vya Daudi mfalme wa Israeli. 28 Na kusanyiko lote wakaabudu waimbaji wakaimba wenye mapanda wakapiga; haya yote yakaendelea hata ilipomalizwa sadaka ya kuteketezwa. 29 Hata walipomaliza kutoa sadaka mfalme na hao wote waliokuwepo naye, wakasujudia wakaabudu. 30 Tena Hezekia mfalme na wakuu wakawaamuru Walawi wamwambia Bwana sifa kwa maneno ya Daudi, nay a Asafu mwanaji. Wakaimba sifa kwa furaha, wakainama vichwa, wakaabudu. 31 Ndipo Hezekia akajibu akasema sasa mmejifanya wa Bwana, karibuni mkatoe matoleo ya shukrani nyumbani mwa Bwana. Basi kusanyiko likafanya hivyo; na wote wenye mioyo ya ukarimu, wakaleta sadaka za kuteketezwa. 32 Hesabu ys sadaka hizo za kuteketezwa walizozileta ikawa ng’ombe waume sabini; kondoo waume mia na wana kondoo mia mbili; hao wote walikuwa sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana. 33 Na vitu vitakatifu vilikuwa ng’mbe mia sita na kondoo elfu tatu (KJV.)
Hawakuiacha tuu kanisa iangamie bali hata idadi ya makuhani ilididimia na ikabidi wapate usaidizi kwa Walawi.Walawi walikuwa wenye haki hata kushinda makuhani. Hivyo ndivyo ilivyokuwa katika karne ya ishirini.
2 Mambo ya Nyakati 29:34-36 Lakini makuhani walikuwa wachache wasiweze kuchuna sadaka za kuteketezwa; basi ndigu zao Walawi wakawasaidia, hata ilipokwisha kazina hata makuhani walipojitakasa; kwa kuwa Walawi walikuwa wenye mioyo ya adili kwa kila sadaka ya kuteketezwa. 35 Na tena sadaka za kuteketezwa nazo zilikuwa nyingi pamoja na mafuta ya sadaka za amani; na sadaka za kinywaji kwa kila sadaka ya kuteketezwa, Hivyo itatengenezwa huduma ya nyumba ya Bwana. 36 Akafurahi Hezekia na watu wote, kwa sababu ya hayo Mungu aliyowatengenezea watu; maana jambo hili likawa kwa ghafla (KJV).
Mungu alifufua Yuda bila onyo. Mungu atendapo, hutendeka kwa wakati wake. Mungu aliwatayarisha watu. Ilikuwa ni tendo la watu hao wenye. Uamuzi wa kuweka pasaka kwa mwezi wa pili kama ilivyo katika sheria ilifanywa na mfalme wa kusanyiko.
2 Mambo ya Nyakati 30:1-6 Hezekai akatuma wajumbe kwa Israeli wote na Yuda pia akawaandikia nyataka Efraimu na Manase, waje nyumbani kwa Bwana Yerusalemu, ili wafanyie pasaka Bwana, Mungu wa Israeli. 2 Kwa maana mfalme na wakuu wake na kusanyiko lote katika Yerusalemu walifanya shauri kufanya pasaka mwezi wa pili. Kwa sababu hawakuweza kuifanya wakati ule. kwa kuwa makuhani walikuw ahawajajitakasa ya kutosha, wala watu hawajakusanyika huko Yerusalemu, 4 likawa neno jema machoni pa mfalme na kusanyiko lote. 5 Basi wakafanya amri kupika mbiu kati ya Israeli yote, toka Beor-sheba mpaka Dani, ya kwamba watu waje wamafanyie pasaka Bwana, Mungu wa Israeli, huko Yerusalemu; maana tangu siku nyingi hawakuifanya kama vile ilivyoandikwa, 6 Wakaenda matayarishi wenye nyaraka za mfalme na wakuu wake, kati ya Israeli yote na Yuda, na kwa amri ya mfalme kusema. Enyi wana wa Israeli mrudieni Bwana Mungu wa Ibrahimu, na Isaka na Israeli, a pate kuwarudia waliosalia wenu waliookoka mikononi mwa mfalme ashuru.
Wasiria waliweshinda Waisraeli na tabaka za kaskazini walisharauliwa. Yuda aliita Israeli ili watubu siku ya pasaka na kujitakasa, lakini tabaka kumi hazingefanya hivyo, kwa hivyo waliwekwa mateko huko Araxi.Wanyefanya hivyo wangerudi tena Israeli.
Mtabaka yaliyobaki kwa wingi ni ile ya Ephraimu na manase na Zebuluni, walimcheka Yuda waliposikia wito wake wa tuda. Hata hivyo, kusanyiko ilikuwa na wayaudi na matabaka mengine ya Isaka, Manase na Zebuluni Yalikuwa Yerusalemu wakanyenyekea mbele zake Bwana (2Mambo ya Nyakati 30:9-11).
2 Mambo ya Nyakati 30:13-20 Watu wengi walikusanyika Yerusalemu ili kusherekea pasaka katika mwezi wa pili. 14 Wakiainuka na kuziondoa madhabahu zilizokuwemo Yerusalemu, nazo madhabahu za kufukizia wakazitupa katika kijito kindroni. 15 Kisha wakaishinja pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi wa pili, nao makuhani na Walawi wakatahayarika, wakajitakasa, wakaleta sadaka ya kuteketezwa nyumbani mwa Bwana. 16 Wakasimama mahali pao kwa taratibu yao, sawasawa na torati ya Musa. Musa akasikoma watu wa Mungu; nao makuhani na Walawi wakatayarika wakajitakasa, wakainyunyiza damu walioipokea mikononi mwa Walawi. 17 Kwa maana kulikuwa na wengi katika kusanyiko ambao hawajajitakasa; kwa hiyo Walawi wakamchinja pasaka kila mtu asiyekuwa safi; ili kuwatakasa kwa Bwana. 18 Kwani wingi wa mtu naam, wengi wa Ephraimu na wa Mnase, na wa Isakari na wa Zebuluni hawa kujisafisha lakini wakala pasaka. Ila si kama ilivyoandikwa. Naye Hezekia alikuwaamewaombea, akisema Bwana mwema na amsamehe kila mtu, 19 aukazaye moyo wake kumtasuta Mungu Bwana, Mungu wa babaye, hata ikiwa si kwa utakaso wa patakatifu. 20 Bwana akamsikia Hezekia akawaponya watu (KJV).
Uponyaji huu wa Mungu ulifanywa kwa ambi la viongozi wa kiroho Israeli.
2 Mambo ya Nyakati 30:21-22 Nao wana wa Israeli waliohudhuria Yerusalemu wakafanya siku kuu ya mikate isiyoshashwa siku saba kwa firaha kubwa; Walawi na makuhani wakamsifu Bwana siku kwa siku wakimwambia; Bwana kwa vinanda vyenye sauti. 22 Hezekia akawafurahisha mioyo Walawi wote waliokuwa wastadi wa Kumatumikia Bwana. Basi muda wa siku saba wakala siku –kuu wakitoa dhabihu za sadaka za amani, na kumtolea shukrani Bwana, Mungu wa baba zao. (KJV)
Tunaona kuwa pasaka ilikuwa siku saba na huduma.
2 Mambo ya Nyakati 3023-26 Na kusanyiko lote wakafanya shauri la kufanya sikuku siku saba nyingine; wakafanya sikuku siku saba nyingine kwa furaha. 24 Maana Hezekia mfalme wa Yuda, pamoja na makuhani, na Walawi, na kusanyiko lote walioyoka Israeli na wageni waliotoka Israeli, nao waliokaa Yuda wakafurahi. 26 Ikawa furaha kuu katika Yerusalemu kwa sababu tangu siku za Sulemani, mwana wa Daudi mfalme wa Israeli, hayajakuwako mambo kama hayo huko Yerusalemu (KJV).
Utakaso wa ukuhani leo inafanywa na dhabihu maoja au toleo moja –akiwa ni Yesu Kristo (angalia Messiah and the Red Heifer (No. 216)).
Ufufuo ulianza na utakaso wa Hekalu kama Nyumba ya Bwana hadi kwa ukuhani na Walawi hadi kwa taifa lote. Kisha kutoka pasaka, taifa lilitakaswa kutoka kwa ibada ya sanamu.
2 Mambo ya Nyakati 31:1-12 Basi hayo yalipo kwisha, wakatoka Israeli wote waliokuwapo. Waende mjini wa Yuda, wakazifunja–vunja nguzo, wakayakata–kata maashera, wakabomoa mahali pa juu ya madhabahu katika Yuda yote na Benyamini; katika Ephraimu pia na Manase ,hata walipokwisha kuviharibu vyote. Ndipo wana wa Israeli wote wakarudi kila mtu kwa milki yake, mjini kwao, 2 Hezekia akaziweka zamu za makuhani na Walawi kwa zamu zao kila mtu kwa kadri ya huduma yake, makuhani na Walawi pia kwa sadaka zao kuteketezwa, yaani sadaka za kuteketezwa za asubuhi na jioni na sadaka za kuteketezwa za sabato na za mwezi mpya na sikuku kama ilivyoandikwa katika torati ya Bwana. 4 Tena akawaamuru watu waliokaa Yerusalemu, watoe sehemu ya makuhani na Walawi ili hao Wajibidishe katika torati ya Bwana. 5 Mara ilipotangaa amri, wana wa Israeli wakatoa kwa wingi malimbuko ya nafaka na divai, na mafuta na asali, na mazao yote ya mashamba; na zaka za vitu vyote waka zileta pia wana wa Israeli na Yuda, waliokoa mijini mwa Yuda, wakaleta pia zaka za ng’ombe ba kondoo, na zaka za vitu vilivyowekwa wasifu, alivyowekewa Bwana, Mungu wao wakaviweka chunguchungu. 7 Katika mwezi wa tatu wakaanza kuweka misingi ya hizo chungu, wakavimaliza katika mwezi wa saba. 8 Hata walipokuja Hezekia na wakuu na kuziona zile chungu, wakamhimidi Bwana, na watu wake Israeli.9 Ndipo Hezekia akaulizana na makuhani na Walawi katika habari za hizo chungu. 10 Azaria kuhani mkuu wa nyumba ya sadoki, akamjibu, akasema tangu watu walipoanza kuweka matoleonyumbani mwa Bwana, tumekula na kushiba na kusaza tele; 11 kwa kuwa Bwana amewabariki watu wake na kilichosalia ndiyop akiba hii kubwa. ``Ndipo Hezekia akaamuru kutengeneza vyumba nyumbani mwa Bwana; wakavitengeneza. 12 Wakayaingiza matoleo na zaka na viyu vilivyowekwa watu kwa uaminifu, na juu yake Kanani, Mlawi alikuwa mkuu na wa pili ni Shimei nduguye (KJV).
Kwa Imani mtindo wa fungo la kumi, ukuhani unalishwa. Tukifuata amri za Mungu, atatulinda. Kutoka ufunuo wa pasaka, kufuatia utakaso, sadaka za kila siku, sabato na mwezi mpya na sikuku ziliwekwa kando. Fungo la kumi zilitengwa na matoleo yalitengwa na watu walifaulu kwa mavuno ya mwezi wa tatu (Pasaka), na miaka saba (dhabihu), na kulikuwa na mengi yaliyobaki ya kuwekwa kwenye vyumba vya nyumba ya Mungu.
Mwaka wa saba ulikuwa ni jukumu la watu kutoa matoleo kwa moyo mkunjufu kwa kazi za Bwana. Kulikuwa na pasaka saba kuu za bibilia (angalia The Seven Great Passovers of the Bible (No. 107)) na tuko za kuzingatiwa kwa sikuku. (Kutoka 12:28; Hesabu 9:5; Yoshua 5:10; 2Mambo ya Nyakati 30:13-15 na 35:1; 2Wafalme 23:22; Ezra 6:19; Mathayo 26:17; Luka 2:41; Yohana 2:13; 6:4).
Pasaka hata hivyo ni kutoka siku ya kwanza ya kwanza ya utakaso. Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza ni kusanyiko (Mwanzo 8:13).
Kuna matukio sita makuu iliyoidhinishwa kutoka siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza. Tukio la kwanza ni ufufuo wa ulimwengu chini ya Nuhu na kukauka kwa maji. Kuondolewa kwa maganda ya meli (Mwanzo 8:13). Swala hilo lote huleta upuzi kwa iliyoitwa na wafarisayo kuwa amri zake Nuhu, na swala hilo hushugulikiwa kando.
Mwanzo 8:13 Ikawa mwaka wa mia sita na moja, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, maji yalikauka juu ya nchi. Nuhu akaondoa kifuniko cha safina, naye akaona, na tazama, uso wa nchi umekauka (KJV).
Mungu alifufua sayari kutoka siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza (Nisan) ni mpango ya Mungu (angalia Vegetarianism and the Bible (No. 183)) kwa fungo la Adamu, na ndiposa tunaona.
Tukio lingine kuu ni la Nuhu kujenga dhabihu (Kutoka 40:2).
Kutoka 40:1-17 Mungu alinena na Musa akisema, 2 Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza hakuna kuweka dhabihu katika hema ya kusanyiko, 3 Na tena hakutetwa na ushuhuda na utaifunika ark na kifuniko. 4 Na utaleta mazani na kupanga kwa njia inayofaa vitu vitakavyowekwa mezani; na utaleta mishuma kasha utawasha taa; 5 utaweka dhabahu kwa ubani kabla ya saduku ya ushunda na kuweka malango wa dhabihu ukininginia, 6 Sadaka ya kuteketezwa itatolewa mbele ya mlango wa dhabihu ya hema ya kusanyiko. 7 Utaweka chombo katikati ya hema ya hadhira na dhabahu na kuiwita maji .8 Korti itawekwa kwenye mzinguko na kuweka kininginio langoni mwake. 9 Utatumia mafuta ya upako kupaka dhabihu na kila chombo ndani yake. 10 Utaipaka dhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na kuitakasa kasha itakuwa takatifu. ``Kisha utaipaka chombo na miguu yake kasha utaitakasa. Na utaleta Haruni na wanawe mbele ys dhabahu kasha utawaosha. 13 Nautamvisha Haruni zile kanzu na wavazi mengine takatifu, utampaka, na kumtakasa; ili akahudumu katika afisi ya kuhani. 14 Na Haruni atawaleta wavawe na kuwavisha koti 15 Kisha utawapaka jinsi ulivyompaka baba yao, kasha watahudumu pia katika afisi ya kuhani; kwa kuwa upako utakuwa ni wa milele kwa vizazi vyote. 16 Musa alifanya hivyo kama alivyoamriwa na mungu. 17 Dhabihu ilifanywa siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza wa mwaka wa pili (KJV).
Tunaona batiso na mavazi ya kwanzu meupe yakioshwa kwa damu ya Yesu Kristo iliyotakasa hekali na vyombo vya matumizi yake. Hivyo basi, ufufuo na utakaso wa ukuhani na Hekalu iliidhinishwa kutoka siku ya Kwanza ya mwezi wa kwanza. Kipindi hicho cha siku kumi na nne ni utakaso wa hekalu.
Ufufuo wa Hezekia iliidhinishwa na siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza iliyoitwa Abibu au Nisan (Mambo ya Nyakati 29:17).
Ufufuoi uliafuata ilikuwa kupanda juu kwa Ezra (Ezra 7:9) kwa ufufuo wa hekalu ya pili. Kutupilia mbali kwa mabibi wasio halali ilikuwa pia ni sehemu ya ufufuo huo chini ya Ezra (Ezra 10:17). Umuhimu wake ni kwa sababu mabibi wa Kristo na pia ni kama hekalu.
Ezekieli anahitaji kuwa siku hii iwe siku ya matoleo ya hekalu (Ezekieli 45:18).
Ezekieli 45:16-25 Watu wote wan chi hii watamcha mwanamfalme wa Israeli. 17 Na itakuwa jukumu lake kutoa sadaak ya kuteketezwa, ya nyama vinywaji, katika sikuku na kwa nyumba ya Israeli; atatayarisha matoleo ya dhambi nyama ya kuteketezwa na amani ili kuweka maru diano kwa nyumba ya Israeli 18 Mungu alisema; kwa mweziwa kwanza siku yake ya kwanza, utachukua fahali mdogo asiye na kidonda, na uitakase; 19 Kuhani atachukua damu ya matoleo ya dhambi na kuiweka kwenye viegemezi vya nyumba katika pembe zote nne ili kuitwika dhabahu na kwenye lango la korti ya ndani. 20 Kwasiku ya saba utaweka marudiano katika nyumba. 21 Siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza, mtafanya pasaka, sikuku; ya mkate usiochachwa utaliwa. 22 Siku hiyo, mwana mfalme ataandaa mwana fahali kwa ajili ya matoleo ya dhambi. 23 Siku saba za sikuku wataanda sadaka za kushomwa kwa Bwana, fahali ndogo saba, na kondoo ndogo saba wa laume wasio na uovu wowote kila siku kwa siku saba; na mwana mbuzi kila siku kwa minajili ya matoleo ya dhambi 24 Na ataanda sadaka ya nyama ya epha kuashiria fahali mdogo na kaondoo ndogo wa kiume na mafuta ya hini kuashiria epha. 25 Katika mwezi wa saba, siku yake ya kumi na tano, atafanya kama sikuku ya siku saba ilivyo katika matoleo ya dhambi kulingana na sadamu ya kuteketezwa na ile ya nyama.(KJV)
Hapa tunaona kuwa siku saba za mkate usiochachwa unaanza Nisan.
Kumi na tano Hiyo hekalu ya baadaye ya Ezekieli ianaangazia ufufuo wa sabato mwezi mpya na sikuku. Mwezi mpaya yanaambatana na sabato kwa hivyo siyo siku za kazi katika mtindo wa Bibilia.
Ezekieli 46:1-6 Mungu Baba alisema; lango la korti ya ndani iliyoelekea mashariki itafungwa kwa masaa sita; na itafunguliwa siku ya Sabato. 2 Mwana mfalme ataingilia hapo na lango halitafungwa hadi jioni. 3 vivyo hivyo watu pia wataabudu hapo langoni mbele za Bwana siku ya Sabato. 4 Sadaka za kuteketezwa zitajumuisha wana kondoo sita wasiona uovu na kondoo mmoja wa kiume. 5 Na sadaka ya nyama itakuwa epha badala ya kondoo ya kiume. 6 Siku ya mwezi mpya itakuwa fahali ndogo isiyo na uovu wowote na wana kondoo sita na kondoo mmoja wa kiume. (KJV)
Itafanya siku ya mwezi mpya lazima hakutakuwa na kazi na idhinisho ya utakaso wa hekalu ulianza na na mwezi mpya wa kwanza ambayo ilikuwa ya Abibu. Utakaso huo uliendelea hadi siku ya saba na ilikuwa ni ya wale wasioweza kujitakasa wenyewe.
Pasaka hiyo ya pili ina katika kitabu cha Hesabu 9:6-13.
Hesabu 9:6-13 Basi walikuwako watu waume kadha wa kadha waliokuwa na unajili kwa ajili ya maiti wa wa mtu, hata wasiweze kuishika pasaka siku hiyo; nao wakaenda mbele ya Musa na Haruni, siku hiyo; 7 hao watu wakamwambia, Sisi tu hali ya unajisi kwa ajili ya maiti wa mtu; nasi tumezuiwa kwa nini hata tusipate kumtolea Bwana matoleo kwa wakati wake uliogizwa kati ya wana wa Israeli? 8 Musa akawaambia, ngojeni hapo; hata nipate sikiza Bwana atakaloagiza juu yenu. 9 Bwana akanena na Musa, akamwambia, 10 Nena na wana Israeli na kuwaambia, mtu wa kwenu, au wa vizazi vyenu, ye yote atakayekuwa na unajisi kwa ajili ya maiti, au akiwako mbali katika safari, na haya yote, ataishika Pasaka kwa Bwana; 11 mwezi wa pili, siku ya kumi na nne ya mwezi, wakati wa jioni, wataishika; watamla pamoja na mikate isiyotiwa chachu na mboga za uchungu; 12 wasisaze kitu chake cho chote hata ha asubuhi, wala wasimvunje mfupa wake; kama hiyo sheria yote ya pasaka ilivyo ndivyo watakavyoishika. 13 Lakini mtu aliye safi, wala hakuwa katika safari, naye amekosa kuishika pasaka, mtu huyo atakatiliwa mbali na watu wake; kwa sababu hakumtolea Bwana matoleo kwa wakati wake ulioamriwa, mtu huyo atachukua dhambi yake (KJV)
Kila mtu ilikuwa ni lazima aizingatie pasaka na kujitayarisha. Kama mtu aliyebatiswa anastahili lakini hayuko safarini na hazingatili pasaka wafaa kuletewa katika umati. Maanda lizi hayo yafaa kuidhinishwa na Abibu ya kwanza kama siku ya sikuku (Zaburi 81:3-5).
Ukuhani wa hekalu walieka siku ya mwezi mpya kuwa kama sabato mpaka hekalu ilipoangamizwa kule 70CE. Ezekieli alionyesha kuwa mwezi mpya huzingatiwa kama sabato. (Ezekieli 46:1) na (Amosi 8:5) Pia anazingatia mwezi mpya na millennium ya Mesia (Isaya 66:23).
Mwezi mpya wa mwezi wa kwanza ni muhimu kwa kuanzishwa kwa utakaso wa hekalu.
Hekalu
Ya Bwana kama Kanisa
Swali linalojikita ni kuwa: sisi kama kanisa tumetakaswaje?
Utakaso hutoka kwa mungu.
Kutoka 31:13 Kisha, nena wewe na wana wa Israeli, na kuwambia, Hakika mtazishika sabato zangu, kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na na ninyi katika vizazi vyenu vyote; ili mpate kujua ya kuwa mimi ndimi Bwana niwatakasaye ninyi (KJV).
Hivyo basi sabato za Mungu ni ishara za Mungu kututakasa. Vifunguo mimba wote
wa Israeli wametakazwa.
Kutoka 13:2 Ni takasie mimi wazaliwa wa kwanza
wote, kila afunguaye tumbo katika wana wa Israeli, wa binadamu na wanyama; ni
wangu huyo. (KJV)
Pia tunaona kuwa Israeli yote imetakazwa kama ilivyo katika.
Kutoka 19:10-14 Bwana akamwambia Musa, Enenda kwa watu hawa, ukawatakase leo na kesho, wakazifue nguo zao, 11 wawe tayari kwa siku ya tatu; mnna siku ya tatu Bwana atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote. 12 nawe utawawekea mipaka watu hawa pande zote, ukisema jihadharini, msipande mlima huu, wala msiugue, hata mapambizo yake kila mtu atakayeugusa mlima huu, bila shaka atauawa. 13 Mkono wa mtu awaye yote usinguse mtu huyo, ila hakika yake atapigwa kwa, mawe, au kupigwa kwa mkuki; kwamba ni mnyama au kwamba ni mwanadamu hataishi.Hapo panda itakapotoa sauti kwa kufuliza ndipo watakapoukaribia mlima 14 Musa akatelemka mlimani akawaendea watu akawatakasa, nao wakafua nguo (KJV).
Musa angeenda mlimani lakini watu hawangeenda, sisi tulimo kanisani twaweza kuenda mbele za Bwana kwa uhasiri lakini wale ambao hawajaitwa na Bwana kuhudumu hawawezi. Hivyo basi sisi wa Kanisa humba na kufunga kwa niaba ya wale ambao hawajabatisww na wale wanaopuuza na sanasana katika Abibu ya saba. Waliobatiswa kanisani huomba tu uungano ni sawa na binguni na ulimwenguni, Tofauti baina ya Musa na kusanyiko la Israeli inapaswa kuonyesha tofauti kati ya wateule na watu wa mataifa yote.
Kuna mtindo wa utakaso. Kufungua mimba cha Israeli kima takaswa na kisha Israeli yenyewe pia imetakazwa Kuona uso wa Bwana ama malaika wa uwepo tujuaoKama Yesu Kristo.Hekalu imetakazwa kutoka siku ya kwanza wa mwezi wa Kwanza.`` Sisi ndio Hekalu huo.’’
1 Wakorintho 3:16-17 hamjui nyinyi mmekuwa hekalu wa Mungu, na yakuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? Kama mtu akiliharibu hekalu wa Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana Hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi (KJV).
Hiyo ndivyo Hekalu ambayo Mungu hutawala kama Roho mtakatifu.
1 Wakorintho 6:19 Au hamjui ya kuwa mwili yenu ni Hekalu ya Roho mtakatatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi sii mali yenu wenyewe (KJV).
Hivyo basi hekalu iliangazia hekalu ya kiroho ambayo ni sisi. Hekalu hana haki ya kutawala Dhabahu ay Kristo. Ndiposa Musa akatengemea Kristo na Nyumba yake ambayo ni sisi.
Waibrania 3:1-6 Kwa hiyo ndugu watakatifu, wenye kusshiriki mwito wa mbinguni, matafakarini sana mtume na kuhani mkuu wa maungamo yetu, Yesu, 2 aliyekuwa mwaminifu kwake yeye aliyemweka, kama Musa naye alivyokuwa, katika nyumba yote ya Mungu. 3kwa maana huyo amehesabiwa kuwa amestahili utukufu zaidi kuliko Musa, kama vile yeye aitengenezaye nyumba alivyo na heshima zaidi ya hiyo nyumba. 4 Maana kila nyumba imetengenezwa na mtu; ila yeye aliyevitengeneza vitu vyote ni Mungu. 5 Na musa kweli alukuwa mwaminifu katika nyumba yote ya mungu kama mtumishi, awe ushuhuda wa mabo yatakayonenwa baadaye; 6 bali Kristo kama mwana, juu ya nyumba ya Mungu; ambaye nyumba yak e ni sisi, kama tukishikamana sana na ujasiri wet na fahari ya taraja letu mpaka mwisho. (RSV)
Hivyo basi, sisi ni nyumba ya Mungu kuwa kama nyumba ya Kristo. Nyumba ya mfalme kuwa kama Malaika wa Yehova kichwani mwetu (Zekaria 12:8).
Zekaria 12:8 Katika siku hiyo Bwana atawalinda wenyeji wa Yerusalemu; nay eye aliye dhaifu miongoni mwao atakuwa kama Daudi siku hiyo nayo nyumba ya Daudi atakuwa kama Mungu, Kama Malaika wa Bwana mbele yao (RSV).
Kwa hivyo ni jukumu la kila mtu kujitakasa kutoka siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza kwa minajili ya pasaka.
Siku ya Saba ya mwezi kila mtu utakazwa kwa njia ya Mungu Kristo kwa dunia kuishi kwake (Angalia nakala Sanctification of the Simple and Erroneous (No. 291)).
Waibrania inaendelea na kusema
Waibrania 3:7-19 Kwa hiyo basi;kama asemavyo Roho mtakatifu ``kama mkisikia sauti ya Mungu leo; 8 msiifanye mioyo yenu kuwa ngumu kam wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi Mungu; kama walivyo kuwa siku ile kule jangwani; walipojaribu Mungu 9 Huko wazee wenu walinijaribu na kuni chunguza, asema Bwana ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu kwa miaka arobaini. 10 Kwa sababu hiyo niliwa kasirika watu hao nikisema fikira za watu hawa zimepotoka hawajapata kamwe kuzijua njia zangu. 11 Basi nili kasirika nikaapo ``Hawataingia huku ambako ninge wapa pumziko‘’ 12 Basi ndi=ugu jihadharini asiye akawako ye yote miongoni mwenu aliye na moya ambaye hivyo na asiyeamini k=hata kujitenga na Mungu aliye hai. 13 maadamu hiyo ``leo’’ inayoemwa katika maandiko bado inatuhusu sisi mnapaswa kuzaidiana daima ili mtu ye yote miongoni mwenu asidanyanywe na dhambi na kuwa makaidi .14 Maana sisi tunashirikiana na Kristo ikiwa tuta zingatia kwa uthabiti tumaini tulilokuwa nalo mwanzoni. 15 Maandiko yasema hivi ``Kama mkisikia sauti ya Mungu leo, msiifanye mioyo yenu kuwa mingumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi Mungu’’ 16 Ni akina nani basi waliosikia sauti ya Mungu wakamwazi? Ni wale wote waliongoswa na Musa kutoka Misri; 17 Mungu aliwakasikia akina nani kwa miaka arobaini aliwakasirikia wale waliotenda dhambi, maiti zao zikatapakaa kule jangwani .18 Mungu alipoapa; ``hwa taingia huko ambako ningewapa pumziko ‘’alikuwa ana wasema akina nani? Alikuwa nasema juu ya hao Waisraeli. 19 Basi twaona kwamba hawakuingia huko kwa sababu hawakuamini (RSV).
Sehemu hii ina patikana katika Zaburi 95:7b-11 katika Septugenti.
Wale waliobaki wa Mungu wali endeswa kwa uhuru kutoka kwa dhambi kwa kukana. Yalikuwa ndani ya mioyo zao lakini hwakujua Mungu na njia zake.
Utakaso ilikuwa inafanywa kutoka nje, na hata ya kindani pia ilikuwa ina fanywa. Hayo ndiyo mangumu kushinda yote.
Vitu vya utakaso yana patikana na upako Kutoka 40:9-11.
Hata hivyo Bwana alitumia utakaso kwa sisi (Kutoka 3131:13; Mambo ya Walawi 20:8; 21:8; 22:9). Madhabahu yana simamia Baraka.
Kutoka 29:37 Utafanya upatanisho kwa ajili ya hiyo madhabahu muda wa siku saba na kuitakasa; ndipo madhabahu itakapokuwa takatifu sana; kila kitu kiigusacho madhabahu kuta kuwa kutakatifu (RSV).
Madhabahu yana takikana kuwekwa pahali pasafi pasipo na mawe lolote na mtu yeyote asiliguze.
Kutoka 30:29 Nawe utafitakasa vitu hivyo, ili view vitakatifu sana; ten akila kivigusacho vyombo vile kitakuwa kitakatifu (RSV).
Mungu ndiye anatakaza Hema Kutoka 29:43.
Kutoka 29:43 Nami nitakutana na wana wa Israeli hapo, na hiyo hema itafanywa takatifu na utukufu wangu (RSV)
Kutoka 40:34-35 Ndipo lile wingu likaifunikiza hema ya kukutania, na hua utukufu wa Bwana ukaijaza maskani. 35 Wala Musa hakuweza kuliingia hema la kukutania kwa sababu lile wingu lilikaa juu yake, na huo utukufu wa Bwana ukaijaza maskani yake. Nawatakieni neema na amani tele (RSV).
Hili Kuweko wa Mungu ndio viyu yanayo takasa Hekalu na kufanya takatifu. Kuwepo wa Mung kati ya waliochanguliwa na Roho Mtakatifu na mwili ya Mesia kama Hekalu wa Mungu, ni takatifu. Na inafanywa wote waguzaye kuwa watakatifu.
Hii mwili wa Kristo kama Hekalu wa Mungu lazima yatakazwe mbele ya pasaka. Hiyo ndiyo siku ya kwanza wa mwezi ni siku ya utakaso, Ni njia ya upatinasho na utakaso, na matoleo na kukumbuswa siku 21 awali.
Kristo alisafisha hekalu mbele ya pasaka
kama onyo na ishara kama sisi pia tunavyo safisha Hekalu kuwa takatifu kama
dhabihu wa Mesia na mwili na damu.siku ya usafishji wa Hekalu ni kwa nakala Timing of the Crucifixion and the
Resurrection (No. 159).
Maandiko zote za utakaso na usafishaji (kwa mifano kwa Mambo ya Walawi 21:1-23) kuangalia na kuangalia mtasamo wa kifo na maisha ya ufufuo. Hii afya ni ya pili kwa maandiko wa maisha na kifa kwa batiso na kutubu, na kwa mwili wa Kristo kupitia Roho Mtakatifu.
Zingine pia Mungu aliwapa orodini na kutakasa wanabii na waliochanguliwa tangu tumboni, kama Yeremia (Yeremia 1:5).
Waefeso 1:3-4 Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa Baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa Roho ndani yake Kristo; 4 kama vile alivyotuchngua katika yeye kabla ya kuweka misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo (KJV).
Kwa hii tumechanguliwa na tutakazwa.
1Petro 1:2 kama vile Mungu Baba alivyotangulia kuwajua katika kutakaswa na Roho, hata mkapata kutii na kununyiziwa damu ya Yesu Kristo.Neema na amani na ziongezwe kwenu (RSV).
Sisi ndiye watekaji wakipeke (2 Petro 1:2-4)
Kupita upendo wa Kristo, tuna kamilika kupita kwa Mungu.
Waefeso 3:19 Naam, mpate kujua upendo wa Kristo elimu yote, mjazae kabisa utimilifu wote wa Mungu (KJV).
Kwa nji lingine Mungu aliwatakaza wana wa Israeli kupitia Kristo kama mfano ambao yata patakapo kuwa katikati yao milele Ezekieli 37:28). Hiyo mifano halite eleweka hadi kuwa kurudi kwa Mesia.
Sisi wote tuna patiwa rehema kupitia Baraka wa Kristo.
Waefeso 4:7 Kila mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo (RSV).
Tume patiwa kipimo ambao yana tutosa sisi wote.
Waefeso 4:12-16 Alifanya hivyo apate kuwa tayarisa wote wa Mungu kwa ajili ya kazi ya huduma ya Kristo ya Kikiristo ili kuujenga mwili wa Kristo a 3 na hivyo zote tuufikie umoja wa imani na kumjua mwana wa Mungu; tume watu waliokamaa na kuufikia utimilifu wake Kristo mwenyewe. 14 Basi hatutakuwa tena kama watoto, tukitupwa na kuperushaua huko na huko kwa kila upepo wa mafundisho wana yozua watu wadanganyifu; ili wawe potoshe wengine kwa hila .15 kama tukinzi ngalia ukweli kwa moyo wa mapendo tutazidi katika kila jambo kulingana na Kristo, ambaye ndiye kishwa. 16 chini ya uongozi wake viungo, vyote vya mwili hushika mana pamoja na mwili wote hutegenezwa kwa msaada wa viungo vyake. Basi kila viungo kikitekelezwa kazi yake ipasavyo, mwili wote kukua na kujijenga katika upendo (RSV).
Kama tuna weza kukiri dhambi zetu, ana tusamehe dhambi zetu.
1Yohana 1:9 Lakini tukiziungama dhambi zetu, basi Mungu ni mwaminifu na mwaminifu, naye atatusamehe dhambi zetu na kututakasa na uovu wote (RSV).
Akotayari kutulinda na kutupeleka sisi kwa siku ya Bwana (Yuda 1).
Yeye ambaye anatakasa na sisi tuna fanya kutakazwa kuwa lolote ndipo awezi kuipika nasi ndiyo maana atuita madungu zake.
Waibrania 2:11 Yeye anawatakasa watu dhambi zao, naye pamoja na wale waliotakazwa, wote wanayo Baba mmoja. Ndiyo maana Yesu haoni aibu kuwaita hao ndugu zangu (RSV).
Tuna tangazwa kwa ukweli wa upendo kuwa mnajili yetu Kristo alikufa kwa mnajili yetu kuwa njia hiyo ndipo sisi pia lazima tuwe na ukweli; ambaye ni neno la Mungu (Yohana 17:17).
Matend ya Mitume 26:15-18 utuonyeshe utakaso kutoka kwa giza kwenye shetani hadi nuru na kutusamehea na kizazi ambao wametakaswa kwa imani.
Matendo ya Mitume 26:15-18 Mimi nikauliza `Ni nani wewe Bwana? `Naye Bwana akajibu `Mini ni Yesu ambaye wewe unamtesha. 16 Haidhuru inuka sasa simama wima. Nime kutoka ili nikuweke rsmi kuwa mtumishi wangu. Utawakibitishia watu wengine mambo uliyo ya ona leo nay ale ambayo bado nitakuonyesha. 17 Nita kuokoa na watu wa Israeli na watu wa mataifa mangine ambayo mimi ninakutuma kwao. 18 ntayafumbua macho yao na kuwawezesha watoka gizani na kuingia katika mwanga watote katika utawala wa shetani wangeukie Mungu ili kwa kuamini wapate kusamehewa dhambi na kuchukua nafasi yao kati ya wale ambao wamepata kuwa watu wa Mungu (RSV).
Kama tunatakazwa Kristo ana tuweka huru. Anatuita ili atimishe yale Bwana alimpatia kutimiza na kila mtu kati yetu kupita utakaso kwa Imani .
Ndipo tujipatize sisi kuwa na usiano na hata watu wengine pia ambao wamechaguliwa
Waefeso 5:25-27 Nanyi wanaume wapendeni wake
zenu kama Kristo alivyolipenda Kanisa akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake.
26 Alifanya hivyo ili kwa neno lake, aliweka wakfu kwa Mungu, baada ya
kulifanya safi kwa kuliosha katika maji, 27 Kusudi ajipatie Kanisa lisilo na doa, kasoro au chochote cha namna hiyo.
(RSV)
Hili utakaso umeenea kuote na kwa Hekalu ya Mungu.
Warumi 15:16 Ya kuwa mtumishi wa Yesu Kristo kwa watu wa mataifa ni jukumu langu la kikuhani kuibubiri. Habari njemaya Mungu ili watu wa mataifa mengine wapate kuwa dhabihu inayokubaliwa na Mungu, dhabihu iliyotakaswa na Roho Mtakatifu (RSV).
Na wakatakazwa na Kristo Yesu na kuwaitwa wana wa Mungu (1Wakorintho 1:2; cf. Wakolosai 2:11; Wathesalonika 4:3; 5:23; 2Wathesalonika 2:13-14).
1 Wakorintho 6:11 Baadhi yenu mlikuwa hivyo; akini sasa mmeashwa mkafanya watakatifu, na kupatanishwa na Mungu kwa jina la Bwana Yesu Kristo na kwa Roho wa Mungu wetu (JKV).
Nilazima utakazwe na Kristo Mungu kwa mnajili ya kazi wa Mungu (2Timetheo 2:21).
2 Timotheo 2:21 Basi kama mtu atalitakasa kwa kujitenga mbali na mambo hayo yote maovu atakuwa chombo cha matumizi ya pekee, kwa sababu amewekwa wakfu, anamfaa Bwana wake na yupo tayari kwa kila kazi njema. (RSV)
Waibrania 9:14 Lakini kwa damu ya Kristo mambo makuu zaidi hufanyika kwa nguvu za Roho mtakatifu wa milele Kristo alijitolea, mwenyewe dhahibu kamilifu kwa Mungu Damu yake itatutakasa dhamiri zetu kutokana na matunda yaletayo kifo, ili tupate kumtumikia Mungu aliye hai (RSV).
Tume zingirwa na damu ya kondoo na tunanyakuwa zote ambazo ni makubwa katika nchi.
Ufunuo 7:13-17 Mmoja wa hao wazee akaniziliza ``Hawa waliovaa mavazi meupe ni watu gani? Na wametoka wapi?’’ 14 Nani nikamjibu ``mheshimiwa, wew ni wajua‘’ Naye akaniambia ``Hawa ni wale waliopita salama katika ule udhalimu mkuu, waliyosha mavazi yao katika damu ya mwana kondoo, ya kawa meupe kabisa. 15 Ndiyo maana wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Hamtumikia Mungu mchana na usiku katika Hekalu lake; naye aketiye juu. 16 ya kiti cha enzi atatandaza hema lake juu ya kiti cha enzi 16 Hawataona tena njaa wala kiu; jua wala joto kali halitwachoma tena 17 kwa sababu mwana kondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atakuwa mchungaji wao; naye atawaongoza kwenye chemichemi za maji ya uzima. Naye Mungu atayafuta machozi yote machoni mwao’’ (RSV).
Kristo alifanya haya matoleo mara moja na la milele kamilifu na utakaso (cf. Waibrania 13:12-21).
Waibrania 10:10-14 kwa kuwa Yesu Kristo alitimiza mapenzi ya Mungu sisi tunatakazwa dhambi zetu kwa ile dhabihu ya mwili wake aliyotowa mara moja tu, ikatosha 11 Kila kuhani myahudi hutowa huduma yake ya ibada ya kila siku na kutoa dhabihu zili mara nyingi, dhabihi ambazo haziwezi kuondolea dhambi 12 lakini Kristo alitowa dhabihu moja kwa ajili yetu ya dhambidhabihu ifaayo milele, kisha akaketi upande wa kulia wa Mungu. 13 Hako anangoja mpaka adui zake watakapowekwa kama kibao chini ya miguu yake 14 Basi kwa dhabihu yake moja, amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wanaotokaswa dhambi zao. (RSV)
Ndipo matoleo ya dhabihu, na kupitia katika huduma ya kuomba kwa Roho la dhabihu na matoleo ambayo yana waza kupelekwa na wakuhani na matoleo.
Ufunuo 5:8-10 Mara tu alipokwisha twaa hicho kitabu, vile viumbe vine hai pamoja na wale wazee ishirini na wanne walianguka kifudifudi mbele ya mwana kondoo. Kila mmoja alikuwa na kinubi na bakuli za Dhabihu zilizojaa ubani, ambao ni sala za watu wa Mungu. 9 Basi wakaimba wimbo huu mpya ``wewe unastahili kukitwaa hicho kitabu na kuivunja mihuri yake. Kwa sababu wewe emechinjwa na kwa damu yako umemnunulia Mungu watu kutoka katika kila kabila, lugha jamii nataifa. 10 Wewe umewafanya wawe ufalme wa wakuhani wamtumikia Mungu wetu nao watawala dunia’’. (RSV)
Sasa njia ya utakaso wa Kanisa nilamuhimu na kulichkuwa sehemu ya kanisa, sababu kila mtu lazima alielewe kulitowa maisha yeye mwenyewe kuingia kwa Roho mtakatifuna kulichukuwa sehemu ya mwili na damu wa Kristo, tena jukumu yetu ni kujitakasa wale ambao wako katika erra na awana nguvu na hekima na imani na kulichukuwa njia yao wao wenyewe.
Siku saba za mwezi wa kwanza za sikuku ya pasaka ni siku za mikate isiochachwa. Kitu cha kwanza, hata hivyo jukumu ya mtu mwenyewe na huduma sikuku ya mkate isiochachwa lina sanywa kuwa jukumu wa Kanisa kama dhehebu na kulifanyakama kanisa la Mungu.
Hii siku liliachwa samani kwa muda mwingi kuwa ufufuo wa siku hizo na kulifanya siku hiyo katika mpango wa Mungu na njia ya kuabudu.
q