Makanisa Ya Kikristo ya Mungu

[243]

 

 

 

Kuwepo Kwa Yesu Kristo

 

(Edition 2.1 19980404-19980822)

 

Wana wa unitaria walikataa kuwepo kwa Yesu kristo kwa roho wakisema kwamba kukuwa kwake kulitokeana kwamba kukuwa kwake kulitokana na kuzaliwa kwake na Mariamu. Wana wa Binitaria wanatafuta kusoma kwapo kwa wawili wa Mungu. Wa Dithi wanasema kwaba kuna Miungu miwili kwanzia zamani. Wengine wanaruka kutoka kwa Binitaria hadi Dithi bila kujua haya mambo mawili msimamiwa Bibilia ni upi?

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

Email: secretary@ccg.org

 

(Copyright ã  1998  Wade Cox)

(Tr. 2008)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


 

Kuwepo Kwa Yesu Kristo




Bali la kwepo kwa Yesu kristo limegawanywa kwa mambo mawili. Moja ni swali la kuwepo kama na kuwa na Mungu kwanzia mwanzo ya uimbaji kwa njia ingine utofauti ni kwamba alikwepo kabla ya uumbaji wa kiroho. Uapande mwingine ni kwamba kristo alikuwepo kama na kwa roho kabla ya kuwa kama binadamu. Karatasi hili linahusu maneno kwamba kristo alikwepo kabla ya uumbaji wa kimwili lakini hakuwa Mungu mwenyewe.

 

Bibilia ni wazi kwamba kulikuwa na Mungu moja pekee wa ukweli na alimtuma Yesu kristo (Jn 17:3). Bibilia tena inasema kwamba binadamu hajamwona Mungu na hatamwona, na kwamba anaishi Penye huru ambapo binadamu hawezi akatikia. Yeye mwenyewe sio binadamu (Timotheonya kwanza 6:16). Hili limwtiwa hapa chini. Kwa njia hii, kristo hakuepo kama Mungu. Mungu alikuwepo mwenyewe kwa njia zake. Isibishe, Bibilia ni wazi kwamba kristo alikuwepo kama roho kabla ya msingi wa dunia.

 

Mtume Yohana aliandika kuhusu kristo na akasema kwa njia ya hadithi, kwepo kwake.

Yohana 1:1 inasemwa na wa Trinitaria kama: Mwanzo kulikuwa na neno, na neno ilikuwa na Mungu, na nenoilikuwa Mungu.

 

Tunajua hii kama sio kweli kutoka pashita na lile maandishi ya zamani yalitumika. Pashitta inaonyesha ni hivyo ingawa utafisiri wa lamsa inajaribu kuiweka kama ya Trinitaria ambayo inasema: Ulimwengu ulikuwa hapo mwanzo na neno alikuwa na Mungu na Mungu alikuwa ni neno.

 

Hii inaonyesha utofauti ya maandiko ya siku hizi. Agamo jipya ya konstand inaonyesha maana ya maandiko yao kutoka Ugiriki. Maandishi kamili ni wazi na yale ya kiengereza ni yakawaida.

Hii inaonyesa tofauti wa neno na ulinganisho. Bibilia ya The Concordant Literal New Testament inaonyesa maana kamili ya neno na ulinganisho kutokana na Wagiriki.Maneno kamili yamo kwa herufi kubwa; na neno ambazo yapatanisha Kigeresha yamo kawaida.

Katika mwanzo kulikuwa Neno na neno ilielekea Mungu, na Mungu ndyo ilikuwa neno. Hii ilikuwa mwanzo kuelekea Mungu.

 

Vungu hii linaongea kwa usiano na ukaribu wa umoja wa Yesu Kristo kwa Mungu. Vungu hii inaendelea kwenye Yohana 1:2.

 

Yote alikuwa hai kumpitia, na pasipo yeye si hata kitu kimoja ambao ni hai lingekuwa ambao sasa hipo.

 

Hapo mwanzo kulikuwa na neno na neno lilimlekea Mungu na Mungu alikuwa neno. Hi ilikuwa mwanzokuelekea Mungu.

 

Andiko hili linahusiano wa Yesu kristo na hakuna hata kimoja ambalo kingekwepo ambacho kiko.

 

Maanake andiko la kwanza linaongea kuhusu logos kama neno.katika wakati wa Bibilia, waliyaita Mumra; logos ilikuwa Ugiriki na Mamra Hibrania ya Nono Mungu vile ilipojulikana na agano ya kale.

 

Wa Unitari waliokataa kuwepo kwa Kristo kabla ya mariamu walisema huyo sio kristo bali ni mfano wa uwezo wa Mungu kupitia binadamu na maneno yake.

 

Yohana moja inafafanua andiko hili kuwa undani, ambayo ilijumuisha utafsiri huu. Yohana alinena kwa Yohana mbatizaji iliyoka                                                                  

 

Yohana Sura 1 ingawa, inanena kwa hii kwa hundani, ambao inawesha kutowa tafsiri hii.

 

Yohana aliongea juu ya Yohana mbatisaji (kusemwa tena katika Bibilia ya Concordant Literal New Testament vungu) kwenye Testament text) from Yohana 1:6-14.

 

Kulikuweko na mtu aliambiwa na Mungu na jina lake ni Yohana. Hili alikuja kama ushuda kwamba atakuwa akishudia nuru kwamba wote wataamini kupitia nuru. Yeye hakuwa nuru lakini alikuja hili ashudie nuru. Ilikuwa nuru wa ukweli ambayo itamulika kila mtu aliyekuwepo ulimwenguni.

 

Ulimwenguni alikuwepo, na ulimwenguni ulikujia kupitia, lakini ulimwengu hakumjua. Mwenyewe alikuja na wale walikuwa wake hawakumkubali. Ingawa yeyote ambaye amepokea kwao atawapa haki ya kuwa wana wa Mungu, na wale watumania jina lake, waliopokea, sio wa damu ama kwa matakwa yao ya kimwili ama ya kibinadamu, lakini kwa nehema wa Mungu. Na neno lilikuwa mwili na mashabiu dhidi yetiu na tulitazama kwa mbali wana wake. Utukufu wa kipekee kutoka kwa Baba. Uliojaa nehema na ukweli.

 

Neno ilikuwa nyama na kuwa hema kati yetu. Tuta angazia hii hapa chini.

 

Hakuna kitu kishcho sawa kama (k.m. a) Ugirikini lazima itolewe na kutumiwa. Hili ni shida katika Yohana 1:1 watafsiri wengi wanaiona katika Yohana 1:1 na kuitafsiri kwamba neno lilkuwa Mungu. Maoni haya yana umuhimu kama tutakayona kutoka Yohana 1:18 na vitabu vingine. Kwa njia yeyote Yohana 1:1 sio kweli vile tunavyoiona. Utafsiri sawa ni ule unaoushisha kuelekeza na sio ilikuwa inayofundishwa na wa Trinitaria.

 

Herufi kubwa hapa ya Yeye n.t .ni A.E. Knoch’s maongezo ya herufi kubwa na sasa hakuna kutoelewana hapo na sio raisi. Vungu imenakiliwa na kubaki.

 

Matimizi ya ukubwa wa YEYE ni maongozo ya Enoka kwani za kale zilikuwa kwa ukubwa.

 

Wa unitaria walijaribu kuweka andiko hili kama mfano wa nguvu Mungu kukuwa mwili ya mwili na hili ni makosa kubwa.

 

Yohana mbatizaji alinena kumuhusu Yesu kuja kabla yake. kulikuwa na madiliko kwa maandishi ya kale ya Ugiriki.

 

Yohana mbatisaji aliongea juu ya Yesu Kristo kama aliye kuja mbele yake. Kuna mbinu lingine ya andiko lakale ya Wagiriki Receptus au Kupokelewa ya kutengeza, na kama KJV jinsi tunavyoona kwa vungu hili.

 

Yohana 1:15-18 ni kwamba Yohana alikuwa mnenaji wake, na alilia akisema. Huyu ndiye niliyemnena, anayekuja nyuma yangu na anazidi; kwani alikuwa kabla mimi iliona kwa nahema wake tumepokea nehema, na andiko ulipewa kwa musa, lakini nehema na ukweli yalikuja kwa Yesu Kristo. 18 Hakuna mwenye amemwona Mungu kwa wakati wowote na hivyo, mwanake wa pekee ambayo anakaa chini ya Baba, amemuhesabu (KJV).

 

Yohana anasema kwa uwazi kuwamba Yesu alikuwa kabala yake, kwa hivyo ananene kuhusu kwepo ambayo ilikuwa kama Mungu Elohim ama Thesi vile tunavyojua kutoka maandiko za kale.

 

Yohana alinena kuhusu yeye akilia akisema Ndiye huyu niliyewambia. “Anayekuja nyuma yangu, na amekuja kuwa mbele yangu, kwani alikuwa kwanza kabla mimi,” kwa yale yanayomjuza wanapokea neama. Kwa torati kupitia Musa iliotolewa; nehema na ukweli kupitia Yesu Kristo. Hakuna mwenye amemwona Mungu. Ni Mungu wa kipekee ambaye nakaa chini ya baba anaye na mamlaka.

 

Vungu hapa inaonyesha kuwa vungu kulingana na Yohana kusema Kristo mbele yake. Vungu kwenye Yohana 1:18 na monogenes theos kumaanisha Mzaliwa pekee wa Mungu na hii imetokana na Marshall’s Greek English Interlinear. (Na tena inaonekana kwenye Aramaic wa Peshitta). Dr Hort aliandika maana kamili ya hiki monogenes theos (kwa Monogenes Theos kwa andiko na tamaduni; cf. tena nakala On Immortality (No. 165). Kuna ushaidi wa Kutosha kuwa maana hii ni sawa. Ni kuwa alijachukuliwa ya maana na Wakristo wa juu na wana Binitarians ambao wana jaribu kuaribu vungu hilo.

 

Andiko hili linaongea kuhusu vile Yohana alinena kuhusu Yesu kuwa kabla yake. Kutoka Yohana 1:18 inamaanisha Mungu aliyezaliwa. Daktari Hort ameandika matokeo ya maneno hay. Hili ni hakikisho kwamba andiko hilo na kweli. Inakatikiwa na Wakristo wakuu na wana wa Binitaria ambao wanakataa maandishi haya.

 

Waefeso 3:9 inawezatumiwa kueleza hili.

 

Waefeso 3:9 na kufanya kila mtu kuona huduma ya mkuu ambao kwanzia mwanzo wa ulimwengu  ulifichwa  kwa Mungu, ambayo aliumba kila kitu kwa Yesu kristo.

 

Isipo kuwa maneno kwa yesu kristo hayapo kwa andiko ya kale, na baadaye yamewekwa kuwa KJV kutoka Receptus na hayatokea katika Bibilia zingine (Tazama jambo hii kwenye v.9 wa Companion Bible).

 

Wahibrania 1:1 kwa KJV Inaangazia pia vumbaji wa Ulimwengu kwa kristo.

 

Wahibrania 1:1-2 Mungu, kwa njia ya muumbaji aliongea kwa nyakati za kale na wanabii, 2 Kwa siku hizi za mwisho ameongea nasi kwa mwanake, aliyemchagua kiongozi wa vitu vyote abaye kumpitia, aliumba ulimwengu.

 

Andiko hili limetafsiriwa ilivyo kwani neno ni aion kumaanisha miaka na sio maulimwengu vile kiengerea cha KJV inavyosema  (cf. Companion Bible jambo wa v.2). Kristo aliwekwa chini ya malaika, lakini haikuwa hivyo Wahibrania 2:17 inaonyesha aliwekwa kama wandugu wake ili awe na huruma na ukweli.

 

Mesia alisema kuwepo kwake kwa maadiko mengi.

 

Kwa Yohana 5:37 tunaoan Baba alimtuma Kristo na kristo alisema kwamba hakuna mwanaume yeyote amabye amemwona Mungu ama mwanaume yeyote ambaye amemwona Mungu ama kusikia sauti yake yeyote. Sasa wanenaji wawili wa Yohana walisema kwamba hakuna mwenye amemwona Mungu, lakini neno Elohim imetumika kwa aliyekuwa na aliyeongea kwa Patriak na wanabi wa agano ya kale kama huyu hakuwa na Mungu wa ukweli. Sasa alikuwa nani?

 

Tutaona kwamba angekuwa kristo pekee, alkini aliitwa, mara mingi na kuwekwa wazi katika agano ya kale kwamaba malaika wa Yehova na sisi tutapata ushaidi kwa agano jipya wa andiko hili.

 

Kuna jinsi lingine ya Kutumwa ambao linataka mtihani.

 

Yohana 13:3 Yesu akijua kuwa Baba ameweka vitu zote mkononi mwake, na kuwa alikuja kutoka kwa Mungu, na kurudi kwa mungu; (KJV).

 

Mariamu wana wa kweli. Haya yameingizwa katika makanisa ya Wakristo kama kisasa, kutoka ushiriki wa Bingu. Wanyenyekevu wa ushiriki huo mwanzo walichukulia Baba na mwana kama vipande vya Mungu. Hii ilitolewa kwa Warumi lakini kwa Bibilia hakuwa katika miaka ya tatu na nne, makuhani wa Attis kule Roma walilalamika kwamaba ukristo uliangukuliwa vita vyake.

Hapa maana Kutoka kwa Mungu na kuwa kama ya mwana wa kipeke kama Zygote kwa mimba ya Mariamu kupitia Unitarians wa Ajabu. Kwa kinaga, Binitarians unasema kuwa ni tofauti na Mungu. Na mawazo hii limeingia Kanisani wa leo kiasili kwa Modani, kutoka kwa habudu wa mungu Attis. Jini ys kuhabudu Attis asili inachukua sehemu ya Baba na Mwana kufanya kazi kwa Mungu moja. Funzo hii ulichukuliwa kama modani katika Roma lakini ilikuwa kinyume na Bibilia na ilichukiwa kuwa kama Binitarianism kutoka kwa Baraza wa Nicaea kwa 325 CE na tena Trinitarianism kwa 381 CE kutoka Constantinople.Kwa karne ya tatu nay a nne kuhani wa Attis katika Roma walikuwa wakinungunika kuwa Ukristo ulihiba funzo (tazana nakala The Origins of Christmas and Easter (No. 235)).

Yohana 12:44 inaonyesha kristo alitumwa na Mungu.

Yohana 12:44 Yesu alilia akisema kwamba amenitumainia, sio kwake lakini yule aliyetumwa (KJV).

 

Hii ni kumaanisha utofauti wa unitaria walisema kutoka kwa mamba. Wengine  wanatofautiana wakijaribu kusema kwamaba Mungu wa kweli anasema kuwepo kwa watu wawili, Mmoja nyakazi wa mwingine. Lakini yohana 3:17 inaonyesha kwamba alitumwa ulimwenguni na Baba kwa hivyo inaonysha kuwepo.

 

Yohana 3:17 kwa Mungu hakutuma mwanake ulimwenguni ili apate kuhukumu ulimwengu; lakini ili ulimwengu kupitia upate ukombozi.

 

Haya maandishi ya tuma yanatakikana ya chungu kwa Ugiriki. Nuno ni SGD 649 apostello maanake ni kutuma Sehemu ama kutumana ili atekeleza jambo.

 

Haya maandishi yalionyesha matendo ya Mungu kwa uwanja wa Binadamu. Uasawa wa kristo ulikuwa mpango wa Mungu katika kazi zake za ukombozi.

Siri wa dachi kime unganizwa na kwa maneno ya Concordant Literal New Testament. Neno SGD 3992 pempo pia imeunganishwa kwa vungu kumaanisha kudachi. Maana kutokana na iliyotumiwa ni dachi kwa amri kwa moyo wa lazima na haraka.

Kuna maandiko mengine ambayo yanaanguzia kuwepo kwa kristo na Uhusiano wake. Mfano ni Wafilipo 2:5-7.

 

Wafilipo 2:5-7 kuweni na mioyo hii kati yenu, ambayo ni yenu kwa kristo Yesu, ambaye ingawa alikuwakatika mfano wa Mungu, hakujiesabu sawa na Mungu, kitu cha kutami niwa, 7 lakini alijitolea, kachukuwa mfano wa mjakazi, kuzaliwa kwa mfano wa binanadamu na kupatikana kwa mafano wa Binadamu alinyenyekea hadi kifo, hata kifo msalabani. Sasa Mungu alimwinua juu zaidi na kumbatika jina ambalo ni kumbwa kuzidi majina yote, kwani kwa jina Yesu kila goti utapigwa chini, kwa mbingu na ulimwengu na hata chini ya ulimwengu.

 

Haya yamefafanuliwa maana kutoka Hibrania. Ni wazi kwamba Kristo alikuwa katika mfano wa Mungu lakini hakutikiri sawa na Mungu, ama kunyakua kwa nguvu ille shetani alifanya. Alinyenyekea, kuwa binadamu na kuteswa hadi kifo msalabani. Hili ni onyesho wazi wa kuwepo kwa kristo.

 

Vungu hii inatowa maana ya vungu ya Waebrania .Hii ni maana sawa kuwa Kristo alikuwa kwa mfano au morphe wa Mungu lakini hakufikiria kama Mungu haikuwa kitu ya kushikamana, au kuchukuwa kwa nguvu, kama shetani alijaribu (cf. Isaya 14:12-14 na Ezakieli 28:6-15). Na baadaye alitulia (au kuwa bure) mwenyewe kuwa binadamu, na kutesheka kifo ata wa msalaba (tazama nakala The Cross: Its Origin and Significance (No. 39)). Vungu ni wazi kwa kuwepo wa Kristo.Vungu lingine ambao ni wazi ni Yohana 17:5. 

 

Yohana 17:5 na sasa, O Baba, unitukuzi kwake mwenyewe na utukufu nilioupata kwako kabla ya ulimwengu kuumbwa.

 

Yamaanisha kristo alikuw kwa utukufu kabla ya ulimwengu. Alikuwa na usawa kama wana wa Mungu waliokuwepo wakati wa Uumbaji.

 

Ayubu 38:4-7 Mlikuwa wapi ilipofanya msingi wa Ulimwengu? Semeni mkiwa na ujuzi, 5 nami alikuwa na kipimo kama mnajua? ama nami aliweka laini juu yake? 6 Wapi ambapo msingi umekezwa? Ama nani aliweka msingi juu yake? Nyota a asubuhi yakuimba pamoja, na wana wa Mungu wote wakimba kwa furaha? (KJV)

 

Tunajua kuwa Shetani ndio mwenye mwangaza au Nyota ya Asubuhi wa sayari na tunajua kuwa Kristo alihuridhi kama Nyota ya asubuhi. Vungu unaonyesa maana ya kuwepo katika kiwango na haya viumbe (cf. nakala Lucifer: Light Bearer and Morning Star (No. 223)).

 

Tunajua shetani ndiye nyota ya asubuhi ya ulimwengu lakini tuna fahamu kristo atamshinda na kuwa nyota hilo.

 

Kristo alinena; nilimwona shetani akianguka kama nyota kutoka mbingu (Luka 10:18). Sasa alifanya ama hakufanya na kumwona akianguka. Hakuwa amenda mbinguni kwani hakuwa ameaga, bali kufufua. Isaya na Ezakieli waliandika katika kazi zao. Kristo kama hangekuwa hangeuona shetani akianguka, ilifanyika kutoka majaribio jangwani lakini inaonyesha yakwamba ilikuwa nyakati za kale (Isa 14:12). Hii inaweza kutowa fikira wa Kristo na kuwepo. Manna hii kuwa pamoja na Ufalme wa Babiloni kama binadamu, kama waomba msamaha wa siku hizi, na kwepo wa nguvu la Unabii.

 

Kristo pia ndiye mfalme wa sabato. Maandishi haya alitupea katika torati.

 

Mathayo 12:8 Kwa maana mwana wabinadamu ndio Bwana wa hata wa siku ya Sabato (KJV).

 

Kutoka kwa vifungu haya, tunaona ya kuwa kuwepo na hekima wa Baba.

 

Mathayo 11:27 nimepewa vitu vyote na Babayangu na hakuna mwingine anafahamu mwana, ila ni Baba na hakuna mwingine anamfahamu Baba, ila ni mwana, na kwa yeyote mwana atamueleza Baba (KJV).

 

Haya pia yanaonyesha kuwepo kwa kristo vile tumeona kutoka Yohana 17:24.

 

Kristo anaonyesha katika agano jipya kuwa usawa na nyota ya asubuhi wa malaika kutoka watume. Wafume 7, tunaona kuwa, malaika wa Mungu aliyekuwa na Mungu msituni (Watume 7:30, 35-39).

 

Kristo pia ndiye mfalme wa sabato. Maandishi haya alitupea katika torati.

 

Kutoka andiko hili, stephani anamwona kristo kama malaika wa Mungu kule Sinai na kanisa kule mstuni.

 

Maandiko ya mkono wa kulia wa mungu katika kutoka 15:6 ni kwamba kristo ndiye malaika wa Yehova katika agano ya kale. Tunaona kuwa kristo anakaa mkononi wa kulia wa Mungu.

 

Maneno ya Isaya 9:6 inaonyesha wazi kwamba malaika wa ushawishi mkubwa na agano jipya linaanguzia andiko hili na kristo.

 

Paulo anasema kuwa alipokelewa kama malaika wa Munga hata kama Yesu Krsito (Wagalatia 4:14).

 

Paulo ananene kwa uwazi kuwa kristo alikuwa jangwani na wana wa Israeli tangu kutoka.

 

Wakoritho wa kwnza 10:1-4 wandugu, sikutaka kwamba aje njinga, lakini kwamaba Baba zetu walikuwa chini ya mawnigu, na wote walipitia baharini, 2 Na walibatizwa na Musa kupitia mawingu na kwa bahari; 3 Na wote walikuwa chama cha kiroho: kwani walikunywa kwa kinywaji moja wa kiroho: kwani walikunywa kutoka kwa jiwe la kiroho iliyowafuata: na mwaba huo ulikuwa Kristo. (KJV).

 

Kusema kwamba kristo alikuwa kwa mawazo ya Mungu pokea; inaenda kinyume ya Bibilia Ayubu 33:23-26 inalekeza malaika wa elf moja waliokuwa watu.

 

Ayubu 33:23-26 kutakuwa na mtumwa nay eye, mkalimani, moja juu ya elfu moja, atakayoshona kwa binadamu ukweli wale: 24 Yeye ni wa huruma na ansema, “mkombea kutoka kwa shimo, nimepata kisasi. Maili wake utakuwa sati kuzidi ya motto: Atarudi kwa siku zake za ujana: 26 Atamwomba Mungu, na atakuwa mwaminifu wake Na ataona uso wake kwa furaha, kwani atawapa binadamu nwhwma wake. (KJV)

 

Kwa mara nyingi, inabadilishwa na njia hii ni Kristo pekee ndiye mshauri mkuona fidia.

 

Ayubu 33:23-26 kama kungekuwa malaika kwake, mshauri mkuu, mmoja wa elfu, kumwambia kwa binadamu kile ambacho ni muhimu kwake, na aje rehema kwake, na kusema, amkomboe kutoka shimoni, nimepata fidia; wachilia mwili wake uwe wake kwa vijana. Mwacha arudi kwa masiku ya ujana wake kwa nguvu; halafu mwanadamu kumwabudu Mungu na kumkubali na kuja mbele yake kwa furaha atawahesabia binadamu wokuvu wake (RSV)

 

Mwanzo 48:15-16 pia inahusu Elohim ama Mungu wa Yakobo kama malaika wa ukombozi.

 

Mwanzo 48:15-16 Alimbariki Yesufu na akasema Mungu ambaye mbeleni mwake baba zangu Abrahamu ni Isaka walitembea, Mungu aliye nilisha maishani mwangu wote hadi siku huu. 16 malika walionikomboa kutoka kwa shetani, uwabariki; na uwachilie jina langu wapew, na majibu ya baba zangu, Abrahamu na Isaka na kukawe umati mkubwa katikati ya dunia (KJV).

 

Kazi ya ukombozi ndio malengo ya kristo Mesia ndiye mgombeaji wa kazi hii. Mesia sas atakwepo kama malika wa ukombozi na Elohim wa Yakobo ama Israeli (cf zab 45:6-7) na (wahibrania 1:8-9). Kwa yeyote ambaye Elohi alikuwepo sio Eloah katika mwanzo 7:16, tunaona kuwa Elohim alimwangiza Musa. Pia Yehova alimfungia Noah na familia yake katika safina. Ilikuwa Yehova Elohim aliyeongea na Adamu katika mwazo 3:8.

 

Kumbukumbu la Torati 32:8-9 Wakati Mungu aliyejuu alipoyagawanya mataifa na waridhi wao, alipogawanyawana wa Adamu, alituma uhusiano wa watu kulingana na namabari ya wana wa Israeli.9 kwani kipande cha Mungu ni watu wake; Yakobo alikabiliwa Urithi. (KJV)

 

Wa Septuagint (LXX), Dead sea Scrolls (DSS) na Waraka wa kwanza wa Clement inaonyesha kuwa ilikuwa asili kulingana na mwana wa Mungu, kutowa malaika wa Mungu kwa Giriki. RSV inaonyesha vungu la kale kupita kama:

 

Kumbu Kumbu la Torati 32:8-9 Kama Mkuu wa Juu ana wapa watu uridhi yao, kama wana wapotefu wa wanadamu, ana weka upatanisho wa watu kulingana na nambari wa wana wa Mungu. 9 Kwa maana sehemu ya Mungu ni watu wake, Yakobo ni wake wa kipeke. (RSV)

 

Mungu hapa kutoka Wahibrania ni Yehova na alipewa kipande cha Israeli na Mungu aliyejuu Tumegundua bila shaka kwamba Agano jipya inashikilia kutoka neno la kristo na watume kutoka Yohana mbatizaji kuelekea kwamba Kristo kuwepo. Alisema (Yohana 8:58) kabla ya Abrahamu kuwe yeye. Hii ilikuwa ni hakikisha la kuwepo kwake. Pia ilichukuliwa kuwa hakikisho  lake la utukufu wake. Alikuwa Mungu ama malaika ama alikuwa Mungu pamoja na malaika? Jibu la swali hili ni kwamba alikuwa pamoja na malika. Alikuwa mwana wa Mungu ambaye kwake wengi walitayarisha chini ya Nyota wa asubuhi (Ayubu 1:6; 2:1; 38:4-7).

 

Ilhali, tunajua maandiko mengine ni wa Trinitaria. Mifano n Timothy ya kwanza 3:16; Yohana ya kwanza 5:7 na pia maandiko ya kale ya Alpha na Omega katika ufunuo (cf. nakala Arche of the Creation of God as Alpha and Omega (No. 229) na jambo wa kivungu ni Bibilia ya umoja).

 

Tunajua kutoka agano ya kale kwamba Mungu wa Juu mbinguni alikuwa Mungu wa kweli aliitwa Jehova wa Miungu. Alijulikana kama Eloah. Eloah ilikuwa jina la umoja wa Mungu kwa wahibrania ambayo haikuwa na wingi. Tunajua kwamba Eloah, kama umoja wa wa Mungu ilikuwa ni kiumbe cha kuabudu katika hekalu kutoka Ayubu 33:26 tutaona Eloah ilikuwa kiumbe cha maombi. Utofauti huu ulionekena kama muhimu katika nyakati za ukombozi wa Ezra na nehema kitabu cha Ezra inahuzunika kuongesha kazi na pahala pa Mungu kwa Bibilia. Jina la Mungu moja wa ukweli ni Eloah na hili ndio jina ambalo alijulikana nalo wakati vitabu vitano vya kwanza vya Bibilia.

 

Methali hongesha kwamba jina la Mungu mmoja wa ukweli na Eloah na hili ndilo jina ambalo alijulikana nalo wakati vitabu vitano vya kwanza viliandikwa kama Eloah ni kupatikana kwa wingi katika Ayubu kuna uwezekano wa Ayubu kuandikwa na Musa kama vitabu vya kwanza vya Bibilia.

 

Methali huonyesha kwamba jina la Mungu mmoja wa ukweli ni Eloah kwa methali 30:4-5. inauliza swali ambalo haliitaji jibu kuhusu jina na inamfanya mwana kama tofauti na andiko hili.

 

Ezra anaonyesha Eloah ni Mungu wa hakalu. Kutoka Ezra 4:23 hadi Ezra 7:26 tuataona kazi na uhusiano wa Mungu na hekalu yake. Hekalu ni nyumba ya Eloah sio Elohim. Elohim ni Nyumba ya Eloah na hili ndilo kazi na mfano unaosimamia hekalu (cf. koritho wa kwanza 3:17) Wanabii waliotoa unabii kwa jina la Eloah wa Israeli (Ezra 5:1) Zerubbabel alinuka na akajenga nyumba ya Eloah na wanabii wa Eloah wakimsaidia (Ezra 5:2) yeye ni Eloah mkuu (Ezra 5:8) Ni Eloah wa bingu na ulimwengu na sisi ni waje kazi wake (Ezra 5:11) Baba Zetu Walimkasirisha Eloah (Ezra 5:12).

 

Vyombo ni Vile ambavyo iko nyumba ya Eloah (Ezra 5:14) ambayo iko Jeru salama (Ezra 5:15, 17;6:3) vyombo vya hekalu ya solomoni vilikuwa pia vile vya Eloan na vilichukuliwa na Nebukadineza na alihifadhi hadi hekalu ya pili (Ezra 6:5) iliyojengwa pahala pake (Ezra 6:7) Mateleo ya kuchomwa yafanywa kwa Eloah wa binguni na wakuwani wake (Ezra 6:9-10). Eloah alitaja jina lake kuhishi pale (Ezra 6:12) kutoka Ezra 6:13-22) tuanaona nyumba ya Eloah ilijengwa kwake. Mashekeha ya mikate ilihatija hapo kwake na wakuhani waliweka kando kipande ili kumtumikia ilivyoandikwa kwa kitabu cha Musa (Ezra 6:18) walinihifadhi pasaka kwa siku ya kumi na nne wa mwezi wa kwanza (Ezra 6:19). Torati ni la Eloah Ezra 7:14) na Ezra alikuwa mwandishi wa torati wa Eloah (Ezra 7:12) Matoleo na Maombi ni ya Eloah (Ezra 7:14-16).

 

Ni nia yake, nia ya Eloah ambayo inadumu (Ezra 7:18 kama Eloah wa binguni (Ezra 7:21). Mahikimu wamewekwa kwa jina lake na wanatoa hukumu kwa Toarati lake na wale ambao hawakuhsshimu anawachilia hukumu wake juu yao haraka (Ezra 7:25-26) kwa sababu hii wale wanafanya kwa jina lake kama mahakimu kwa kiroho ama kimwili wanaitwa Elohim kwani wake wengi wanaofanya njia ya matakwa ya Eloah. Imeandikwa Hamtafafanua majina ya miungu (Elohim) ama kiongozi wa watu wako (kutoka 22:28).

 

Andiko hili linatuonyesha uhusiano kati ya Eloah na Elohim. Yeye ni Baba na wote ni wanake (Ayubu 1:6; 2:1) pamoja na shetani. Ilikuwa kwa hili liposa Mikael hangefanya hukumu mkali dhidi ya shetani walipongangania mwili wa Musa lakini alisema; Mungu Akukanye (cf. Juda 9).

 

Majina Baba na wana ni uhusiano ya kuwa mmoja alitoka kw mwingine, ambayo ni umoja kwa uhusiano. Hii ilijulikana na ulimwengu wa kale. Uhusiano huu ni famiulia moja. Ndie sababu Mesia alitufanya alikuwa Baba wa milele kutoka kwa Isiah 9:6 kama malaika wa usawishi mkubwa (LXX) kuna ubaba na familia mingi binguni na ulimwenguni (Waefeso 3:15) ndio sababu Bibilia haijamanisha Mungu ni familia ya watu kama Elohim inavyosema. Usiano wa Bibilia umewekwa kwa familia na torati kutoka la kwanza hadi la kumi kama familia ya Mungu. Sisi sote tuna Baba mmoja na ni yeye aliye tuumba sote (Malachi 2:10).

 

Shema inatoa msimamo wake kwa Jehova Elohim. Mungu alisema na ilipewa Musa kuwa: mitakuwa kile ambacho nitakuwa (Kut 3:14) cf, Eban inakuwa Elohim. Anakuja yote kwa yote (waefeso 4:6) Haya pia yalionekana katika Kaldi; Eloah ni Elahh huko. Eloah ni Elohim wa karibu. Hii ni muhimu kwa kutubu ya kwanza wa imani wa Isalamu. Hakuna Allah (Eloah) lakini ni Allah (Eloah). Elohim yao, ilitoka kwa Eloah ambaye kwako binafsini Eloah mkuu wa binguni Eloyoni ama mkuu wa wakuu. Neno Allah imetumika kwa Islamu pekee kwa sababu haina uwingi, bila kristo na Elohim mkuu kutoka kwa Mungu moja.

 

Malaika wa Jehova alikuwa Elohim kuchaguliwa Eloah. Sisi sote tutakuwa Elohim na malaika wa jehova akawa vichwa vyetu (Zakaria 12:8). Hii ilijulikana kwa makanisa ya kale ndipo wake wakekubali kuwepo kwa kristo na kusema tutakuwa Thesi. Paulo alisema kuna Miungu Mingi ama thesi, na waheshimiwa wengi binguni na duniani (wakoritho wa kwanza 8:5). Kama wenyeji walioanguka, waliyowekwa duniani. Paulo aliposema haya alikuwa amezungumuzia malaika mkuu mwaminifu. Neno their ni wingi wa ugiriki wa Mungu.

 

Neno theoi ni mengi wa Giriki kwa neno theos au Mungu. Huyu ni Eloah /elohim sawa swa lakini kwa Wagiriki kuna shida lingine kwa msemo yao. Kuwa nakala kamili au kutoelewana ulikuja kwa kutumia wa Mungu na theos peke ilikuwa inatumiwa peke elohim, kwa jina Yesu Kristo au Shetani n.k (cf. Paulo alilinganisha shetani kama theos wa dunia hii kumaanisha elohim wa dunia (2Wakorintho 4:4). Maono kuwa kuna tofauti kati ya elohi na theos kulingana na Bibilia (tena ilituwe zote theoi) ulitokana na John hadi Polycarp, Polycrates na Mitume kwa Europe na Irenaeus (tazama nakala Early Theology of the Godhead (No. 127).

 

Kanisa alielewa maana hii wa umoja na ulinganisho umefanywa na matata na walioitwa Socinian kwa neno wa jambo 1851 Heydock Commentary kwa Douay Catholic Bible kwa upumshisho wa UK na wakigereza sana sana .Ha elohim peke au Ho theos ndiyo alikuwa Mungu wa kweli moja.

 

Hii ndiyo Eloah/Elohim lakini Ugiriki ilikuwa umoja wa Elohim, kama yesu kristo ama shetani. Nikutoka umoja wa Elohim ni umati ilivyo kwa Zaburi (cf. mipango katika maneno ya matumaini ya wakristo wa imani (No A1) CCG. 4th, 1996, pp 2-6, 12, 27 na pia karatasi Joshua Messia mwana wa Mungu (No 134).

 

Biblia ni wazi kuwa mjakazi Elohim wa Zaburi 45:6-7 alikuwa Yesu kristo (cf. wahibraania 1:8-9). Hosea ni wazi kuwa Elohim alikua malaika aliyepigana na Yakobo (Hos. 12:3-4) Nasi pia tunajua malaika huyu ni Elohim aliyejuu katika nyumba ya Daudi (Zak. 12:8) (cf. karatasi mchaguliwa kama Elohim (No. 1). Tunajua kwamba yeyeni Yehova na alitumwa kwa wana wa Israeli na Jehova wa miungu ambaye ni Mungu wa juu (cf. Zak 2:3-4).

 

Pai tunajua jehova wawili, mmoja ni mjakazi anayachaguliwa na mwingine na wote ni Elohim. Kutoka Zakaria 12:8 tunaona kuwa tutakuwa pai kwa Zaburi 82:6). Elohim ni wengi ilhali ni Eloah mmoja ambaye kutoka kwake eshim inakua, neno Elohim ni malaika wa Mungu ambaye alipigana na Yakobo ama Malika wa Uwepo aliyekuwa Elohim aliyenena na Abrahamu kwa kutoka 22:1-11. Pia tunajua Jehova ilitumika kwa zaidi ya mtu mmoja tutakavyoona kutoka masaliano wa Abrahamu kwa malaika waliokuja kupambana Sodom (kutoka 18:2), Hapa viumbe vitatu, kama binadamu kwa kiengereza, walikuwa Elohim. Andiko la wahibrania lianasema karibu naye.

 

Aliwakimbilia na kunena nao kama adone (kutoka 18:2-3; cf. Green’s Interlinear Bible). Bibilia inaonyesha kwa uwazi viumbe vili vitatu kama adoni ambalo ni neno Mungu kwa wengine (kutoka kwa sarahati Abrahamu). Wote walikuwa malaika bali sio Mungu ambaye ni Baba, ambaye hakuna yeye ambaye amemwona. Andiko la kale pia laonyesha wao wakiitwa kama Jehova kwa kutoka 18:27,30,32 ilikuwa tatu juu ya 134 kwa agano la kale ambapo sopherim alibadilisha ili lisomeke Adanai.

 

Mmoja wa viumbe hili alikuwa Yesu kristo na viwili vilikuwa viumbe vya kipekee. Hili vinajulikana kama jehova hivyo ni Elohim tutakavyo ona. Upangaji wote wa malaika wa Mungu anapatikana katika Malika wa YHVV (No. 24). Kwa hivyo kristo hakuwepo pekee, alikuwa Elohim ama Elohi wa Israeli, kama Jehova, mtumwa wa Jehovi ama Jehova wa miungu, Eloyn ama Mungu wa Juu. Huyu kuwa Mun gu mmoja wa kweli ni Elohim.

 

Shema umetumika visivyo kwani ni shema Isareli Jehova Elohena Jehova echat meno elohum umefanya kuwa Elohim na wa Trinitaria uma Binitaria, kwa maana Mengine imechukuliwa kumaanisha umoja badala ya kwanza, kumaanisha umija ama jumla kwa uhusiano na mambo mengi (cf. Ngumu HD No. 259, angalia tena nakala Joshua, the Messiah, the son of God (No. 134).

 

Ni wazi kwa Bibilia kuwa kuna Mungu mmoja wa kweli ambayo ni Mungu wa juu- mi Jehova wa miungu kama Jehova (SHD 3069) Jehova ni mjakazi wa Elohim wa Israeli amabayo ni malaika wa mungu.

 

Elohim ni wingi wa Matumizi ya Wana wa Mungu Kuendeleza kuwa Mungu kwa wanake. Kwa njuia hii tunakuwa Elohim lakini hatuwezi kuwa sawa na Eloah. Haya ni viumbe vitatu kama Jehova katika agano ya kale na kwa wakati huo, na hakuna mmoja wao aliyekuwa Eloah ama Mungu aliyejuu. Viumbe hili vitatu pia ni malaika wa kuaribu Sodoma.walipo ongeleshwa na Abrahamu na Lot, waliongeleshwa kama Jehova na waibrania. Walibadili maandiko katika kutoka 18:27,30,32 na 19:18,24 (na cha la 134 kwa jumla) kutoka Jehova hadi Adonai ili kuficha maana yakuwa kuna Jehova wengi. Malaika hawa waliogunduliwa kama Jehoha na Adonai, na Elohim na malaika wote kwa saa moja na wanabii kutoka 19:24 inaonyesha neno Jehova inatumika kwa Jehova ambapo inasema: Halafu Jehova alitawala juu ya sodoma na Gomora na moto wa Jehova kutoka binguni, ukweli wa Bibilia ni rahisi.

 

Kuna Mungu mmoja wa ukweli na ndiye alimtuma Yesu kristo (Johana 17:3) Mungu huyu wa ukweli ni wa kipekee Anaishi kwa nuru ambapo hakuna awezaye kumfikia. Hakuna mwenye amemwona ama awezaye kumwona, ama kusikia sauti yake kwa wakati wowote (Johana 1:18; 5:37, Timotheo yakwanza 6:16) mzaliwa wa kipekee wa Mungu alisema ilifuatilia hii ambapo kristo na watume walisema hakuwa na yeyote ambaye amemwona ama kumsikia Eloah (na kile kilichowatokea watume haingekuwa Eloah ama Mungu wa ukweli. Yule aitwaye Jehova –Elohim alivyonekan kwa watu na alitokea shamba la Edeni kuelikea (cf. The Doctrine of Original Sin Part I The Garden of Eden (No. 246)).

 

Na aliongea kwa wingi kwa Elohim inafuatilia ukweli mtupu kwamba kiumbe hiki haikugeuka Mungu wa juu (Elgon ama Eloah. Jina la Jehova –elohim imebeba wingi wa Elohim. Musa, Zaburi, kristo, johana na Paulo wangekuwa waongo, lazima kungekuwa na Elohim wengi.

 

Ilidhirishwa kwamba kristo alikuwa malaika wa uwepo aliyenena na Musa na aliyepeana torati kule Sinai. Alikuwa pia malaika kama Elohim aliyepigana na Yakobo na kumwokoa Haya kama Mungu anaye (cf Kut. 21:17; 16:17-) alikuwa malika wa ukombozi kwa kutoka 48:15-16 na fidia na mshauri wa Ayubu 33:23-26, kwa mfano huo, kiumbe hiki kilikuwa Mungu wa nyumba ya Mungu ama El Bethel. Pia maneno elohim, Atona na Jehova ni wingi na inasimamia wengi ambao siyo Mungu wa ukweli wanaoitwa malaika kama kristo sio mmoja wa viumbe hili, neno hilo liandhirishwa kwa wengi sio chache, haitawezekana kwa kristo kutokuwa mmoja wao wa malaika wa agano ya kale kama ushuda wa agano jipya.

 

Alitumwa na jehova wa miungu kuikomboa zayuni malika alipotoa hotuba hiyo kwa zakaria alisema yeye ndiye alitumwa na Mungu wa miungu kuikomboa Zayuni na ndiye alitumwa kwa mataifa kuziharibu. Kazi hii, kutoka ufunuo na injili iko kwa Messia. Huyu alinena chini ya maagizo ya Mungu wa miungu ingekuwa uwepo wa Messia ama kuna viumbe viwili waliopewa kazi hii ufunuo unajaribu kuipa Messia.

 

Nahodha wa miungu ama wa majeshi ya Mungu alinena na Joshua kwa sehemu tunapa kristo na kwa Hadithi ya kwangukia kwa Jericho hadi kurudi kwa Messia na kuifadhi mataifa chini ya mataifa tunauyaona katika ufunuo  (cf. nakala The Fall of Jericho (No. 142)).

 

Ndiye kifaa cha maombi ya hekalu kama Haelohim ama Elohim ama Mungu. Kristo siye Mungu mmoja wa ukweli. Ni kiumbe hiki, Eloah (Elahh kwa chaldia na Allah Wa Islamu) akisimama peke yake Bila chochote kuwa na yeye  (cf. karatasi Early theologyof the Godhead (No 127). Ha Elohim (Elohim) alikuwa Eloah. Alikuwa Mungu wa Messia kwani alimteua Messia na kumpaka kama Elohim na mafuta ya Juu dhidi ya wenzake (cf. zab 45:6-7; wahibrania 1:8-9) na kristo alikuwa mwaminifu kwa yule aliyeumba.

 

Kristo alikuwa sio kuwepo, alikuwa na ndio elohim au Elohi wa Israeli, kama Yahova, alitumiwa na Yahivih au Yahovah wa utukufu, Elyon au Mungu wa Juu. Kiumbe hii, ndio Mungu moja wa ukweli, ndio Eloah. Ndio chombo cha kuhabudu wa Hekalu kama HaElohim au Elohim au Mungu. Kristo sio Mungu moja wa Kweli. Umbo huu, Eloah (Elahh hadi Chaldean na Allah ‘h kwa Islam) alisimama peke kwa kama hakuna iliyo kuwa karibu nayeye hao kuwepo pande yake (cf. nakala Early Theology of the Godhead (No. 127). Ha Elohim (au Elohim) ndio Eloah. Alikuwa Mesia wa Mungu na kumteuwa kama Mesia and kumpaka kama elohim na mafuta hata mafuta ya furaha juu ya mwenzake (cf. Zaburi 45:6-7; Waebrania 1:8-9). Na Kristo alikuwa mwaminifu kwa aliye muumba (cf Waebrania 3:2 Marshall’s Greek English Interlinear RSV).

 

Andiko hili la msimamo wa kanisa ya kale imewekwa wazi katika maandishi ya Ultilas askofu wa Goths (341-381) Watu hawa walikuwa na imani hii kabla ya Nikae na imani hii ilishikiliwa kutoka makanisa ya kale hadi Johana hadi Irenaeus (cf. Against Heresies ANF vol. 1). Alinena tu yale ambaye Tomasi aliyesema.

 

Imani (381) ya Ulfilas, askofu wa 60th, 341-381

Creedi [381] wa Ulfilas, Bishop wa Goth, 341-81.

Mimi, Ulfilas, Bishop na mtubu, kila mara uamini, na kwa imani hii ya kweli natowa imani yangu na agano yangu mbele ya Bwana: Nimeamini kuna Mungu, Baba, hasiyesaliwa na aionekani, na nimeamini kwa mwana wake wa Kipekee, Bwana wetu na Mungu, Muumaba na mtunza wa kila viumbe, sio kuwa na mfano wake, sasa kuna Mungu Moja ya yote, ambao tena ni Mungu wa Mungu wetu- na kwa Roho mtakatifu, kwa mwangaza na utakasho wa nguvu (kama Kristo alivyo onya wanafunzi wake: ``Naam natuma ahadi wa Baba yangu kwenu; lakini nendeni kwa jiji la Yerusalemu mpaka mvaliwe na vazi wa nguvu la juu’’ Na tena; ``Na mtapata nguvu kuja kwenu kutoka kwa Roho mtakatifu ‘’) sio [Mfalme,lakini] unyenyekefu na heshima kwa kila kitu  kwa [Yeye] Mungu na Baba… kupitia Kristo …. Kwa Roho mtakatifu.- C.A.A. Scott ,Ulfilas ,109.

 

I, Ulfilas, askofu ameamini, kwa hiyo amani ya ukweli ninafanya maandishi yangu kwa Mungu. Ninaa mini kuna Mungu mmoja, Baba pekee na asiyeona kana, na ninaamini kwa mwanake wa kipekee, muumbaji na mtengenezaji wa viumbe, bila kuwa na uhusiano wowote naye – kuna Mungu mmoja wa wote, ambaye ni Mungu wa Mungu wetu- na kwa roho mtakatifu na kwa nguvu ya kusatisha (vile kristo anasema akiwaonya watume wake; kweli naituma ahadi ya Baba yangu kwen; lakini mkaoni mji wa Jerusalemu hadi muishwe na uwezo kutoka juu”na pai” Na mpokea uwezo kwenu kwa roho mtakatifu”) sio mfalme mjakazi na heshima kwa yote kwa Mungu na Baba-kupitia kristo-kwa Roho mtakatifu. - C.A.A. Scott, Ulfilas, 109

 

Kwa bahati mbaya shida ilikuwa pamoja na Imani hata hapa na Ulfilas alinakili Bibilia na kutoa kitabu wa Ufalme kwa sababu ilikuwa na vita nyingi (cf. B.Lehane, Early Celtic Christianity, Constable London, 1994, p.176).

 

Andiko hili linangizia maneno ya Zaburi 1:8-9. Ilichukuliwa na apologia wa kale kama Irenaus wa Lyon karne ya pili. Iliaminika na Goths, Vandalas, Alans, Sueli, Heruli, Britons, Lombarts, Germans na makabila yote ya kaskazini kuanzia mafundisho ya watume walikuwa wa kale-kabla ya pale ambapo waasokufu hawa walikuwa.

 

Imani hii imeshikamana nay a Theologia kutokana na Zaburi 45:6-7 na Waebrania 1:8-9. Ilichukuliwa na watoba wa kwanza kama Irenaeus kwa Lyons kwa karne ya pili. Theologia hii ilichukuliwa na Goth, Vandals, Alans, Suevi, Heruli, Britons, Lombards, Germans na kabila zote za magaribi kutoka kwa funzo wa theologian a kufunzwa kuwa mtume ambao walikuwa karne moja mbele ya baraza wa Nicaea wa 325 CE, ambao baadhi ya Bishop walikweko. Kichwa ya Binitaria ulitokana na baraza. Kwa 381 utatu ulisemwa kwa Constantinople kutoka kwa theologia wa Cappadocian Basil, Gregory wa Nyssa na Gregory wa Nazianzus. Kuaribu wa imani na wa Giriki na Roma kulianza kufanya kazi. Trinitarian kwa kosa na njia mbaya walipuuza imani kama Arianism kutowa jawabu kuwa funzo lao ni ya kale na funzo hii ulitokana na Arius kwa karne ya nne. Trinitarian knwa njia lingine walitowa mzaidizi wa funzo la Unitarian baada ya Arius (Arianism) na Eusebius wa Nicomedia (Eusebianism) na bishop wa hujusi mkuu kwa Arius (amabo alikuwa karibu hapo Nicaea, aliandikiwa kutowa maoni yake ya maana), wa kutuliza hilo Roho ilikuwa mwana kama kweli hiyo ndio funzo wa Filioque ya juu kutoka kwa baraza wa Toledo na Wakatholiki wenyewe kwa karne ya sita. Hata Wagiriki walipusia wazo hiyo. Watu ambao walitumia hilo wazo ni Arian ambao sio kawaida waminifu au hwaelewi mengi ya wanayo sema.

 

Watu wetu katika Kanisa wamechuluwa imani hii la kale kwa miaka elfu mbili na wengi wamekufa kwa imani hiyo na ukweli (cf. nakala The Role of the Fourth Commandement in the Historical Sabbath-Keeping of God (No. 170)).

 

Tume kumbwa na kwa ajili yake lakini sana kwa karne ya ishirini. Kanisa baada ya Kanisa, kwa swala ye yote, kwa njia ya Huduma, wamechukua imani bila ukweli wa kutesekwa na inaonekana kama ya kawaida.

 

Kwa Kanisa, Kuwepo wa Kristo sio Mungu moja wa Kweli. Dr. Samuel Kohn alisema:

Funzo asili wa Sabbataria ulitoka kwa Wayahudi na/au Unitaria kutubu wa imani kwa Mungu moja peke: The first and highest principle of true faith is Ili ulinde kwa Mungu moja peke (Die Sabbatarian in Siebenburgen ch.10, p. [177]).

 

Kazi hii imenakiliwa kwa Kigereza (tazama Sabbatarians of Transylvania, CCG Publishing 1998), na limechukuliwa na wasomi kuonyesha Historia wa sehemu ya Kanisa. Ku deni funzo wa kuwepo wa Yesu Kristo haionekani kuwa kama funzo wa kati Ulinzi wa Sabato na kanisa kabla ya karne mingi.

 

Filosofia na ukweli wa uwepo wa Kristo

Kukataa uwepo wa kristo ni njia ingine ya matakwa ya dhahabu ya maombi ya Mungu Attis, kwa hali yake ya Brinitaria, ambapo mwana ni Mungu kwa njia ya Baba. Elezo hili linawaeleza wana wa Trinitaria kwa mara ya kwanza, ingawa ilonekana ni kinyume nah ii.

 

Msimamo wa Bibilia ni kwamba kristo kama Elohim wa Mungu, alijisafisha na kurudi kwa Mungu ambayo alimweka tumboni kwa mfano wa binadamu. Shetani na miungu yote wangefanya hii lakni shetani alijaribu kuwa sawa na Mungu liposa kuwa mnyenyekevu. Ilikuwa sawa kwa kristo kuonyesha ukweli wa mpango wa Mungu wazi.

 

Mashetani walionyesha usawa kuanzia mwanzo kwa kumwabudu Mungu. Walikataa kwamaba kristo alikuwa Mungu, kwani wangefunika makosa yao. Tutakuwa Elohim kama malaika wa Jehova mbele yetu (zak 12:8) kuonyesha hili, kristo kama malaika wa Jehova alirudhisha Mungu na kukubali kwa mfano wa binadamu. Hii ilionyesha vile tutakaporudi kwa Mungu, na kupewa ubinadamu kwa ufufuo hili tutabaki kwa nguvu wa Mungu.

 

Kwa njia hiyo mapepo watachukua chini kwa kusimu na kifo, na kurudi kwa Mungu na kufufuliwa kama kiumbe wa fufuo wa pili, wata funziwa. Deni ya kipimo wa malaika wa kuu kupelekwa kusimu na kufa kama binadamu wengine (cf. Isaya 14 an Ezakieli 28) ni kwa kipimo kwa Omipotence wa Mungu. Ni uongo ya mapepo. Utatu ni uongo iliyotegeswa kuweka kipimo wa walioteuliwa kuwa elohim au mungu kama Kristo. Kukana kuwepo wa Kristo kimeandaliwa kuficha uongo hiyo kutokana na wazo lingine, jinsi shetani wana sema kwa njia lingine kwa wazo la wanadamu. Inatangulia Buddhi na Theologia ya kisasa, ambao sisi twachukuwa mfano wa fikira wa Mungu kama wa milele kama Mungu, ambao ni kila kitu. 

 

Mtungaji ambayo ni Kristo aliwacha utu wake na kuwa jifanya binadamu, ndio mtungaji chini ya nguvu la Mungu, ili tufufuwe na kuwa elohim au theoi, kwa neno lingine umoja ya mungu, kama wana wa Mungu moja wa kweli Eloah.

 

Kukana wa kuwepo wa Kristo kutafuta kukana kipimo wa enzi kuletwa chini kwa kusimu na kufufuliwa. Inatafuta kuweka Kristo sehemu lingine na mara moja kukana sehemu wa binadamu kuwa vichwa na Kristo, na ili Mungu akuwe ndani ya yote na yote.

 

Maelezo kuwa kristo angekuwa Mungu ili kulipia dhambi ya binadamu ni filosofia usio wa ukweli ambayo neno agape ilibeba upendo wa Mungu, na kuchukuwa neno la kihibrania. Maana ya uumbaji na mateso ya kristo (No 160).

 

Kristo alifanywa kuwa sawa kuwa Kuhani Mkuu wa Enzi na dhabihu ya wazi. Kristo alikuwa moja ya enzi kufanya hii. Watu wanakufa kwa upumbavu kwa wenzao kila saa. Kama Kristo asinge kuwepo mmoja wa Enzi, na kazi hiyo ingekuwa bure na mwingine wa enzi, kama Gabrieli. Hiyo ilikuwa moja wa maono wa Shetani na hukumu na jaribio kule jangwabi, baada ya ubatiso wa Kristo. Christ had to demonstrate that he was worthy to become the High Priest of the Host by his selfless sacrifice. Christ had to be one of the host to do this. Men die selflessly for each other all the time.

 

Kristo alikuwa binadamu kwa njia ya usawa vile tulikuwa miungu. Alikuja chini, akafa na kufufuka na kurudi binguni kwa unynykevu kwa nguvu war oho mtakatifu na Mungu mkuu, Eloah, Baba yetu na Mungu mmoja wa Ukweli.

 

 

q