Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[280]

 

 

 

Yesu Kristo, Mfalme, Kuhani Na Nabii

 

(Toleo 1.0 19990713-19990713)

 

Kipengela hiki kinashughulika na Yohana 17:3. Kemeandikwa na myahudi wa kimasihi na kinaonyesha uhusiano baina ya Mungu Baba na Yesu Kristo kama masihi. Lucha ya kuhani na makala hazitenganiki.

 

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

(Copyright © 1999 René Morpurgo)

(Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


Yesu Kristo, Mfalme, Kuhani Na Nabii

 



Kufunga kiongozi katika Bibilia cha kuwelewa Mungu kinapatikana katika Yohana 17:3.

 

Yohana 17:3 na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.

 

Maoni yako ni yapi kumchusu Mungu? Na yafiki nini kumhusu Yesu Kristo? (=Yohoshua haMashiah)?

 

Ukiwauliza watu wawili, watatu au zaidi maswali haya, wawe kutarajia kupokea majibu mawili, matatu au zaidi. Kila mmoja analo jawabu lake kumhusu Mungu au Yesu Kristo. Maoni haya aghalabu ni kutoka na elimu. Zazingira, maendeleo na vitendo. Hivyo kila mmoja ana hisia yake.

 

Majikoni mwingi mwa wachira kwa mfano, ipo piacha ya Tsao Wang, Mungu wa fikini wa lachina. Juu ya ubani ukaowaka uliwasha kwa utukufu wake daima anatazama, anatabasamu na atatoa. Kutoka mahali hapa, anatazama miendendo kabambe humo jikoni. Katika mwaka mpya wa Wachina, Mungu huyu huchomwa ili kuenda safari ya mbinguni ili kuripoti alichokisikia na kukiona katika mwaka uliotangulia.

 

Muda mfupi kabla ya kumwasha wake wa Chanina hupata asali mdomoni pake wakitumai ya kuwa ataenda kuripoti mambo matamu tu.

 

Hisia za mashariki kumhusu Mungu ni tofauti sana na zile za magharibi. Hisia izimekuwa zikibadiliwa mara kwa mara na athari tofauti na kubadiliwa upya kuwa hisia mpya ya Mungu. Harakati hizi za mabadiliko zimekuwa imara kwa takribani miaka 6,000.

 

Kutokana na hisia hizi tofauti, kuwahusu Mungu na Yesu Kristo, madhehebu mengi sana yamezuka, kila moja likihubiri tafsiri yake ya “ukweli” matokeo yalikuwa watu – wakishaunda dini – waliongzwa na haja zao ili kuhakikikisia zao, wala si haja ongufu ya kumtafuta ukweli. Watu hutafuta imani ambazo zaoana na mafuzo yao. Ni sawa na kununua nguo kutoka dukani.

 

Aghalabu dhehebu lilikuwa na lingali lina tumiwa visivyo ilikuruhusu haja Fulani, Mungu wa kiyunani Bacchus kama Mungu wa mvinyo aliuziba utamanu na ufuasi wake. Kadhalika Ishtar kama Mungu wa kike wa rotuba liyaziba mapito mengi ya matendo ya nguno.

 

Kwa mtazamo wa kisiasi, dhehebu lilikuwa nja bora zaidi ya kuweza kudumu uongozini. Mars, Mungu wa vita aliruhusu haja ya kuvamia, na matarajio wa Misri wakajiita wao pamoja na wazawa wao kuwa takatifu, ili kuutetea mfululizo wa ufalme kwenye familia yao.

 

Kwa karne nyingi, vita vingi vimekuwa vikiendelezwa kwa kutumia jina la Mungu, kwa, mfano vya kutetea haki (crusades).

 

Hata katika kipindi cha vita vya mwisho vya dunia vya 1939 – 1945 viongozi wa makanisa walizibariki silaha kwa jina la Mungu silaha ziliundwa kwa ajili ya kazi moja tu. Kuwana watu. Kuzibaki ni sawa na kusema ya kuwa Mungu amectumhusu kufanya maangamizi mengi ambayo yalikusudiwa kuuokoa uso wa kisiasa wa kiongozi wa nchi.

 

Hadi leo tunahisi matokeo yaliyotanda kuhusu maoni haya tofauti kumhusu Mungu katika jamii zetu.

 

Wakati Fulani Robert Garcet alisema:

Watu wnapotoshwa na madhehebu madhehebu ni ukungu na makanisa hayafanyi lolote ila kupima maki na kimo cha ukungu huo. Mungu anakuwa mfofu ambamo kwamo kila kanisa hujikatia kipande.

 

Katika majadiliano na watu tofauti tofauti, maswali yafuatayo yataulizwa. “Kama yupo Mungu wa upendo, mbona basi kuna maajabu yote haya ulimwenguni? Yeye ni mwenye enzi, mbona asiingilie kati?” Watu hawa wanamfahamu Mungu asiyejali tu, Mungu wa kuchukiwa!

 

Katika majadiliano na wazee wa makanisa yashikayo amri zilizopitishwa, itakuwa wazi kuwa wanamwona Mungu kama kiumbe ambaye huyachukua mafungu ya wanadamu kama wenye dhambi kiumbe ambaye huyachukua mafungu ya wanadamu kama wenye dhambi. Kiumbe ambaye huwajia watu kama Mungu wa kulipiza kisasi. Mungu wa kuogopwa!

 

Katika makanisa huru, wao huenda na msemo kuwa “Mungu ni pendo” vitu vyote vimehusiwa. Katika hisia zao, “Mungu hatalitilia maanani.” Kwa maoni yao si lazima umitilie Mungu maanani.

 

Hisia zote hizi kumhusu Mungu zaweza kufuatiliwa na kutiwa mbavu watu wamemfanya Mungu kuwa maoni yao, kama wazishikao amti zilizokwekwa hawifahamu Bibilia yote au labda wajua sehemu tu. Nadhani hisia zao mbaya humhusu Mungu na Mungu zinaletwa na kutojua.

 

Yapendeza husoma anakisema Mungu mwenye kuhusu hili katika Zaburi:

Zaburi 50:21 ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza: ukadhani ya kuwa mimi ni kama wewe. Walakini nitakukemea. Nitayapanga hayo mbele ya macho yako.

 

Hili lanileta kwenye swali. Ni vipi haswa wamefahamu watu?

 

Tinamfahamu mtu kwa maneno na matendo yake. Maneno na matendo hayo ni kioo cha mawazo yake. Mawazo haya ni matokeo ya mapito na tabia tabia.

 


 

 

 

NI VIPI TWAPATA KUMFAHAMU MUNGU?

MANENO

 

Zaburi 33:4 kwa kuwa neno la bwana lina adili

 

Mika 2:7 Je, litasewa neno hizi? Enyi nyumba ya Yakobo roho ya Bwana imepunguzwa? Je hata ni matendo yaje? Je, maneno yangu hajamfai yeye aendaye kwa unyofu?

+

MATENDO

 

Yohana 3:16-17 kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pkee ili kila mtu amwaminiye asipotee  bali awe na uzima wa milele maana Mungu hakutuma mwana ulimwenguni ili auhakumu ulimwengu bali ulimwengu uokolewe katika yeye.

MAWAZO

 

Yeremia 29:11 maana nayajua mawazo mnayowawazi ninyi asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

MAPITO

 

Yohana 1:10-11 Alikuwako ulimwenguni hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako. Wala ulimwengu haumfambua. Alikuja kwake wala walio wake hawakumpokea.

 

Mathayo 23:37 Ee Yerusalemu, Yerusalemu awanaye manabii na kuwapiga kwa mawe waliotumwa kwako! Ni mara ngapi minetaka kuwakusanya pamoja watoto wako kama vile kuku avikudanyavyo pamoja vyake chini ya mabawa yake, lakini hamkutaka (RSV)

 

TABIA

 

1 Yohana 4:8 yeye asiyependa hakumjua Mungu kwa maana Mugu ni upendo.

 


Njia ya pekee ya kuweza kumfahamu Mungu wa Bibilia ni kufunwa Bibilia na kuifurusu bibilia. Bibilia ni warakawa mapenzi kutoka kwa Mungu, ambamo najitambulsiha kwako na kwangu.

 

Hivyo katika Bibilia ni mengi yameandikwa kuhusu maneno na matendo ya Mungu kuhusu mawazo ya Mungu, mapito yake na tabia yake.

 

Hebu tufume Bibilia.

 

Tunapata taarifa kuhusu maneno ya Mungu katika Zaburi 33:4 na Mika 2:7.  Hapo imeandikwa.

 

Zaburi 33:4 kwa kuwa neno la Bwana lina adili na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.

 

Mika 2:7 Je litasimwa neno hili, enyi nyumba ya Yakobo, roho ya bwana limepunguzwa? Je, haya ni matendo yake? Je maneno yangu hayamfai yeye aendaye kwa unyofu?

 

Hali ya matendo ya Mungu imeelezwa katika Yohana ya Mungu imeelezwa katika Yohana 3:16-17, ambapo tunasoma:

Yohana 3:16-17 kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawake peke, ili kila mtu amwaminiye asipitee bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakutuma uliwemwengini ili auhukumu uliwengu bali uokolewe katika yeye.

 

Tunaweza kusoma kuhusu mawazo ya Mungu katika:

Yeremia 29:11 maana nayajua mawazo kinayowawazia ninyi, asema Bwana.

 

Na ni mwanzo ya amani, wala si mabaya kuwapa  ninyi tumani siku za mwisho.

 

Taarifa hii yote ambayo inatoa mtazamo mufti wa huruma na wema wa Mungu, yadhihirika zaidi katika chimbuko la mapito ya Mungu. Tunasoma kuhusu hili katika Mathayo 23:37b.

 

Mathayo 23:37b ni mara ngapi nimetaka kuwakusanya pamoja watoto wako kama vile kuku avikusanyayo vifaranga vyake chini ya mabata yake, lakini hamkutaka!

 

Pia tunasoma katika Yohana 1:10-11

Yohana 1:10-11 alikuwako ulimwengu hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua. Alikuja kwake wala walio wake hawa kumpotea.

 

Kwa mtazamo wa kibinadamu tunaona kuwa Mungu alikuwa na mapito ya kufisha moyo sana na binadamu. Mbona hakufa moyo na aendelea tu mwenyewe? Kasha tunaona taswira kuu ambayo kwayo Mungu hutenda. Taswira ambayo hutambilisha tabia yake. Yaweza kupatikana katika 1 Yohana 4:8.

 

1 Yohana 4:8 yeye asiyependa hakunyoe Mungu kwa maana Mungu upendo.

 

Hapa hatujaambiwa kwa Mungu ana upendo ila Mungu ni upendo! Upendo wa kila namna tujuayo, huchimbuka kutoka kwa Mungu. Mungu huumba na kupeana pendo bila kukoma.

 

Ni upi mtazamo wetu kumhusu Yesu (=Yohoshua)? Jukumu la Yesu na wanaregi ni lipi panga na pendo la Mungu?

 

Mungu wa Bibilia na wa Israeli walimwita Mugu, mwanangu mpendwa, nimependezwa nawe (Marko 1:11). Hili lamfanya Yesu “mwana wa pendo.”

 

Hivi pia ndivyo jinsi Yesu alivyotajwa katika Wakolosai:

Wakolosai 1:13 naye ni mfalme wa Mungu asiyeonekama mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.

na

Walolosai 1:15 Nani ndio mifano wa Mungu isionekana. Kitimimba wa Umbaji. (AV)

 

Kama uakisi wa Mungu asiyeonekana, Yesu kama mwanadamu aishiye, aliutambulisha uakisi wa Mungu aishiye, Mungu wa pendo.

 

Bibilia yaonyesha uhusiano wa wazi baina ya Mungu wa pendo na masihi. Katika Yohana 17:3 imeandikwa kuwa Mungu alimtupa Yesu kwa jukumu maalum ya kuwa kumjua, Mungu mmoja wa kweli na Yesu Kristo, masihi ni uzima wa milele.

Yohaha 17:3 Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.

 

Mungu wa Bibilia, baba wa Binguni na yesu wa Nazareti, masitii wa Mungu ni mwungano! Katika johana 14:6 Yesu alisema:

Yohana 14:6 Yesu akamwambia, mimi ndimi na kweli na uzima, mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi.

 

Hivyo masihi amereuliwa katika nafasi muhimu mno!

 

Siku hizi kuna mamilioni mengi ya watu ambao, tunavyoweza kuchukulia, hungama katika utakatifu wote: “Namwamini Mungu wa upendo na mwanwe Yesu masihi,” ilhali ndani za maisha yao. Iweje wote wasema namaanini kiti kimoja ilhali wana itakadi za mema na maovu za haki na  utovu wa haki hili lawezekanaje?

 

Nadhani hili pia lasababishwa na kutofahamu. Kama jinsi mtu aweza kuunda hisia ya uongo kuhusu Mungu kwa kutojua ndivyo vivyo hivyo aweza kuunda hisia ya uongo kumhusu Yesu masihi.

 

Kama jinui awezavyo kuunda hisia kumhusu Mungu kuyafaa mapenzi yake, basi hili pia laweza kutokea kwake masihi.

 

Hili limesababisha siku hizi makanisa mengi yanajiita “kanisa ya Yesu Kristo”, bila kutambua haswa Yesu Kristo ni nani. Makanisa haya yameundwa kwa hisia potovu hivyo kuishambaza hisia hii na kuharibiwa zaidi.

 

Aina hizi za makanisa haya yaweza kutajwa kukidhi haya na matakwa ya watu wasiobadilishwa.

 

Labda wa staajabu sasa pengine umo katika safu mbaya. Una uhakika kuwa hisia zako na mtazamo wako kumhusu Yesu Kristo, masihi zinafutana na Bibilia na ni nadhefu? Utawezaje kutambua kuwa umatumia miwani mibovu kuona?

 

Waweza kumtambua Yesu Kristo masihi wa Bibilia katika majukumu matatu muhimu aliyonayo kwa pamoja yale ya ufalme, ukuhani na ubanii.

 


 

Yesu Kristo, Masihi Wa Bibilia

MFALME

Amepewa mamlaka yote aheshimiwe

Mathayo 28:18

KUHANI

Hupatanisha katika msamaha wa dhambi

Yoh 3:17; Waeb 5:9, 1 Tim 2:5

NABII

Hufunza sheria unelimisha

Marko 7:6-13; Mathayo 5:17-19

 


Masihi kama mfalme amepewa uwezo wa juu zaidi na mamlaka yote ya kuamua juu ya uzima wa kifo cha walio waaminifu.

Mathayo 28:18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia; nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

 

Mashihi kama kuhani ameteuliwa kuwa mtatuzi wa pekee kati ya Mungu na mwanadamu kufanya maamuzi.

Yoh 3:17 maana Mungu hakumtuma mwana uliwengini ili amhukumu ulimwengu bali ulimwengu uokolewe katika yeye.

 

Waebrania 5:9 naye alipokwisha kukamilishwa, akawa sababu ya wokovu wa milele kwa watu wote wanaoamini.

 

1 Timothy 2:5 kwa sababu Mungu ni mmoja na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja.

 

Masihi kuona nabii amepeanwa kuwa mwalioni wa haki wa kuwaita na kuwa kusoa waaminifu kuitii amri.

 

Marko 7:6-13 Akawaambia, Isaya alitatambui wema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, watu hawa humiheshimu kwa mdomo ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu. Ninyi mwanachama mri ya Mungu na kuyashika mapokeo yenu maana Musa alisema.waheshimu baba yako na mama yako na amtukanaye babaye au mmaye kufa na afe. Bali ninyi husema mtu akimwambia babaye au mamaye. Ni korbani yaani wakfu kitu changu chochote kikupasacho kufaidiwa nacho huwa basi wala hamrahusu baada ya hayo kumtendea neno babaye au mamaye. Huku mkilitangua neno la Mungu kwa mapokeo yenu mjipokeana; tena mwafanya mambo mengi yasiyo sawasawa na hayo.

 

Mathayo 5:17-19 msidhani ya kuwa nilikuja kuitengua torati ya manabii; la sikuja kutangua,  bali kutimiza. Kwa maana amiu nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoundoka, yodi moja wala nukta moja haitaondoka, hata yote yatimle. Basi mtu yeypte atakayevunja amri kati ya hizi zilizo mdogo, a kuwafundisha watu hivyoataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinuni.

 

Pindi tu mtu atakapotelezwa moja kati ya majukumu haya ya masihi, basi masihi atakuwa si masihi wa Bibilia tena. Hisia zake au mtazamo wake hautakuwa kamili.

 


 

 

Yesu Kristo, Masihi Wa Bibilia

KUHANI

Hupatanisha katika msamaha wa dhambi

Yoh 3:17, Waeb 5:9, 1 Tim 2:5

NABII

Hufunza sheria, huelimisha

Marko 7:6-13, Mathayo 5:17-19

Bila Ufalme

Hawa mamlaka, waweza kumfanya nyingi, linganisha

Compare Mat 28:18

 


Ukimtekeleza masihi kama mfalme kutabaki mfano tu, ambao huingia shuguli za kuhani na kufunza sheria na kuwaita watu kwenye utiifu. Ikiwa hakuna mtalme, hana ruhusa wala mamlka kwa waaminifu. Hivyo ni umbo unatoweza kulifanya njia na kupaswi kumheshimu. Basi mtu akawa ana masihi asiye na uwezo, asiye na mfanano na masihi wa Bibilia, alisema:

Mathayo 28:18 Yesu akaja kwao, akasema nao akawaambia nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.


 

Yesu Kristo, Masihi Wa Bibilia

MFALME

Amepewa mamlaka yote, aheshimiwe

Mathayo 28:18

NABII

Hudunza sheria, huelimisha

Marko 7:6-13, Mathayo 5:17-19

Bila Kuhani

Hauna upatanisha katika msamaha wa dhambi, kila mmoja amepotea. Lingamisha

Compare Yohana 3:17; Waeb 5:9; 1 Tim 2:5

 


Ukimteteka masihi kuhani kutobaki mfano tu ambao hauna uwezo wala mamlaka kwa waaminifu, na kama nabii ambaye hufunza sheria na kuwa kosoa waaminifu. Hata hivyo usipomkubali kama kuhani basi hawezi akufanya chochote kwa naaminifu ili kuwaokoa. Aweza tu kuashiria sheria na waaminifu wakitenda dhambi atawaadhibu tu bila huruma yeyote. Hana mfano kabisa na Yesu wa Bibiliaambaye kwaye, hana yameadnikwa.

 

Yoh 3:17 maana Mungu hakufumamwana ulimwengu ili auhukumu ulimwengu bali ulimwengu uokolewe katika yeye.


 

Yesu Kristo, Masihi Wa Bibilia

MFALME

Amepewa mamlaka yote, aheshimiwe

Mathayo 28:18

KUHANI

Hupatanisha katika msamaha wa dhambi

Yoh 3:17; Waeb 5:9; 1 Tim 2:5

Bila Nabii

Hafunzi sheria, haelimishi, linganisha

Compare Marko 7:6-13 Mathayo 5:12-19

 


Ukimtelekiza masihi kuoona nabii, kutabaki mfano tu; ambayo kuna mfalme ana mamlaka na uwezo kwa waaminidu na kuwa kuhani; hutekeleza wajibu wa hukani kwa maaminifu.

 

Hata hivyo hakubaliki kama nabii, mwaliama hutekeleza kuwakosoa waaminifu kwani haashili shria. Yesu huyu aweza kuwana upendo tele na kufitilia mbali kila kitu. Hiteketeza sheria

 

Masihi kama huyu ni masihi wa mvutano ambao hana hana mfanano na masihi wa Bibilia. Masihi wa Bibilia azungumza wazi kwa lugha fasaha na kushutumu dhambi wazi wazi.

 

Hivyo anasema katika Marko:

Marko 7:6-13 anataambia Isaya alitabiri vema juu yeni ninyi wanafiki; kama ilivyoandikwa, watu hawa wananiheshimu kwa mdomo ila mioyo yao iko mbali nami. Nao wanaabudu bure. Wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu. Ninyi mwaiachia amri ya Mungu na kytashika mapojeo ya wanadamu. Akwaambia vena, mwaikuta amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeao yenu maana Musa lisema waheshimu baba yako na mama yako na amtukanaye babaye au mamaye hufa na afe. Bali ninyi husema mtu akimwmbia babaye au mamaye kufa na aje. Bali ninyi husema mtu akimwambia babaye au mamaye.

 

Ni korbani au wakfu. Kitu changu chochote kikupasacho hafaidiwa nacho huwa basi wala hamrihusi baada ya hiyo kumtendea neno babaye au mamaye. Huku mkilitangua neno la Mungu kwa mapokeo yenu mligopokeana. Tena mwafanya mambo mengi yaliyo sawasawa na hayo.

 

Na Yesu akasema katika Mathayo:

Mathayo 5:17-19 msidhani ya kuwa nilikuja kuitongua torati au manabii la sikuja kutangua bali kutimiza. Kwa maana aumini naeambia mpaka nguni an nchi zitakapondoka yodi moja wala nkuta moja ya torati haitaondoka hata yote yatimie. Basi mtu yeyote atakayeu vunja amri moja katika hizi zilizo ndogo na kuwafindisha watu hivyo taitambua mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni, bal mtu atakayeutanda na kuzifundisha, huyo taitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

 

Huenda ikawa ilikuwa na hisia mbaya kuhusu Mungu Baba na Yesu Kristo masihi aliyemtuma kutoka na hilo hungeweza  kumpenda Mungu. Sasa wafahamu, kwamba haweza kumpenda Baba, Mungu wa Bibilia na Yesu Kristo (Yahoshua hamashiah) na kawa manalo thibitisho katika pendo lako.

 

Mungu aishiye milele amesema katika neno lake.

Yohana 31:3 Bwana alimtokea zamani akisema naam nimekupenda kwa upendo wa milele maisha na Mungu wa Bibilia si mbaya hata kidogo. Mungu wa Israeli hukurai kibinafsi.

 

Kwanini uta achilia kuendeleza Bibilia wa Maisha. Maisha na Mungu wa Bibilia si mbaya kamwe. Mungu wa Israeli an Kujua Vile ulivyo.

Methali 23:26 mwanangu nipe moyo wako, macho yapendenzwe na njia zangu.

 

Na masihi anakukatibisha pia:

Mathayo 11:28 Njooni kwangu ninyi  wote msimbukao na wenye kulemewa na mingo nami nitawapumshisha.

 

Na roho mtakatifu (Ruah haKodesh)  achungmza Waebrania 3:7 kwa hiyo kama asembavyo roho mtakatifu, leo kuona mtaisikia sauti yake.

 

Kumb 30:15 Angalis nimekuwekea leo mbele yako wame na mema na matuti na mabaya

 

Kumb 30:19 nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti baraka na kana basi chungua uzima ili uwe hai, wewe na uzao wako.

 

 

 

q