Makanisa ya Kikristo ya Mungu

[285]

 

 

 

Jumaah:

Kujitayarisha kwa Sabato

 

(Edition 2.0 19991208-20080127)

 

Siku ya sifa ya wiki, inayijulikana kama jumaah kwa kislam, imekuwa siku takatifu kivyaka kwa haki ya kusahau sabato.wanayuda umeuelewa kijujuu na utatu na Wanakristo.utayarisho wa sabato na siku sabato yametakaswa katika sheria ya bibilia na kurani (quran) yammanisha? Nini mioti katika sabato? Ni jinsi gain yanahusiana na siku ya kanisa au jumaah?

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

Email: secretary@ccg.org

 

(Copyright ã  1999 Wade Cox with input from the Kansas City Congregation, ed. 2008)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


 

Jumaah: Kujitayarisha kwa Sabato



Utayarisho wa siku ya sabato, siku inayojulikana magharibi kwa jina la kipagani, ijumaa inaitwa Yaum (Yom) al Jumaah kwa Kiislamu katika nchi ya Indonesia na Malaysia ni hari jumaat. Ni sehemu muhimu katika kujitayarisha au utayarisho wa sabato, na imekataliwa na wana Yuda na Ukiristo na haweleweki katika kiislamu.

 

Unamatokeo makuu katika utabiri na utatahiniwa kinabii mara tu itakavyooonekana. Jumaah ni muhimu katika sabato na matayarisho yanayofaa kufanya siku hii ni ya ni ya maarifa ya juu zaidi kwa sabato yenyewe na yatazamia kuja kwa Mesiah.

 

Kwa kweli, uwezekano hauwezi ukakataliwa kuwa neno Jumaah ama “congregation” umetumika vibaya katika kuweka uneno ambao hapo mwanzo ulitumika na manabii aliyeitwa Muhamedi. Congeregation ulikuwa mchana wakati wajioni wa zaka wa sabato kuanza na umati kuanza.

 

Amri Ya Nne

Kutoka 20:8-11 Kumbuke siku ya sabato uitakase. 9 Siku sitafanya kazi utende mambo yako yote 10 lakini siku ya saba ni sabato ya Bwana Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yoyote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mjakazi wako wala mnyama wako wa kufunga, wala mgeni aliye ndani ya mlango yako.11 Maana kwa siku sita Bwana aliyefanya mbingu na nchi na bahari ya vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya sabato akaitakasa.(RSV)

 

Kutoka 20:8-11 na haswa 9-10 yakataza kazi siku ya sabato. Kuepo kuwa wahibiri wahubiri siku ya sabato na mawaziri wafanyakazi siku ya sabato haitoi sheria hii. Hufanya kazi zao kulingana na sheria ambayo pia yahusiana na sheria ya nne ya sheria za Musa.

 

Umuhimu wa kuzingatia na kuiweka sabato takatifu bila ya kuvunja sabato kwa kufanya kazi ulikuwa mwisho aliopewa Musa kabla ya zile sheria kumi zilizoandikwa kupeanwa kwake ni ashino ya “covenant” na sheria ya Mungu yanayotumika kati ya wana wake.

 

Kutoka 31:12-18 Bwana akanena na Musa, 13 angalia nimemusisita lake bezaleli mwana wa uri, mwana wa Huri, wa kabla ya Yuda.Bwana akasema na Musa na kumwambia kasha neno wewe na wana wa Israeli, na kuwaombea. Hakika mtazishika sabato zangu. 14 Kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na ninyi katika vizazi vyenu vyote, ili mpate kujua sabato; kwa kuwa ni takatifu kwenu kila mtu atakayeiitia unajisi hakika yake atauawa; kwa kuwa kila mtu afanyaye kazi katika siku hiyo, nafsi hiyo itakataliwa mbali na watu wake kazi itafanywa siku sifa.15 Lakini siku ya saba ni sabato ya kustarehe kabisa, takatifu kwa bwana kila mtu atakeyefanya kazi yeyote katika siku ya sabato, hakika ya utauawa.16 Kwa ajili hayo wana Israeli wataishika sabato, kuiangalia sana hiyo sabato katika vizazi vyao vyote ni agano la milele.17 Ni ishara kati ya mimi na wana wa Israeli milele. Kwani kwa siku sita Bwana alifanya mbingu na nchi akastarehe kwa siku ya saba na kupumzika.18 Hapo Bwana alipokuwa amekwisha zungumza na Musa katika mlima wa Sinai, akampa hizo mbao mbili za ushuhuda, mbao mbili za mawe ziliandikwa kwa chanda cha Mungu.(RSV kunenea)

 

Kuiweka sabato takatifu ni kujipanga pamoja kama tulivyofunza na mtume Paul.

 

Wahibrania 10:23-25 na tulishike sana ungamo latumaini letu, lisigeuke, maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu; 24 tukalingaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri 25 wala tusiache kukusanyika pamoja kama iliyo desturi yaw engine, hali tuonyane na kuzini kufanya hivyo, kwa kadri mwonavyo siku ile kwa inakaribia.(RSV kunenea)

 

Ukusanyiko siku ya sabato umeashiria Mungu katika bibilia ya Mambo ya watiwi 23:1-3

 

Mambo ya Walawi 23:1-3 Mungu akamwambia Musa 2 “waambie wana wa Israeli, sikukuu zangu.mtakafanya kazi siku sita lakini siku ya saba ni sabato ya kustarehe kabisa. 3 Siku sita mtafanya kazi; lakini siku ya saba itakuwa siku ya kipekee ya mapunshiko, siku mtakatifu; hauta fanya kazi yoyote; ni sabato ya Bwana kwa pahali pake. (RSV kanenea)

 

Jina la Kihibrania ya convocations ni migra, ikimaanisha wito pamoja, kulingana na Youngi analytical concordance Migra ndili jina la Kihibrania linalitumika katika Leviticus 23:4-44 kwa utakatifu wote unaoashinwa kwa sabato kuu pia kuwasaidia wanawake kuweka sabato, Mungu  aliwapa siku ya sifa ya maandalio. Aliashiria jumaah au siku ya maandalio.

 

Amri Ya Siku Ya Maandalio

Kutoka 16:1-21 kisha wakakusafiri kutoka Elimu na mkutano wote wa wana wa Israeli wakafikilia bora ya jinni, iliyoko kati ya Elimu na Sinai, siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya Misri. 2 Na mkutano mzima wa wana wa Israeli wakaongea juu ya Musa na Haruni katika jangwa 3 laiti tungalikufa kwamkono wa Bwana katika nchi ya Misri, hapo tulipoketi karibu na zile sufuria ya nyama, tulipokula vyakula hata kushiba, kwani mmetutoa huko na kututia katika bara hii, ili kutuua kwa njaa kusanyiko hili lote. 4 Ndipo Bwana akamwambia Musa tazama mimi nitawaonyeshea njia mvua ya mkate kutoka mbinguni na hao watawatoka nje na kuokota kila siku sehemu ya siku, ili nipate kuwajaribu, kwamba watakwenda katika sheria, ama sivyo.5 Kisha itakuwa siku ya sita ya kwamba wayataandaa hayo watakayoleta ndani nayo yatakuwa ni mara mbili kuliko wayaokotayo kila siku ndani nayo yatakuwa ni mara mbili kuliko wayaokotayo kila siku sehemu ya siku, 6Musa na Haruni wakawaambia wana wote wa Israeli, jioni ndipo mtakapojua ya kuwa Bwana amewaleta kutoka nchi ya Misri,7 na asubuhi ndipo mtakapouona utukufu yenu mliyomngunikia Bwana na sisi tunani hata mkatunungunika? 8 Musa akasema ndilo litakulokuwa, hapo Bwana atakapowapa nyama wakati wa jioni mle naasubuhi mikate hata mkakinai; kwa kuwa Bwana atakapo wapa nyama wakati wa jioni mle, na asubuhi mikate hata mkakinai; kwa kuwa Bwana asikia manunguniko yenu mliomnungunikia yeye na sisi tu nani? Manunguniko yenu hayakuwa juu yetu sisi ilia juu ya Bwana’’. 9 Musa akamwambia  Haruni haya sema na mkutano wote wana wa Israeli, joni karibu meble ya Bwana, kwa kuwa yeye ameyasikia manunguniko.’’’10 yenyu ilikuwa Haruni aliponena na huo mkutano wote wa wana wa Israeli, wakawaangalia upande wa bara, na tazama utukufu wa Bwana akaoneka katika hilo wingu. 11 Bwana akasema na Musa akinena. 12 Nimeyasikia manunguniko ya wana wa Israeli haya! Sema nao ukinena wakati wa jioni nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana Mungu wenu.’’13 ikawa wakati wa jioni kware wakakaribia wakakifunikia kituo wa kambi.14 ule umande iliokuwa juu ya nchi kidogo kama sakitu juu ya nchi. 15 Wana wa Israeli walipokiona hawaambiana. Nini hiki? Maana hawakujua ni kitu gain. Musa akawambia ndio mkate ambao Bwana amewapa ninyi mle. 16 Neno hili ndilo aliloagiza Bwana okoteni ninyi kitu hicho kila mtu kama ulaji wake ulivyo; kichwa pishi kama hesabu ya watu wenu ilivyo, ndivyo mtakavyo twaa, kila mtu kwa ajili hao walioko hemani mwake.17 Wana wa Israeli wakafanya hivyo wakaokota wengine zaidi wengine kuponyea 18 nao walipoikuwa kwa pishi yeye aliyekuwa ameokota kingi hakubakiwa na kitu nay eye aliyekuwa ameokota kichache hakupungukiwa wakaokota kila mtu kama ulaji wake ulivyokuwa. 19 Musa akawaambia, mtu awaye yote asikisaze hata asubuhi. 20 Lakini hawaku msikiza Musa, wengine miongoni mwao wakasisaza hata. 21 Asubuhi nacho kikaingia mabuu na kutoa uvundo; Musa akwakasirikia sana. Basi wakaokota asubuhi baaday ya asubuhi kila mtu kama ulaji wake ulivyokuwa na hapu jua lilipukuwa na kulikikayeyuka. (RSV)

 

Zingatia yatakayosemua juu ya maandalio

Kutoka 16:22-30 Basi ikawa siku ya sita wakaotoka kili chakula sehemu maradufyu. kila mtu pishi mbili na wazee wote wa mkutano wakaenda na kumwambia Musa.23 Akawambia ndilo neno alilolena Bwana kesho ni starehe takatifu sabato takatifu kwa Bwana okeni mtakachooka na kukosa mkate chotokosa na hicho kitakacho wasilia jiweni kilindwe hata asubuhi’’’24 Basi wakakiweka hata asubuhi kama Musa alivyoaagiza nacho hakikutoa uvundo wala kuingia mabuu. 25 Musa akasema haya kuleni hiki leo kwa kuwa leo ni sabato ya Bwana leo hamtakiona nje barani. 26 Siku sita mtaokota, lakini siku siku ya saba wengine wakatoka kwenda hakitapatikana. 27 Ikawa siku ya saba wengine wakatoka kwenda kukiokota wasikione. 28 Bwana akamwambia Musa mtakataa kuyashika maagizo yangu na sheria zangu hata lini? 29 Angalieni ya kuwa Bwana amewapa ninyi hiyo sabato kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili, kaeni kila mtu pahali pake, mtu anaye yote asiondoke mahali pake kwa siku saba.30 Basi hao watu wakapumzika kwa siku ya saba. (RSV)

 

Katika maagizo yake ya siku ya maandalio, Mungu atatumia utayarisho wa vyakula kwa ujumla kama mfano wa kazi ambao haufai kutekelezwa siku ya sabato. Utayarisho wa vyakula kwa jumla kama kuoka na kuchemsha kwa sabato yapaswa kufanywa siku ya sita ya maandalio.

 

Hii inaoneshwa mawanzoni na ifuatavyo.

 

Kutoka 16:5 kisha itakuwa siku ya sita kwamba watayandaa hayo watakkayoleta ndani nayo yakakuwa ni mara mbili kuliko wayaokutayo kilasiku (KJV).

 

Kutoka 16:22-23 basi ikawa siku ya sita wakaokota kile chakula sehemu maradufu kilamtu pishi mbili na wazee wote wa mkutano wakaenda na kumwambia Musa. Akawaambia ndilo alilonena Bwana kesho ni starehe takatifu, sabato takatifu kwa Bwana.okeni matakachooka na kutokosa mtakacho kosa na hicho kitakacho wasalia jiwekeeni hata asubuhi.

 

Kutoka 16 yatuashina kuwa chakula cha sabato lazima ikusanywe na kutayarishwa na kupikwa siku ya kujiandaa kukusanya au kutayarisha chakula siku ya sabato lazima yawekwen kwamaneno yaliyoekwa chini na sheria kama ilivyo ‘exponded’ chini.

 

Katika biblia ya Mwisho 22:23, Musa asema kuwa Mungu Bwana alisema kuwa kukanda na kuchemsha ifanywe siku ya sita. Wafarisayo waliifuatilia sheria hili kutokusanya walilinganisha kula mbegu kwa Kristo kutoka kwa mti wenyewe kusanya chakula.

 

Mathayo 12:1-8Wakati ule Yesu alipitia katika mashamba siku ya sabato wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke wakala. 2 Na wafarisayo walipooona, walimwambia. Tazama wanafunzi wako wanafanya neno ambalo si halali kulifanya siku ya sabato. 3 Akawaambia hamkusoma alivyopenda Daudi alipokuwa kuwa na njaa, yeye na wenziwe? 4 Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akalia mikate ile ya wanyosho ambayo si halali kwake kulia wala kwa wale wenziwe ila kwa makuhani peke yao? 5 Wala hamkusoma katika wasipate hatia kuwa kwa siku ya sabato wa Mungu na Wakuhani kuwa watakatifu 6 Lakini na waambieni kwamba hapa yupo aliye muhimu wasio na hatia kwa maana mwana wa adamu ndiye bwana wa sabato.7 Lakini kama mugelijua haya, nita wapa nehema na sio dhabihu hamungekuwa wenye dhambi. 8 Kwa maana mwana wa Binadamu ndio Bwana wa siku wa Sabato. (KJV)

 

Kristo aliashiria wahubiri hapaambao hawakufuatiatorati katika hekalu na hawakufuatia torati katika hekalu na hawakulaumiwa. Waliwasha moto na kuandaa chakula na zaka katika kila sabato na siku takatiku tunayoona hapa chini.

 

Kwa njia hii sheria ya mpa mtu nafasi ya kukusanya chakula katika shamba kwa mikono yake, hawezi akatumia ‘sickle’ lakini ana haki ya kukusanya chakula anapohitaji kwa matumizi yake. Kwa kusema hivi wafansayo walibadilisha shria vibaya, na wala hawakuelewa kwa kuwa uhusiano wao na Mungu ulikuwa umeharibika.

 

Katika ujumbe huu uelewano wa kweli wa sheria unapeanwa panapowezekano, matundalizi yote yanafanywa ya kukanda na kuchemsha kwa ujumla kuandaliwa kwa chakula siku kabla ya sabato siku ya sita ya wiki inayojulikana kama kumaahsama yuma kwa mapagans.

 

Katika maandiko yaliyopeanwa hapo juu Mungu utupa maagizo ya siku ya maandalizi katika ujumbe huu imeandikwa kuwa siku ya sita na wanaambiwa waandaen vyakula kwa wingi. Maagizo ya siku ya sita kutoka kwa Mungu ilijumlisha maagizo ya kukanda na kuchemsha chakula yaliyosanywa siku ile.

 

Siku ambayo Kristo alitolewa kama mwanakondoo ulikuwa ndio uliokuwa maandalishi muhimu sana. Huu ulikuwa siku ya kumi na ne ya mwezi siku kabla pasaka sabato kuu ya kwanza ya mkate usiochachwa.

 

Mathayo 27:62-64 hata siku ya pili ndiyo iliyo baada ya maandalio, wakuu wa makuhani na mayansayo wakamkusanyikai Pilato wakasema Bwana tumekumbuka kumbe yule mjanja alisema alipokuwa akili hai. Baaday ya siku tatu nitafufuka basi amuru kwamba kaburi lilindwe salama hata siku ya tatu wasije wanafunzi wake wakamwambia na kuwaambia watu, amefufuka katika wafu na udanganyifu wa mwisho utapita ule wa kwanza. (RSV)

 

Mariko 15:42-43 hata ikiisha kuwa jioni, kwa sababu ni maandali ndiyo siku iliyo kabla ya sabato akaenda Yusufu mtu wa Anamathaya msitahiki mtu wa baraza ya mashauri naye mwenyewe anautazamia ufalme wa Mungum, kafanya ujasiri, akaingia mbele ya Pilato akamwomba mwili wake Yesu. (RSV)

 

Luka 23:54 wa siku ile ilikuwa siku ya maandalio na sabato ikaanza kuingia (Uginki: ulianza).

 

Yohana 19:14 nayo ilikuwa maandalio ya pasaka yapata saa sita.

 

Yohana 19:31 basi Wayahudi kwa sababu ni maandalio miili isikae juu ya misalaba siku ya sabato maansa sabato ile ilikuwa siku kabla walimwomba Pilato miguu ya ivunjwe wakaondolewa. (RSV)

 

Yohana 19:42 homa basi kwa sababu ya maandalio ya wanayahudi, wakamweka Yesu maana lile zaburi ilikuwa karibu Kristo ndiye aliyekuwa pasaka iliyandaliwa siku haya ya maandalio pasaka ya mkate wa pasaka. (RSV)

 

Kristo ndio ilikuwa Pasaka ulioandalia kwa siku ya uhandalisho, Pasaka wetu na Mkate usiochachwa wetu.

 

Yohana 6:45-51 imeandikwa katika manabii. Na wote watakuwa wamefundishwa na Mungu.basi kilaaliye sikia na kujifunza kwa baba huja kwangu. 46 Si kwamba mtu amenwona Baba, ila yeye atokaye kwa Mungu, huyo ndiye aliyemwona Baba. 47 Amin milele. Mimi ndimi chakula cha uzima. 48 Mimi ni mkate cha uzima. 49 Baba zenu waliila mana jangwani, wakafa. 50 Hiki ni chakula kisukacha toka mbinguni, kwamba mtu akile wala asife. 51 Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshoka kutoka mbinguni; mtu akila chakulahiki, ataishi milele. Na chakula nitakachotoa mimi ni mwili wangu, kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.’’(RSV).

 

Ujumbe huu yaonyesha kuelewa sheria hutoka katika roho mtakatifu na wala si kwa utakatifu wa sheria tunavyoona na wafarisayo. Kuekwa kwa sheria inayoambatana na kuandaliwa kwa chakula na kuashwa kwa moto bila kuzingatia maneno mengine huelekeza kuto hapo mbeleni na kuwaacha watu wakiwa kwenye giza siku ya sabato na wakila vyakula baridi.

 

Moto Siku Ya Sabato

Exodus 35:3 Nyie hamtawasha moto katika mazingira yenu siku ya sabato. (KJV)

 

Ujumbe huu umewafanya watu wasilewe na kupelekea watu kutowasha moto, au kupila siku ya sabato. Neno mioto SHD 784 mahala hapa ni ‘genetic’ na ndio sawa kwa moto.

 

Ingawaje, sheria yasema kuwa mot uashwe katika hakalu siku ya sabato na kuwa wmanakondoo wa pasaka apikwe na aliwe katika Israeli jioni ya kuamkia siku ya kwanza takatifu ya mkate (unleaven bread) (Ex. 12:1-9, esp Yu 6-9).

 

Exodus 12:6-9 nanyi mtamweka hata siku ya kumi na nne ya mwezi ulewe na kusanya lote la mkutano wa Israeli watamchinja jioni.7 Nao watwao baadhi ya damu yake na kuitia katika miimo miwili na katika kizingiti cha juu katika miimo miwili na katika kizingiti cha juu katika zile nyumba watakazomla Na wata kula nyama kwa usiku, kilicho talikwa kwa moto na mkate usiochachwa na vyakula vikali wata kula .9 Watakula nyama ya usiku ule ule imeokwa mitoni, pamoja na mkate uliotiwa chachu; tena pamoja na mboga imewekwa motoni; kichwa chake pamoja na miguu yake na nyama zake za ndani. (KJV)

 

Na hili lafaa kuchomwa katika moto.

 

Ujumbe katika kitabu cha Deut 16:5-7 yaonyesha kuwa utaratibu wa pasaka uliyeuzwa baada ya pasaka ya kwanza ambapo ulikuwa ndani ya boma ya wana Egypt-na pale ambapo ulikuwa uwe nje ya nyumba au mboma tulipowekwa katika ardhi wetu.

 

Kumbukumbu la Torati 16:5-7 usimchinje pasaka ndani ya malango yako yote akupayo BWANA Mungu wako: 6 ila mahali atakaposhagua Bwana Mungu wako, akakalishe jina lake, ndipo mtakapomchinja pasaka jioni, katika machweo ya jua, kwa wakati kama uliotoka Misri. 7 Nawe umwoke na kumla mahali atakapochagua Bwana Mungu wako kasha asubuhi yake uende hemani mwako. (KJV)

 

Hivyo basi twawezapingana kuwa moto haukuashwa katika boma hizi. Bali mioto ya sabato, mwezi mpya na siku takatifu katika rupika kwa zakaza Terumah toleo hizi zilitolewa kwa mwana wa mfalme ili wapate nyama kaatika sherehe ulifanywa kwa maagizo na ipo katika kitaku ba Ezekieli 45:16-17 na pia Ezekieli 45:18-25 matoleo hiyo yalitolewa Israeli.

 

Ezekieli 45:16-17 watu wote wan chi watatoa toleo hili hili kwa ajali ya mkuu katika Israeli. 17Tena hakuna kazi ya mkuu kutu hizo sadaka ya koteketezwa na sandaka ya unga, na sadaka ya dhambi na sadaka ya unga, na sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani ili kufanya upatanisho kwa ajili ya nyumba ya Israeli. (KJV)

 

Hivyo wana Israeli waliamriwa kufanya na kutoa vivilvyo kwa mwana wa mfalme ili kuhakikisha toleo na zaka, ili wote wapokee bila kuzingatia mapato yao kila sabato, mwezi mpya na siku takatifu.

 

Hivyo uwasho wa moto siku ya sabato na mwezi mpya na siku takatifu haukuruhusiwa tu ilikuwa pia lazima lazima. Hakuna kupitana katika sheria za Mungu. Kwa basi kuna kuelezwa zaidi kwa shida ya saa na jibu liko katika biblia kutoka 34:4ff.

 

Ujumbe huo pia unaendelea kueleza ujenzi watabanako vifungu vya tatu vya mwisho 35 inazingatia sababu na wiki ya kufanya kazi. Sababu yaonyeshwa wazi kotoka kwa ujumbe. Mioto ni mioti na zinahusiana naujenzi wa kazi yeyote au edifice, hata tabanako ya Mungu. Hapana ujenzi au kazi au ujenzi au ufinyanzi kwa moto, unaeza kutekelezwa siku ya sabato.

 

Utafauti Kwa Kutengeza Vyakula

Mahitaji ni kuwa chakula kitayarishwa siku ya maandalio ila kuchomwa kwa nyama yaweza kutekelezwe siku ya sabato au siku takatifu na yapaswa kutekelezwa kulingana na sheria na maafisa wa mwana wa mfalme na hekalu.

 

Hili pia halizuii uwashaji wa moto wakuchemsha, ambayo ni muhimu katika dunia. Mahala ambapo hii yahitajika, siku ya maandalio yafaa kutumiwa kukusanya kuni kwa kuwa ukusanyaji wa kuni wa moto na upikaji wa vyakula hauruhusiwi. Ni kwabasabu hii ndio Kristo alilia masuke kutoka chumbani siku ya sabato (Mat. 12:2) hukumu ya kukusanya siku ya sabato ni kifo. Basi kazi yeyote kama hii siku ya sabato ni kutotii sheria na humweka mtu kwa ufufuko wa pili na kwa kifo cha pili.

 

Hesabu 15:32-36 Kasha wakati huo wana wa israelli walipo kuwako jangwani, wakamwona mtu mmjoa akikusanya kuni siku ya sabato 32 hao walimwona akikusanya kuni wakamleta kwa Musa na Haruni na kwa mkutano wote. 33 nao wakamweka kifungoni, maana lilikuwa halitajimwa atakutendewa. Na walimweka kwa wadi, kwa maana hiyo haikuwa imewekwa wasi kwake. 35  Bwana akamwambia Musa, mtu huyu atauwawa mkutanoni wote watampiga kwa mawe, akafe, kama BWANA alivyo mwagiza Musa. 36 Na Umati ikamleta bila hema, na kumpiga na mawe, na akafa, kama Bwana alivyo agiza Musa. (KJV)

 

Mtu huyu alihukumiwa kwa kusanya kuni siku ya sabato wala si kwa kupika au kujaribu siku ya sabato. Hivyo basi maandalishi yafaa yafanywe kabla ilakuchoma au kuchoma kwa zaka yawezafanywa siku ya sabato. Lakini ukandaji na uchemshaji na maandalishi kwa jumla lazima yafanywe siku ya maandalio au kabla.

 

Mpangilio Wa Jubilee

Mtazamo huu wa kutoaji na maandalio kwa siku ya sabato yaendelezwa kwa msimu mzima wa jubilee na huchukua kutetemeshwa mwakani kabla ya sabato ya saba ya jubilee. Mwaka huo, Mungu kupeana kwa miaka mbili takatifu iliyofuata.

 

Mambo ya Walawi 25:18-22 Kwa sabato hii zitendeni amri zangu, mkazishike hukumu zangu na kuzifanya. Nanyi mtaiketi hiyo nchi sama. 19 Nayo nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba na kuketi humo salama. 20 Na kama mkisema. Je! Mwaka wa saba tutakula nini? Angalieni hatutapanda mbegu, wala kukusanya maongeo yetu, 21 Ndipo nitawamri baraka yangu iwe juu yenu mwaka wa sita, nayo utazaa matunda hesabu ya miaka mitatu. 22 Na mwaka wa nne mtapanda mbegu, na kuyala yale matunda, akiba hiyo ya zamani, hata mwaka wa kenda, hata matunda yake yatakaoletwa ndani; mtakula hiyo akiba ya zamani.(RSV Kunenea)

 

Mpangilio huu hutokea kila baaday ya miaka saba katika mwaka wa sita, na huekwa mara mbili, lakini mwaka wa sita kabla ya jubilee, twaona mavuno ya ahidiwa, mwaka wa jubilee unaoitwa hapa kama mwaka wa sita katika mzunguko, upandaji unakubaliwa badaaya ya upatanisho wa mavuno kwa pasaka wa mwaka wa tisa.

 

Mungu mwanga Baraka Kwa Israeli wanapotii amri zake, hubariki Israeli takatifu ambao hutembea katika njia zake na maarifa ya juu na kuelewa na nguvu ya Roho mtakatifu.

 

Kutabiriwa Kwa Jumaah

Siku ya maandalio yaazimia kuja kwa Mesia

 

Biblia yatuambia kuwa millennial system wa kuwa kwa Kristo na mitume itakuwa kwa miaka elfu moja. Wakati huu ulifaa kuja mwishoni mwa mwaka wa elfu sita wa utawala wa miungu ya ulimwena tazama Wakorintho 4:4.

 

Ufunuo 20:1-6 kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni mwenye ufunguo wa kuzima, na mnyororo mkubwa mkononi mwake,2 akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani ambaye ni ibilisi na shetani, akamfunga miaka elfu;3 akatupa katika kizimu, akamfunga akatia muhiri juu yake, asipate kuwadanganya mataifa tena hata ile miaka elfu itimie, na baada ya hayo yapasa afunguliwe muda mchache.4 Kasha nikaona viti vya enzi wakaketi juu yake nao wakapewa hukumu, nami nikaona roho zao waliokutwa vichwa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu na kwa ajili ya neno la Mungu na huo wasionsudia yule mnyama, wala samamu yake wala hawakuipokea ile chapa katika vipaji vya nyuso zao, wala katika mikono yao, nao wakawa hai wakatawala pamoja na Kristo miaka elfu.5 Hao wafu waliokalia hawakuwa hai, hata itimie ile miaka elfu. Huu ndio ufufuo wa kwanza. 6 Heri na mtakatifu ni yeye aliye na sehemu katika ufufuo wa kwanza, juu ya hao mauti ya pili haina nguvu bali watakwa makuhani wa Mungu na wa Kristo nao watatawala pamoja naye hiyo miaka elfu (KJV).

 

Kinabii muda huu wa miaka elfu ni sawa na siku tatu ya kupumzika ndani ya Yesu Kristo na imetakaswa katika wiki ya sabato.

 

Petro atuambia kuwa siku moja ni kama miaka elfu macho ni mwa Bwana (2Petro 3:8).

 

2 Petro 3:8 lakini wapenzi msilisahau neno hili kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu na miaka elfu ni kama siku moja. (KJV)

 

Hivyo basi muda wa mcha wa siku ya maandalio ambayo yatumika kwa matayarisho ya sabato ni muda ya mwisho katika miaka elfu sita ya maandalizi ya advent ya messiah, kwa muda huu wa utabiri twaona subjugation ya dunia kwa messiah kabla ya kuanza kwa millennium kama “sabato upumziko wa Mungu katika Kristo”.

 

Hii ni yuam al Jumaah ambayo yazingatiwa sana katika dini ya kiislamu. Wamepoteza uovu wa umuhimu wake kwa sabato na nafsi yake katikautabiri, na kuigawa kutoka na kuiinua juu ya sabato. Kinyume na sheria ya Mungu.

 

Huanza muda na misemo maalumu mchana siku ya sita ya wiki katika misikiti, ambapo kuhudhuria lazima mlongoni mwa wanaume waliohinu.

 

Nyimbo au misemo hii khotbah maalum au mahubiri hutangulia ‘salat’ au maombi ya wawili ‘rakahs’au ‘prostration’. Uwili au prostration maalum mwanzoni alachiwa mahanned kwa ajili ya sabato na wala si kwa nafasi ya siku ya sita, ijumaa inayojulikana saa hizi kama jumaah (Tazama nakala The Sabbath in the Qur’an (No. 274)).

 

Kuwa na huduma maalum siku ya sita ya wiki ulitoka aanza nyakati Muhammed alikuwa Medina lakini kutapaa na maendeleoulikuwa siku za karibuni (cf. Encyclopedia of Religion and Ethics (ERE) Vol 10p. 893).

 

Kurani katika surah 62 Jumaah (ukusanyiko) uunganishi practice katika dini ya kiislam. Msemo ni kuwa wakati ambapo w\kiislamu husema / pelekwa katika maombi ya Jumaah, lazima wasite kwa ukumbusho wa Allah na waache kusemezana. Hii inaashiri kwa ukweli kuwa mchana wa ijumaa vutu vyote Waislamu walipekea wlijiandaa kwa sabato. Kinachofaachisha waislamu walipelekea hii kwa mchana wote siku ya situ pekee na wakaisahau / kuiacha sabato.

 

Ukristo kikaibadilisha siku ya saba sabato na kuifanya siku ya kwanza ya wiki (inayoijulikana kama jumapili) sabato yao, uzoefu uliazishwa na Zoroaster kule Persia kutoka karne ya nane BCE.

 

Mohamed aliwaonya vyema katika Surah 62:5 kwa wale ambao miziyo ya Torah ulifanywa na wakakatua kuivumilia ni kama pundamilia aliyebebeshwa vitabu. Hata baada ya maonyo hayo waislamu wa Hadithic walitupilia mbali Torah na sabato. Badala ya kuwasikiza walimpuuza na wakazidi na biashara yao sito siku Yasita, ambayo walitambua kama Jumaah, bali pia sabato ambayo alikuwa anajaribu kukuza anaashiri hivi katika surah 62:11 wainapo kitu au sherehe huifutwa wakimwacha pekee. Dawood hukushikila nafasi ya yeye inaashina Muhhamed lakini tu ni kwa vile haharibu kesi yao ikiwa haashiria Messiah au roho mtakatifu maandiko ni ukweli marudio ya maneno ya nabii Amos katika Amos 8:5.

 

Amosi 8:4-6 Lisikeini hili, ninyi mnaopenda kuwameza wahitaji na kuwakomesha maskini wa nchi, 5 Mkisema, mwezi mpya utandoka lini, tupate kuuza nafaka? Na sabato nayo, tupate kuandika ngano? Mkipunguza efa na kulongeza shekeli, mki danganya watu kwa mizani ya udanganyifu.6 Tupate kuwanunua maskini kwa fedha na wahitaji kwa jozi ya viatu, na kuzizuza takataka za ngano? (KJV)

 

Anaashiria ‘Jews’ na biashara yao. Aweza tu adhiria maandalizi na sabato si vyema kusema au kufikiria kuwa Muhhamed allahzisha ijumaa mchana kama sabato. Anapoinua Torah na maandiko katika ujumbe sawa siku mudawa maandalio ya sabato, inayojulikana kama Jumaah ipo katika Torah kama tulivyoona mwanzoni. Kila mmoja lazima apewe nafasi ya kujiandaa kwa sabato, ambayo ni siku ya kweli ya ukusanyiko au Yaum al Jumaah.

 

Ukweli wa mambo ni kuwa ijumaa alasiri /mchana ukusanyiko ulitumiwa kabla Muhammed, na jina la siku lilikuwa ulipeanwa na jina las siku lilikuwa ulipeanwa na mababu wa Muhhamed (Taz. ERE ibid, p 894).

 

Neno Juma’ah ulitumika katika nafasi ya al arubah uliojulikana kutoka Talmudic unaoshiria usiku wa maandalizi ya sabato (cf. ibid). Hivyo Isalmu ya Hadithic ilibadili usisitizo kutoka maandalio wa babato mpaka kwa mpangilio tofauti wa kuabudu ambao ulifunuliwa na kutakaswa na nabii na kuran. Wakristo walitoka kwa sabato hadi jumapili, wakitumi sabato sawa.

 

Wauzaji wameandika walewanaodai kuwa Muhamed alijaribu kuiweka kando sabato bila misingi ya bibilia kuwa:

 

Musa mwenyewe alitamani kuieka kando ijumao kama siku takatifu lakini ‘Jews’ walisisitiza kuieka sabato, kwa kuwa siku hiyo Mungu alipumzika kwa uumbaji na kwa sabato hii waliamrishwa kuiweka siku hiyo waliochagua kuwa njia ngumu kabisa (ERE ibid).

 

Mtazamo huu mzuri inaacha Mungu sheria zake na malaika wa Sinai kutoka kwa picha, inaashiria maneno ya nabiikatika Quran na si Islamu na wala si maandiko. Mafikino hayo yalifuatwa na mtazamo kwa pengine sabato ulipotezwa na ijumaa ndio sabato wa kweli uliopotezwa na ‘jews’ kufuatia kutokuepo na jua katika historia ya Israeli.

 

Mohammed asema kuhusu sabato katika surah 4, wanawake ambayo aliandikwa kwa ‘jews’ kama watu wa maandiko na kwa Trinitanians kama utabiri kutoka kwa Mungu.

 

Lakini Mungu amewalaani kwa sabato ya infedility hivyo basi wachache tu wataamini mlipewa maandiko amini katika ufunuo ambao tumetuma inayodhibitisha kwamba aliye nasi, kabla hutajilitazama hesabu ifenu kupena kama kwamba hivyo au kuzilaani, kama tulivyowalaani wale walikosa kutii siku ya sabato, na amri ya Mungu alitamizwa, kweli Mungu hatasikiza kupeanza sawa, lakini atasikiza dhambi ingine yoyote isale, the Koran, London F. Warne and co. psa59).

 

Ujumbe huu aliashiriwa kwa watu ambao walifutwa Trinitarianism. Wakati huu kuhusu kutotii sabato na arberry kama walivyolaani ndivyo twawalaani wana wa sabato hivyo kuificha sababu kamili ya laana ambao ulikuwa kwa ajili ya kutotii kwao kwa sabato. (A.J. Arbery, the Koran Interpreted, Oxford 1964). Dawood aonyesha kuwa imeashiriwa wanaovunja sabato (N.J Dawood, the Koran, Penguin, 1983, p. 371). Yaonekana kama kuna matamanio pande zote mbili inayoelekezwa kuelewa kwa sabato katika ndini ya kiislam na Ukristo.

 

Kwa uhusiano wa sabato pumziko baada ya uumbaji, Muhamed alisema wazi kuwa (baada ya kazi ya uumbaji kitini cha enzi (surah 7:54, 10:4; 32:4-5).

 

Surah 50:5, 38 yaonyesha kuwa hapakuwa na uchovu, Mungu alipumzika kwa hiari yake.

 

Usisitizo wa siku ya sita au ijumaa yatoka kwa mishkat ul Masabih, kwa sheri ya nabii (BK 4, chs, 14, 43) (cf. ERE op cit).

 

Goldziher apendekeza kuwa parsi ilijiuhusisha katika kukatoa sabato na margeliooth (ERE ibid) anasema kwamba hiko hivyo wa Babylony ambayo wana maoni ambayo ni wana nguvu sana katika Arabia ango kuwa na ubinafsi. Kama hivyo, quram aliunga mkono sabato na Torah.

 

Eschatplogical ilani ya matayarisho wakati al atubah ambayo inaitwa Jumaah na Islamu, kuonyesha ufufuko kanavuta iko surah 62:6-8 katika biblia hiki wakati kinanymuisha siku ya mwhiso na kuonywa kwa Messia and tuteswa wan chi. Iko neno ilani sawa katika wiki kama wakati wa shoron. Wafranpot na mwaka.

 

Waislamu wote wapaswa kutoakila wiki kutoka mchana wa siku ya wiki mpaka mwisho wa sikun ya saba au sabato siku ambayo watu wote hawafai kufanya kazi. Kukosa kufanya hivi hupelekea kuhukumiwa kwa ufufuko kwa kuwa ya kiuka Torah na Kuran.

 

Mwisho

Twatarajiwa kujiandaa kwa sabato siku ya sita kupitia kwa maandilizi mazuri/kamili sote twawezeshwa kuwa katika sabato, siku ya bwana /Mungu na pia twa wezeshwa kuiweka sabato takatifu. Baba yetu alipopeana siku yake ya maandalizi amri za sabato alikuwa akituandalia njia ili tumfuate. Tukitii maneno na kuahca matakwa yetu (ambayo si kazi yetu) siku ya sabato tutajua Mungu mkweli peke na Kristo ambaye ni uzima wa milele (Yohana 17:3).

 

Tunapotumia siku ya maandalio, tukitazamia sabato kama saa za Mungu kutoka kwa ulimwengu twaweza weak mahitaji yetu kando na mahitaji yetu ya kidunia kando sabato inapofika tunapokusanyika pamoja siku ya sabato na kujifunza neno la Mungu, kama Maria basi tumechagua chaguo njema.

 

Luka 10:38-42 ikawa katika kuenenda kwao aliingia katika nyumbani kimoja, mwanamke mmoja jina lake Martha akamkaribisha nyumbani kwake 39 Naye alikuwa na umbu lake aitwaye Mariamu aliyekaa miguuni pake Yesu, akasikiliza maneno yake. 40 Lakini Martha alikuwa akihanyaika kwa utumishi mwingi, akamwendea akisema, “Bwana huoni vibaya hivyo ndugu yangu alivyoniacha nitumikie peke yangu? Basi mwambie anisaidie.” 41 Bwana akajibu akamwambia Martha “Martha unasumbuka na kufadhaika kwa ajili ya vutu vingu. 42 Lakini kinatakiwa kitu kimoja tu, namamu amelichagua fungu lililo jema ambalo hataondolewa na matayarisho tosha twaweza kusherekea sabato vyema na sawasawa na kuwa kwa fadhili na kumjua Bwana, katika nguvu ya roho mtakatifu. (RSV)

 

Na uandalisho sahihi, tuko na nafasi ya kuchukua sabato ka kukomaa kwa rehema na hekima ya Bwana, kwa nguvu cha Roho Mtakatifu.

 

q