Makanisa ya Kikristo ya Mungu

 

[294]

 

 

 

Vita Vya Amgedom

 

(Toleo 1.0 20060603-20060603)

 

Katika nyakati za mwisho, Mungu anasema kupitia Nabii Ezekieli kwamba ataleta mataifa mengi kule Mashariki ya kati na kuwangamiza kwenye bonde la Amagedon. Mataifa mengi yalitoka Goma na Meshek na Tubal na Tarma yanatajua. Hawa ni watu wapi? Wako wapi saa hii na wataletwaji Israeli na itakuwa lini ili kuangamizwa?

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

Email: secretary@ccg.org

 

(Copyright ã  2006  Wade Cox)

 (Tr. 2008)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


 

Vita Vya Amagadon



 


Mtindo huo uliamuriwa na Mungu kuzingatia katika mwezi wa kwanza wa mwaka, tokea siku ya kwanza ambao ni mwaka mpya hadi siku ya saba ya mwezi ambao ni  Sanctification of the simple and Erroneous (No. 291) muda wa utakosa wa kanisa na mataifa Sanctification of the Temple of God (No. 241). Haikuzingatiwa katika makanisa ya Bwana kwa miaka nyingi hadi ilipofufuliwa katika kanisa la wakristo wa Mungu kwa neema ya Bwana chini ya nguvu za roho mtakatifu. Sisi sote hutenda dhambi na kasha hutubu na huendelea kusaidia na kuwahimiza wengine. Siku hiyo imeamuriwa na Mungu kupitia Nabii Ezekieli (Ez. 45:20).

 

Mungu alimtuma Nabii Ezekieli kuweka muundo ili nasi tupate kuelewa tunachohitajika kufanya na umuhimu wake ili kuelewa nafasi yetu katika kutakosa Israeli na mataifa.

 

Ezekieli alifafanua hutukufu wa Israeli na ufufuo wanyakati za mwisho.kutoka siku ya 38 anafafanua istraeli katika mapumziko kuwa tukio linalojikita mahali Gog mwana mfalme (wa Rosh) wa Meshak na Tabal wan chi ya Mayog walikuwa na ndoana kwenye meno wakaletwa Yerusalemu, Uhabeshi na Libya nao.ukabiri huo ni tukio linalofurahisha katika nyakati za mwisho kwa sababu haiangazii tu watumwa wa Urassi na Steppeya kati bali hata kwa wale wa Cette ambao ni wana wa Gomer na Gimirri ama Wacimeri na hao ni watu wa magharibi mwa Uropa, hivyo basi kunayo makundi mawili, mojawapo ikiwa ni mataifa ya magharibi mwa Uropa walioungana na watu wa I na J Haplogroup Semite. Kwa hivyo tabaka za Israeli zilikuwemo kati ya makundi hayo mawili. Wane Togama pia wafalme wote wa kaskazini na Masherika walikusanyika kwa mtindo huo.

 

Hivyo kutokana na swala hilo, mashariki ya Wacettina waslavi watathuibutu kuangamiza taifa wakati itakapomorishwa. Nguvu za kaskazini zitatumiko katukuza Bwana.

 

Katika kitabu cha Ezekieli, sora ya 38 twaona Gog akitambulika kama mkuu wa wenyeji wa mataifa kutoka kaskazini.hao ni wale kutoka kaskazini na mashariki mwa Palestinia na twaweza kuchukulia kana kwamba tunatumia majeshi ya mwisho ya mfalme wa kaskazini na majeshi ya wafalme wa mashariki katika muundo wa mwisho.

 

Jambo hilo ni lililotabiriwa kitabu cha Ezekieli 38:8,14,16 na 39:9,25,26. Inafuata tu kipindi baada ya mileniami na ni tofauti na Ufunuo 20:8,10. Balinger anaitambua kwa kupitia ufunuo 16:14 na 17:14 na 19:17-21 (ama Mathayo 24:14-30 na Zekaria 12:1-4).

 

Gog ni nchi ya Magog na kwa wakati mwingine huwa ni ishara ya mataifa kwa jumla. Jina inaambatanishwa na og (kumbukumbu la Torati 3:1-3), Agag (Hesabu 24:7). Vitabu tano vya Wasamaria vinasema Agog bali septuagnt yasoma Gog na Kiarabu huisema Agag.

 

Jinsi tunavyojua kutokana na vitabu vya Biblia wale w Agag walikuwa ni wa tabaka la Amelek. Kizazi pia ilijumuisha Haman wa Agag katika kitabu cha Esther (ilivyo katika nakala ya Esther (No. 63)). Magog alikuwa mwanamke Japheth na hivyo basi tunaangazia usimamizi wa ishara ya kila kinachopinga muundo wa biblia na mtindo wa Wahibrania wa Mungu.

 

Mataifa hayo yana viti vyao ya 15 inaangazia wasafiri wa “Knox” lakini ni mwenyeji na Gog.

 

Mungu atasababisha matifa ya Israeli na watu wake kutingisiko na watamjua kuwa ndiye Mungu (Ezek. 38:23). Hata hivyo kaskazinin na Magharibi nzima hawataepuka na majumuisha waisraeli na Hahiti.

 

Mungu ataleta Gog kutoka kaskazini na kuacha sehemu yao ya sita walawa hai (Ezek. 39:1-2). Watavumilia Israeli na kuangukia uwanja ulio wazi Mungu pia atatuma moto magog na kila ovyoovyo (aya ya 6). Ataweka jina lake takatifu lijulikane katika Israeli na hwataruhiswa kamwe kuathiri jina lake takatifu. Hivyo basi twangalia ufufuo wa dini la kikweli ama matokeo ya vitu hiyo. Imaki hizo za uongo za mtindo wa kaskazini zitaharibiwa na zile za mataifa zilizo na muungano. Hiyo inajumuisha waisalamu tunaona wakishitikiana na mataifa ya kaskazini. Matokeo ya mtindo huo ni yale miundo ya mitrinati nay a kislamu ya kihadithia jinsi tunavyoiona kwa sasa, na pia kuilimwengu au utu ikifuatia mtindo wa ujamaa. Uyuda wa kianabii pia itaondolewa na mila yake kwa milienium mbili.

 

Mtindo hiyo yote itaharibiwa katika vita vya hiyo itakuwa vita vya ulimwengu wa III.

 

Watokaokufa watazikwa kwenye bonde la Hamono ama Amageden na kuchoma mabaki yao kwa miaka saba. Nguvu itakayitakana na mashine hizo za kivita zitaleta umeme kwa miaka saba. Hazitakuwa za kunukuato bali zingine zitakuwa za magari na silaha zingine zinazohitaji teknologia ya kisasa.

 

Itachukua miezi saba kuwazika watu na mabaki ya ardhi yatatakaswa. Baada ya miezi saba, kamti ya Kitaarabu ya kudumu milele itachaguliwa kutakasa ardhi kila mara. (Ezk 39:11-16). Kisha Mungu ataleta funguo kwa Yakobo na watarudi Israeli (aya ya 25). Hataficha uso wake kwao na atawaasha na roho mtakatifu katika jumbo lote la Israeli (aya ya 29).

 

Muda au wakati unaorejelewa ni ule wa mwisho inaoelekea millennium. Tunaangalia kubadilika kwa kizazi chote cha Israeli kutoka kwa mila yao kwa imani ya Mungu aliye mmoja na wa hakika kupitia Messia.

 

Muungano wa vitu vya mwisho tanaundwa sasa zingine hari zipo na zimeundwa kwa munda.mabishano yashaanza na itaangamiza mapepo yanayeshikishwa na Gog kumbuka kuwa Og hapo awali ilikuwa ni ya Rephaima ama Nephlim walioshirikiana na mapepo kwa mtindo (Tazama The Nephilim (No. 154)).

 

Twaweza kuangalia Iran au Persia wakielekea kuchukua hatamu za mamlaka ya kinuklia USA sasa inajaribu kuidhihisha uhusiano wa kidiplomasia na Iran lakini viongozi na serikali ya kila taifa yataka sifa katika hiyo ya marudiano.

 

Urussi pia ni kundi moja linachangia muunganon wa mwanamfalme wa Meshak na Tubal, inawasaidia kupata mizinga zinazoweza kutokeleza kazi za kinuklia.

 

Wanawe Japheth na washirika wao

 

Hapo awali watu hawa wa Meshak walisherekea kusini mwa Cappadokia nan hapo ndipo waliokingwa Daudi chini ya muungano wa wahith iliyejaribu balha ya Waisraeli na Wacetti iliyokita balna ya Waisraeli na Wacetti baada ya kuangamia kwa Trey kule 1054, wakati Eli alipokuwa hawlamu Israeli. Saulo alikuwa mfalme Israeli baada ya kifo cha Eli kule 1053 BCE. Alitawala kwa kipindi cha miaka arobaini kasha Daudi akarithi ufalme kutoka kwake kule 1013 akatawala kwa miaka saba kule Hebroni na kasha miaka 33 Yerusalemu, aliyoingiza 1005 BCE.

 

Kulingana na kronijia aliyoenenwa na kitabu cha Catholic Encyclopaedia  (1907-1912) na hapo mbeleni Daudi alizaliwa ca 1085 na akatawala toka 1055 hadi 1015 BCE. Waandishi wa hivi majuzi kwa wakati huo na hata badaye wamejumuishwa na maagizo ya Wassiria kuonyesha kuwa alitawala toka kati ya miaka thelathini na hamsini baadaye.lengo za enzi hizo zilikuwa ni kuangamia kwa Troy kule 1054. Historia mbalimbali zaonyesha kuwa mwisho wa utawala wa Eli kama hakimu kule Israeli.

 

Kuna utata baina ya mambo ya historia ya kizungu Geoffrey wa Manmouth na Abbe Mab Geoghegan wanaleta tofauti kati ya watu wa Britain, Geoffrey analeta ile ya Briotus ana Brutus ile ya lakimoja na umakinifu au uadi pia wa Amos (kulingana na Mac geoghegan ukirejelea Mac Geoghegan na Matchel, Historia ya Ireland 1867 ukurasa 54-62).

 

Geoffrey asema kuwa walipopitia Afrika walipotoka Troy na wakakutana kaskazini mwa Afrika na kundi lingine ambayo twabadilisha na Dumnoniae wa Cornwall, hapo awali ikiwa na Devon (kutoka kwa Dumnon) na Cormwall.

 

Hata hivyo MacGeohegan alalamika kwa Britain yatokana na Briotus walioko Ireland wakeshi Britain kutoka hapo.

 

Anazingatia pia umuhimu wa wale Scot – Milestan iwapo walitoka Magog walivyolalamika ama Gomer, alikostawi Gaub, Ujerumani na nchi zingine za kaskazini vishamilikiwa na watu. (Ibid ukurasa wa 62).

 

Wazo lake ni sawa kama ilivyo katika R1b na YDNA sasa twaweza kutofautisha familia wa watu hao.

 

Kuangamia kwa Troy ilifanya Wacelti wa Riphathi (wanawe Riphath na mwanawe Gomer). Waliinia Britain kupitia Afrika na Uhuspania. Hao watu waligeuka kuwa R1b  Welsh wa ‘Wales’ wa waerini na pia wale Wacetti waUfaranza na Belgae au Belgian ambao wako pamoja na Belgium lakini walioenda Iraland na Ufaranza vyema.Hawa watu wa Atlantic Modal Hplotype (AMH chini).

 

MacGeoghegan alikubali kuwa watakuwa asili Scythian ana Kunena kwao binafsi kama Iberian kutoka nchi wa Euxene na hapo waliita sasa Spaini.

 

Wana Fransi na usiano wa Riphathia Celts wa Wales na Cornwall, kutoka katikati wa mashariki baadaye. Walitawalwa na kizazi za Hector mwana wa Priam ambayo aliuwawa na Troy kupitia Achillis. Watawala wa Riphathian na Salien Frank na mfalme wa Cimmerian kupatana na Antenor 1 katika ca. 500BCE. Charles, Mwana mfalme wa Wales, ni kizazi wa Antenor 1 kupitia Chrlemagne. Fransi aliita jiji lao Paris baada ya kufa wa Achilis na awana wao wengine waliowaita, baada ya Troy, jiji wa Wilusia.

 

Welsh walijiita wenyewe Cimmery au Kirmy watu wa siku hizi.

 

Wana wa Pari na wafuasi wake waliunda tabaka la Waparii walivyotwa. Wao pia walimgia na kukaa uingereza katika eneo la Yoshire na Kasiri. Hao wana wa Riphath waliwatesa wana wa Mungu waliowapata Britain. Waliwashinda wahuru walioshambulia Britain katika karne ya 10 kabla ya Kristo. Walishindwa katika vita iliyokuwa katika mto wa Humber iliyotajwa baada ya mfalme ya Wahudi aliye utawala hapo.

 

Wahuni walikimbia kupitia Uropa kaskazini ambapo walishinda matabaka katika eneo ujulikana sasa kama Yerumanin kuelekea Britain na walichukua binti ya mfalme Mateka.

 

Wakaazi wa awali wa Ireland walikuwa Wanemedia na Wafomopia, Walibolgia au watu wa ngozi na wa Tuatha De Daanan.

 

Wana wengine wa magogo walikuwa ni Wascythia tuwajuayo kwa sasa kama Wamilisia. Walichelewa sana kuingia Ireland (500BCE) na Scotland hapo baadaye mwishoni mwa karne ya tano kupitia Ireland.

 

Kizazi cha mapema zilikuja kutoka uhispania na waliorodheshwa kama wagadelia, kizazi cha Gadhal, wa sita kutoka kwa Japheth. Wagadelia kwa Wasace (hivyo basi Wascythia) hati bohari la Capio.

 

Wajukuu wa kwanza walitoka Spaini na waliandikwa kama Gadelian, wajukuuwa Gaodhal, wasita kutoka Japheth (op.cit). Gadelian walitoka Scythian ambao walitambaa kutoka Boristhene hadi Massagetae (Mkuu wa Gothic Horde) na kutoka Sace (kuendelea Scythian) hadi bahari ya Caspian. Walikuwa wangungwa (op.cit., p.61).

 

Walikuwa ni wa kuhamahama kwa jumla twaweza kuwatambua kama wana wa Gomer na wa Magog. Tofauti za YDNA yaonyesha kuwa Wayaudi wa Ashkenazi ni zaidi ya Riah kuliko R1b na hivyo basi kizazi hicho kilitokana na mgawanyiko wa kitabata. Asilimia 52 ya watu wote wa Walawi Ashekenazi ni wana wa Gomer. Hivyo basi utabiri zote za Gomer yanaonyesha Israeli ya wakati huu.

 

RxR1 YDNA ya enzi za kale yapatikana Afrika kule Cameroon. Huenda ikawa ikatokea kuhamahama kwa matabaka ya Japheth kungia Afrika, iwe kutoka mashariki wakati watu wa Australia wajulikana kama aboriginal RXR1 walihama baada ya Wakishite ama baadaye kama vile wavandal walioshambulia kaskazini mwa Afrika kutoka Uhispania na walishindwa baadaye.

 

Ireland

 

Ukoloni wa Ireland kwanza uliongozwa na Partholan aliyekuwa katika ukoo wa Wagiriki kabla ya Greece kushambulika na wale wanawe Hamu, E3b kutoka Afrika. Ukoloni wa pili iliongozwa na  Nemedia, aliyepiga vita vizuri kunyakua ukoloni wake. Hata hivyo Watomoria waliwashinda Wanemedia kule Cork na kuchukua hatamu ya nchi ya Ireland (ibidi. kurasa 54).

 

Wadibalogia walitambuliwa na MacGeoghegan kama Wabeligiji na kulikuwa na tabaka la wabalgae kule Britain. Walimoria huenda ikawa walishindwa au waliacha nchi na Wafibologia wakainyakua.

 

Mahala pao iliehukuliwa na wale Tuatha De Daanan kizazi cha nemedia waliorudi Ireland kupitia Ujerumani na kupitia Norway na Denmark (Mac Geoghegan Ibid ukurasa 55). Mac Geoghegan alalamika kua alileta lia fail kutoka Denmark na ni jiwe ndilo lililopitia Ireland jina Innisfail.

 

Alalamika pia kwamba huenda wangekuwa ni kizazi cha Domnoniae wa Cornwall.

 

Ananakili kuwa walikuwa ni kizazi cha Jobath, mjukuu wa Nemedia aliyeongoza sehemu ya ukoloni kuingia kasmazini mwa Ujerumani kutoka Ireland (Ibid ukurasa 55). Hivyo basi wakaazi halisi wa Ireland wali kuwa ni muungano wa wagiriki wa kale na Tuatha de Denaan ama tabaka la wadani ambao walikuwa ni wana wa Nemedia. Wali kuwa ni wadani waliodhirikishwa na wafalme wa bahari wa kale.

 

MacGeoghegan pia alalamika kuwa Briton Maul mjukuu wa Nemedia kupitia Taargu alijimudu na tabaka lake Britain ambayo kulingana na Batter wa Casheli aliitwa kulingana na jina lake na waliishi hapo kama wana Britain. Mc Geoghegan asema kwa ni afadhali kulingana na wazo la Geoffrey wa Monmouth. Hawakutoka Norway na karibu wawe tofauti na wale wana Britain. Wapikto pia walikuwa wakaazi wa mapema kule Britain miaka kadhaa kabla ya Waskoti.

 

Kwa wakati uo huo, huenda ni kupitia kushindwa au kutoka kwa wadomona, kundi lingine la watu 5000 waliingia na kugawa Ireland mara tano na Slangeny akiongoza, Lensta chifu wa sehemu hizo tano za Slaingey, Rory, Gan, Gannan na Segany wote wakiwa waume Dela wa tabaka la Wanemedia. Watu walijuana kwa njia tatu tofauti Wagalleria, Wadamnonia na Wabeligiji. Walitawala kwa miaka mine chini ya wafalme tisa, wa msisho ikiwa ni Eogha. Alioa binti ya mwanamfalme wauhidpania wa Uhuspania. Alizikwa Taiton kule meath iliyotajua baada yake kufa.

 

Wabelgiani walikuwa karibu sana na Wadumnanla kule ungereza na kuna uwezekano kuwa majina hayo yote yanaashiria muungano wa tabaka tatu zilizotoka Uropa kuhamia Uingereza na Kelandi. Walilenia walikuwa ni kama Wagalatia. Hata hivyo, ni kama Wahemeda chini ya Tuatha De Danaan kuwa tunaona Haplogroup walikuwa pamoja na R1b (AMH) Denmark kabla ya R1b Wadani wa Parthian Horb (Baadaye Dane alikuwa DYS 390/391 23/11 nakulikuwa na kundi I kutoka Denmark tena na tofauti, moja kuwa Anglo Saxon tazama chini ) Uhamisho huo yaweza kuwa iliwaletea Wahuni hata nkabla yao kutoka kwa makundi katika millennium ya pili BCE. Ilikuwa fanikio na bihashara kulingana na mtindo wa Baltic wa wakati huo.

 

Hili kuwa kutoka wakati huu ambao Tuatha de Danaan kuelekea Ireland chini ya Nuagha Airiodlamh walioshinda Firbolgs chini ya Eogha katika County Mayo.Firbolgs walifikuzwa nje na kutafuta ushaidishi katika, pwani wa kaskasini (ibid.p.55). Hawa watu walioishi katika Isles walikuwa R1b.Tena tunatambua kuna subclade wa I1b2a Isles na hii Haplogroup wanapatikana sana katika British Isles na kwa ushito katika Scotland .Sio Norwegian Viking. Hao I Haplogroup wanapatikana kati ya Basques.Inaonekana wasi kuwa hawakutoka Scandinavia lakini kutoka Tuatha De Danaan walitoka Kati wa Mashriki hadi Spain na wengine walibaki kati ya Basques. Baadhi yao kubwa walienda Ireland na kutoka hapo walienda Scotland na Isles. Wana patikana kati ya Picks, sasa ni kama walienda kule awali kabla yaw a Scots kuenda Ireland hadi A1ba, kama Scotland iliitwa awali Niall wa Nine Hostage kupewa jina mpya. Hawakutoka Europe na Scots au Milesian. Maana ya kabila huo wa Dan kama Tuatha de Danaan ni kuwa hawakutoshana hadi Ireland kama baadhi ya British Israeli walivyo kumbuka. Kundi hii walikuwa katika Scotland tena na nambari kidogo katika Welsh, na wengine katika England nap engine kati ya Basques. Kutoka Ufunuo sura 7 tunaona kuwa Dan na Ephraim walitoweka kuwa kando na usanyiko wa Joseph walikuwa pekeyao bila Manasse ambayo alikuwa peke yake.

 

Visiwa ni vile vya pwani mwa Scotland kwa njia ambalo haikuwa karne zingine kuwa ukoloni ulifanyia kule Thule au Iceland.

 

Wamilesia walipita Uhsipania kwenda Ireland na tabaka ndogo yaliingia Uingereza kabla uhipana na walajiita Brighton. Waliishi magharibi mwa Uingereza kwa mahali pajulikanapo kwa sasa kama Lancashire.

 

Watu wa Ireland walingoja hadi Wamilesia walipoingia kule 500 BCE kama tunavyoona juu ungamanoi wa kundi tatu aliyeiitwa Formorian, wa Firbolg au watu wa Leather na Tuatha de Danaan au kabila wa Dani.

 

Malasia tuanjua kuwa R1b Celts na tumekuwa kuwa wa kwanaza na DNA amabyo inaunganisha kizazi huo. Hili Celts pamoja na lingine Celts R1bYDNA lakini wanafafanuliwa kidini na tabaka.

 

Jambo la kutisbha sana katika Wacetti wa R1b katika magharibi mwa Uropa.matawi manne ya R1b yapatikana kwa marudio ya DYS 390 na 391.

 

Atlatic Modal Haplotype AMH iliyo na thamana ya 24/11 kwa 390/391 inapatikana pwani Atlantik kutoka uhispania hadi Scotland Wacetti hao ni wale wenyeji wa Uropa na ni kizazi cha Japheth kupitia magawanyiko ya awali na yapatikana kati ya Wabasque.

 

Wale wa Anglo Saxon waliingia Britain baada ya Warumi kule Britain huko 410 CE na kabla Norman kuchukua hatma ya uongozi. Wa Anglo Saxon wana R1b na I. R1b (R1b1) ya Anglo Saxon inathibitisha na DYS 390 na 391 zilizo na thamani ya 23/11. thamani hizo ziko kaskazini magharibi mwa Uropa kati ya mataifa mengine ya Horde iliyojikita kule ubeligiji,uholanzi magharibi mwa ujerumani na Denmark. Wafuasi na wa Anglo Saxon wote walijumuika katika kutambuliwa wanane. Hao na wa Sanon wa Ujerumani wako sawa.

 

Hayo makundi mengine ya R1b ni marudio ya 24/10, ambayo yanapatikana kote Uropa na ya 23/10 ambayo yanapatikana kusini mwa Ujerumani na kuelekea Australia. Hivyo basi, wote ni wa ukoo tofauti ya Wacetti au wana wa Gomar walioingia Scythia na hapo awali.

 

Kundi la kwanza lapatikana kati ya Anglo Saxon wa ila as (1-8). I1AS ndio iliyochangia sana kundi la I1 na inetajwa kwa sababu inapatikana mahali wa Anglo Saxon waliishi hapo awali katika kuhema kwao kutoka mashariki ya kati. Inazidi kupungua tunaposonga kusini mashariki mwa Ujerumani na kuendelea kuna uwezekano wa kundi hilo kutoa kizazi cha tabaka zingine kumi.mataifa haya yanaambatanishwa na Wacetti wa Ftili jinsi ilivyofafanuliwa hapo awali. AMH ni kundi la hapo awali kando na Anglo Saxon ambayo ilikuwa na R1b1 na I1a AS.

 

Haplogroup I walikuwa ambao walipatikana kati ya Anglo-Soxan wa I1a ambao I1a AS (1-8). I1a AS ni karibu kawaida kulingana na wa I1 haplogroup na ilipewa jina kwa sababu walipatikana pahali kulikuwa na Anglo Saxona kwa asili kukaa kwa muenendo yao kuenda Mashariki ya kati. Wameaguka nje kuenda kusini mashariki wa Germany na juu. Ni kuwa inaonekana kama wa haplogroup alama wa kutoishi kulingana na kabila kumi zao. Mataifa waliusiana na wa Hitti Celts kama iliyo elezewa juu. AMH ni kundi ya awali kutoka kwa Anglo Saxans ambao walikuwa na alama wa R1b1 na I1a AS.

 

Utambulisho wa I1a AS hadi kwa wa Denmark dhidi ya wajerumani katika bara litatoa mambo mengi. Inapatikana tu kwa  vikundi vidogo katika bara la Uropa kusini mwa balti na mabarari ya kaskazini na inachukua nafasi ya pili kwa I1a AS huko Denmark. Hivyo basi, makundi ya I yamechanganyika kule Denmark lakini wadeni wako idadi kubwa kwa Anglo Sexon kama (Nakala Populatioa Varieties within Y-Haplogroup I and their Extended Modal Haplotypes (na tena R1b Varieties) na Ken Nordtvedt katika www.nothwest analysis. net)

 

I1a uN yafika kilele chake Norway inatofuatana na I1 na uhamasisho ya DYS 385b kutoka 14 hadi 15, pia yajigawa kwa makundi mawili walaangazia DYS 46 (thamana ya marudio). I1a UN2 iko na 11, 29 ya marudio kwa DYS 461 na 449 na inashugulishwa na norway juu ya Uswidi na Denmark. Magawanyiko hayo yalitokea baaday ya uhamasisho kwa kule Scandanavia kutoka karne ya tatu nay a nne CE.

 

I1a (Ila4 ya kale) ni landi ndogo la I1a itatikanayo karibu asilimia 10 kutoka Uropa mashariki.

 

I1b1 Din (Dinaric) ilipata jina lake kutoka kwa mlimo ilichoko kule Balkani karibu na mahala iliyoko kwa wingi. Ilisambaa kote mashariki.

 

I1b1 magharibi ni aina ya I1b ya kale, ipatikanayo kwa idadi kubwa kati ya ujerumani na hadi kule Britain, inatambulika na marudio 15 ya DY5388 badala ya marudio 13 ya Dinari I1b1. Kundi hilo hivi majuzi lilipatikana kule Estonia.

 

I1b1 – magharibi (Wamagharibi) kulinagna na wa (zamani) I1b, P37.2+ wanapatikana kwa faida ya nambari ya juu ndani ya Germany Baltic na Bahari ya Kaskasini wa pwani na kutambaa kule British Isles .Ni jambo la maana na 15 kurudia DYS 388 pasipo ya kawaida 13 kurudia wa Dinaric I1b1.Nakili huu tena ulipatikana kutoka Estonia.

 

I1b1-Isles karibuni walingundua aina wa I1b1, amabo inaonekana sana kwa British Isles.Kitambulisho na alama ya DYS 385,463,na 464.

 

I1b1 (ya kale) I1b2 kundi la I1b1 M26+ ni idadi kubwa ya idadi ya watu wa Sardinia na inafika Ibera. Haina wmuhimu wowote kaskazini mwa uropa.

 

I12a (Bara) (I1c ya kale) ni ile kundi la I1b2a. idadi yake ndio kubwa zaidi kaskazini magharibi mwa Ujerumani, Uholanzi na mpaka Denmark na wengine Kusini mwa Uswidi na Norway.

 

Idadi muhimu inapatikana kule Britan na kati ya walioingia Ujerumani na Scandinavia.

 

I1b2a- misisi nia ya usiolazima wa I1b2a ambao ulitambaa kutoka Italy na Iberia mpaka Denmark na kungawanyika katika kundi mawili kulingana na alama yao nne.

 

I1b2* si kundi la kawaida la kawaida la I1b2a inayoonekana kutoka Italia na Iberia hadi Denmark kasha inagawanyika mara mbili kwa DYS 448.

 

I1b* ni aina nyingine ipatikanayo kwenye matawi na ni 10/10 DYS 459a, b kama mojawapo sehemu zake na 19.19 ama 19.12 kwa YCA11a, b na 12,29 kwa DYS389i,ii.

 

Inazingatia kuwa aina hiyo itadhinisha Wahibrania na makundi ya R1a na R1b yatadhibitisha matawi ya muungano wa wahiti iliyoundwa kati ya Wscythia na Waparthia na watepe kuingia Uropa.

 

Ukoloni wa Uropa kutoka mashariki kati na Scythia

 

Israeli ilienda ufanywani chini ya Wassyria 720 BCE na ilipelekwa hadi kaskazini kwa kilichogeuka kwa Parthia na Cythia. Hapo walisingizia muungano na Wacelti waliounda wahiti wa kaskazini.

 

Kulikuwa na wahiti na Wascythia wengi waliohama baada ya kuangamia kwa Troy kwenda Uropa na Britain na Ireland na popote kule Uropa.

 

Chini ya odini na baada ya kushindwa kwao na Wapersia kule Parthia kwa karne ya pili ya utawala wa wakati huo, na Waparthia na Wascythia waliingia kaskazini magharibi mwa Uropa na ikaanzisha mataifa mengi iliyojumuisha Waanglo Saxon, wajute, Watrisi, Wadatch na Wasoxon wa Ujerumani, Wadeni, Wanorway na Wawidi wengine Walombardi Wagothi, Waseuvi, Wadalmatia, Wavandali na wengine. Walizalisha mataifa ya magharibi mwa Uropa, kutoka Uhispania, ureno hadi Denmark na Norway kupitia Briton na Thule na Greenland.

 

Mashari walikuwa wanafaa kuhama mwisho na hivyo basi ikaleta mgawanyiko wa magharibi mwa Uropa chini ya wanawe Japheth wa R1a ambao wote walichanganyana na Wahibrania wasemite na wanawe Ashuri.

 

Waslevi wa Rosh Meshek na Tubal wote ni R1a, R1a1 waslavi na Wascandanavia. Ufalme wa Urussi iliazishwa na varangian Russ wa Scandinavia wa Scandanavia aliyeazisha mataifa chini ya kiev na Novgorod toka 850-950 CE.

 

Toka Scythia hadi Ireland

 

Wanemedia ni wa aina ya Tuatha de Danaan. Makaazi ya Ireland wnashugulikiwa sana.

 

MacGeogheroa akiripoti historai za kale asema kwamba Ferus Forsa mfalme wa Wascythia ailkuwa na wana wawili, Nenual akiwa ndiye mkubwa.

 

Wa pili alikuwa ni Niul aliyekuwa msomi wa lugha yaliyojikita kwenye mchanyiko kwenye nyumba ba Babel. Niul alisafiri hadi Misri alipoona Scota Bintiye Pharao wa Misri atajimudu katika nchi ya Capacirunt kwenye pwani za Bahari lashambu.niul na scota walimzaa Gaodhal. Aliumwa na nyoka na akapelekwa kwa Musa wakati wa kutoka. Alama ikageuka kijani na ndiposa akapewa jina Gadhal-Glas ama Gadelas (glas kumaanisha kijani katika lugha ya Scotland).

 

Hivyo basi walikuwa kati ya umati uliotoka. Genealojia ya Wamilesia pia yalalamikia swala hilo.

 

Waliishi katika eneo la Misri walivyoruhusiwa na Pharao kwa niaba ya binti yake. Baadaye ya vizazi vitatu walivamwa na wa Misri chini ya Pharaoh En Tuir na hivyo wakalazimishwa kuhama chini ya mlinzi Sur, mwana wa Esau mwana wa Easur mwana wa Gaodhal hadi crete Sur alikufa na mwanawe Eibher uongzi kutoka kwake (Mac Geoghegan Idib ukurasa 56-57).

 

Heber – scot alihamia mto wa Tunaisa kule Scythia kotoka hapo kupitia Aegeon na Bahari ya Euxine. Waliishi hapo kwa vizazi vine kati ya Wascythia chini ya Aganamon. Tott, Adnom na Lamphion.

 

Wascythia walisambaa tama Urgur Akonomo ijulikanayo kwa sasa kama China katika millennium ya pili BCE. Tumepata ‘mummy’ zao na ala zao za mawindo kama zile za Wasicoti.

 

Wagadelia walishukuwa na kuleta kiwango ambacho wakawa watimkizi kati ya wanaomazoni chini ya Adnoin na wakatoka chini ya mwanawe lamphoion kuilekea Gaethluighe. Wengine hifikiria hiyo kwa Gothia lakini kalingona na O flahethy ni gatulia kule Afrika, ambapo walikaa kwa vizazi vine chini ya wafalme wanane watiwa vizazi vyote lamphioni wa mwhisho akiwa ni Bille babake Gallamti ama mileage Espaine (Kilatin) aliyeitwa Misleua aliyekuwa mwa wa milesia au Waireland wa kale.twajua kuwa waamazeni walioleka kwa wake wa Wascythia walipopigana na waume wao.

 

Milesius alirudi kwa muda mfupi kwa Scythia alikapokewa na Riffloir mfalme aliyezaliwa kwa ukoo wa Fenius –For a kupitia mwana mkubwa Nunnual. Alimteua mkuu akampa bintiye Seaug ili tumwa na wakazaa wana wawili, Donn na Aireach wakiitwa na jina ya ufamilia, Feabhka Bibi yake alipo kufa akakosa uhusiano na baba mkuu, alihamia na wanawe wawili na jeshi lake ya wagadela kuenda Misri alipopata amri ya vita dhidi ya Waethopia.

 

Pia alipewa wana wawili, Heber – Fiann na Amhergh kwa wakati huo alikuwa na wanaume kumi na wawili waliyesomeshwa kwa minajili ya kurudi Uhispania.

 

Baada ya miaka saba Misri, alirudi Uhispania. Baada ya kiongozi kubwa Wagadelia walihamia Ireland.

 

Hivyo basi tunaona uhusiano kati ya Wascythia na Waireland na Wascoti. Lugha za P na Q Brythoni ni tofauti lakini zina uhusiano ya kihistoria ikilinganishwa na Gomer na Magogkatika Biblia. Kulingana na muda tunao tuna pata tena kuwatambulisha lingine YDNA usiano ulionekana kuwa Nemedian ua Tuatha De Danaan. Wa Milesian Irish walikuwa na mila ya YDNA kutoka kwa R1b, ambao nikawaida kwa Celts .Ni tena kama YDNA Haplogroup ambao ni I na kuonekana kuwa Semitic kwa asili kwa kutoka kama tunavyoona katika nakala Genetic Origin of the Nations (No. 265).

 

Haplogroup kundi hilo pia lipo miongini mwa Waanglo Saxon na Wauropa kwa kiwango cha karibu asilimia 40 tunavyoona kwa waaroata na Wanorway.mataifa hayo yote hata hivyo niya aina ya waslavi R1a kuliko Wacetti wa R1b.Ambayo haijawekwa katika hilo kundi.

 

Kwa kuangalia historian a DNA tunaweza kukagua uhamasiko wa tabaka zote na toweka uhusiano.

 

Wasemite wa Hg I waliingiaje Uropa?

 

Jibu liko katika kurasa za Biblia.

 

Kulikuwa na wana wa Ketura walioenda kaskazini kabla ya kutoka na waliokuwa Wagriki wa spato kutoka kwa Wajusephi. Hao ndio walioingia Ireland na sehemu ya kundi hilo liliunda Wahemedia ama Tuatha De Daana yanadharuliwa kwa yaliyashirikiana na wagriki na inawezekana kuwa wadani wana uhusiano na wana wa Ketura na yanajumuisha kundi l na wengine lile la J ya wagriki. Ezb ni ya baadaye kutoka kwa Wakanani wa Phenonica kutoka Afrika.

 

Watu hawa walikuja na dhoruba kutoka Mashariki ya kati; Wakroatia pia ulikuwa wengi katika kundi I nani kama Wascandinovia kwa asilimia. Hivyo basi wabaltani wengi wako na I Hg katoka eneo mbalimbali.

 

Muungano wa wahiti

 

Kutoka kwa ufalme wa Mfalme Daudi, alidhirihisha muungano na ufalme za taya na Simon na hata Wahiti ambao walikuwa wana waw Riphath na Magogo pia Walidhoofuhwa na kuangamizwa kwa ufalme wa Wilusian ambayo makao yake makuu ilikuwa Troy. Hivyo basi wanawe Ashkenaz walidhihirishwa kwa Waisraeli walioungana nao na kuwabadilisha hatimaye.

 

Wana wa Ashnekaz na Riphath na tagarma wote in wana wa Gorma. Na Magog bado ana R1b. hivyo basi R1a na R1b yalitokeza baada ya matabaka kugawanyika. Wengine walikuwa R1a na zingine R1b. Wana wa Ashkenaz walikuwa R1a au pengine R1a kundi wenyewe iliitwa Ashkenazi ingawa walikuwa watumwa, ambayo ilikuwa wazi kutoka kwa Khazar.

 

Saulo alinyakua eneo la Israeli lakini Daudi aliieneza hadi Euphrate.

 

Alikuwa Cappadocia na kaskazini kuingia Scythia hati ya Meshak na Tubal mwanzoni mwa karne ya kumi na moja BCE.tUnajua hili kutoka kwa Zaburi  (Zaburi 120:5).

 

Kuna Meshak wawili katika Biblia. Mmoja alikuwa mwana wa Japheth na mwingine mwana wa Aram, mwana wa Shem walioishi Syria. Inawezekana kuwa Daudi alikuwa Syria miongini mwa wana wa Meshak, mwana wa Aran, aliyotambua wana wa Kedar.

 

Unganisho wa Meshech na Tubal kutambulisha wana wa Japhethi na sio wana wa Aramu.

 

Eneo la Cappodecia kule Uturiki iliyochukuliwa mamlaka na Meshak milienia nyingi iliyopita iliitwa Kus baada ya Cush mwana wa Ham na baba ya Nimrod mfalme wa Wahiti alikuwa na makao makuu na wa Babylon walimrejelea kama mfalme wa Kus.

 

Ufalme wa wahiti ilitawiwa kwa kaskazini na kwini. Walijumuisha wana wa Ham na wana wa Japheth wote wa Gomer na Magog na madai na mede na walioshirikiana nao kibiashara na wana wa Heth.Homer kwa Iliad, kusema Trojan wakuu kusema lugha hilo.

 

Wakaazi wa Taya na Lebanon walifaa kwa K2 YDNA wa wana wa Japheth (wana Tarshish na Elisha na kitim na dodanim ama Rhodanim). Hawa hawakuwa wana wa Heth na tunawaona kwa kizazi cha Lebanon na Malta wa leo.

 

Ufufuo wa kwanza

 

Katika sura ya 37 Ezekieli azungumzia Bonde la mifupa.

 

Jumba lote la Israeli imetupiliwa mbali ilhali Mungu amefufua watu wake. Israeli ni kanisa ambaye ni bustani la Bwana (Isaya 5:7) na kanisa ni mfano wa watu waliokufa.

 

 Punde tu ufuo huo utakapokamilika, walipotoka watu jua kuwa Mungu anatakasa Israeli na itakuwa kati yake milele daima.

 

Kwa mitindo huo, yaonekana kuwa ufunuo wa wafu inafuata vita vya Magog na mataifa husika katika vita vya Amagedon. Ukeli ni kuwa yanduja kupita na vita keundelea baada ya ufufuo wa mwili wa Kristo ambayo nyumba ya Israeli.

 

Tendo hilo ni katika nyakati za mwhso na inahasisha mataifa mengi hata wenyeji wa Gomer na wana wa Elam au Pessia na kasha wale wa uhabeshi na Libya ambao ni wana wa Hamu.

 

Watu walisema kuhusu wa Gomer walitoka Kaskasini wa Quarter, na Togarmah nip eke yao kusemwa kama inavyo, lakini Gomer insewmwa kwanza. Kuna tofauti kati mwenyeji wa Gomer ambapo Ashkenaz na Riphath na tofauti kutoka Togarmeh ambao usemwa tofauti. Kama kuteelewa nani haya mataifa wako kwa kizaza kwa jambo tunaona wako wote upande wa vita.

 

Vita zinatokea kwa ujuzi wetu wa tabaka la Gomer na wa Hibrania ikijumuisha taifa la Israeli, wana wa Ashkenaz na Riphath wana Israeli kama wayahudi na washirika wao katika mjeshi ya Liaq na Afganistan.

 

Wanapigwa na Elamite ya Persia au Iran na maungano wa Kiarabu ikiwemo Lybia na uhabeti na Sudan. Iran ndio kwa sasa ina silaha za kinuklia. Maswala katika sura ya 38 Mungu atayaleta majeshi ya kaskazini dhidi ya Israeli kuonyesha mataifa kwa ametakaswa kwa kuangamizwa kwa jeshi la Gog.

 

Matokeo yatakuwa ni mateso, damu na maafa mengine, mataifa yatashuhudia mateso ya magonjwa na wadudu na hata magonjwa ya damu.

 

Katika sura ya 39, tunaona kuwa Gog wa Meshak na Tubi waliogeuka sutui yao tu ndio iko hai. Wataangamia kwenye milima ya Israeli. Ina maana kuwa majeshi ya muungano yatatambuliwa na kuondolewa kwenda Israeli kupitia Syria na Yordani.

 

Ezekieli sura ya 32 yaonyesha kuwa Misri imeungana na wenyeji wa Meshak na Tubal na mabaki ya Edem. Edem kwa sasa imegawanyika mara mbili. Sehemu moja iko Israeli kama sehemu ya Yuda na nyngine iko pwani mwa Mediterrenean mahali kulikuwa na muungano wa Phenonikia Wasidansa na Lebanon walikuwa naye na Waelmite au Persia.Waliletwa na kuwalawa pamoja naye. Hivyo basi twaona muungano wa Kiislamu chini ya dharia mafuta kule Iran, Libya na Sudan pamoja na Misri na wafalme wa kaskazini.

 

Ezekieli sura ya 30 inasema kuwa siku ya Bwana itajumuisha kuangamia kwa mataifa ya Misri, Uhabeshi, Libya na Lydia, iliyoka kule uturuku na kila mtu na Chub (Maoritania au Cobe, uribeshi). Katika Ezekieli sura ya 26 na 27 twapata utabiri dhidi ya mfalme wa Taya na Nebukadinezar aletwa dhidi yao. Neno hilo linaenelezwa kwa njia nne tofauti na Ezekieli pamoja ba Yeremia. Nebukadinezo aliitwa na kuteuliwa mtumishi wa Bwana katika Danieli sura ya 8. kuendelezwa kwa kutumia ‘r’ ni shara kuwa mfalme wa Babilon si mtumishi wa Mungu.

 

Shida katika Ezekieli yaonyesha kuwa tunakumbano na aina na matendo ya nyakati ya uvumizi wa Wababilinia na ufalme wa kaskazini chini ya Cambyse aliyetamatisha utabiri na matokeo ni kuangamizwa kwa Misri. (Tizama kuangamizwa kwa Misri utabiri wa kuvunjwa kwa mikovu ya Pharaoh (No. 36).

 

Kupima hekalu kama sehemu ya vita vya mwisho

 

Katika sura ya 40, Ezekiel alipewa ruwaza ya kupima hekalu.Alipima sehemu za ndani (Ezekiel 40:1-23).Kisha akapima lango lililotizama kaskazini ambapo matoleo yalitolewa  na kusafishwa.(aya ya 35-39 na 40-43).

 

Nje ya mlango wa ndani kulikuwa na pirika wa kuimba na kuna afisi ya ndani, ambao ulikuwa kando ya mlango wa kaskasini kumenyana na kusini, ambao ulikuwa kutoka kuhani ambao walikuwa walinzi na juu ya nyumba (v.45). Afisi ambazo ulikuwa yanaona kasakasini ulikuwa ya wakuhani ambao walikuwa walinzi wa dhabahu. Hawa walikuwa wana wa Zadok na wana wa Lawi (v.46). Huu ni kwa siku haya ya mwsiho tuanoana maan aya wana wa Lawi na kuendelea Zadok. Walikuwa wakipimwa na kuhandaliwa kwa kazi. Halafu alikuwa akipima Porch.

 

Kutoka sura ya 41, Ezekieli apambana na kupima hekalu. Mtindo huu una sababu mbili. Inafafanua ishara ya ya hekalu ya Bwana ambayo ni sisi kwa utakasho, lakini kumaanisha matendo ya kiroho wa Hekalu wa Mungu, ambo ni sisi.

 

Katika sura hii inafafanua tunda hilo kuashiria zeituni, ambayo inasimamia Yesu Kristo. Haya ni Elohim mbili mbili zilizotajwa yasimamia shetani na aeroni ambayo ni Abraham na Musa ambayo wametajwa katika andiko.

 

Katika sura ya 42 alipima ndani na hapo makahani walikuwa vyakula takatifu. Hiyo yaonyesha kazi za roho kwa kutammbua kwa  wachaguliwa ndani ya hekalu sifa za Mungu. Na wamechaguliwa na kwa njia nzuri.

 

Katika sura ya 43 twasoma kuhusu ruwaza ya neema ya Bwana iliyokuja kwa njia ya lango ya mashariki. Riwaza hiyo ni alioona kwenye mto wa Chebar.Hivyo basi neema ya bwana iliowaonakania Ezekiel ilikuwa ni ile alioyoiona  kwa nyakati za mwisho na ufufuo wa  hekalu  na  ilikuwa  laumbwa  kilicho fuata lango mwanamfalme ambalo ni lile  la mashariki. Huyu ndiye Messiah, na hivyo messiah alikuwa  ni malaika  wa mungu, tunda lilonena na Ezekiel .Katika Ezekiel 43:7 anatambua  mwana wa Adamu  na swala  kuwa  eneo  hilo lilipaswa kuwa takatifu  na tabia hape ilifaa kuwa hataipuuza  na tende la watu kuzika mabaki ya  wafalme  na kupuuza mahala takatifu  na uhaba wa kiroho, ambayo ni ibada ya  sanamu na  tuba ya uongo. Kisha mungu anamuru kutupilia mbali dhamba na matendo yote yote maovu ili kumabudu.

 

Kisha anidhihirisha sheria za nyumba, ambayo ni sheria za  Mungu  ilivyotekelezwa  na manabii na ilivyofafanuliwa na Kristo na wateule wake. Sheria ni takatifu na hupumzika juu ya mlima (Ezek 43:12).

 

Kutoka wakati huo upako wa meza ya dhabihu unadhihiriswa. Kuhani wa Zadok ataendelea na  matokeo ya ufufuo.Zadock inamaanisha utakatifu kwa kuwa kupitia utakatifu, ufufuo utakamilika kwa utakatifu mbele zake Bwana. Hakuna kwa siku saba na watajaza meza ya shabihu na matokeo kujimudu na kwa siku ya nane watatoa sadaka za kutekelezwa na Mungu atawakubali watu wake (Ezekieli 44:26-27).

 

Katika sura 44, Ezekieli aliambiwa kuwa mwanmfalme angeingilia lango la masharia na kuwa mkate ungeliwa hapo. Lango la kaskazini ilikuwa ni kuinilwa na wenyeji na neema za Bwana zikajaa hapo Mungu aliambaia Ezekieli ainukuu ipasavyo nyumba na sheria, katika Ezekieli 454:6-7 anawema ``Na utasema kwa upinzani hata kwa nyumba ya Wana Israeli: Asema Bwana: Ninyi chumba cha Israeli, wacha yeye akutegeze kutokana na mambo yak o yote mabaya. Kwa hiyo umeleta dhabihu tofauti na yakawaida kwa moyo na yasio tahiriwa kwa mwili kuwa kwa hekalu langu, kuaribu hata nyumba langu, mkitowa mkate langu, mafuta na damu, na mmeharibu agano langu kwa matendo yenu mabaya.’’

 

Hivyo basi upinzani wa Israeli inahisishwa na hekalu ya Bwana ni kuambatana na sheria za nyumba zitatakaswa siku ya nane kwa kuingilia kati na makuhani watakaoleuliwa na Mungu. Hawa watu huwa wanaharibu hekalu kama kanisa la Bwana. Hakuna atakeyeingia hekalu ya Bwana kutubu na walawi ambao wametoroka Mungu watapata adhabu yao. Hivyo inayusia pia ukuhani. Hawajakua hatamu ya vitu takatifu lakini kushugulikia mahitaji yao. Hao ndio huzuia kazi za Bwana kwa kutotoa sadaka kutohubiri injili ya ufalme wa Mungu ili mwili wa Kristo iitwe na kuelimishwa (aya ya 8).

 

Wahudumu watawekwa kwenye nyumba kuhidumia watu na wale watakaokosa kutenda kazi zao watapata adhabu zao. Hawatafika karibu na Bwana. Watachukuwa mamlaka ya nyumba lakini si karibu ba Bwana. Wateule watakashangilia utakosa watasonga karibu kumtumikia Mungu. (aya ya 15).

 

Hawa ndiyo wa ofisi ya ndani ambao wame valia kwa mavazi nyeupe. Kama wame enda nje kwa watu na vazi lao nyeupe. Huu hawa ndio wateule 144,000 ambao ni wa huduma ya ndani wa Mungu. ``Na watafundisha watu wangu tofauti kati ya Takatifu na na mbovu na kuwafanya tofauti kati ya safi na isiyo safi na kwa kinanga wata simama kwa hukumu; na watawahukumu kulingana na hukumu: na watatunza amri zangu na sheria zangu, kwa makutano zangu zote na wata tunza Sabato yangu’’(Ezakieli 44:23-24).

 

Hukuhani ambayo ni ya siku za baadaye kwa mtindo wa Melkisedek.aliye na mamlaka yote ua fungu; a kumi na hiyo ndiyo urithi wa Israeli (Ezekieli 44:8ff).

 

Ardhi ikigawiwa kunai le lazima iwe ya Bwana. Ezekiel 45:1 huko makuhani na wahudumu wataishi na kuhudumia watu (aya ya 4). Sehemu hizo takatifu za ardhi zitakuwa ya Israeli. Mwanamfalme ataitetea nafasi yake kwenye upande mwingine wa sehemu takatifu aya ya (v.7 na hakuna nguvu lolote katika Israeli.

 

Wakati waongozi wa Israeli hawafai kubagua ili kupokea ada Terumah ya kutosha nyama wakati wa sabato na miezi mpya na Siku takatifu na sikuku (Eze 45:9-17).

 

Tunaendele kwa sabato lingine ambao ni zawa wa Abib 7, utakasho wa dhambi na kosha –watu hao ambao wako na hekima ya kutosha utazama kwa wile wa ulimwengu na uongo wa shetani. Na tena tuna funga na kutakashwa ambao wame tenda dhambi kinyume na maoni kutokana na kile wanacho sema au mbaya na matendo ambao hao bifansi ufanya .Kwa Sabato huo tutaendelea kwa funzo la wazi wa Ulimwengu. Hili miaka 2012 tutaona ufunuo kubwa kwa matendo ya binadamu kufikiria wengi. Kizazi ya binadamu watakuwa na ukweli wa mahali.

 

Kutoka hapo mtindo wa sabato ya Mungu itaendelea kwa kila sikukuu hadi dhabihu.

 

Hivyo basi twaona mtindo huo kama atengano kwa njia nyingi. Wale wasiofahamshwa ni njia ya kutakasa hekalu.

 

Hekalu inatakaswa sasa kwa njia iliyorudiwarudiwa. Wale waliofikisha mahala hapo watapewa heko, mumeonyesha tabia za kiroho na uaminifu na uwezo wakuisamamia imani. Ni wale wanaozingatia kanisa ya Mungu inayosimama mbele ya kiti cha enzi kwa hutukufu wa Mungu kupitia ushuhuda wa Yesu Kristo.

 

Mtindo huo inafaulu kwa vita vya maandiko na twafaa kuondoa hekalu kanisa kudumu.

 

Tunaelekea sabato inayolingana na siku ya saba ya Abib na utakosa wa watu wasio na hekima ya kuona uongo wa shetani. Kwa sabato hiyo tutapata elimu ya kisasa. Mwaka huo wa 2012 utaona mgeuko mkubwa wa mwelekea wa kufikiria kwa binadamu. Wanadamu watashambuliwa na uhakika wa hali yao.

 

Tunaendele kwa sabato lingine ambao ni zawa wa Abib 7,utakasho wa dhambi na kosha –watu hao ambao wako na hekima ya kutosha utazama kwa wile wa ulimwengu na uongo wa shetani. Na tena tuna funga na kutakashwa ambao wame tenda dhambi kinyume na maoni kutokana na kile wanacho sema au mbaya na matendo ambao hao bifansi ufanya. Kwa Sabato huo tutaendelea kwa funzo la wazi wa Ulimwengu. Hili miaka 2012 tutaona ufunuo kubwa kwa matendo ya binadamu kufikiria wengi. Kizazi ya binadamu watakuwa na ukweli wa mahali.

 

Mpanglilio wa vita

 

Kwa kipindi cha vita vya sita siku za mwisho tutangamiza ardhi.

 

Maandiko yanasema kuwa moto utawanyeshea watu walioishi ovyoovyo. Hairejelea tu watu wa visiwa vya mashariki na Mediterrenian.

 

Twaweza kudhibiti kuwa tutaona vita vya kila aina.

 

Muungano wa wahiti na Waisraeli bado iko hai na inashugulikiwa na kuhama kwa matabaka kutoka mashariki ya kati kwenda Uropa.

 

Muungano huo aliingia Afghanistam na mataifa Soviet na kisha baadaye wakahamia Iraq. Hiyo ilitabiriwa katika nakala The Last Thirty Years :the final Struggle (No. 219).

 

Karatasi litawanywa 1997 ikiwa ni mwanzo wa miaka thelathini ya mwisho 2001 tulikuwa Afghanistan na Iraq jinsi limetajwa katika nakala na katika tepu.

 

 Vita vya hivyo viliendelea hadi mataifa yote yatakapokuwa vitani. Virungu hiyo kati ya Uropa na Urusi itamalizwa kwa kutumia mataifa kutoka magharibi na mashariki mwa Caucasus.

 

Vita itaendelea kwa kiwango ambacho itahitaji kuingiliwa kati. Uropa itachukua hatamu ya mamlaka juu ya mashariki ya kati na kusini humo naye Kristo ataingilia kati.

 

Kuingilia kati kwa Kristo itahakikisha ufufuo wa wateule kama serikali mpya ya Mungu ulimwenguni.

 

Kwa kutumia matamshi ya kale, wana wa Gomer na Arphaxad na kujumuisha mataifa ya Israeli yatakusanyika kwenye mashariki ya kati na kuingia vita na wana Meshek na Tubal na wa Tagama na Elam na wana wa Ham kule Misri, Libya uhabeshi na Somalia.

 

Mashariki ya kati itakuwa eneo kuu ya vita vya mwisho mwishoni mwa siku mafuta akiwa swala ya kuleta vita wa kutoelewana.

w

Washuhuda wawili (tazama No.135) watakuwa wakihubiri katika siku za mwisho mwisho wa 1263.5 ambapo ufufua wa kwanza utatekelezwa.

 

Nabii Danieli alitabiri shda za siku za mwisho. Katika Danieli sura 11:31 twaona kuwa kuondolewa kwa sadaka ya kila siku inatabiriwa. Kristo anarejelea andiko hilo katika Mathayo 24:15 sadaka hiyo iliondolewa kote 70 CE wakati majeshi ya Warumi walizingatia Yerusalemu.

 

Kutoka wakati huo andiko linaonyesha wote wasioheshimu makubaiano

 

``Na waliotenda mabaya kinyume na agano watakuwa wanaongo na na watu waliojua Mungu wao watakuwa na Nguvu na kusimama.’’

 

Na walioelewa kati ya watu wata waangiza: ingawa watakufa kwa kisu,na vizungu na geresani ,na kuaribu nyakati hayo’’ (Danieli 11:32-33).

 

Agano hilo larejelea swala la Warumi kushambulia Yerusalemu na matoleo yatakapokoma, Warumi wataidharisha imani ambayo ililawa kando na sheria lakini kudhibitisha mafunzo ya kinafiki ambayo huchafua makubaliano na Mungu. Imani ya kweli itawekwa hai chini ya ukaguzi mkali kutoka kwa serikali kwa muda mrefu.

 

Danieli asema kuwa watakapoanguka watapewa usaidizi mdogo yaani watu tulizwa na wata zaidiwa na Roho mtakatifu. ``Lakini wengi watakuwa kwa udanganyivu‘’ ni vungu ambayo inaonyesha simamo wa dhehebu la uongo ka kutumia imani kutoka mwisho.

 

 Kupitia ukaguzi ambao utaendelea hadi mwisho. Wengine wa watakaochaguliwa kama viongozi wataruhisiwa kuwajaribu na kuziweka meupe (Daniei 11.35).

 

Kuna wakati iliyoteuliwa, kuwa mwisho wakati huo umewadia Tuko kwa siku za Mwisho kuelekea siku za mwisho.

 

``Na mfalme atakuwa kwa mapenzi lake; na atakuwa nautukufu juu ya Mungu yeyote na kusema maovu juu ya Mungu wa miungu na hata jaribu kupoteza watu: na hiyo litatimiswa. Hata jheshimu Mungu wa babake, ama tama kwa wanawake, ama kuogopa Eloha: kwa maana atajifanya juu ya yote. Na kwa kiwango huo je hata ogope Mungu wa nguvu :na mungu ambayo babake alijua na kwa dhahabu na fedha, na mawe za maana na vitu za buzara Huu itakuwa kwa nguvu mwingi na nguvu la mungu, ambao atajua na kuongeseka kwa utukufu: na hatawafanya kuwa kiongozi la wengi na atatawanya ardhi kwa faida’’(Danieli 11:36-39).

 

Mtindo huo uliandwa kule Roma zaidi ya miaka 1700 chini ya kichwamungu kale 381. Ardhina watu wake iligawanywa na ikatawaliwa chini ya majaribio kwa makarne. Inapinga sheria za Mungu na inabadii nyakati na sheria, kuangamiza mateso ya waliozingatia.

 

Mungu huyo wa ajabu anaponuliwa katika nyakati za mwisho ili kudhibitisha dhana ya usafuji sanamu.

 

Shida inakuja kwa minzi wa nyakati za mwisho na mfalme wa mwisho wa kaskazini watakuwa pinga Kristo. Mtawala Mfalme wa mtindo wa kaskazini wa Misri. Mfalme wa Kaskazini ambao ni Uropa mtindo wa dhehebu  wa siku ya mwisho.

 

Mtawala wa kaskasini na mtindo wa siku ya mwisho) wataingia nchi takatifu lakini hawataingia Yordani.Hatachukuwa utawala wa Misri kwa vita na utawala wa mafuta ambao ni faida kwa Libya na Ethiopia.

 

Danieli 11:44-45 yasema: ``Lakini kutoka mashariki na kaskasini itamtingizika: sasa ataende mbele kwa nguvu la ukuu na kuaribu vitu, na kupotesha wengi.

 

Na ataweka hekalu lake kati ya bahari wa mlima mtakatifu wa utukufu; na lakini itakuja kwa mwisho wake na hakuna atakaye masaidia’’

 

Kutoka Ezekieli 38, twa jua kwamba Gomer na Rosh Meshek na Tubal wanajihushisha na wengine.

 

Hivyo basi tukiunganisha na agano mbili twaona muungan wa Uropa itanyakua masharik ya kati na kutawala mali ya Libya na uhabeshi ambayo ni mafuta. Watafanya hivyo chini ya muungano wa kimilitia ambayo itatawaliwa na kiongozi aliyepagwa na mapepo ambaye napinga Kristo. Mtindo wa kidini itakayojikita kama ya manabii wa uongo.

 

Katika agano lifuatalo habari itakuwa ni kwamba kiongozi hayuko mashariki na wala hayuko kaskazini. Hivyo basi tunaichukuia ni kuwa tunapambana na kaskazini mashariki lakini maneno yake lina madhara kwa kuleta habari kutoka mashariki na kasha kaskazini na inaashiria mangano wa mataifa kutoka Urusi kuenda mashariki.

 

Vita itaenea toka kaskazini upitia Urusi kwenda Uchini wa wafalme wa mashariki.

 

Danieli asema kuwa kwa wakati huo Machael ata tusimamia na ni wakati wa mwisho. Vita itakuwa ambayo haijawahi kuonekana; kila aiye katika kitabu cha uzima atafufuka. (Danieli 12:11).

 

Kwa wakati huo, wa hekima wa iman, itabadili wengi kuwa watakatifu bna watasimama imani kwa ujasiri. (Danieli 12:3). Haya ndiy ya Danieli 11:33-35.

 

Kuelewa huko kulifanywa hadi mwisho na wengi walikimbia kwenda na kurudi na ujuzi utaendelea. (Danieli 12:4).

 

Wakati uliotajwa hapa ni kwa muda, muda na nusu wa muda. Mtindo huo huonekana kwa mashahidi wakati wa mwisho.

 

Kwa wakati huo nguvu za watu takatifu watatawanyika kasha hayo yote yataisha. (Danieli 12:7-9). 

 

Hata Danieli kakurukusiwa kuelewa vitu alivyonyeshwa kwa vile ilifichwa hadi nyakati hiz za mwisho. Na tuna toa ulewano wa hizo vitu.

 

 Kwa kipindi hicho, wengi watasafishwa na kujaribiwa, lakini waovu watatenda maovu na hawataelewa chochote.

 

 Katika Danieli 12:11-13 twaona kuwa ni muda inapopewa ambao huona maana kulingana na matukio ya 70/71 CE.

 

``Na kutoka siku ambao dhabihu la kila siku litatolewa na mabaya ambayo yanaleta zida itawekwa juu itakuwa siku elfu moja mia mbili na tisini. Amebarikiwa mtu ambayo anaongoja na kuja kwa siku elfu na mia tatu na tano na thelathini’’.

 

Na Mungu akamwambia Danieli, “Nenda zako hadi mwisho; kwa vile utapumzika na kusimama kivyako hapo mwisho”. Hivyo yaweza tu kurejelea nyakati za mwisho na si ya 70CE. Jubilee ilikuwa 77CE vipindi mia oja baadaye tunandika 1977 na jubilee na mwisho ya shetani ni 1978 na inaishia 2027 na uthabiti wa jubilee na mwisho ya utawala wa shetani. Muda utafupishwa kwa ajili ya vita.

 

Muda huu wa nabii ni mwezi moja mrefu kuliko siku 1260 wa sasa kwa sasa na nusu saa.

 

Mwishowe, kuna siku 45 ama mwezi oja unusu. Hivyo basi tutatarajia kuona wateule kitu kama mwezi moja unusu kabla ya mashahidi kuchukua jukumu lao kule Yerusalemu katika pahala takatifu siku 45 toka kwa mashahidi na ufufuo wa wafu kwa kuja kwake Messia.

 

Kwa wakati ho Kristo atarudi. Ataua kiongozi kwa kuja kwake kasha italeta mitindo ya kaskazini na mashariki hadi Magiddo kuangamizwa. Hivyo ni viya vya Amageddon katika Ufunuo 16:16. Pia naangazia vita vya Josiah dhidi ya Pharaoh nacho kule Magiddo wakati wa kuinoka kwa Babeli katika vita vya Carchemish (tizama 2 Mambo ya yakati 35:22). Mungu aiagnazia swala hilo kasha akamweleza Yuda kupitia mdomo wake Necho, kuachana nayo lakini hakuyatilia maanani na viongozi wake wakaangamizwa, kwa wakati huo, atafufua Yuda chini ya Kristo.

 

Baada ya kisa hicho vita vitaendelea hadi sayari itakapoangamizwa ilhali bado hawatatubu.

 

Inafafanuliwa lakini nakala The Seven Seals (No. 140) na The Seven Trumpets (No. 141).

 

Utachukua sehemu yetu kwa mwisho wa siku na Mungu atawalinda na kusuia zote.

 

Mungu hawabariki na kuwatunza. Awainuwe juu na mwangaza kulingana na mapenzi lake na kuwapa amani.

 

 

 

 

 

q