Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[079]

 

 

 

Msingi Wa Oungozi Wa Kibibilia

 

(Toleo 3.0 19941126-20000212-20070720)

 

Jukumu la uongozi wa Bibilia unachunguzwa. Kiongozi bora ananuiwa kuwa na juhud muhimu yasuyoweza kuepukwa. Jukumu la kila mtu kanisani pia ni ya umuhmu sana .

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

 

(Copyright ã 1994, 2000, 2007, Wode Cox)

(Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


Msingi Wa Oungozi Wa Kibibilia



Kuna dhana mingi potovu katika dini ya ukristo, kuhusu mambo yaliomo katika Agano jipya. Hii ni kwa sababu, watu wengi ambao ni Wakristo, wamejitenfa na mafunzo yalioo katika Agano la kale. Wamesoma na kuthibitisha katika, Agano jipya, matendo wanayotenda wakati huu. Vitu vya ajabu ajabu vinatumiwa kuthibitisha na kutotii mafunzo ya Yesu Kristo.

 

Dhana moja muhimu sana ni uongozi. Watu wengi wanatafuta katika agano jipya na klile ambacho wanadhani ni oungozi kulingana na Bibilia, wanaitoutisha na yaliomo katika agano la kale ambayo ilikuwa ni sharti katika kiongozi.

 

Wakati Kristo aliumba agano jipya sabin, alikuwa ana vumbua Sanhedrin (Baraza la viongozi), kile aliokuwa akifanya ni kutuma baraza jipya nje.

 

Makala hii inaanza na hadithi ya kunyolewa kwa kondoo

 

Katika ya mwaka wa 1980, jamii ya mwandishi wa makala haya ilipata mauuno ya hali ya juu ya ngozi ya kondoo yapatayo 92+% katika hali ya kawadia, mapato huwa ni asilimia 70% ya ngozi hayo ya konoo kwa hivyo, wakurugenz wao alitaka kujuwa ni nini walifanyia kondoo, wake ilikupata mavuno ya hali ya juu kiasi hicho.

 

Kupata mapato mema katika ufugaji wa kondoo huwa ni kazi ya wafanyikazi kuangalia masilahi yao. Tunaweza kujifunza mambo mengi kutokana na changamoto hili la kondoo tukitazama hali ya oungozi katika kanisa leo. Tunaitwa wanakondoo kwa sababu matendo yetu yanafana. Mienendo ya mwanakondooo yanaambatana na kanisa na unchungaji wa viongozi katika kanisa

 

Tutatazama mambo ya duarura yanayohitajika ilikutapa wavuona mema katika ufungaji wa kondoo. Utokana na hayo mafunzo tuatalinganisha na kanisa ili tuweze kujuwa, jins uongizi mwena unaweza kubuniwa katika kanisa na kukoza wanakondoo wema wa kristo ana mati wa Kristo kulingana na watu wa Australia

 

Mambo muhimu yanayohitajika ni kama ifuatayo

-         Mazingira safi

-         Chakula bora

-         Uchunguzi

 

Kondoo lazima walindwe dhidi ya adui wao, hata hivyo familia hii imetirika sana na mbwena na wezi

 

Ikiwa wanakondoo hawa wako salama mapato yao yatalingana na misumu na vile wanavyohudumiwa.

 

Musimu ya kondoo kulingana na misumu yaliyowekwa na Mungu wahudumaji lazima wafanye kazi kulingana na kalenda ya Mungu. Idadi ya kondoo huongeza kulingana na utaratibu uliowekwa na Mungu.

 

Lishe bora lazima ikuwe sababu la sivyo ngozi ya kodoo wako itakuwa ya hali duni na kwa hivyo itapunguza utuizi wake.

 

Kwekwe lazima zitolewe mahali ambapo kondoo wanalishwa, kwani mimea zingine zinaathiri lishe bora ya kondoo zingine pia zina kwatuza ngozi ya kondoo na kuiaribu.

 

Hizi ni mbinu za ugugaji wa kondoo. Vilevile katika uchunguzi wa wanakondoo wa Kristo, lazima wapewe lishe bora na kulindwa dhidi ya maangamizi. Wanakondoo wa Kristo wamefundihwa kutii sauti ya mkaguzi wao. Wanathibithsa na kujaribu chochote kuambatana na sauti ya mlinzi wao. Ikiwa mmoja wa wanakondoo aonya dhidi ya hatari umati wote wa wanakondoo huwa macho nauwa waangalifu. Hawajaribu kunyamazisha mwenzao anaye waonya bila kutojali chanzo cha onyo hilo.

 

Kunyesha kuwa mvua kwa wakati nziri ni jambo nzuri kwa ukuzaji wa chakula. Halikadhalika mvua nzuri husaidia katika kutengeneza ngozi nzuri ya kondoo. Kondoo ambaye ameamua peke yake kwa muda wowote huatarika na shika mbili, kwanza maadui wake watakuwa na urahisi kuwaangamiza maadui huwa ni kama mwewe ambaye wataweza kuwava kondoo hawa na vilevile kutoa macho yao.

 

Pili kondoo ambo wameachwa kulala kwa upanfe wao mmjoa waweza kuoata shida ya ini na ni sharti waweze kusimamishwa haraka ili matumbo yao iweze kulainishwe haraka. Mchungani wa kondoo ni lazima wawe macho awe kondoo ambao wamelemweza na uzito wao.

 

Katika utumishi katika kanisa ya Mungu, mambo sio tofauti. Lazima tuwashugulike wenzetu ambao wamelemewa na shida zao. Kristo na utendakazi wake, sio gharama na ni lazima tujarib kusaidia kila mtu bna kuboresha maisha yao.

 

Kondoo katika hali duni hukwa ni chanzo cha kupe wale kondoo ambao hulishwa karib na wenzao huathirika sana kwa urahisi na kupe. Hii husababisha hali duni ya ngozi ya kondoo. Ikiwa malisha imeimewa na idadi kubwa ya kondoo, ni lazima chakula cha zadi iletwe. Jambo hili pia inaangazia neno tupewe lishe mapya na tunfaya tuwezalo kusaidia kila mtu katika njia hii.

 

Kondoo pia waweza kuathirike na inzi waletao magonjwa. Kondoo wagonjwa hupatwa na madhara ya ugozi na iwapo hawatatibiwa wadudeu watawaingilia na kula ngozi yao. Hii itasababisha kifo cha wanakondoo. Wanakondoo lazima watibiwe kwa haraka kukinga kifo chao. Katika hali ya kiroho dhana hilo limepotoshwa na dini mbalimbali kumaanisha; usiruhusu yeyote kusoma chochote au uongea ya yeyote ambaye labda anatoa maoni yake. Hii ni kinyume kanisa na maana yame. Tunapaswa kuwapa watu lishe maoya na kujaribu ujasiri wao kulingana na maandiko. Ni sharti wajaribu na kupima maoni yao kulingna na neno la Mungu. Lazima tuwe shupavu kwa jambo hilo la sivyo busiumarika na maandiko.

 

Utaratibu wa kunyoa kondoo ni kazi nguvu ambayo imepangwa kwa hali ya juu na upande zote. Matokeo ni kazi ya kikundi iliyofundishwa kwa hali ya juu. Kndoo wanafunikwa kabla ya kuwanyoa ili kuzuia maangweli yake kuwa na unyevu. Mazingara lazima iwekwe safi ili kuzuia uchafu. Uchafu hayo yanaweza kuingizwa kwenye vibana na baadaye kuharib mashini za viwanda.

 

Manyoya ya kondoo yaliyoketwa yanachuluzwa na kuwekwa kwa kifaa maalum ili kuzinyoosha. Taratibu hili linajumuisha kuchoma vipande vilivyo na uchafu na kuziweka kwenye mkoya zuilizotengwa. Manyoya ambayo inaanguka kwenye meza inaitwa Locks”, na hizi zinatengwa. Manyoya haya zilizotengwa hali yao ni dui kuliko manyoya zingine. Manyoya hayo kisha yanawekwa katika vipimo vya “micron” na ubiora yao.

 

Kipimo cha “micron” ni kipimo cha upana ya manyoya hayo. Ikiwa kipimo hicho cha “micron” imenyooka basi manyoya hayo ni ya hali ya juu. Manyoya zilizonyookahutumiwa kutengeneza bidhaa za bei ghali.

 

Kondoo huwa hutengwa kulingana na hali yao ya manyoya kabla ya kuonyolewa. Wanatengwa kulingana na uzuri wa ngozi yao, uwezo wao wa kuzalisha watoto na hali yao maisha.

 

Kuna vikundi mbalimbali katika maanisa ya Mungu. Watu 144,000 ni vikundi mbalimbali ya manyoya ya kondoo wa hali ya juu kuliko umati mkuu na kwa hivyo ni mfano nzuri wa hupimwa kufanya kazi mbalimbali kulingana na vipawa zao za kiroho. Vile tunajitayarisha itadhihisha jinsi Mungu tatutumia. Twaweza kutumiwa katika ufalme wa Mungu kulingana na viletumejikuza kutumiwa. Si lazima tuwe tunfaa wachanga au miaka thelathini kutumiwe katika ufalme wa Mungu. Si lazimwa tuwe wanaume, wamaume huongea kulingana na sheria lakini maamuzi katika kanisa hutengenezwa na idadi kubwa ya wanawake.

 

Wengi wa wakongwe, katika kanisa siku hizi humba kuliko watu wachanga. Ila mtu hufanya kazi na wanatumiwa kulingana na uwezo wao wa kuzalisha na maisha yao.

 

Kielezo cha ukuza wa wanakondoo ni ya wazi. Mazingara ya wachaguzi lazima ithibitishwa na lishe yao lazima iwe ya hali ya juu. Vilevile chakula duni inaathiri uwezo wa ukuwaji wa ubongo na kujuwa ukweli. Lazima tuwape changamoto akili za watu kila mara tukisema. “Nini kinachofanyika, kwa nini niko hapa, nini Mungu nanitake ni fany?,” Hali halisi hapa ni kwamba tunajaribu kupata matokeao bora kwa kila mtu.

 

Hatuwezi kufafisha chafya kwa Mungu na hatuwezi kufanya chochote kwa wanakondoo ambao hawawezi kula. Watu kujinyima bure kwa fikra potevu kuhusu ni nini kinachoonda kanisa ya Mungu na nini kuhusu ukweli halisi, ilhali hawata soma chochote. Starehe imesababisha vikundi kutochunguza ukweli nah ii imesababisha watu wenye akili duni. Kama kondoo ambaye amelaki kwa upande mmoja kwa mda mrefu atakufa iwapo hatasimamishwa.

 

Kristo huwaweka kwenye vikundi wale ambao amepwa na Mungu. Utendakazi yao ya ukuzaji na ulishaji ipo kwenye Bibilia. Kristo alweka mtanda ya kuthibiti kanisa na wao viongozi wanaojulikana kama wazee wa kanisa au “Deacons”. Hata hivyo mtandoo wa uongozi wa kanisa katika gano jipya ni kiendelezo cha uongozi wa zamani kilicho anzishwa na “Patriach” na kuidhinishwa chini ya sheria za mlima Sinai.

 

Hii ndiyo ilikumuisha baraza la wazee na hayo namna ya uongozi kullitwa kwa mda wote. Ile hali ya uchongaji katika kanisa ilikuwa idadilike nah ii ingajiongesha katika agano jipya kwamba hali ya uchungaji ilijumuushwa katika wazee wa kanisa ambyo ilikuwa kitu cha zamani.

 

Kazi ya wazee wa kanisa ni Linda wanakondoo ama wanakondoo wa Israeli ambacho katika Agano jipya kanisa inajumuisha wakafiri ndani ya Israeli. Israeli siyo taifa kanilifu. Utambulishaji wa taifa la Israeli sio lazima kwani itakuwa kizingiti katika kueneza injili ya wokovu inje kwa wakafiri. Wakafiri hawathiriki kwa namna yoyote kutokana na dhana kuwa sisi ni wanaisrali au la.watu wakafiri waitwa katika jamii ya Israeli na kufanywa waisraeli ikiwe tumezaliwa ndani ya taifa ya Israeli tuwe wa Juda au Anglo – Saxon, sio jambo muhimu kulingana upako wetu.

 

Kuna watu wengu ambao sio waisraeli ambao pia waka katika nyadhia za juu za kanisa. Hii ndio msimano wa Bibilia, hai rudishi msimamo wote ni wanakondoo. Hatimae mpangilia wa millennium itajumisha dunia yote.

 

Kazi raisi ya uongozi inajumuishe kuweka mazingara safi yasiyokuwa na waangamizi. Oungozi unafiririka hadi nyumabani mwetu. Kila mme ni mhubiri wa unyuma lake.

 

Kila mke lazima akinge watoto wake dhidi ya maangamizi kifa kubwa ambacho kinakorofisha akili ya mwanadamu katika karne hii ni televisheni lazima tuwemacho kuhusu tunalotazama na watoto wetu.

 

Mpangilio hii huanza na sheria ya kwanza ya Mungu na hufanya kazi katika sheria yote na ushuhuda. Ikiwa hawaongei kulingana na sheria na ushuhusa hakuna mwangaza ndani yao (Isa 8:20 KSV). Kazi hili huelekea nchi zote katika uongozi wake. Uongizi wa baraza la wazee ilitangulia kutokwa shara katika mlima Sinai.

 

Mwanzo 50:7 NaeYosefu akaenda juu kuzika barake. Na watumshi wote wa Farao, wazee wa nyumba yake, na viongozi wote wan chi wa Misri wakakuandama (KJV).

 

Uongozo ulikuwa jambo la kitaifa na ilipakaa hadi nje ya Israeli. Mtandao ya uongozi ulikuwepo katika nchi ya Misri kwa kila nyumba kabila na kitaifa.

Kutoka 3:16 Nenda ukasasanya makabila zote za Israeli pamoja na uwaambie, Bwana Mungu wa babu zenu, Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo ilinidhirikia akisema kwa ukweli nimekutembeal na nimeona yote unayotendewa hapa Misri (KJV).

 

Wazee walikuwa wanenaji wa Israeli na walitumiwa kama njia ambayo wasemaji wa Mungu aliamuru nchi.

 

Kutoka 3:8 Na watasikia sauti yangu na kuja wao pamoja na wazee wa Israeli kwa mfalme wa Misri, na kumwambi. Bwana Mungu wa Wahibrani umetutembelea, asa wacha tuende tumwabudu siku tatu ya safari katika janga, tuwezze kutoa sadaka kwa Bwana Mungu wetu (KJV).

 

Haikuwa Musa tu aliyeenda kwa Farao, bali alikuwa pamoja na wazee wa Israeli kwa hivyo uongozi wa wazee ni juhudi ya uongizi katika taifa. Kwa hivyo sheria ya Israeli itajumuika kupitia wazee. Mtandao wa uongozi ya wazee uliobuniwa kibibilia utaongoza sayari hili. Wataongoza na haitakuwa jambo la kisiasa kama vile inavyochkuliwa kwa sasa.Kutakuwa na mbinu ambalo viongozi hao watateuliw na kuchaguliwa, na kisha kutawala taifa.

 

Viongozi wa Israeli walikuwa na juhudi ya kuanda sherehe ya chakula cha mwisho. Pia waliongeakwa niaba ya taifa lao kwa taifa zingine pia walikuwa na jukumu la kidini la kufanya maandalizi.

 

Kutoka 12:12 kisha Musa akaita wazee wote wa Israeli na kuwaambia, jitayarisheni na mjichukulie mwanakondoo kulingana na familia zenu na mkule kwenye pasaka (KJV).

 

Kwa hivyo pasaka haikufanywa kama kitu cha kitamaduni, ilifanyika nchi kote na wazee waliandaa sherehe za pasaka wazee hao walikuwa watatu wakati ambapo walikuwa na Musa huko Horeb wakati Musa alitoa maji kwa mwamba. Mwamba hiyo ilisimamia Kristo. Mara nyingi tunasahu dhana hii ya uongizi tukidhania kwamba uongozi katika bibilia siyo ya kawaida. Kwa mfano tunafaa kuona wakristo halisi wa kibuni njia ingine tofauti ya wazee wa kanisa. Kile ambacho walijaribu kufanya ni kuongoza dunia hii na sheria ya umati.

 

Kutoka 17:5-6 Na Bwana akanena na Musa. Nenda kwa watu wako uwachukue wazee wa Israeli pamoja na fimbo lako. Kukote mtakao vuka mto, mtakuwa mkononi mwangu. Nita simama katikati mwenu mbele ya hiyo mwamba na maji iatatiririka kutoka kwa mwamba ili watu wako wanywe. Musa akafanya hivyo mbele ya wazee wa Israeli (KJV).

 

Mwamba ilikuwa Kristo na maji ikawa roho mtakatifu. Wazee walikuwa na Isa kuongesha kwamba walikuwa na juhudi ya kuchunga watu wao kulingana na roho mtakatifu katika siku za mwihso kutoka kwa Yesu Kristo hadi wana Israeli.

 

Tukitazama kwamba ,haikua musa pekeyake bali waze wa Israeli pia tunafahamu kilichokuwa kifanyike katika Agano jipya.Musa alifanya kazi kulingana na uamuzi ya wazee wa Israeli.Na walisimamia serikali kuu  wa ufalme wa binguni. Vile vile uchngaji katika kanisa ulitenda kazi kufuatana na maagizo ya wazee chini yake Aaron.

 

Kutoka 18:12 Na Jeturo, babae mkwe Musa alitaka Mungu sadaka ya uchoma, nae Aaron akakuja na wazee wote wa Israeli kukula mkate na babamkwe wa Musa mbele ya Mungu (KJV).

 

Hawa wazee waliajibika na jukumu za sheria za Mungu

 

Kutoka 19:7-8 Nae Musa akaja na kuwaita wazee wa Israeli na akawaeleza mambo yote Bwana alinena nae. Na watu wote wakajibu pamoja wakisema. Yote aliyenena mung tutatenda. Ane Musa akarudishia Mungu maneno yaw a Israeli (KJV).

 

Hawa wazee sabini walibuni msingi yenye Kristo alitengwa katika kanisa ya Agano jipya.

 

Kutoka 24:1 na akanena Muda, kujia Bwaba wewe pamoja na Aaron, Nadab, Abihu pamoja na wazee sabini wa Israeli ilimkabudu kwa umbali.

 

Wazee wa Israeli pia wakaona malaika wa Jehova amoja na Musa na Aaron.

 

Kutoka 24:9-18 Nae Musa akapanda juu pamoja na Aaron, Nadab na Abihu na wazee sabiniwa Israeli na waroona Mungu wa Israeli na kulikuwepo chini ya mguu wake mawe iliyochongwa vizuri, na vile ilikuwepo mwili wa bingu ilikuwa juu yake. Na kwa watoto wa Israeli hakutia mkono wake. Pia waliona Mungu na kutokunwa au kula chochote. Nae mngu akwambia Musa, nijie juu yam lima ba ukuwe hapo. Nitakuwa jiwe, na sheria zenye nimeandika ki uwafundishe watu wako. Musa pamoja na msaidizi wake Yoshua wakaenda juu yam lima wa Mungu. Musa akawaambia tongojee haa mpaka turudi, ikiwa mtu ana jambo, Aaron ha Hur wakanayi kuwasaidi. Nae Musa akapanda mlima kisha mbingu kamfunike (KJV).

 

Hii inasimanisa kuwa Yushua alikuwa waziri mkuu mtu ambaye alisaidia Musa. Yoshua jina la Kristo na dhana hiyo inaonyesha vile Kristo alichukuliwa na wazee wakapewa jukumu la serikali hadi Kristo arudi tena. Hii ndio ni kama mfano kuwetu ndio kwa sababu wazee sabin waikuwepo.

 

Wakati Yesu alifufuka na kupaa mbinguni wazee sabini walipwa juhudi katika serikali ya Israeli kwa yapata miaka 2000 hadi Yesu arudi tena.

 

Na utukufu wa Bwana atatua juu ya mlima Sinai na mbngu ikafunika lima huo kwa siku sita na kwa siku ya saba akaita Musa katikati mwa mbingu.

 

Siku sita, kwa kweli inasimamia muda ambao watu walikuwepo duniani. Siku ya saba ni mda wa utawala wa wokovu.

Nae utukufu wa Bwana ulikuwa kama moto kubwa unaochoma juu yam lima machoni pa wa Israeli. Na Musa akapanda juu yam lima, kadunijwa na wingu. Na akakuwa juu yam lima kwa siku arobaini na usiku arobaini.

 

Masiku arobaini na usiku arobaii Musa alikuwa mlima unasimamia unyakuzi wa mikaka elfu mbili.

 

Wazee watiajiike na dhambi za umati huo wote wa Israeli na walidhahirishe hii kwa kujihishishe na kutoa sadaka ya sheria.

 

Law 14:13-26 Na ikiwa wana Israeli watafanya dhambi kwa kutojuwa, nae dhambi ifichwe, ama ikiwa wamevunja moja wapo ya sheria za Mungu ambayo haifai kutendwa naye itakuwa kosa. Ikiwa dhambi abayo wametenda ijajulina, basi watu atatoa ndama na kuileta kwenye madhahabu. Na viongozi wa madhahabu wata tosha mkono yao juu ya kichwa cha ndama hiyo mbele ya Mungu, nae ndama huyo atawawa mbele ya Mungu. Nae kiongozi aliyetakawa ataleta damu ya ndama huyo kwenye madhahabu kisha kuinyunyuiza mara saba mbele ya Bwana, ndani ya mdhabah na kumwaga damu yote ndani ya madhahabu ya kutoa sadaka ya kuchoma ambao liko katika mlango wa kanisa. Atachukua mafuta yake, kisha kuichoma katika mdhahabu. Jinsi alivyofanya na yule ndama ya kutubu dhambi, ndivyo atakavyofanya na huyo ndama mwingie. Nae mchongaji atawaombea na kisha kusamehewa. Nae atabeba yule ndama bila kambi na kuichoa kama yule ndama wa kwanza. Ni sadaka ya dhambi kwa waumini. Ikiwa kiongozi atatenda dhambi kwa kutojuwa, ikiwa anahusiana na kutotii maagizo ya Mungu kuhusu vitu ambavyo haifai kutenda ama ikiwa anakuwa dhambi yake, ataleta motto wa mbuzi wa kiume bila madoa atauchinja na kuitoa kama sadaka mbele ya Bwana. Mchinjaji atachkua damu na kidole chake na kuweka pembeni mwa madhahabu. Atamwaga damu yakle chini ya madhahabu ya kutoa sadaka ya kuchoma na atachoma mafuta yake mbele ya madhahabu kama toleo la amani kisha mchungaji atamwombea kuhusu dhambi yake na atasemewa (KJV).

 

Sasa imeduihirikwa wazi kwamba dhambi za waumini wote upo mikononi mwa wazee wa kanisa nayo dhabi za viongozi na wengine ziko mokononi kwa wenyewe. Taratisnu hilo limewekwa kwamba kila mtu anaajibika kwa Mungu na ni juu yake kufanya toba kwa Mungu. Mbinu hili limepotezwa katika uongozi wa kisasa ya kibibilia. Majukumu ya kila mtu yemashughulikiwa katika (Lawi 4:27-35).

 

Mwanzon Aaron na wanawe waliidhinishwa kama wahubiti wa Israeli na uchungaji wake ulisimamiwa bna mwana kondoo wa upako katika Lev 8:22-36. Huyu mwanakondoo wa upako pia unadhihirisha Mesia. Alidhihisha watu kwanza kupitia uzima wake na kisha alipouwawa na damu yake kudhihinisha wahubiri wa ki-Melisedek. Tumepewa upako kupitia kutolewa kwa Kristo na damu yake ikatoa uchungaji.

 

Muda wa kutayarishwa kwa wanawe Aaro ilikuwa ni siku saba (Walawi 18:33). Ukumu la kutofanya kazi yao kwa njia nzuri ilikuwa kifo. Katika siku ya nane wahubiri wa K-Aaaron walitwa pamoja na wazee wa Israeli kutoa sadaka ya amani ya ya kutubu dhambi sisha Mungu akawadhirihikai. Jukumu la uhubiri ulionyeshwa kupotoshwa na wanawe Aaron ambao waliuwawa na mahali pao kuchukuliwa (Walevi 10:1-11). Kwa hivyo ikiwa hatutawajibka na kazoo uhubiri, tutauwawa na mahli petu kuchukuliwa kutolewa kwa wana wa Aaron unaonyesha, kwamba Kristo ambebadilisha uhubiri na kuugoja ile ya Kimelkisedek.

 

Wa-Levi 10:1-11 Narab na Abihu wanawe Aaron kila mmoja alichukua mkoba wake na kutia moto ndani yake, akaweka ubani ndani yake na kuleta moto ya dhambi mbele ya Bwana. Kinyume ni maagizo ya Bwana. Moto akatoka kwenye uwepo wa Bwana ikawachoma na wakafa mbele ya Bwana. Nae Musa akaambia Aaaron. “Hivi ndivyo Bwana amenena, nitajidhihirika kitakatifu, na machoni pa watu wote nitahimidiwa.” Nae Aaron akashikilia amani yake. Na Musa akaita Mishaeli na Alfan, wanawe Uzieli mjomba wa Aaron na kuwambia, “Karibui bebeni ndugu yenu injie yak ambo,” Kwa hivyo walikatibia na kuwatoa kambini kama vile alivyomuru Musa. Ane Musa akaambia Aaron na Eleaza na Ithimai wanawe, “Misiwache nywele zenu zianike, wala nguo zenu kuyumbanyumba, la sivyo hasira ya Bwana itaungukie. Na kwa ndugu zenu, nyumbo yote ya wana – Israeli litoambolezwa kifo cha moto kilicholetwa na Bwana. Na msitoke nje ya hema, la sivyo mtakufa kwani mafuta ya upako wa Bwana li juu yeny.” Na wakafanya kulingana na Musa.

 

Jabo hili siyo la mzaha. Tukiangazia uongozi wa Bwana ni jambo muhimu tunafanya.

 

Na Bwana akanena na Aaron “Usikunywe pombe wala kinywaji chochote ya kulewewa, wala watoto wenu wsidhubutu mkienda katika hema wa Bwana la sivyo mkufe.

 

Hkuwa sheri milele na milele katika jamii zenu. Mtu hafai kunywa pombe kisha kujakuhubiri kwa kanisa. Ukumu ni kifo na sio viongozi watakao tekeleza hii bali ni Mungu anayeishi ambaye atatuhukumu.

 

Unafaakutofautisha vitu vitakatifu na visivyo vichafu na visafi; na ni lazima ufundishe wana-israeli wote sheria zote ambao Mungu alimpa musa (RSV)

 

Ukosefu wa wahubiri kutenda kazi yao ni kifo kupitishwa kwa wahubiri kutoka kwa Arun hadi Melkizedek ulifanyika chini ya Kristo siku ya pentekosti.Alihidhinisha wazee (Sabuni Lk 10,17) na tendo hili lili chukua pahala pa Sahedrin wa Israeli kuturika kwa ububiri ulijumuisha mahitaji ya kutekeleza jukumu lao kwa takatifu.

 

Umuhimu wa mabadiliko baada ya siku saba, ikiandamana na uwepo wa Bwana lisikana na mpango wa wokovu na uwepo wa Mesia. Nao walipewa jukumu katika madhahabu ya Bwana.

 

Nambari 11:16-30 Bwana akaneana Musa, “Niletee waume sabini ya wazee wa Israeli, ambao unahakika ni wazee wa watu wa uweleto katika hema ya mkutano, wachukuwe msimamo yao pamojanawe. Nitashuka na kunena nanyi hapo, nitachukuwa roho mtakatifu kutoka kwako na kuweka juu yo, na watakusaidi kubeba mzigo ya watu wako.

 

Kwa hivyo Musa hakuruhusiwa kubeba mzigo ya watu wake peke yake. Hiyo chagamoto kuwa Mungu anaonggea kupitia mtu mmoja. Mungu huongea kupita mtu mmoja na kamwe hawezi. Ikiwa alikuwa anafanya hivyo, haangeweza kuteuwa wazee sabibi kusaidi Musa katika uongozi. Musa alipewa yujumu pamoja na wazee wa kanisa na kwa hivyo Mungu haneni na mtu mmoja pekee. Vilevile Mungu anaweza kuongeza na yeyote hata kwa wakati huu. Mesia atakaporusi alachukua nafasi yake pamoja na baraza lake. Tayari tunaye masini na kikundi chake cha watu sabini ambayo alituachia.

 

Ambia mtu wake, jikakazeni kwa siku ya kesho mtakula nyama, kwani mmelilia Bwana mkisema. “Nani atatupa nyamba kwani maisha yetu ilikuwa bora huko Misri”, kwa hivyo Bwana atawapa nyama na mtakula. Hamta zikula sikumoja siku mbili  siku tano, ama siku kumi, siku ishirini bali mwezi mmoja mpaka itokozee mapua zenu zikitoa uvundo kwa sababu mmekataa Bwana aliye miongoni mwenu na kumlilia, “kwanini ulitutoa Msiri”. lakini Musa akasema, watu ambao nimewahesabu elfu mia sita kwa miguu umewanenea, “Nitaapa nyama, na watakula mwezi mmoja”. Kwani ngombe wangapi watachunjwa kuwatosha? Ama samaki wote watavuliwa haharini kuwatosha?” na Mungu akaambia Musa, “Kwani mkono wa Bwana ni fupi?” Utaona kama niliyokunewa yatafanyika ay suio”. Kwa hivyo Musa akaenda watu wake na kuwaambia manena ya bwana. Musa alikusanya wazee wake sabini na kuwaweka kwenye hema. Bwana alishuka chini na kutoka baddui ya roho kutoka kwake na kuwawekea wazee sabini, na wakati roho iliwangilia wakaanza kutabiri. Waume walibakia kambini, mmoja wao ni Eldad na mwingine Medad, na roho ikatua juu yao, walikuwa miongoni mwa waliyojiteula lakini hawakufikia kwenye hema. Na mwanaume mdogo akakimbia Musa na kumwambia, “Eldad na Medad wanatabiri huko kambini.” Na Yoshua, mwanawe Nun msaidizi wa Musa akasema, “Bwana wangu Musa, wakatakaze.” Na Musa akamwambia, “Uko na chuki juu yangu?” Ujui kwamba watumishi wote wa Mungu ni manabii na Bwana ataweka roho yake juu yao!” nae Musa wazee wa Israeli wakaijea kambini.

 

Hawa watu wawili hawakuwa pamoja na malaika wa Mungu kwa kawati hiyo. Hawakuwa pamoja na wazee, walikuwa ujeya kambi.

 

Kulikuweko na watu wawili nje ya wale watu sabini, na hawa watu wawili wakaanza kutabiri. Hii iko na umuhimu gain? Hawa wanenaji wawili, wako nje ta wazee wabini waliyo idhinishwa katika siku za mwisho, lakini wamelainishwa na Mungu miongoni mwao na hawako kwenye uongozi wa kanisa ulioko sasa. Wanakuzwa katika siku za mwisho na wabarusidisshwa uongizi yote kwa Mungu. Huo ndio umuhimu.

 

Roho ya unabii ulipewa wazee ili wasaidie Musa. Hii ndio muktadha wa endelezaji wa unabii katika siku za mwisho sasa uchunguzi wa Ki-Aruni haukusishwa na upako war oho ya unabii. Hii inawakiliha mtiririko mwingine ambapo Nabii mwingine atakuja kama Musa na jina lake na Mesia. Wale wazee sabini walipewa nguvu ya kutabiri na siyo tu katika mazingira ya kambi na Musa lakini ilikuwa inadhiririsha jukumu lao katika ungozi katika Agano jipya.

 

Majukumu ya wazee haikufungiwa tu katika nchi ya isareli. Midian na Moab walipotoshwa na wazee wao na waliangukia roho mbaya ya Balaam (Num 22:4-7).

 

Ilikuwa jukumu la wazee kuja katika na Mungu. Hii haikuwa kabila moja pekeyake. Uamuzi na jukumu uliambatana na wazee.

 

Deutronomy 21:1-6 Katika nchi ambayo Bwana atawapa, mtu apatikane ameuwawa, na hamkui chanzo cha kifo chake, basi wawee wenu na waamuzi wenu watajitokezea na kupimo umbali karibu na aliyeumwa. Na wazee katika kijiji kilicho karibu na mahali hapo watatoa ngombe dume ambaye hajafanyiwa kazi na kuileta kupitia maji ya bonde, ambayo haijalimwa amakupandwa chochote na kasha mvunje shingo ya ngombe huyo hapo. Na wachungaji, wanawe Lawi watajitokeza kwani Bwana, Mungu wako amewachagua kufanya kazi na kubariki jina lake. Na kwa maneno yao, kila zogo na ubako litasuluhishwa kasha wazee wote wa kjiji lililoko karibu na maili watanwa juu ya ndama aliyenyongwa katika bonde.

 

Sala hili mpangilio nzuri wa wazee katika eneo. Kwa hivyo Israeli ilinganywa kulingana na uongozi, nayo wazee wakapewa maeneo zao za kuwakilisha.

 

Deutronomy 21:18-22 Kama mtu, mwanaye ni mtukutu, ambaye hata tii sauti ya babake wale ya mamake, basi wazazi wake watamshika, na kumleta kwa wazee wa jiji na kusema “Huyu mwanawetu, ni mtukutu hataki kufuata maagizo zetu tena ni mlafi na mlevi,” Kisha viongozi wote wa jiji watampifa na mawe hadi kifo, kwa hivyo mtatengana na mwovu kati yenu ili wana – Israeli wote watasikia na kutii.

 

Kuwa kiongozi ni jukumu muhimu sana na tunafahamu kwamba uovu lazima huadhibiwe, mpangilio hili limeundwa katika milenia hii, na huo ndio sheria.

 

Wazee walikuwa na nguvu ya kuhukumu nguvu hili lilipewa kanisa katika hukumu.

 

Wazee waliajibika pamoja na Musa katika kukuzaa na kulinda sheria kumi za Mungu.

 

Deutronomy 27:1 kasha Musa na wazee wote wa Israeli akaamuri watu akinena, “Yalinde sheria zote nimewapatia siku hii.”

 

Wazee na waongozi wamesimama mbele ya Mungu na jukumu Musa alikabidhi sheria kwa wahubiri na wazee kuzilinda.

 

Deurtonomy 31:9 nae Musa akaandika sheria hiyo na kuwapa wachungaji, wanawe Lai, ambao walibeba sanduku la agano za Bwana, na kwa wazee wote wa Israeli.

 

Kwa hicyo jukumu la sheria iliwekwa mikononi mwa viongozi wazee walipewa kazi hiyo, na kurekodiwa dhiidi yao.

 

Deutronomy 31:28-30 wakusanye wazee wote wa makabila zenu pamoja na maafisa wenu, niweze kunena maneno haya, masikioni mwao, mbingu na ardhi yatakuwa mashahidi dhidi yao. Kwani najua, matatu, nitakapofika, mtaingiliwa na ufisadi na kutofanya kazi kulingana na amri zangu. Na kwa siku zijazo roho mbaya itawaingilia, kwani mtakatifu vitu ambavyo havifurahishi Bwana. Kisha Musa akanena maneno ya wimbo huu hadi zikaisha masikioni mwa jumuia ya Israeli.

 

Chini ya Yoshua, wazee walitenda kazi kwa umoja katika uongozi wa Israeli (Josh. 7:6; 8:10). Walikuwa mashahidi dhidi ya Israeli. Israeli aliwekwa kuzuizini kwa kutojibika kwa wazee (Lam. 4:16). Wahubiri na wanabii walikuwa wakora na wafisadi (Lam 4:13). kwa hivyo Israeli ulitawanywa.(Lam 4:15) Oungozi wa umoja ulifunikwa na Agano jipya katika karne hii. Kristo aliunganisha haya makundi ili kali hiyo itekelezwe kwa umoja.

 

Yoshua 8:33-34 kasha waisraeli wote wageni na wenyeji pamoja na wazee wao, waka simama kando ya sanduku ya agano mbele ya wahubiri sanduku la agalo la Bwana. Nusu yao mbele yam lima Garizim na nuru ingine mbele yam lima Ebal, kama vile Musa mtumishi wa Bwana alivyowaamuru, ya kwamba wahubiri wanaisraeli. Na kasha akasoma maneno hayo yote ya sheria barara pamoja na kuhusu, kama vile ilivyoandikwa katika kitabu cha amri.

 

Nafasi ya wazee katika hukumu, ulianshwa na waisraeli (Josh 9:11; 20:4; 23:2; 24:1,31). watu walitumikia Bwana, siku zote za Yashua na siku za wazee uliotangulia Yoshua, ambaye aliweza kusuhudia matendo makubwa ya Bwana katika nchi ya Israeli (Jdg.2:7). Tunajua hadithi ya Israeli chini ya Jaji (angalia Samsoni na Jaji (No. 73) na Gideon’s Force na siku za Mwisho (No. 22), Hili taratibu iliendelea chini ya agano jipya ya kanisa. Wakati wakuu ambayo walimwona Kristo akifa, alafu roti ikaja. Sasa tuko na mpangilio kwa kutawaza uongozi wa isareli. Hiki ndiyo mwazo ambayo ni lazima tuangalie ukumwa wa bililia na utawala kwa jumla.

 

Kwa kupitia hiki kipindi kuna kuana uongozi wa wa Nchi, tuna jukumu sit u kwa kwa kuubiri, lakini sisi kama watu tuna jukumu ya kutawala Nchi yetu. kwa kuwapa uongozi wa pili  na kuwasa kakanya vilivyo. Tuki leta hili nchi pamoja kwa kutubu, ni lazima tuwape sauti ya uongozi kwa kupitia uongozi wa Bunge, ambaye itaipitia serikali. Kazi ya wakuu iko katika Melkizek padri pia, Alafu, wale watu ni lazima wakuwe wakristo kw kuwa Viuongozi kwa kutawala nchi hii na Isareali wote kwa kutibu, na mahali kwa kichwa chake na watu mabaye wana amini Yesu kristo na kwa Mungu Mbayew sisi sote twabudu.

 

q