Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[154]

 

 

 

Wanefili

 

(Toleo 2.0  19950303-19991108)

 

 

Wanefili ndiyo walikuwa wakuanza vili yameandikwa katika Kutoka 6:4 kama upavu wa “mwana wa Mungu” “na pia madada wa wanadamu”. Haya yote ndiyo kiini cha watatu wa kali na pia yameandikwa hata katika bibilia. Hiki kijikaratasi ya angazia tu binadamu ya kale na hadhi yao, watu wa Titans, na wa Raksasa w aroma yana, na wafu wa Cahari ambaye yana tambaa, na watu wa mwanzo Aprocyphon, na Gibbowrim na Rephaim, wana tumia usawa mbali mbali katika haya kazi, san asana katika Bibilia ya umoja, ukungoni wa manefili yame angaziwa

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

 

(Copyright ã 1995, 1999 Wade Cox)

(Tr. 2009)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


Wanefili [154]

 


Somo la Nephilim ni ngumu idogo. Ni mbinu kwa jumla inayopatikana kote ulimwenguni na haijafunganiwa katika bibilia. Ni somo pana inayojumuisha mataifa, yaani inapatikana katika mataifa mengi kulingana na rekodi zao.

 

Tunaangazia tukio la kwanza la Mwanzo 6:4.

 

Mwanzo 6:1-22 Sasa ikawa kwamba hesabu ya wanadamu ilipooanza kuongezeka usoni pa nchi, nao wakazaa mabinti. 2 Ndipo wana wa Mungu wa kweli wakaanza kuwaona mabinti wa wanadamu kwamba ni wenye sura za kupendeza. Nao wakajichukulia wake yaani wote waliowachagua. 3 Baada ya hapa, Yehova akasema, “Roho yangy haitavumilia siku zote na mwanadamu kwa kuwa yeye pia ni mwili. Kwa hivyo siku zake zita kuwa miaka 120”. 4 Wanefili walikuwa duniani siku hizo na pia baada ya hapo, wakati wana wa Mungu wa kweli walipoendelea kulala na binti za wanadamu nao wakawazalia wana, hao ndio waliokuwa watu wenye nguvu wa kale, wanaume wenye sifa. 5 Basi Yehova akaona kuwa ubaya wa mwanadamu ulikuwa mwingi duniani na kila mwelekeo wa fikira na moyo wake ulikuwa mbaya tu wakati wote. 6 Yehova akajuta kwamba amewafanya wanadamu duniani, naye akaumia moyoni mwake. 7 Kwa hivyo Yehova akasema, “Nitawafulia bali kutoka kwa usoni mwa nchi wanadamu ambao nimewaumba, mwanadamu na mnyama wa kudungwa na mnyama nayerukaha mbinguni, kwa sababu ninajuta kwamba nimemfanya.” 8 Lakini nao akapata kibali machoni pa Bwana,

 

aya ya 9 inaendelea kusema (kama kundi tofauti, lakini inaunganishwa kwa sababu Nohan anaangaziwa katika aya zote).

 

9 Hii ndiyo historia ya Noah. Noah alikuwa mtu mwadilifu. Alionekana kuwa mtu asiye na kosa kati ya watu wa siku zake. Noah alitembea pamoja na Mungu wa kweli. 10 Baada ya muda, Noah akazaa wana watatu, Shelmu, Hamu na Yafethi. 11 Na dunia ikahoriba machoni pa Mungu wa kweli. Dunia ikajaa jeuri. 12 Basi Mungu akaiona dunia na, tazama! Ilikuwa imeharibika, kwa sababu kila mwenye mwili alikuwa amejiharibia njia zake. 13 Baada ya hapo Mungu akamwambia Noah “Mwisho wa wote wenye mwili amekuja mbele zangu maana dunia imejaa jeuri kwa sababu yao na tazama mimi ninawaharibu pamoja na dunia. 14 Jifanye safina wa mtu wenye utomvu. Nawe utafany vyumba katika safina hiyo. Nawe uifunike kwa lami, ndani na nje. 15 Na hivi ndivyo utakavyoifanya, urefu wa safina utakuwa mikono mia tatu, upana – mikono hamsini na kimo chake mikono thelathini”. 16 Utaifanyia safina isohari (paa): au (dirisha) nawe itaikamilisha kiasi cha mkono moja kwenda juu na mwingilio wa safina utaweka katika ubavu wake. Utaifanya ikawa na ghorofa ya chini, ghorofa ya pili na ghrofa ya tatu. 17 Tazama mimi ninaleta gharika ya maji duniani ili kuharibu kutoka nchi ya mbingu, wote wenye mwili za nguvu zilizo na uhai ndani yao, kila kitu kilicho duniani kitakata pumzi. 18 Nami nitafnya agano langu pamoja nawe, nawe uingie ndani ya safina, wewe na mke wako, na wana wako na wake wa wana wako. 19 Na kati ya kila kiumbe cha hai cha mwili wa aina yote, wawili wa kila aina utawaleta ndani ya safina ili kuwahifadhi hai pamoja nao. Watakuwa dume na jike. 20 Kati ya viumbe vinavyoruka kulingana na aina zao na wanyama wa kunfungwa. Kati ya wanyama wote wanaotembea katika nchi kuligana na aina zake. Wawili wataingia humo ndani pamoja nao ili kuwahifadhi hai. 21 Wewe nawe, jichukulie kila aina ya chakula kinacho liwa, nawe ujikusanyie, kiwe chakula kwa ajili yako na yao. 22 Naye Noah akafanya kulingana na yote ambayo Mungu alikuwa amemuamuru. Alifanya vivyo hivyo.

 

Muundo wa Mwanzo 6 haijaachwa. Inaanzia aya ya kwanza hadi mwisho katika aya ya 22. Sababu iliyomfanya Mungu kuangamiza dunia ni matendo ya binadamu. Tunaangalia dhana hilo katika Mwanzo 6:4 ambako tamko la majitu enzi hizo ni Wanefili.

 

Mwanzo 6:4 Wanefili walikuwa duniani siku hizo, na pia baada ya hapo wakati wana wa Mungu wa kweli walipoendelea kulala na binti za wanadamu nao kuwazalia wana, hao ndio waliokuwa watu wenye nguvu wa kale, wanaume wenye sifa.

 

Hao watu wa ajabu wa wazee walikuwa ni Girrorim ama Gibborim. Tukiangalia Green’s International Bible (ikichukuliwa tu hivyo). Wanefili walikuwemo duniani nyakati hizo na hata baadaye walipokuja kwa wana wa Mungu (neno la Mungu ni “HaElohim” yaani wa nwa Mungu) kwa mabinti wa wanadamu (neno hapo ni Adamu huye) na wakawazalia wana walikuwa mashujaa (neno la mashujaa ni Gibdomin yaan mashujaa hao) walioishi enzi hizo za kale na majina yao yakahifadhiwa.

 

Kunayo mpangili wa dhana katika hayo maneo yaliyotafsiriwa na Green wanefili walikuwa duniani nyakati hizo na hata baadaye ambapo wana wa Mungu waliwaingia mkinti za wanadamu na wakawazalia wana.

 

Septaugint inatafsiriwa wana wa Mungu kama malaika wa Mungu. Good News Bible inaichukulia ni kama malaika wa Mungu na gungu zingine nyingi zaangazia dhana ya wana wa Mungu kama wenyeji wa malaika inasema katika ukurasa wa 518 ya Vol 3 ya International Standard Bible Encyclopedia chini ya mada wanefili.

 

Entomology ya wanefili haijahakikishwa, maelezo yafuatayo yameenzwa na mapokezi tofauti. Kwanza inaweza kutokea nifal ya kitenzi ppala, kumaanisha “si ya kawaida” yaani “watu wasio wa kawaida”. Poli yaweza kuwa kwamba moja ya mwazao (1) “yaliyoaanguka” kutoka mbinguni yaani viumbe vya ajabu; (2) “Watu walionguka” kwa ubadhilifu, (maana iliyokubalika ya wanefili ni kutoka napal kuanguka katika wazo la mwenyeji aliyeanguka inaonekana katika DSS na itabu cha uhabeshi cha Enoch pamoja na fungu za kibibilia. Hao ndio walionguka. Dhana hiyo basi niya walioanguka kutoka mbinguni yaani viumbe vya ajabu, maana ya kwanza juu, mbona ya pili juu ni zaidi kupita ya kwanza

 

ISBE inaendelea

(3) “Wanaoanguka” katika wazo la wavamizi; (4) Walioanguka kutokana na kisu cf Ezekeili 32:20f; (5) “Wanadamu waliopatwa kwa jia siya ya kawaida” ama wasio na baba zao (cf Nepel “abortion” ama miscourage).

Hakuna hata moja kati ya hayo inayodhabitisha wasomi na wengine huchukulia wanefili kuwa wasioelezeka wa enzi za kale, ambalo lugha iliyosahaulika kwa sasa. Kuna habati iliyo na hadithi mbili tu. Inaendelea kusema, wanefili walikuwa watu wa muundo wa ajabu ukilinganishwa na Wahibrania, katika Hesabu iliyo na hadithi mbili tu.

 

Inaendelea kusema, wanafilisi walikuwa watu wa muundo wa ajabu kulinganishwa na wahibrania, katika Hesabu 13:13. Ushahidi huo inathibithsa na taarifa inayesimulia kuwa kizazi cha Anak kule Kanani walifuatia kizazi cha Raphaim ama Wanefili katika Mwanzo 3:4. Walifuatia baadaye kupata sifa ya mashijaa wasiasahaulika katika kipindi cha andediluva iliyoendela wakati wa mafuriko. Hiyo ungefuata kuhama kwa msingi wa masepotamia deluge ambapo wangeonekana kama kizazi kilichoishi Kanani. Madirisha ina mila na desturi kuwa wanefili walitoka juu ya safina. Lakini bila shaka dhana la mafuriko kwa wasomi wa kisasa na hiyo IABE pia ni sawa. Habari yake ni dhahiri shahiri. Wamefili waliaminiswa kuingiliana na wabinti za wanadamu. Hiyo ilikuwa waze la Ugiriki Urumi na hadithi za Misri na zile za mashariki ya karibu.

 

ISBE inaendelea na kugusia Mwanzo 6:1-4.

Isipokuwa kuli kuwa na vitu muhimu katikaka naka hiyo kumekuwa nakupitwa na wakati katkika sehemu hiyo la sivyo hata kumekuwa na nyingi sana katika maishani mwetu ndiyo maana tuna pata katika kifungo cha 4 kugawa nykia wa vikundi katika kronologia.

 

Kutokana na somi la Mwanzo 6:4 ni wazi kuwa Gibbowirim walikuwa sawa na Wahefili. Dhana hilo lilikubaliwa  kama lile la wakati wa mafuriko na baadaye na kuwa wakati wa Kristo.

 

Baada ya mafuriko ilikubalika kuwa dunia ilikuwa chini ya uongozii na ulinzi wa malaika walioitwa “watakatifu” au walinzi, kama ilivyo katika Danieli 4:13, 17, 23 na Danieli 2:11. Hawa ama wazo ilikuwa sawa katika ulimwengu wa Kiyudea. Kwa Ugiriki Wanefili walirejelewa kama Titans. Universal Oxford Dictionary inaeleza Titans kuwa 

(Jina la kilatini ya nduguye Kronos, pia katika ushahiri, Mungu wa jua, umoja wa Ugiriki ni Titan Tinenon)

 

1. Inatumika sanasana katika ushairi kama jina la Mungu wa jua mjukuu wa Titan, ama kwa jua iwapo litapewa uhai.

2. a. (Hadithi za Ugiriki) kwa (umoja) wazee wa Titans kaka ya Kronos kwa (wingi) familia ya Wanefili, watoto wa Uranus (Binguni) na Gaea (ardhi) waliopigania ukuu wa mbingu.

 

Titans hao au Wanefili walijikita katika hadithi za kale na watu wa Indo – Arya na walitoka India na hata mpaka Asia, wanefili katika Sankirt ambaye ni “rakasa”. Yanaonekana katika Ramayana na hadithi za India kama rakasa (Wanefili) na walikuwa katika mavurugano hayo.

 

Hakuna kutokuwa na hakika kwa mila na desturi hiyo ilikuwa kawaka kote duniani hadi wkati wa Kristo. Zinapatikana katika Dead Sea Scrolls kwa kizungu kwamba walifunika fungu nyingi. Mojawapo andiko hizo ni Apotuphon ya mwanzo. Tafsiri yake ipo katika Geza Vermes The Dead Sea Scrolls kwa kizungu, Pelican, 1985, ukurasa wa 216 sehemu ya II. Ni muhimu kurejelea hadithi yake na kuangalia kuelewa kwa wakati wa kristo mpaka wakati wa mafuriko. Apocyphon ya mwanzo inaunda mazungumzo inayorejelia kuzaliwa kwa Noah ba Babayake. Lamek anasuka kuwa bibi yake alisikilizana na malaika mmoja wa walioshuka kutoka mbinguni na akaoa binti ya wanadamu (Mwanzo 6:1-4). Ukanaji haingemhakiki ndipo akauliza babake, Methusela kumpata babake mwenyewe, Enoka mwenye hekima-aliyeishi parwan katika eneo la paradise ili kupata ukweli kutoka kwake. Hadithi sambamba na hiyo iko katika kitabu cha Enoka ambapo tutapata kuwa kushika kwa malaika inaangaziwa sana, fungu hilo linarejelewa kueleza kinachoeleweka kuwa kinatendeka katika Mwanzo 6:4.

 

Apocyphon ya Mwanzo inasema:

 nilidhania kuwa bila moyo wangu uongo ilikuwa ni la walinzi, watakatifu na Wadefili na moyo wangu alisumuka ndani yangu kwa sababu ya jirani hili, ksiha mimi Lamek nikafikia Bathenash bibi yangu kwa haraka na kumwekeza. “………. Kupitia aliye juu zaidi, Mungu mkuu, mfalme na mtawala wana wa bingu mpaka matakaponiambia ukweli wa kila kitu, iwapo niombiye (lawa hakika) na si kwa uongo, Kristo Batherosh anakanizungumza kwa joto (kasha)…… akasema “o ndugu yangu, oh Bwana wangu kumbuka furaha yangu……. Kulala pamoja na roho yangu ndani yake. (Na nakuambia kila kitu kwa hakika………………..kisha atakuiza hasira akaongea nami akisema “Oh bwana wangu kumbuka, furaha yangu, napaa kwamba kupitia mtakatifu mkuu, mfalme wa mbingu kuwa oungo ni wako na ni kutoka kwako, ambayo roho yake alipandwa na wewe na sio mtu yeyote.

 

Apocryphon na mwanzo inaachilia kando kuelekea kwa karne ya kwanza ya kilichokuwa kikitendeka katika hadithi hii ya Mwanzo 6:4. Hadithi hiyo inaambatana na utakatifu wa Noah na ukeo wake na inasema. Noah alikuwa bila kosa katika kizazi chake. Sababu ya fungu hili ni kuwa Waisraeli waliona haja ya Noah kuwa bila kosa katika kizazi chake.

 

Katika Mwanzo 6:9 neno tamim la Kihibrania inamaanisha bila alama yeyote ila tendo la kimawazo bali ya kimwili na tutapata kwamba Bullinger ameangalia katika appendix 26 ya companion Bible Companion Appendix 26.

 

Neno Tamim la Kihibrania inamaanisha isiyo na alama ya uchafu. Hivyo basi matumika kwa wanyama kwa minajili ya utakatifu wa dhabihu.

 

Inahakikishwa kuwa bila uchafu katika kutoka 12:5; 29:1; Walawi 1:3; 10; 3:1; 6; 4; 3, 23, 28, 32, 5:15, 18; 6:6; 9:2; 3; 4:10; 22:19; 23:12; 18; Hesabu 6:14; 28; 19; 31; 29; 2,8 13, 20, 23, 29, 32, 36. Ezekieli 43:22; 23; 25; 45; 18; 23; 46:4; 13 inaonyesha kuwa Mwanzo 6:9 haizungumzi kuwa usawa na Noah. Dhana hizo pia zinaangaziwa katika companion Bible, appendix 23 na 25 iliendelea tokea kipindi kabla ya mafuriko.

 

Vitendo pia vime wekwa katika Bibilia katika appendix 23 na 25. Hizo maneno lazima zieendlee kupita mafuriko ambayo wana wa Mungu huku ndiyo walikuwa mailika wakulika.

 

Appendix 23

“Wana wa Mungu” Katika Mwanzo 6:24

Ni kwa tendo takatifu la uumbaji ndipo kiumbe chochote chaweza kuita mwana wa Mungu. Kwa kile kinachozaliwa kwa mwili ni mwili. Mungu ni roho, kwa hivyo “kinachozaliwa kwa roho ni roho” (Yohana 3:6). Hivyo Adam anaitwa “Mwana wa Mungu”, katka Luka 3:38. Wale “Katika Kristo” wakiwa na “hali mpya” ambayo ni kwa uumbaji wa Mungu. (2 Wakorintho 5:17; Waefeso 2:10) pia yawezekana na wanaitwa “wana wa Mungu” (Yohana 1:13; Warumi 8:14, 15; 1 Yohana 3:1).

 

Ndiposa malaika pia wanaitwa “wana wa Mungu” kila pahali ambapo tambo hilo linatumika katika agano la kale, Ayubu 1:6; 2:1; 38:7, Zaburi 29:1; 89:6, Danieli 3:25. Hatuna mamlaka au haki kuchukua tamko la Mwanzo 6:4 kwa njia yoyote. Katika mwanzo 6:2, septougint inaichukulia kuwa “Malaika”

 

Malaika ni “roho” (Zaburi 104:4, Wabrania 1:7, 14) kwa kua roho ziliumbwa na Mungu. Kushuka kwa malaika ipo katika Yuda 6. Hali ya kushuka kwao inaelezewa katika aya hiyo. Waliacha Aiketerion (abode) yao. Jambo hilo linatokea tu katika 2 Wakorintho 5:2 na Yuda 6 ambapo inatamika kwa mwili uliafufuka.

Hili ya dhambi zao inaelezewa kuwa katika “hali ya kupenda” inafanana nay a Sodoma na Gommora, Yuda 7.

Wakati wa kushuka kwao inachukuliwa kutenda “nyakati za Noah” (1 Petero 3:20, 2 Petero 2:7) hata ingawa kuna uwezekano wa kushuka awali liyosababishwa mwisho wa “dunia uliokuwa wakati huo” (mwanzo 1:12; 2 Petero 3:6). Kwa dhambi hiyo, “wanehakikishwa hukumu” 2 Petero 2:4 na “wamo gerezani” 1 Petero 3:19.

Jina yao Wanefili, walikuwa majitu wa ajabu na kuwa viumbe vya ajabu kwa kiasi na matendo, ilibidi waangamizwe (tizama appendix 25). Hiyo ilikuwa sababu ya kipekee ya mafuriko kutokea.

Noah tu na familia yake ndio waliohifashi kizazi hicho cha Adam (kama Adamites). Ikabidi tu iangamizwa (de facto) jinsi ilivyoaangamizwa (de jure). (ni neno lilo hilo katika aya ya 17 kama aya ya 11, 12)  tizama chini ya appendix chini ya moda Wanefili.

Picha ya malaika kushuka ilikuwa ni jaribio la kwanza la shetani kuzuia kuja kwa mbegu ya mwanamke iliyotabiriwa katika Mwanzo 3:15 iwapo hiyo ingefaulu, neno la Mungu lingeshindwa na iabu yake ingeonekana.

Punde tu ilipogunduliwa kuwa mbegu ya mwanamke ilikuwa kupitia Abraham, lazima kungekuwa na ishara nyingine kama ilivyorekudiwa katika Mwanzo 6:4 “na hata baada ya hiyo” (yaani baada ya nyakati za Noah, zaidi ya miaka 500 baada ya ishara ya kwanza). Madhumuni kuu ya adui ilikuwa hapo na mbegu yake, kwa kuwa Abrahamu ili kungaangania kukaa hapo na mbengu yake. Kwa kuwa Abrahamu alipoingia kunani, tunasomo (mwanzo 12:6) “Mkanani walikuwa tayari yumo Kanani.”

Katika sura hiyo (Mwanzo 12:10-20) tunaona jaribio linalofuata la shetani kukumbana na mbegu la Abrahamu na kuleta shida kwa kazi ya Mungu ilifaa kuwa ndani ya “Isaka” jaribio likarudiwa tena katika Mwanzo 20:1-18.

Mavurugano huenda akaonekana kote katika bibilia na inaleta swala muhimu katika somo la Bibilia. Katika kila kiwango, dhana ya binadamu na hitaji bali sheria alikuwa na maono yake mwenyewe. Hivyo Mungu alipaswa kukemea pepo zote na hatari zilizowaelekea watumishi wake na watu wengine wote.

Kuangamizwa kwa taifa lote lillofuatwa na Farao, Kutoka 14. kuangamizwa kwa uume wote wa Israeli, Kutoak 1:10, 15 na 6 kutoka 2:5 Wahibrania 11:23.

Baada ya kizazi cha Daudi kutembuliwa (2 Samweli 7) kuwa ilikuwa kufuata katika kuangamizwa. Mungamizi wa shetani ilikuwa ni muungano ya Yerthom na Athalia kupita Yehehaphat, 2 Mambo ya Nyakati 11:1, Yerusalemu aliwana nguvu zake zote (2 Mambo ya Nyakati 2:17; 22:1).

Ahaziah alipofika, Ahtalia aliwaua “mbegu zetu” (2 Mambo ya Nyakati 22:10). Motto Joash tu ndiye aliyeokolewa na kwa niaba sita uaminifu ya neno la Yehova ilisimama (2 Mambo ya Nyakati 23:3) Hezekiah alikuwa bila motto wakati mauwaji yalipokelezwa na mfalme wa Asyria na mfalme wa Terrors (Isaya 38:1). Uaminifu wa Mungu alitegemewa (Zaburi 136).

Katika ungufwa, Haman alitumiwa kujaribu kuongamiza taifa lote (Esther 3:6, 12, 13 (p. 6:1).

Uonga wa Yufusu unaangaziwa katika Mathayo 1:18-20). Hangependa Maria uuwawe kwa kupigwa na nawe (Kumbukumbu 24:1), hivyo alitaka kumtaliki. Lakini Mungu aliingilia kati “usiogope”. Herode alijaribu kumwuoa huyo motto mdogo (Mathayo 2). Katika jaribu “jitupe chini” ilikuwa niya shetani. Nazareti tena (Luka 4) kulikuwa na jaribio lingine la kumwongamiza. Mvua mbili baharini pia yalikuwa majaribu.

Kwa hatua, msalaba uliafikiwa, saa zikagonga, na jiwe likaziba. Lakini Mungu alimfufua. Nasasa kama Joash mwingine. Ameketi na anatarajia (Wahibrania 10:12-13) akifificha nyumban mwa Mungu aliye juu.

Imefichwa katika nymba ya Mungu juu, na washiriki wa “mwili mmoja” wamefichwa hapo “kwake” (Wakolosai 3:1-3) kama Jehoshaba mwingine; na kuenda mbele kushuhudia kuja kwake, kama Jehoida.

Kuchipuka kwa “malaika wa kuanguka” (wana wa Mungu) ilikuwa jaribio la kwanza; na ilienekezwa kwa wanadamu.

Wakati ambapo Ibrahimu aliitwa, yeye na wazao yake yalivaiwa. Wakati Daudi alisingiziwa, alafu ufalme ukafifia na wakati “mbegu ya wanawake” yeye mwenyewe alikuja alafu wingu likapasuka.

 

Kuna mifuato ya nyayo kulingana na bibilia katika mistari wa 23 ambapo inasema

 

Neno “uzao” katika Matendo 17:29 ni tofauti kiasi ni (genos), ambapo inamaanishwa kuwa makini au ungawana, ungewana wetu unatatokana na Mungu.

 

Kuna utafauti, sababu ya hii kufanywa ilikuwa katika karne ya nne waanishi wa historia Augustine wa Hippo alitumia hili wazo la malaika mkuu kama mwana wa Mungu na wazo la kufanya uzinifu na wasichana wa Adam na aliamua kuwa wazo halikuwa sawa. Alitaka kulibadilisha na kusema kwamba wana wa Adam kupitia Seth walikuwa wana wa Mungu na wanma wa Cain walikuwa wana wa wanadamu na alijaribu kubadilisha shida kwa kusema kwamba wana wa Seth waliungana na wana wa Augustine alifanya wazo ambalo lilikuwa likae hadi karne ya ishirini na kuaribu idadi ya makanisa. Kueleza nini ilikuwa inafanyika na kueleza kuhusu msimamo wa Bibilia. Agano jipya ikowazi katika maandiko yake kwamba mtazamo huu wa malaika ni kwamba walikuwa na uzingi wa kujitolea. Wara wa Jude, abaye ilisambazwa na wengi kama kuwa kuandikwa na James, nduguye Yesu, ikokatika aya Jude 6-9 inasema (Bibilia ya kindani).

 

Jude 6-9 na hao malaika wasio weka nafasi zao za kwanza, lakini kushushwa ukuu wao, aliwekwa katika minyororo ya milele chini ya giza kwa ajili ya hukumu wa siku kuu, kama Sodoma na Gomora, na miji lizungukayo, katika mfano wao, kufana uzinzi, na kuenda nje kwa wanyama wengine, na kuweka mfano kabla ya wakati, chini ya moto wa milele, hata kwa wale wanao ota, na kugawa uongozi na kuongea mabayo kuhusu uogozi, laki Michael ni wasaidizi wa malaika, wakati walipo pigana na shetani, alishindana kuhusu mwili wa Musa – hakujali kuleta hukumu lakini alisema tena na Bwana akulaani!.

 

Wazo lote ni kwamba malaika waliacha makao yao ya kwanza na kufanya zinaa. Bibilia ya kindani inasema mtazamo wake.

 

Jude 6-9 malaika na wale wasio zitunza nafasi zao za kwanza na kujiweka katika ukasa wa kujiabudu, kwa hukumu ya siku kuu katika minyororo ya milele chini ya giza ameiweka, kama Sodoma na Gomora na miji lizungukayo, katika mfano sawiya wa kufanya uzinif na kuenda nje kwa mili mingine. Aliweka mfano kabla wakati wanao ota waliangamizwa, mkuu na uongozi, kuukuza na kuongea mabaya. Lakini Michael malaika msaidizi wakati wa shetani, aliteta kuhusu mwili wa Musa, wala hakujali hukumu, lakini alisema, tena Bwana atahukumu.

 

Bibilia ya oxford mpya RSV inahusiana na Jude 6 katika njia hii.

Malaika ambao hawakutunza nafasi zao lakini waliwacha kutukuza kutukuza kwema kuliachwa naye katika minyororo ya milele katika Nethergloom hadi hukumu ya siku kuu, kama vile Sodoma na Gomora na miji ya karibu ambayo pia ilitenda dhambi na kufanya mambo tofauti, iliweka mfano wa kuungua kwa moto wa milele.

 

Agano jipya la Mungu, utafasiri wa agano jipya na Heinza W. Cassirer ilichapishwa na Eerdmans, Michigan, 1989, katika utafasiri wake wa Jude unasema:-

 

Kuna malaika wengine ambnao hawakuwa tayari kutunza mkuki wa kuzingatia lakini wamekafaa ukweli na jinsi wanavyo husika na Bwana na kuzibadalisha kwa sehemu ya giza kuweka mipaka ya minyororo ya milele na kutunza kupokea hukumu wa siku kuu. Kumbuka Sodoma na Gomora na hao majirani ambao walijeweka washikiwa katika nafasi ya malaika na kuweka utu wao. Sasa wako katika macho yetu wajifanya kama ilani na kunyakua pigo la kuwa katika moto wa milele.

 

Utafasiri wa Bibilia wa Cassirer ni sawa kamili na utafisiri wa Bibilia wa Kiingereza pia ni sawa. Lakini siyo sawa kama Cassirer – na kuonyesha kabisa kwamba Jude 6 inashikilia kwamba malaika waliacha makao yao nakufanya uzinzi. Paulo pia ashikilia kuwa hivy katika maandiko katika 1 Wakorintho 11. Kwa maandiko haya Paulo alihisika na wazo wa nafasi za wanawake katika 1 Wakorintho 11:10 hapa anasema:-

 

Kwa mtazamo wanawake wanchukuliwa kuwa na nguvu juu ya kiongozi wake kwa sababy ya malaika (KJV).

 

Wazo lote linaangaziwa na nafasi ya mwanamke kulinganishwa na mwanamme katika maandiko ya 1 Wakorintho 11, iliwekwa na uhusiano na kazi za malaika wakuu na kuhusiana na wanawake. Hii ndiyo sababu Paulo anasema ilikuwa kwa sababu ya malaika. Hii imekuwa wazo la tofauti kwa wengi, lakini hatutaelewa iwapo tutaelewa Jude na uhusiano wa ndani kwa ndani nay ale yanayo fanyika na uhusiano wa mwanzo.

 

Hadithi ya mwanzo inahusika sana na yalifanyika na kuvuta punzi na mafukio. Noah alikuwa sawa kwa wakati wake. Mafuriko yalisababishwa kuhusiana na kupunguza Nephilino na Raphaim au Gibbowrim.

 

Wazo la raphaim inaangaziwa pia na Isaya 26.

Katika Isaya 26:12-21 Bwana, utatuamuria amani; Yesu maana ni wewe pia aliyetutendea kazi zote. 13 Bwana, Mugu wetu mabwana wengine zaidi ya waume wametumika; lakini kwa msaada wako peke yako wamekwisha kutariki, hawatafufuka; kwa sababu hiyo umewajilia, na kuwaangamiza, na kuupoteza ukumbusho wao, isumeliongeza hilo taifa, Bwana umelioongoza taifa; wewe umetokuzwa, umeipanua mipaka yote ya nchi hii. 16 Bwana katika taabu zao walikwenda kwako; waliomba maombi mengi wakati adhabu yako lipokuwa juu yako. 17 kama vile mwanamke mwenye mamba anayekaribia wakati wake wa kuzaa, alivyo na ufungu na kulia kwa sababu ya maumivu yake, ndivyo tulivyokuwa sisi mbele zako, ee Bwana. 18 Tumekuwa na mamba, tumekuwa na utungu. Tumekuwa kama kwamba tumezaa uepo; hatukufanya wokovu wowote duniani, wala hawakuanguka wakaoa dunaiani, 19 watu wako wataishi, maiti zangu zitafufuka, amkeni, kaimbeni, ninyi mnaokaa mavumbini, kwa maana umande wako ni kama umande wa mimea, nayo ardhi, zawatoa waliokufu.20 Njoni watu wangu ingia wewe ndani ya vyumba vyako, ukafnunge mlango nyuma yako ujifiche kitambo kidogo, mpaka shadhabu hii itakapopita.21 Kwa maana tazama, Bwana anakuja kutoka mahali pake, ni kuwaandibu wakao duniani, kwa sababu ya uovu wao ardhi nayo itafunua damu yake, wala haitawafunika tena watu wake waliouawa.

 

Tazama maandiko katika aya za 13-14.

 

Bwana Mungu wetu, mabwna wengine kando yake wanayajaribu kutugeuza; lakini kwa wewe pekee tutalitaja jina lako, wamekufa, hawataishi: wamekufa, hawataamkwa kwa hivyo usiwatembelee na kuwaharibu, na kuziweka roho zao katika afueni.

 

Maandiko hapa yananzika na kufufuka. Hili tukio linafanishwa na aya ya 19.

 

Taza ulimwengu pia haujatawaliwa na Israeli, ufufuo unafananishwa na siyo wengine. Nephelim au Raphaim wahawa ufufo. Neno “Kufunikwa” katika aya ya 14 istafasiriwe kuwa kufunikwa, ni jina k.m Rephaim.

 

Wazo a mbegu kuu za kuanguka. Theosi Elohim wote ni wana wa aliyejuu. Ni wama wa mbingu au wana wa Mungu.

 

Wazo ni kwamba dhambi ya kimaumbile malaika walifanya mabo ya kibinadamu ambayo ilikuwa ya kuogofya na kivita. Ilitokea kuwa usaidizi wa mpango wa Mungu kwa kufanya vitu ambavyo vilivuta hewa na kuharib hewa ya Adam. Wazo linaonekana kuwa la viumbe. Mara nyingi walichukuliwa kuwa wa nguvu na uwezo na wakuu salwa la ufufuo limeangaziwa sana katika karatasi ufufuo wa wafu The Resurrection of the Dead (No. 143).

 

Uhusiano wa Bibilia unahusika na wazo na ni ya kushangaza kwa nafasi yake kwa Nephilim. Nafasi ya Augustine wa Hippo katika mji wa Mungu ni uongo kama tukuavyo.

 

Uhusiano wa Bibilia, nakala ya 25

Nephelim, wakuu wa mwanzo 6.

Kuanguka kwa malaika wa wasichana wa Adam (tazama Mwanzo 6, na nakala 23) wanaitwa katika Mwa 6, Ne-Phil-im ambayo inamaanishwa wanao anguka (kutoka naphal, hadi kuanguka) ambayo hawa wote walikuwa na kukusanywa. Walikuwa wakuu kimambile, pia wakuu kwa unuonge. Walikuwa wanadamu, wasiyo timamu, na kuaribiwa kwao kuliwa kwa lzima ili kukinga wanadamu halisi, na ukweli wa neo la Jehova (Mwanzo 3:15). Hii ndiyo sababu ya kuletwa kwa mafuriko “juu ya wasiyo wa Mungu” (2 Pet 2:5) kama ilivyo tabiriwa na Enock (Jude 14).

Lakini tunasoma Nephilim tena katika Hes 13:33 “Hapo tuliona Nephilim, wana wa Anak, ambayo inatoka kwa Nephilim”. Vipi, itaulizwa, hakuwake, kama wangeharibiwa pia katika mafuriko? Jibu liko katika Mwa 6:4, ambapo tunasoma: kulikuwepo na Nephilim katika Dunia katika nyakati hizo (Nyakati za Noah); na pia BAADA YA HIYO, wakati wana wa Mungu walikuja kwa wasichana, wa wanadamu, na wakazaa wana kwao, hiyo pia ilitokea kuu (Wae. Gibbor, bingwa) ambao walikuwa wa kale watu wa wanyewe (watu wa jina ambao walipata ina na walipewa kwa mtu wao).

Kwa hivyo “baada ya hiyo” baada ya mafuriko, kulikuwa na mafuriko ya pili wa kuanguka kwa malaika kwa uchache wa idadi na sehemu chache, kwa kuwa walikuwa sehemu zilizotambulika “Canaan” na kujulikana kama “taifa la Canaan” ulikuwa uharibifu wa hii mshale wa Israeli ulihitajika, kama mafuriko.

Kwa tarehe ya siku ya kwanza ya tukio, ilijulikana kuwa mbegu ingetoka kwa Ibrahimu, wakati alipotoka kwa Haran (Mwa. 12-6) na Canaan. Canaan ilikuwa tayari katika nchi. Na katika Mwa. 14-5 walikwisha julikana kama “Rehaim” na “Emim”.

Hii ilikuwa ikatwe nje, na kutolewa nje na kuaribu (Kum. 20:17, Yosh 3-10) lakini Israeli ilishindwa katika hii (Yosh 13:13, Is 63; 16:10; 17:18, Waamuzi 1:19, 20, 28, 29, 30-36, 2:15; 3:1-7), na hatujui ni wangapi walitoroka kwa nchi zingine kuepuka kuharibiwa kwa jumla. Kutoka Kumbukumbu 2:10, walijulikana na wengine kuwa Emim na Harim na Zamzummim (V. 20, 21) na Arim na C.

 

Kama Rephim walijulikana vymea, na wanatajwa lakini, ghafla, badala yah ii, jina lao zuri, kutunzwa linatafsiriwa kama :kufa”. Hawa Rephaim hawana ufufuo. Ukweli huu umeandikwa katika Isa 26:14. Imewekwa “kufa” mara saba (Yako 26:5; Zab 88:10, Meth 2:18, 9:18, 21:16; Isa 14:8, 26:19) imewekwa katika Isa 26:14.

 

Imetunzwa kama jina halisi “Rephaim” mara kumi (wawi kuwa wa kushangaza) Mwa 14:5, 15:20, Yosh 12:15, 2 Sam 5:18, 22, 23:13 1 Chro 11:15, 14:9, 20:4, Isa 17:5.

Katika nafasi zingine zote inajulikana “kwa” Mwa 6:4, Hes 23:33 ambapo ni Nephilim, na Job 16:14 ambapo ni Gibbor (Ap 14 iv).

Kwa kusoma hizi aya zote mwanafunzi wa Bibilia anaweza kujua yote ambavyo kujua kuhusu utu huu.

Tukio la pii lilitokea kabla ya Mwanzo 14, kwa kuwa Rephaim walichanganywa na mataifa matano au watu, ambayo yalihusishwa Sodom na Gomora, na walishindwa na wafamle wanne chini ya Chedorlaomer.

Anak alichukuliwa kuwa walio shuka kwa Nephilim, na Rapha alikuwa mwingine, na kupeana majina yao kwa koo tofauti. Baba wa Anak alikuwa Arba, wajenzi wa Hebron (mwa 35:27; Yosh 15:13, 21:11) na hili tawi la Wapalestina la amakim halikuitwa Ibrahim bali tawi la wapelestime la Anakim halikuitwa Ibrahim bali amakim baada ya Anak. Walikuwa wakuu na warefu (kumb. 2:10, 21, 22, 23; 9:2) kuweka watu kumi na uoga (hes. 13:33) og mfalme wa Bashan anaangaziwa katika Kumb 3:11.

Nguvu zao zinaokekana katika “mjiji mikuu ya Bashan” leo. Na hatujui ni umbali gain ulichukuliwa na misri kwa ujenz wa majengo, ambayo bado ni shada isiyo tatuliwa.

Arba alijengwa tena na khabiri au kujengwa miaka saba kabla Zoan ijengwe na Mapharao wa Israeli. Tazama Hes. 13:32.

Ikiwa hawa Nephilim, na tawi zao za rephaim, zilihusana na Misri, tuna sababu ya shida ambayo iko kwa miaka kuwahusu wajenzi wakuu, kama vile pivi mawe makubwa na mazito yalivyo letwa pamoja. mbona siyo katika Misri kama vile “miji mikuu ya Mashan” ambayo inaishi kama hivyo kwa hizi siku?

Mengi tunayo kwa hawa watu wakuu “watu wa uwenyewe” ufafanuzi wa misingi wa mythology ya Ugiriki. Hiyo mythology haikuwa uzinduzi wa ubongo wa mwanadamu, bali ilitoka katika mila, fikira na hadithi za vuimbe vikuu, na ilikuwa ikiendelea polepolekutoka kwa “mabeberu” wa Mwa 6:4 ukweli ni kwamba walikuwa miungu ya Waigiriki.

Hiyo Babylonian “tembe za kumba” kila Misri “kitabu cha wafu” nythology ya wagiriki, ambayo hiko sawa katika vifungu au kwa usaidizi wa wengine wa hiyo, yote ni tukio na nafasi za ukweli.

 

Nakala ya uhusiano wa Bibilia ni muhimu kuangalia katika habari na Nephilim katika uhusiano wa kusomwa katika nyaraka za Bibilia. Ziwa lililokufa linazingatiwa kwa juu zilipofanywa. Shada kuu na itwayo Orthodox ukiristo kati ya karne ni kwamba ufafasiri wa bibilia umekuwa shida. Mungu na malaika wakuu, wanawe, wamekuwa wakifafanishwa maumbile ya wanadamu na udewi wake mchache wa wakti. Ni pekee sasa kwamba tunauwezo wa kutoa DNA na uzao wa maumbile. Mweelekeo wa wakti umetufanya kuona kutokuwa na uwezekano wa uelewi.

 

Hadithi za ulimwengu wa kale unafafanua uwezo wa uumbaji wa kiroho mbele ya mtazamo wetu wa kawaida kuona na kupima. Historia inafafanua vita ambavyo vilikuwa nab ado vimeendela kupigwa ili kuchukuwa utawala wa uumbaji. Upingwaji wa Nephilim kama mzao wa wakuu walionguka katika karne wa nne CE. Hakuulizwa katika Israeli ya kale kama ukweli. Agano jipya linachukilia tabia za kimaumbile ya wakuu walionguka kama ukweli.

 

Inasimamia sababu kuwa ilikuwa kiroho kinawezo kushuhudiwa kama mwanaume na kupigana mieleka na mwanamke hapo kuna uchache kukinga tukio sawa kutoka kwa mwanamke kuwepo wa wanadamu katika sayari hii haiwezi kufanya uumbaji wa Mungu pekee.

 

Kuhusu sura ya Mungu.

Kuta 1:             Mungu aliwaumba wanadamu

Kuto 2:             kutoka Isaya 26:14 ufufuo umenyimwa kwao

Mwisho 1:        Hawakuwa sawa

Mwisho 2:        Mungu kutokuwa sawa kwa wanadamu ungekuwepo na ungeweza kuhitilafiana na mipango yake ilihitaji uharibifu katika sayari

Mwisho 3:        Mungu kushudia

 

Ikiwa Mungu siyo mngawana sawa, hivyo hawezi kuwa Mungu. Mtu asiye jua maumbile yote ya Mungu. Mungu ni mwana na mwenye msamaha.

 

Hitimisho: Mungu alipeana mamlaka na kuchangua Elohim wakuu.

 

Hivyo uwezi kufanya jambo bila kulita jina la Mungu. Hakuna vita katika ya maandiko kamili ya kibibilia kuelewa vyema. Nephilim wanachukiliwa kuwa kama wanadamu.

 

Ni kwamba kulikuwa na majaribio kadhaa kufanya maisha merevu kwa wakuu katika mpango wa Mungu. Sayansi inaashiria kuwa wanyama katika maisha ni mepesi tu katika dirisha la nafasi ya kujumuisha au ya kuondoa miaka millioni chache katika maisha nyota. Uumbaji wa hivi karibuni, kama vile mamba walionekana kufanya aima nyingine. Wanadamu rekodi yake amemaliza vita vya kiroho na kimwili ambayo viliaribu mengi. Hadithi ya vita vya mbinguni viliposemwa vitafanya ulimwengu kusimama katika mshangao Tazama karatasi uumbaji: Creation: From Anthropomorphic Theology to Theomorphic Anthropology (No. B5).

 

Note: in this paper, extensive quotes are taken from E.W. Bullinger’s The Companion Bible (KJV) krenges publicates, P.O. Box 2606, Grand Rapids, Michigan 49501, USA.

 

 

q