Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu

[052]

 

 

 

Toba Na Ubatizo

 

(Toleo 2.1 19940903–19980505–20070626)

 

 

Karatasi hii inashighulikia tamaduni zinazohusu mfiko wa awali na mwito wa Mungu. Toba na mazungumuzo yameonyesha kuwa matakwa ya awali katika ubatizo na pia inayafuatilia katika maisha ya wakristo.

 

 

 

 

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

 

E-mail: secretary@ccg.org

 

 

 

(Copyright © 1994, 1998, 2007 Wade Cox)

 

(Tr. 2009; rev. 2017)

 

Masomo haya yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

 

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.logon.org na http://www.ccg.org

 

 


Toba Na Ubatizo



Tamaduni zinazohusu mfiko wa awali

 

Kuingia katika ufalme wa Mungu ni tendo la upendeleo. Hamna mtu huja kwa Mungu lwa maarifa yake mwenyewe. Si habari za kimafunzo, kama ingekuwa hivyo, basi mambo ya kielimu yangehgiza kwenye ufalme wa Mungu kwanza. Ya kuwa hayaingii ni ishara kwa yale yayasemayo.

 

Watu wote huitenda dhambi. Binadamu ni bila Roho mtakatify kwa hivyo, akoili ya mwanadamu iko katika kutolewana na Mungu. Ndiposa maandiko yasema kuwa akili ya kimwili ina uadui na Mungu (Wao 8:7). Hii ni kwa sababu maumbile ya Mungu yako katika hali ya Roho Mtakatifu. Bila Roho Mtakatifu, tuko katika hali ya kutoelwana na sheria kwa sababu hatuna hali ya Mungu. Hali hii ya uungu inachimbuka kutoka kwa Mungu kama kitone cha wema. Mungu ni ukweli, na ni ukweli tu uwezao kutuweka huru (Yn 8:32). Hivyo ukweli ni suala linaloendelea kutoka kwenye roho na kuwatoa mawaa wateule (Yn. 17:17-19).

 

Kwa hivyo hatuwezi kuwa sehemu ya ufalme bila ya kupewa Roho mrakatifu. Roho hujondoa kwenye dhambi, Mungu, hivyo lazima afanye maamuzi imara ili kuwaonyesha wateule kwa Roho akifahamu kuwa watafaulu. Anafanya hivyo kutokana na sayansi yake iliyo na nguvu kuliko sayansi zote. Hivyo, tuliitwa katika mapumziko yake, kuanzia na Kristo (1 Pet 1:20), na kuandikwa katika kitabu cha uzima. Anatoka kwenye msingi wa ulimwengu (Ufu 17:8). Kazi zake zilikamilika kabla ya msingi wa ulimwengu (Waeb 4:3). Wateule ni kazi ya Mungu.

 

Ni Mungu kupitia kwa Kristo, kwa njia ya Roho Mtakatifu, azifunguaye akili za wateule wote akianza na mitume, ili maandiko yapate kueleweka. (Ilk 24:45). Ni kwa sababu Kristo alizungumza kwa mafumbo ili wale wasioteuliwa wasilewe. Hivyo, watageuka na kuokolewa (Mat 13:10-17) kabla ya wao kuweza kuingia katika hukumu. Mungu ni mwenye huruma na hapendi yeyote kuangamia (2Pet 3:9). Hivyo, kwa sayansi yake ya awali, kila mmoja anaitwa kulingana ni sababu yake. Kwa wale walio wajua kumbele, aliufanya mfikoawali ili afananishwe na sura ya mwanawe ili awe mwanambee katika ya ndugu wengi.

 

Wale aliofanyia mfiko awali, pia aliwaita, wale aliowaita, aliwatia haki, wale aliowatia haki, aliwatia nuru. Ni nini basi twaweza kusema kuhusu hili? Ikiwa Mungu yuko upande wetu, ni nani yuko kinyume chetu? (War 8:28-31).

 

Toba wa ubadili

 

Ili mwanadamu aishi, au awe na uzima wa milele, Mungu anamhitaji kutubu. Asipotubu, ataangamia (Lk 13:3,5). Kristo alituwa ili awaite watu katika toba. (Lk 11:32). Kristo alianza huduma yake baada ya kufungwa kwa Yohana mbatizaji (mat 4:12;7). Kifungo cha Yohana kulitokea muda Fulani baada ya pasaka ya 28 CE. (Yn 3:22-24; Mat 4:12) ikiwa ndiyo pasaka baada ya kuanza kwa huduma ya Yohana katika mwaka wa kumi na tano wa Tiberio (Lk 3:1). Tangu wakati huo, Yesu alianza kuhubiri akisema. “Tubuni kwani ufalme wa Mungu uko karibu, Kristo aliwataka wanafunzi wake kuhubiri injili ya toba, kuwapa ruhusu na uwezo juu ya mapepo au roho wachafu (Mk 6:7,12; Lk 10:1, 17-20).

 

Vitu viwili ni muhimu katika toba. Kimoja ni maarifa juu ya dhambi na yule aliyetenda dhambi. (War 3:23) chap pili ni kuweza kumgeuka Mungu, kupitia neno lake. Hivyo ni lazima tupwewe kiwango cha kuelewa hali ya dhambi na dondoo zilizo ndani ya maajabu ya Mungu. Wateule wanapewa mwezo juu ya mapepo ili kuonyesha kuwa majina yao yameandikwa mbinguni na kuwaongoza katendo yao na hali zinazowazonga katika vita vya kiroho wavyokumbatia navyo. Hivi wana nguvu kuloko nguvu za mapepo.

 

Toba ilifunzwa kama kitangulizi katika kuondoa dhambi (au uovu, Matendo 8:22) ili wakati wa mapumziko uweze kuja katika uwepo wa Bwana, ili aweze kumtuma Kristo, aliyeteuliwa kwake (Matendo 3:19-20).

 

Hivyo Kristo hakutumwa kwetu bila toba. Hii ni harakati inayojirudia, Kristo ametumwa katika mfumo wa kibinafsi pia na mara moja naya mwisho.

 

Waumini wa utatu wavia utata katika kuelewa harakati hii kwa sababu ya kutoelewa oungozi wa Mungu.

 

Nyakati za kutofahamu, kama ziitwavyo, Mungu alipuuza, baada ya Kristo, anawaamuru watu wote kutubu, na kuweka siku ya hukumu juu yao (Matendo 17:30). Hicyi toba imeendelezwa hadi pia kwa mataifa (pia tazama Matendo 15:3).

 

Ufahamu ukhusu dhambi na kutothaminika kwa mtenda dhambi ni suala muhimu katika toba. Hivyo, haki za kibinafsi ni dhambi mbaya zaidi kwani mtenda dhambi hawezi kukuona kutokamilika kwake. Ni upotofu wa kibinafsi.

 

Mungu anatuondolea mienendo duni mbali kama mashariki kutoka magharibi (Zab 103:12). Zingatia muktadha wa jumla wa Zaburi (103:6-14).

 

Zaburi 103:6-14 Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki na hukumu kwa wote wanaoonewa. Alimjulisha Musa njia zake, waka wa Israeli matendo yake. Bwana amejaa huruma na neema, haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili. Yeye hatateta siku zote. Wala hatashika hasira ya milele. Hakututenda sawasawa na hatia zetu. Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu maana mbingu zilipoinuka juu ta nchi, kadiri ile ile rehema zake ni kuu kwa wamchao. Kama mashariki iliyo mbali na magharibi, ndivyo alivyoweka dhambi zetu mbali nasi. Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, ndivyo bwana anavyowahurimua wamaomcha. Kwa maama Yesu anatujua umbo letu na kukumbuka kuwa sisi tu mavumbi.

 

Tangu toba na kumrudia Mungu, mwengo dhambi anayetubu lazima atende matendo yanayostahili toba. (Matedno 26:20). Lazima tuziumbe na kuzifuyenga tabia zetu. Dhambi si tendo la kuajali, huchipika kutoka katika hali ya akili. Akili hii huwekwa katika hali ya dhana mafikiri, yadumuyo ambapo ni mchanganyiko wa kemikali za kimwili ndani ya ubongo. Hii ndiyo sababu ni vigumu kupambana na dhambi. Ni lazima zitabatilisha harakati za akili. Hiki dnicho chanzo cha maandishi. Mpe Mungu kazi zako, na atagaimarisha mayazo yako. (Meth 16:3 na 2 Wak 10:5).

 

Labda KJV imanasa sehemu pana zaidi katika maana ya kazi za akili. Ni harakati isyokoma. Maumbo mengine ya kijamii yalitokomea kitambo kiasi kuwa hayawezi kuyashinda matatizo yao. Mungu aliiharibu Sodama kwa sababu haingeweza kurebebika katika muda aliopeanwa. Kwa maneno mengine, walikuwa wametokomea, kiakili. Hawangeweza kuushughulikia ujumbe waliopewa. Hivyo Mungu hashurutishwa wanadamu kurekebisha mienendo ya mataifa katika siku hizi za mwisho, licha ya kuwa mbele zao. Hiyo ndiyo sababu Sodoma itawalaumu watu wetu (Mat 11:23-24; Mk 6:11; Lk 10:12) kwa sababu tunao ujumbe wa Kristo ilhali wao hawana.

 

Kwa hivyo, mwito wa Mungu kulingana na msururu wa matukio ya mfiko awali ndio wa kwanza katika harakati za kuingia katika ufaleme wa Mungu. Mungu anajua mwisho kutuka mwanzo. Hawatawafanyia mfikoawali wale ambao hawatafaulu. Hivyo, wengi waliitwa ila wachache waliteuliwa (Mat 22:14).

 

Mungu hawakilishi mtu mbele ya hukumu hadi awe na uwezo wa kukabiliana ba hili. Hivyo walivitwa bila kuteuliwa hunywea katika ufufuo wa pili. Kwa mfano, wale wote waliubatizwa kanisani kwa sasa na wale waangukao katika utatu huenda kwenye ufufuo wa pili, hawaletwi mble za hukumu. Mungu hajitambulishi kwao. Mahitaji ya kiweko katika ufufo wa mwanzo, yaani kuwa na uzima wa milele, ni kumujua Mungu mmoja na wa kweli na mwanawe Yesu Kristo (Yn 17:3).

 

Yohana 17:3 inarejelea ufufuo wote, wa kanza na pili, na watu wote. Hakuna mwabudu wa Mungu wa uongo, wala yeyote anayejidai kuwa Mkristo, kama wafanyavyo waumini wa utatu, kwa mfano, au waabudu wa miungu wowote wa oungo, wataurithi uzima wa milele hata katika ufufuo wa pili. Watapewa funzo kulingana na makosa yao, na wateule ambao watakuwa walimu wao katika hali ya kiroho. Wasipotubu katika ufufuo wa pili, watakufa na kuchomwa katika Jahanam. Watatubu au watakufa!

 

Hili liahiska wa dhambi yeyote iliyondani ya Amri za Mungu. Amri ya kwanza na kuu – mepnde Bwana Mungu wakokwa moyo wako wote, kwa mwili wako wote, na kwa akili zako zote (Mat 22:37; Mk 12:28; Lk 20:27-40, cf Kumb 6:5) – juzikumbatia zile nne za mwanzo. Amri ya pili kuu – mpende jirani yako kama unavyojipenda  mwenyewe (Mat 22:39 cf Mambo ya Walawi 19:18) – huzikumbatia zile sita za mwisho. Katika Amri hizi mbili kuu hubeba sheria zote (Mat 22:40). Hivyo, Amri kumi ni upanuzi wa zile mbili alizopewa Musa na masihi kupitia kwa Roho Mtakatifu. Toba ni harakati ya kumgeukia Mungu na maumbile yake. (Mal 3:6-12) (cf. msururu wa sheria katika karatasi Sheria za Mungu (Na. L1).

 

Harakati hizi za kumgeukia Mungu hutokea kama sehemu kungeukia Mungu hutokea kama sehemu ya matendo ya kumjua au kuelekea kumjua Mungu (Yn. 17:3; 10:37-38). Kristo humtambulisha Baba kwa watu baada ya Baba kumpeana kwa watu ili kuanzisha harakati (Yn. 6:44; 57:65). Hivyo mwisho alianza tangu mwanzo wa ulimwengu na unaendelea. Ni ya kwanza kati ya zile tatu, ya pili ni ubatizo na ya tatu ni toba iendeleayo.

 

Ubatizo

 

Utawala wote ulitwika juu ya Kristo tangu kufufuka kwake (Mat 28:18). Aliamuru kuwa wanafunzi wake waende wakafanya mataifa wote wanafunzi wakiwabatiza kwa jina la Baba, mwana na Roho Mtakatifu. (Mat 28:19). Na kuwafunza kutenda yale yote ambayo Kristo aliamuru. Hivyo atakuwa pamoja nao hadi mwisho wa dahari (Mat 28:20).

 

Toba lazima lambatanishwe na ubatizo ili kuimarisha karamu ya roho mtakatifu (Matendo 2:38). Hatuwezi kupokea Roho Mtakatifu hadi tutubu na kubatizwa, hivyo kuzaliwa upya. Bila ya kulaziwa upya, hatuwezi kuingia katika ufalme wa Mungu (Yn 3:3,5).

 

Toba ni sharuti kwa ubatizo na opokezi wa Roho mtakatifu. Hivyo ubatizo wa watoto wachanga ni kinyume cha Bibilia. Ubatizo ni moja kati ya acramenti za pekee za mwanzo mbili za kanisa. Nyingine ni chakio cha Bwana (Taz karatasi Sakramenti wa Kanisa (Na. 150)).

 

Hali ya awali ya toba ilisisitizwa na huduma ya Yohana mbatizaji, ambayo alikuwa mwamulishi wa ubatizo wa Roho Mtakatifu kwa Kristo (Mk 1:7,8). Yohana alieleza kuwa Kristo atabatiza kwa Roho Mtakatifu na moto kuhusiana na wasiotubu (waliotambulia kama taka) (Lk 3:16-1).

 

Roho mtakatifu anaelekezwa upande wa Mungu kwa ombi, linalotambulia kwa kuwekelwa kwa mikono, roho mtakatifu hamwingia mtu. Roho mtakatifu hadhibitishwi na mtu anapomwenea mwingine mikono. Anayeweka mikono au wanaoweka mikono hawakilisha kanisa huku wakimwomba Roho Mtakatifu kanisa huku ombi la kanisa na mtu huyo na kumwiyia hayo mpokeaji na kutenda shughuli yoyote ile. Hiyo ndiyo sababu sharuti inayomwongoza afisa kanisani haipo sawa katika muda hai wa harakati hii. Kristo alisema wakifungacho wawili au watu duniani kitajengwa na mbinguni (Mat 18:18-20).

 

Mathayo 18:18-20 Amin nawaambieni, yeyote mtakayoyafunga dunaini yatakuwa yamefungwa mbinguni, na yeyote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbingini. Tena nawaambieni ya kwamba wawili wenu watakapopatana katika jambo lolote watakaliomba watafanyiwa na Baba Yangu aliye mbinguni, kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo kati kati yao.

 

Roho hivyo medhinishwa kwa jambo lolote la kazi ya Mungu na wala si mwanadamu yeyote. Roho Mtakatifu hutenda kazi kwanzia ubatizo akitenda kazi kwa kila mmoja. Roho huwavuta wateule kw Mungu kupitia kwa Kristo (Waebr. 7:25). Tundo la kwanza la Roho Mtakatifu hupeanwa katika wakati wa ubatizo, kutoka Karumi 8:23 ambayo inaeleza kuwa umiliki haufanyiki hadi ukombozi wa mwili. Hivyo tumezaliwa upya ila tunakuwa tunaendelea kukua katika Roho kila siku na Kristo Yesu hadi tuende mbele za Nuru ya Mungu (Tazama karatasi Roho ya Kufanywa Wana (Na. 034) na Kuzaliwa Tena (Na. 172)).

 

Udhibitisho huu wa Roho mtakatifu katika ubatizo ni maji ya visima vya wokovu yaliyoahidiwa na Mungu kupitia malaika wake (Isa 12:3). Maji haya yahahudiwa Yakobo na yakanakiliwa katika Isaya 44:3. Bwana ndiye chemchemi ya maji yaliyo hai. Yer 2:13; 17:13; Zak 14:8). Huu ni mtu wa maji ya uzima (Uf 22:1) Kristo akiongea kuhusu Roho (Yn 7:39), asema kutoka kwake maji ya uzima hububujika. (Yn 4:10-14; 7:38, cf Isa 21:3; 55:1; 58:11; Eze 47:1) Israeli imesafishwa kiroho kwa maji, kutoka Ezekieli 36:25 ambao ndiyo maji ya uzima au Roho mtakatifu wateule hunywa maji haya bila malipo (Ufu 22:17).

 

Toba inayodumu

 

Toba ni harakati inayoendelea na hupaswa kuongeza kina kadri miaka inavyosongea baada ya ubatizo. Kanisa huko Efeso liliitwa kutubu na kukumbuka kilichokuwa ubatizo ambapo kwapo iliporomoka na kurejea kazi za awali (Ufu 2:5). Vivyo hivyo kanisa la oergamum liliitiwa toba (ufu 2:16), pia na kanisa la Thyatiria (Ufu 2:21-22) amblo lilikuwa ba uteume wa uongo aliorushwa tandikoni na walimu wa uongo aliorushwa tandikoni na walimu wa oungo wa dini. Kanisa la sardia liliitwa Toba au Kristo atawajia kama mwizi wa usiku na hwatajua saa za kuja kwake (Uf 3:3). Wapenzi wa Kristo, hawasahihisha na kuwatia moyo. Anawataka watubu (Ufu 3:19). Hivyo toba inaendelea katika makanisa yote ya Mungu kwa jukumu la wote (Yas 5:19-20).

 

Toba, hivyo ni hali ya awali katika ufalme wa Mungu. Kuna si wateule, ambo ndiwo hekalu la Mungu (Mambo ya Wal 26:12; 1 Wak 3:16-17; 6:19; 2 Wak 6:16, Waef 2:19-22) na sehemu ya harakati ambayo Mungu aliteua tangu mwanza wa ulimwengu hamna nyama ya mwili itaokolewa ikiwa hai (Mat 24:22). Mungu angeruhusu wanaadamu wote kuaga dunia kama alivyooendelea wale wa Nephilim kukomeshwa (Tazama karatasi Wanefili (Na. 154).

 

Mungu hushughulika na wanadamu kupitia kwa Yesu Kristo na wateule walioandikwa katika kitabu cha uzima kabla ya msingi wa ulimwengu. Waliitwa toba. Toba ilikuwa ni ya kisharati. Katikla upokezi wa Roho mtakatifu, ambayo angeashiriwa tu na ubatizo. Toba inaendelea tangu ubatizo ili tukue katika roho hadi tuwe imara.

 

Wale waliolala lazima wafufuliwe kimwili ili wageuze kama Kristo alivyogeuzwa. Mashihi ilikuwa wa Kwanza kwanza katama za mwanzo.

 

Alikuwa mwanza wa Mungu kwa weza kutoka katika ufufuo wake kutoka kwa wafu (War 1:4). Sisi nasi pia ni karama za mwanzo. Maadamu tuna Roho wakati wa pentekosti. Msururu wa siku takatifu hywasilisha masuala haya ya mwito wetu na upatanisho wetu na Mungu Baba kupitia kwa Yesu Kristo.

 

Tazama Sikukuu za Mungu Jinsi Zinavyohusiana na Uumbaji (Na. 227).